Na kwa kuongezea hapa kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA - kuna VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa na JESHI LA POLISI! Kuna VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa na USALAMA WA TAIFA! Na kuna baadhi ya VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa kwa msaada wa NCHI JIRANI.
Hii yote inatumika kama HUDUMA ZA KIJAMII NA MAHUSIANO YA WATU kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa na JESHI LA POLISI na kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa na USALAMA WA TAIFA.
Na kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa kwa msaada wa NCHI JIRANI huwa inatokana na sababu za UKACHERO.
Kwahiyo kama MWANACHAMA wa CHAMA chochote kile cha KISIASA ni vyema kuchunguza kwanza kabla ya kufanya maamuzi, maana kuna VYAMA VYA KISIASA ukiingia na ukitoka salama ushukuru MUNGU!
Ndio maana kuna baadhi ya WANASIASA walishambuliwa kwa risasi na mwingine alifariki kwa sababu zisizojulikana, wengine wanasema ni COVID-19 lakini hali halisi ni POLITICAL ASSASSINATION.
Na kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA vilivyo juu sasa hivi, yaani CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️, CHADEMA ✌️, CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ na ACT - WAZALENDO 🖐️ ni vyama viwili [ 2 ] tu ndio vyama vinavyomilikiwa na raia wa kawaida, vingine ni vyama vinavyomilikiwa na JESHI LA POLISI na USALAMA WA TAIFA.
VYAMA VYA KISIASA vinavyomilikiwa na raia wa kawaida ni CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ lakini kwa upande wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ni chama cha kisiasa ambacho kinajumuisha kila aina ya watu, yaani ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ kuna kila aina ya sura na kila aina ya watu wanaopatikana TANZANIA 🇹🇿.
Ndio maana maendeleo yanachelewa kwa upande mwingine, kwa sababu ya aina na malengo ya kisiasa ambayo CHAMA CHA KISIASA kinakuwa na mwakilishi katika sehemu fulani, sehemu hiyo inaweza kuwa ni KATA, JIMBO au hata NCHI.
Ndio maana sasa hivi WABUNGE wanaenda BUNGENI kama wanaenda SOKONI halafu wanachukua POSHO yaani "SITTING ALLOWANCES" kikao kinakuwa kimeisha. Hawafanyi shughuli yoyote ya kitaifa zaidi ya kufanya POROJO yaani LITERALLY POLITICS.
Hata WABUNGE wa hii mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA wapo hivyo hivyo, hakuna vitu wanavyofanya BUNGENI na MIKOA yao ndio WAHANGA WAKUBWA WA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.
Kwa mfano, ukiangalia matokeo ya wanafunzi bora ya kidato cha nne kwa miaka kumi [ 10 ] iliyopita, MKOA WA SHINYANGA ulitoa wanafunzi bora mara tatu [ 3 ] - kwa mwaka 2005, mwaka 2007 na mwaka 2012! Lakini hawa wanafunzi wanapewa matokeo tofauti kabisa na ufaulu wao na SHULE zao zimekaa kimya! Na HALMASHAURI zao zimekaa kimya! Na WABUNGE wao wamekaa kimya! Ndio maana hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wameamua kuwasaidia WENYEJI WA HII MIKOA bila hata kuwa na mahusiano na WAWAKILISHI WA HII MIKOA. Yaani hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 hawana mahusiano yoyote na VIONGOZI WA SERIKALI ZA MIKOA wala WABUNGE wa hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.
Kwa sababu hawa WABUNGE wa hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA hawana msaada wowote kwa majimbo yao, na hiyo ndio SIASA. Lakini pamoja na hayo yote, WENYEJI WA HII MIKOA wanakuja juu kiuchumi kwa sababu ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁.
Kwahiyo hii ndio SIASA YA TANZANIA 🇹🇿 inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM kwa msaada wa NCHI ZA UJERUMANI 🇩🇪 na ITALIA 🇮🇹.
Na hii ndio SIASA inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ inayolenga kubaki madarakani kwa muda wa kipindi kirefu sana.
Na hii ndio SIASA inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ambayo itaacha baadhi ya jamii masikini sana ikiwemo MIKOA YA KIGOMA, RUKWA, SINGIDA, RUVUMA, LINDI, IRINGA, DODOMA na MTWARA.
Na hii ndio SIASA inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ambayo itafanya jamii ya SERENGETI yaani CHUI kuwa na NGUVU YA KIUCHUMI NA KISIASA huku jamii nyingine zikibaki kuwa hoi na masikini wa kutupwa!
Kwahiyo mabadiliko ni lazima, hasa kwa mfumo wa elimu wa TANZANIA 🇹🇿. Ni lazima kuwe na uwazi katika kuwasilisha matokeo ya wanafunzi kwa awamu zote yaani darasa la saba, kidato cha nne na kidato cha sita ndio maendeleo kwa jamii zote yatapatikana lakini tofauti na hapo, itakuwa ni shughuli ya kumpigia mbuzi gitaa.