Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Daaaa!! sawa bana!! unafanya nini mtaani dogo!! saa hizi ujue ni saa nane! na jua la Dar! joto! sasa hvi kale utaanguka!

ana
Mimi sasa hivi nipo SHINYANGA, mitaa ya MAZINGIRA CENTER nasikiliza mziki laini ๐ŸŽถ! DAR nitakuja muda sio mrefu kuanzia mwezi huu. Siunajua tena ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Niwe mkweli na mwaminifu kwako, kwa members wengine, & hata kwa YULE anayekupatia pumzi.

Siisomi HOLY BIBLE wala NOBLE QUR'AN hata vitabu vya nyimbo za KIKRISTO sanjari na TENZI ZA ROHONI japokuwa nililelewa na kukulia katika malezi na madili ya kumfahamu MUNGU.

Nawaza kuusaka MKATE tu wala huwa sina kingine, Nawaza ni namna gani nitatoka kimaisha?!

Nifanyeje ili nitoboe? Hapo ndo mawazo yangu yote nayaweka.
 
Ngoja kesho nitakutumia picha ya hicho kitabu cha TENZI ZA ROHONI kwa upande wa DIBAJI [ PREFACE ] uone! Hawa SERENGETI yaani CHUI huwa wanatumia BIBLIA TAKATIFU kuongoza nchi na huwa wanatumia kitabu cha TENZI ZA ROHONI muda wa KUSIFU NA KUABUDU huku wameshika BUNDUKI na ukiwa mgeni kwenye hizo ibada za KUSIFU NA KUABUDU huwa wanabatiza kwanza kama ishara ya KUBALIKIWA NA KUSHIRIKI kwenye maamuzi ya SERIKALI.

Hiyo ndio INNER CIRCLE ya SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ INAYOONGOZWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ jinsi inavyofanya kazi.
 


Jaribu tena kusikiliza na kutizama hii nyimbo ya CHRISTINA SHUSHO inayoitwa NIPE MACHO NIONE. Hii ni nyimbo ambayo imebeba maudhui fulani fulani kwenye mashairi yake na pia video yake.

Wale INTELIJENSIA WALIOBOBEA huwa wanapenda kutumia hii nyimbo kufikisha ujumbe kwa njia ya sauti na video kwa wahusika. Hii yote inafanyika ili kumpa nafasi mhusika aweze kuona tu na sio mpaka aambiwe.

Wale INTELIJENSIA WALIOBOBEA huwa wanapenda kusema hivi - KUSOMA HUJUI, HATA PICHA PIA HUONI. Hii ikiwa na maana ya kwamba tumepewa macho ya kuweza kutambua sio mpaka tuambiwe, mambo mengine yanafanyika kwa ishara.

Haya kazi ni kwako kuangalia kitabu cha TENZI ZA ROHONI kwa upande wa DIBAJI yaani PREFACE. Wewe jaribu kukipitia hicho kitabu na sio lazima uwe mtu wa DINI fulani ndio ukisome, hapana! Jaribu kusoma kama msomaji wa kawaida.
 
I beg to differ

with kambona s vision tungekua kama
Kenya tu

Kambona was a puppet
 
Sawa, Mkuu!

Nashukuru sana kwa kunilisha cha hiki adimu.

Tarehe 09/23 nitashughulika na hizo HYMNS.
Sasa hapo kwenye hiyo nyimbo na maudhui yake umeelewa nini? Hebu jaribu kutizama vizuri hiyo video halafu uniambie umeona nini? Chochote kile ulichokiona hapo kwenye hiyo nyimbo ya CHRISTINA SHUSHO inayoitwa NIPE MACHO NIONE.





Ikumbukwe pia, wale SERENGETI yaani CHUI ndio wamiliki halali wa kiwanda kinachotengeneza pikipiki za SANLG na vile vile hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ ndio wamiliki halali wa kiwanda kinachotengeneza pikipiki za KINGLION.
 
Sijaitazama video ya NIPE MACHO bali nimepitia LYRICS yake.

Picha yetu inaanza na kati mwisho kati mwanzo.

Nina MACHO mawili kwa nini nipewe MACHO mengine?

Kwani MAWILI niliyonayo hayanitoshi kwa KUONA hata nipewe MACHO mengine?

Hayo MACHO mengine nitakayopewa yatakaa usoni jumla yawe MANNE au yatakaa upande gani wa mwili?

"Nipe macho nione, macho eh eh.
Nipe macho nione
sawa swawa X4"

"Milango yangu ya fahamu ilishafungwa" by DAZ NUNDAZ-Kamanda.

Wakati MAGETI MATANO yanapokwama ndipo GETI NAMBA SITA linapofunguliwa.

Nilikuwa kifungoni wala sikuona hata kufahamu kama MEDI amewapa vijana nchini nzima MOTO MOTO wala si kauli mbiu, MOTO MOTO wala si muwako, MOTO MOTO kama RIDERS/MV wapate MKATE na pia JITU MNYAMA apate mafao naye zaidi zaidi kujitangaza lakini sikuiona NEMBO wala kuifahamu, Lakini leo Nembo ya BEAST ktk MOTO MOTO nimeiona na GETI LANGU NO.6 limefunguka.
KINGLION nimeisoma.

"Macho yangu yanaona nina NGUVU, kumbe waniona MNYONGE"

Nipe macho nione, macho
 
Itakuwa ni vigumu sana kuweza kuelewa hayo MAZINGIRA yaani SCENES ya hiyo VIDEO, kwa sababu TAARIFA ZA AWALI yaani BACKGROUND INFORMATIONS huna! Lakini hiyo VIDEO ilikuwa na inatoa ujumbe kwa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na SERENGETI yaani CHUI dhidi ya SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Siku zote rangi ya BLUU ๐Ÿ”ต inawakilisha IKULU, na hata watumishi wa SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ wanaovaa KAUNDA SUTI ZA BLUU huwa wanawakilisha IKULU. Kwahiyo tukubaliane RANGI YA BLUU ๐Ÿ”ต inawakilisha IKULU na huyo dada aliyevaa BRAUZIA YA RANGI YA CHUI inawakilisha SERENGETI yaani CHUI.

Kwahiyo huyo dada aliyevaa BRAUZIA YA RANGI YA CHUI anafukuzwa ndani, hii ikiwa na maana ya SERENGETI yaani CHUI inaondolewa IKULU. Na SERENGETI yaani CHUI haitaondoka hivi hivi, lazima ugomvi na mafarakano yawepo kama unavyoona hapo kwenye hiyo VIDEO SCENES yaani MAZINGIRA YA VIDEO.

Na jaribu kuangalia vizuri kipindi huyo dada aliyevaa BRAUZIA YA RANGI YA CHUI anaondolewa ndani, kulikuwa na televisheni inayoonesha mtu amevaa nguo yenye rangi ya KIJANI, BLUU na NJANO. Hiyo ikiwa na maana ya bendera ya SERIKALI YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ. Kwahiyo kupitia MAZINGIRA YA VIDEO utaweza kuelewa ya kwamba - SERENGETI yaani CHUI ina mahusiano ya moja kwa moja na SERIKALI YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ.

Na kwa jinsi inavyoonekana mpaka sasa hivi ni kwamba - FEDHA zinazotumika kujenga nchi ya RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ ni FEDHA ambazo zinatoka TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. Kwahiyo zoezi la kuiondoa SERENGETI yaani CHUI kwenye MFUMO WA SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ bado inaendelea lakini sio vyepesi kama watu wengine wanavyodhani. Ni lazima kutatokea ugomvi na mafarakano, na hata VIFO kama tulivyoshuhudia kwa baadhi ya VIONGOZI WA SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Halafu hayo MAPAZIA YA RANGI YA KIJANI NA NYEKUNDU ni bendera ya SERIKALI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ na hiyo miti mirefu ni MASHAMBA YA MIWA [ KAGERA SUGAR na MTIBWA SUGAR ] ndio zinazohudumia SERIKALI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ. Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ hawana shida, kwa sababu wao hawapo kwenye SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na wanaendesha SERIKALI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ kupitia vyanzo vyao vya mapato. Lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ lazima watapitia MISUKOSUKO DHIDI YA SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Vile vile kipindi ambacho hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na SERENGETI yaani CHUI watakuwa pamoja ni kipindi ambacho SERENGETI yaani CHUI ataondolewa kwenye MFUMO WA SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. Kuiondoa SERENGETI yaani CHUI kwenye MFUMO WA SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ni kukiondoa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ madarakani. Na sio jambo jepesi!!

Kwahiyo SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ watakuja kuwa pamoja endapo tu CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ kitaondolewa madarakani. Na watakuja kuwa pamoja kupitia SERIKALI ZA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ NA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ na hapo ndio vita inaweza kutokea kati ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ kwa sababu hawa hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na SERENGETI yaani CHUI ndio wenye ushawishi na walioshika SERIKALI YA KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ kupitia intelijensia zao za RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ.

Kwahiyo VITA YA SILAHA inaweza kutokea kati SERIKALI YA KONGO ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ na SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ endapo tu CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ kitaondolewa madarakani. Na SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ itapigwa kwa sababu hawa WAKONGOMANI ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ walishajiandaa tangu siku nyingi, kitu wanachosubiri ni siku na masaa tu.

Halafu pia, hawa WAKONGOMANI ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ wanamiliki MABOMU YA NYUKLIA yaliyoachwa na WABELIGIJI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช ambayo yanasubiri muda wa matumizi dhidi ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. Na hii ndio hali halisi.
 
Hapana, Mkuu!

Sikuwa naipata hiyo.
Hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wao wametulia na SERIKALI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ na ndio wanaoendesha SERIKALI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ kupitia CHAMA TAWALA CHA CNDD - FDD.

Vile vile ukiondoa zile kampuni tatu kubwa TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ambazo ni SUPERGROUP LTD, AZANIA, MURZAH WILLMAR EAST AFRICA LTD, kampuni nyingine ni AMSONS GROUP.

Hii kampuni ya AMSONS GROUP inajumuisha kampuni ndogo ndogo zipatazo nane [ 8 ]. Kampuni hizo ni CAMEL CEMENT, CAMEL OIL, CAMEL GAS, CAMEL FLOUR MILLS, CAMEL CONCRETE, AMSONS REAL ESTATE, HEAVY DUTY COMMERCIAL TRANSPORTER na FARION TRADING LIMITED.

Hizo ndio kampuni nne [ 4 ] kubwa kuliko zote zinazopatikana TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na pia hizi kampuni zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ na ndio miongoni mwa kampuni zinazochangia uchumi wa nchi ya BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ.










Na kwa siku chache zijazo hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wakiachana na FIKRA DUNI, nchi ya BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ kupitia CHAMA TAWALA CHA CNDD - FDD wanaweza kujitoa kwenye UMOJA WA NCHI ZINAZOZUNGUMZA KIFARANSA yaani FRANCOPHONE COUNTRIES na kuanza kutumia lugha ya KIINGEREZA NA KISWAHILI kama lugha kuu za mawasiliano na kufundishia shuleni na vyuo vikuu.

Vile vile hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ kupitia vyanzo vyao vya ajira, wana uwezo wa kuajiri WARUNDI elfu kumi hadi elfu kumi tano [ 10,000 - 15,000 ] kwa mkupuo nje ya nchi ya BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ.

Kijiografia, nchi ya BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ ni ndogo kuliko hata mkoa wa TABORA. Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ wana uwezo wa kubadilisha nchi ya BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ kwenda nchi yenye uchumi wa kati kupitia vyanzo vyao vya mapato kwa kipindi kisichozidi miaka kumi [ 10 ].

Kwahiyo ukiondoa hizo kampuni kubwa nne [ 4 ] zinazopatikana TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, zipo kampuni nyingine ndogo ndogo ambazo pia zinaweza kuchangia mapato na ajira kwa SERIKALI YA BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ bila kuigusa SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. Na ni suala la muda tu!
 
Charles Mandela the illusionist[emoji1787][emoji1787]

Wake up from your day-dreaming

Eti jamaa wa burudi wanamiliiki meli ya OASIS seriously

Wewe jamaa ulitudanganya hapa eti ma TO wanapata Four [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Siwezi kukutofautisha na Deo Kisandu

Sema uko kwenge your own lane[emoji1]
 
Charles Mandela the illusionist[emoji1787][emoji1787]
Mimi ni METALLURGIST! Mimi sio ILLUSIONIST! Maana yake nini? Maana mimi sielewi kitu hapo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wake up from your day-dreaming
Ain't a day - dreamer! I'm realistic person living within the same world.
Eti jamaa wa burudi wanamiliiki meli ya OASIS seriously
Yaani hapo tayari nimeshakuona wewe ni CHENGA tu! Unataka kuharibu hii mada.

Jaribu kupitia yale yaliyojadiliwa huko nyuma na vizuri yapo kwenye maandishi.
Wewe jamaa ulitudanganya hapa eti ma TO wanapata Four [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
You're kidding my friend! You're actually not getting things serious, eeh ๐Ÿ˜†
Siwezi kukutofautisha na Deo Kisandu
Aah! Utakuwa umenikosea sana kunifananisha na DEO KISANDU! Yaani yule jamaa aliyekuwa CHADEMA โœŒ๏ธ wakamfukuza!

Yaani mtu mpaka inafikia hatua anafukuzwa CHADEMA โœŒ๏ธ ina maana hamnazo kichwani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Halafu nasikia DEO KISANDU amejiunga JESHI! Ni askari kanzu na alikuwa anatumia muda mwingi kuwazodoa watu. Kwahiyo hata wewe unatakiwa kuwa makini kwenye hivyo VYAMA VYENU VYA KISIASA.

CHAMA CHA KISIASA ambacho unaweza kuacha hata glasi ya maji mezani na ukaenda chooni ni CHAMA CHA WANANCHI - CUF โ˜€๏ธ. Sehemu nyingine ni kujitafutia matatizo tu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Ebu jaribu kuacha glasi ya maji mezani halafu uende chooni kwenye mkutano wa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ, ACT - WAZALENDO ๐Ÿ–๏ธ au hata CHADEMA โœŒ๏ธ tukuone kama kesho utaamka, *****! Utakufa unajiona ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Sema uko kwenge your own lane[emoji1]
Au wewe The imp ndio DEO KISANDU maana nyinyi ni watu wa kuwaogopa sana.

Hauwezi kunifananisha mimi na hao watu! Sijui nani nani! Sijui fulani fulani! Anyway, I'm so far from those PEOPLE.
 


Kuna basi linauzwa huko, nenda kalinunue! Sio kidohea dohea tu vitu vya watu, ilmradi na wewe uonekane una hela! Sasa hivi hakuna maisha ya DEZO ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 


Unaona hiyo picha hapo juu? Hiyo picha nimetumiwa na rafiki zangu kutoka ULAYA ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡บ na hiyo picha inaonesha ni jinsi gani hawa VIONGOZI WA KIAFRIKA walivyo na matumizi mabaya ya FEDHA.
 
Mkuu, Charles Mandela!
Tulichangia mauaji ya WATU 200K pale HIRONAGA 1945 kwa kumuuzia U.S Madini.

Hatukupigwa BAN na UN kwamba SHINKOLOBWE
yetu isichimbe URANIUM!?


Inakuwaje tuwe na NUCLEAR BOMBS wakati tulikuwa na uwezo wa kuchimba na kuuza URANIUM tu pale nyumbani kwetu SHINKOLOBWE!?!!
 
Reginald L. Ishala kwenye hayo mambo ya mahusiano ya watu na kijamii hasa SIASA huwa yametawaliwa na INTELIJENSIA. Kama haupo kwenye INTELIJENSIA yoyote usijihusishe na SIASA za aina yoyote ile, maana utapotea.

Na INTELIJENSIA huwa imetawaliwa na LUGHA ZA ISHARA na hata hivi VYAMA VYA KISIASA huwa vinatoa mtazamo na taswira kwa LUGHA ZA ISHARA.

Na taswira ya VYAMA VYA KISIASA unaweza kuitambua kupitia sare, ilani na miiko ya CHAMA. Wakati mwingine hata majina huwa yanatambulisha taswira ya VYAMA VYA KISIASA.

Kwa upande wa CHADEMA โœŒ๏ธ hilo tumelimaliza na kwa upande wa ACT - WAZALENDO ๐Ÿ–๏ธ kile ni chama kinachomilikiwa na DOLA, tena kinamilikiwa na moja ya MAJESHI ya TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. Na sio kosa kwa sababu hata MAJESHI yenyewe, majukumu yao ni mahusiano ya watu na kijamii ambapo hata SIASA ipo.

Na miongoni mwa vile vyama vya upinzani vyenye uwakilishi bungeni ni CHAMA CHA WANANCHI - CUF โ˜€๏ธ pekee yake ndio chama cha kisiasa kinachomilikiwa na raia wa kawaida.

Kwahiyo ni vyema kuyafahamu haya mapema kabla ya mambo mengine maana SERIKALI ipo kazini, hasa kwenye kipindi kama hiki ambapo kuna mwamko mkubwa wa VIJANA kujihusisha na SIASA.
 

Sasa kabla hatujaendelea na mambo mengine, jaribu kupitia hiyo VIDEO inayoonesha MAJESHI YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ wakifanya moja ya shughuli za KIJESHI.

Kama nilivyotoka kueleza huko nyuma kuhusu hizi nchi za RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ na BURUNDI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ na mahusiano ya moja kwa moja na jamii za SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA ๐Ÿฆ.

SERIKALI YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ ni SERENGETI yaani CHUI na hata kauli ambazo huwa zinatolewa na VIONGOZI WA SERIKALI YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ huwa zinawakilisha misimamo na mitazamo ya SERENGETI yaani CHUI.

Halafu pia, hawa ASKARI WA SERIKALI YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ huwa wanaingia moja kwa moja kwenye MAJESHI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, hii ikiwa ni MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA vile vile kudumisha na kuimarisha MASILAHI YA SERENGETI YAANI CHUI na hivi karibuni kile kikosi hatari cha mauaji kimeingia TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na kipo hadi kwenye MAJESHI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Kwahiyo hii SERIKALI YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ ipo kimkakati kwa MASILAHI YA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ kwanza na kwa MASILAHI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kwa ujumla na kule RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ ndio mipango yote ya SERIKALI YA TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM โš’๏ธ inapangwa, hii inatokana na USIRI WA MAMBO YA SERIKALI yaani CONFIDENTIALITY OVER GOVERNMENT MATTERS.

Vile vile huyu RAIS WA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, PAUL KAGAME ni IDEAL PERSONELLY na anatumika kama ni msemaji wa SERIKALI YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ lakini wenye SERIKALI YA RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ ni SERENGETI yaani CHUI.

Halafu pia, huyu PAUL KAGAME ni MSOMALI sio MTUSI kama JAMII YA KIMATAIFA ilivyoaminishwa. Sema WASOMALI wanafanana kabisa na WATUSI na wote ni JAMII MOJA na watu wenye asili ya "CUSHITES" na "NILOTES".

Na huyu PAUL KAGAME ana ndugu zake TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na pia ana ndugu zake KENYA ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช, kwa upande wa TURKANA. Sema kwenye harakati za kutafuta maisha alijikuta amedondokea huko.

Na hivi karibuni aliomba kuongezewa mshahara kutoka kwa wenye SERIKALI kwa sababu ya matusi ambayo huwa anatukanwa na kusimangwa na baadhi ya watu kwenye mitandao ya kijamii, majirani na hata jamii ya kimataifa.

Sasa kama PAUL KAGAME ni IDEAL PERSONELLY [ IP ], hilo jina la "PAUL" walilitoa wapi? Au wale waliompatia hilo JINA walikuwa wanamaanisha nini? Soma MAANDIKO YA BIBLIA kuhusu ASILI YA PAUL na MAANA yake.

Kabla ya MTUME PAUL kuitwa jina la "PAUL" alikuwa anaitwa "SAUL" na alikuwa ni MUAJI. Alikuwa ni muaji kwa wale wote waliokuwa wakieneza INJILI YA KRISTU lakini baadae alivyokuja kuikili IMANI YA KRISTU aliamua kubatilishwa jina na kuitwa PAUL - yaani tazama yote ya zamani yamepita na umefanyika kuwa mtu mpya.

Na hayo ndio yaliyotokea RWANDA ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ, baada ya MAUAJI YA KIMBARI kila kitu kimekuwa kipya na hata BENDELA YA TAIFA walibadilisha na wao pia wanajiita ni WABALIKIWA yaani "THE LAND OF THOUSAND HILLS" wakiongozwa na SERENGETI yaani CHUI kutoka TANZANIA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

Kwahiyo SERENGETI yaani CHUI wapo vizuri sana tena sana, iwe ni KIINTELIJENSIA, KIUCHUMI na KISIASA.
 
Nimepata MADINI aghali sana hapa.
Ninaendelea kujifunza. Nashukuru sana mkuu.

"SAUL" a.k.a "PAUL" Kule Damascus to Antiokia.
When a body is partially or totally immersed in water is equal to....."

ARCHIMEDES.
"& The Law of Floatation".

SERENGETI anatisha, Dubwana kama Dubwana. MNYAMA CHEETAH anapiga hesabu kali siyo kizembe.

Ni mwendo wa ishara na elimu ya namba (numerology).

Mmoja akaulizwa, "Je, Mlibatizwa kwa ubatizo gani"?

"...Ya kale yamepita, Na tazama yamekuwa mapya"

COR 2"5'17"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ