Je, Ni MWASHITA aliyezipiga BAN kampuni zingine za TRANSIT zisiende MIKOA YA KUSINI na hata KUSINI MWA MAZIWA MAKUU!?!!
Yaani kuanzia leo inakupasa kufahamu ya kuwa, miongoni mwa wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU kuna aliyekuwa mfanyakazi mmojawapo anamiliki malori elfu tano [ 5000 ] kwa kupitia kampuni tofauti tofauti zipatazo zaidi kumi [ 10 ].
Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 pekee yao ndio wameshikilia bandari za TANGA, DAR ES SALAAM na MTWARA.
Vile vile hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ukiondoa TANZANIA 🇹🇿 bado wana kampuni nyingine za usafirishaji wa mizigo na abiria kwa upande wa MSUMBIJI 🇲🇿, MALAWI 🇲🇼, ZAMBIA 🇿🇲 na KONGO 🇨🇩.
Halafu pia hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanamiliki kampuni za usafirishaji wa mizigo na abiria kwa upande KENYA 🇰🇪 na UGANDA 🇺🇬, yaani hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wapo hadi bandari za LAMU na MOMBASA.
Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wameshikilia sekta ya usafirishaji wa mizigo na abiria kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA.
Watu ambao wanamiliki kampuni nyingine hawawezi kushindana na kampuni zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa sababu hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanamiliki malori mengi na wapo kwenye sekta ya usafirishaji kwa kipindi kisichopungua miaka ishirini [ 20 ].
Makampuni karibu yote ya MALORI yaliyokuwa yanapeleka bidhaa toka LAKE ZONIA kwenda MBEYA, LUSAKA, MALAWI na MOZAMBIQUE yamehamisha safari zake na hayaendi tena huko.
Ndio! Sasa hivi hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wameshikilia sekta ya usafirishaji wa mizigo na abiria kwa sababu wao ndio wamiliki wakuu wa VIWANDA kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿.
Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wameshikilia SUPPLY CHAIN yote kuanzia viwandani hadi kwa watumiaji wa kawaida na hata kwa upande wa bandari za DAR ES SALAAM, MTWARA na TANGA wao ndio wameshikilia sekta ya usafirishaji wa mizigo.
Yamehamia MZ-Kampala, MZ-DAR, MZ-KIGALI, MZ-BUJUMBURA, KAHAMA-CONGO, MZ-MUSOMA, N.K
Kuna kampuni nyingine zimekufa kabisa na baadhi zimepunguza ruti kwa sababu ya kukosa wateja na huduma ni mbovu.
Kwa mfano, jaribu kuangalia hii barabara ya DAR ES SALAAM mpaka MWANZA kuna malori ya TEXAS na BLUE COAST ndio yametawala hiyo njia. Na hizo kampuni zote zinamilikiwa na mtu mmoja.
Na jaribu tena kuangalia hii barabara ya DAR ES SALAAM mpaka TUNDUMA kuna malori ya SIMBA LOGISTICS na ALISTAIR ndio yametawala hiyo njia. Na hizo kampuni zote zinamilikiwa na mtu mmoja.
Kwa mtu mwingine ambaye ni mgeni kwenye sekta ya usafirishaji wa mizigo, anatakiwa awe na malori ya kutosha ili aweze kumudu biashara ya ushindani.
Mkuu, Charles Mandela! Una mtazamo upi juu ya hilo?
Hii sekta ya usafirishaji wa mizigo na abiria wameshikilia MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na ukihitaji kuingia kwenye hiyo sekta ni lazima uwe vizuri kiuchumi. Hapo hakuna SIASA, ni jitihada binafsi ndio zinazohitajika.