Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Sina shaka kuchelewa kwa MKATE WA TAIFA pale "UNYANYEMBE", "MATOMBO", "KIBOKO" LIEMBA", "KIBAIGWA", "KIBOKO SAUZI", na "KIFARU REGIONS" kwa kuwa pale ni zaidi ya makao ya "FOX RIVER".

Je, Wale "ALIZETI YA CHIPUKO" hawakustahili kuonjeshwa "ASALI NA MAZIWA" walau mara moja moja per annual!?!!

Huyu "TWIGA" wetu haikumbidi awaonjeshe " MEMA YA NCHI?"
TANZANIA 🇹🇿 bado kuna miiko ya ajabu sana! Kuna mambo mengine ukiyafahamu yatakuletea shida! Hivyo inakupasa utulie na uyaache kama yalivyo.
 
Namuona "PANTHERA LEO" taratibu na kwa uhakika akikamilisha mambo yetu yale katika series zetu za "PRISON BREAK", "CRIME", "CRISIS", na "24 HOURS LEGACY FOX".
Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na SERENGETI yaani CHUI wana INTELIJENSIA ya hali ya juu sana. Hauwezi kuwafananisha na VYOMBO VYA USALAMA VYA TANZANIA 🇹🇿.

Kwa upande wa VYOMBO VYA USALAMA VYA TANZANIA 🇹🇿 - hawa WAINGEREZA 🇬🇧 huwa wanawaambia hivi - You are PRETTY but LOCAL.

Na operasheni zote zilizofanyika kwa nchi za RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮 na KONGO 🇨🇩 ni operasheni zilizohusisha SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA 🦁. Hakuna VYOMBO VYA USALAMA VYA TANZANIA 🇹🇿 vilivyohusika na SIASA ZA MAZIWA MAKUU.
Namuona "PANTHERA LEO" taratibu na kwa uhakika akikamilisha mambo yetu yale katika series zetu za "PRISON BREAK", "CRIME", "CRISIS", na "24 HOURS LEGACY FOX".
Halafu hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa sasa hivi wanashambulia MIKOA YA NYANDA ZA JUU KUSINI [ IRINGA, MBEYA na RUKWA] kama walivyofanya kwa MIKOA YA KASKAZINI [ ARUSHA, KILIMANJARO na TANGA ].

Na kwa upande wa MBEYA, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 tayari wameshaweka NGOME yao pamoja mbunge. Sema kwa bahati mbaya huyo mbunge hana ELIMU ya kumuwezesha kugombea kiti cha URAIS, kwahiyo nguvu ya KISIASA itaelekezwa kwa watoto wake.
 
Je, Ni MWASHITA aliyezipiga BAN kampuni zingine za TRANSIT zisiende MIKOA YA KUSINI na hata KUSINI MWA MAZIWA MAKUU!?!!

Makampuni karibu yote ya MALORI yaliyokuwa yanapeleka bidhaa toka LAKE ZONIA kwenda MBEYA, LUSAKA, MALAWI na MOZAMBIQUE yamehamisha safari zake na hayaendi tena huko.

Yamehamia MZ-Kampala, MZ-DAR, MZ-KIGALI, MZ-BUJUMBURA, KAHAMA-CONGO, MZ-MUSOMA, N.K

Mkuu, Charles Mandela! Una mtazamo upi juu ya hilo?
 
Ni kweli, Mkuu Charles Mandela!

Hapo kwenye "UKANDA WA NGANO NYINGI" na kuchelewa kwa "MKATE WA TAIFA" na "MEMA YA NCHI" inabidi nivunge.

Kwenye "ASALI NA MAZIWA" dhidi ya "MATOMBO", "KIBAIGWA", "KIBOKOSAUZI", NA "UNYANYEMBE" Napo nimenyamaa hapo ili "TWIGA" asinipe "BAN YA MILELE"
 
Je, Ni MWASHITA aliyezipiga BAN kampuni zingine za TRANSIT zisiende MIKOA YA KUSINI na hata KUSINI MWA MAZIWA MAKUU!?!!
Yaani kuanzia leo inakupasa kufahamu ya kuwa, miongoni mwa wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU kuna aliyekuwa mfanyakazi mmojawapo anamiliki malori elfu tano [ 5000 ] kwa kupitia kampuni tofauti tofauti zipatazo zaidi kumi [ 10 ].

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 pekee yao ndio wameshikilia bandari za TANGA, DAR ES SALAAM na MTWARA.

Vile vile hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ukiondoa TANZANIA 🇹🇿 bado wana kampuni nyingine za usafirishaji wa mizigo na abiria kwa upande wa MSUMBIJI 🇲🇿, MALAWI 🇲🇼, ZAMBIA 🇿🇲 na KONGO 🇨🇩.

Halafu pia hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanamiliki kampuni za usafirishaji wa mizigo na abiria kwa upande KENYA 🇰🇪 na UGANDA 🇺🇬, yaani hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wapo hadi bandari za LAMU na MOMBASA.

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wameshikilia sekta ya usafirishaji wa mizigo na abiria kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI NA KUSINI MWA AFRIKA.

Watu ambao wanamiliki kampuni nyingine hawawezi kushindana na kampuni zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa sababu hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanamiliki malori mengi na wapo kwenye sekta ya usafirishaji kwa kipindi kisichopungua miaka ishirini [ 20 ].
Makampuni karibu yote ya MALORI yaliyokuwa yanapeleka bidhaa toka LAKE ZONIA kwenda MBEYA, LUSAKA, MALAWI na MOZAMBIQUE yamehamisha safari zake na hayaendi tena huko.
Ndio! Sasa hivi hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wameshikilia sekta ya usafirishaji wa mizigo na abiria kwa sababu wao ndio wamiliki wakuu wa VIWANDA kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿.

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wameshikilia SUPPLY CHAIN yote kuanzia viwandani hadi kwa watumiaji wa kawaida na hata kwa upande wa bandari za DAR ES SALAAM, MTWARA na TANGA wao ndio wameshikilia sekta ya usafirishaji wa mizigo.
Yamehamia MZ-Kampala, MZ-DAR, MZ-KIGALI, MZ-BUJUMBURA, KAHAMA-CONGO, MZ-MUSOMA, N.K
Kuna kampuni nyingine zimekufa kabisa na baadhi zimepunguza ruti kwa sababu ya kukosa wateja na huduma ni mbovu.

Kwa mfano, jaribu kuangalia hii barabara ya DAR ES SALAAM mpaka MWANZA kuna malori ya TEXAS na BLUE COAST ndio yametawala hiyo njia. Na hizo kampuni zote zinamilikiwa na mtu mmoja.

Na jaribu tena kuangalia hii barabara ya DAR ES SALAAM mpaka TUNDUMA kuna malori ya SIMBA LOGISTICS na ALISTAIR ndio yametawala hiyo njia. Na hizo kampuni zote zinamilikiwa na mtu mmoja.

Kwa mtu mwingine ambaye ni mgeni kwenye sekta ya usafirishaji wa mizigo, anatakiwa awe na malori ya kutosha ili aweze kumudu biashara ya ushindani.
Mkuu, Charles Mandela! Una mtazamo upi juu ya hilo?
Hii sekta ya usafirishaji wa mizigo na abiria wameshikilia MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na ukihitaji kuingia kwenye hiyo sekta ni lazima uwe vizuri kiuchumi. Hapo hakuna SIASA, ni jitihada binafsi ndio zinazohitajika.
 
Ni kweli, Mkuu Charles Mandela!

Hapo kwenye "UKANDA WA NGANO NYINGI" na kuchelewa kwa "MKATE WA TAIFA" na "MEMA YA NCHI" inabidi nivunge.

Kwenye "ASALI NA MAZIWA" dhidi ya "MATOMBO", "KIBAIGWA", "KIBOKOSAUZI", NA "UNYANYEMBE" Napo nimenyamaa hapo ili "TWIGA" asinipe "BAN YA MILELE"
Sasa hivi kila mtu ameelimika na anauelewa wa mambo ya UTAWALA WA SHERIA NA SERIKALI. Hupaswi kusubiri kuambiwa, inabidi uchukue hatua mwenyewe.
 

5ebb25d5428de90bcadd897521529a25.png

Hapa tena kuna kitu fulani nataka nikuoneshe kama nilivyo kuonesha kwa upande wa OASIS VILLAGE. Hivi unafahamu kuwa hata ile ROYAL VILLAGE ya DODOMA inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁? Hapa pia kuna kitu fulani nataka nikuoneshe!
 
Hapana, Mkuu Charles Mandela!
Nilikuwa mtupu hapo kwa mmiliki wa "ROYAL VILLE"

98535d19ec8e2e744fdd0c3059ae5d51.png


0a6125dfdcecb1c66ce0d3c3b480b014.png


ef507262ec166f29cd31a561c87fd5a7.png


5a28b22ce55942f851e14dc023223cd2.png


293819c31ffd215a29c6bf73fec6fa7d.png


0e8ba5a92079694d5a5c47642efc8416.png

Hilo jina la ROYAL VILLAGE HOTEL ni jina ambalo wamelitoa ZAMBIA 🇿🇲 ambako hawa wanaomiliki hoteli ya ROYAL VILLAGE HOTEL ndio wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji wa abiria inayoitwa ROYAL AFRICA TRANSPORT SERVICE.

Hii kampuni ya ROYAL AFRICA inafanya shughuli za usafirishaji wa abiria kwa upande wa ZAMBIA 🇿🇲 pekee yake. Lakini hawa hawa wanaomiliki kampuni ya usafirishaji wa abiria ya ROYAL AFRICA ndio wanaomiliki kampuni ya usafirishaji wa abiria ya SHALOM inayofanya shughuli zake ndani na nje ya ZAMBIA 🇿🇲.

Na hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanajaribu kuiga mfumo wa SERENGETI yaani CHUI, ijapokuwa SERENGETI yaani CHUI wapo mbali sana KIUCHUMI na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanajaribu kufuata nyayo za SERENGETI yaani CHUI.

Kwahiyo utaona ni jinsi gani hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 walivyo kwenye upande wa UCHUMI, wapo vizuri sana! Na wanaiga mfumo wa HAYATI MWALIMU aliouasisi kwa jamii ya SERENGETI yaani CHUI.

Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio miongoni mwa WATANZANIA 🇹🇿 waliowekeza nchini ZAMBIA 🇿🇲 mtaji wa kibiashara usiopunguwa SHILINGI BILIONI HAMSINI ZA KITANZANIA [ 50,000,000,000 ] na wanamiliki VIWANDA, HOTELI, SHULE na TIMU YA MPIRA WA MIGUU inayojulikana kwa jina la NKANA FC.

73807bbec921322b682670171f435fa8.png

Hii timu ya mpira wa miguu ya NKANA FC ni timu ambayo inashiriki LIGI KUU YA ZAMBIA 🇿🇲 na ni timu ambayo ilishiriki michuano ya AFRIKA yaani CAF CONFEDERATION kwa mwaka uliopita.

Hao ndio MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanaofuata nyayo za SERENGETI yaani CHUI. Huu ni mfumo wa SERENGETI yaani CHUI ulioasisiwa na HAYATI MWALIMU mwenyewe kupitia msaada wa UJERUMANI 🇩🇪 na ITALIA 🇮🇹.
 
Huyu "SHALOM" si mgeni machoni pangu.

Huyu mnyama "SAULI" route zake zikoje? Wakati fulani nilimuona kule Rock City.

Ukiachana na "MAHARAMIA WA BAHARINI" a.k.a "ORLANDO PIRATES" na "MAMELODI SUNDOWNS" basi kule Kusini Mwa Maziwa Makuu huwa nawakubali sana, "MASHETANI WEKUNDU" waitwao "NKANA FC" a.k.a "THE RED DEVILS" na wale "WAKATA UMEME" waitwao, "ZESCO".

Kama ilivyoandikwa, Kwamba, "Ufalme wa mbinguni utatekwa na wenye nguvu".

Ndivyo MATAJIRI a.k.a WAFANYABIASHARA wanavyozidi kuuteka ufalme wa wananchi.

WANYAMA hawa wawili wako smart sana, Kama vile wasivyokosea katika ukokotozi wa namba, hesabu, na biashara zao, Ndivyo pia wanavyotumia majina smart sana yaliyobeba uzito mkubwa, mafumbo, siri, na mafanikio.

ROYAL, OASIS, SAUL, SHALOM, ST MATHEW, THE BLUES, THE LOS BLANCOS, TIGRIS, LEO, ETC.
 
Baada ya kufufuka Nabii KRISTO aitwaye, "YESU"..

Anawaambia wanafunzi wake neno, "SHALOM" a.k.a "AMANI IWE KWENU"

Na "MNYAMA LEO" anatumia hiyo "SHALOM".

Kama ilivyokuwa kwa "SAULI" a.k.a "PAUL" ndivyo pia ilivyokuwa kwa hawa APOSTLES 12.

Utofauti wa "SAULI" ni kwamba alikuwa "KILLER" lakini "PETER" a.k.a "PETRO" alikuwa dakika mbili mbele ukijipendekeza pale "MWALONI" kwake ujue umeisha kabla ya ubatizo hatimaye leo tunamuona pale ST. PETERS kivingine.

Ndivyo walivyokuwa hata wana "NGURUMO" yaani, "YAKOBO" na "ANDREA" nduguye ukigusa nyavu zao au samaki wao ujue kuzamishwa ni sekunde.

"MATHAYO" a.k.a "MATHEW" huyu alikuwa smart sana kichwani kama "YUDA" alivyokuwa mdhibiti wa mapato na bajeti za pale sinagogini.

UNABATIZWA NA MNYAMA LEO AU MNYAMA TIGRIS UNA-CHANGE KUWA KIVINGINE.
 
Mkuu, Charles Mandela!
Wakati mwingine karata zao zinataka kurandana.

Huku naliona JOKERY [JOKER] liitwalo, "THE BLUES" na kule kuna "TURUFU" inaitwa, "BLUE COAST".

Kule kuna "ROYAL VILLE" na huku kuna "ROYAL CROWN (RMA)".
 
Mkuu, Charles Mandela!

Hapa "BLUE" imekula kwa "PANTHERA LEO" na imekula pia kwa "PANTHERA TIGRIS".

Tukiachana na "TAFSIRI YA BLUE" kwa maana ya "TWIGA", "BAHARI", NA "UTITIRI".

Mkuu, Charles Mandela, Wewe ambaye hukuukimbia umande, Unasemaje juu ya "TAFSIRI YA NENO BLUE" katika aina za "FRAMES" kikemia!?!!
 
Samahani, Mkuu Charles Mandela!

Naomba kufahamu lipi lilikuwa jina la "SAULI" wa "RWANDA" kabla ya ubatizo.

Niliipoteza makala hiyo kwenye uzi wa mkuu mmoja pale Jukwaa La Historia.
 
Samahani, Mkuu Charles Mandela!

Naomba kufahamu lipi lilikuwa jina la "SAULI" wa "RWANDA" kabla ya ubatizo.

Niliipoteza makala hiyo kwenye uzi wa mkuu mmoja pale Jukwaa La Historia.

8d1a105fe002ce65b340f9fe692e6d0d.png

Unaona hiyo basi kwenye picha hapo juu? Hiyo basi ni kampuni ya FALCON inayofanya biashara zake kuanzia DAR ES SALAAM - TANZANIA 🇹🇿 mpaka LUSAKA - ZAMBIA 🇿🇲, DAR ES SALAAM - TANZANIA 🇹🇿 mpaka HARARE - ZIMBABWE 🇿🇼 na DAR ES SALAAM - TANZANIA 🇹🇿 mpaka LUBUMBASHI - KONGO 🇨🇩.

Hii kampuni ya FALCON ni kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na jina la FALCON limebeba historia kubwa sana kwenye SIASA ZA MAZIWA MAKUU.

Kampuni nyingine za usafirishaji wa abiria ambazo zinamilikiwa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 zinaweza kuisha na hata kupotea kwenye RAMANI, lakini hii kampuni ya FALCON itabaki na itaendelea kubaki hata kwa miaka ijayo.

Sasa naomba uniulize SWALI, jina la FALCON limebeba historia gani kwenye SIASA ZA MAZIWA MAKUU?
 
Wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa timu ya mpira ya SIMBA SC.

Na sio SIMBA SC tu! Kuna timu kama MTIBWA SUGAR FC, yaani ni hivi hawa wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ndio wamiliki halali wa kiwanda cha sukari cha MTIBWA SUGAR pale TULIANI - MOROGORO.

Timu nyingine ni kama COASTAL UNION FC ya TANGA na BIASHARA MARA UNITED ya MARA.

Hivi hamuoni hata nembo ya timu kama BIASHARA MARA UNITED ilivyokaa?

Hii nembo ya 🤝 inatumiwa pia na CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️.

Kwahiyo wanaomiliki CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ pia ndio wamiliki halali wa timu ya BIASHARA MARA UNITED ya MARA.

Sema kilichokuwa kinadhoofisha shughuli za kisiasa kwa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ ni hawa wamiliki wa chama kutoruhusu baadhi ya vitu vyao vitumike kama ni nyenzo ya kueneza sera na itikadi za CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️.

Lakini kwa siku za usoni, hawa wamiliki wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ wataruhusu baadhi ya vitu vyao vitumike kama ni nyenzo ya kisiasa kwa masilahi mapana ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️.
Acha upuuzi kijana, na stori zako za kubuni buni tu.
 
Back
Top Bottom