Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Mkuu, Charles Mandela!

Kuna HYMN ndogo hapa ambayo ni chapa la WAMENON (MENNONITE-MUSOMA, TZ) la mwaka 1968 ila haikidhi kwa maana "PREFACE" yake kama ina hang hang vile.

Nikiingia MJINI kule nitaitafuta ilokubwa, Ila kwa leo Nainukuu hii ndogo:-

TENZI ZA ROHONI

"MKIFUNDISHANA" na "KUONYANA" kwa "ZABURI" na kwa "NYIMBO", na TENZI ZA ROHONI: huku mkimwimbia MUNGU kwa neema mioyoni mwenu.
WAKOLOSAI 3:16

Pasina jumuisho la "NYIMBO" kumbe SYSTEM yangu haikamilishi mambo!?!!

"Mkifundishana" na "Kuonyana" kwa Zaburi.
It means that it takes a plenty of time before the displacement of JOHN F KENNEDY.


Kwenye "SYSTEM" yangu "ZABURI" lazima iwemo kwa maana ni Mjumuisho wa "NYIMBO", "IBADA", "KUSIFU" sanjari na "KUABUDU" huu ni mkamilisho muhimu wa kiutendaji ktk utafutaji wa MKATE wangu wa kila siku.
 
FALCON ni icon muhimu kwa MWASHITA kuliko brands zao zingine kivipi?
FALCON ni jina ambalo lilikuwa linatumika kama ni aina ya ndege ya RAIS WA RWANDA 🇷🇼 kwa kipindi hicho. Yaani ndege ya RAIS WA RWANDA 🇷🇼 [ JUVENAL HABYARIMANA ] kwa kipindi hicho alikuwa anatumia FALCON 50 JET.


a0a6d8e33b7a4a083ab43ca31f8cbc29.png

Kabla hata ya kudunguliwa, SERIKALI YA RWANDA 🇷🇼 ilipewa taarifa kuhusu uwepo wa mipango ya MAPINDUZI YA KIJESHI, lakini walipuuza.

Na SERIKALI YA RWANDA 🇷🇼 walipewa taarifa na hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kuhusu uwepo wa MAPINDUZI YA KIJESHI, lakini walipuuza tena kama kawaida yao.

Baada ya kipindi kifupi kupita, RAIS WA RWANDA 🇷🇼 na RAIS WA BURUNDI 🇧🇮 walikuja TANZANIA 🇹🇿 kwa ajili ya upatanisho na kusuluhisha migogoro iliyokuwa inawasibu kwa kipindi hicho.

Na baada ya kikao cha majadiliano kilichofanyika DAR ES SALAAM, hawa MARAIS wa RWANDA 🇷🇼 na BURUNDI 🇧🇮 waliomba kupumzika ili waondoke kesho yake, kwa sababu kikao cha majadiliano kilimalizika usiku.

Lakini RAIS WA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 kwa kipindi hicho, Ndugu ALLY HASSAN MWINYI aliwakatalia na kusema kwamba - hakuwa na bajeti yao kwa usiku ule. Kwahiyo iliwapasa hawa MARAIS WAWILI WA RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮 kuondoka usiku ule ule kuelekea KIGALI - RWANDA 🇷🇼.

Na alfajiri ya tarehe 6, Mwezi wa nne [ APRILI ], mwaka 1994 ile ndege aina ya FALCON 50 JET ilidunguliwa na kusababisha vifo vya RAIS WA RWANDA 🇷🇼 - JUVENAL HABYARIMANA na RAIS WA BURUNDI 🇧🇮 - CYPRIEN NTARYAMIRA.

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa kuwaenzi wale MARAIS WAWILI WA RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮 waliamua kuanzisha kampuni ya usafirishaji wa abiria inayoitwa FALCON.



Na ndio hiyo kampuni ya usafirishaji wa abiria inayoitwa FALCON. Hiyo kampuni ya FALCON ipo tangu mwaka 1996 na mpaka leo ipo na itaendelea kuwepo.
Na mbona njia zake amebadili ni DAR-LUSAKA-HARARE-KONGO badala ya DAR-NAIROBI-MWANZA kama zamani!?
FALCON ipo na inafanya shughuli za usafirishaji wa abiria kama kawaida. Sema kwa siku za hivi karibuni imekuwa ikiadimika sana kwenye hii barabara ya DAR ES SALAAM mpaka TARIME, lakini ipo na inafanya shughuli zake kwa upande wa nchi za jirani.

4f7a4175a67e9d760d81f5d2fd8f4519.png

Hiyo ndio FALCON na hiyo ndio historia ya jina FALCON. Sasa angalia vizuri hiyo picha ya basi hapo juu! Hiyo ni lugha ya picha.

Kwahiyo wale waliohusika na MAUAJI YA MARAIS WAWILI WA RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮 ni SERENGETI yaani CHUI. Hao ndio wanaitwa SAULI kulingana na MAANDIKO YA BIBLIA TAKATIFU.
 
Shukrani, Mkuu!
Nilizoea sana kuziona sana "AKAMBA" na "FALCON" zikikimbizana enzi hizo.

Njia ya TARIME iliwaka moto enzi hizo. Kukanyaga EAST AFRICA pasina usafiri wa AKAMBA au FALCON usingeonekana mjanja wakati huo.

Picha hiyo inatafakarisha na pia inafikirisha sana. Picha na lugha ya picha imekuwa msaada sana na mhimili mkubwa kwa nyakati hizi kwa maana kule AFRICA wanachokisoma darasani kama HISTORIA kiko tofauti sana na UHALISIA, ni mwendo wa KUMEZESHWA MATANGO MWITU.

AFIRIKA! AFIRIKA! AFIRIKA! INATISHA SANA HATA KULIKO IBILISI MWENYEWE.
 
Shukrani, Mkuu!
Nilizoea sana kuziona sana "AKAMBA" na "FALCON" zikikimbizana enzi hizo.

Njia ya TARIME iliwaka moto enzi hizo. Kukanyaga EAST AFRICA pasina usafiri wa AKAMBA au FALCON usingeonekana mjanja wakati huo.

Picha hiyo inatafakarisha na pia inafikirisha sana. Picha na lugha ya picha imekuwa msaada sana na mhimili mkubwa kwa nyakati hizi kwa maana kule AFRICA wanachokisoma darasani kama HISTORIA kiko tofauti sana na UHALISIA, ni mwendo wa KUMEZESHWA MATANGO MWITU.

AFIRIKA! AFIRIKA! AFIRIKA! INATISHA SANA HATA KULIKO IBILISI MWENYEWE.

IMG_20210922_203822_3~2.jpg

I occasionally used to drink PEPSI! Because there is a big difference between PEPSI and COCA - COLA 🥃.
 
Si mchezo, mambo mengi yamefichika!
Ndiyo, Mkuu Wit
Lakini JamiiForums ni uwanja sahihi wa kufungua yasiyofunguka.

Wewe una KILE, Na mimi nina HIKI, Tukichanganya kwa pamoja tunapata UFUNGUO maalum wa kufungua pale palipotiwa MHURI.

Hapa tunakutana na wachezaji MAALUM wenye UWEZO, HEKIMA, UJUZI na MAARIFA ya KUNG'AMUA kile kinacho tutatiza hapa uwanjani.

Ni wewe tu kuuliza swali liwalo lolote kulingana na jukwaa husika kwa ajili ya KUULISHA UBONGO chakula kilicho bora zaidi.
 
Si mchezo, mambo mengi yamefichika!
TANZANIA 🇹🇿 kuna SIASA ZA HATARI SANA na hakuna UPINZANI THABITI wa kuweza kuikosoa na kuisimamia SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 kikamilifu.

Hawa WANASIASA WA UPINZANI kwa namna moja ama nyingine wanatumika na CHAMA TAWALA ambacho ni CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.

Yaani hauwezi kuamini kuwa - kwa jinsi SERENGETI yaani CHUI ilivyojijenga kwenye TAASISI ZA KISERIKALI, hata mfanyakazi wa kawaida akiachia USHUZI 💨 kwenye OFISI YA SERIKALI lazima SERENGETI yaani CHUI watafahamu.

Sasa hawa SERENGETI yaani CHUI watafahamu kwa namna gani? Wamepenyeza watu wengi sana kwenye TAASISI ZA KISERIKALI, kiasi ambacho kila idara na kila ofisi wapo.

Na huu ni uzembe kwa WANASIASA WA UPINZANI. Haya mambo yote yanaanzia BARAZA LA MITIHANI [ NECTA ]. Kuna idadi kubwa sana ya wanafunzi wasiokuwa na vigezo wanapitishwa pale BARAZA LA MITIHANI [ NECTA ], huku kwingine kinachokuja kufanyika ni majumuisho tu.

Hiyo ndio SIASA inayofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na kwale waliotambua haya mapema waliamua kujikita kwenye SEKTA BINAFSI.
 
If not to accomplish it "OUR TASKS" there around Great Lake Zone's Francop i know not anymore.
WAINGEREZA 🇬🇧 huwa wanasema hivi - FIRST OF ALL YOU HAVE TO KNOW YOUR ENEMIES. Yaani hatua ya kwanza unatakiwa kufahamu maadui zako ni nani.

Sasa adui yako wewe sio MWASHITA yaani SIMBA 🦁, kwa sababu hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wao wanafanya mambo yao pasipo kuhusika na SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.

Na hauwezi kupambana na mwenye UCHUMI, tofauti na hapo hata kile kidogo ulichonacho utapoteza. Jaribu kutumia muda mwingi kujiendeleza KIUCHUMI na sio kupambana na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Na unapokuja kupambana na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 unatakiwa upambane nao KIUCHUMI na sio tofauti hapo.

Kwahiyo ADUI yako natumaini umeshamuelewa na siku nyingine unatakiwa usitafute MCHAWI ni nani kwa sababu kila kitu sasa hivi unakifahamu.
 
Shukrani, Mkuu!
Nilizoea sana kuziona sana "AKAMBA" na "FALCON" zikikimbizana enzi hizo.

Njia ya TARIME iliwaka moto enzi hizo. Kukanyaga EAST AFRICA pasina usafiri wa AKAMBA au FALCON usingeonekana mjanja wakati huo.

Picha hiyo inatafakarisha na pia inafikirisha sana. Picha na lugha ya picha imekuwa msaada sana na mhimili mkubwa kwa nyakati hizi kwa maana kule AFRICA wanachokisoma darasani kama HISTORIA kiko tofauti sana na UHALISIA, ni mwendo wa KUMEZESHWA MATANGO MWITU.

AFIRIKA! AFIRIKA! AFIRIKA! INATISHA SANA HATA KULIKO IBILISI MWENYEWE.



Hali ni TOFAUTI kabisa na UHALISIA na baada ya MAUAJI YA KIMBARI YA RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮, kuna MATAIFA TISA [ 9 ] YA AFRIKA pekee yake yaliamua kupeleka MAJESHI ili kulinda amani ya RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮.

Mataifa hayo ni TANZANIA 🇹🇿, KENYA 🇰🇪, UGANDA 🇺🇬, KONGO 🇨🇩, ZAMBIA 🇿🇲, ZIMBABWE 🇿🇼, AFRIKA YA KUSINI 🇿🇦, ANGOLA 🇦🇴 na KONGO - BRAZZAVILLE 🇨🇬.

Vile vile hata baada ya hali ya kisiasa kutulia bado kuna TAASISI ZA KIMATAIFA na MATAIFA MAKUBWA yanaendelea kufanya upelelezi kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿 kuhusu MAUAJI YA KIMBARI mpaka leo hii.

Na hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wanaowalea na kuwatunza wenyeji wa haya MATAIFA MAWILI [ 2 ] YA RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮.

Na hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio waliohusika na kuwasambaza wenyeji wa haya MATAIFA MAWILI [ 2 ] YA RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮 sehemu zote za TANZANIA 🇹🇿 kipindi cha MAUAJI YA KIMBARI.

Yaani hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio waliokuwa msaada kwa wenyeji wa haya MATAIFA MAWILI [ 2 ] YA RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮 kipindi cha MAUAJI YA KIMBARI.

Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wanaohusika na kuwasafirisha wenyeji wa haya MATAIFA MAWILI [ 2 ] YA RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮 kwenda kufanya kazi nchi mbali mbali za DUNIANI.

Lakini kwa siku za hivi karibuni imeonekana kuwa huko nchi za ULAYA, AUSTRALIA na AMERIKA hakuna vipato vya ajira vizuri kama AFRIKA. Kwahiyo hawa wenyeji wa haya MATAIFA YA MAWILI [ 2 ] YA RWANDA 🇷🇼 NA BURUNDI 🇧🇮 watarudi AFRIKA hasa NCHI ZA MAZIWA MAKUU hususani TANZANIA 🇹🇿 kuja kufanya kazi kwenye kampuni zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Kwa sababu hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ukiondoa JAMII ZENYE DOLA ZA AFRIKA YA MASHARIKI yaani SERENGETI kutoka TANZANIA 🇹🇿, MLIMA KENYA kutoka KENYA 🇰🇪 na WAHIMA kutoka UGANDA 🇺🇬, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wameshikilia UCHUMI WA MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGIONAL ECONOMY.
 
Wewe ni mmoja wa wajinga wajinga kama wale wa 1967 ambao hawakumuelewa Kambona na kum-persecute. In the end, nchi imefika kule Kambona alikokuwa anataka iende. Viongozi wanafanya biashara, wana nyumba za kupanga, hisa katika makampuni, nk. Nani alikuwa mjinga sasa - Kambona ama wao? Wajinga wa CCM mtakaokuwepo huko mbele mtaangalia nyuma siku moja na kuona mawazo yenu yalivyokuwa backward.

Hata Afrika ya Kusini ya 1960s, 70s, 80s ilikuwa na wajinga kama wewe ambao waliwaona Mandela, Govin Mbeki, Sithulu nk ni wasumbufu tu. 1994 nchi ilivyopata uhuru ndio wakagundua kuwa wao ndio walikuwa wajinga. Wajinga huwa hamkosekani. Uzuri ni kwamba nchi inaweza kombolewa hata na nyie wajinga mkiwemo.
Humu kuna watu waongo na hawajui mambo,wanaleta Habari za vijiweni!!..Nimesikitika kama Kampuni ya Mzee Sawaya (Kilimanjaro Express) kuwekeza kwenye huu upuuzi Eti ni kampuni ya CUF
 
Tangu nipo shule ya msingi tulikua tunaaminishwa kwamba Mlm Nyerere ndio "icon" pekee apa nchini, tulikua tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kua kuna watu wengine ambao bila wao mwalimu "asingetoboa" na pengine tusingemjua kabisa mwalimu nyerere, au story yake ingekua "short lived". Mmoja wa hao watu ni OSCAR KAMBONA.

Nimezaliwa hapa Tanzania miaka ya 90 mpaka nimekua mtu mzima kila kitu ni Nyerere tu. Kambona nilimsikia badae sana baada ya kuskia kisa cha huyu mtu nikawa interested sana kufuatilia stories zake.

kwa mujibu wa maandiko Kambona alikua bega kwa bega na mwalimu ktk kudai uhuru yaani ilikua akitoka mwalimu anaefuata ni Kambona lakini huwezi sikia hichi kitu kinasemwa waziwazi na pengine bila mawazo na support ya kambona mwalimu "angefeli vibaya mno". Kambona ndio mtu aliezima mapinduzi yalioilenga serikali ya nyerere kutoka kwa askari waliotaka kuasi, yaani kwa ufupi ni kwamba Nyerere asinge endelea kua mtawala wa nchi hii kama sio Kambona.

Kambona aliona mbali kuliko mwalimu Tanzania ya sasa ndio aliyoiona kambona lakini mwalimu alipinga, Kambona aliona ubepari ndio utafanya kazi lakini mwalimu aliona ujamaa ndio unafaa, mwalimu "failed miserably" akatupeleka chaka mpaka leo we still pay for his "grave mistake". Mwalimu alikua mbishi na aliamini kwamba yeye ndio ana maono bora kuliko wengine ,chochote kile ambacho kilikua hakiendani na sera zake alikipinga hata kama kilikua "viable". Fikiria mtu mmoja tu kaenda urusi akafurahishwa na mfumo wa ujamaa akaja kuufanyia "experiment" hapa nchini na ukafeli kwasababu alikataa kusikiliza maoni ya watu wengine, kwa wakati huo mwalimu ndio alikua "kila kitu"

Kambona akatofautiana na mwalimu , yeye alitaka ubepari mwalimu alitaka ujamaa. Kutokana na ushawishi mwalimu alishinda japo kambona ndie aliekua sahihi lakini hawakumskiliza. Baadae mwalimu alijua amekosea akaturudisha kwenye Ubepari na bado akaonekana ni "hero" . Kitu ambacho oscar alikiona miaka kadhaa kabla wakati huo mwalimu alikua "blind" almost everyone was blind except the very few including Kambona

Haya leo 2021 TZ hii ya leo ndio kambona aliyoiona na tumechelewa sana, kwa mtazamo wangu bado tupo nyuma kwa miaka 15 kutokana na sera mbovu za mwalimu nyerere

Wote ni marehemu wapumzike kwa amani lakini, mwisho wa siku Oscar Kambona ndio AMESHINDA!!!!! Kwangu mimi shujaa wa kweli nchi hii ni OSCAR KAMBONA na sio mwalimu! Na ndio mtu muhimu sana sawa na mwalimu lakini ndio aliesahaulikia kuliko wote nchi hii, natamani watanzania wengi tuliozaliwa miaka ya 90 wajue habari za huyu shujaaa ambaye ni co-founder wa hii nchi kwangu mimi alichangia 50% ktk kutengeneza taifa hili sawa sawa na mwalimu, yaani ni kama vile "stive wozniak na stive jobs", steve jobs alitumia akili za stive wozniak na credit akajiapa yy mwenyewe

Aliyeweka Nyerere day kama public holiday alitumia vigezo gani ilihali si kweli kwamba Nyerere ndie mtu pekee aliepigania uhuru wa nchi hii

Ukiniambia nichague kati ya Nyerere na Kambona itakua ni Kambona always

UPDATE:
Watu wengi kwenye comments wanasema kwamba ujamaa ulituleta karibu, lakini ujamaa huo huo ndio uliotuletea umaskini, kwa hiyo logic yake ni kwamba mwalimu alichagua umaskini na umoja dhidi ya maendeleo ambayo hatuna uhakika kama yangetugawa, lakini kabla ya yote Kambona alimshauri kwamba kabla ya ku adopt ujamaa tuufanyie kwanza majaribio , tutengeneze vijiji vichache ambavyo vitaishi kijamaa ili tuone hii system itafanya kazi lakini mwalimu alikataa akaiingiza moja kwa moja bila kujua risks zake ni nini kitu ambacho kambona alishakiona


"Oscar Kambona was one of the best presidents Tanzania never had"
refence:

====

OSCAR KAMBONA: KIONGOZI MAHIRI, MTANASHATI NA RAFIKI KIPENZI WA MWALIMU NYERERE ALIYEISHIA KUWA ADUI YAKE MKUBWA!!!

Christopher Makwaia

WhatsApp%2BImage%2B2019-01-27%2Bat%2B19.28.10.jpeg

1. Usuli
Jioni ya Ijumaa ya tarehe 13.8.1925, huku mvua kubwà na radi kali zikirindima kijijini Kwambe, wilayani Mbinga, Mkoani Ruvuma, alizaliwa mtoto wa kiume akiwa buheri wa afya. Wazazi wa mtoto huyo, Rev. DAVID KAMBONA na Bi. MARIAM KAMBONA, wakampa mtoto huyo jina la OSCAR SATHIEL DAVID KAMBONA. Mvua na radi hiyo, kwa mujibu wa mila za kijijini hapo, "nyumbi hii, bombi hii", ilikuwa ni baraka na ishara kuwa mtoto huyo atakujakuwa wa kipekee.

2. Elimu Chini ya Mwembe
KAMBONA, tofauti na watoto wengine, hakusomea shuleni elimu ya awali bali alifundishwa na wazazi wake pamoja na mjomba wake ambao wote walikuwa walimu. Mafunzo hayo ya awali yalikuwa yakifanyika chini ya mwembe huku chai na mihogo vikiwa pembeni.

3. Elimu ya "Middle School"
Baadae KAMBONA alipelekwa shule ya Kati ya Mt. Barnabas, Liuli. Akiwa shuleni hapo, KAMBONA alikuwa kipanga na "aliwatimulia vumbi" wanafunzi wote kwa miaka yote alipokuwa shuleni hapo.

4. Alliance Sec. School
KAMBONA alifaulu vizuri mitihani yake na akachaguliwa kujiunga na "Alliance Sec. School", Idodomia ambayo baadae ikajaitwa Mazengo Sec. School. Almanusra KAMBONA asiendelee na masomo kwani baba yake hakuwa na uwezo wa kulipa £ 30 kwa mwaka. Uwezo wa KAMBONA "kutema yai" ndio uliomponya kwani alifanikiwa kumshawishi Askofu kumlipia ada hiyo baada ya kusali Sala ya Baba Yetu kwa Kiingereza!.

5. Tabora Boyz Sec. School
KAMBONA alisoma shule hii pamoja na J. Lusinde, E. Mzena, B. Ngwilulupi, A. Nsekela, A. Nyirenda na K. Chiume. Ni akiwa shuleni hapo ndipo kwa mara ya kwanza, KAMBONA alionana na NYERERE aliyekuwa akifundisha St. Marys, Tabora.
WhatsApp%2BImage%2B2019-01-27%2Bat%2B19.28.11%25281%2529.jpeg

6. Ualimu Alliance Sec. School
Baadae, KAMBONA alienda kufundisha shule hii na akakutana na J. Lusinde na K. Chiume na baadae akawa "Schoolmaster".

7. KAMBONA akutana na NYERERE tena
KAMBONA alikutana na NYERERE kwa mara ya 2 kwenye Mkutano wa taifa wa waalimu mwaka 1954.

8. KAMBONA Ajiunga TANU
Mwaka 1955, KAMBONA alijiunga na TANU iliyozaliwa tarehe 7.7.1954 na akaonesha bidii kubwa huku akifanya kazi kwa kujitolea kwani TANU haikuwa na fedha. Bidii yake ilipelekea kuwa Katibu Mkuu wa TANU.

9. KAMBONA Awaingiza TANU Watanganyika 100,000
KAMBONA alitembea nchi nzima kwa miezi 6 akionana na Machifu na wanavijiji na kufanikiwa kuingiza wanachama 10,000. Baadae akiendelea na harakati hizo na baada ya miezi 12 akawa ameingiza wanachama 100,000. Viongozi wenzake wa TANU walimpongeza sana kwani TANU ikawa inaenea kwa kasi sana.
WhatsApp%2BImage%2B2019-01-27%2Bat%2B19.28.11%25282%2529.jpeg

10. KAMBONA Afungua Akaunti ya Kwanza ya TANU
KAMBONA alikuwa na mawazo ya kimaendeleo kwani kutokana na michango ya wanachama aliweza kufungua akaunti ya kwanza ya TANU. Kwa hakika, hili lilikuwa ni jambo la kihistoria.

11. KAMBONA afuma "Governor's Scholarship" kusomea Sheria, UK
Mwaka 1957, KAMBONA alipata fursa ya kwenda UK kusomea LLB kwa miaka 3 na hivyo akaenda huko.

12. KAMBONA Awa Mtangazaji wa 1 wa Kiswahili BBC 1957
Tarehe 27.6.1957, KAMBONA aliweka historia kwa kutangaza Kiswahili BBC kwa mara ya 1 akisema-: "Hapa ni London, kwa mara ya kwanza BBC inawaletea habari kwa Kiswahili wananchi wa Afrika Mashariki. Asalaam Aleikhum".

13. KAMBONA awa Mwenyekiti wa TANU London
Kutokana na talanta yake kubwa ya uongozi, KAMBONA alichaguliwa kuwa Kiongozi wa wanafunzi chuoni na Mwenyekiti wa Tawi la TANU, London.

14. KAMBONA na NYERERE Washeachumba Chuoni London
Kati ya tarehe 26.6.1959 na 7.8.1959, NYERERE alikwenda UK kwa matayarisho ya uhuru wa Tanganyika na akalala chumba kimoja na KAMBONA ambaye walikuwa "wameshibana" sana. Katika "Press Conference" ya 1991 KAMBONA alisema- "TANU haikuwa na hela hivyo ili kubana matumizi, nikakaa na NYERERE room yangu chuoni na hii ilisaidia tuwe na muda mwingi wa majadiliano".

15. KAMBONA Amuoa MISS Tanganyika
Tarehe 19.11.1960, KAMBONA alimuoa Miss Tanganyika mrembo, Bi. FLORA MORIYO toka Kilimanjaro. Harusi hiyo ya kukata na shoka ilifanyika St. Paul Cathedral, London na kuhudhuriwa na wageni waalikwa 400. NYERERE alikuwa ndiye msimamizi aliyemsindikiza Bi. FLORA altareni. Ilikuwa ni harusi ya kwanza ya watu weusi kanisani hapo na ilitoka kwenye magazeti mbalimbali ya Ulaya.
WhatsApp%2BImage%2B2019-01-27%2Bat%2B19.28.12.jpeg

16. KAMBONA Arejea Bongo
KAMBONA alirejea Bongo kuendelea na harakati za uhuru akihudumu kama Waziri wa Elimu na Katibu Mkuu wa TANU.

17. KAMBONA Awa Waziri wa 1 wa Mambo ya Nje
Katika Baraza la kwanza la Mawaziri la Tanganyika, KAMBONA aliteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ulinzi.

18. KAMBONA Kipenzi cha 2 cha Wananchi baada ya NYERERE
KAMBONA alipendwa sana nchini kwani alikuwa msomi, mwanasiasa hodari, mtanashati na vijana wengi walimuiga staili yake ya nywele "KAMBONA Style". Kwa hakika, KAMBONA alipendwa sana.

19. KAMBONA- Kiongozi PEKEE Aliyewakabili Waasi, 1964
Usiku wa tarehe 19.1.1964, askari wa kambi ya Colito(Lugalo) waliasi wakidai marupurupu na nafasi za juu za vyeo kwa Waafrika. Rais NYERERE na Mh. RASHID MFAUME KAWAWA walitoroshwa na mlinzi wao, PETER BWIMBWO usiku wa manani hadi Kigamboni na kufichwa kwenye nyumbaya Mzee KIZWEZWE.

Mawaziri wote walibanisha makwao baada ya kupigiwa simu na Mh. J. LUSINDE, Waziri wa Mambo ya Ndani, kuhofia usalama wao. KAMBONA ndiye pekee aliyeingia "fronti" kwani si tu raia waliokuwa wakimpenda bali pia askari. Waasi walionekana kutulia baada ya mambo yao kuwekwa sawa lakini baada ya Rais NYERERE kuibukia Ikulu toka mafichoni baada ya siku 3, waasi "wakalianzisha" tena hivyo ikabidi maasi hayo yalizimwe kwa msaada wa Waingereza na baadae Wanaijeria.

20. KAMBONA Ashuhudia mchakato wa Muungano 1964
KAMBONA alikuwa ni mmoja wa mawaziri wachache sana waliokuwa wakijua mchakato wote wa muungano kwa undani na pia alishuhudia utiaji saini hati za muungano huko Zenji, tarehe 22.4.1964 kati ya Rais NYERERE na Rais wa Zanzibar, Mh. ABEID AMAN KARUME.

21. KAMBONA Atofautiana na NYERERE Mfumo wa Chama Kimoja
Baada ya ziara ya China 1965, NYERERE alivutiwa na "alikuwaameoza" kwa siasa za China na mfumo wao wa siasa hivyo akaunda Tume tarehe 28.1.1964 ili ipendekeze mfumo gani unaifaa nchi yetu. Tume hiyo ilikuwa chini ya Mh. KAWAWA ikapendekeza mfumo wa chama kimoja. KAMBONA, ambaye daima alikuwa hapepesi macho wala hayumbishwi, aliweka kunji na kutosaini ripoti hiyo na badala yake akatayarisha ripoti yake ya kutaka mfumo wa vyama vingi na NYERERE akahuzunishwa sana na msimamo huo wa KAMBONA.

Kipindi hiki NYERERE aliishamuondoa KAMBONA kwenye wizara zile nyeti.

22. NYERERE "Amchana" kiaina KAMBONA 77 ya 1966
Tarehe 7.7.1966, NYERERE, akihutubia Taifa katika sherehe za 77, NYERERE alitumia mafumbo "kumpa za uso" KAMBONA ambapo alisema viongozi wanaonekana kujipatia mali nyingi kiajabu hawafai hata kidogo.

23. KAMBONA Ajiuzulu u-Waziri na U-Katibu Mkuu TANU 1967
Tarehe 9.6.1967, KAMBONA alibwaga manyanga kwa kujiuzulu U-Katibu Mkuu wa TANU na Uwaziri wa Serikali za Mitaa na Maendeleo Vijijini ambapo alitaja sababu za kiafya kuwa ndizo zilipelekea achukue uamuzi huo.

24. KAMBONA Atorokea Kenya, 1967 ki-James Bond !!
Kwakuwa KAMBONA alikuwa ni mtoto wa mjini, alitonywa kwamba kuna mpango wa kumkamata na kumsweka kizuizini.
Hivyo, usiku wa kuamkia tarehe 26.7.1967, KAMBONA, mkewe, watoto wake 2 na msaidizi wa kazi walifunga virago na ku-drive hadi Kenya kwa staili ya "James Bond"! Watu wengi walipigwa butwaa ni kwq vipi aliweza kutoroka bila kubambwa!.

Usiku wa siku hiyo jijini Nairobi, KAMBONA na familia yake walikwea "pipa" East African Airways Flight 720 kwenda "Kwa Mama, huku, huku nyuma ikadaiwa alitoroka na mamilioni ya fedha!.

25. NYERERE Aelezea "Kusepa" kwa KAMBONA
Siku chache baada ya KAMBONA "kula kona", NYERERE, akiongea na viongozi wa TANU Morogoro, alisema : "Itachukua muda mrefu kufahamu sababu za Bw. KAMBONA kujiuzulu, lakini jambo moja ni dhahiri; KAMBONA amenidanganya mimi, TANU, TZ na Afrika".

26. KAMBONA Ajitetea UK
Baada ya kusikia vijineno kwamba amesepa na mamilioni, tarehe 6.9.1967, KAMBONA alikanusha vikali na kuitaka serikali ya Tanzania iwasiliane na ya Kenya kupata uthibitisho kitu ambacho serikali ya TZ hakikufanyika.

27. OTTIN na MATTIYA KAMBONA "Wasukumiziwa Ndani",1967
Hawa wadogo zake KAMBONA walionja "joto ya jiwe" kwani walinyakwa usiku tarehe 30.12.1967 na kuwekwa kizuizini, Ukonga.
Familia zao zikasambaratika vibaya sana kufuatia kukamatwa kwao. OTTIN alikuwa ni "Journalist" na MATTIYA alikuwa mfanyakazi Wizara ya Kilimo. OTTIN alikuwa amemuoa raia wa Martinique na walikuwa na watoto 2 wadogo na MATTIYA alikuwa amemuoa Mgambia wakiwa na mtoto wa miezi 3 tu. Wanawake hao walifukuziliwa mbali na kurudishwa makwao pamoja na watoto wao!.

28. KAWAWA "Amchana" KAMBONA Bungeni, 1968
Jumanne ya tarehe 23.1.1968, KAWAWA, 2nd VP, alilitaarifu Bunge:
"Wote mnajua kwamba Bw. KAMBONA aliikimbia nchi mwaka jana, 1967. Kabla hajaondoka, tarehe 6.12.1966, TZS 500.000/= ziliingizwa kwenye akaunti yake toka benki moja ya Uingereza. Uchunguzi wa BOT toka KAMBONA atoroke umeonesha kuwa tangu Juni 1965 na Desemba 1966, KAMBONA aliingiza katika akaunti yake jijini Dsm TZS 896,800/=. Kambona pia alikuwa anamiliki majumba mengi (Nyumba Magomeni-Plot No. 21,39 31), (Kunduchi bichi-Plot No.28), (Msasani bichi -Plot No. 92), (Morogoro-Plot No. 89) ns (Songea-Plot No.21)".

29. KAMBONA Amchana NYERERE nchini Nigeria, 1968
Baada ya TZ kuitambua Biafra, serikali ya Rais YAKUB GOWON ilikasirishwa sana hivyo ilimwalika KAMBONA aichafue TZ . Kwahakika, "jipu likawa limepata mkunaji" Hivyo, KAMBONA akaenda na kutoa muadhara Lagos tarehe 14.6.1968 ambapo "alimchana" vilivyo Rais NYERERE na kumwita dikteta. KAMBONA akaonesha kukosa uzalendo kwa taifa lake pale alipozomoka, bila ushahidi, kwamba TZ imepeleka vifaa vya kijeshi Biafra badala ya Zimbabwe!.

30. TANU "Yamfyekelea mbali" KAMBONA
NEC ya TANU iliyokuwa ikiketi Tanga, tarehe 19.10.1968, ilimvua uanachama KAMBONA pamoja na wabunge wengine 8 "Vichwa-maji" waliohoji uhalali wa TANU kuwa juu ya Bunge. Wabunge hao ni W. Mwakitwange, M. Choga, S. Kibuga, J. Bakampenja, E. Anangisye, G. Kaneno na Dr. F. Masha.

31. NYERERE "Amchana" tena KAMBONA, 1969
Tarehe 12.1.1969 kwenye sherehe za Mapinduzi Znz, NYERERE "alimuwakia" KAMBONA na kusema- "KAMBONA ni mwizi na mhuni kisiasa.

32. KAMBONA Akejeliwa Mashuleni na Majeshini
Nyimbo nyingi za kumkejeli KAMBONA zilitungwa majeshini na mashuleni lakini zilizokuwa maarufu ni hizi 2:
1. KAOMBONA Kaolewa wapi....? Kwa Wazungu...Kisa nini?...Tamaa ya Mali!

2. Alimselema ...alija, akija KAMBONA chinja... chinjilia mbali..!!.

33. KAMBONA Adaiwa ni _"Mastermind"_wa Uhaini, 1969
Mwaka 1969, KAMBONA alidaiwa kuwa "Mastermind" wa uhaini. Mashitaka yalikuwa kwamba washtakiwa 7 wakishirikiana na KAMBONA kati ya Machi 1968 na Octoba 1969, walitaka kumuua Rais NYERERE na kuipindua serikali. Washtakiwa hao 7 ni (Bibi Titi Mohamed , Michael Kamaliza, Gray Mattaka, John na Eliya Chipaka, Capt A. Milinga na W. Chacha).

Kesi ilianza kurindima Jumatatu tarehe 6.6.1970 na ilisikilizwa na Jaji Mkuu Georges na iliendeshwa na AG Mark Bomani. Wanafunzi wa Sekondari Tambaza(F.V Arts akiwepo Othman Chande, Jaji Mkuu wa 7) walikuwa wakijongo vipindi kwenda kortin kushuhudia kesi hii iliyokuwa na mvuto wa aina yake.

Washtakiwa wote walitiwa hatiani kasoro A. Milinga na KAMBONA ambaye hakuwepo. M. Kamaliza na mwenzake walipigwa "mvua" 10 na wengine walifungwa maisha na Bibi Titi akapata msamaha 1972.

34. OTTIN MATTIYA Waachiwa 1978
Tarehe 5.2.1978, katika kusheherekea mwaka 1 wa kuzaliwa CCM, NYERERE, akitumia ibaracya 45 ya Katiba, aliwaachia huru OTTIN na MATTIYA pamoja na JOSEPH KASELABANTU( Mwasisi wa TANU).
OTTIN na MATTIYA, baada ya kugundua familia zao hazipo, wakaona Bongo hamna ishu nao wakaamua pia kusepa. Walivuka mpaka wa TZ na Kenya usiku Kininja kwani mpaka huo ulikuwa umefungwa kutokana na uhasama bainavya TZ na Kenya na wakaelekea UK.

35. NYERERE NA KAMBONA walikuwa majirani Msasani
Baada ya KAMBONA kuondoka nchini 1967, nyumba yake ikawa inakaliwa na Rais MILTON OBOTE kwa takribani miaka 10 baada ya kupinduliwa na Nduli IDD AMIN, 1971.

36. Vyama Vingi vyaanzishwa Bongo, KAMBONA ataka kurejea
Baada ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa mwaka 1992, KAMBONA akiwa London alisema, ije mvua, lije jua, anarejea kwenye Taifa lake. Serikali ikamuonya kuwa asithubutu na akijifanya fyatu au kichwa-maji akatia pua yake tu Bongo, "hakuna rangi ataacha kuiona".

37. KAMBONA Aitunishia msuli serikali, Atinga Bongo
KAMBONA aliamua kuwa kama "Mbwai, mbwai tu" hivyo akaonesha "Shoo za kibabe" na kurejea nchini akisafiria nyaraka za Umoja wa Mataifa zilizotolewa na serikali ya UK. Aliporejea hakukamatwa na badala yake, tarehe 4.9.1992, serikali ilimpa miezi 3 aweke sawa uraia wake kwakuwa ni Mmalawi! Miezi hiyo iliisha tarehe 4.12.1992 na serikali "ikaufyata" kwani haikumfanya kitu chochote!.

38. KAMBONA aeleza sababu za kutoroka, 1967:
Baada ya kurejea nchini, KAMBONA alikata kiu ya wote waliotaka kujua kilichopelekea asepe "Kwa Mama" ni nini ambapo alitiririka:
"Mimi na NYERERE tumetoka mbali. Sisi ndio tuliokuwa Viongozi wakuu wa TANU; Yeye Mwenyekiti, mimi Katibu Mkuu. NYERERE aliporudi toka China 1965 alitaka kuleta sera za China na mfumo wa chama kimoja. Nikapingana nae.."

39. KAMBONA Aeleza alichokuwa akifanya UK
Wiki 2 baada ya kurejea nchini, KAMBONA alitiririka kitu alichokuwa akifanya nchini Uingereza kwa miaka 25 aliyoishi huko ambapo alisema- "I did business. I used to go to the Arab countries but this did not last. I then depended on income support from Britain. Every Tuesday You take your book to the Post office...

40. KAMBONA atishia "Kumwaga ugali na mboga" kuhusu NYERERE
Badala ya kushugulikia uraia, KAMBONA akaendeleza bifu lake na NYERERE ambapo alisema anataka kufanya mkutano mkubwa viwanja vya Jangwani ili aeleze ufisadi wa NYERERE. Mapadri na masheikh walimsihi sana lakini akashikilia msimamo wake.

41. KAMBONA Ambwelambwela Jangwani,1992
Tarehe 21.11.1992, viwanja vya Jangwani viliweka rekodi kutokana na umati mkubwa wa "wapenda ubuyu" uliojitokeza toka mida ya mchana kulisikia Jabali hilo litaeleza nini kuhusu Baba wa Taifa, Mwalimu NYERERERE.

KAMBONA aliwaboa sana 90% ya waliohudhuria kwani alidai, bila ushahidi, kuwa NYERERE, AMIR JAMAL na KAWAWA wameficha mamilioni ya fedha mabenki ya Ulaya. KAMBONA akaenda mbali na kudai NYERERE ni Mtutsi, KAWAWA na MKAPA ni watu wa Msumbiji na MALECELA ni Mcongoman!. Ikaonekana ni hekaya za Abunuwasi na hadithi za Esopo tu!.

42. NYERERE Amjibu KAMBONA
NYERERE, siku chache baadaye akiwa Msasani, aling'aka- "Mimi ni lofa. I dont have a single penny abroad, I can assure you. Kama RASHID na AMIR hawawekwi kundi la watu waaminifu duniani, labda neno uaminifu ni neno tu, halina maana. Hawa ni waaminifu sana. Pia, mimi sipendi kuhusishwa na mambo ya kijingajinga. Ni makosa kushindana na kundi la wapumbavu. Kambona alete ushahidi maana "any blessed fool could stand up there" na kusema chochote".

43. MAWAKILI wamchimba Mkwara-Mbuzi KAMBONA
Baada ya KAMBONA kutoa kashfa dhidi ya viongozi hao mashuhuri nchini, mawakili wa Viongozi hao walimpa siku 14 toka tarehe 8.12.1992 kuomba radhi au kutoa ushahidi.

KAMBONA aliwajibu kuwa _"Mtu mzima hatishiwi nyau"_na akachekesha watu pale alipodai _"Nondo" zake kuhusu "bank accounts" za viongozi hao amezisahau UK!.

44. KAMBONA Aunda TADEA
KAMBONA aliunda chama cha TADEA ambacho hakikuleta upinzani wowote wa maana.

45. KAMBONA afariki London, 1997
KAMBONA alifariki jijini London mwaka 1997 na mwili wake kuletwa nchini na kupokelewa na ndugu zake na kiongozi wa serikali, Mh. J.M. KIKWETE, Waziri wa Mambo ya Nje. Rafiki yake NYERERE hawakuwahi kuonana toka atoroke mwaka 1967 na wala hakwenda kwenye mazishi yake.

46. RAIS KIKWETE Akutana na Mke wa KAMBONA, 2007
Tarehe 28.6.2007 katika hotel ya Kilimanjaro Kempisk, Rais wa awamu ya nne, Mh. JK alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 50 ya BBC KISWAHILI. Mh. JK, akiwa na mcheshi na mwenye bashasha kama kawaida yake, alikutana na kusalimiana na Bi. FLORA KAMBONA ambaye alikuwa mgeni mahsusi kwani mmewe, KAMBONA ndiye aliyekuwa Mtangazaji wa 1 wa BBC Kiswahili, 1957.

46. MWISHO:
Huyu ndiye OSCAR SATIEL DAVID KAMBONA aliyekuwa chanda na pete na Mwalimu NYERERE lakini mwisho wakawa maadui wasio na mfanowe!.

Tafakuri Tunduizi:
ATIKALI HII YA KUKATA NA SHOKA ina Tafakuri Tunduizi 100!!!

OSCAR KAMBONA: KIONGOZI MAHIRI, MTANASHATI NA RAFIKI KIPENZI WA MWALIMU NYERERE ALIYEISHIA KUWA ADUI YAKE MKUBWA!!! - MICHUZI BLOG (issamichuzi.blogspot.com)

Oscar Kambona - Wikipedia

Nimeacha kusoma uliposema umezaliwa miaka ya 90🤒
 
Haya ngoja tuendelee na huu uzi pale tulipoishia na ukizingatia kuna baadhi ya mambo yaliyojadiliwa kwenye huu uzi wa Kampuni ya Africarriers iliyoingia Mkataba wa Mabasi na Simba Sports Club ni mali ya nani? yanaingiliana na maudhui ya kwenye huu uzi.

Kwa wale wadau kama HUNIJUI SIKUJUI, Reginald L. Ishala, Wit na Muuza viatu huu uzi unawahusu moja kwa moja. Tuanze na UMILIKI WA KIWANDA CHA MAGARI YA EICHER MOTORS [ Hili ni jina la KIHINDI linalotamkwa AISHA ].

9c1e96e917c45b37b019d8947446bfec.png

Hiki ni kiwanda ambacho kinatengeneza magari aina ya EICHER na kuna baadhi ya WATANZANIA 🇹🇿 wanamiliki HISA kwenye hiki kiwanda cha magari kinachopatikana nchini INDIA 🇮🇳.

WATANZANIA 🇹🇿 wanaomiliki HISA kwenye hiki kiwanda cha magari kinachopatikana nchini INDIA 🇮🇳 ni WANASIASA WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ akiwemo HAYATI MWALIMU mwenyewe na MWASHITA [ wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ].

Hali hii ndio ilipekea aina ya gari hizi za EICHER kuenea sana TANZANIA 🇹🇿 hasa katika MKOA WA DAR ES SALAAM na baadhi ya mikoa mingine ya TANZANIA 🇹🇿.

Na kampuni ambayo inatumika kama WAKALA WA USAMBAZAJI WA MAGARI YA EICHER ni kampuni ambayo inajulikana kwa jina la AFRICARRIERS LIMITED.

6a478fedc9e3fae52d64e6b0860d6bcd.png

Hii kampuni ya AFRICARRIERS ni kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa asilimia mia moja [ 100% ] na ni wakala wa magari ya EICHER na GOLDEN DRAGON kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿.

Na baadhi ya magari ya GOLDEN DRAGON ndio yanayotumika kama mabasi kwenye kampuni ya usafirishaji wa abiria ya FALCON, ambayo pia ni kampuni inayomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.
 
Back
Top Bottom