Shukrani, Mkuu Charles Mandela!
Hao CONVOY HAULAGE, Nimewaona mara kadhaa wa kadha hapo NYAMHONGOLO-MWANZA Ila sikuwa nafahamu mmiliki wake.
MR ABILITY ni moja kati ya nyimbo zinazo zipenda kutoka UG ila sikuwa nafahamu kama vijana hawa RADIO & WEASEL ni mali ya PANTHERA LEO.
Ukiacha WEASEL na RADIO, Kuna kijana mwingine wa UG huwa namkubali sana anaitwa ZIGGY D, Naye alitikisa sana kuanzia miaka ya 2004's
Ngoja nianze kukutajia WASANII NA KAZI ZAO waliohamia UGANDA πΊπ¬ wakitoka TANZANIA πΉπΏ kwenye MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani WASANII wenye ASILI YA MWASHITA yaani SIMBA π¦.
Huyu msanii RADIO alikuwa ni HODARI kwenye kazi zake za utunzi wa mashairi, hasa ukimsikiliza mashairi yake mengi yalikuwa yanazungumzia MWASHITA yaani SIMBA π¦. Kwahiyo pengo lake halitazibika, sio tu kwa MWASHITA yaani SIMBA π¦, bali ni kwa jamii ya wapenda MUZIKI NA BURUDANI kwa nchi za UGANDA πΊπ¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla.
Huyu ni MSANII mwingine anaitwa BOBI WINE, ni MSANII maarufu sana nchini UGANDA πΊπ¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla. Huyu ni MWASHITA yaani SIMBA π¦ na ni MWANASIASA anayewania KITI CHA URAIS nchini UGANDA πΊπ¬.
Huyu ni MSANII mwingine anaitwa BEBE COOL, ni MSANII maarufu sana nchini UGANDA πΊπ¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla. Huyu ni MWASHITA yaani SIMBA π¦ na yeye alifanya kuhamia KAMPALA akiwa ni KIJANA yaani amezaliwa TANZANIA πΉπΏ.
Huyu ni MSANII mwingine anaitwa EDDY KENZO, ni MSANII maarufu sana nchini UGANDA πΊπ¬, AFRIKA YA MASHARIKI na DUNIA kwa ujumla na hii inatokana na aina ya MUZIKI na UBUNIFU wanaofanya kwenye tungo zao za MUZIKI. Huyu ni MWASHITA yaani SIMBA π¦.
Huyu ni MSANII mwingine maarufu sana nchini UGANDA πΊπ¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla, anaitwa JOSE CHAMELEONE. Huyu pia ni MWASHITA yaani SIMBA π¦.
Huyu ni MSANII mwingine maarufu sana nchini UGANDA πΊπ¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla, anaitwa JULIANA KANYOMOZI. Huyu pia ni MWASHITA yaani SIMBA π¦.
Huyu ni MSANII mwingine maarufu nchini UGANDA πΊπ¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla, anaitwa LADY MARIAM na aliwika sana na kibao chake maarufu kilichoitwa TINDA TINE. Huyu pia ni MWASHITA yaani SIMBA π¦.
Huyu ni MSANII mwingine maarufu sana nchini UGANDA πΊπ¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla, anaitwa SHEEBAH KARUNGI. Huyu pia ni MWASHITA yaani SIMBA π¦.
Huyu ni MSANII mwingine anaitwa YKEE BENDA ni maarufu sana nchini UGANDA πΊπ¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla. Vile vile huyu ni MWASHITA yaani SIMBA π¦.
Hili ni KUNDI LA WASANII linaloitwa KAMPALA BOYS, ni maarufu sana nchini UGANDA πΊπ¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla. Vile vile hawa ni MWASHITA yaani SIMBA π¦ waliozaliwa na kukulia UGANDA πΊπ¬.
Hawa ndio WASANII KUMI [ 10 ] wenye MAJINA MAKUBWA na MAARUFU nchini UGANDA πΊπ¬ wenye asili ya TANZANIA πΉπΏ kutoka MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA yaani SIMBA π¦ na wenye MAHUSIANO ya moja kwa moja na MWASHITA yaani SIMBA π¦ wa TANZANIA πΉπΏ.
Kwa upande wa UGANDA πΊπ¬, hawa MWASHITA yaani SIMBA π¦ yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa kampuni ya [...] inayopatikana KAMPALA nchini UGANDA πΊπ¬.
Hii kampuni ya [...] inayopatikana KAMPALA nchini UGANDA πΊπ¬, ndio inayotumika kuwatunza MWASHITA yaani SIMBA π¦ wanaoishi UGANDA πΊπ¬ na hivi karibuni hawa WASANII watapokea kiasi cha FEDHA ambazo ni MILIONI kadhaa kutoka kwa MWASHITA yaani SIMBA π¦ ili kuongeza UFANISI katika kazi zao za SANAA na kuboresha MAISHA yao ya kila siku.