Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wa TANZANIA 🇹🇿 ndio wamiliki halali wa timu ya TOUT PUISSANT ENGELBERT MAZEMBE 🏁 ya KONGO 🇨🇩 au kwa jina lingine wanaitwa ni TP MAZEMBE 🏁 au kwa jina lingine wanaitwa MAMBA 🐊.
TP MAZEMBE 🏁 ni timu kubwa kwenye huu UKANDA WA AFRIKA YA MASHARIKI NA KATI na hata katika BARA LA AFRIKA kwa ujumla.
TP MAZEMBE 🏁 ni timu ambayo inaweza kutoa mchezaji wa kulipwa moja kwa moja kwenda kucheza LIGI YA ULAYA yaani UEFA na LIGI nyingine bila ya kuwa na vipingamizi, hii inatokana na ubora na mafanikio ya timu ya TP MAZEMBE 🏁.
TP MAZEMBE 🏁 ni timu ambayo inajumuisha wachezaji wenye viwango vya kimataifa, lakini vile vile ni timu ambayo inahusika pakubwa na wachezaji wa KONGO 🇨🇩 wenye asili ya TANZANIA 🇹🇿, yaani wale wachezaji wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA yaani SIMBA 🦁 waliohamia KONGO 🇨🇩 na hao ndio wanaopata FURSA NA KIPAUMBELE cha kujiunga na SHULE YA MICHEZO yaani SPORTS ACADEMY ya TP MAZEMBE 🏁 na hata kwenye hiki kikosi cha msimu huu wa mwaka 2021/22, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wana wachezaji watatu wanaocheza katika kikosi cha TP MAZEMBE 🏁 wenye ASILI YA MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA yaani SIMBA 🦁 waliohamia KONGO 🇨🇩.
Kwahiyo mbali na kuwa na timu ya SIMBA SC ya TANZANIA 🇹🇿, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa timu ya TP MAZEMBE 🏁 ya KONGO 🇨🇩 na ndio FAHARI ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ukiachana na timu nyingine ambazo wanazimiliki katika mataifa mbali mbali ya duniani.
Ukiachana na timu ya TP MAZEMBE 🏁, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio jamii iliyotawala MPIRA WA TANZANIA 🇹🇿 kwa kipindi kirefu mpaka leo hii. Yaani hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa timu za SIMBA SC, YANGA SC, COASTAL UNION FC, MTIBWA SUGAR FC, KAGERA SUGAR FC, MBEYA KWANZA FC na BIASHARA MARA UNITED FC.
Hizo ni timu saba [ 7 ] kati ya timu kumi sita [ 16 ] zinazoshiriki LIGI KUU YA TANZANIA 🇹🇿. Na malengo ni kuwa timu nane [ 8 ] kati ya timu ya kumi na sita [ 16 ] zinazoshiriki LIGI KUU YA TANZANIA 🇹🇿. Kwahiyo malengo bado hayajafanikiwa, bado kunatakiwa kuwa na timu moja ili kufikisha timu nane [ 8 ] zinazoshiriki LIGI KUU YA TANZANIA 🇹🇿.
Na malengo hayo yatafanikiwa kwa sababu hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa timu za PAMBA FC, AFRICAN LYON FC, IHEFU FC na PAN AFRICAN FC zinazoshiriki LIGI DARAJA LA KWANZA. Vile vile hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa timu ya MAJIMAJI FC au kwa jina lingine wanaitwa WANALIZOMBE ya RUVUMA. Kwahiyo kwa kadri muda unavyozidi kusogea malengo wanaweza kuyafanikisha kwa kuwa na timu nane [ 8 ] zinazoshiriki LIGI KUU YA TANZANIA 🇹🇿.
Sasa kama ilivyo kwa SERENGETI yaani CHUI kuwa na utaratibu wa kuanza kupeleka wachezaji wao wenyewe na wafanyakazi wao wenyewe kwenye timu ambazo wanazimiliki, hata hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wataanza kupeleka wachezaji wao wenyewe na wafanyakazi wao wenyewe kwenye timu ambazo wanazimiliki iwe ndani ya nchi au hata nje ya nchi. Na zoezi hili litaanza kufanyiwa kazi mara tu baada ya hili janga la COVID-19 kuisha.
Hawa SERENGETI yaani CHUI wanamiliki timu nyingi sana kuliko hata MWASHITA yaani SIMBA 🦁. Vile vile, hizi ndio jamii mbili zinazokinzana ambazo zinaweza kuleta maendeleo kwenye TASNIA YA SOKA LA TANZANIA 🇹🇿 kwa kuanza kuchukua wachezaji wao wenyewe na kuwapeleka kwenda kucheza mpira kwenye timu ambazo wanazimiliki wao wenyewe.
Siwezi kuusemea MOYO kwa upande wa SERENGETI yaani CHUI, lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanamiliki timu kwenye baadhi ya nchi mbali mbali duniani.
Timu hizo ni KARIOBANGI SHARKS FC ya KENYA 🇰🇪, EXPRESS FC ya UGANDA 🇺🇬, RAYON SPORTS FC na AS KIGALI FC zote RWANDA 🇷🇼, VITAL'O FC ya BURUNDI 🇧🇮, TP MAZEMBE ya KONGO 🇨🇩, NKANA FC ya ZAMBIA 🇿🇲, NYASA BIG BULLETS FC ya MALAWI 🇲🇼 na BLACK BULLS FC ya MSUMBIJI 🇲🇿. Hizi ndio timu tisa [ 9 ] ambazo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wamewekeza kwenye NCHI NANE [ 8 ] ambazo zinaizunguka NCHI YA TANZANIA 🇹🇿.
Timu nyingine ambazo zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa upande wa KUSINI MWA BARA LA AFRIKA ni PRIMEIRO DE AGOSTO ya ANGOLA 🇦🇴, TOWNSHIP ROLLERS FC ya BOTSWANA 🇧🇼, KAIZER CHIEFS FC ya AFRIKA YA KUSINI 🇿🇦 na FC PLATINUM ya ZIMBABWE 🇿🇼.
Timu nyingine ambazo zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa upande wa AFRIKA YA MAGHARIBI ni ASANTE KOTOKO ya GHANA 🇬🇭, COTON SPORTS FC ya KAMERUNI 🇨🇲, HOROYA AC ya GUINEA 🇬🇳 na AKWA UNITED ya NAIJERIA 🇳🇬.
Timu nyingine ambazo zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa upande wa AFRIKA YA KASKAZINI ni ES SETIF ya ALGERIA 🇩🇿, ZAMALEK FC ya MISRI 🇪🇬, RAJA CASABLANCA ya MOROKO 🇲🇦, AL HILAL OMDURMAN ya SUDANI 🇸🇩 na ETOILE DU SAHEL ya TUNISIA 🇹🇷.
Timu nyingine ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa upande wa ASIA ni AL HILAL SAUDIA ya SAUDIA ARABIA 🇸🇦.
Timu nyingine ambazo zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa upande wa ULAYA 🇪🇺 ni BORUSSIA DORTMUND na FC SCHALKE 04 zote za UJERUMANI 🇩🇪, SHAKHTAR DONETSK ya UKRAINE 🇺🇦, SEVILLA, ATHLETIC BILBAO, REAL MALLORCA, REAL BETIS na REAL ZARAGOZA zote za UHISPANIA 🇪🇸, SSC NAPOLI na SS LAZIO zote za ITALIA 🇮🇹, OGC NICE ya UFARANSA 🇨🇵, CELTIC FC ya USKOCHI 🏴, KRC GENK ya UBELIGIJI 🇧🇪, BLACKBURN ROVERS na CHARLTON ATHLETIC CLUB zote za UINGEREZA 🇬🇧.
Hizi ndio timu za mpira wa miguu na nchi ambazo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wamewekeza kwenye UCHUMI WA MICHEZO yaani SPORTS ECONOMY.
Na wanatarajia kuanza kupeleka wachezaji wao na wafanyakazi wao kwenye kila timu. Wafanyakazi yaani TEAM OFFICIALS itajumuisha watu wanaojihusisha na michezo ikiwemo MADAKTARI WA VIUNGO, WAHASIBU, MAKARANI, WATAKWIMU NA WASEMAJI WA TIMU.
Hii ni kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA 🦁, ukiachilia mbali jamii ya SERENGETI yaani CHUI.
Kwahiyo kwa awamu itakayofuata itajumuisha wachezaji na wafanyakazi wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kuhusika moja kwa moja kwenye timu tajwa hapo juu.
Huu ndio UCHUMI WA MICHEZO yaani SPORTS ECONOMY ambao hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wamewekeza kwenye NCHI NA MATAIFA mbali mbali na mapato yanayotokana na timu za mpira wa miguu yanakadiliwa kuwa ni BILIONI KADHAA [ *,000,000,000 ] za KITANZANIA 🇹🇿.
Hali hii iko hivyo hivyo kwa upande wa jamii ya SERENGETI yaani CHUI, tena wao ni maradufu na mapato yao yanayotokana na timu za mpira wa miguu yanakadiliwa kuwa ni mara tano ya mapato yanayotokana na timu zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁. Hii inatokana na hawa SERENGETI yaani CHUI kumiliki timu nyingi na kubwa kuliko timu zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.