Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Akili hizi ndizo zinajidai kumchambua Mwl Nyerere?
Nyinyi wengine mnafahamu HAYATI MWALIMU kama ni KIONGOZI MJAMAA, lakini wakaazi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA wanamfahamu HAYATI MWALIMU kama ni KIONGOZI BEPARI aliyebobea kwenye kufanya BIASHARA kwa njia za kificho yaani ile kujificha ficha.

Yaani nyie WATU WA MIKOANI huwa mnanifurahisha sana 😁😁! Kwahiyo ulitaka mpaka kampuni ya kibiashara iitwe JULIUS KAMBARAGE NYERERE COMPANY LIMITED, ndio uelewe kuwa hiyo kampuni inamilikiwa na HAYATI MWALIMU?

Au ulitaka kusikia kampuni inaitwa BENJAMIN WILLIAM MKAPA COMPANY LIMITED ndio uelewe kuwa hiyo kampuni inamilikiwa na HAYATI MISTER CLEAN?

Au ulitaka kusikia kampuni inaitwa CHARLES MANDELA COMPANY LIMITED ndio uelewe kuwa hiyo kampuni inamilikiwa na KIJOGOO 🐓, BEPARI anayekuja kwa kasi ya kimbunga 🌪️

Sasa ni wakati umefika wa kutumia ELIMU zenu vizuri kwenye kunyumbua na kufahamu ukweli wa mambo jinsi yanavyofanyika kwenye DUNIA YA UTANDAWAZI.
 
Vijiwe vya kahawa vina waharibu watu wengi sana mmoja wapo huyu mwenye hii thread.
Hii ndio KASUMBA ya WATANZANIA 🇹🇿 walio wengi! MANENO YA UDAKU au MANENO YA VIJIWENI ndio imekuwa hurka ya WATANZANIA 🇹🇿 walio wengi.

WAINGEREZA 🇬🇧 huwa wanasema ya kwamba - gossiping and naysaying are becoming essential to many TANZANIANS 🇹🇿. Kwahiyo inatupasa tubadilike na kuendana na UHALISIA WA MAMBO, sio KUKURUPUKA tu.
 
Sasa hivi kuna kampuni mpya ya USAFIRISHAJI WA MAFUTA YA DIZELI, PETROLI NA MAFUTA YA TAA. Hii kampuni inaitwa UNIQUE na ni kampuni ambayo inamilikiwa na moja ya MAJESHI YA TANZANIA 🇹🇿. Kwahiyo sasa hivi SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 inajikita sana kwenye upande wa UWEKEZAJI WA KIUCHUMI, kama ni sehemu mojawapo ya kuimarisha ULINZI NA USALAMA.
 
Nyinyi wengine mnafahamu HAYATI MWALIMU kama ni KIONGOZI MJAMAA, lakini wakaazi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA wanamfahamu HAYATI MWALIMU kama ni KIONGOZI BEPARI aliyebobea kwenye kufanya BIASHARA kwa njia za kificho yaani ile kujificha ficha.

Yaani nyie WATU WA MIKOANI huwa mnanifurahisha sana [emoji16][emoji16]! Kwahiyo ulitaka mpaka kampuni ya kibiashara iitwe JULIUS KAMBARAGE NYERERE COMPANY LIMITED, ndio uelewe kuwa hiyo kampuni inamilikiwa na HAYATI MWALIMU?

Au ulitaka kusikia kampuni inaitwa BENJAMIN WILLIAM MKAPA COMPANY LIMITED ndio uelewe kuwa hiyo kampuni inamilikiwa na HAYATI MISTER CLEAN?

Au ulitaka kusikia kampuni inaitwa CHARLES MANDELA COMPANY LIMITED ndio uelewe kuwa hiyo kampuni inamilikiwa na KIJOGOO [emoji239], BEPARI anayekuja kwa kasi ya kimbunga [emoji2417]

Sasa ni wakati umefika wa kutumia ELIMU zenu vizuri kwenye kunyumbua na kufahamu ukweli wa mambo jinsi yanavyofanyika kwenye DUNIA YA UTANDAWAZI.
Naona unakaribia kuchanganyikiwa kabisa mkuu!
Relax, kwa sasa tumia muda wako mwingi kupambania watu katika mazingira haya ya sasa...kujifanya mwamba kupambana na watu waliomaliza kazi miaka 40 iliyopita, ni udhaifu mkubwa!

Kuna roho fulani ipo duniani, iko toka zamani...hata kwenye maandiko imetajwa sana, kupindua maneno, hiyo roho imefanikiwa hata kujijengea dini kubwa duniani.

Wenye akili tunafahamu
 
Relax, kwa sasa tumia muda wako mwingi kupambania watu katika mazingira haya ya sasa...kujifanya mwamba kupambana na watu waliomaliza kazi miaka 40 iliyopita, ni udhaifu mkubwa!

Kuna roho fulani ipo duniani, iko toka zamani...hata kwenye maandiko imetajwa sana, kupindua maneno, hiyo roho imefanikiwa hata kujijengea dini kubwa duniani.

Wenye akili tunafahamu
Ndio! Mambo mengine inabidi kuwa kimya, lakini huo ndio UKWELI wenyewe. Ngoja kesho nikipata muda nitawaeleza jinsi hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 watakavyofanya kwenye SEKTA YA SANAA NA MICHEZO kama ambavyo hawa SERENGETI watakavyokuja kufanya kwa siku za usoni.

Hawa SERENGETI yaani CHUI kwa siku za usoni wataanza kupeleka wana michezo wao na wafanyakazi wao kwenye timu za mpira wa miguu ambazo wanazimiliki wenyewe.
 
Mkuu, Charles Mandela!
Ukipata wasaa, Naomba unigusie kitu kuhusu MR. SAULI.

Hivi MR. SAULI ni Mnywaru kweli au ni MHABESHI ?

Kama USOMALI vile kama UKUSHI vile, Nisimuelewi elewi huyu MR. SAULI.
Sasa ngoja tumalizie kwanza na hawa WATANZANIA 🇹🇿 wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA waliohama TANZANIA 🇹🇿 kipindi kile ambacho hata HAYATI MWALIMU alihusika kuhamisha SERENGETI yaani CHUI kwenda MATAIFA mengine kwa sababu za KISIASA NA KIDIPLOMASIA.





Hili kundi la WASANII linaitwa FEATURIST na linapatikana nchi ya KAMERUNI 🇨🇲. Hawa ni WASANII wawili wenye asili ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na hao wanaonekana kwenye hiyo VIDEO ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanaoishi KAMERUNI 🇨🇲.

Na SAMUEL ETO'O wamemtaja kwa sababu ndio MKAMERUNI aliyewasaidia hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kufanikisha kununua na kumiliki timu ya MPIRA WA MIGUU inayoitwa COTON SPORTS FC inayoshiriki LIGI KUU YA KAMERUNI 🇨🇲 na hii timu msimu uliopita iliishia hatua ya NUSU FAINALI kwenye KOMBE LA MICHUANO YA KLABU BINGWA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA. Halafu pia kwenye hii timu ya COTON SPORTS FC kuna mchezaji tegemezi wa timu mwenye ASILI YA TANZANIA 🇹🇿, mchezaji huyo ni [...], sio vizuri kumtaja mapema kwa sababu hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanapenda na wanahamu ya kumuona mchezaji huyo akicheza kwenye timu ya taifa ya KAMERUNI 🇨🇲.


376b3867bef08eccd681b59e08d75519.png


Na JINA LA HIYO NYIMBO inaitwa BABAAH ikimaanisha BABA yaani MLEZI yaani ndio yule MISTER ABILITY aliyeimbwa kwenye ile NYIMBO YA RADIO NA WEASEL.





Huyu ni MSANII mwingine maarufu sana nchini KAMERUNI 🇨🇲 na AFRIKA YA MAGHARIBI kwa ujumla, anaitwa FRANKO. Na yeye ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.





Huyu ni MSANII mwingine maarufu sana nchini KONGO 🇨🇩, anaitwa MAITRE GIMS. Na yeye ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.





Huyu ni MSANII mwingine maarufu sana nchini ANGOLA 🇦🇴, anaitwa CABO SNOOP. Huyu pia ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.





Hili ni kundi la WASANII linaloitwa DISTRIBUTION BOYZ na linapatikana nchini AFRIKA YA KUSINI 🇿🇦. Hawa pia ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.





Huyu ni MSANII mwingine maarufu sana nchini AFRIKA YA KUSINI 🇿🇦 na KUSINI MWA AFRIKA kwa ujumla, anaitwa KING MONADA. Huyu pia ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.





Huyu ni MSANII mwingine maarufu sana nchini MAREKANI 🇺🇲 na DUNIANI 🌎 kwa ujumla, anaitwa WIZ KHALIFA. Huyu pia ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na hii nyimbo inayokwenda kwa jina la BLACK AND YELLOW aliitunga na kurekodi baada ya hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kununua timu ya mpira wa miguu inayoitwa BORUSSIA DORTMUND inayoshiriki LIGI KUU nchini UJERUMANI 🇩🇪.


1831c0e2782df3e476d4739050138320.png


Hii timu ya BORUSSIA DORTMUND kwa jina lingine inaitwa BLACK-AND-YELLOW, na ndio iliyobeba jina la nyimbo ya WIZ KHALIFA.
Hawa ndio WASANII WANAOISHI NJE YA TANZANIA 🇹🇿 yaani DIASPORA ambao kwa namna moja ama nyingine wazazi wao walihamia kwenye nchi husika. Hawa WASANII wana mawasiliano na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wa TANZANIA 🇹🇿 na ndio wafadhili wao wakubwa kwenye shughuli za SANAA NA MUZIKI.

Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wameenda mbali zaidi hadi kuwa na KIKUNDI CHA KIJAMII kinachotambulika kwa wale MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanaoishi nje ya mipaka ya TANZANIA 🇹🇿 yaani DIASPORA.
 
d4eff2c55edf8ca34215580baabe5f9f.png

Hii timu ya mpira wa miguu inaitwa HOROYA AC na inapatikana nchini GUINEA 🇬🇳. Ni timu ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na ni mabingwa wa LIGI KUU YA GUINEA 🇬🇳 kwa msimu uliopita wa mwaka 2020/21, pia hii timu ilishiriki michuano ya KLABU BINGWA BARANI AFRIKA kwa mwaka 2020/21 na kuishia katika hatua ya ROBO FAINALI.
682272bdc61d09da5b1129e791b8c151.png


Pia kwenye hii timu kuna mchezaji mwenye ASILI YA TANZANIA 🇹🇿 yaani MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ambaye anacheza kwenye timu ya TAIFA YA GUINEA 🇬🇳, anaitwa MORLAYE SYLLA.

c97d178016390edd907748bdabd937df.png

Hapa anaonekana MORLAYE SYLLA akiwa na mama yake mzazi. Huyu MAMA ndio MWASHITA yaani SIMBA 🦁 aliyehamia nchini GUINEA 🇬🇳 akitokea MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA yaani SIMBA 🦁. Huyo MAMA ni MTANZANIA 🇹🇿 wa kuzaliwa.

1e92eb0563ddb608ad250b4b71465cd2.png

Hapa kwenye picha, MORLAYE SYLLA anaonekana katika majukumu ya KITAIFA na kwa siku za usoni ni lazima atakuja kucheza kwenye timu ya SIMBA SC ambayo inashiriki LIGI KUU YA TANZANIA 🇹🇿 ikiwa ni desturi ya wachezaji wenye ASILI YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kuchezea timu ya SIMBA SC.
 

c7aa05769092ddb0389e61b5415fc867.png


b0689ef884bb8f55278e4f49a62af211.png


Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wa TANZANIA 🇹🇿 ndio wamiliki halali wa timu ya TOUT PUISSANT ENGELBERT MAZEMBE 🏁 ya KONGO 🇨🇩 au kwa jina lingine wanaitwa ni TP MAZEMBE 🏁 au kwa jina lingine wanaitwa MAMBA 🐊.

TP MAZEMBE 🏁 ni timu kubwa kwenye huu UKANDA WA AFRIKA YA MASHARIKI NA KATI na hata katika BARA LA AFRIKA kwa ujumla.

TP MAZEMBE 🏁 ni timu ambayo inaweza kutoa mchezaji wa kulipwa moja kwa moja kwenda kucheza LIGI YA ULAYA yaani UEFA na LIGI nyingine bila ya kuwa na vipingamizi, hii inatokana na ubora na mafanikio ya timu ya TP MAZEMBE 🏁.

TP MAZEMBE 🏁 ni timu ambayo inajumuisha wachezaji wenye viwango vya kimataifa, lakini vile vile ni timu ambayo inahusika pakubwa na wachezaji wa KONGO 🇨🇩 wenye asili ya TANZANIA 🇹🇿, yaani wale wachezaji wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA yaani SIMBA 🦁 waliohamia KONGO 🇨🇩 na hao ndio wanaopata FURSA NA KIPAUMBELE cha kujiunga na SHULE YA MICHEZO yaani SPORTS ACADEMY ya TP MAZEMBE 🏁 na hata kwenye hiki kikosi cha msimu huu wa mwaka 2021/22, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wana wachezaji watatu wanaocheza katika kikosi cha TP MAZEMBE 🏁 wenye ASILI YA MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA yaani SIMBA 🦁 waliohamia KONGO 🇨🇩.

Kwahiyo mbali na kuwa na timu ya SIMBA SC ya TANZANIA 🇹🇿, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa timu ya TP MAZEMBE 🏁 ya KONGO 🇨🇩 na ndio FAHARI ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ukiachana na timu nyingine ambazo wanazimiliki katika mataifa mbali mbali ya duniani.

Ukiachana na timu ya TP MAZEMBE 🏁, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio jamii iliyotawala MPIRA WA TANZANIA 🇹🇿 kwa kipindi kirefu mpaka leo hii. Yaani hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa timu za SIMBA SC, YANGA SC, COASTAL UNION FC, MTIBWA SUGAR FC, KAGERA SUGAR FC, MBEYA KWANZA FC na BIASHARA MARA UNITED FC.

Hizo ni timu saba [ 7 ] kati ya timu kumi sita [ 16 ] zinazoshiriki LIGI KUU YA TANZANIA 🇹🇿. Na malengo ni kuwa timu nane [ 8 ] kati ya timu ya kumi na sita [ 16 ] zinazoshiriki LIGI KUU YA TANZANIA 🇹🇿. Kwahiyo malengo bado hayajafanikiwa, bado kunatakiwa kuwa na timu moja ili kufikisha timu nane [ 8 ] zinazoshiriki LIGI KUU YA TANZANIA 🇹🇿.

Na malengo hayo yatafanikiwa kwa sababu hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa timu za PAMBA FC, AFRICAN LYON FC, IHEFU FC na PAN AFRICAN FC zinazoshiriki LIGI DARAJA LA KWANZA. Vile vile hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa timu ya MAJIMAJI FC au kwa jina lingine wanaitwa WANALIZOMBE ya RUVUMA. Kwahiyo kwa kadri muda unavyozidi kusogea malengo wanaweza kuyafanikisha kwa kuwa na timu nane [ 8 ] zinazoshiriki LIGI KUU YA TANZANIA 🇹🇿.

Sasa kama ilivyo kwa SERENGETI yaani CHUI kuwa na utaratibu wa kuanza kupeleka wachezaji wao wenyewe na wafanyakazi wao wenyewe kwenye timu ambazo wanazimiliki, hata hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wataanza kupeleka wachezaji wao wenyewe na wafanyakazi wao wenyewe kwenye timu ambazo wanazimiliki iwe ndani ya nchi au hata nje ya nchi. Na zoezi hili litaanza kufanyiwa kazi mara tu baada ya hili janga la COVID-19 kuisha.

Hawa SERENGETI yaani CHUI wanamiliki timu nyingi sana kuliko hata MWASHITA yaani SIMBA 🦁. Vile vile, hizi ndio jamii mbili zinazokinzana ambazo zinaweza kuleta maendeleo kwenye TASNIA YA SOKA LA TANZANIA 🇹🇿 kwa kuanza kuchukua wachezaji wao wenyewe na kuwapeleka kwenda kucheza mpira kwenye timu ambazo wanazimiliki wao wenyewe.

Siwezi kuusemea MOYO kwa upande wa SERENGETI yaani CHUI, lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanamiliki timu kwenye baadhi ya nchi mbali mbali duniani.

Timu hizo ni KARIOBANGI SHARKS FC ya KENYA 🇰🇪, EXPRESS FC ya UGANDA 🇺🇬, RAYON SPORTS FC na AS KIGALI FC zote RWANDA 🇷🇼, VITAL'O FC ya BURUNDI 🇧🇮, TP MAZEMBE ya KONGO 🇨🇩, NKANA FC ya ZAMBIA 🇿🇲, NYASA BIG BULLETS FC ya MALAWI 🇲🇼 na BLACK BULLS FC ya MSUMBIJI 🇲🇿. Hizi ndio timu tisa [ 9 ] ambazo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wamewekeza kwenye NCHI NANE [ 8 ] ambazo zinaizunguka NCHI YA TANZANIA 🇹🇿.

Timu nyingine ambazo zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa upande wa KUSINI MWA BARA LA AFRIKA ni PRIMEIRO DE AGOSTO ya ANGOLA 🇦🇴, TOWNSHIP ROLLERS FC ya BOTSWANA 🇧🇼, KAIZER CHIEFS FC ya AFRIKA YA KUSINI 🇿🇦 na FC PLATINUM ya ZIMBABWE 🇿🇼.

Timu nyingine ambazo zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa upande wa AFRIKA YA MAGHARIBI ni ASANTE KOTOKO ya GHANA 🇬🇭, COTON SPORTS FC ya KAMERUNI 🇨🇲, HOROYA AC ya GUINEA 🇬🇳 na AKWA UNITED ya NAIJERIA 🇳🇬.

Timu nyingine ambazo zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa upande wa AFRIKA YA KASKAZINI ni ES SETIF ya ALGERIA 🇩🇿, ZAMALEK FC ya MISRI 🇪🇬, RAJA CASABLANCA ya MOROKO 🇲🇦, AL HILAL OMDURMAN ya SUDANI 🇸🇩 na ETOILE DU SAHEL ya TUNISIA 🇹🇷.

Timu nyingine ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa upande wa ASIA ni AL HILAL SAUDIA ya SAUDIA ARABIA 🇸🇦.

Timu nyingine ambazo zinamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa upande wa ULAYA 🇪🇺 ni BORUSSIA DORTMUND na FC SCHALKE 04 zote za UJERUMANI 🇩🇪, SHAKHTAR DONETSK ya UKRAINE 🇺🇦, SEVILLA, ATHLETIC BILBAO, REAL MALLORCA, REAL BETIS na REAL ZARAGOZA zote za UHISPANIA 🇪🇸, SSC NAPOLI na SS LAZIO zote za ITALIA 🇮🇹, OGC NICE ya UFARANSA 🇨🇵, CELTIC FC ya USKOCHI 🏴󠁧󠁢󠁳󠁣󠁴󠁿, KRC GENK ya UBELIGIJI 🇧🇪, BLACKBURN ROVERS na CHARLTON ATHLETIC CLUB zote za UINGEREZA 🇬🇧.

Hizi ndio timu za mpira wa miguu na nchi ambazo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wamewekeza kwenye UCHUMI WA MICHEZO yaani SPORTS ECONOMY.

Na wanatarajia kuanza kupeleka wachezaji wao na wafanyakazi wao kwenye kila timu. Wafanyakazi yaani TEAM OFFICIALS itajumuisha watu wanaojihusisha na michezo ikiwemo MADAKTARI WA VIUNGO, WAHASIBU, MAKARANI, WATAKWIMU NA WASEMAJI WA TIMU.

Hii ni kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA 🦁, ukiachilia mbali jamii ya SERENGETI yaani CHUI.

Kwahiyo kwa awamu itakayofuata itajumuisha wachezaji na wafanyakazi wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kuhusika moja kwa moja kwenye timu tajwa hapo juu.

Huu ndio UCHUMI WA MICHEZO yaani SPORTS ECONOMY ambao hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wamewekeza kwenye NCHI NA MATAIFA mbali mbali na mapato yanayotokana na timu za mpira wa miguu yanakadiliwa kuwa ni BILIONI KADHAA [ *,000,000,000 ] za KITANZANIA 🇹🇿.

Hali hii iko hivyo hivyo kwa upande wa jamii ya SERENGETI yaani CHUI, tena wao ni maradufu na mapato yao yanayotokana na timu za mpira wa miguu yanakadiliwa kuwa ni mara tano ya mapato yanayotokana na timu zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁. Hii inatokana na hawa SERENGETI yaani CHUI kumiliki timu nyingi na kubwa kuliko timu zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.
 
Thank you, Charles Mandela!

Who is the owner of TIMU YA WANANCHI between LEO and TIGRIS?

The CEO of Tout Puissant, MR KATUMB"O" Is also LEO's blood or he only acted as CEO due to ACCORDANCE TO BUSINESS?
 
Thank you, Charles Mandela!
Thanks a billion 🙏🏽
Who is the owner of TIMU YA WANANCHI between LEO and TIGRIS?
TIMU YA WANANCHI belongs to MWASHITA alias as SIMBA 🦁 and that ideal synonymous of "WANANCHI" for the first time were originated from MWANANCHI GARAGE at SHINYANGA in 1989.

The NAME was so familiar at that particular time, then in 1992 - the minority political party named as CIVIC UNITED FRONT - CUF ☀️ or CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ was registered as a POLITICAL PARTY based on such a name of WANANCHI, meaning that CIVIC UNITED FRONT - CUF ☀️ belonging to COMMON CITIZENS as well.

Thereafter in 1995, those who legally possess and own TIMU YA WANANCHI and CHAMA CHA WANANCHI - CUF ☀️ started a media business conglomerate going with such a name called MWANANCHI COMMUNICATIONS LIMITED [ MCL ].

02f9ad2338cac80f6e88ef69a605f4c4.png


The rest is HISTORY, since 1992 - YANGA SC and SIMBA SC alias as KARIAKOO DERBY were belonging to MWASHITA alias as SIMBA 🦁.

5ea8ffbcfd68ed5256280322f9daab91.png

The CEO of Tout Puissant, MR KATUMB"O" Is also LEO's blood or he only acted as CEO due to ACCORDANCE TO BUSINESS?
MOISE CHAPWE KATUMBI, he is only using TP MAZEMBE 🏁 for political gains, no otherwise. But for the time being, he is going to be reducted from the club because of POLITICAL AFFILIATIONS.
 



It's crazy how many PEOPLE come back to this SONG everyday!! This SONG is LEGENDARY 👏🏽!! Glad to see MWASHITA alias as SIMBA 🦁 on HOLLYWOOD 🎬, You Know..
 
It was two Billion viewers, For the first time when i visited that song on VEVO.
And i think something like seven years ago.

Question: Why their profile bio removed on Wikipedia?
 
It was two Billion viewers, For the first time when i visited that song on VEVO.
That VIDEO has almost five billion viewers [ 5,000,000,000 ] on YouTube alone 🎬
And i think something like seven years ago.
Yeah of course, you know what I am saying my palmate!
Question: Why their profile bio removed on Wikipedia?
I don't have any satisfied answer yet! But I think it's because of PRIVACY.
 
Mleta mada anaamini kambona pekee ndiyo alikuwa na mchango chanya kwa hii nchi?. Mi navyojua walikuwepo wengi including wahindi. Sasa nashangaa debe ni kwa kambona tu! Nafikiri atakuwa ni ndugu/kabila lako povu lote hilo sio bure. Inawezekana Mwalimu hakufanya vya kutosha kama unavyotaka lakini changamoto zilikuwa nyingi kwa waanzilishi na yeye aliwahi kiri. Kubali Pinga mwl alifanikiwa kuleta umoja, nchi kuwa na lugha yake, kuwezesha raia kumiliki ardhi na kujenga uchumi/viwanda Muhimu Hivi vitu havipo hapa afrika. Bila kusahau watu wakubwa kama Mugabe alipendekeza aitwe baba wa afrika kwa mchango wake katika bara hili. Mi nafikiri hiyo inatosha, wa kuwalaumu sana kwa upande wangu ni Hawa wanaoendeleza kijiti ambao mikataba wanayofanya bora hata mtemi mangungo wa msovero! Ndiyo maana alikuwa hajui hata kusoma lakini wa sasa ni wasomi lakini ndiyo hivo!
 
Mleta mada anaamini kambona pekee ndiyo alikuwa na mchango chanya kwa hii nchi?. Mi navyojua walikuwepo wengi including wahindi. Sasa nashangaa debe ni kwa kambona tu! Nafikiri atakuwa ni ndugu/kabila lako povu lote hilo sio bure. Inawezekana Mwalimu hakufanya vya kutosha kama unavyotaka lakini changamoto zilikuwa nyingi kwa waanzilishi na yeye aliwahi kiri. Kubali Pinga mwl alifanikiwa kuleta umoja, nchi kuwa na lugha yake, kuwezesha raia kumiliki ardhi na kujenga uchumi/viwanda Muhimu Hivi vitu havipo hapa afrika. Bila kusahau watu wakubwa kama Mugabe alipendekeza aitwe baba wa afrika kwa mchango wake katika bara hili. Mi nafikiri hiyo inatosha, wa kuwalaumu sana kwa upande wangu ni Hawa wanaoendeleza kijiti ambao mikataba wanayofanya bora hata mtemi mangungo wa msovero! Ndiyo maana alikuwa hajui hata kusoma lakini wa sasa ni wasomi lakini ndiyo hivo!

3bc4378d66e48ce5d611edcbb0eec2d0.png

Ngoja niangalie MECHI YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA kati ya GUINEA 🇬🇳 na GUINEA BISSAU 🇬🇼, nimtizame kwa makini kabisa KIJANA mwenye ASILI YA KITANZANIA 🇹🇿 aitwaye MORLAYE SYLLA.
 
Thank you, Charles Mandela!

dbe1f2b538949e6d21292df298b67bf4.png


dc800a71dbd58158a7807d32c94f1d91.png

Hizi JAMII mbili za MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na SERENGETI yaani CHUI ndio JAMII ZA KITANZANIA 🇹🇿 pekee zinazomiliki TIMU ZA MPIRA WA KIKAPU katika LIGI KUU YA MAREKANI 🇺🇲 maarufu kama NBA🏀.

TIMU YA MPIRA WA KIKAPU ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ni [...] na TIMU YA MPIRA WA KIKAPU ambayo inamilikiwa na SERENGETI yaani CHUI ni [...].

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kama ilivyo kwa SERENGETI yaani CHUI wanatarajia kupeleka WAFANYAKAZI wao yaani TEAM OFFICIALS ambao itajumuisha WATU watakaojihusisha na mchezo wa mpira wa kikapu 🏀 kwa nchi ya MAREKANI 🇺🇲. WAFANYAKAZI hao yaani TEAM OFFICIALS watakuwa ni MADAKTARI WA VIUNGO, WAHASIBU, MAKARANI, WATAKWIMU na WASEMAJI WA TIMU.
 
Nina miaka kadhaa sijafuatilia REBOUNDS pale NBA.
Sasa umenipatia mtihani wa kuanza kuwafuatilia na kuwatambua wale WANYAMA wetu wawili ndani ya NBA.
 
Back
Top Bottom