Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Ikiwa RBC watataka kisasi juu yetu,

Je, TWIGA CEMENT watachomokaje salama katika hilo?

Mkuu, Charles Mandela!



Huyu msanii RADIO ni moja ya WASANII ambao walihamia UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na ni miongoni mwa MWASHITA yaani SIMBA 🦁, alitokea SHINYANGA. Sasa hivi ni MAREHEMU, alifia NIGHT CLUB baada ya kutokea ugomvi.

Kwahiyo MWASHITA yaani SIMBA 🦁 walipoteza MTU muhimu sana kwenye TASNIA YA SANAA NA MUZIKI lakini familia yake yaani mke na watoto wanaendelea kutunzwa na kulelewa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 mpaka leo.

Na hii nyimbo ilitungwa baada ya wao kufika UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na kuishi MAISHA mazuri kuliko jamii ya SERENGETI yaani CHUI na WATANZANIA wengine waliohamia UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬.

Hii nyimbo ilikwenda kwa jina la "MR ABILITY" yaani walimsifu yule aliyewapeleka UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ wakitokea TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ, kwa sababu walikuwa hawaamini kwamba itawezekana kama wanavyofanya SERENGETI yaani CHUI kupitia kwa HAYATI MWALIMU na kama wanavyofanya SERIKALI ili kudumisha mahusiano ya KIDIPLOMASIA.

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanaoishi UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ kupitia MSANII RADIO ndio walitoa hii nyimbo inayoitwa "MR ABILITY" na inakwenda kwa jina la albamu inayoitwa GOODLIFE.
 
Bora umenisaidia mkuu, huyu teacher mpaka leo mimi simwamini kabisa
HAYATI MWALIMU alisoma ELIMU yake ya chuo kikuu katika CHUO KIKUU CHA MAKERERE nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na alivyofika pale kwenye CHAMA CHA USHIRIKA CHA SHIRECU kwenye miaka ya 1990's alikutana na TRANSPORT MANAGER wa kipindi hicho na yeye alikuwa anaitwa [...] na alisoma shule ya sekondari mpaka kidato cha nne nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na shule hiyo inaitwa [...].

Huyo TRANSPORT MANAGER baada ya kumaliza elimu yake ya kidato cha nne nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ alirudi TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita katika shule ya sekondari ya TAMBAZA, hii ilikuwa ni mwaka 1977 mpaka 1979 na alikuwa ni miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri katika mtihani wa KIDATO CHA SITA [ 1979 ] na baadae aliendelea na masomo ya CHUO KIKUU katika fani ya UHANDISI WA MITAMBO yaani AUTOMOBILE ENGINEERING.

Sasa HAYATI MWALIMU alivyokuwa anatembelea hivyo VYAMA VYA USHIRIKA, alikutana na huyo TRANSPORT MANAGER WA SHIRECU na walishibana sana kwa sababu wote walikuwa na MTAZAMO WA KIUGANDA yaani WAINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ wanaita ni UGANDAN IDEOLOGY yaani ni MTAZAMO WA SERIKALI YA VIWANDA NA UCHUMI WA SOKO HURIA.

Ijapokuwa HAYATI MWALIMU alikuwa anaongoza SEREKALI YENYE MTAZAMO WA KIJAMAA lakini yeye binafsi aliamini katika MTAZAMO WA KIUGANDA yaani ni MTAZAMO WA SERIKALI YA VIWANDA NA UCHUMI WA SOKO HURIA.

Na hili swali alishaulizwa kuwa - Ni kwanini yeye binafsi anaamini katika MTAZAMO WA KIUGANDA ilhali anaongoza SERIKALI YENYE MTAZAMO WA KIJAMAA? Alijibu hivi - "alichagua MFUMO WA KIJAMAA kwa sababu WATANZANIA wengi ni MASIKINI, kwahiyo alichagua MFUMO WA KIJAMAA NA KUJITEGEMEA ili kuleta USAWA katika JAMII YA WATANZANIA WOTE bila ya kujali dini wala kabila".

Kwahiyo walivyokutana na yule TRANSPORT MANAGER WA SHIRECU walishibana sana kiitikadi na ndio aliyekuwa anatumika kubeba FEDHA za HAYATI MWALIMU kutoka SHIRECU na baada ya mambo kuwa mazuri, huyu TRANSPORT MANAGER WA SHIRECU alihamia NCU - MWANZA na hii ilikuwa NI baada ya mwaka 1992 kwa cheo kile kile cha TRANSPORT MANAGER.

Na hapo NCU - MWANZA alienda kwa shughuli ile ile ya HAYATI MWALIMU na pale walipiga FEDHA za kutosha na huyo ndio alikuwa SWAHIBA WA HAYATI MWALIMU nje ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ.

Huyo TRANSPORT MANAGER ndio aliyekuwa SWAHIBA WA HAYATI MWALIMU ambaye hakuhudhuria MAZISHI YA HAYATI MWALIMU mwaka 1999, kwa sababu za kiafya.

Huyo TRANSPORT MANAGER na HAYATI MWALIMU ndio wanaomiliki GINNERIES zinazofuatana hapo SHINYANGA MJINI, sema GINNERY ya HAYATI MWALIMU sasa hivi wameanza kutengeneza POMBE KALI yaani SPIRITS na wameachana na ununuzi wa PAMBA.

Huyo TRANSPORT MANAGER ndio aliyewanunulia MSAFARA WA MAGARI YA KIJESHI [CONVOY] WAASI WA RPF - INKOTANYI waliokuwa wakiongozwa na FRED RWIGEMA na baadae PAUL KAGAME.

Huyo TRANSPORT MANAGER ndio aliyemshonea SUTI YA KUAPISHWA KUWA RAIS WA RWANDA πŸ‡·πŸ‡Ό, Ndugu PAUL KAGAME.

c6f7b87fba939aedda6714175e207985.png

Huyo TRANSPORT MANAGER ndio aliyemnunulia PAUL KAGAME magari ya kutopisha risasi [ BULLET PROOFING CONVOY ] kipindi anakuwa RAIS WA RWANDA πŸ‡·πŸ‡Ό.

Na baadae hilo jina la CONVOY lilikuja kuwa maarufu sana kipindi hicho na huyo TRANSPORT MANAGER aliamua kufungua kampuni ya usafirishaji wa mizigo inayoitwa CONVOY HAULAGE na baadae ikaitwa APEX na baadae hii kampuni ya usafirishaji wa mizigo iliitwa DUCOR GROUP [ Convoy Haulage Limited - Logistics Services in Tanzania and across Africa ] na ipo inafanya vizuri mpaka leo na inapatikana NYAMHONGOLO - MWANZA.

Mambo ni mengi sana! Lakini huyo TRANSPORT MANAGER ndio kwa jina lingine anaitwa "MISTER ABILITY" na ndio aliyeimbwa kwenye nyimbo iliyotungwa na wasanii wanaofahamika kwa majina ya RADIO, WEASEL na RABADABA.
 
HAYATI MWALIMU alisoma ELIMU yake ya chuo kikuu katika CHUO KIKUU CHA MAKELELE nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na alivyofika pale kwenye CHAMA CHA USHIRIKA cha SHIRECU kwenye miaka ya 1990's alikutana na TRANSPORT MANAGER wa kipindi hicho na yeye alikuwa anaitwa [...] na alisoma shule ya sekondari mpaka kidato cha nne nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na shule hiyo inaitwa [...].

Huyo TRANSPORT MANAGER baada ya kumaliza elimu yake ya kidato cha nne nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ alirudi TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita katika shule ya sekondari ya TAMBAZA, hii ilikuwa ni mwaka 1977 mpaka 1979 na alikuwa ni miongoni mwa wanafunzi waliofanya vizuri katika mtihani wa KIDATO CHA SITA [ 1979 ] na baadae aliendelea na masomo ya CHUO KIKUU katika fani ya UHANDISI WA MITAMBO yaani AUTOMOBILE ENGINEERING.

Sasa HAYATI MWALIMU alivyokuwa anatembelea hivyo VYAMA VYA USHIRIKA, alikutana na huyo TRANSPORT MANAGER WA SHIRECU na walishibana sana kwa sababu wote walikuwa na MTAZAMO WA KIUGANDA yaani WAINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ wanaita ni UGANDAN IDEOLOGY yaani ni MTAZAMO WA SERIKALI YA VIWANDA NA UCHUMI WA SOKO HURIA.

Ijapokuwa, HAYATI MWALIMU alikuwa anaongoza SEREKALI YENYE MTAZAMO WA KIJAMAA lakini yeye binafsi aliamini katika MTAZAMO WA KIUGANDA yaani ni MTAZAMO WA SEREKALI YA VIWANDA NA UCHUMI WA SOKO HURIA.

Na hili swali alishaulizwa kuwa - Ni kwanini yeye binafsi anaamini katika MTAZAMO WA KIUGANDA ilhali anaongoza SEREKALI YENYE MTAZAMO WA KIJAMAA? Alijibu hivi - alichagua MFUMO WA KIJAMAA kwa sababu WATANZANIA wengi ni MASIKINI, kwahiyo alichagua MFUMO WA KIJAMAA NA KUJITEGEMEA ili kuleta USAWA katika JAMII YA WATANZANIA WOTE bila ya kujali dini wala kabila.

Kwahiyo walivyokutana na yule TRANSPORT MANAGER WA SHIRECU walishibana sana kiitikadi na ndio aliyekuwa anatumika kubeba FEDHA za HAYATI MWALIMU kutoka SHIRECU na baada ya mambo kuwa mazuri, huyu TRANSPORT MANAGER WA SHIRECU alihamia NCU - MWANZA na hii ilikuwa ni mwaka 1992 kwa cheo kile kile cha TRANSPORT MANAGER.

Na hapo NCU - MWANZA alienda kwa shughuli ile ile ya HAYATI MWALIMU na pale walipiga FEDHA za kutosha na huyo ndio alikuwa SWAHIBA WA HAYATI MWALIMU nje ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ.

Na huyo TRANSPORT MANAGER ndio aliyekuwa SWAHIBA WA HAYATI MWALIMU ambaye hakuhudhuria MAZISHI YA HAYATI MWALIMU, mwaka 1999.

Na huyo TRANSPORT MANAGER ndio aliyewanunulia MSAFARA WA MAGARI YA KIJESHI [ CONVOY ] WAASI WA RPF - INKOTANYI waliokuwa wakiongozwa na FRED RWIGEMA na baadae PAUL KAGAME.

Na huyo TRANSPORT MANAGER ndio aliyemshonea SUTI YA KUAPISHWA KUWA RAIS WA RWANDA πŸ‡·πŸ‡Ό, Ndugu PAUL KAGAME.

Na huyo TRANSPORT MANAGER ndio aliyemnunulia PAUL KAGAME magari ya kutopisha risasi [ BULLET PROOFING ] kipindi anakuwa RAIS WA RWANDA πŸ‡·πŸ‡Ό.

Na baadae hilo jina la CONVOY lilikuja kuwa maarufu sana kipindi hicho na huyo TRANSPORT MANAGER aliamua kufungua kampuni ya usafirishaji wa mizigo inayoitwa CONVOY HAULAGE na baadae ikaitwa APEX na baadae hii kampuni ya usafirishaji wa mizigo iliitwa DUCOR GROUP na ipo inafanya vizuri mpaka leo. Hii ikiwa ni kuwaenzi wale ASKARI WOTE waliojitoa kwenda kuikomboa RWANDA πŸ‡·πŸ‡Ό dhidi ya UTAWALA WA JUVENAL HABYARIMANA.

Mambo ni mengi sana! Lakini huyo TRANSPORT MANAGER ndio kwa jina lingine anaitwa "MISTER ABILITY" na ndio aliyeimbwa kwenye nyimbo iliyotungwa na wasanii wanaofahamika kwa majina ya RADIO, WEASEL na RABADABA.
Mkuu hiki chuo kipi nchi gani? nimegoogle lakini wapi hakuna, please nisaidie mkuu.
 
Asante mkuu usiwe Bashite
Sasa huyo TRANSPORT MANAGER yaani MISTER ABILITY ndio aliyekuwa nyuma ya kuanzishwa kwa CHAMA CHA WANANCHI - CUF β˜€οΈ.

Na alitumia gharama zake kuanzisha CHAMA CHA WANANCHI - CUF β˜€οΈ na baada ya hapo JAMES MAPALALA aliajiriwa kama MWENYEKITI WA KWANZA CHAMA CHA WANANCHI - CUF β˜€οΈ.

Lakini hata baada ya kuanzisha CHAMA CHA WANANCHI - CUF β˜€οΈ, HAYATI MWALIMU alimtaka huyo MISTER ABILITY awe mgombea ubunge kwa tiketi ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ kwa minaajiri ya kuja kuwa WAZIRI MKUU [ 1995 ] kwa kupitia JIMBO LA KAHAMA lililopo SHINYANGA.

Lakini huyo MISTER ABILITY aligoma, kwa sababu yeye ndio mwenye CHAMA CHA WANANCHI - CUF β˜€οΈ na nafasi yake ya UWAZIRI MKUU ilikuja kujazwa na FREDERICK TLUWAY SUMAYE.

Yaani huyo MISTER ABILITY baada ya kuombwa kuwa WAZIRI MKUU kipindi cha BENJAMIN WILLIAM MKAPA, aliwakatalia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ na kuwaambia hivi - hiyo nafasi ya UWAZIRI MKUU nitunzieni, kama ni kwa nia njema atakuja kuwa WAZIRI MKUU hata MTOTO wangu.

Baada ya hapo, HAYATI MWALIMU kupitia SERIKALI YA TANZANIA INAYOONGOZWA NA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ waliamua kulipa FADHILA na FADHILA ililipwa kipindi cha UBINAFSISHAJI.

Kipindi cha UBINAFSISHAJI, VIWANDA VILIVYOKUWA VYA SERIKALI vingi viliuzwa na MASHAMBA YA MKONGE mengi yaliuzwa na walionunua hivyo VIWANDA NA MASHAMBA walikuwa ni WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU NA WETCU wakiongozwa na MISTER ABILITY.

c187df73de36a9011bb26be77102c25f.png


02b7cf140933428303705d2b2c5ae0c7.png

Hiki kipindi cha miaka ya 1995's mpaka 2005's ndio kipindi ambacho hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 walijijenga na walinufaika pakubwa kupitia SERA YA SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa kipindi hicho.

Na SERA YA SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa kipindi hicho ilikuwa ni UBINAFSISHAJI - kampuni zilizokuwa za SERIKALI nyingi zilibinafsishwa na kuweka SERA za SOKO HURIA.

Na huyu HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA anaweza kukumbukwa na hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kupitia familia yake kwa kuuziwa HISA kwenye baadhi ya KAMPUNI BINAFSI zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kama ni sehemu ya kurudisha FADHILA iliyofanyika kipindi cha UBINAFSISHAJI.
 
Shukrani, Mkuu Charles Mandela!

Hao CONVOY HAULAGE, Nimewaona mara kadhaa wa kadha hapo NYAMHONGOLO-MWANZA Ila sikuwa nafahamu mmiliki wake.

MR ABILITY ni moja kati ya nyimbo zinazo zipenda kutoka UG ila sikuwa nafahamu kama vijana hawa RADIO & WEASEL ni mali ya PANTHERA LEO.

Ukiacha WEASEL na RADIO, Kuna kijana mwingine wa UG huwa namkubali sana anaitwa ZIGGY D, Naye alitikisa sana kuanzia miaka ya 2004's
 
Asante mkuu usiwe Bashite

9c88ee89ee9f148674384b530a0d57e7.png

Yeah! BIASHARA ni MATANGAZO, You Know! There's a NEW ARRIVAL! LAND ROVER RANGE ROVER SPORT!

Year 2012, MODEL SD V6 HSE, ENGINE 3000cc, FUEL DIESEL, COLOR RED representing SIMBA 🦁 alias as MWASHITA.

PRICE is AFFORDABLE! Only TSHS 98,000,000.00 is enough for you.

MALIPO ni kwa awamu MBILI tu! Call us on +255 716 073 061 or +255 769 803 305 or +255 628 666 987.
Asante mkuu usiwe Bashite
 
Shukrani, Mkuu Charles Mandela!
Asante πŸ™πŸ½ Asante πŸ™πŸ½
Hao CONVOY HAULAGE, Nimewaona mara kadhaa wa kadha hapo NYAMHONGOLO-MWANZA Ila sikuwa nafahamu mmiliki wake.
Lakini leo umefahamu, ni jambo la kushukuru MUNGU.
MR ABILITY ni moja kati ya nyimbo zinazo zipenda kutoka UG ila sikuwa nafahamu kama vijana hawa RADIO & WEASEL ni mali ya PANTHERA LEO.
MISTER ABILITY alikuwa ni TRANSPORT MANAGER kwenye VYAMA VYA USHIRIKA VYA SHIRECU NA NCU kwa nyakati tofauti na MISTER CLEAN alikuwa ni HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA na MISTER ZERO alikuwa ni [...].

Sasa SWALI lingine, kwanini yule jamaa aliitwa MISTER ZERO? Au alifanya jambo gani mpaka akaitwa MISTER ZERO?

Hiyo ni SIRI YA KAMBI, mambo mengine yatabaki kama ni sehemu ya MAISHA.
Ukiacha WEASEL na RADIO, Kuna kijana mwingine wa UG huwa namkubali sana anaitwa ZIGGY D, Naye alitikisa sana kuanzia miaka ya 2004's
Ngoja nikipata muda nitakujatia WASANII na kazi zao waliohama kutoka TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na kwenda MATAIFA mengine kipindi wazazi wao walivyohama kutoka kwenye hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA 🦁.
 
Shukrani, Mkuu Charles Mandela!

Hao CONVOY HAULAGE, Nimewaona mara kadhaa wa kadha hapo NYAMHONGOLO-MWANZA Ila sikuwa nafahamu mmiliki wake.

MR ABILITY ni moja kati ya nyimbo zinazo zipenda kutoka UG ila sikuwa nafahamu kama vijana hawa RADIO & WEASEL ni mali ya PANTHERA LEO.

Ukiacha WEASEL na RADIO, Kuna kijana mwingine wa UG huwa namkubali sana anaitwa ZIGGY D, Naye alitikisa sana kuanzia miaka ya 2004's
Ngoja nianze kukutajia WASANII NA KAZI ZAO waliohamia UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ wakitoka TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwenye MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani WASANII wenye ASILI YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁.





Huyu msanii RADIO alikuwa ni HODARI kwenye kazi zake za utunzi wa mashairi, hasa ukimsikiliza mashairi yake mengi yalikuwa yanazungumzia MWASHITA yaani SIMBA 🦁. Kwahiyo pengo lake halitazibika, sio tu kwa MWASHITA yaani SIMBA 🦁, bali ni kwa jamii ya wapenda MUZIKI NA BURUDANI kwa nchi za UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla.





Huyu ni MSANII mwingine anaitwa BOBI WINE, ni MSANII maarufu sana nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla. Huyu ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na ni MWANASIASA anayewania KITI CHA URAIS nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬.





Huyu ni MSANII mwingine anaitwa BEBE COOL, ni MSANII maarufu sana nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla. Huyu ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na yeye alifanya kuhamia KAMPALA akiwa ni KIJANA yaani amezaliwa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.





Huyu ni MSANII mwingine anaitwa EDDY KENZO, ni MSANII maarufu sana nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬, AFRIKA YA MASHARIKI na DUNIA kwa ujumla na hii inatokana na aina ya MUZIKI na UBUNIFU wanaofanya kwenye tungo zao za MUZIKI. Huyu ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.





Huyu ni MSANII mwingine maarufu sana nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla, anaitwa JOSE CHAMELEONE. Huyu pia ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.





Huyu ni MSANII mwingine maarufu sana nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla, anaitwa JULIANA KANYOMOZI. Huyu pia ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.





Huyu ni MSANII mwingine maarufu nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla, anaitwa LADY MARIAM na aliwika sana na kibao chake maarufu kilichoitwa TINDA TINE. Huyu pia ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.





Huyu ni MSANII mwingine maarufu sana nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla, anaitwa SHEEBAH KARUNGI. Huyu pia ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.





Huyu ni MSANII mwingine anaitwa YKEE BENDA ni maarufu sana nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla. Vile vile huyu ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.





Hili ni KUNDI LA WASANII linaloitwa KAMPALA BOYS, ni maarufu sana nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla. Vile vile hawa ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁 waliozaliwa na kukulia UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬.

Hawa ndio WASANII KUMI [ 10 ] wenye MAJINA MAKUBWA na MAARUFU nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ wenye asili ya TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kutoka MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na wenye MAHUSIANO ya moja kwa moja na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

Kwa upande wa UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamiliki halali wa kampuni ya [...] inayopatikana KAMPALA nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬.

Hii kampuni ya [...] inayopatikana KAMPALA nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬, ndio inayotumika kuwatunza MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanaoishi UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na hivi karibuni hawa WASANII watapokea kiasi cha FEDHA ambazo ni MILIONI kadhaa kutoka kwa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ili kuongeza UFANISI katika kazi zao za SANAA na kuboresha MAISHA yao ya kila siku.
 
Na KANYOMOZI naye ndani ya nyumba !?

KANYOMOZI ni JIKE BORA kabisa hapa kwa wasanii MAJIKE wa hapa EAST AND CENTRAL AFRICA na hakuna JIKE yoyote mwenye TUZO nyingi kumzidi yeye.

MWASHITA kweli ni mnyama aisee! Yaani wasanii wote hao KUMI hakuna mzembe hata mmoja.

KENZO alikuwa wa kwanza EA kunyakua tuzo BET, Hapa alimpiku pia na KINYONGA kabla ya VANNY TZ kusawazisha makosa.

Lady Mariam? Kanyomozi? Kinyonga? Weasel & Radio? Bebe? Kenzo? Vichwa kutu kabisa hivi.

Wanakistahili kile kilichopandwa ndani yao.
 
BOBI WINE, naye mjengoni !?
MWASHITA analamba MALI tu, ana TURUFU ya kutosha.

Kwangu KOLABO bora ni ile mwaka 2007 ya NDIVYO SIVYO ya JOSEPH HAULE & JOSEPH CHAMELEON.
 
Na KANYOMOZI naye ndani ya nyumba !?

KANYOMOZI ni JIKE BORA kabisa hapa kwa wasanii MAJIKE wa hapa EAST AND CENTRAL AFRICA na hakuna JIKE yoyote mwenye TUZO nyingi kumzidi yeye.

MWASHITA kweli ni mnyama aisee! Yaani wasanii wote hao KUMI hakuna mzembe hata mmoja.

KENZO alikuwa wa kwanza EA kunyakua tuzo BET, Hapa alimpiku pia na KINYONGA kabla ya VANNY TZ kusawazisha makosa.

Lady Mariam? Kanyomozi? Kinyonga? Weasel & Radio? Bebe? Kenzo? Vichwa kutu kabisa hivi.

Wanakistahili kile kilichopandwa ndani yao.
Hao ndio MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanaoishi UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na kuna wengine wengi tu, sema wanafanya shughuli zao kimya kimya mbali na mambo ya SIASA, SANAA NA MICHEZO.

6e438f004d7470fa33ea149c63560903.png

Kwa mfano, huyu ni mchezaji wa mpira wa miguu anayechezea timu ya TAIFA YA UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ - CHINI YA MIAKA ISHIRINI [ 20 ] na ni mtoto wa MSANII maarufu sana nchini UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla, anayeitwa BEBE COOL. Kwahiyo huyu KIJANA ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na miaka ya mbeleni atakuja kucheza SIMBA SC kama timu ya nyumbani inayowakilisha MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Kwahiyo mpaka sasa hivi, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wana wachezaji watatu [ 3 ] kwenye timu ya TAIFA YA UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬, ambao ni ERIC KAMBALE na THADEO LWANGA ambao wanacheza timu ya taifa ya wakubwa ya UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na ALPHA SSALI ambaye anacheza timu ya taifa ya vijana ya UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬.

Hawa wachezaji wawili ambao ni ERIC KAMBALE na ALPHA SSALI na wao lazima watakuja kucheza SIMBA SC kama ilivyo kwa THADEO LWANGA, kwa sababu imeshajijenga kuwa KLABU YA SIMBA SC ni timu ya kufikia kwa wachezaji wenye asili ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁.
 
BOBI WINE, naye mjengoni !?
MWASHITA analamba MALI tu, ana TURUFU ya kutosha.

Kwangu KOLABO bora ni ile mwaka 2007 ya NDIVYO SIVYO ya JOSEPH HAULE & JOSEPH CHAMELEON.
Hata kwa upande wa nchi ya KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wapo ambao ni WASANII na wapo chini ya usimamizi wa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.



Kwa mfano, ukiangalia vizuri na makini kwenye hii VIDEO YA NYIMBO YA MISTER ABILITY ya RADIO NA WEASEL utaona kuna MSANII amevaa kofia na amekaa kwenye kochi, yule ni NAMELESS kutoka KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ na yeye pia ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Ngoja siku nikipata nafasi nitakutajia WASANII ambao ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁 waliohamia KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ, wakitoka kwenye hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ambao wapo chini ya usimamizi wa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.
 
Yeah! BIASHARA ni MATANGAZO, You Know! There's a NEW ARRIVAL! LAND ROVER RANGE ROVER SPORT!

Year 2012, MODEL SD V6 HSE, ENGINE 3000cc, FUEL DIESEL, COLOR RED representing SIMBA 🦁 alias as MWASHITA.

PRICE is AFFORDABLE! Only TSHS 98,000,000.00 is enough for you.

MALIPO ni kwa awamu MBILI tu! Call us on +255 716 073 061 or +255 769 803 305 or +255 628 666 987.
Mkuu unaiomba damu maiti?
 
Kwa upande wa nchi ya KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ pia kuna WASANII ambao wana ASILI YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 au walihamia nchini KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ wakitoka TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na wana usimamizi wa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ. WASANII hao ni:



Huyu MSANII anaitwa WAHU, ni MSANII maarufu sana nchini KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla. Huyu ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.



Huyu ni MSANII mwingine maarufu sana nchini KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla, anaitwa NAMELESS. Huyu pia ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na ni mme wa WAHU na wana familia yenye WATOTO.



Huyu ni MSANII mwingine maarufu sana nchini KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla, anaitwa CMB PREZZO. Huyu pia ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.



Huyu ni MSANII mwingine maarufu sana nchini KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla, anaitwa AVRIL. Huyu pia ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.



Huyu pia ni MSANII maarufu sana nchini KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla, anaitwa JAGUAR. Huyu pia ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na ni MWANASIASA.



Huyu ni MSANII mwingine maarufu sana nchini KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla, anaitwa KENRAZY na aliwika sana na kibao chake cha TiChi. Huyu pia ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Hawa ndio WASANII WA KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ wenye ASILI YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na wana mahusiano ya moja kwa moja na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ya TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

Na hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wa KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ wana mahusiano ya moja kwa moja na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wa UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬. Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 waliohamia UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ na KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ wana mahusiano ya moja kwa moja na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa sababu TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ndio sehemu yao ya ASILI na MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA ndio wanapotoka, kwahiyo ni lazima vizazi vyao vitakuja kurudi TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa namna moja ama nyingine.

Vizazi vyao, yaani WATOTO wao ndio watakuja kuwa WAFANYAKAZI NA WAKURUNGENZI WA KAMPUNI ZA MWASHITA YAANI SIMBA 🦁 zilizopo TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ. Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ wana mahusiano ya moja kwa moja na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 waliohama TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na kwenda MATAIFA mengine ya AFRIKA YA MASHARIKI na hata KUSINI MWA AFRIKA.

Vile vile kwa upande wa KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ pia kuna kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁, ambayo inaitwa [...]. Hiyo ni kampuni ambayo inapatikana NAIROBI, KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ na inahudumia MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wote waliopo KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ.
 
Back
Top Bottom