Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana


Tofauti na kampuni nyingine zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wa TANZANIA 🇹🇿 ndio wamiliki halali wa kampuni ya STANDARD MEDIA GROUP ya KENYA 🇰🇪.

Hii STANDARD MEDIA GROUP ya KENYA 🇰🇪 ndio kampuni kubwa zaidi inayopatikana AFRIKA YA MASHARIKI inayohusu MASUALA YA UHANDISHI WA HABARI, MAGAZETI, RADIO NA TELEVISHENI.

Hii STANDARD MEDIA GROUP ya KENYA 🇰🇪 ni moja ya kampuni zinazomilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ambayo inatumika kama ni sehemu ya ajira kwa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 waliohamia KENYA 🇰🇪.

Vile vile, kama ilivyo kwa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 waliohamia UGANDA 🇺🇬 kuwa na timu ya mpira wa miguu inayoitwa EXPRESS FC na hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 waliohamia KENYA 🇰🇪 wana timu ya mpira wa miguu inayoitwa KARIOBANGI SHARKS FC. Hizi timu zote mbili zinashiriki michuano ya LIGI KUU kwenye nchi husika.

Kwahiyo, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa upande wa nchi za UGANDA 🇺🇬, TANZANIA 🇹🇿 na KENYA 🇰🇪 wamejitosheleza kwa kila kitu, ukizingatia MASUALA YA KIJAMII NA MAHUSIANO YA WATU na wataendelea kufanya UWEKEZAJI kama huo kwa MATAIFA YA RWANDA 🇷🇼, BURUNDI 🇧🇮, KONGO 🇨🇩, ZAMBIA 🇿🇲, MALAWI 🇲🇼 na MSUMBIJI 🇲🇿 ili kukamilisha UWEKEZAJI KWA NCHI ZOTE ZA MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGIONAL ECONOMY.
 
Hahahaha hakika leo nimekuelewa barabara

Someone come here to rescue your buddy
 
Kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu. Lakini kitu kimoja dhahiri ni kwamba wanaoathirika na siasa ni wananchi either positively or negatively
 
Hao STANDARD MEDIA GROUP wako vizuri sana nawakubali vilivyo.

Nilikuwa nikizipata mubashara habari za machafuko ya KENYA kunako DISEMBA 2007 kupitia MEDIA zao.

Hawa STANDARD MEDIA huwa wana MAKALA nzuri sana za KIMATAIFA zihusuzo MASUALA YA JAMII na SIASA.

WAHU, Kumbe ni NYANYA yake NAMELESS !?
Couple yao nzuri.

Na MR. TI-CHII ni Mnyama LEO !? Sikuwa nafahamu, Ila NYIMBO zake ni COMEDY tosha zinaburudisha sana na wakati mwingine hutuacha MBAVU taabani.

Namkumbuka jamaa huyu TI-CHII na WANYAMA wengine wa KENYA walipokuwa wakifanya yao pale OGOPA DJs.

JAGUAR ni chaguo langu bora kabisa hili, Ukiachana na NAMELESS, NYOTA NDOGO, AMANI, na NYASHINSKI.

Namkumbuka sana Mnyama huyu JAQUAR kwenye ngoma zake za KIGEUGEU na KIOO, Aliua sana humu.

KUDOS, CHARLES MANDELA!
 
Hahahaha hakika leo nimekuelewa barabara

Someone come here to rescue your buddy


Jaribu kusikiliza mahojiano ya MWANASIASA wa TANZANIA 🇹🇿 anayeitwa TUNDU ANTIPAS LISSU, alikuwa haelewi kuwa hicho kituo cha televisheni cha KTN kinamilikiwa na WATANZANIA 🇹🇿 yaani MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na hata huyo mwanahabari anayefanya nae mahojiano ni MKENYA mwenye ASILI YA TANZANIA 🇹🇿 na yeye huyo mwanahabari ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁.
 




Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU wamejitahidi kuwekeza sana nchini KENYA 🇰🇪 na UGANDA 🇺🇬.

Na ukiondoa kampuni za usafirishaji wa abiria pamoja na mizigo za SIMBA COACH, TAHMEED pamoja na MASHCOOL, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji wa abiria na mizigo inayoitwa MODERN COAST.

Hii kampuni ya MODERN COAST inaweza kuwa ni kampuni ya pili au kampuni ya tatu kwa ubora nchini KENYA 🇰🇪, kwa sababu ni kampuni ambayo inafanya kazi zake za kibiashara kwenye nchi zipatazo nne [ 4 ], ambazo ni KENYA 🇰🇪, UGANDA 🇺🇬, RWANDA 🇷🇼 na TANZANIA 🇹🇿.

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI wapo vizuri sana kiuchumi na kibiashara.
 
Mkuu, Charles Mandela!
Ukipata wasaa, Naomba unigusie kitu kuhusu MR. SAULI.

Hivi MR. SAULI ni Mnywaru kweli au ni MHABESHI ?

Kama USOMALI vile kama UKUSHI vile, Nisimuelewi elewi huyu MR. SAULI.
 
Kwenye siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu.
Uko sahihi kabisa! Lakini WAINGEREZA 🇬🇧 huwa wanasema hivi - "An empty gallon doesn't make any noise". Yaani kwa lugha ya KISWAHILI 🇹🇿 tunaweza kusema hivi - "Debe tupu, halina mshindo".

Kwahiyo kwenye SIASA ni lazima uwe uko vizuri KIUCHUMI na KISIASA ili uwe na MTAJI WA KISIASA. Hali hii ndio itakufanya kuwa na uhalali wa kukaa meza moja ya majadiliano na kutafuta muhafaka.

Tofauti na hapo, sidhani kama utakuwa na uhalali wowote wa kufikia muhafaka kwenye jambo lolote lile linalohusu SIASA.

Kwahiyo jambo la msingi na muhimu ni kutafuta UCHUMI, mambo mengine yatakuja yenyewe na hapo ndio utakuwa na uhalali wa kusema ya kwamba - kwenye SIASA hakuna rafiki wala adui wa kudumu.
Lakini kitu kimoja dhahiri ni kwamba wanaoathirika na siasa ni wananchi either positively or negatively
Siku zote wanao athirika na maamuzi ya kisiasa au uzembe wa kisiasa ni WANANCHI WA KAWAIDA lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA hii dhana wanaenda kuifuta, kwa sababu wao wanajitahidi sana kuwekeza kwenye sekta mbali mbali kiasi ambacho wanafanyika kuwa ni msaada kwa watu wao wenyewe.
 
Mkuu, Charles Mandela!
Ukipata wasaa, Naomba unigusie kitu kuhusu MR. SAULI.

Hivi MR. SAULI ni Mnywaru kweli au ni MHABESHI ?

Kama USOMALI vile kama UKUSHI vile, Nisimuelewi elewi huyu MR. SAULI.



Yaani sijui niseme nini! Lakini ule UKWELI WA MAMBO NA UHALISIA WA MAZINGIRA, RAIS PAUL INGABIRE KAGAME WA RWANDA 🇷🇼 ni IDEAL PERSONELLY [ IP ] yaani ni MTU aliyeandaliwa kwa kutengenezwa WASIFU ili kwenda kuitawala RWANDA 🇷🇼.

Kwa tafsiri ya lugha ya KIINGEREZA 🇬🇧 huwa wanasema hivi - IDEAL PERSONELLY [ IP ] is a kind of personal characteristics that has been designed and trained for special purposes including LEADERSHIP.

Na kwa tafsiri ya lugha ya KIINGEREZA 🇬🇧 huwa wanasema hivi - IDEAL FAMILY [ IF ] is a kind of family where by its family members do not exist in REALITY. And IDEAL FAMILY composed of IDEAL PERSONELLIES [ IPs ].

Kwahiyo ukiondoa hiyo dhana ya mambo ya kusema ya kwamba MISTER SAULI ni MNYARU au MHABESHI au MSOMALI au hata MKUSHI ni dhana ambayo haitasaidia kwa sababu sio yeye anayetawala TAIFA LA RWANDA 🇷🇼 na wala hausikii kwa mambo yaliyotokea RWANDA 🇷🇼 na yanayoendelea kufanyika kwenye SERIKALI YA RWANDA 🇷🇼.

RAIS PAUL KAGAME WA RWANDA 🇷🇼 ni BOSHENI na wenye SERIKALI YA RWANDA 🇷🇼 wapo TANZANIA 🇹🇿 na washika dau au wadau wa SERIKALI YA RWANDA 🇷🇼 wapo TANZANIA 🇹🇿. Wengine mnatembea nao bila ya kufahamu! Wengine mnakula nao kwenye migahawa na hoteli bila ya kufahamu! Wengine mnafanya nao mazoezi kwenye viwanja vya mpira wa miguu bila ya kufahamu!

Lakini yote kwa yote, wenye SERIKALI YA RWANDA 🇷🇼 tangu waasi wa RPF [ RWANDA PATRIOTIC FRONT ] walivyochukua NCHI ni WATANZANIA 🇹🇿 na hao WATANZANIA 🇹🇿 ndio wenye JESHI LA RWANDA 🇷🇼 yaani RWANDA DEFENSE FORCE [ RDF ]. Kwahiyo SERIKALI YA RWANDA 🇷🇼 ni SERIKALI ambayo inaendeshwa KIJESHI na sio SERIKALI YA KIRAIA.

Na waliokuwa nyuma ya yale yote yaliyofanyika RWANDA 🇷🇼 ni WATANZANIA 🇹🇿 waliosoma UGANDA 🇺🇬 kwa upande wa SHULE YA SEKONDARI na CHUO KIKUU CHA MAKERERE. Kwahiyo ni VERY BRIGHT PEOPLE and they know what they are doing 🙏🏽

Kipindi cha MAUAJI YA KIMBARI ya miaka ya 1994 kulikuwa na HAYATI MWALIMU aliyesoma CHUO KIKUU CHA MAKERERE nchini UGANDA 🇺🇬, kulikuwa na MISTER CLEAN aliyesoma CHUO KIKUU CHA MAKERERE nchini UGANDA 🇺🇬, kulikuwa na MISTER ABILITY aliyesoma SHULE YA SEKONDARI nchini UGANDA 🇺🇬 na wengine wengi ambao historia itawakumbuka.




Hata huyu mama JEANETTE KAGAME ni IDEAL WIFE TO MISTER PAUL INGABIRE KAGAME, ni wanamke mwenye familia yake na watoto wake na wanakutana na PAUL KAGAME kwenye shughuli na kazi za kiofisi tu, baada ya hapo kila MTU anakwenda kutimiza majukumu yake ya kifamilia kwenye familia yake.

Na kitu cha kushangaza ni WATU ambao hawajawahi kukutana kimwili, wao hukutana kiofisi tu baada ya hapo kila MTU anafanya yake.

Sasa ni nani aliye nyuma ya SERIKALI YA RWANDA 🇷🇼? Jibu ni JESHI LA RWANDA 🇷🇼 [ RDF ]! Na ni nani aliyenyuma ya JESHI LA RWANDA 🇷🇼 [ RDF ]? Ukiwafahamu walio nyuma ya JESHI LA RWANDA 🇷🇼 [ RDF ] ndio utakuwa umefahamu WANYARWANDA au WATU WENYE SERIKALI YA RWANDA 🇷🇼.
 
Mpaka sasa sijaona ukiieleza japo nchi mmoja tu mpaka sasa iliyo piga kihatua tokea enzi za uhuru kwa kukumbatia ubepari.

Halafu kwenye hizi harakati husitegemee kila mtu ataandikwa kuna wengine wataendelea kuwa mashujaa wasio imbwa. Mfano Mandela sifa nyingi anapewa yy ila wale walio endeleza harakati kipindi yupo ndani mbona hawaimbwi sana?

Kwame Nkurumah nae hivyo hivyo vip wale wenzake unawasikia? vip Kenyatta?je Fidel Castro naye? So wote hamuwezi kuimbwa, kuna mmoja ata atanyanyuka na wengine mtakuwa chini.
 
Suala la KATIBA MPYA ni ajenda iliyopo mezani kwa upande wa VYAMA VYA KISIASA VYA TANZANIA [emoji1241] na sio ajenda ya KITAIFA.
Pole sana!!
Takwa la katiba mpya ni ajenda ya kisiasa?
Umesahau mara hii kuwa tume ya Warioba walihoji watanzania sio wanachama wa vyama vya siasa na wakasema wanataka katiba mpya?

Akili hizi ndizo zinajidai kumchambua Mwl Nyerere?
 
Pole sana!!
Takwa la katiba mpya ni ajenda ya kisiasa?
Umesahau mara hii kuwa tume ya Warioba walihoji watanzania sio wanachama wa vyama vya siasa na wakasema wanataka katiba mpya?

Akili hizi ndizo zinajidai kumchambua Mwl Nyerere?
Tulishasema humu tangu mwanzo au jaribu kupitia yale yaliyojadiliwa huko nyuma. Au jaribu kudai KATIBA MPYA kama majirani zetu WAKENYA 🇰🇪 walivyofanya.

KATIBA MPYA siku zote na itaendelea kuwa ni majumuisho ya mapendekezo yote ya kisheria kwenye kila SEKTA kwa MASILAHI YA UMMA WA WATANZANIA 🇹🇿 WOTE.

Kwahiyo ni vyema na ni sahihi kupitia madhaifu au changamoto za kisheria kwenye kila SEKTA ili baadae tupate ufumbuzi wa kisheria na hatimae kuwa na majumuisho yote ya kisheria kwenye kila SEKTA na kuwa na KATIBA MPYA ambayo imesheheni UKWELI NA UWAZI.



Jaribu tena kuangalia na kutizama mchakato wa KATIBA MPYA kwa majirani zetu WAKENYA 🇰🇪 ulivyofanyika mpaka kukamilika. Huo ndio utaratibu mzuri na utaratibu wakuigwa kwa TAIFA lolote lile linalohitaji mabadiliko ya KATIBA.
 
Siku hizi kuna watu wengi sana wenye akili ndogo! Wanataka historia itaje hadi aliekuwa anampigia pasi Mwl Nyerere!!

We jionee maajabu mtu aliesema kazaliwa mwaka 1995 anasema eti amefanya uchunguzi kaona Kambona anafaa kuwa baba wa taifa?! Na majitu yame like kibao!!!!

Mimi Kambona aliporudi miaka ya tisini nilishakuwa timamu, Nyerere alikuwa hai pia. Vyombo vya habari wakati huo vilikuwa huru kuliko sasa, sikusikia Kambona akijieleza la maana lolote na aliachwa huru aongee chochote popote pale!
 
Vijiwe vya kahawa vina waharibu watu wengi sana mmoja wapo huyu mwenye hii thread.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…