Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Huo ndio ukweli wenyewe! Na kwa kuongezea kidogo, ni kwamba - HAYATI MWALIMU hakuwa YESU au kwa maneno mengine tunaweza kusema ya kwamba - HAYATI MWALIMU hakuwa MTUME MUHAMMAD!

HAYATI MWALIMU alikuwa ni BINADAMU WA KAWAIDA na alikuwa ni mtu mwenye matamanio kama BINADAMU WENGINE.

Kwahiyo HAYATI MWALIMU aliongoza NCHI kwa kipindi kirefu sana, huku akiweka AKIBA kwa kizazi chake cha baadae. Sasa hiyo AKIBA mimi na wewe na wengine hatufahamu ni kiasi gani, lakini ni AKIBA YA KUTOSHA.

Hiyo AKIBA YA KUTOSHA inatosha kabisa kuhudumia kizazi chake chote na JAMII YA SERENGETI kwa ujumla. Kwahiyo sio AKIBA ndogo kama wengine wanavyodhani, ni AKIBA kubwa tena iliyosheheni kila aina ya BIASHARA inayofanyika duniani.

Na HAYATI MWALIMU mwenyewe amefanyika kuwa MSAADA MKUBWA kwa TAIFA LA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ, ndio maana nafasi yake kama BABA WA TAIFA bado tutaendelea kuithamini na kuienzi hata kwa vizazi vitakavyokuja.

Vile vile, mbali na kuwa MSAADA MKUBWA kwa TAIFA LA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ, amefanyika pia MSAADA KWA JAMII YA SERENGETI YAANI CHUI. HAYATI MWALIMU mwenyewe kwa jitihada zake mwenyewe, amewasaidia sana SERENGETI YAANI CHUI.

Hawa SERENGETI YAANI CHUI wametapakaa na kuenea dunia nzima, huku wakijihusisha na shughuli mbali mbali za kiuchumi na kibiashara, na mwaka 2018, kipindi nipo UGANDA πŸ‡ΊπŸ‡¬ nilipata taarifa kuwa, hawa SERENGETI yaani CHUI wameshaingia mpaka nchi ya NEW ZEALAND πŸ‡³πŸ‡Ώ. Hii yote ni jitihada na matunda ya HAYATI MWALIMU mwenyewe.

Hawa SERENGETI yaani CHUI wapo vizuri sana, wengine tunajaribu jaribu tu, lakini ukweli ni kwamba bado muda kidogo hawa SERENGETI yaani CHUI wataanza kuonesha ile ORODHA YA SERENGETI YAANI CHUI waliohama TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na kwenda kuishi MATAIFA mengine, iwe ni kwa sababu ya kidiplomasia, kisiasa na hata kiuchumi.

Na sio vibaya, kwa sababu hata jamii nyingine zinapaswa kuiga huu mtindo wa maisha ili zipate japo hata nafasi ya kujivunia, sio kila siku malalamiko na maneno ya kashfa kwa HAYATI MWALIMU, inabidi tubadilike.

Kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 walishabadilika na kuanza kuchukua hatua na matunda yake tumeshayaona.

Kwahiyo inatupasa tubadilike na kuchukua yale mazuri tu kutoka kwa HAYATI MWALIMU, kama mnataka kupiga hatua ya kimaendeleo ni lazima kushikana mikono na kusaidiana kila panapokuwa na ulazima.
 
Nina miaka kadhaa sijafuatilia REBOUNDS pale NBA.
Sasa umenipatia mtihani wa kuanza kuwafuatilia na kuwatambua wale WANYAMA wetu wawili ndani ya NBA.




MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na SERENGETI yaani CHUI ndio JAMII MBILI ZA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ambazo zinamiliki TIMU ZA MPIRA WA KIKAPU kwenye LIGI KUU YA MPIRA WA KIKAPU yaani NBA nchini MAREKANI πŸ‡ΊπŸ‡².

Timu ya mpira wa kikapu πŸ€ ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ni [...] na timu ya mpira wa kikapu πŸ€ ambayo inamilikiwa na SERENGETI yaani CHUI ni [...].

Sasa hivi ni mapema sana kutaja timu hizo kwa sababu ya kibiashara, lakini timu hizo ni miongoni mwa timu zilizoorodhozeshwa hapo juu.


Na haijaishia hapo!! Hizi JAMII MBILI ZA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ - MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na SERENGETI yaani CHUI wameanza kutilia mkazo kwenye JAMII inayowazunguka, kwa kuchukua orodha ya kila KAYA na kuwaweka kwenye malengo ya baadae.

Kwa sababu hauwezi kuwa na timu za mpira wa kikapu πŸ€ kwenye LIGI KUU YA MAREKANI πŸ‡ΊπŸ‡² halafu jamii unayotoka ni MASIKINI! Sasa ndio utakuwa unafanya mambo gani hayo.. 😁😁

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wapo kwenye muendelezo wa kusaidia kila KAYA kwa kuwapatia ajira watu wao kwenye kampuni ambazo wanazimiliki wao wenyewe.

Kwa upande wa SERENGETI yaani CHUI, wao wapo vizuri zaidi kwa sababu wao ndio wenye DOLA YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na wao ndio wenye CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ. Kwahiyo SERENGETI yaani CHUI wana fursa nyingi sana ukilinganisha na jamii ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Lakini mwisho wa siku, sote tutakuwa sawa. WAINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ huwa wanasema hivi - At the end of the time, we will all be on the same kingship .
 
Nimepata kitu hapo mkuu.
Hiyo ndio SIASA ambayo WAINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ wanaita POLITICS! Hiyo ndio SIASA ambayo WARUSI πŸ‡·πŸ‡Ί wanaita POLITIKA.




Halafu pia, kauli mbiu ya TP MAZEMBE huwa ni kauli mbiu ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ambayo huwa inasema hivi - " Impossible n'est pas MAZEMBE".

Kwa lugha ya KIINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ huwa wanasema hivi - "Nothing impossible to MAZEMBE". Na kwa lugha ya KISWAHILI πŸ‡ΉπŸ‡Ώ huwa wanasema hivi - "Hakuna kinachoshindikana kwa MAZEMBE".

Na kauli mbiu hiyo ipo hivyo hivyo kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 - "Hakuna kinachoshindikana kwa MWASHITA".

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa sasa hivi wapo vizuri sana KIUCHUMI na KIBIASHARA na kwa kadri siku zinavyozidi kusogea, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 watahamia KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ na kufanya NAIROBI kuwa ni MAKAO MAKUU YA KAMPUNI ZAO ZA KIBIASHARA.
 
Hizi tunaziita Wikileaks tatizo la nchi hii lilianzia hapa mtu mmoja kuhodhi mawazo ya wengi. Ujamaa umetufikisha wapi. Unaona Mwanga kidogo unaletwa na Kikwete lakini too late. Mawazo ya Kikwete ni ya kiliberali na kwa maoni yangu yanaleta afya njema kwa siasa za Tanzania. Tanzani ukibana kama unaharibu sana tena sana. Ukiruhusu mawazo mengi unavuna mengi kutoka kwao.
 
Mwashita yaani Simba


Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wao wanajivunia vitu vyao wenyewe, ndio maana wanapiga hatua siku kadri ya siku.

WAINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ huwa wanasema hivi - "For a society to develop, it needs something to be proud of".

Hiyo kwenye picha ni BODY SPRAY yaani ni MARASHI yaliyotengenezwa na kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Kampuni hiyo inaitwa FRESH DEODORANT na inatengeneza mpaka BODY PERFUMES ambazo wanasambaza kwa MATAIFA YA ULAYA πŸ‡ͺπŸ‡Ί NA AMERIKA.

Kwahiyo kama ilivyo kwa upande mwingine wa SERENGETI yaani CHUI, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na wao wanatumia MARASHI yao wenyewe.
 
Mwashita yaani Simba


Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa kampuni inayotengeneza sabuni za DALAN. Hiyo kampuni inapatikana nchini UTURUKI πŸ‡ΉπŸ‡· na wanasambaza bidhaa zao nchi zote za ULAYA πŸ‡ͺπŸ‡Ί na baadhi ya nchi za AFRIKA ikiwemo TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ yenyewe.
 
Mwashita yaani Simba


Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa kampuni inayotengeneza bidhaa na sabuni za COVEX.

Hiyo kampuni inapatikana nchini UTURUKI πŸ‡ΉπŸ‡· na wanasambaza bidhaa zao nchi zote za ULAYA πŸ‡ͺπŸ‡Ί na baadhi ya nchi za AFRIKA ikiwemo TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ yenyewe.

Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wamewekeza MITAJI MIKUBWA sana nje ya TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kuliko ndani ya TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

Vile vile kwa nchi ya UTURUKI πŸ‡ΉπŸ‡·, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanamiliki timu ya mpira wa miguu ambayo inashiriki LIGI KUU YA UTURUKI πŸ‡ΉπŸ‡· na timu hiyo inafahamika kwa jina la [...]. Sio vyema kuitaja mapema timu hiyo kwa sababu za kibiashara lakini timu hiyo inafanya vizuri kwenye LIGI KUU YA UTURUKI πŸ‡ΉπŸ‡·.

Pia hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wameathirika pakubwa sana KIUCHUMI na KIBIASHARA kufuatia janga la COVID-19 lililoikumba ULAYA πŸ‡ͺπŸ‡Ί na DUNIA kwa ujumla pamoja na VIKWAZO VYA KIBIASHARA vilivyowekwa kwa nchi ya UTURUKI πŸ‡ΉπŸ‡· miezi kadhaa iliyopita.



Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 tayari wameshaingia kwenye biashara za kimataifa yaani GLOBAL TRADE na wanatambulika moja kwa moja na JUMUIYA YA NCHI ZA ULAYA πŸ‡ͺπŸ‡Ί yaani EUROPEAN UNION.
 

nyie vilaza wawili hapo juu, acheni kusoma majarida/vijitabu vinavyozungumzia masuala ya conspiracy theories, mnapotoshana sana.

baada ya kosoma comment zenu kwenye hii thread, nimebaini nyinyi ni vipofu wawili mnaosaidiana kuvuka barabara. mnazingua.

halafu wewe charles hayo matakataka yako unayotujazia kwenye uzi huu ni bora uyapeleke facebook.jf sio mahala pake.
 
.
 
.
 
WATU wengi huwa wanapotoshana, lakini huo ndio UKWELI HALISI πŸ™πŸ½
 


Sasa ukitaka kufahamu timu ya mpira wa kikapu πŸ€ ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁, angalia vizuri hiyo VIDEO hapo juu.

Hiyo VIDEO ni REMIX ya nyimbo ya WIZ KHALIFA inayokwenda kwa jina la BLACK AND YELLOW.

Sasa kwenye hiyo VIDEO, kuna sehemu WIZ KHALIFA ameonekana amevaa BOSHORI NYEUSI yenye NEMBO au LOGO yenye RANGI NYEKUNDU.

Hiyo NEMBO au LOGO yenye RANGI NYEKUNDU inawakilisha timu ya mpira wa kikapu πŸ€ ambayo inakwenda kwa jina la [...]. Hiyo ndio timu ya mpira wa kikapu πŸ€ ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Na kwa upande wa SERENGETI yaani CHUI na wao huwa wanafanya hivyo hivyo, na wao pia wana WASANII wao sehemu mbali mbali duniani ukijumuisha na HOLLYWOOD 🎬.

Na mara nyingi WASANII huwa wanatumika kufikisha ujumbe kwa njia ya TUNGO yaani MASHAIRI au kwa njia ya VIDEO yaani PICHA.

Sasa angalia hiyo VIDEO vizuri ndio utaweza kutambua kile ninachokueleza, kama kweli wewe ni mfuatiliaji wa mpira wa kikapu πŸ€ yaani NBA, utaifahamu hiyo timu ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.
 
no no no...siangalii ujinga.
Sasa kufuatia hii COMMENT yako, utakuwa umeelewa ni timu gani ambayo inamilikiwa na SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwenye matokeo ya mechi za UEFA CHAMPIONS LEAGUE ⚽ zilizoorodhozeshwa kwenye posti namba 706.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…