Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Nimepata kitu hapo mkuu.


Hii kampuni ya AZAM, pia ni kampuni ambayo haina tofauti na kampuni ya JAMBO GROUP OF COMPANIES katika umiliki wake πŸ™πŸ½πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™πŸ½.

Yaani kwa miaka ya hivi karibuni SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ imeimarisha sana SEKTA YA ULINZI kupitia SEKTA YA UWEKEZAJI na malengo ni kushikilia UCHUMI WA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa asilimia kubwa kama sio zote.
 
Charles mandela mtt wa simba ulisema ukipata mda utatuonyesha uchum wa tz unamilikiwa na nan nakukumbusha
 
Charles mandela mtt wa simba ulisema ukipata mda utatuonyesha uchum wa tz unamilikiwa na nan nakukumbusha


Wakati TANGANYIKA, sasa ni TANZANIA BARA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ, inapata UHURU kutoka kwa UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ mwaka 1961, HAYATI MWALIMU alipokea nchi ikiwa katika MFUMO WA MAJIMBO, ambapo kulikuwa na MAJIMBO nane [ 8 ], na sio mikoa kama ilivyo sasa hivi.

MAJIMBO hayo ni JIMBO LA KATI, JIMBO LA MASHARIKI, JIMBO LA ZIWA, JIMBO LA KASKAZINI, JIMBO LA NYANDA ZA JUU KUSINI, JIMBO LA TANGA, JIMBO LA MAGHARIBI na JIMBO LA ZIWA TANGANYIKA.

Kwa mamlaka aliyopewa na katiba ya nchi, HAYATI MWALIMU aliunda MIKOA kumi na mitano [ 15 ] na kuiondoa nchi katika MFUMO WA MAJIMBO.

MIKOA hiyo ilikuwa ni ARUSHA, PWANI, DODOMA, TANGA, KIGOMA, KILIMANJARO, MARA, MBEYA, MOROGORO, MTWARA, MWANZA, RUVUMA, SHINYANGA, SINGIDA na TABORA.

Sasa kwenye hii ORODHA YA MIKOA yote, SERENGETI yaani CHUI kupitia kwa HAYATI MWALIMU mwenyewe walikuwa wamehodhi shughuli zote za kiuchumi kwenye kila MKOA husika na hii ilifanyika kwa sababu ya kuimarisha ULINZI na USALAMA kwa upande wa TANZANIA BARA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

Na hata baada ya MUUNGANO WA TANGANYIKA na ZANZIBAR na kuunda SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ, hawa SERENGETI yaani CHUI kupitia kwa HAYATI MWALIMU mwenyewe waliendelea kujitanua kibiashara mpaka ZANZIBAR, yaani TANZANIA VISIWANI kwa nia ile ile ya kuimarisha ULINZI na USALAMA.


Kwahiyo, kwa kipindi chote cha UONGOZI WA HAYATI MWALIMU, hawa SERENGETI yaani CHUI ndio waliokuwa wameshika UCHUMI WA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa asilimia mia moja [ 100% ] kupitia WATU wenye asili ya ASIA na ULAYA kwa malengo ya kuimarisha ULINZI na USALAMA.

Hadi mwaka 2021, MIKOA hiyo ilikuwa imeongezeka na kufikia ishirini na sita [ 26 ], huku HALMASHAURI zote, yaani [ wilaya, miji, manispaa na majiji ] ziliongezeka kutoka arobaini na tano [ 45 ] kwa wakati wa UHURU hadi kufikia mia moja na themanini na nne [ 184 ], lengo likiwa ni kusogeza madaraka kwa WANANCHI na kuimarisha utoaji wa huduma za kijamii.

MIKOA hiyo ni MARA, MWANZA, SHINYANGA, SIMIYU, GEITA, KAGERA, TABORA, KIGOMA, KATAVI, RUKWA, MBEYA, SONGWE, NJOMBE, IRINGA, RUVUMA, MTWARA, PWANI, MOROGORO, DODOMA, MANYARA, ARUSHA, KILIMANJARO, TANGA, DAR ES SALAAM, UNGUJA na PEMBA.

Mwaka 1972, SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ilifuta mamlaka za SERIKALI ZA MITAA na kuanzisha MFUMO WA MADARAKA mikoani, mfumo ambao ulizifanya SERIKALI ZA MITAA kuitegemea SERIKALI KUU kwa kila jambo kutokana na WANANCHI kutoshiriki katika maamuzi na pia katika shughuli za maendeleo.

Miaka sita [ 6 ] baadae, MAMLAKA ZA MIJI zilirejeshwa huku mamlaka za wilaya zikirejeshwa mwaka 1984.

Katika moja ya mahojiano aliyowahi kufanya enzi za uhai wake, HAYATI MWALIMU mwenyewe alikiri na kusema ya kwamba anajutia kufuta MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA.

Sasa basi, turudi kwenye ile MADA KUU KUHUSU UCHUMI WA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na walio nyuma yake, yaani WATU wanaomiliki UCHUMI WA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.


Jaribu kuangalia picha hapo juu inayoonesha UTAJIRI WA MIKOA KWA KUANGALIA PATO LA MKOA HUSIKA.

MIKOA KUMI [ 10 ] YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ambayo inayoongoza kwa UTAJIRI ni:

[1]. DAR ES SALAAM

[2]. MWANZA

[3]. MBEYA

[4]. SHINYANGA

[5]. MOROGORO

[6]. TANGA

[7]. ARUSHA

[8]. GEITA

[9]. KILIMANJARO

[10]. RUVUMA

Hii ndio ORODHA YA MIKOA KUMI [ 10 ] YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ambayo inaongoza kwa UTAJIRI WA PATO KWA MKOA HUSIKA kwa muujibu wa TAASISI YA TAKWIMU TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ yaani NBS, mwaka 2021.

Vile vile UCHUMI WA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ umechagizwa na SEHEMU KUU TATU - sehemu ya kwanza ikiwa ni SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ yenyewe, sehemu ya pili ikiwa ni JAMII YA SERENGETI yaani CHUI na sehemu ya tatu ikiwa ni JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Na uchambuzi huo unachambuliwa kama ifuatavyo - kuanzia mwaka 1961 hadi mwaka 1985, pale ambapo HAYATI MWALIMU mwenyewe anang'atuka MADARAKANI, UCHUMI WA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ulikuwa umeshikiliwa na JAMII ya SERENGETI yaani CHUI kwa asilimia mia moja [ 100% ].

JAMII ya SERENGETI yaani CHUI ni jamii ambayo anatoka HAYATI MWALIMU mwenyewe na inajumuisha makabila yote ya MKOA WA MARA.

Baadae, kwenye miaka ya themanini yaani 1980's - SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kupitia SERIKALI ZA MITAA NA TAWALA ZA MIKOA ilianzisha VYAMA VYA USHIRIKA kwenye kila MKOA unaopatikana TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ili kulenga na kukuza sekta ya kilimo inayopatikana kwenye MKOA husika.

VYAMA VYA USHIRIKA vilikuwa vinapatikana kila MKOA wa TANZANIA BARA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa lengo la kukuza mazao ya kibiashara kwa kila MKOA husika.

MAZAO YA KIBIASHARA yalikuwa kama vile TUMBAKU, KOROSHO, KAHAWA, MKONGE, PAMBA na mazao mengine ya kibiashara ya kufanana na hayo.

Hivi VYAMA VYA USHIRIKA vilikuja kuwa na UCHUMI mkubwa sana kiasi ambacho kilitishia UHAI WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ kutokana na wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA kuwa na UCHUMI na UKWASI uliopitiliza uliotokana na UBADHIRIFU, RUSHWA na WIZI wa mali ya UMMA.

Na MIKOA ambayo kulikuwa na VYAMA VYA USHIRIKA vyenye UCHUMI MKUBWA ilikuwa ni MWANZA, SHINYANGA na TABORA. Kwa MKOA WA MWANZA kulikuwa na CHAMA CHA USHIRIKA kilichokuwa kinaitwa NYANZA COOPERATIVE UNION yaani NCU na kwa MKOA WA SHINYANGA kulikuwa na CHAMA CHA USHIRIKA kilichokuwa kinaitwa SHINYANGA REGIONAL COOPERATIVE UNION yaani SHIRECU na kwa MKOA WA TABORA kulikuwa na CHAMA CHA USHIRIKA kilichokuwa kinaitwa WESTERN ZONE TOBACCO GROWERS COOPERATIVE UNION yaani WETCU.

Hivi VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio ilikuwa chimbuko la wakaazi wa hii MIKOA MITATU [ 3 ] ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA kumiliki UCHUMI wao wenyewe kutokana na shughuli mbali mbali za kibiashara ikiwemo mazao ya kibiashara kama vile TUMBAKU na PAMBA na shughuli za uchimbaji madini ya DHAHABU na ALMASI.

Hali hii iliwafanya wakaazi wa hii MIKOA MITATU [ 3 ] ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa lingine wanaitwa SIMBA 🦁 kuingia kwenye ushindani wa kibiashara na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI na kufanikiwa kumiliki asilimia thelathini [ 30% ] ya UCHUMI WA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

Kwahiyo, kuanzia mwaka 1984 hadi mwaka 1995 - UCHUMI WA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ulikuwa unamilikiwa na JAMII mbili tu ambazo ni SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA 🦁. JAMII ya SERENGETI yaani CHUI ilikuwa inamiliki asilimia sabini [ 70% ] ya UCHUMI WA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na asilimia zilizobaki yaani asilimia thelathini [ 30% ] ilikuwa inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Baada ya mwaka 1995, yaani baada ya kuingia kwa RAIS WA AWAMU YA TATU, Ndugu BENJAMIN WILLIAM MKAPA alikuja na SERA YA UKWELI NA UWAZI ikiambatana na SERA YA UBINAFSISHAJI iliyokuwa inalenga madhumuni ya kuongeza ufanisi katika SEKTA BINAFSI na vile vile aliruhusu SERIKALI iingie kwenye SOKO LA USHINDANI kwa kuruhusu SERIKALI kufanya biashara kwa mtindo wa "ACCORDANCE TO BUSINESS".


Hali hii ilipelekea SEKTA BINAFSI kukua na kumea mithiri ya UYOGA kutokana na uwepo wa SERIKALI katika SEKTA BINAFSI.

Uwepo wa SERIKALI katika SEKTA BINAFSI ulifanya kiwango cha asilimia [%] kwa hizi JAMII MBILI ZA SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kupungua kwenye sekta ya UCHUMI WA NCHI kutokana na uwepo wa SERIKALI katika SEKTA BINAFSI yaani BIASHARA na UCHUMI.

Hali hii iliendelea hivyo hivyo mpaka leo, huku SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ikiongeza kasi, ubunifu na ufanisi kwenye SEKTA BINAFSI na ikiziacha hizi JAMII MBILI ZA SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa kiwango cha UWEKEZAJI WA NDANI YA NCHI.

Hivyo basi, kwa kadri siku zinavyozidi kwenda na hali ya UCHUMI WA NCHI ulivyo - SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ imehodhi asilimia hamsini [ 50% ] ya UCHUMI WOTE wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na SERIKALI inaendelea kuwekeza kwa kasi ya ajabu ikiwa na malengo ya kuhodhi UCHUMI WA NCHI na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI inamiliki asilimia thelathini [ 30% ] ya UCHUMI WOTE wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na asilimia ishirini [ 20% ] iliyobaki inashikiliwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁.
 
Naam, Mkuu Charles Mandela!
Nimeitwa nami nimeitika.

Nilipotelea kule duniani lakini sasa nimeuona mwanga nami nimerejea njia kuu.

1.Tafadhali, Naomba uliweke neno "HODHI" au "WAMEHODHI" katika lugha ya MALKIA.

2.Katika hayo MAJIMBO NANE [8] ya Tanganyika, (I)JIMBO LA MAGHARIBI ni mkoa upi ama mikoa ipi kwa sasa?
(II)JIMBO LA ZIWA ni mkoa upi ama mikoa ipi kwa sasa?

Mambo ya Allianz Arena na Yellow and Black ni burudani murua kabisa.
 
Umetaja orodha ya MIKOA KUMI [10] inayoongoza kwa UTAJIRI kwa kuangalia PATO la kila Mkoa kwa uthibitisho wa NBS, Nami sina shaka katika hilo.

Naomba ukipata wasaa unitajie MIKOA KUMI (10) inayoongoza kwa UTAJIRI kwa pato la mkaazi mmoja mmoja.
 
Ikiwa UCHUMI WA NDANI ni 50% by GIRAFFE, 30% by TIGRIS, na 20% by LEO, Je tutegemee nini kwa WANYAMA wetu hawa wawili baada ya MIAKA 20 au 30 ijayo?


Je, MNYAMA TWIGA atawapoka UCHUMI wote na kuumiliki 100% au ataachia hapo hapo 50% ili MAKUBALIANO yaende sawa?
 
Dadavua, Umesema TWIGA MNYAMA ameimarisha SEKTA YA ULINZI kupitia SERA YA UWEKEZAJI kivipi?
 
Dadavua, Umesema TWIGA MNYAMA ameimarisha SEKTA YA ULINZI kupitia SERA YA UWEKEZAJI kivipi?


Ngoja nijiandae kwenda kutizama mechi kati ya SIMBA SC na YANGA SC, baadae jioni tutaonana πŸ™πŸ½. Lakini kosa la tatu [3] alilolifanya HAYATI MWALIMU kipindi cha UHAI wake ilikuwa ni kufuta MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA, mwaka 1972.
 
Chui vs simba.
Mkuu kama jamii ya chui n muungano wa koo zote kama sikosei kwann jamii hii utajir wake hauonekan direct, pili mbona jamii hii hata mkoa wake upo kwenye umaskin mkubwa kuliko unavosema.sababu wao ndo wameshika uchum ila kwenye macho ya damu na nyama wanaonekana hoi.
Hii imekaaje.
Ngoja mech iishe naamin utakuja tena
 
Naam, Mkuu Charles Mandela!
Nimeitwa nami nimeitika.
Naam πŸ™πŸ½πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™πŸ½
Nilipotelea kule duniani lakini sasa nimeuona mwanga nami nimerejea njia kuu.
Karibu njia kuu, sheikh!
1.Tafadhali, Naomba uliweke neno "HODHI" au "WAMEHODHI" katika lugha ya MALKIA.
Neno "HODHI" au "WAMEHODHI" kwa lugha ya KIINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ au kwa lugha ya MALKIA ni "POSSESS" au "POSSESSION".

Kwahiyo tunavyosema - "KUHODHI UCHUMI" kwa lugha ya KIINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ au kwa lugha ya MALKIA ni "ECONOMICALLY POSSESSION".
2.Katika hayo MAJIMBO NANE [8] ya Tanganyika, (I)JIMBO LA MAGHARIBI ni mkoa upi ama mikoa ipi kwa sasa?
(II)JIMBO LA ZIWA ni mkoa upi ama mikoa ipi kwa sasa?
Kuna RAMANI YA TANGANYIKA YA MWAKA 1961 ambayo inaonesha MAJIMBO yote nane [ 8 ] yaliyokuwa yanapatikana chini ya UTAWALA WA UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§. RAMANI hiyo unaweza kuipata hapa Tanganyika Mandate


RAMANI YA TANGANYIKA YA MWAKA 1961 ni kama unavyoona hapo juu, kwahiyo MIKOA YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ya sasa unaweza kuiona kwa kutumia hii RAMANI.
Mambo ya Allianz Arena na Yellow and Black ni burudani murua kabisa.
Hiyo DERR KLASSIKER ni UFAHARI wa jamii mbili za MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na SERENGETI yaani CHUI zinazopatikana TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.
 
Umetaja orodha ya MIKOA KUMI [10] inayoongoza kwa UTAJIRI kwa kuangalia PATO la kila Mkoa kwa uthibitisho wa NBS, Nami sina shaka katika hilo.
Haya ndio matumizi sahihi ya MITANDAO YA KIJAMII na ilipaswa hata WATU wengine wafanye hivi.
Naomba ukipata wasaa unitajie MIKOA KUMI (10) inayoongoza kwa UTAJIRI kwa pato la mkaazi mmoja mmoja.
Hii ORODHA YA KIPATO CHA MKAAZI MMOJA MMOJA KWA KILA MKOA sidhani kama ipo! Na kama ipo sidhani kama itakuwa tofauti sana na hiyo ORODHA iliyowekwa na TAASISI YA TAKWIMU TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ, yaani NBS.
 
Ikiwa UCHUMI WA NDANI ni 50% by GIRAFFE, 30% by TIGRIS, na 20% by LEO, Je tutegemee nini kwa WANYAMA wetu hawa wawili baada ya MIAKA 20 au 30 ijayo?
SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ iliamua kuingia kwenye SOKO LA USHINDANI tangu mwaka 1995 na ndio ilikuwa ni dhumuni na shabaha kuu ya UBINAFSISHAJI.

Ijapokuwa kuna DHANA POTOFU kuhusu UBINAFSISHAJI! WATANZANIA wengi wanaamini UBINAFSISHAJI ulihusu TAASISI NA KAMPUNI zilizokuwa zinamilikiwa na SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kumilikiwa na WATU BINAFSI. Kitu ambacho sio kweli kabisa!

UBINAFSISHAJI ulihusu TAASISI NA KAMPUNI zilizokuwa zinamilikiwa na SERIKALI kumilikiwa na WATU BINAFSI hasa WATANZANIA KWA ASILI [ WATANZANIA WEUSI ] na SERIKALI yenyewe kupitia MKONO WA NYUMA yaani WAINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ wanasema ni INDIRECT POSSESSION.

Na SERIKALI ipo na itaendelea kuwepo kwenye SEKTA BINAFSI ikiwa na malengo ya kuimarisha UCHUMI NA BIASHARA ZA NDANI YA NCHI na mambo mengine ambayo huwa hayadiliwi sana na VIONGOZI WA NCHI ni kuimarisha ULINZI na USALAMA kwa masilahi mapana ya TAIFA.

Kwahiyo KIWANGO CHA UCHUMI [ yaani asilimia ] wa hizi JAMII MBILI za SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 zitapungua kutokana na uwepo wa ongezeko la UWEKEZAJI WA SERIKALI yenyewe.

Kwa mfano, kuanzia mwaka 2000 mpaka mwaka 2004 - SOKO LA SUKARI lilikuwa limeshikiliwa kwa asilimia mia moja [ 100% ] na JAMII ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kwa kumiliki VIWANDA VYA SUKARI VYA KAGERA SUGAR NA MTIBWA SUGAR.

Lakini baada ya mwaka 2004, kuna VIWANDA vingi vilianzishwa ili kuongeza uzalishaji wa SUKARI na kukidhi mahitaji ya matumizi ya ndani. VIWANDA hivyo ni kama KILOMBERO SUGAR, TPC - MOSHI na hivi karibuni kutakuwa na BAGAMOYO SUGAR.

Hii yote ni kuongeza uzalishaji wa ndani, lakini kile kiwango cha asilimia kilichokuwa kimeshikiliwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kitapungua kutokana na uwepo wa VIWANDA vingine.
Je, MNYAMA TWIGA atawapoka UCHUMI wote na kuumiliki 100% au ataachia hapo hapo 50% ili MAKUBALIANO yaende sawa?
SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ wanaendelea na mipango yao kama SERIKALI lakini hawawezi kumiliki UCHUMI WOTE kwa asilimia mia moja [ 100% ] kutokana na uwepo wa hizi JAMII MBILI ZA SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Hizi JAMII MBILI ZA SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wamekita mizizi tangu siku nyingi na kuwadondosha KIUCHUMI sio jambo la leo wala kesho, itachukua miongo kama sio karne.
 
Dadavua, Umesema TWIGA MNYAMA ameimarisha SEKTA YA ULINZI kupitia SERA YA UWEKEZAJI kivipi?
TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kuna MAJESHI ya aina tano [ 5 ] ambayo ni JESHI LA WANANCHI TANZANIA, JESHI LA POLISI TANZANIA, JESHI LA MAGEREZA TANZANIA, JESHI LA UHAMIAJI TANZANIA na JESHI LA ZIMAMOTO TANZANIA.

Haya MAJESHI yote yanatekeleza ile sera ya MAHUSIANO YA WATU NA MAMBO YA KIJAMII ndio maana kama unakumbuka hata JESHI LA POLISI walishakuja na SERA yao ambayo inaitwa ni POLISI JAMII, hii yote inafanyika ili kutekeleza ile SERA ya MAHUSIANO YA WATU NA MAMBO YA KIJAMII.

Sasa kwa kutumia SERA ya MAHUSIANO YA WATU NA MAMBO YA KIJAMII, MAJESHI yote yalilazimika kuwekeza kwenye jamii kwa nia ya kuimarisha ULINZI na USALAMA na wamewekeza kweli kweli maana kuna kampuni ambazo zinamilikiwa na MAJESHI ukielezwa hauwezi kuamini, lakini ndio hivyo πŸ™πŸ½πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™πŸ½

Huu utaratibu huwa unafanyika kwenye MATAIFA yaliyoendelea, sema kwa upande wa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ulichelewa kufika lakini sasa hivi SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ inatumia MAJESHI yake kwenye SEKTA ya UWEKEZAJI ili kushiriki kikamilifu kwenye shughuli za KIUCHUMI na kuimarisha ULINZI na USALAMA.
 
Chui vs simba.
Hii "CHUI vs SIMBA" ni JAMII MBILI za SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA 🦁.
Mkuu kama jamii ya chui n muungano wa koo zote kama sikosei kwann jamii hii utajir wake hauonekan direct,
Hawa SERENGETI wapo vizuri sana, ni suala la muda tu! Kwa sababu hata wao wenyewe, yaani kizazi baada ya HAYATI MWALIMU wameshindwa kuishi MAISHA ya HAYATI MWALIMU.

Kwahiyo, kwa kadri muda unavyozidi kusogea hii JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wataanza kutumia rasirimali zao wenyewe kwa masilahi ya watu wao wenyewe.

Kwa sababu nyakati na muda umebadilika, hauwezi kumiliki VIWANDA halafu ukaendelea na ile DHANA POTOFU ya kuajiri WATU WENYE ASILI YA KIGENI ilhali WANANCHI wako hawana ajira. Sasa hayo ndio mambo gani.. 😁😁
pili mbona jamii hii hata mkoa wake upo kwenye umaskin mkubwa kuliko unavosema.
Ni suala la muda tu!
sababu wao ndo wameshika uchum ila kwenye macho ya damu na nyama wanaonekana hoi.
SERENGETI yaani CHUI wapo vizuri sana KIUCHUMI. Ukitaka kuona nguvu ya SERENGETI yaani CHUI iwe ni KISIASA au hata KIUCHUMI, ingia ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ.

Hawa SERENGETI yaani CHUI wametoka MKOA WA MARA lakini wanaamini kuwa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ yote ni yao na walipewa na UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ tangu mwaka 1961. Kwahiyo majukumu yao ni kwa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ nzima na sio kwa MKOA WA MARA pekee yake.

Na kuna kipindi fulani baada ya makubaliano na mapatano ya KISIASA baina ya hizi jamii mbili za SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 walikubaliana kugawana MIKOA MIWILI ili wahodhi KISIASA na hata KIUCHUMI. MIKOA hiyo ni DAR ES SALAAM na TANGA.

Hawa SERENGETI yaani CHUI walihodhi DAR ES SALAAM na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 walihodhi TANGA. Kwahiyo MKOA WA DAR ES SALAAM upo chini ya HIMAYA ya SERENGETI yaani CHUI iwe ni KISIASA au hata KIUCHUMI na MKOA WA TANGA upo chini ya HIMAYA ya MWASHITA yaani SIMBA 🦁 iwe ni KISIASA au hata KIUCHUMI.

Haya yote yalifanyika kipindi HAYATI MWALIMU akiwa hai na kwa wale CCM βš’οΈ kindaki ndaki huwa wanasema hivi - "DUNIA ina mambo na TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ina maajabu yake!" Basi baadhi ya maajabu ya TANZANIA ndio haya..
Hii imekaaje.
Ngoja mech iishe naamin utakuja tena
Mambo ni mengi! Sasa imefika hatua ya kukaa kimya, kwa sababu mambo mengine hayapaswi kujadiliwa kwenye MITANDAO YA KIJAMII kutokana ya unyeti wake.
 
Charles Mandela!
Yapi ni maono yako juu ya SERA YA MAHUSIANO YA WATU NA MAMBO YA KIJAMII KWA JESHI LA POLISI?

Unafikiri MAHUSIANO YAKE KWA JAMII yako vizuri kama yalivyo kwa hayo MAJESHI MENGINE MANNE [4]?
 
Charles Mandela!
Yapi ni maono yako juu ya SERA YA MAHUSIANO YA WATU NA MAMBO YA KIJAMII KWA JESHI LA POLISI?
MAHUSIANO YA WATU NA MAMBO YA KIJAMII kwa upande wa JESHI LA POLISI yapo vizuri kwa sababu kuna vitu vingine wanahudumia kwa JAMII, bila hata wengine kufahamu na hii inatokana na uelewa finyu kwa WANANCHI kuhusu JESHI LA POLISI.

Hivi unafahamu kuwa hata JESHI LA POLISI TANZANIA wanamiliki VIWANDA ambavyo hutoa baadhi ya AJIRA kwa WANANCHI WA KAWAIDA? Ndio, VIWANDA vipo na kuna baadhi ya WANANCHI WA KAWAIDA wanapata AJIRA.
Unafikiri MAHUSIANO YAKE KWA JAMII yako vizuri kama yalivyo kwa hayo MAJESHI MENGINE MANNE [4]?
Kwa upande wa MAHUSIANO YA WATU NA MAMBO YA KIJAMII, MAJESHI yote yanafanya kazi zinazofanana.
 
Acha ujinga bwege wewe, Kambona ana mazuri yake na mabaya yake Mwl Nyerere aliyaona ndio wakakorofishana.
Walichokorofishana ni Unafki tu wa Kambona kwa wazungu.
Ndio pale alikua amtie ndani akakimbiloa hukohuko alikokuwa anapeleka unafki wake.
Same Lissu alichofanya,haya bahati nzuri au mbaya Jiwe kafa mwambie Lissu arudi,haji ng'oo.
 
Acha ujinga bwege wewe, Kambona ana mazuri yake na mabaya yake Mwl Nyerere aliyaona ndio wakakorofishana.
Huyu MLETA MADA ameegemea kwa KAMBONA kana kwamba KAMBONA alikuwa sahihi sana! Kumbe na yeye KAMBONA alikuwa na madhaifu yake.
Walichokorofishana ni Unafki tu wa Kambona kwa wazungu.
Ndio πŸ™πŸ½πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™πŸ½
Ndio pale alikua amtie ndani akakimbiloa hukohuko alikokuwa anapeleka unafki wake.
KAMBONA alikimbilia UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ lakini miaka ya baadae alifanikiwa kurudi TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na baadhi ya wanafamilia yake wapo TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ na wengine bado wapo UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§, sema wanatumia MAJINA tofauti. Hilo jina la KAMBONA hawalitumii kwa sababu wanazozifahamu wao.

Halafu pia, huyu OSCAR KAMBONA na ADAM SAPI MKWAWA walikuwa ni kitu kimoja, sema ADAM SAPI MKWAWA alikuwa anang'ata na kupuliza na kuna baadhi ya mawasiliano ya FAKSI yalikutwa wakiwa wanawasiliana.

Vile vile hawa WATU wawili yaani OSCAR KAMBONA na ADAM SAPI MKWAWA walikuwa wanawadharau sana wenyeji wa hii MIKOA MITATU [3] ya MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA 🦁.

Kumbe wenzao walikuwa makini na kutafuta UCHUMI na hatimae hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wamekuwa na UCHUMI mkubwa sana baada ya JAMII ya SERENGETI yaani CHUI, jamii ambayo anatoka HAYATI MWALIMU mwenyewe.

Na hata kule OSCAR KAMBONA alipokimbilia yaani UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wamewekeza MITAJI MIKUBWA YA KIBIASHARA na ndio wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu ya CHARLTON ATHLETIC FOOTBALL CLUB.


Halafu pia ukiachilia mbali SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa CHAMA CHA WANANCHI - CUF β˜€οΈ.

Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanamiliki CHAMA chao cha KISIASA, hawa wengine wakina OSCAR KAMBONA na ADAM SAPI MKWAWA - familia zao zimebaki zikiomba omba misaada na wengine wanaendelea kuishi kama wakimbizi mpaka leo.

Kwahiyo hili ni SOMO ZURI kwa VIJANA na kwa WANASIASA wanaochipukia, kuwa wajifunze kuishi vizuri na WATAWALA.
Same Lissu alichofanya,haya bahati nzuri au mbaya Jiwe kafa mwambie Lissu arudi,haji ng'oo.
Asante πŸ™πŸ½πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™πŸ½
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…