Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Nimepata kitu hapo mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepata kitu hapo mkuu.
Nimepata kitu hapo mkuu.
Charles mandela mtt wa simba ulisema ukipata mda utatuonyesha uchum wa tz unamilikiwa na nan nakukumbushaHii kampuni ya AZAM, pia ni kampuni ambayo haina tofauti na kampuni ya JAMBO GROUP OF COMPANIES katika umiliki wake ππ½πΉπΏπΉπΏππ½.
Yaani kwa miaka ya hivi karibuni SERIKALI YA TANZANIA πΉπΏ imeimarisha sana SEKTA YA ULINZI kupitia SEKTA YA UWEKEZAJI na malengo ni kushikilia UCHUMI WA TANZANIA πΉπΏ kwa asilimia kubwa kama sio zote.
Charles mandela mtt wa simba ulisema ukipata mda utatuonyesha uchum wa tz unamilikiwa na nan nakukumbusha
Dadavua, Umesema TWIGA MNYAMA ameimarisha SEKTA YA ULINZI kupitia SERA YA UWEKEZAJI kivipi?
Chui vs simba.Ngoja nijiandae kwenda kutizama mechi kati ya SIMBA SC na YANGA SC, baadae jioni tutaonana ππ½. Lakini kosa la tatu [3] alilolifanya HAYATI MWALIMU kipindi cha UHAI wake ilikuwa ni kufuta MAMLAKA ZA SERIKALI ZA MITAA, mwaka 1972.
Naam ππ½πΉπΏππ½Naam, Mkuu Charles Mandela!
Nimeitwa nami nimeitika.
Karibu njia kuu, sheikh!Nilipotelea kule duniani lakini sasa nimeuona mwanga nami nimerejea njia kuu.
Neno "HODHI" au "WAMEHODHI" kwa lugha ya KIINGEREZA π¬π§ au kwa lugha ya MALKIA ni "POSSESS" au "POSSESSION".1.Tafadhali, Naomba uliweke neno "HODHI" au "WAMEHODHI" katika lugha ya MALKIA.
Kuna RAMANI YA TANGANYIKA YA MWAKA 1961 ambayo inaonesha MAJIMBO yote nane [ 8 ] yaliyokuwa yanapatikana chini ya UTAWALA WA UINGEREZA π¬π§. RAMANI hiyo unaweza kuipata hapa Tanganyika Mandate2.Katika hayo MAJIMBO NANE [8] ya Tanganyika, (I)JIMBO LA MAGHARIBI ni mkoa upi ama mikoa ipi kwa sasa?
(II)JIMBO LA ZIWA ni mkoa upi ama mikoa ipi kwa sasa?
Hiyo DERR KLASSIKER ni UFAHARI wa jamii mbili za MWASHITA yaani SIMBA π¦ na SERENGETI yaani CHUI zinazopatikana TANZANIA πΉπΏ.Mambo ya Allianz Arena na Yellow and Black ni burudani murua kabisa.
Haya ndio matumizi sahihi ya MITANDAO YA KIJAMII na ilipaswa hata WATU wengine wafanye hivi.Umetaja orodha ya MIKOA KUMI [10] inayoongoza kwa UTAJIRI kwa kuangalia PATO la kila Mkoa kwa uthibitisho wa NBS, Nami sina shaka katika hilo.
Hii ORODHA YA KIPATO CHA MKAAZI MMOJA MMOJA KWA KILA MKOA sidhani kama ipo! Na kama ipo sidhani kama itakuwa tofauti sana na hiyo ORODHA iliyowekwa na TAASISI YA TAKWIMU TANZANIA πΉπΏ, yaani NBS.Naomba ukipata wasaa unitajie MIKOA KUMI (10) inayoongoza kwa UTAJIRI kwa pato la mkaazi mmoja mmoja.
SERIKALI YA TANZANIA πΉπΏ iliamua kuingia kwenye SOKO LA USHINDANI tangu mwaka 1995 na ndio ilikuwa ni dhumuni na shabaha kuu ya UBINAFSISHAJI.Ikiwa UCHUMI WA NDANI ni 50% by GIRAFFE, 30% by TIGRIS, na 20% by LEO, Je tutegemee nini kwa WANYAMA wetu hawa wawili baada ya MIAKA 20 au 30 ijayo?
SERIKALI YA TANZANIA πΉπΏ wanaendelea na mipango yao kama SERIKALI lakini hawawezi kumiliki UCHUMI WOTE kwa asilimia mia moja [ 100% ] kutokana na uwepo wa hizi JAMII MBILI ZA SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA π¦.Je, MNYAMA TWIGA atawapoka UCHUMI wote na kuumiliki 100% au ataachia hapo hapo 50% ili MAKUBALIANO yaende sawa?
TANZANIA πΉπΏ kuna MAJESHI ya aina tano [ 5 ] ambayo ni JESHI LA WANANCHI TANZANIA, JESHI LA POLISI TANZANIA, JESHI LA MAGEREZA TANZANIA, JESHI LA UHAMIAJI TANZANIA na JESHI LA ZIMAMOTO TANZANIA.Dadavua, Umesema TWIGA MNYAMA ameimarisha SEKTA YA ULINZI kupitia SERA YA UWEKEZAJI kivipi?
Hii "CHUI vs SIMBA" ni JAMII MBILI za SERENGETI yaani CHUI na MWASHITA yaani SIMBA π¦.Chui vs simba.
Hawa SERENGETI wapo vizuri sana, ni suala la muda tu! Kwa sababu hata wao wenyewe, yaani kizazi baada ya HAYATI MWALIMU wameshindwa kuishi MAISHA ya HAYATI MWALIMU.Mkuu kama jamii ya chui n muungano wa koo zote kama sikosei kwann jamii hii utajir wake hauonekan direct,
Ni suala la muda tu!pili mbona jamii hii hata mkoa wake upo kwenye umaskin mkubwa kuliko unavosema.
SERENGETI yaani CHUI wapo vizuri sana KIUCHUMI. Ukitaka kuona nguvu ya SERENGETI yaani CHUI iwe ni KISIASA au hata KIUCHUMI, ingia ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βοΈ.sababu wao ndo wameshika uchum ila kwenye macho ya damu na nyama wanaonekana hoi.
Mambo ni mengi! Sasa imefika hatua ya kukaa kimya, kwa sababu mambo mengine hayapaswi kujadiliwa kwenye MITANDAO YA KIJAMII kutokana ya unyeti wake.Hii imekaaje.
Ngoja mech iishe naamin utakuja tena
MAHUSIANO YA WATU NA MAMBO YA KIJAMII kwa upande wa JESHI LA POLISI yapo vizuri kwa sababu kuna vitu vingine wanahudumia kwa JAMII, bila hata wengine kufahamu na hii inatokana na uelewa finyu kwa WANANCHI kuhusu JESHI LA POLISI.Charles Mandela!
Yapi ni maono yako juu ya SERA YA MAHUSIANO YA WATU NA MAMBO YA KIJAMII KWA JESHI LA POLISI?
Kwa upande wa MAHUSIANO YA WATU NA MAMBO YA KIJAMII, MAJESHI yote yanafanya kazi zinazofanana.Unafikiri MAHUSIANO YAKE KWA JAMII yako vizuri kama yalivyo kwa hayo MAJESHI MENGINE MANNE [4]?
Huyu MLETA MADA ameegemea kwa KAMBONA kana kwamba KAMBONA alikuwa sahihi sana! Kumbe na yeye KAMBONA alikuwa na madhaifu yake.Acha ujinga bwege wewe, Kambona ana mazuri yake na mabaya yake Mwl Nyerere aliyaona ndio wakakorofishana.
Ndio ππ½πΉπΏππ½Walichokorofishana ni Unafki tu wa Kambona kwa wazungu.
KAMBONA alikimbilia UINGEREZA π¬π§ lakini miaka ya baadae alifanikiwa kurudi TANZANIA πΉπΏ na baadhi ya wanafamilia yake wapo TANZANIA πΉπΏ na wengine bado wapo UINGEREZA π¬π§, sema wanatumia MAJINA tofauti. Hilo jina la KAMBONA hawalitumii kwa sababu wanazozifahamu wao.Ndio pale alikua amtie ndani akakimbiloa hukohuko alikokuwa anapeleka unafki wake.
Asante ππ½πΉπΏππ½Same Lissu alichofanya,haya bahati nzuri au mbaya Jiwe kafa mwambie Lissu arudi,haji ng'oo.