Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Kama CHAI MURUA ni yao bila shaka na zile ESTASTES ZA CHAI kule KUSINI ni zao, Si ndiyo, Mkuu Charles Mandela?

Kabla ya KIWANDA chenyewe na nembo ya MAJANI YA CHAI MURUA kuwa katika RED IN COLOUR,

Je, mwanzoni vilikuwa katika RANGI ipi, Na kwanini vilibadilishwa?
 
Kama CHAI MURUA ni yao bila shaka na zile ESTASTES ZA CHAI kule KUSINI ni zao, Si ndiyo, Mkuu Charles Mandela?
Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ndio wamiliki halali wa kampuni ya CHAI BORA β˜• na wanamiliki pia MASHAMBA YA CHAI NA KAHAWA kwa MIKOA YA IRINGA NA KAGERA.


Kabla ya KIWANDA chenyewe na nembo ya MAJANI YA CHAI MURUA kuwa katika RED IN COLOUR,


Je, mwanzoni vilikuwa katika RANGI ipi, Na kwanini vilibadilishwa?
Ile RANGI NYEKUNDU huwa ni RANGI YA PAKITI, lakini pia kuna PAKITI zenye RANGI ya BLUU, KIJANI na NJANO.


Vile vile hii kampuni ya CHAI BORA β˜• wanamiliki pia BIDHAA ZA DABAGA ambazo zinajumuisha CHILLI SAUCE na TOMATO SAUCE.


Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wapo vizuri sana KIUCHUMI na hasa UCHUMI WA VIWANDA.
 
Mkuu, Charles Mandela!

Na leo umevinjari vinjari maeneo ya MWANANCHI
au umechill mahala unafungua fungua VISANDUKU?

HAPPY BOXING DAY TO YOU SENIOR.
 
Mkuu, Charles Mandela!

Na leo umevinjari vinjari maeneo ya MWANANCHI
au umechill mahala unafungua fungua VISANDUKU?


Baada ya KRISMASI, leo ndio nimeanza kuperuzi MITANDAO YA KIJAMII na kukutana na hii PICHA kwenye ONLINE LIBRARY yangu.

Kwenye hiyo PICHA hapo juu anaonekana ni JOMO KENYATTA akiwa na UHURU KENYATTA [ aliyemshika mkono ], upande wa kulia ni CHARLES NJONJO na nyuma yao alikuwa ni DANIEL ARAP MOI ambaye kwa kipindi fulani na yeye alifanikiwa kuwa RAIS WA SERIKALI YA WATU WA KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ.
HAPPY BOXING DAY TO YOU SENIOR.


Na kwenye PICHA hapo juu anayeonekana kutoka kushoto ni MCHUNGAJI TREVOR HUDDLESTON, SHRIDATH RAMPHAL, MCHUNGAJI DESMOND TUTU na HAYATI MWALIMU wakiwa wanateta jambo fulani huko AFRIKA YA KUSINI πŸ‡ΏπŸ‡¦ mnamo mwaka 1993, mwezi Juni na tarehe 14 katika harakati za kutafuta UHURU WA AFRIKA YA KUSINI πŸ‡ΏπŸ‡¦.

Huyo SHRIDATH RAMPHAL alikuwa ni kiungo muhimu sana kati ya HAYATI MWALIMU na MATAIFA YA NJE na hasa MATAIFA YA ULAYA πŸ‡ͺπŸ‡Ί NA MAREKANI πŸ‡ΊπŸ‡².

Huyo SHRIDATH RAMPHAL ndio miongoni mwa WATU waliohusika kumtoa gerezani HAYATI NELSON MANDELA.

Pia SHRIDATH RAMPHAL ni miongoni mwa WATU waliohusika na MATAMBIKO kipindi cha TANGANYIKA inapata UHURU wake kutoka kwa taifa la UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§.


Hayo MATAMBIKO yaliendelea kufanyika hadi kipindi TANGANYIKA na ZANZIBAR zinaungana na kuunda TAIFA lililo moja linaloitwa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

Vile vile huyo SHRIDATH RAMPHAL alikuwa ni MTU muhimu sana katika UTAWALA WA HAYATI MWALIMU na ndio miongoni mwa WATU waliohusika na MAKUBALIANO YA TANGANYIKA kupata UHURU kutoka kwa UINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§, mwaka 1961 na ndio miongoni mwa WATU walioshuhudia HATI YA MUUNGANO kati ya TANGANYIKA na ZANZIBAR, na kuunda TAIFA lililo moja linaloitwa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

Huyo SHRIDATH RAMPHAL alikuwa ni MTU muhimu sana kwa upande wa SERIKALI YA TANGANYIKA na hata baadae SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ, vile vile hii ilifanyika kwa baadhi ya WATOTO waliozaliwa kwa miaka hiyo kuitwa SHIDA yaani ikiwa na maana ya SHRIDATH, yaani kumuenzi SHRIDATH RAMPHAL.
 
Sawa mkuu ila tutaona ukweli wa ccm kuchukuliwa na hao wasukuma


Jambo ambalo nililokuwa nataka kukuambia ni kwamba - ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ, hakuna KIKUNDI CHA WATU au MTU aliyewahi kuwa na NGUVU YA KISIASA na akafanikiwa. Hakuna!!

Narudia tena - ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ, hakuna KIKUNDI CHA WATU au MTU aliyewahi kuwa na NGUVU YA KISIASA na akafanikiwa. Hakuna!!

Silaha pekee ya MAFANIKIO ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ ni UYONGE WA KISIASA. Hii WAINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ wanaita ni POLITICAL PATRONAGE au kwa jina lingine wanaita ni THE SPOILS SYSTEM.

Historia na kumbukumbu za CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ zinatuonesha kuwa, wale wote waliofanikiwa ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ, walifanikiwa kwa mtindo wa UNYONGE WA KISIASA. Hii WAINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ wanaita ni POLITICAL PATRONAGE.

Na hali hii ilikuwepo tangu wakati wa CHAMA CHA TANU. Kipindi cha TANU, historia inashuhudia kuwa kulikuwa na MIAMBA YA KISIASA kuliko hata kipindi cha leo ambapo kuna CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ. Lakini mwisho wa siku, hao wote waliokuwa wanaitwa MIAMBA YA KISIASA waliishia kubaya.

Kwahiyo historia itajirudia kwa hawa WATU au KIKUNDI CHA WATU wanaojiita WASUKUMA ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ. Wote wataishia kubaya kama watangulizi wengine, kwa sababu AKILI YA KISIASA hawana kabisa.

Na kwa taarifa tu! CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ walikuja na MPANGO MKAKATI uliokuwa unaitwa RUDI NYUMBANI KUMENOGA.

Huo MPANGO MKAKATI wa RUDI NYUMBANI KUMENOGA ulikuwa unalenga kuwarudisha wale wote waliokuwa wanaitwa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU kurudi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ.

Kama huo MPANGO MKAKATI ukifanikiwa, hao wanaojiita WASUKUMA ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ watakuwa hawana nafasi kabisa.

Kwahiyo HALI HALISI ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ ndio iko hivyo. Mambo mengine sio vizuri kuyaeleza hadharani kwa sababu ya UNYETI wake. Ngoja tuishie hapa..
 
Sawa mkuu ila tutaona ukweli wa ccm kuchukuliwa na hao wasukuma
Na mfano mzuri wa UNYONGE WA KISIASA yaani POLITICAL PATRONAGE au kwa lugha nyingine wanaita ni THE SPOILS SYSTEM ni yule aliyekuwa RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CoHSS pale UDOM, mwaka 2012/13.

Yule, CHARLES MANDELA aliwekwa na kufanyika kuwa RAIS WA AWAMU YA TANO [5] WA CoHSS baada ya kutokea WIZI WA MALI YA UMMA na VURUGU katika SERIKALI YA WANAFUNZI YA CoHSS.


Lakini yule RAIS aliyeiba MALI YA UMMA na kusababisha VURUGU alitolewa kwenye KITI CHA URAIS na akalala mpaka KITUO CHA POLISI.

Sasa kile kitendo cha kupatikana kwa RAIS mwingine ndio kinaitwa UNYONGE WA KISIASA yaani POLITICAL PATRONAGE au kwa jina lingine wanaita ni THE SPOILS SYSTEM.

Maneno mengi sana yalisemwa - kuwa huyo RAIS CHARLES MANDELA aliokota DODO CHINI YA MNAZI [ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚]. Lakini tayari ameshakuwa RAIS WA AWAMU YA TANO [5] WA CoHSS na hivyo ndivyo ambavyo huwa inafanyika ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ kwa miaka yote.
 
Sawa mkuu ila tutaona ukweli wa ccm kuchukuliwa na hao wasukuma


Mfano mwingine wa UNYONGE WA KISIASA yaani POLITICAL PATRONAGE au kwa lugha nyingine wanaita ni THE SPOILS SYSTEM ni kwa RAIS WA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN.

Huyu MAMA amekuwa RAIS baada ya RAIS aliyekuwa madarakani, HAYATI JOHN MAGUFULI kufariki DUNIA. Hii nayo huwa wanaita ni UNYONGE WA KISIASA yaani POLITICAL PATRONAGE au kwa lugha nyingine wanaita ni THE SPOILS SYSTEM.

Kwahiyo kilichotumika ni UHALALI WA KISIASA yaani WAINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ wanaita ni POLITICAL LEGITIMACY kwa aliyekuwa MAKAMU WA RAIS, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN kuwa RAIS WA SERIKALI YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ baada ya aliyekuwa RAIS WA AWAMU YA TANO [5] kufariki DUNIA.
 
Je, suluhu ya mambo haya ni katiba tu
Leo ni tarehe moja, mwezi wa kwanza, mwaka 2022! Kwahiyo tunapoanza MWAKA MPYA inabidi tujifunze kutumia MITANDAO YA KIJAMII vizuri kwa manufaa ya wote.

Mimi kwa upande wangu binafsi, naamini SULUHU ya mambo haya yote ni UTASHI WA KISIASA. Hii WAINGEREZA πŸ‡¬πŸ‡§ wanaita ni POLITICAL WILLINGNESS.

UTASHI WA KISIASA kwa namna gani? UTASHI WA KISIASA kwa namna ya kufahamu kinachoendelea kwenye jamii husika na kutumia nyenzo zilizopo kutatua changamoto zinazoikumba au zinazoizonga jamii. Na jamii huwa inaanzia chini kabisa kwenye hatua ya KIFAMILIA hadi hatua ya KITAIFA.

Sasa inapofika kwenye hatua ya KITAIFA, mambo mengi huwa yanakusudiwa kufanyika. Miongoni mwa hayo mambo ni MAADHIMIO YA KITAIFA, MIIKO YA KITAIFA, HURKA ZA KITAIFA na suala la KATIBA MPYA.

KATIBA MPYA ni zao la UTASHI WA KISIASA, yaani KATIBA MPYA ni matokeo ya FIKRA MPYA ili kukidhi mahitaji ya jamii husika iwe ni kuanzia ngazi ya KIFAMILIA au hata ngazi ya KITAIFA.

Kwahiyo, SULUHU ya haya mambo yote yanayoendelea nchini TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ni kuwa na UTASHI WA KISIASA. UTASHI WA KISIASA ni muhimu sana kwa maendeleo ya nchi, maana unaweza kuwa na mabadiliko ya KATIBA YA NCHI halafu mambo yakabaki vile vile na hicho ndio huwa kinafanyika mara nyingi sana kwenye nchi za KIAFRIKA.

UTASHI WA KISIASA yaani POLITICAL WILLINGNESS ndio nyenzo ya maendeleo kwa TAIFA lolote lile, linalohitaji kupiga hatua. πŸ™πŸ½πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ™πŸ½
 
Sawa mkuu ila tutaona ukweli wa ccm kuchukuliwa na hao wasukuma


Najaribu kubahatisha kwa makini, kama ni huyu KIJANA ndio anaendesha HARAKATI ZA KISIASA yaani POLITICAL RALLY ya hao WASUKUMA waliopo ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ kuweza kumiliki CHAMA.

Kitendo cha kumiliki au kuhodhi CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ ni jambo ambalo halitawezekana. Hilo suala walifute kabisa!!

Yaani ni nafuu au vyepesi kukitoa madarakani CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ, kuliko kumiliki au kuhodhi CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ kutoka kwa JAMII YA SERENGETI yaani CHUI.

Na itakuwa BORA na SALAMA zaidi kwa hao WASUKUMA waliopo ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ kutoka ndani ya CHAMA na kuamua kuanzisha CHAMA CHA KISIASA ili wafanye SIASA ZA USHINDANI za kukiondoa madarakani CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ.

Hii njia wakiamua kuitumia itakuwa ni NJIA SAHIHI, SALAMA na BORA kwao na itaongeza AFYA YA KISIASA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

Lakini wakiamua kuendeleza HARAKATI ZA KISIASA yaani POLITICAL RALLY ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ watakuwa wanapoteza muda na watakuwa wanakikomaza na kukiimarisha CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ kwa namna moja ama nyingine.

Kwahiyo ni vyema na busara kuiga kwa waliofanikiwa ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ. Na waliofanikiwa ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ ni WATU WA PWANI. Hivyo wanatakiwa kufanya SIASA kama WATU WA PWANI wanavyofanya.

Vile vile ni busara kuiga kwa waliowatangulia na waliofanikiwa chini ya UTAWALA WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ. Na waliowatangulia na waliofanikiwa chini ya UTAWALA WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM βš’οΈ ni JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Hao JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wamepitia mambo mengi sana. Kebehi! Dharau! Kejeli! Dhihaka na maneno machafu machafu yaliyokuwa yanatumika kuwakashifu hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Ilifikia hatua mpaka HAYATI MWALIMU alikuwa anawaita hawa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU kuwa ni WASHOSHA NG'OMBE yaani ni WATU WASHAMBA WASHAMBA.

Lakini hawa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU walivumilia kwa sababu walikuwa wanajitumbua na walikuwa wanafahamu wanachokitafuta. Hawa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA walikuwa wanatafuta UCHUMI na wamefanikiwa kwa asilimia zaidi ya mia moja [ 100% ].

Kuna kauli moja maarufu sana kwenye SEKTA YA MICHEZO ambayo iliwahi kusemwa na RAIS MSTAAFU - Ndugu ALLY HASSAN MWINYI, alisema hivi - "TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ ni KICHWA CHA MWENDAWAZIMU."

Na kuna kauli moja ambayo sio maarufu sana kwenye SEKTA YA MICHEZO ambayo iliwahi kusemwa na HAYATI MWALIMU baada ya HAYATI MWALIMU kuhusishwa na ununuzi wa KLABU YANGA, alisema hivi - "Mimi siwezi kununua na kumiliki TIMU ZA MCHANGANI, wapelekeeni WASHOSHA NG'OMBE ndio wanaweza hiyo shughuli." πŸ˜‚πŸ˜‚

Basi kipindi hicho RAIS WA KLABU YA YANGA SC alikuwa ni ABBAS GULAMALI alifanikiwa kuwatafuta na kuwapata hao WASHOSHA NG'OMBE kwenye MKOA WA SHINYANGA na biashara ikafanyika ya kuuza KLABU YA YANGA SC na baadae tena kwenye miaka 1992/93 biashara ilifanyika tena ya kununua KLABU YA SIMBA SC ili kuiokoa isishuke DARAJA.

Baada ya hapo, hao waliokuwa wanaitwa ni WASHOSHA NG'OMBE walifanikiwa kununua KLABU nyingi sana za mpira wa miguu ikiwemo COASTAL UNION FC ya TANGA, PAN AFRICAN FC na AFRICAN LYON FC zote za DAR ES SALAAM.

Sasa hivi wale waliokuwa wanaitwa ni WASHOSHA NG'OMBE yaani WATU WASHAMBA WASHAMBA ndio wameshikilia LIGI KUU YA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ kwa kumiliki TIMU ZA MPIRA WA MIGUU 7 kati ya 16 ambazo zinashiriki LIGI KUU.

Na hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU ndio wamewafanya JAMII YA MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani WASUKUMA kuwa ni JAMII yenye UCHUMI mkubwa baada ya JAMII YA SERENGETI yaani CHUI yaani JAMII ambayo anatoka HAYATI MWALIMU mwenyewe.

Kwahiyo hii yote ni kujaribu kukuonesha ni kwa namna gani mnaweza kufanikiwa kwenye SIASA, hata kwenye MAISHA YA KILA SIKU. UVUMILIVU ndio jambo la msingi, mambo mengine yatabaki kuwa ni SIRI kwa faida ya WATAWALA.
 
Kumbe, ndiyo maana jina hili SHIDA kupata umaarufu sana miongoni mwa watumiaji chimbuko lake ni RAMPHAL SHRIDATH !?

Sikuwa naipata hiyo mkuu Charles Mandela, Wabeja Kolumba!

Lakini nakunukuu umesema, "HAWANA AKILI YA KISIASA" Tutakula bakora ?
 
Mkuu, Charles Mandela!
TIGRIS ameshafanya yake?


Mbona huyu dogo kwenye TUNGO ni CHUI CHUI nyingi?

"Nataka nitoke kwenye gazeti, Niuze sura...
Huku kwetu.....wametimba VIWALO vyetu ukivua kumbuka kuvilinda...,
Wanasema SHISHI asali.." RAYMOND
 
Kumbe, ndiyo maana jina hili SHIDA kupata umaarufu sana miongoni mwa watumiaji chimbuko lake ni RAMPHAL SHRIDATH !?

Sikuwa naipata hiyo mkuu Charles Mandela, Wabeja Kolumba!
Huyo RAMPHAL SHRIDATH alikuwa ni MTU hatari sana na alikuwa ni MTU muungwana sana aliyekuwa anasikiliza kila aina ya WATU na KIKUNDI chao kimefanya mengi ya kutisha na kuogofya. Yaani ni SHIDA πŸ™πŸ½

KIKUNDI chao kipo mpaka leo na ndio kinahusika kuamua KIONGOZI WA CHAMA TAWALA yaani MWENYEKITI WA CHAMA pamoja na SERIKALI yaani RAIS WA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

Hicho KIKUNDI ndio kinaitwa INNER CIRCLE OF TANZANIA au DEEP STATE OF THE GOVERNMENT.

Hawa wengine sijui TISS! Sijui NSA! Sijui MI! Sijui JWTZ! Sijui POLISI! Sijui nani nani! Anyway, hawa wote ni WALINZI tu! Lakini wenye NCHI ndio hao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hicho KIKUNDI ndio kilichofanya MATAMBIKO YA KITAIFA mwaka 1961 baada ya UHURU WA TANGANYIKA na mwaka 1964 baada ya MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR na kuunda TAIFA lililo moja linaloitwa TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.

Rejea posti namba 946 - hicho KIKUNDI kinatumia BIBLIA TAKATIFU na wanamiliki MIUNGU YENYE NGUVU kweli kweli kama ilivyo kwenye MAANDIKO YA BIBLIA TAKATIFU.

Hiyo MIUNGU ina uwezo mkubwa sana! Ina uwezo wa kuleta masika! Ina uwezo wa kuleta kiangazi! Ina uwezo wa kuleta baa la njaa! Ina uwezo wa kufanya chochote kama ilivyo kwenye MAANDIKO YA BIBLIA TAKATIFU.

Mambo ni mengi sana! Mengine yatabaki kuwa ni SIRI ya WATAWALA..
Lakini nakunukuu umesema, "HAWANA AKILI YA KISIASA" Tutakula bakora ?
Hii kauli ya kusema ya kwamba - "HAWANA AKILI YA KISIASA" ni ya UKWELI kabisa, wala haina hata chembe ya UONGO. Unajua wakati mwingine unatakiwa ujifanye MJINGA ili ufanikiwe. Sasa wenzio hii AKILI hawana kabisa.

Kwa sababu sote tunayashuhudia wanayoyajadili, kuyapanga na hata kuyafanya. Ni suala la muda tu, wote wataondolewa ndani ya CHAMA TAWALA na SERIKALINI kwa pamoja.
 

Hapo kwenye kuleta mvua imekaaje hyo?sababu mwaka jana jua limekua kali sana mbona hawakuleta mvua?

 
Mkuu, Charles Mandela!
TIGRIS ameshafanya yake?
Haya MAMBO ukianza kuyachambua sana, yatakuumiza kichwa! Ni bora ukaacha MAMBO mengine yapite kama yalivyo.
Mbona huyu dogo kwenye TUNGO ni CHUI CHUI nyingi?

"Nataka nitoke kwenye gazeti, Niuze sura...
Huku kwetu.....wametimba VIWALO vyetu ukivua kumbuka kuvilinda...,
Wanasema SHISHI asali.." RAYMOND

Hayo maneno ya CHUI CHUI kwenye TUNGO za RAYVANNY inaweza kuwa ni VIBWAGIZO tu. Lakini wale wote waliokuwa WASANII WA KUNDI LA WASAFI yaani WCB ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA.


Kuna MAMBO mengine ni SIRI kuyajadili kwenye MITANDAO YA KIJAMII! Kwa sababu hata hiyo ya kujitenga kwa baadhi ya WASANII WA KUNDI LA WASAFI ni namna tu ya kutengeneza PESA na kushika TASNIA YA MUZIKI WA TANZANIA, lakini wote bado wapo pamoja.
 
Mkuu hapo kwenye mvua imekaaje sababu mwaka jana mvua zilikua hadimu sana au ilikua n adhabu?

Lakin pia hi biblia wao wanasimamia vifungu vip?
Ngoja niishie hapo kwanza sababu maswal hayaishi
 
Mwalimu hayupo pichani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…