Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Hii kampuni ya BEKO ni kampuni kubwa ULAYA [emoji1099] na inafanya vizuri sana kwenye upande wa MASOKO. Na sasa hivi BIDHAA zao zimeshaanza kupatikana hadi TANZANIA [emoji1241].

Hii kampuni huwa inatengeneza VIFAA VYA KUTUMIA MAJUMBANI yaani WAINGEREZA [emoji636] wanaita ni DOMESTIC PRODUCTS kama FRIJI, BLENDA ZA KUTENGENEZEA JUISI, OVENI, PASI ZA KUNYOOSHEA NGUO, SABUNI ZA KUFULIA na mambo mengine mbali mbali.


Yaani hii kampuni ya BEKO ndio inaleta USHINDANI kwa kampuni ya KENWOOD, vile vile hii kampuni ya BEKO ndio wadhamini wakuu wa timu ya mpira wa miguu ya FC BARCELONA inayoshiriki LIGI KUU nchini UHISPANIA [emoji633] pamoja na timu ya mpira wa kikapu ya FENERBAHÇE S.K. inayoshiriki LIGI KUU nchini UTURUKI [emoji1250].

Sasa hii kampuni ya BEKO wamiliki wake wanatoka TANZANIA [emoji1241] na ni WATANZANIA WEUSI ambao ni [...]. Aah!! Sasa mambo mengine inabidi yawe na UKOMO hata kwenye MITANDAO YA KIJAMII.

Lakini hao wanaomiliki kampuni ya BEKO ni WATANZANIA [emoji1241] ambao UKWASI wao umetoka hapa hapa TANZANIA [emoji1241] na chini ya UTAWALA WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537].

Kwahiyo hii inatuonesha ya kwamba - kwenye TAIFA LA TANZANIA [emoji1241] ili ufanikiwe kwenye SEKTA yoyote ile, iwe ni KIUCHUMI au hata KISIASA au hata kwenye MAISHA YA KILA SIKU ni lazima ujifanye MJINGA MJINGA au FALA kwa wakati fulani. Ndio utafanikiwa [emoji1431][emoji1241][emoji1431]

Sasa hii ni AKILI YA KAWAIDA ambayo baadhi ya WATU wengi huwa hawana, akiwemo OSCAR SALATHIEL KAMBONA mwenyewe na hao WASUKUMA waliopo ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537].
Sasa kama kuna watanzania Wananguvu kubwa ya kiuchumi namna hiyo kitu gani inawazuia Kufanya Tanzania kuwa Taifa kubwa kiuchumi?
 
Sasa kama kuna watanzania Wananguvu kubwa ya kiuchumi namna hiyo kitu gani inawazuia Kufanya Tanzania kuwa Taifa kubwa kiuchumi?
WATANZANIA wengi wamewekeza NJE YA NCHI kwa sababu ya TAHADHARI YA KISIASA.

Kuwekeza NJE YA NCHI ni SALAMA zaidi kuliko kuwekeza NDANI YA NCHI na hii inasababishwa na SERIKALI YA TANZANIA kutokuwa na SERA IMARA kwenye upande wa UWEKEZAJI.

SERA ZA UWEKEZAJI ZA TANZANIA zinabadilika kutokana na aina ya UONGOZI uliopo MADARAKANI. Kitu ambacho sio kizuri kabisa kwa upande wa UWEKEZAJI.

Na hata kwa upande wa SERIKALI YA TANZANIA, kuna UWEKEZAJI ambao SERIKALI imefanya kwa MATAIFA mengine. Vile vile kuna MATAIFA YA NJE yamefanya UWEKEZAJI ndani ya TANZANIA.

Kwahiyo ni KAWAIDA kabisa!! Na hii inasababishwa na MAZINGIRA mazuri ya kufanya BIASHARA kwa MATAIFA husika.
 
Kwa muendelezo wa posti hapo juu - HAYATI MWALIMU mpaka umauti unamkuta alikuwa tayari ameshasambaza SERENGETI kwa nchi zote za KIAFRIKA. Hawa SERENGETI yaani CHUI walikuwa ni wake kwa waume na wenye sifa ya kuolewa na kuoa.

Hii yote ilifanyika kwa nia ya kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na mataifa mbali mbali dhidi ya CHAMA CHA MAPINDUZI na TANZANIA [emoji1241] kwa ujumla.

Vile vile hawa watu wa mataifa mengine ya AFRIKA na hata nje ya AFRIKA nao walifanya hivyo hivyo kwa upande wa TANZANIA [emoji1241] kwa kukubali kuja na kuishi TANZANIA [emoji1241] ikiwa ni pamoja na kuoa au kuolewa na WATANZANIA. Hiki kitendo kwa lugha ya kiingereza wanaita ni "INTERMARRIAGE".

Sasa CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM walijidhatiti kupitia mfumo huu wa mahusiano ya kijinsia, kiudugu na hata kidiplomasia dhidi ya mataifa mengine. Kwahiyo CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM kimejiimalisha na kujidhatiti sana kupitia sera ya mambo ya nje.

Ndio maana inakuwa ni vigumu kwa VYAMA VYA UPINZANI kukubalika ndani ya nchi na hata nje ya nchi, kwa sababu CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM wao walijiimarisha sana kupitia UTU yaani HUMANITY kwa kuwa na kauli mbiu inayosema "BINADAMU WOTE NI SAWA NA KILA MTU ANASTAHILI HESHIMA".

Na mpaka sasa hivi kuna watu wanaendelea kunufaika na uwepo wa CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM kuendelea kuwepo madarakani. Kwahiyo inakuwa ni vigumu kwa VYAMA VYA UPINZANI kuweza kukubalika, kuwa na nguvu ya ushawishi na hata kushinda UCHAGUZI.

Kwahiyo VYAMA VYA UPINZANI kama vinataka kuleta mabadiliko ya kweli ni lazima wategue mitego yote iliyofanywa na CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM, tofauti na hapo watakuwa wanapaka rangi upepo.

Na hawa VYAMA VYA UPINZANI wala wasitegemee taasisi za dini, kwa sababu hizi taasisi za dini hazina madhara yoyote zaidi ya kufanya maombi na sala. Hizi taasisi za dini zote zilishadhibitiwa, kwahiyo hazina madhara kwa watawala yaani CHAMA CHA MAPINDUZI.

Na watu wenye madhara ambao walikuwa wanaweza kuitingisha CCM ni MWASHITA yaani SIMBA pekee yao, wengine ni SAMBULA MATE tu yaani ni WATU WASIOJIWEZA yaani ni WATU WANAOHITAJI MSAADA.

Na wala msitegemee MWASHITA yaani SIMBA watakuja kuitingisha CCM, kwa sababu wao ndio wanaokula na kufurahia keki ya taifa. Hawa MWASHITA yaani SIMBA ndio jamii yenye uchumi mkubwa inayonufaika na uwepo wa CHAMA CHA MAPINDUZI madarakani.

Jamii nyingine zisipoamka, zitaendelea kuwa ni jamii za kuajiriwa na kufanya biashara ndogo ndogo, yaani "PETTY TRADE".

Hiyo ndio SIASA YA TANZANIA! Hiyo ndio HALI HALISI YA TANZANIA! Na hiyo ndio CCM aliyoiacha HAYATI MWALIMU!
Kama haya mambo ni kweli inaonekana Tanzania ni nchi kubwa Sana kuliko tunavyoona na tunatawala nchi nyingi?
 
Sasa kama kuna watanzania Wananguvu kubwa ya kiuchumi namna hiyo kitu gani inawazuia Kufanya Tanzania kuwa Taifa kubwa kiuchumi?

7b719ec8560778e7a4da541e88b5ab6b.png

Kwa mfano, hii ni kampuni ya usafirishaji wa abiria ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Hii kampuni inafanya shughuli zake kwenye MATAIFA YA RWANDA 🇷🇼, UGANDA 🇺🇬 na KENYA 🇰🇪. Yaani kwa lugha nyingine tunaweza kusema hii kampuni ni TRANSIT na inatumbulika KIMATAIFA kupitia TAASISI YA World Travel & Tourism Council (WTTC) | Travel & Tourism Representative Council.

Hii TAASISI YA World Travel & Tourism Council (WTTC) | Travel & Tourism Representative Council inatumbulika na ipo chini ya uangalizi wa UMOJA WA MATAIFA yaani United Nations | Peace, dignity and equality <BR>on a healthy planet. Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wanatambulika mpaka United Nations | Peace, dignity and equality <BR>on a healthy planet.

Sasa faida ya kutambulika kwenye BIASHARA ZA KIMATAIFA yaani WAINGEREZA 🇬🇧 wanaita GLOBAL TRADE ni UAMINIFU. Kwahiyo hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanaaminika kupitia TAASISI ZA KIMATAIFA, ndio maana wametulia na wanaendelea kujijenga KIBIASHARA na KISIASA.
 
Kama ndo hivyo what is our real GDP?
Kwa upande wa GDP sina UHAKIKA sana, kwa sababu kirefu cha neno GDP ni GROSS DOMESTIC PRODUCT yaani ni UZALISHAJI WA PATO LA NDANI na hakuna uhusiano wowote na UWEKEZAJI WA NJE unaofanywa na SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.
 
Kwa hiyo yote unayosema ni ya ukweli?

f3829a861170734ebad70d7f200c70d3.png


Kwa mfano, ukiwa unaenda ZAMBIA 🇿🇲 kwa kutumia MPAKA WA TUNDUMA - NAKONDE. Kwa upande wa ZAMBIA 🇿🇲, ukiwa umefika NAKONDE huwa kuna kampuni ya usafirishaji wa abiria ambayo huwa inaitwa POWER TOOLS LOGISTICS.

Hii kampuni ya POWER TOOLS LOGISTICS huwa inaanza safari zake kuanzia NAKONDE mpaka LUSAKA na baada ya hapo kuna safari nyingine za kwenda NCHI ZA NJE.

Hii kampuni ya POWER TOOLS LOGISTICS ni TRANSIT na inamilikiwa na SERIKALI kupitia UBALOZI WA TANZANIA 🇹🇿 uliopo ZAMBIA 🇿🇲 na basi zake zinakwenda mpaka AFRIKA YA KUSINI 🇿🇦.
 
Sasa hiyo itabaki na itaendelea kuwa ni SIRI YA SERIKALI, mimi binafsi siwezi kueleza.
Mimi napata ukakasi ukisema hii serikali ni tajiri Sana maana Naona sometime mambo mengi ya serikali inakwama Mara miradi mpaka wakope,misharaha hazipandishwi hasa serikali iliyopita,wazee wastaafu hawalipwi Kwa wakati sometime.pia unasema Timu nyingi kubwa ulaya na Afrika zinamilikiwa na Watanzania na baadhi ya makampuni makubwa it means Lakini ukubwa huu unaoongelea wa baadhi ya watanzania na Tanzania ni wa kutisha sana.lakini mbona kikawaida hatuonekani kuwa Tanzania ni chochote au nchi kubwa kama Marekani au China au nchi za ulaya.yaani hatuonekani kwamba ni nchi kubwa Sana?
 
View attachment 2085592

Kwa mfano, ukiwa unaenda ZAMBIA [emoji1268] kwa kutumia MPAKA WA TUNDUMA - NAKONDE. Kwa upande wa ZAMBIA [emoji1268], ukiwa umefika NAKONDE huwa kuna kampuni ya usafirishaji wa abiria ambayo huwa inaitwa POWER TOOLS LOGISTICS.

Hii kampuni ya POWER TOOLS LOGISTICS huwa inaanza safari zake kuanzia NAKONDE mpaka LUSAKA na baada ya hapo kuna safari nyingine za kwenda NCHI ZA NJE.

Hii kampuni ya POWER TOOLS LOGISTICS ni TRANSIT na inamilikiwa na SERIKALI na inakwenda mpaka AFRIKA YA KUSINI [emoji1221].
Duh
 

c86476346eb9d497549c2da9d2807133.png

Hii kampuni ya ROYAL AFRICA ni kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Hii kampuni ya ROYAL AFRICA ni kampuni ambayo inafanya shughuli zake pale pale ZAMBIA 🇿🇲.

6fabf1df4cba0c526ec1d4ecd93577fa.png

Hii kampuni ya SHALOM ni kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Hii kampuni ya SHALOM ni kampuni ambayo inafanya shughuli zake pale pale ZAMBIA 🇿🇲 na inatoka NJE YA NCHI na kuelekea JOHANNESBURG, AFRIKA YA KUSINI 🇿🇦.

Kwahiyo hii kampuni ya SHALOM ni TRANSIT na inatembea NCHI zaidi ya tatu hadi kufika AFRIKA YA KUSINI 🇿🇦.
 
Hii kampuni ya ROYAL AFRICA ni kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Hii kampuni ya ROYAL AFRICA ni kampuni ambayo inafanya shughuli zake pale pale ZAMBIA [emoji1268].

Hii kampuni ya SHALOM ni kampuni ambayo inamilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Hii kampuni ya SHALOM ni kampuni ambayo inafanya shughuli zake pale pale ZAMBIA [emoji1268] na inatoka NJE YA NCHI na kuelekea JOHANNESBURG, AFRIKA YA KUSINI [emoji1221].

Kwahiyo hii kampuni ya SHALOM ni TRANSIT na inatembea NCHI zaidi ya tatu hadi kufika AFRIKA YA KUSINI [emoji1221].
Inamaana hawa Mwashita na hawa serengeti wameshikilia uchumi wa afrika mashariki na kusini na afrika kiujumla?naona kutokana na maelezo yako wanamakampuni kila mahala?he kuna faida yoyote Kwa nchi ya Tanzania?
 
Hii ni NEWS FEED TELEGRAM ya TBC1 na kwa siku ya leo wanauliza swali kama hili - Leo ni maazimisho ya MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR. Nini kinakuvutia sana visiwani ZANZIBAR?

Sasa kinachovutia sana VISIWANI ZANZIBAR ni aina ya UVUMILIVU WA KISIASA unaopatikana kwenye VISIWA VYA UNGUJA na PEMBA.

Kwenye PICHA hapo juu anaonekana ni RAIS WA SASA WA SERIKALI YA ZANZIBAR, Dkt HUSSEIN ALLY MWINYI ambaye ni MTOTO wa RAIS MSTAAFU WA SERIKALI YA TANZANIA, Ndugu ALLY HASSAN MWINYI.

Huyu Dkt HUSSEIN ALLY MWINYI ambaye ndiye RAIS WA SERIKALI YA ZANZIBAR alishinda UCHAGUZI MKUU kwa njia ya SANDUKU LA KURA ambazo zilikuwa ni KURA ZA UMAARUFU WA KISIASA yaani WAINGEREZA [emoji636] wanaita ni POPULAR MAJORITY VOTES na sio KURA ZA MARUHANI kama WATU wengi wanavyodhani.

Hali hii ilikuwa ni tofauti kabisa na UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2000 ambapo AMAAN ABEID KARUME alishinda KITI CHA URAISI kwa KURA ZA UNYONGE WA KISIASA yaani WAINGEREZA [emoji636] wanaita ni POLITICAL PATRONAGE VOTES. Lakini mwisho wa siku, wote wamefanikiwa kuwa MARAIS WA SERIKALI YA ZANZIBAR kwa vipindi tofauti.

Sasa hii inatoa taswira gani kwa upande wa SIASA ZA ZANZIBAR? Hii inatoa taswira ya UVUMILIVU WA KISIASA ambao unatokana na UTASHI WA KISIASA walionao WATU WA PWANI.

Yaani kwa lugha nyingine tunaweza kusema hivi - hawa WATU WA PWANI wanakitumia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] kukwea MNAZI, kitu ambacho kimekuwa ni kigumu sana kufanikiwa kwa JAMII nyingine.

Na hii ndio SIASA! Narudia tena hii ndio SIASA ambayo inafanyika ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] na TANZANIA nzima kwa ujumla wake.
Sas ikiwa hvyo mbna Fatma karume Ana asili za upinzani wkt umezema haw Ni washirati
 
Mimi napata ukakasi ukisema hii serikali ni tajiri Sana maana Naona sometime mambo mengi ya serikali inakwama Mara miradi mpaka wakope,misharaha hazipandishwi hasa serikali iliyopita,wazee wastaafu hawalipwi Kwa wakati sometime.
Hayo ni MAMBO YA KISERIKALI! RUSHWA na UFISADI ndio unakwamisha malengo ya SERIKALI.
pia unasema Timu nyingi kubwa ulaya na Afrika zinamilikiwa na Watanzania na baadhi ya makampuni makubwa it means
RUSHWA na UFISADI haujaanza leo wala jana kwenye SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿. Haya matukio ya UPOTEVU WA FEDHA ZA UMMA yalikuwepo tangu mwaka 1961.

Na WATANZANIA wengi wamewekeza NJE YA NCHI kwa sababu ya USALAMA WA MITAJI na MAZINGIRA mazuri ya kufanya BIASHARA.

Kumiliki TIMU ZA MPIRA WA MIGUU kwa upande wa ULAYA NA AFRIKA ni kawaida kwa RAIA WA KAWAIDA, lakini SIO KAWAIDA kwa VIONGOZI WA KISERIKALI.

Kwa sababu kwa upande wa VIONGOZI WA KISERIKALI ni lazima MASWALI yawepo kuhusu upatikanaji wa FEDHA walizotumia kufanikisha kumiliki hizo TIMU ZA MPIRA WA MIGUU.

Lakini kwa RAIA WA KAWAIDA inakuwa ni vigumu kuhoji uhalali wao wa kumiliki hizo TIMU ZA MPIRA WA MIGUU na hata TIMU ZA MPIRA WA KIKAPU kwa sababu wao wanafanya BIASHARA na wanatambulika KITAIFA na KIMATAIFA.
Lakini ukubwa huu unaoongelea wa baadhi ya watanzania na Tanzania ni wa kutisha sana.
Ndio! WANASIASA na VIONGOZI WA KISERIKALI wamewekeza NJE YA NCHI kwa kiasi kikubwa sana.
lakini mbona kikawaida hatuonekani kuwa Tanzania ni chochote au nchi kubwa kama Marekani au China au nchi za ulaya.
TANZANIA 🇹🇿 kinachokwamisha ni RUSHWA na UFISADI wa MALI ZA UMMA.
yaani hatuonekani kwamba ni nchi kubwa Sana?
Kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU hawana SHIDA kabisa, kwa sababu wao baada ya kutoka kwenye VYAMA VYA USHIRIKA hawakuajiliwa popote zaidi ya kuendelea kufanya BIASHARA BINAFSI.

SHIDA ipo kwa WANASIASA na VIONGOZI WA KISERIKALI, ni lazima utaratibu uwepo wa kuonesha MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA yanasimamiwa na kutekelezwa kikamilifu ili kuzuia mianya ya RUSHWA.
 
Sas ikiwa hvyo mbna Fatma karume Ana asili za upinzani wkt umezema haw Ni washirati
WAZANZIBARI wengi huwa sio wafuasi kindaki ndaki wa CHAMA CHA MAPINDUZI, bali huwa wanakitumia CHAMA CHA MAPINDUZI kukwea MNAZI.
 
Inamaana hawa Mwashita na hawa serengeti wameshikilia uchumi wa afrika mashariki na kusini na afrika kiujumla?
Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wamejitahidi sana kuwekeza kwenye NCHI ZOTE ZA AFRIKA YA MASHARIKI na baadhi ya NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA.

Lakini hii JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wamewekeza sana AFRIKA YA MASHARIKI na KUSINI MWA AFRIKA kwa ujumla.

Hii JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ndio JAMII yenye UCHUMI MKUBWA kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI.

Hii JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ndio wenye CHAMA CHA MAPINDUZI kupitia kwa HAYATI MWALIMU mwenyewe.
naona kutokana na maelezo yako wana makampuni kila mahala?
Hawa SERENGETI yaani CHUI wanamiliki kampuni nyingi sana kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿 na hata NJE YA TANZANIA 🇹🇿.

Na kwa kukufahamisha tu, zile kampuni zote zinazoonekana kwenye BODI YA UDHAMINI WA CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ni kampuni za kibiashara ambazo zinazomilikiwa na SERENGETI yaani CHUI.
he kuna faida yoyote Kwa nchi ya Tanzania?
FAIDA ipo! Hasa kwenye kukusanya KODI na TOZO mbali mbali.
 
Back
Top Bottom