Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Kuna mahali uliandika kuwa waliingia makubaliano wasijihusishe na siasa Kwa miaka 30, na option ya pili ikawa huo muda ukiisha wakakubaliana kugawana CCM nusu Kwa nusu, ndio maana nikakuuliza je wakigawana nusu Kwa nusu CCM huoni kuwa lengo lao la kuwatoa chui na CCM litakuwa limeishia hapo hata kama wanamiliki vyama vya siasa.?
Jamii ya chui ipo tayari kuiachia Tanzania na kufikia makubaliano Kwa jinsi ambavyo walipanga? Na je gharama za kuniweka sawa ukanda wa nyonyo kuu wapo tayari kulipa?
 
Kuna mahali uliandika kuwa waliingia makubaliano wasijihusishe na siasa Kwa miaka 30,
Ndio! Na hayo MAKUBALIANO yalifanyika katika MKOA WA TABORA, mwaka 1992.

Hiyo miaka thelathini [30] inaisha mwaka huu. Kwahiyo kuanzia mwakani yaani mwaka 2023, hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 watakuwa wapo huru kujihusisha na SIASA ZA TANZANIA 🇹🇿.
na option ya pili ikawa huo muda ukiisha wakakubaliana kugawana CCM nusu Kwa nusu,
Hiyo ni SECOND OPTION itakayofuata, lakini sidhani kama itafanikiwa kwa sababu JAMII YA SERENGETI yaani CHUI watakuwa wamejipanga vizuri.
ndio maana nikakuuliza je wakigawana nusu Kwa nusu CCM huoni kuwa lengo lao la kuwatoa chui na CCM litakuwa limeishia hapo hata kama wanamiliki vyama vya siasa.?
Kusema UKWELI HALISI, lengo litakuwa limeishia hapo 🙏🏽
 
Ndio! Na hayo MAKUBALIANO yalifanyika katika MKOA WA TABORA, mwaka 1992.

Hiyo miaka thelathini [30] inaisha mwaka huu. Kwahiyo kuanzia mwakani yaani mwaka 2023, hawa MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] watakuwa wapo huru kujihusisha na SIASA ZA TANZANIA [emoji1241].

Hiyo ni SECOND OPTION itakayofuata, lakini sidhani kama itafanikiwa kwa sababu JAMII YA SERENGETI yaani CHUI watakuwa wamejipanga vizuri.

Kusema UKWELI HALISI, lengo litakuwa limeishia hapo [emoji1431]
Hapo nimekuelewa vizuri, umesema pia majirani wana hasira Sana na chui na kwanini baada ya kuweka hasira zao na kuivuruga chui waamue kuweka kinyongo na mtoto wa chui, je kwanini wasiharibu vitega uchumi vyote vya chui ili kulipa kisasi Chao?
 
Jamii ya chui ipo tayari kuiachia Tanzania na kufikia makubaliano Kwa jinsi ambavyo walipanga?
JAMII YA SERENGETI yaani CHUI hawataweza kufanya hivyo. Hilo liko wazi kabisa! Sema JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wamenufaika KIUCHUMI na wanaendelea kunufaika ipasavyo.
Na je gharama za kuniweka sawa ukanda wa nyonyo kuu wapo tayari kulipa?
WATU wenye NGUVU YA KIUCHUMI na KISIASA kwa upande wa KANDA YA ZIWA ni MWASHITA yaani SIMBA 🦁, wengine hawana kitu yaani ni BENDERA FUATA UPEPO.
 
JAMII YA SERENGETI yaani CHUI hawataweza kufanya hivyo. Hilo liko wazi kabisa!

Sema JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wamenufaika KIUCHUMI na wanaendelea kunufaika ipasavyo.

WATU wenye NGUVU YA KIUCHUMI na KISIASA kwa upande wa KANDA YA ZIWA ni MWASHITA yaani SIMBA [emoji881], wengine hawana kitu yaani ni BENDERA FUATA UPEPO.
Mkuu hapo nilimaanisha ukanda wa maziwa makuu.
BTW Asante Kwa hizi nondo kuna vitu umeniongezea Sana.
 
Hapo nimekuelewa vizuri, umesema pia majirani wana hasira Sana na chui na kwanini baada ya kuweka hasira zao na kuivuruga chui waamue kuweka kinyongo na mtoto wa chui, je kwanini wasiharibu vitega uchumi vyote vya chui ili kulipa kisasi Chao?
JAMII YA SERENGETI yaani CHUI wapo vizuri sana kimkakati na jinsi wanavyofanya biashara zao hauwezi kufahamu mpaka uambiwe. Kwa sababu wanatumia mfumo wa ACCORDANCE TO BUSINESS.

Yaani BIASHARA na MIRADI yao inafanywa na WATU wengine, lakini inakuwa ni KWA NIABA YA JAMII YA SERENGETI yaani CHUI.

Kwahiyo kuwagusa hauwezi ikizingatiwa kuwa wao ndio wenye CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na wao ndio wenye DOLA YA TANZANIA 🇹🇿.
 
Mkuu hapo nilimaanisha ukanda wa maziwa makuu.
BTW Asante Kwa hizi nondo kuna vitu umeniongezea Sana.
Wale wenyeji wa asili wa NCHI ZA MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION bado wana kinyongo, ndio maana HAYATI MWALIMU hakutaka kuwaweka WATOTO wake kwenye SIASA ZA KITAIFA kwa kuhofia KISASI kutoka kwa wale wenyeji wa asili wa NCHI ZA MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION.
 
Wale wenyeji wa asili wa NCHI ZA MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION bado wana kinyongo, ndio maana HAYATI MWALIMU hakutaka kuwaweka WATOTO wake kwenye SIASA ZA KITAIFA kwa kuhofia KISASI kutoka kwa wale wenyeji wa asili wa NCHI ZA MAZIWA MAKUU yaani GREAT LAKES REGION.
Bwana Sauli kama unavyomuita yeye kawekwa na Chui au Simba ,? Kama ni hivyo why huwa analeta chokochoko ilhali anajua nguvu ya kina Chui au Simba kupitia chama Cha nyundo?
 
Bwana Sauli kama unavyomuita yeye kawekwa na Chui au Simba ,? Kama ni hivyo why huwa analeta chokochoko ilhali anajua nguvu ya kina Chui au Simba kupitia chama Cha nyundo?
Unanifanya nifurahi kidogo 😁😁! Lakini ELIMU ni muhimu sana hasa kwenye kipindi hiki ambacho DUNIA imetawaliwa na USHINDANI.
 
Ndio nifafanulie hapo tafadhali usichoke ndugu.

-6004788910795894112_121.jpg

Sijui nikwambie nini? Lakini haya MAMBO huwa yanaanzia kwenye FAMILIA na ELIMU huwa ni jambo la msingi sana katika MAISHA YA BINADAMU.

Kwahiyo ni vyema kujipanga vizuri katika SEKTA YA ELIMU kwa sababu ndio CHIMBUKO LA MAFANIKIO linapoanzia. MAMBO mengine yanakuwa ni NYONGEZA tu 🙏🏽

-6006036976752506616_121.jpg

Baada ya kutoka kwenye ngazi ya KIFAMILIA ndio inakuja kwenye ngazi ya KIJAMII. Hapo ndio MABADILIKO YA KIJAMII yanapoanza kushamiri na kuonekana, lakini huwa yanaanzia kwenye NGAZI YA FAMILIA.

Na matokeo chanya kwenye JAMII yoyote ile, yanajengwa au yanachagizwa na FAMILIA zilizo bora. Na UCHUMI ndio huwa unaonekana katika MAZINGIRA mazuri kama hayo.

Hauwezi kuwa unashinda BAA kila siku unalewa POMBE kama MAJI, halafu utegemee utalea WATOTO watakaokuja kuwa kama wakina UHURU KENYATTA wa KENYA 🇰🇪 au SAMIA SULUHU HASSAN wa TANZANIA 🇹🇿. Aah! Jamani tuelezane UKWELI, hao WATOTO watakuwa ni VIBAKA au wakijitahidi sana watukuwa ni SUPER MARIOO 😁😁

Kwahiyo, hilo suala la BWANA SAULI kuwekwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 au JAMII YA SERENGETI yaani CHUI haina msaada kwa sasa. Hizo CHOKOCHOKO sioni kama ni tatizo, kwa sababu inaweza kuwa ni PROXY WAR lakini jambo la msingi na muhimu ni kuangalia mbele.
 
Sijui nikwambie nini? Lakini haya MAMBO huwa yanaanzia kwenye FAMILIA na ELIMU huwa ni jambo la msingi sana katika MAISHA YA BINADAMU.

Kwahiyo ni vyema kujipanga vizuri katika SEKTA YA ELIMU kwa sababu ndio CHIMBUKO LA MAFANIKIO linapoanzia. MAMBO mengine yanakuwa ni NYONGEZA tu [emoji1431]

Baada ya kutoka kwenye ngazi ya KIFAMILIA ndio inakuja kwenye ngazi ya KIJAMII. Hapo ndio MABADILIKO YA KIJAMII yanapoanza kushamiri na kuonekana, lakini huwa yanaanzia kwenye NGAZI YA FAMILIA.

Na matokeo chanya kwenye JAMII yoyote ile, yanajengwa au yanachagizwa na FAMILIA zilizo bora. Na UCHUMI ndio huwa unaonekana katika MAZINGIRA mazuri kama hayo.

Hauwezi kuwa unashinda BAA kila siku unalewa POMBE kama MAJI, halafu utegemee utalea WATOTO watakaokuja kuwa kama wakina UHURU KENYATTA wa KENYA [emoji1139] au SAMIA SULUHU HASSAN wa TANZANIA [emoji1241]. Aah! Jamani tuelezane UKWELI, hao WATOTO watakuwa ni VIBAKA au wakijitahidi sana watukuwa ni SUPER MARIOO [emoji16][emoji16]

Kwahiyo, hilo suala la BWANA SAULI kuwekwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] au JAMII YA SERENGETI yaani CHUI haina msaada kwa sasa. Hizo CHOKOCHOKO sioni kama ni tatizo, kwa sababu inaweza kuwa ni PROXY WAR lakini jambo la msingi na muhimu ni kuangalia mbele.
Nisipokuelewa hapo nitakuwa sijakutendea haki umesikika loud and clear.
 
Nisipokuelewa hapo nitakuwa sijakutendea haki umesikika loud and clear.

0a1fca025b35a34e28695c2e87aea863.png


c9d7809f6982e5fc23da9d90077ac19f.png


e3db69b65c1fd1a808f0a48e0b16ce30.png


d8c6725c4d929a16eedbc5f5c671a41e.png


f42e984b499d6006b0060a958caca8ca.png


658f628bae7d75c4fd519ae82d8ac1f5.png


d86fe1cfeb04b0182117168b85299907.png


aa2a00a91d135f2fad93d122a8697c11.png

Huo ndio UKWELI HALISI, mambo mengine tukielezana hapa tutakuwa tunadanganyana na kupeana MATUMAINI hewa!!

SIASA YA TANZANIA 🇹🇿 ilipofikia ilikuwa inahitaji MTU na MWANASIASA kama RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa KENYA 🇰🇪.

RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa ODM 🍊 amefanya kazi kubwa sana kwenye SIASA ZA KENYA 🇰🇪.

UDHARIMU unaofanyika nchini TANZANIA 🇹🇿 na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️, ndio UDHARIMU uliokuwa unafanyika nchini KENYA 🇰🇪 na CHAMA CHA KANU 🐓. Lakini kutokana na UTASHI WA KISIASA WA WATU WA KENYA 🇰🇪 ule UDHARIMU wote uliokuwa ukifanyika kwa miaka ya nyuma umepungua kabisa na kilichobaki ni UKINZANI WA MADARAKA.

Kwahiyo TASNIA YA SIASA YA TANZANIA 🇹🇿 ilikuwa inahitaji MTU na MWANASIASA mwenye WASIFU NA HAIBA kama RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa ODM 🍊.

RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa ODM 🍊 ana uwezo mkubwa sana wa KISIASA pamoja na uwezo mkubwa sana wa KIUCHUMI. Hali ambayo inawafanya WATAWALA yaani WATU WA MLIMA KENYA wasipate usingizi kwa HOFU YA KUPOTEZA MADARAKA.

Kwahiyo kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿 ni muhimu sana kuwa na MWANASIASA mwenye WASIFU NA HAIBA kama RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa ODM 🍊 na hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU tayari walishaanza kujijenga, kujipanga na kujiandaa kuja kuwa na MTU WA HAIBA NA WASIFU wa RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa ODM 🍊.

Hiyo inawezekana kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿, kwa sababu hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU tayari wanamiliki UCHUMI na kilichobaki ni kupata MTU SAHIHI wa kufanya SIASA SAFI kama anavyofanya KIONGOZI WA CHAMA CHA ODM 🍊, Bwana RAILA AMOLO OGINGA ODINGA.

Kusema UKWELI, sasa hivi TANZANIA 🇹🇿 hakuna UPINZANI MADHUBUTI wa kuweza kukabiliana na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ - iwe ni KIUCHUMI au hata KISIASA bado hakuna MWANASIASA wa kupambana na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.

Kwahiyo ni vyema na sahihi kuweza kuandaa VIONGOZI wa baadae wa kuweza kukabiliana na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.

c4309a25e29920f50ccd57bb35b938ba.png


Kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿 - WATANZANIA wengi wameshaamka na kilichobaki ni kupata MTU SAHIHI wa kufanya SIASA SAFI na mwenye kumiliki UCHUMI wa kuweza kuendesha shughuli za kisiasa.

addad4873be2ba589b330fd3e8af73a8.png


c4309a25e29920f50ccd57bb35b938ba.png


TANZANIA 🇹🇿 ikiwa na UPINZANI IMARA, ndio itakuwa na AFYA YA KISIASA na TAIFA LA TANZANIA 🇹🇿 litanufaika kutokana na AFYA NZURI YA KISIASA.

Kwahiyo kumiliki UCHUMI kwa MTU mmoja mmoja ni muhimu sana kwenye SIASA ZA USHINDANI na ni FAIDA KWA MASILAHI MAPANA YA TAIFA.
 

Huo ndio UKWELI HALISI, mambo mengine tukielezana hapa tutakuwa tunadanganyana na kupeana MATUMAINI hewa!!

SIASA YA TANZANIA [emoji1241] ilipofikia ilikuwa inahitaji MTU na MWANASIASA kama RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa KENYA [emoji1139].

RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa ODM [emoji521] amefanya kazi kubwa sana kwenye SIASA ZA KENYA [emoji1139].

UDHARIMU unaofanyika nchini TANZANIA [emoji1241] na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537], ndio UDHARIMU uliokuwa unafanyika nchini KENYA [emoji1139] na CHAMA CHA KANU [emoji239]. Lakini kutokana na UTASHI WA KISIASA WA WATU WA KENYA [emoji1139] ule UDHARIMU wote uliokuwa ukifanyika kwa miaka ya nyuma umepungua kabisa na kilichobaki ni UKINZANI WA MADARAKA.

Kwahiyo TASNIA YA SIASA YA TANZANIA [emoji1241] ilikuwa inahitaji MTU na MWANASIASA mwenye WASIFU NA HAIBA kama RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa ODM [emoji521].

RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa ODM [emoji521] ana uwezo mkubwa sana wa KISIASA pamoja na uwezo mkubwa sana wa KIUCHUMI. Hali ambayo inawafanya WATAWALA yaani WATU WA MLIMA KENYA wasipate usingizi kwa HOFU YA KUPOTEZA MADARAKA.

Kwahiyo kwa upande wa TANZANIA [emoji1241] ni muhimu sana kuwa na MWANASIASA mwenye WASIFU NA HAIBA kama RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa ODM [emoji521] na hawa MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU tayari walishaanza kujijenga, kujipanga na kujiandaa kuja kuwa na MTU WA HAIBA NA WASIFU wa RAILA AMOLO OGINGA ODINGA wa ODM [emoji521].

Hiyo inawezekana kwa upande wa TANZANIA [emoji1241], kwa sababu hawa MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU tayari wanamiliki UCHUMI na kilichobaki ni kupata MTU SAHIHI wa kufanya SIASA SAFI kama anavyofanya KIONGOZI WA CHAMA CHA ODM [emoji521], Bwana RAILA AMOLO OGINGA ODINGA.

Kusema UKWELI, sasa hivi TANZANIA [emoji1241] hakuna UPINZANI MADHUBUTI wa kuweza kukabiliana na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] - iwe ni KIUCHUMI au hata KISIASA bado hakuna MWANASIASA wa kupambana na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537].

Kwahiyo ni vyema na sahihi kuweza kuandaa VIONGOZI wa baadae wa kuweza kukabiliana na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537].

View attachment 2092534

Kwa upande wa TANZANIA [emoji1241] - WATANZANIA wengi wameshaamka na kilichobaki ni kupata MTU SAHIHI wa kufanya SIASA SAFI na mwenye kumiliki UCHUMI wa kuweza kuendesha shughuli za kisiasa.

View attachment 2092526

View attachment 2092535

TANZANIA [emoji1241] ikiwa na UPINZANI IMARA, ndio itakuwa na AFYA YA KISIASA na TAIFA LA TANZANIA [emoji1241] litanufaika kutokana na AFYA NZURI YA KISIASA.

Kwahiyo kumiliki UCHUMI kwa MTU mmoja mmoja ni muhimu sana kwenye SIASA ZA USHINDANI na ni FAIDA KWA MASILAHI MAPANA YA TAIFA.
Kabisa upo sahihi, uchumi na mtu sahihi ndio vitu muhimu Kwa siasa Bora, si unakumbuka mafuriko ya lowasa Kwa maelezo Yako alikosa , uchumi imara japo alikuwa mtu sahihi kubadili mchezo.
Sasa Nan ajaye nadhani Kwa muendelezo huu tusahau kupata mtu mbadala Kwa Karne nyingi.
 
Kabisa upo sahihi, uchumi na mtu sahihi ndio vitu muhimu Kwa siasa Bora, si unakumbuka mafuriko ya lowasa Kwa maelezo Yako alikosa , uchumi imara japo alikuwa mtu sahihi kubadili mchezo.
EDWARD NGOYAI LOWASA alikosa UCHUMI na hiyo ndio sababu iliyopelekea yeye kurudi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.

Halafu kitu kingine ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kuwa - KUNDI LA BOYS II MEN lililokuwa linajumuisha EDWARD NGOYAI LOWASA na JAKAYA MRISHO KIKWETE lilitengenezwa na CHAMA kwa MASILAHI ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ ili kuimarisha SIASA ZA NDANI YA CHAMA.

Lakini kiuhalisia hilo KUNDI LA BOYS II MEN halina madhara yoyote kwenye SIASA ZA KITAIFA.

Hii hali ya kutengeneza AINA YA MAKUNDI ndani ya CHAMA, hao CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ waliitoa kwenye VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Kule kwenye VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU kulikuwa na KUNDI LA WENGE MUSICA. Hilo KUNDI LA WENGE MUSICA ndio walikuwepo wakina MISTER ABILITY na KIDUDUYE.

Huyo KIDUDUYE ndio aliyefunga GOLI LA DHAHABU, wenyewe wanaita ni GOLDEN GOAL kule TABORA kwenye CHAMA CHA USHIRIKA cha WETCU baada ya kupiga SHILINGI MILIONI MIA TATU [ 300,000,000 ] za TUMBAKU, mwaka 1996. Na kesi yake iliendelea mpaka miaka ya 2002..

Hao KUNDI LA WENGE MUSICA ndio wamiliki halali wa kampuni ya MOTISUN GROUP iliyoanzishwa mwaka 1992 na kumuweka MAREHEMU SUBHASH MOTIBHAI PATEL kama ni MWENYEKITI NA MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA MOTISUN GROUP.

1546974951041.jpeg

Hizo kampuni zote za MOTISUN GROUP ni kampuni ambazo zinamilikiwa na WENGE MUSICA ambao ndio waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.
Sasa Nan ajaye nadhani Kwa muendelezo huu tusahau kupata mtu mbadala Kwa Karne nyingi.
Kwa upande mwingine sifahamu wanafanya vipi ili kuandaa VIONGOZI wa baadae, lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wanaandaa WATOTO wao kupitia TAASISI ZA VYUO VIKUU ili baadae waje kuongoza VYAMA VYA KISIASA ambavyo wanavimiliki wao wenyewe.
 
EDWARD NGOYAI LOWASA alikosa UCHUMI na hiyo ndio sababu iliyopelekea yeye kurudi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537].

Halafu kitu kingine ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kuwa - KUNDI LA BOYS II MEN lililokuwa linajumuisha EDWARD NGOYAI LOWASA na JAKAYA MRISHO KIKWETE lilitengenezwa na CHAMA kwa MASILAHI ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] ili kuimarisha SIASA ZA NDANI YA CHAMA.

Lakini kiuhalisia hilo KUNDI LA BOYS II MEN halina madhara yoyote kwenye SIASA ZA KITAIFA.

Hii hali ya kutengeneza AINA YA MAKUNDI ndani ya CHAMA, hao CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] waliitoa kwenye VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Kule kwenye VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU kulikuwa na KUNDI LA WENGE MUSICA. Hilo KUNDI LA WENGE MUSICA ndio walikuwepo wakina MISTER ABILITY na KIDUDUYE.

Huyo KIDUDUYE ndio aliyefunga GOLI LA DHAHABU, wenyewe wanaita ni GOLDEN GOAL kule TABORA kwenye CHAMA CHA USHIRIKA cha WETCU baada ya kupiga SHILINGI MILIONI MIA TATU [ 300,000,000 ] za TUMBAKU, mwaka 1996. Na kesi yake iliendelea mpaka miaka ya 2002..

Hao KUNDI LA WENGE MUSICA ndio wamiliki halali wa kampuni ya MOTISUN GROUP iliyoanzishwa mwaka 1992 na kumuweka MAREHEMU SUBHASH MOTIBHAI PATEL kama ni MWENYEKITI NA MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA MOTISUN GROUP.

Hizo kampuni zote za MOTISUN GROUP ni kampuni ambazo zinamilikiwa na WENGE MUSICA ambao ndio waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Kwa upande mwingine sifahamu wanafanya vipi ili kuandaa VIONGOZI wa baadae, lakini hawa MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU wanaandaa WATOTO wao kupitia TAASISI ZA VYUO VIKUU ili baadae waje kuongoza VYAMA VYA KISIASA ambavyo wanavimiliki wao wenyewe.
Aiseee hiyo paragraph ya mwisho nimeipenda Sana wameamua waandae wa kwao wenyewe wagombee kupitia vyama vyao wenyewe. Naisubiri huo wakati, nione Hali itakavyokuwa , kudos bro umenikosha Sana.
 
Kabisa upo sahihi, uchumi na mtu sahihi ndio vitu muhimu Kwa siasa Bora, si unakumbuka mafuriko ya lowasa Kwa maelezo Yako alikosa , uchumi imara japo alikuwa mtu sahihi kubadili mchezo.
Sasa Nan ajaye nadhani Kwa muendelezo huu tusahau kupata mtu mbadala Kwa Karne nyingi.



Hivi unafahamu kuwa MISTER ABILITY ndiye aliyetoa PESA, kiasi cha SHILINGI MILIONI ISHIRINI [ 20,000,000 ] ZA KITANZANIA 🇹🇿 ili PEPE KALLE atunge NYIMBO kuhusu timu ya mpira wa miguu ya YANGA SC? Hii ilifanyika mwaka 1995.

Halafu hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU ndio waliokuwa wadhamini na wamiliki halali wa BENDI ZA MUZIKI zilizokuwa zinaitwa WENGE MUSICA baadae ikaja WENGE BCBG na EXTRA MUSICA zote za nchini KONGO 🇨🇩.



Hili ni KUNDI LA WENGE MUSICA ilikuwa ni mwaka 1993.



Hili ni KUNDI LA WENGE MUSICA BCBG baada ya kutengana kwa KUNDI LA WENGE MUSICA



Hili ni KUNDI LA EXTRA MUSICA na hii NYIMBO ilitungwa kuwahusu wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU. Ilikuwa ni kama kuwatukuza baada ya mmoja wao kumiliki VILABU VYA MPIRA WA MIGUU VYA SIMBA SC na YANGA SC na VILABU vyote kushiriki MICHUANO YA KIMATAIFA.
 
Aiseee hiyo paragraph ya mwisho nimeipenda Sana wameamua waandae wa kwao wenyewe wagombee kupitia vyama vyao wenyewe. Naisubiri huo wakati, nione Hali itakavyokuwa , kudos bro umenikosha Sana.
Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa vyama vya ushirika vya NCU, SHIRECU na WETCU wapo vizuri sana KIUCHUMI na KISIASA.

Hauwezi ukawafananisha MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na hao WANASIASA wanaofugwa ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️. Ni MBINGU NA ARDHI!!

WATU ambao wanamiliki VYAMA VYA KISIASA wanastahili HESHIMA kubwa sana! Hata HASHIMU RUNGWE SPUNDA anastahili HESHIMA pamoja na chama chake cha CHAUMMA.

Achana na hao WANASIASA wanaofugwa ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️!! Huwa hawana lolote, hata PESA huwa hawana!! Ni maneno mengi na propaganda zisizokuwa na mwisho 😁😁😁
 
Tangu nipo shule ya msingi tulikua tunaaminishwa kwamba Mlm Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikua tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kua kuna watu wengine ambao bila wao mwalimu "asingetoboa" na pengine tusingemjua kabisa mwalimu Nyerere, au story yake ingekua "short lived". Mmoja wa hao watu ni OSCAR KAMBONA.

Nimezaliwa hapa Tanzania miaka ya 90 mpaka nimekua mtu mzima kila kitu ni Nyerere tu. Kambona nilimsikia baadae sana baada ya kusikia kisa cha huyu mtu nikawa interested sana kufuatilia stories zake.

kwa mujibu wa maandiko Kambona alikua bega kwa bega na mwalimu ktk kudai uhuru yaani ilikua akitoka mwalimu anaefuata ni Kambona lakini huwezi sikia hichi kitu kinasemwa waziwazi na pengine bila mawazo na support ya Kambona mwalimu "angefeli vibaya mno". Kambona ndio mtu aliezima mapinduzi yalioilenga serikali ya Nyerere kutoka kwa askari waliotaka kuasi, yaani kwa ufupi ni kwamba Nyerere asinge endelea kua mtawala wa nchi hii kama sio Kambona.

Kambona aliona mbali kuliko mwalimu Tanzania ya sasa ndio aliyoiona Kambona lakini mwalimu alipinga, Kambona aliona ubepari ndio utafanya kazi lakini mwalimu aliona ujamaa ndio unafaa, mwalimu "failed miserably" akatupeleka chaka mpaka leo we still pay for his "grave mistake".
Mwalimu alikua mbishi na aliamini kwamba yeye ndio ana maono bora kuliko wengine ,chochote kile ambacho kilikua hakiendani na sera zake alikipinga hata kama kilikua "viable". Fikiria mtu mmoja tu kaenda Urusi akafurahishwa na mfumo wa ujamaa akaja kuufanyia "experiment" hapa nchini na ukafeli kwasababu alikataa kusikiliza maoni ya watu wengine, kwa wakati huo mwalimu ndio alikua "kila kitu"

Kambona akatofautiana na mwalimu , yeye alitaka ubepari mwalimu alitaka ujamaa. Kutokana na ushawishi mwalimu alishinda japo Kambona ndie aliekua sahihi lakini hawakumskiliza. Baadae mwalimu alijua amekosea akaturudisha kwenye Ubepari na bado akaonekana ni "hero" . Kitu ambacho Oscar alikiona miaka kadhaa kabla wakati huo mwalimu alikua "blind" almost everyone was blind except the very few including Kambona.

Haya leo 2021 TZ hii ya leo ndio Kambona aliyoiona na tumechelewa sana, kwa mtazamo wangu bado tupo nyuma kwa miaka 15 kutokana na sera mbovu za mwalimu nyerere.

Wote ni marehemu wapumzike kwa amani lakini, mwisho wa siku Oscar Kambona ndio AMESHINDA!!!!! Kwangu mimi shujaa wa kweli nchi hii ni OSCAR KAMBONA na sio mwalimu! Na ndio mtu muhimu sana sawa na mwalimu lakini ndio aliesahaulikia kuliko wote nchi hii, natamani watanzania wengi tuliozaliwa miaka ya 90 wajue habari za huyu shujaaa ambaye ni co-founder wa hii nchi kwangu mimi alichangia 50% ktk kutengeneza taifa hili sawa sawa na mwalimu, yaani ni kama vile "stive wozniak na stive jobs", steve jobs alitumia akili za stive wozniak na credit akajiapa yeye mwenyewe

Aliyeweka Nyerere day kama public holiday alitumia vigezo gani ilihali si kweli kwamba Nyerere ndie mtu pekee aliepigania uhuru wa nchi hii

Ukiniambia nichague kati ya Nyerere na Kambona itakua ni Kambona always

UPDATE:
Watu wengi kwenye comments wanasema kwamba ujamaa ulituleta karibu, lakini ujamaa huo huo ndio uliotuletea umaskini, kwa hiyo logic yake ni kwamba mwalimu alichagua umaskini na umoja dhidi ya maendeleo ambayo hatuna uhakika kama yangetugawa, lakini kabla ya yote Kambona alimshauri kwamba kabla ya ku adopt ujamaa tuufanyie kwanza majaribio , tutengeneze vijiji vichache ambavyo vitaishi kijamaa ili tuone hii system itafanya kazi lakini mwalimu alikataa akaiingiza moja kwa moja bila kujua risks zake ni nini kitu ambacho kambona alishakiona


"Oscar Kambona was one of the best presidents Tanzania never had"
refence:

====

OSCAR KAMBONA: KIONGOZI MAHIRI, MTANASHATI NA RAFIKI KIPENZI WA MWALIMU NYERERE ALIYEISHIA KUWA ADUI YAKE MKUBWA!!!

Christopher Makwaia

WhatsApp%2BImage%2B2019-01-27%2Bat%2B19.28.10.jpeg

1. Usuli
Jioni ya Ijumaa ya tarehe 13.8.1925, huku mvua kubwà na radi kali zikirindima kijijini Kwambe, wilayani Mbinga, Mkoani Ruvuma, alizaliwa mtoto wa kiume akiwa buheri wa afya. Wazazi wa mtoto huyo, Rev. DAVID KAMBONA na Bi. MARIAM KAMBONA, wakampa mtoto huyo jina la OSCAR SATHIEL DAVID KAMBONA. Mvua na radi hiyo, kwa mujibu wa mila za kijijini hapo, "nyumbi hii, bombi hii", ilikuwa ni baraka na ishara kuwa mtoto huyo atakujakuwa wa kipekee.

2. Elimu Chini ya Mwembe
KAMBONA, tofauti na watoto wengine, hakusomea shuleni elimu ya awali bali alifundishwa na wazazi wake pamoja na mjomba wake ambao wote walikuwa walimu. Mafunzo hayo ya awali yalikuwa yakifanyika chini ya mwembe huku chai na mihogo vikiwa pembeni.

3. Elimu ya "Middle School"
Baadae KAMBONA alipelekwa shule ya Kati ya Mt. Barnabas, Liuli. Akiwa shuleni hapo, KAMBONA alikuwa kipanga na "aliwatimulia vumbi" wanafunzi wote kwa miaka yote alipokuwa shuleni hapo.

4. Alliance Sec. School
KAMBONA alifaulu vizuri mitihani yake na akachaguliwa kujiunga na "Alliance Sec. School", Idodomia ambayo baadae ikajaitwa Mazengo Sec. School. Almanusra KAMBONA asiendelee na masomo kwani baba yake hakuwa na uwezo wa kulipa £ 30 kwa mwaka. Uwezo wa KAMBONA "kutema yai" ndio uliomponya kwani alifanikiwa kumshawishi Askofu kumlipia ada hiyo baada ya kusali Sala ya Baba Yetu kwa Kiingereza!.

5. Tabora Boyz Sec. School
KAMBONA alisoma shule hii pamoja na J. Lusinde, E. Mzena, B. Ngwilulupi, A. Nsekela, A. Nyirenda na K. Chiume. Ni akiwa shuleni hapo ndipo kwa mara ya kwanza, KAMBONA alionana na NYERERE aliyekuwa akifundisha St. Marys, Tabora.
WhatsApp%2BImage%2B2019-01-27%2Bat%2B19.28.11%25281%2529.jpeg

6. Ualimu Alliance Sec. School
Baadae, KAMBONA alienda kufundisha shule hii na akakutana na J. Lusinde na K. Chiume na baadae akawa "Schoolmaster".

7. KAMBONA akutana na NYERERE tena
KAMBONA alikutana na NYERERE kwa mara ya 2 kwenye Mkutano wa taifa wa waalimu mwaka 1954.

8. KAMBONA Ajiunga TANU
Mwaka 1955, KAMBONA alijiunga na TANU iliyozaliwa tarehe 7.7.1954 na akaonesha bidii kubwa huku akifanya kazi kwa kujitolea kwani TANU haikuwa na fedha. Bidii yake ilipelekea kuwa Katibu Mkuu wa TANU.

9. KAMBONA Awaingiza TANU Watanganyika 100,000
KAMBONA alitembea nchi nzima kwa miezi 6 akionana na Machifu na wanavijiji na kufanikiwa kuingiza wanachama 10,000. Baadae akiendelea na harakati hizo na baada ya miezi 12 akawa ameingiza wanachama 100,000. Viongozi wenzake wa TANU walimpongeza sana kwani TANU ikawa inaenea kwa kasi sana.
WhatsApp%2BImage%2B2019-01-27%2Bat%2B19.28.11%25282%2529.jpeg

10. KAMBONA Afungua Akaunti ya Kwanza ya TANU
KAMBONA alikuwa na mawazo ya kimaendeleo kwani kutokana na michango ya wanachama aliweza kufungua akaunti ya kwanza ya TANU. Kwa hakika, hili lilikuwa ni jambo la kihistoria.

11. KAMBONA afuma "Governor's Scholarship" kusomea Sheria, UK
Mwaka 1957, KAMBONA alipata fursa ya kwenda UK kusomea LLB kwa miaka 3 na hivyo akaenda huko.

12. KAMBONA Awa Mtangazaji wa 1 wa Kiswahili BBC 1957
Tarehe 27.6.1957, KAMBONA aliweka historia kwa kutangaza Kiswahili BBC kwa mara ya 1 akisema-: "Hapa ni London, kwa mara ya kwanza BBC inawaletea habari kwa Kiswahili wananchi wa Afrika Mashariki. Asalaam Aleikhum".

13. KAMBONA awa Mwenyekiti wa TANU London
Kutokana na talanta yake kubwa ya uongozi, KAMBONA alichaguliwa kuwa Kiongozi wa wanafunzi chuoni na Mwenyekiti wa Tawi la TANU, London.

14. KAMBONA na NYERERE Washeachumba Chuoni London
Kati ya tarehe 26.6.1959 na 7.8.1959, NYERERE alikwenda UK kwa matayarisho ya uhuru wa Tanganyika na akalala chumba kimoja na KAMBONA ambaye walikuwa "wameshibana" sana. Katika "Press Conference" ya 1991 KAMBONA alisema- "TANU haikuwa na hela hivyo ili kubana matumizi, nikakaa na NYERERE room yangu chuoni na hii ilisaidia tuwe na muda mwingi wa majadiliano".

15. KAMBONA Amuoa MISS Tanganyika
Tarehe 19.11.1960, KAMBONA alimuoa Miss Tanganyika mrembo, Bi. FLORA MORIYO toka Kilimanjaro. Harusi hiyo ya kukata na shoka ilifanyika St. Paul Cathedral, London na kuhudhuriwa na wageni waalikwa 400. NYERERE alikuwa ndiye msimamizi aliyemsindikiza Bi. FLORA altareni. Ilikuwa ni harusi ya kwanza ya watu weusi kanisani hapo na ilitoka kwenye magazeti mbalimbali ya Ulaya.
WhatsApp%2BImage%2B2019-01-27%2Bat%2B19.28.12.jpeg

16. KAMBONA Arejea Bongo
KAMBONA alirejea Bongo kuendelea na harakati za uhuru akihudumu kama Waziri wa Elimu na Katibu Mkuu wa TANU.

17. KAMBONA Awa Waziri wa 1 wa Mambo ya Nje
Katika Baraza la kwanza la Mawaziri la Tanganyika, KAMBONA aliteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ulinzi.

18. KAMBONA Kipenzi cha 2 cha Wananchi baada ya NYERERE
KAMBONA alipendwa sana nchini kwani alikuwa msomi, mwanasiasa hodari, mtanashati na vijana wengi walimuiga staili yake ya nywele "KAMBONA Style". Kwa hakika, KAMBONA alipendwa sana.

19. KAMBONA- Kiongozi PEKEE Aliyewakabili Waasi, 1964
Usiku wa tarehe 19.1.1964, askari wa kambi ya Colito(Lugalo) waliasi wakidai marupurupu na nafasi za juu za vyeo kwa Waafrika. Rais NYERERE na Mh. RASHID MFAUME KAWAWA walitoroshwa na mlinzi wao, PETER BWIMBWO usiku wa manani hadi Kigamboni na kufichwa kwenye nyumbaya Mzee KIZWEZWE.

Mawaziri wote walibanisha makwao baada ya kupigiwa simu na Mh. J. LUSINDE, Waziri wa Mambo ya Ndani, kuhofia usalama wao. KAMBONA ndiye pekee aliyeingia "fronti" kwani si tu raia waliokuwa wakimpenda bali pia askari. Waasi walionekana kutulia baada ya mambo yao kuwekwa sawa lakini baada ya Rais NYERERE kuibukia Ikulu toka mafichoni baada ya siku 3, waasi "wakalianzisha" tena hivyo ikabidi maasi hayo yalizimwe kwa msaada wa Waingereza na baadae Wanaijeria.

20. KAMBONA Ashuhudia mchakato wa Muungano 1964
KAMBONA alikuwa ni mmoja wa mawaziri wachache sana waliokuwa wakijua mchakato wote wa muungano kwa undani na pia alishuhudia utiaji saini hati za muungano huko Zenji, tarehe 22.4.1964 kati ya Rais NYERERE na Rais wa Zanzibar, Mh. ABEID AMAN KARUME.

21. KAMBONA Atofautiana na NYERERE Mfumo wa Chama Kimoja
Baada ya ziara ya China 1965, NYERERE alivutiwa na "alikuwaameoza" kwa siasa za China na mfumo wao wa siasa hivyo akaunda Tume tarehe 28.1.1964 ili ipendekeze mfumo gani unaifaa nchi yetu. Tume hiyo ilikuwa chini ya Mh. KAWAWA ikapendekeza mfumo wa chama kimoja. KAMBONA, ambaye daima alikuwa hapepesi macho wala hayumbishwi, aliweka kunji na kutosaini ripoti hiyo na badala yake akatayarisha ripoti yake ya kutaka mfumo wa vyama vingi na NYERERE akahuzunishwa sana na msimamo huo wa KAMBONA.

Kipindi hiki NYERERE aliishamuondoa KAMBONA kwenye wizara zile nyeti.

22. NYERERE "Amchana" kiaina KAMBONA 77 ya 1966
Tarehe 7.7.1966, NYERERE, akihutubia Taifa katika sherehe za 77, NYERERE alitumia mafumbo "kumpa za uso" KAMBONA ambapo alisema viongozi wanaonekana kujipatia mali nyingi kiajabu hawafai hata kidogo.

23. KAMBONA Ajiuzulu u-Waziri na U-Katibu Mkuu TANU 1967
Tarehe 9.6.1967, KAMBONA alibwaga manyanga kwa kujiuzulu U-Katibu Mkuu wa TANU na Uwaziri wa Serikali za Mitaa na Maendeleo Vijijini ambapo alitaja sababu za kiafya kuwa ndizo zilipelekea achukue uamuzi huo.

24. KAMBONA Atorokea Kenya, 1967 ki-James Bond !!
Kwakuwa KAMBONA alikuwa ni mtoto wa mjini, alitonywa kwamba kuna mpango wa kumkamata na kumsweka kizuizini.
Hivyo, usiku wa kuamkia tarehe 26.7.1967, KAMBONA, mkewe, watoto wake 2 na msaidizi wa kazi walifunga virago na ku-drive hadi Kenya kwa staili ya "James Bond"! Watu wengi walipigwa butwaa ni kwq vipi aliweza kutoroka bila kubambwa!.

Usiku wa siku hiyo jijini Nairobi, KAMBONA na familia yake walikwea "pipa" East African Airways Flight 720 kwenda "Kwa Mama, huku, huku nyuma ikadaiwa alitoroka na mamilioni ya fedha!.

25. NYERERE Aelezea "Kusepa" kwa KAMBONA
Siku chache baada ya KAMBONA "kula kona", NYERERE, akiongea na viongozi wa TANU Morogoro, alisema : "Itachukua muda mrefu kufahamu sababu za Bw. KAMBONA kujiuzulu, lakini jambo moja ni dhahiri; KAMBONA amenidanganya mimi, TANU, TZ na Afrika".

26. KAMBONA Ajitetea UK
Baada ya kusikia vijineno kwamba amesepa na mamilioni, tarehe 6.9.1967, KAMBONA alikanusha vikali na kuitaka serikali ya Tanzania iwasiliane na ya Kenya kupata uthibitisho kitu ambacho serikali ya TZ hakikufanyika.

27. OTTIN na MATTIYA KAMBONA "Wasukumiziwa Ndani",1967
Hawa wadogo zake KAMBONA walionja "joto ya jiwe" kwani walinyakwa usiku tarehe 30.12.1967 na kuwekwa kizuizini, Ukonga.
Familia zao zikasambaratika vibaya sana kufuatia kukamatwa kwao. OTTIN alikuwa ni "Journalist" na MATTIYA alikuwa mfanyakazi Wizara ya Kilimo. OTTIN alikuwa amemuoa raia wa Martinique na walikuwa na watoto 2 wadogo na MATTIYA alikuwa amemuoa Mgambia wakiwa na mtoto wa miezi 3 tu. Wanawake hao walifukuziliwa mbali na kurudishwa makwao pamoja na watoto wao!.

28. KAWAWA "Amchana" KAMBONA Bungeni, 1968
Jumanne ya tarehe 23.1.1968, KAWAWA, 2nd VP, alilitaarifu Bunge:
"Wote mnajua kwamba Bw. KAMBONA aliikimbia nchi mwaka jana, 1967. Kabla hajaondoka, tarehe 6.12.1966, TZS 500.000/= ziliingizwa kwenye akaunti yake toka benki moja ya Uingereza. Uchunguzi wa BOT toka KAMBONA atoroke umeonesha kuwa tangu Juni 1965 na Desemba 1966, KAMBONA aliingiza katika akaunti yake jijini Dsm TZS 896,800/=. Kambona pia alikuwa anamiliki majumba mengi (Nyumba Magomeni-Plot No. 21,39 31), (Kunduchi bichi-Plot No.28), (Msasani bichi -Plot No. 92), (Morogoro-Plot No. 89) ns (Songea-Plot No.21)".

29. KAMBONA Amchana NYERERE nchini Nigeria, 1968
Baada ya TZ kuitambua Biafra, serikali ya Rais YAKUB GOWON ilikasirishwa sana hivyo ilimwalika KAMBONA aichafue TZ . Kwahakika, "jipu likawa limepata mkunaji" Hivyo, KAMBONA akaenda na kutoa muadhara Lagos tarehe 14.6.1968 ambapo "alimchana" vilivyo Rais NYERERE na kumwita dikteta. KAMBONA akaonesha kukosa uzalendo kwa taifa lake pale alipozomoka, bila ushahidi, kwamba TZ imepeleka vifaa vya kijeshi Biafra badala ya Zimbabwe!.

30. TANU "Yamfyekelea mbali" KAMBONA
NEC ya TANU iliyokuwa ikiketi Tanga, tarehe 19.10.1968, ilimvua uanachama KAMBONA pamoja na wabunge wengine 8 "Vichwa-maji" waliohoji uhalali wa TANU kuwa juu ya Bunge. Wabunge hao ni W. Mwakitwange, M. Choga, S. Kibuga, J. Bakampenja, E. Anangisye, G. Kaneno na Dr. F. Masha.

31. NYERERE "Amchana" tena KAMBONA, 1969
Tarehe 12.1.1969 kwenye sherehe za Mapinduzi Znz, NYERERE "alimuwakia" KAMBONA na kusema- "KAMBONA ni mwizi na mhuni kisiasa.

32. KAMBONA Akejeliwa Mashuleni na Majeshini
Nyimbo nyingi za kumkejeli KAMBONA zilitungwa majeshini na mashuleni lakini zilizokuwa maarufu ni hizi 2:
1. KAOMBONA Kaolewa wapi....? Kwa Wazungu...Kisa nini?...Tamaa ya Mali!

2. Alimselema ...alija, akija KAMBONA chinja... chinjilia mbali..!!.

33. KAMBONA Adaiwa ni _"Mastermind"_wa Uhaini, 1969
Mwaka 1969, KAMBONA alidaiwa kuwa "Mastermind" wa uhaini. Mashitaka yalikuwa kwamba washtakiwa 7 wakishirikiana na KAMBONA kati ya Machi 1968 na Octoba 1969, walitaka kumuua Rais NYERERE na kuipindua serikali. Washtakiwa hao 7 ni (Bibi Titi Mohamed , Michael Kamaliza, Gray Mattaka, John na Eliya Chipaka, Capt A. Milinga na W. Chacha).

Kesi ilianza kurindima Jumatatu tarehe 6.6.1970 na ilisikilizwa na Jaji Mkuu Georges na iliendeshwa na AG Mark Bomani. Wanafunzi wa Sekondari Tambaza(F.V Arts akiwepo Othman Chande, Jaji Mkuu wa 7) walikuwa wakijongo vipindi kwenda kortin kushuhudia kesi hii iliyokuwa na mvuto wa aina yake.

Washtakiwa wote walitiwa hatiani kasoro A. Milinga na KAMBONA ambaye hakuwepo. M. Kamaliza na mwenzake walipigwa "mvua" 10 na wengine walifungwa maisha na Bibi Titi akapata msamaha 1972.

34. OTTIN MATTIYA Waachiwa 1978
Tarehe 5.2.1978, katika kusheherekea mwaka 1 wa kuzaliwa CCM, NYERERE, akitumia ibaracya 45 ya Katiba, aliwaachia huru OTTIN na MATTIYA pamoja na JOSEPH KASELABANTU( Mwasisi wa TANU).
OTTIN na MATTIYA, baada ya kugundua familia zao hazipo, wakaona Bongo hamna ishu nao wakaamua pia kusepa. Walivuka mpaka wa TZ na Kenya usiku Kininja kwani mpaka huo ulikuwa umefungwa kutokana na uhasama bainavya TZ na Kenya na wakaelekea UK.

35. NYERERE NA KAMBONA walikuwa majirani Msasani
Baada ya KAMBONA kuondoka nchini 1967, nyumba yake ikawa inakaliwa na Rais MILTON OBOTE kwa takribani miaka 10 baada ya kupinduliwa na Nduli IDD AMIN, 1971.

36. Vyama Vingi vyaanzishwa Bongo, KAMBONA ataka kurejea
Baada ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa mwaka 1992, KAMBONA akiwa London alisema, ije mvua, lije jua, anarejea kwenye Taifa lake. Serikali ikamuonya kuwa asithubutu na akijifanya fyatu au kichwa-maji akatia pua yake tu Bongo, "hakuna rangi ataacha kuiona".

37. KAMBONA Aitunishia msuli serikali, Atinga Bongo
KAMBONA aliamua kuwa kama "Mbwai, mbwai tu" hivyo akaonesha "Shoo za kibabe" na kurejea nchini akisafiria nyaraka za Umoja wa Mataifa zilizotolewa na serikali ya UK. Aliporejea hakukamatwa na badala yake, tarehe 4.9.1992, serikali ilimpa miezi 3 aweke sawa uraia wake kwakuwa ni Mmalawi! Miezi hiyo iliisha tarehe 4.12.1992 na serikali "ikaufyata" kwani haikumfanya kitu chochote!.

38. KAMBONA aeleza sababu za kutoroka, 1967:
Baada ya kurejea nchini, KAMBONA alikata kiu ya wote waliotaka kujua kilichopelekea asepe "Kwa Mama" ni nini ambapo alitiririka:
"Mimi na NYERERE tumetoka mbali. Sisi ndio tuliokuwa Viongozi wakuu wa TANU; Yeye Mwenyekiti, mimi Katibu Mkuu. NYERERE aliporudi toka China 1965 alitaka kuleta sera za China na mfumo wa chama kimoja. Nikapingana nae.."

39. KAMBONA Aeleza alichokuwa akifanya UK
Wiki 2 baada ya kurejea nchini, KAMBONA alitiririka kitu alichokuwa akifanya nchini Uingereza kwa miaka 25 aliyoishi huko ambapo alisema- "I did business. I used to go to the Arab countries but this did not last. I then depended on income support from Britain. Every Tuesday You take your book to the Post office...

40. KAMBONA atishia "Kumwaga ugali na mboga" kuhusu NYERERE
Badala ya kushugulikia uraia, KAMBONA akaendeleza bifu lake na NYERERE ambapo alisema anataka kufanya mkutano mkubwa viwanja vya Jangwani ili aeleze ufisadi wa NYERERE. Mapadri na masheikh walimsihi sana lakini akashikilia msimamo wake.

41. KAMBONA Ambwelambwela Jangwani,1992
Tarehe 21.11.1992, viwanja vya Jangwani viliweka rekodi kutokana na umati mkubwa wa "wapenda ubuyu" uliojitokeza toka mida ya mchana kulisikia Jabali hilo litaeleza nini kuhusu Baba wa Taifa, Mwalimu NYERERERE.

KAMBONA aliwaboa sana 90% ya waliohudhuria kwani alidai, bila ushahidi, kuwa NYERERE, AMIR JAMAL na KAWAWA wameficha mamilioni ya fedha mabenki ya Ulaya. KAMBONA akaenda mbali na kudai NYERERE ni Mtutsi, KAWAWA na MKAPA ni watu wa Msumbiji na MALECELA ni Mcongoman!. Ikaonekana ni hekaya za Abunuwasi na hadithi za Esopo tu!.

42. NYERERE Amjibu KAMBONA
NYERERE, siku chache baadaye akiwa Msasani, aling'aka- "Mimi ni lofa. I dont have a single penny abroad, I can assure you. Kama RASHID na AMIR hawawekwi kundi la watu waaminifu duniani, labda neno uaminifu ni neno tu, halina maana. Hawa ni waaminifu sana. Pia, mimi sipendi kuhusishwa na mambo ya kijingajinga. Ni makosa kushindana na kundi la wapumbavu. Kambona alete ushahidi maana "any blessed fool could stand up there" na kusema chochote".

43. MAWAKILI wamchimba Mkwara-Mbuzi KAMBONA
Baada ya KAMBONA kutoa kashfa dhidi ya viongozi hao mashuhuri nchini, mawakili wa Viongozi hao walimpa siku 14 toka tarehe 8.12.1992 kuomba radhi au kutoa ushahidi.

KAMBONA aliwajibu kuwa _"Mtu mzima hatishiwi nyau"_na akachekesha watu pale alipodai _"Nondo" zake kuhusu "bank accounts" za viongozi hao amezisahau UK!.

44. KAMBONA Aunda TADEA
KAMBONA aliunda chama cha TADEA ambacho hakikuleta upinzani wowote wa maana.

45. KAMBONA afariki London, 1997
KAMBONA alifariki jijini London mwaka 1997 na mwili wake kuletwa nchini na kupokelewa na ndugu zake na kiongozi wa serikali, Mh. J.M. KIKWETE, Waziri wa Mambo ya Nje. Rafiki yake NYERERE hawakuwahi kuonana toka atoroke mwaka 1967 na wala hakwenda kwenye mazishi yake.

46. RAIS KIKWETE Akutana na Mke wa KAMBONA, 2007
Tarehe 28.6.2007 katika hotel ya Kilimanjaro Kempisk, Rais wa awamu ya nne, Mh. JK alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 50 ya BBC KISWAHILI. Mh. JK, akiwa na mcheshi na mwenye bashasha kama kawaida yake, alikutana na kusalimiana na Bi. FLORA KAMBONA ambaye alikuwa mgeni mahsusi kwani mmewe, KAMBONA ndiye aliyekuwa Mtangazaji wa 1 wa BBC Kiswahili, 1957.

46. MWISHO:
Huyu ndiye OSCAR SATIEL DAVID KAMBONA aliyekuwa chanda na pete na Mwalimu NYERERE lakini mwisho wakawa maadui wasio na mfanowe!.

Tafakuri Tunduizi:
ATIKALI HII YA KUKATA NA SHOKA ina Tafakuri Tunduizi 100!!!

OSCAR KAMBONA: KIONGOZI MAHIRI, MTANASHATI NA RAFIKI KIPENZI WA MWALIMU NYERERE ALIYEISHIA KUWA ADUI YAKE MKUBWA!!! - MICHUZI BLOG (issamichuzi.blogspot.com)

Oscar Kambona - Wikipedia
View attachment 1983785
Ni simulizi nzuri kwako umejitahidi kumfanya Kambona wako awe bora lakini sijaona ubora wake......Huyu aliyeapa kuilinda na kuitetea katiba ya Tanganyika.na Tanzania alikufa kwa uchu wa madaraka na ubinafsi..Alikosa Uzalendo kwa Taifa lake akishirikiana na wahuni wachache wakati huo tunawezaje kumuenzi sasa....
 
Back
Top Bottom