Sasa angalia hii VIDEO ya PAUL INGABIRE KAGAME aliyofanya MAHOJIANO na VYOMBO VYA HABARI. Angalia kwa MAKINI hiyo VIDEO [emoji1431]..
Halafu baada ya hawa MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU kuwa na UCHUMI wa kutosha kwenye miaka 1990's.
HAYATI MWALIMU aliwaambia hivi -
"Hii NCHI yaani TANZANIA [emoji1241] ni MALI YA JAMII YA SERENGETI yaani CHUI na walipewa kutoka kwa UINGEREZA [emoji636]. Hivyo na wao yaani JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] wanatakiwa wakatafute NCHI yao". Na HAYATI MWALIMU mwenyewe alikuwa tayari kuwasaidia kufanikisha hilo suala.
Hiyo ndio ikawa chanzo cha JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] kuingia MAKUBALIANO YA KUTOJIHUSISHA NA SIASA ZA TANZANIA [emoji1241] kwa kipindi cha miaka thelathini [ 30 ].
MAKUBALIANO YA KUTOJIHUSISHA NA SIASA ZA TANZANIA [emoji1241] yalifanyika katika MKOA WA TABORA na waliosimamia MAKUBALIANO hayo walikuwa ni Ndugu ALLY HASSAN MWINYI ambaye ndiye aliyekuwa RAIS WA SERIKALI YA TANZANIA [emoji1241] kwa kipindi hicho, HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA ambaye ndiye aliyekuwa WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA DIPLOMASIA kwa kipindi hicho na HAYATI MWALIMU mwenyewe.
MAKUBALIANO YA KUTOJIHUSISHA NA SIASA ZA TANZANIA [emoji1241] yanaisha mwaka huu na mwaka ujao yaani 2023, hii JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] watakuwa wapo huru kujihusisha na SIASA ZA TANZANIA [emoji1241].
Lakini mmoja wa VIONGOZI WA KISERIKALI waliyoyashuhudia MAKUBALIANO hayo alisikika akisema hivi -
"Hao MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] tayari tulishawasaidia kupata NCHI yao, kwahiyo na sisi watuachie NCHI yetu yaani NCHI YA TANZANIA [emoji1241]".
Kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] na wao wanapenda kushiriki SIASA ZA TANZANIA [emoji1241], kwa sababu na wao wana HAKI zote kama WATANZANIA WA ASILI. Ukizingatia wale wote waliohusika na MAKUBALIANO YA TABORA ni MTU mmoja tu ndiye aliyebaki ambaye ni Ndugu ALLY HASSAN MWINYI, wengine wote walishatangulia MBELE ZA HAKI.