Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Hapo ndio itakuwa ni mwisho wa SERIKALI inayoongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537]. Kwa sababu kipindi hayo yote yanafanyika, wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU walikuwa wanatumia majina ya WATOTO wao ili kuficha USHAHIDI.

Kwa mfano, kwa kutumia NYARAKA na TAARIFA zilizokuwa zinasoma kwa kipindi cha miaka ya 1993's - unaweza kuona mmiliki wa KUNDI LA WENGE MUSICA alikuwa ana umri wa miwili [ 2 ] tu! Kitu ambacho kinaleta ugumu kwenye UPANDE WA SHERIA.

SHIDA ipo kwa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537] na VIONGOZI wake, maana kuna baadhi ya VIONGOZI walikuwa wanasaini NYARAKA kama hakuna kesho [emoji1431][emoji1241][emoji1431]
Dooh, ila kudos Kwa wote Simba na Chui aisee hao ni mifano hai ya kuigwa , wamepambania vya kwao na jamii zao wameshinda . Je kuna dalili za kuinuka jamii nyingine kama hizo?
 
Dooh, ila kudos Kwa wote Simba na Chui aisee hao ni mifano hai ya kuigwa , wamepambania vya kwao na jamii zao wameshinda . Je kuna dalili za kuinuka jamii nyingine kama hizo?
Hakuna JAMII nyingine zenye dalili ya kuinuka ili ziwe kama JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 au JAMII YA SERENGETI yaani CHUI.

Hii inatokana na DUNIA kuwa katika UTANDAWAZI na MIFUMO IMARA YA ULINZI NA USALAMA.

Sasa hivi mambo mengi yanafanyika KIELOTRONIKI, hali ambayo inakuwa ni vigumu kupoteza au kupata kiasi kikubwa cha FEDHA kwa urahisi.

Vile vile MIFUMO YA ULINZI NA USALAMA imeimarishwa tofauti na miaka ya nyuma. Sasa hivi kuna MIFUMO YA ULINZI ya KIKANDA ambayo inajumuisha NCHI zaidi ya moja, hali hii inapelekea MATAIFA YA UKANDA huu wa AFRIKA YA MASHARIKI na MAZIWA MAKUU kwa ujumla kuwa na MIFUMO IMARA YA ULINZI tofauti na miaka ya nyuma.

Na sitegemei kama MAUAJI YA KIMBARI yatajirudia tena kwa NCHI ZA RWANDA 🇷🇼 na BURUNDI 🇧🇮 kwa sababu MIFUMO YA ULINZI NA USALAMA imeimarishwa sana, tofauti kabisa na miaka ya nyuma.
 
Dooh, ila kudos Kwa wote Simba na Chui aisee hao ni mifano hai ya kuigwa , wamepambania vya kwao na jamii zao wameshinda . Je kuna dalili za kuinuka jamii nyingine kama hizo?

f5f80fcc4674b8229db0d9a5b1b2731d.png

Sasa jaribu kuangalia picha za WENYEVITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1964 hadi mwaka 2022.

Kwahiyo ukiondoa JAMII YA SERENGETI yaani CHUI, kuna JAMII YA WATU WA PWANI. Hii JAMII YA WATU WA PWANI imejijenga sana kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.

Hii JAMII YA WATU WA PWANI imejijenga sana na hao VIONGOZI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR wana mchango mkubwa sana kwa JAMII wanayotoka.

Kuanzia kwa Sheikh ABEID AMANI KARUME aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1964 hadi mwaka 1972.

Halafu akafuatia Sheikh MWINYI ABOUD JUMBE aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1972 hadi mwaka 1984.

Halafu akafuatia ALI HASSAN MWINYI aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1984 hadi mwaka 1985.

Halafu akafuatia IDRIS ABDUL WAKIL aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1985 hadi mwaka 1990.

Halafu akafuatia SALMIN AMOUR aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1990 hadi mwaka 2000.

Halafu akafuatia AMANI ABEID KARUME aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 2000 hadi mwaka 2010.

Halafu akafuatia ALI MOHAMMED SHEIN aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 2010 hadi mwaka 2020.

Halafu akafuatia HUSSEIN ALI MWINYI ambaye ndiye MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 2020 hadi hivi sasa.

Kwahiyo SIASA ZA ZANZIBAR zimetawaliwa na FAMILIA hizo hapo juu na tutegemee kwa siku za usoni tutaona WATOTO au UBINI wa VIONGOZI wengine waliopita kama Sheikh MWINYI ABOUD JUMBE au IDRIS ABDUL WAKIL au SALMIN AMOUR au hata ALI MOHAMMED SHEIN. Hizo FAMILIA ndio wanamiliki nguvu kubwa ya KISIASA na KIUCHUMI kwa upande wa VISIWA VYA ZANZIBAR.

Vile vile hii JAMII YA WATU WA PWANI ilifanikiwa kutoa VIONGOZI WA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 kwa nyakati tofauti tofauti. VIONGOZI hao ni ALI HASSAN MWINYI, HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA, JAKAYA MRISHO KIKWETE na hatimae MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ambaye ndiye RAIS WA AWAMU YA SITA WA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.

Hii JAMII YA WATU WA PWANI imejijenga sana kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na wamefanikiwa kuwa na nguvu kubwa ya KISIASA na KIUCHUMI.

Hizi FAMILIA za kina Sheikh HAYATI ABEID AMANI KARUME, Sheikh MWINYI ABOUD JUMBE, ALI HASSAN MWINYI, IDRIS ABDUL WAKIL, SALMIN AMOUR, ALI MOHAMMED SHEIN, BENJAMIN WILLIAM MKAPA, JAKAYA MRISHO KIKWETE na hatimae MAMA SAMIA SULUHU HASSAN, hawa wote wameingia kwenye kundi la "ELITE FAMILIES" na wamejumuika pamoja na FAMILIA ZA HAYATI MWALIMU pamoja na HAYATI MAGUFULI kwa mbali sana.

Sasa hii JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wanafuata MTINDO NA MAISHA YA WATAWALA kwa kutumia jitihada zao BINAFSI. Kwa lugha nyingine tunaweza kuwaita ni WAPAMBANAJI na wamefanikiwa pakubwa sana.

Hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wanamiliki UKWASI wa kutosha!! Kiasi ambacho kinakadiliwa kuwa ni kuanzia shilingi bilioni hamsini [ 50,000,000,000 ] kwa kila mfanyakazi kuanzia CHEO CHA UMENEJA.

Na hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wanamiliki VYAMA VYA KISIASA ambavyo kwa kiasi fulani vinashiriki CHAGUZI mbalimbali na kufanikiwa kuunda SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA kwa upande wa ZANZIBAR.

Na hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio walioshiriki kwa kiasi kikubwa SIASA ZA MAZIWA MAKUU yaani WAINGEREZA 🇬🇧 wanaita ni GREAT LAKES POLITICS zilizojumuisha MATAIFA YA KONGO 🇨🇩, BURUNDI 🇧🇮 na RWANDA 🇷🇼.

SIASA ZA MAZIWA MAKUU ndio zilizopelekea MATAIFA ya RWANDA 🇷🇼 na BURUNDI 🇧🇮 kuingia kwenye MACHAFUKO YA KISIASA, lakini sasa hivi HALI YA KISIASA imetulia na haya MATAIFA yanaendelea vizuri kwenye masuala ya kimaendeleo.

aafcb691d62df30249e0b1f0ec5dd099.png

Hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kwenye SIASA ZA MAZIWA MAKUU, kiasi ambacho kinawafanya wasiwekeze nguvu kubwa kwenye VYAMA VYA KISIASA ambavyo wanamiliki kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA 🇹🇿.

Kwahiyo, hizi JAMII TATU zikiongozwa na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ambayo ndio anatoka HAYATI MWALIMU mwenyewe, ikifuatiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ambao ndio waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU na JAMII YA WATU WA PWANI, hizi JAMII TATU ndio JAMII ambazo zinamiliki nguvu kubwa ya KISIASA na KIUCHUMI na kwa kutumia lugha nyingine huwa wanaitwa ni MAFIGA MATATU.
 
Charles mandela hauboi haupoi.
Kudos
 
Jaribu kuangalia kwa MAKINI hiyo VIDEO inayoonesha BASI LA SIMBA COACH, kwa nyuma imewekwa BENDERA YA RWANDA 🇷🇼.
Sasa swali linakuja, wamiliki wa hiyo kampuni ya SIMBA COACH wana MAHUSIANO gani na NCHI YA RWANDA 🇷🇼? Pigia mstari, unapoona usiulize!

Nimepiga mstar,hata hao warembo hapo chini wanasura za simba.
 
Nimepiga mstar,hata hao warembo hapo chini wanasura za simba.

6f91d3cb4c6c8fd0514b3d9c6d642a82.png

SIASA ni SAYANSI! SIASA ni AJIRA! SIASA ni MAISHA YA KILA SIKU! Na hao kwenye PICHA hapo juu ndio wanaofahamu vizuri SIASA za CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na TANZANIA 🇹🇿 kwa ujumla wake. Wengine wakasome au wakatafute shughuli nyingine za kufanya 😎
 
Mkuu kuna vitu siwezi kuongea humu, ila
Nyerere alikua sahihi na wazee waliompitisha. Nitafute kwa mda wako, nimefanya tafiti kuhusiana na haya mambo miaka saba.
 
Hahaha kumbe ndo maana ukivamia siasa unakufa kama kuku
 
Mkuu kuna vitu siwezi kuongea humu, ila
Nyerere alikua sahihi na wazee waliompitisha. Nitafute kwa mda wako, nimefanya tafiti kuhusiana na haya mambo miaka saba.
Mku faida ya mitandao n kuitumia vizur kama haujavunja sheria kwann uogope kusema.unachosema leo kitakua faida kubwa kwa vizaz vijavyo.ndo uzur wa mitandao.mbona bwana charles anaweka elimu vizur tu kwa manufaa ya weng.
Naomba utupe elimu hyo
 
Kwa miaka ile ya uhuru, ujamaa ulikuwa ni essential sana kwa jamii yetu kwasababu taifa lilikuwa ni changa na hatukuwa sawa.

Ujamaa ulileta hali ya usawa na umoja katika kujenga taifa. Tukawa na lugha moja ya kiswahili na leo unaona faida yake unakwenda mkoa wowote na kuongea na watanzania wenzako bila pressure.

Pia kwa nyakati zile kulikuwa na baadhi ya watanzania walishaanza elements za matabaka, watu kama wachagga walikuwa na mifumo ya uchief akina mangi ambao waliamini ndio top position na waliiheshimu but Hayati baba wa taifa alifanya jitihada sana kukemea watu kujiona sio sehemu ya umoja wa taifa imagine leo bila kuwapo umoja wa taifa, kungekuwa na jamii zinawadominate wengine kwa ubabe na kuhodhi rasilimali kisheria kabisa bila kupingwa. Ila leo hapa ukiongea huo upuuzi kwanza kila mtu atakuona Takataka.

Kwahiyo ninyi watoto wa kizazi hiki cha sasa mkiwa mnaambiwa haya mastory ya ajabu ajabu ya sijui nani alifanya nini tumieni na akili zenu kuangalia kipi kinatija kipi hakina.

Sasa mfano unataka kwenye historia tuwaongelee wazee waliokuwa wanataka kumpindua nyerere kama akina bibi titi akina nani sijui yule aliyefia kigamboni ambao wao sera yao wamebeba maneno ya udini ndani yake kuwa waislaam ndio waligombania uhuru wa taifa hili.... Sasa unajiuliza huyu mtu anataka kila mtu aishi kwa misingi ya dini anayoiamini yeye au tumualeweje?!

So ni ubinafsi. Unapomuongelea nyerere hebu jaribu kwanza kumjua. Yule mzee alichofanya ni kutuwekea misingi bora sana ya jamii, sera ya ujamaa kwa nyakati zile ilikuwa muhimu sana katika kutuimarisha kama taifa changa lililotoka katika usimamizi wa wakoloni, sasa tungelianza hili taifa na sera za kibaguzi za kabila fulani liwe juu ya makabila mengine si ajabu leo katiba ungesema wasukuma, wachagga au wahaya au wahehe, au wazanaki, au wagogo ndio jamii teule ambayo inatakiwa kuwa katika uongozi. Au basi katiba ingesema dini ya usislam ndio dini ya taifa wengine nyie ni makafiri mtasali kwa maelekezo ya viongozi wa dini ya kiislam.

Haya yote nyerere aliyazima mapema sana. Na hao watu ambao unasikia walifutwa katika vitabu vya history sio kwasababu hawakuwa na mchango katika mapambano na harakati za uhuru, ila walikuwa na ajenda zao binafsi na za kimakundi.

Nitakupa mifano, wakati nyerere anakwenda kudai uhuru wa Tanzania nzima, kuna chifu sijui mangi nani yule alienda kudai uhuru wa wachaga tu baaasi, yaani kilimanjaro nadhani na Arusha kuwe ni taifa huru wasihusiane na jamii zingine, sasa huu ufala wewe unataka uandikwe katika history.

Kuna wapigania uhuru walitaka mpindua nyerere na kuanza harakati binafsi wao wakataka nyaraka za uhuru zitambue Tanzania ni jamii ya kiislam kama vile kule Sudan, somali, wakati kwa miaka ile karibu 90% ya watanzania hawapo katika Imani moja wala uislam. Sasa unataka vitabu vya history viwaongelee wapuuzi kama hawa hata kama walikuwa na harakati?!

Nyerere hata anafariki tazama maisha yake na familia yake, hivi unaweza fananisha na familia za akina mwinyi, mkapa, kikwete, na huyu wa sasa, hivi hata wanafanania.... Tazama walivyojiweka mbali na siasa za sasa. Tazama namna hawajihusishi na maswala ya uongozi au kuwa kiherehere.

Hivi mfano hili taifa lingekuwa Baba wa taifa ni kikwete, hivi 90% ya watendaji wa serikali si wangekuwa wakerewe, na katika noti hata ridhiwani angewekwa kama mtoto wa taifa. Maana sio kwa tamaa zao.

So, as much as tutamsema huyu mzee lakini, tukubali ana mema yake na ametufikisha hapa kwa wema tu sio hila wala nia mbaya. Na tunamsingi mzuri sana wa kujipanga na kuwa taifa bora afrika.

Huyu wa sasa anakosea kuleta sera za kijamaa za miaka ile nyakati hizi ambapo haziendani na nyakati hizi za mifumo ya uchumi ya soko huria.

Na tusipende kutumia neno uchumi wa kibepari bali tuseme uchumi wa soko huria.....

Tuendelee kuheshimu n akuenzi mema ya Baba wa taifa mwalimu J. K. Nyerere, na tujitahidi kuondoa huu mfumo wa ujamaa wa kifukara tujenge ujamaa wa kisasa wa soko huria ambapo tutashare mitaji, mbinu, ili tupambane na mataifa jiarani katika kuwa super economy wa afrika.
Natamani sana ndugu yangu unipe mawasiliano yako umeandika vitu vya maana sana umefumbua kitu hapa umetoa maoni mazuri kwa sisi vijana wa kizazi cha sasa tunarukia rukia tu asanteh sana
 
Hahaha kumbe ndo maana ukivamia siasa unakufa kama kuku

a40b79c02f75ca2a982414584d16877d.png

Ohoo! Unafikiri mchezo! Acha kabisa MAMBO ya SIASA! JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ilivyojijenga kwa upande wa TANZANIA 🇹🇿 ndio JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ilivyojijenga kwa NCHI ZA RWANDA 🇷🇼 na BURUNDI 🇧🇮.

Hao wote kwenye PICHA ni RDF na muda sio mrefu mpaka kufikia mwaka 2024 wataanza kuingia kwenye kampuni zote ambazo zinamilikiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU.

62a3e2129591080fbab21fdd6be13594.png

Kwa sababu hadi kufikia mwaka 2024, itakuwa ni miaka thelathini [ 30 ] baada ya MAUAJI YA KIMBARI. Kwahiyo miradi na kampuni zote ambazo zinamilikiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 itaanza kusimamiwa na wahusika wenyewe, ikiwemo ASKARI kutoka NCHI ZA RWANDA 🇷🇼 na BURUNDI 🇧🇮.
 
Ohoo! Unafikiri mchezo! Acha kabisa MAMBO ya SIASA! JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ilivyojijenga kwa upande wa TANZANIA [emoji1241] ndio JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] ilivyojijenga kwa NCHI ZA RWANDA [emoji1206] na BURUNDI [emoji1060].

Hao wote kwenye PICHA ni RDF na muda sio mrefu mpaka kufikia mwaka 2024 wataanza kuingia kwenye kampuni zote ambazo zinamilikiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU.

Kwa sababu hadi kufikia mwaka 2024, itakuwa ni miaka thelathini [ 30 ] baada ya MAUAJI YA KIMBARI. Kwahiyo miradi na kampuni zote ambazo zinamilikiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] itaanza kusimamiwa na wahusika wenyewe, ikiwemo ASKARI kutoka NCHI ZA RWANDA [emoji1206] na BURUNDI [emoji1060].
Kwanini Sasa hizo kampuni si zinamilikiwa na watanzania yaani hao Simba au wenyewe ni Watanzania wa huko.
 
Kwanini Sasa hizo kampuni si zinamilikiwa na watanzania yaani hao Simba au wenyewe ni Watanzania wa huko.

69c036afdb6a806cf9051d6e86857e91.png

Hawa ni WATANZANIA! Baada ya MAUAJI YA KIMBARI, MAJESHI yote ya NCHI ZA RWANDA 🇷🇼 na BURUNDI 🇧🇮 yalijengwa na ASKARI wengi kutoka MIKOA MITATU ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA 🦁 na ASKARI wachache walitoka kwenye MIKOA YA KAGERA na KIGOMA.

Kwahiyo TANZANIA 🇹🇿 ni NCHI yao ya ASILI ijapokuwa kuna wengine walizaliwa huko, lakini wazazi wao wana ASILI ya TANZANIA 🇹🇿.

Haya MAMBO huwa sio vizuri kuyajadili kwenye MITANDAO YA KIJAMII, lakini hii imefanyika kwa sababu ya kuweka kila kitu sawa. Hii itasaidia kuokoa MAISHA yetu sote na MAISHA ya wengine, hasa kwa watumiaji wa MITANDAO YA KIJAMII.

Kwahiyo JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio wanaoratibu kila kitu kwa sababu wanamiliki UCHUMI mkubwa.
 
Kwanini Sasa hizo kampuni si zinamilikiwa na watanzania yaani hao Simba au wenyewe ni Watanzania wa huko.

Jaribu kuangalia na kusikiliza kwa MAKINI hii ALBAMU ya WENGE MUSICA 4×4, iliyodhaminiwa na kumilikiwa na MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU. Halafu hii MADA sio nzuri! Inabidi tuishie hapa 😎..
 
Back
Top Bottom