Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Ni simulizi nzuri kwako umejitahidi kumfanya Kambona wako awe bora lakini sijaona ubora wake......Huyu aliyeapa kuilinda na kuitetea katiba ya Tanganyika.na Tanzania alikufa kwa uchu wa madaraka na ubinafsi..Alikosa Uzalendo kwa Taifa lake akishirikiana na wahuni wachache wakati huo tunawezaje kumuenzi sasa....
hatukuwepo kipindi hicho, lakini based on history tena ya kubangaiza hapa na pale( kwasababu huyu jamaa wamefuta history yake kabisa) alikua ni mtu poa sana na makini kuliko mwalimu!
 
Bwana Sauli kama unavyomuita yeye kawekwa na Chui au Simba ,? Kama ni hivyo why huwa analeta chokochoko ilhali anajua nguvu ya kina Chui au Simba kupitia chama Cha nyundo?

Sasa hili SWALI lako kuhusu BWANA SAULI kuwa amewekwa na JAMII YA CHUI au JAMII YA SIMBA 🦁, jibu lake utalipata hapa kwa kuangalia hii NYIMBO ya WENGE MUSICA iliyotungwa na kuandaliwa mwaka 1993, yaani mwaka mmoja kabla ya mauaji ya KIMBARI.

Hili KUNDI LA WENGE MUSICA ni KUNDI ambalo lilikuwa linamilikiwa na kudhaminiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Kwahiyo hiyo NYIMBO ni TUNGO iliyosheheni LUGHA NA PICHA YA KIMUUNDO. Sasa kazi imebaki kwako kudadavua 🙏🏽🇨🇩🇷🇼🇹🇿🇰🇪🇧🇮🙏🏽

#GreatLakesPolitics #SiasaZaMaziwaMakuu
 
Kumbe Hii mizk nyuma ya pazia imeficha mafumbo makubwa hv? Hii ndo faida ya mitandao
 
Sasa hili SWALI lako kuhusu BWANA SAULI kuwa amewekwa na JAMII YA CHUI au JAMII YA SIMBA [emoji881], jibu lake utalipata hapa kwa kuangalia hii NYIMBO ya WENGE MUSICA iliyotungwa na kuandaliwa mwaka 1993, yaani mwaka mmoja kabla ya mauaji ya KIMBARI.

Hili KUNDI LA WENGE MUSICA ni KUNDI ambalo lilikuwa linamilikiwa na kudhaminiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU.

Kwahiyo hiyo NYIMBO ni TUNGO iliyosheheni LUGHA NA PICHA YA KIMUUNDO. Sasa kazi imebaki kwako kudadavua [emoji1431][emoji1078][emoji1206][emoji1241][emoji1139][emoji1060][emoji1431]

#GreatLakesPolitics #SiasaZaMaziwaMakuu
Sawa sawa watu wanaratibu vinavyoonekana na visivyoonekana naona mwanzo mwanzo alama zikawekwa uone na utambue. Kudos mkuu endelea kutufumbua macho kila upatapo nafasi . Hata Kwa codes tu kama hivi.
 
Sawa sawa watu wanaratibu vinavyoonekana na visivyoonekana naona mwanzo mwanzo alama zikawekwa uone na utambue. Kudos mkuu endelea kutufumbua macho kila upatapo nafasi . Hata Kwa codes tu kama hivi.

Sasa angalia hii VIDEO ya PAUL INGABIRE KAGAME aliyofanya MAHOJIANO na VYOMBO VYA HABARI. Angalia kwa MAKINI hiyo VIDEO 🙏🏽..

Halafu baada ya hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU kuwa na UCHUMI wa kutosha kwenye miaka 1990's.

HAYATI MWALIMU aliwaambia hivi - "Hii NCHI yaani TANZANIA 🇹🇿 ni MALI YA JAMII YA SERENGETI yaani CHUI na walipewa kutoka kwa UINGEREZA 🇬🇧. Hivyo na wao yaani JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 wanatakiwa wakatafute NCHI yao". Na HAYATI MWALIMU mwenyewe alikuwa tayari kuwasaidia kufanikisha hilo suala.

Hiyo ndio ikawa chanzo cha JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 kuingia MAKUBALIANO YA KUTOJIHUSISHA NA SIASA ZA TANZANIA 🇹🇿 kwa kipindi cha miaka thelathini [ 30 ].

MAKUBALIANO YA KUTOJIHUSISHA NA SIASA ZA TANZANIA 🇹🇿 yalifanyika katika MKOA WA TABORA na waliosimamia MAKUBALIANO hayo walikuwa ni Ndugu ALLY HASSAN MWINYI ambaye ndiye aliyekuwa RAIS WA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 kwa kipindi hicho, HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA ambaye ndiye aliyekuwa WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA DIPLOMASIA kwa kipindi hicho na HAYATI MWALIMU mwenyewe.

MAKUBALIANO YA KUTOJIHUSISHA NA SIASA ZA TANZANIA 🇹🇿 yanaisha mwaka huu na mwaka ujao yaani 2023, hii JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 watakuwa wapo huru kujihusisha na SIASA ZA TANZANIA 🇹🇿.

Lakini mmoja wa VIONGOZI WA KISERIKALI waliyoyashuhudia MAKUBALIANO hayo alisikika akisema hivi - "Hao MWASHITA yaani SIMBA 🦁 tayari tulishawasaidia kupata NCHI yao, kwahiyo na sisi watuachie NCHI yetu yaani NCHI YA TANZANIA 🇹🇿".

Kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 na wao wanapenda kushiriki SIASA ZA TANZANIA 🇹🇿, kwa sababu na wao wana HAKI zote kama WATANZANIA WA ASILI. Ukizingatia wale wote waliohusika na MAKUBALIANO YA TABORA ni MTU mmoja tu ndiye aliyebaki ambaye ni Ndugu ALLY HASSAN MWINYI, wengine wote walishatangulia MBELE ZA HAKI.
 
Nakupata kwa karibu rais wa udom.
Mkuu una mambo meng sana hii ndo faida ya mitandao
Hapana, mimi sikuwa RAIS WA UDOM! Mimi nilikuwa RAIS WA CoHSS kwa mwaka 2012/13 na aliyekuwa MWENYEKITI WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA UDOM yaani UDOSO kwa mwaka 2012/13 ni PAUL YUNGE. Jina lake linataka kufanana na JINA LA RAIS WA RWANDA 🇷🇼.
 
Sasa angalia hii VIDEO ya PAUL INGABIRE KAGAME aliyofanya MAHOJIANO na VYOMBO VYA HABARI. Angalia kwa MAKINI hiyo VIDEO [emoji1431]..

Halafu baada ya hawa MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU kuwa na UCHUMI wa kutosha kwenye miaka 1990's.

HAYATI MWALIMU aliwaambia hivi - "Hii NCHI yaani TANZANIA [emoji1241] ni MALI YA JAMII YA SERENGETI yaani CHUI na walipewa kutoka kwa UINGEREZA [emoji636]. Hivyo na wao yaani JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] wanatakiwa wakatafute NCHI yao". Na HAYATI MWALIMU mwenyewe alikuwa tayari kuwasaidia kufanikisha hilo suala.

Hiyo ndio ikawa chanzo cha JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] kuingia MAKUBALIANO YA KUTOJIHUSISHA NA SIASA ZA TANZANIA [emoji1241] kwa kipindi cha miaka thelathini [ 30 ].

MAKUBALIANO YA KUTOJIHUSISHA NA SIASA ZA TANZANIA [emoji1241] yalifanyika katika MKOA WA TABORA na waliosimamia MAKUBALIANO hayo walikuwa ni Ndugu ALLY HASSAN MWINYI ambaye ndiye aliyekuwa RAIS WA SERIKALI YA TANZANIA [emoji1241] kwa kipindi hicho, HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA ambaye ndiye aliyekuwa WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA DIPLOMASIA kwa kipindi hicho na HAYATI MWALIMU mwenyewe.

MAKUBALIANO YA KUTOJIHUSISHA NA SIASA ZA TANZANIA [emoji1241] yanaisha mwaka huu na mwaka ujao yaani 2023, hii JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] watakuwa wapo huru kujihusisha na SIASA ZA TANZANIA [emoji1241].

Lakini mmoja wa VIONGOZI WA KISERIKALI waliyoyashuhudia MAKUBALIANO hayo alisikika akisema hivi - "Hao MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] tayari tulishawasaidia kupata NCHI yao, kwahiyo na sisi watuachie NCHI yetu yaani NCHI YA TANZANIA [emoji1241]".

Kwa upande wa MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] na wao wanapenda kushiriki SIASA ZA TANZANIA [emoji1241], kwa sababu na wao wana HAKI zote kama WATANZANIA WA ASILI. Ukizingatia wale wote waliohusika na MAKUBALIANO YA TABORA ni MTU mmoja tu ndiye aliyebaki ambaye ni Ndugu ALLY HASSAN MWINYI, wengine wote walishatangulia MBELE ZA HAKI.
Sasa Kwa muktadha huo kuna utata aisee, maana kama walipewa nchi Yao kina Simba wakiingia huku so watakuwa wanataka kuwa huku na huku? Sidhani kama wataruhusiwa nadhani tunapoelekea watagawana mbao , hata kama waingia makubaliano hawapo Tena ila maagano na makubaliano lazima yaheshimiwe.
 
Bwana Sauli kama unavyomuita yeye kawekwa na Chui au Simba ,? Kama ni hivyo why huwa analeta chokochoko ilhali anajua nguvu ya kina Chui au Simba kupitia chama Cha nyundo?
Halafu kitu kingine ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kuwa - IKULU YA RWANDA 🇷🇼 yaani URUGWIRO VILLAGE ina HATI MILIKI ambayo inasoma JINA LA MTU.

HATI MILIKI ya MAJENGO YA IKULU YA RWANDA 🇷🇼 yanasoma JINA LA MTU, hilo JINA sio JINA LA RAIS WA RWANDA 🇷🇼 wala sio JINA LA SERIKALI YA RWANDA 🇷🇼. Hilo JINA ukilifahamu ndio wamiliki halali wa SERIKALI YA RWANDA 🇷🇼 inayoongozwa na CHAMA TAWALA kinachoitwa RPF - INKOTANYI.

Hilo JINA KAMILI ambalo linasoma kwenye HATI MILIKI ya MAJENGO YA IKULU YA RWANDA 🇷🇼 ukilifuatilia sana utagundua taarifa za hilo JINA zinapatikana nchini TANZANIA 🇹🇿.

Hao ndio waliomuweka BWANA SAULI na hapo ndipo utafahamu kuwa ni JAMII YA SERENGETI yaani CHUI au JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ndio iliyomuweka BWANA SAULI kama KIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI.. 🙏🏽🇷🇼🙏🏽
 
Halafu kitu kingine ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kuwa - IKULU YA RWANDA [emoji1206] yaani URUGWIRO VILLAGE ina HATI MILIKI ambayo inasoma JINA LA MTU.

HATI MILIKI ya MAJENGO YA IKULU YA RWANDA [emoji1206] yanasoma JINA LA MTU, hilo JINA sio JINA LA RAIS WA RWANDA [emoji1206] wala sio JINA LA SERIKALI YA RWANDA [emoji1206]. Hilo JINA ukilifahamu ndio wamiliki halali wa SERIKALI YA RWANDA [emoji1206] inayoongozwa na CHAMA TAWALA kinachoitwa RPF - INKOTANYI.

Hilo JINA KAMILI ambalo linasoma kwenye HATI MILIKI ya MAJENGO YA IKULU YA RWANDA [emoji1206] ukilifuatilia sana utagundua taarifa za hilo JINA zinapatikana nchini TANZANIA [emoji1241].

Hao ndio waliomuweka BWANA SAULI na hapo ndio utafahamu kuwa ni JAMII YA SERENGETI yaani CHUI au JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA ndio iliyomuweka BWANA SAULI kama KIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI.. [emoji1431][emoji1206][emoji1431]
Aisee , Sasa huyu muajiriwa mbona alileta Ile chokochoko kipindi Cha msafiri kafiri , je alinena Yale Kwa niaba ya Simba? Kama alinena hayo Kwa niaba ya Simba je Simba walikuwa tayari kupambana na chui kupitia Dola Yao? Na kama hakusema Kwa niaba je aliamua kusimama pekeake bila Simba hapo mkuu Charles Mandela hebu nidadavulie. Je alipima na kuamua kuingia front mwenyewe? Hilo swala la ye kuwa ideal Prezoo nilipata hata Ile ya kuugua na kutumiwa vile vitu vyake vyote had akaendewa kiwandani na kuhamishwa ghetto la kulala nilisikia je kwanini alitake risk hivyo kudeclare vile?
 
Sasa Kwa muktadha huo kuna utata aisee, maana kama walipewa nchi Yao kina Simba wakiingia huku so watakuwa wanataka kuwa huku na huku? Sidhani kama wataruhusiwa nadhani tunapoelekea watagawana mbao , hata kama waingia makubaliano hawapo Tena ila maagano na makubaliano lazima yaheshimiwe.
Patachimbika!! Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU huwa wanamuheshimu ALLY HASSAN MWINYI tu, ambaye ndiye aliyekuwa RAIS WA AWAMU YA PILI kipindi MAKUBALIANO YA TABORA yanafanyika.
 
Patachimbika!! Hawa MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU huwa wanamuheshimu ALLY HASSAN MWINYI tu, ambaye ndiye aliyekuwa RAIS WA AWAMU YA PILI kipindi MAKUBALIANO YA TABORA yanafanyika.
Hehehe Kwa Hali hiyo naiman washasort out kipi kifuate Kwa ustawi wa pande zote mbili Kwa maana Nina hakika wakigawana mbao hamna yeyote ataebaki salama.
 
Aisee , Sasa huyu muajiriwa mbona alileta Ile chokochoko kipindi Cha msafiri kafiri , je alinena Yale Kwa niaba ya Simba? Kama alinena hayo Kwa niaba ya Simba je Simba walikuwa tayari kupambana na chui kupitia Dola Yao? Na kama hakusema Kwa niaba je aliamua kusimama pekeake bila Simba hapo mkuu Charles Mandela hebu nidadavulie. Je alipima na kuamua kuingia front mwenyewe? Hilo swala la ye kuwa ideal Prezoo nilipata hata Ile ya kuugua na kutumiwa vile vitu vyake vyote had akaendewa kiwandani na kuhamishwa ghetto la kulala nilisikia je kwanini alitake risk hivyo kudeclare vile?
Yote ambayo huwa anayasema BWANA SAULI huwa ni KAULI ZA MUAJIRIWA wake na huwa sio yeye na wala hausiki na yale yote yanayofanyika na kuendelea ndani ya CHAMA TAWALA NA SERIKALI.
 
Yote ambayo huwa anayasema BWANA SAULI huwa ni KAULI ZA MUAJIRIWA wake na huwa sio yeye na wala hausiki na yale yote yanayofanyika na kuendelea ndani ya CHAMA TAWALA NA SERIKALI.
Ndio maana nikauliza hapo kama ni kauli ya muajiri wake je waliamua liwalo na liwe na chui? Maana wanajua fika mwenye Dola ya Tanzania ni chui kupitia mradi wa chui, je waliamua wagawane mbao na chui ?
 
Hehehe Kwa Hali hiyo naiman washasort out kipi kifuate Kwa ustawi wa pande zote mbili Kwa maana Nina hakika wakigawana mbao hamna yeyote ataebaki salama.
Hawa MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU watakuwa hawana cha KUPOTEZA, lakini SHIDA itakuwepo kwa WATAWALA yaani CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.
 
Hawa MWASHITA yaani SIMBA [emoji881] yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU watakuwa hawana cha KUPOTEZA, lakini SHIDA itakuwepo kwa WATAWALA yaani CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM [emoji3537].
Usiseme hawana , wote watapoteza maana wote wanajuana wapi n wapi labda useme waamue kupoteza vyote, maana hata hao watawala watago above and beyond kushikishana adabu.
 
Ndio maana nikauliza hapo kama ni kauli ya muajiri wake je waliamua liwalo na liwe na chui? Maana wanajua fika mwenye Dola ya Tanzania ni chui kupitia mradi wa chui, je waliamua wagawane mbao na chui ?
Ile ilikuwa ni VITA YA MANENO dhidi ya aliyekuwa RAIS WA AWAMU YA NNE WA TANZANIA 🇹🇿.
 
Usiseme hawana , wote watapoteza maana wote wanajuana wapi n wapi labda useme waamue kupoteza vyote, maana hata hao watawala watago above and beyond kushikishana adabu.
Hapo ndio itakuwa ni mwisho wa SERIKALI inayoongozwa na CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️. Kwa sababu kipindi hayo yote yanafanyika, wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA NCU, SHIRECU na WETCU walikuwa wanatumia majina ya WATOTO wao ili kuficha USHAHIDI.

Kwa mfano, kwa kutumia NYARAKA na TAARIFA zilizokuwa zinasoma kwa kipindi cha miaka ya 1993's - unaweza kuona mmiliki wa KUNDI LA WENGE MUSICA alikuwa ana umri wa miwili [ 2 ] tu! Kitu ambacho kinaleta ugumu kwenye UPANDE WA SHERIA.

Kwahiyo, SHIDA ipo kwa CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na VIONGOZI wake, maana kuna baadhi ya VIONGOZI walikuwa wanasaini NYARAKA kama hakuna kesho 🙏🏽🇹🇿🙏🏽
 
Back
Top Bottom