Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Sasa mbona Tanzania ni Taifa masikini?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Maswali mengine unanifanya nicheke kidogo! Kwa sababu, hata mimi binafsi sifahamu kwanini TANZANIA ni masikini [emoji23][emoji23]
Siku ukitoa ushahidi unaoeleweka kuhusu unachozungumza ndo utaaminika Kwa kiwango juu.kwa sababu wewe usema timu kubwa za ulaya,afrika,makampuni makubwa mbalimbali duniani yanamilikiwa na wenyeji wa Tanzania.It does not make sense.Then Kwa hayo unayozungumza Tanzania inatakiwa kuwa nchi giant.Mfano Marekani ni taifa kubwa pia Kwa sababu inamakampuni makubwa eg Coca-Cola,pepsi nk.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Kijana wa miaka ya 90. Kwanza nakubaliana na wewe kuhusu umahiri wa Mzee Kambona katika uongozi smart. Lakini....
Muhimu utambue kuwa Siasa za ujamaa na kujitegemea hazikuwa mbaya. Tatizo lilikuwa ni namna gani zinafanyiwa kazi.
Kasome historia ya China, Libya, Cuba na Korea ya kiduku (ni success stories siasa za mlengo wa kushoto zitakazoweza kukufungua)
Kutofautiana kimtazamo baina ya viongozi sio kitu kibaya, muhimu ni kufikia makubaliano ya pamoja na kusonga mbele. Siasa zile zingeeleweka na kutekelezwa kwa uzalengo na vitendo, ungelikuta Taifa la raha na furaha katika ujana wako.
Ulafi, Majivuno, Uvivu na usaliti vinaweza kuwa Sababu zilizotufikisha hapa. Lakini sio Falsafa tuliyoadopt.
 
Siku ukitoa ushahidi unaoeleweka kuhusu unachozungumza ndo utaaminika Kwa kiwango juu.
Sasa wewe unataka nikupe USHAHIDI gani? Mimi sio MTU MUONGO mpaka nikudanganye wewe.

Au ulikuwa unataka nikuambie nini kuhusu TANZANIA? Kwa sababu mimi nimeshakwambia sifahamu kwanini TANZANIA ni MASIKINI!

Sasa kama wewe unafahamu kwanini TANZANIA ni MASIKINI, naomba utuambie hapa na utueleze kinagaubaga 😂😂
kwa sababu wewe usema timu kubwa za ulaya,afrika,makampuni makubwa mbalimbali duniani yanamilikiwa na wenyeji wa Tanzania.
Hayo unayasema wewe, sio mimi!!
It does not make sense.
It does make sense.
Then Kwa hayo unayozungumza Tanzania inatakiwa kuwa nchi giant.
Ni kweli! TANZANIA ilitakiwa kuwa GIANT NATION, lakini kutokana na aina ya SIASA ndio imelifikisha hapa TAIFA lilipo leo.
Mfano Marekani ni taifa kubwa pia Kwa sababu inamakampuni makubwa eg Coca-Cola,pepsi nk.
Kwa TAIFA LA MAREKANI ni habari nyingine kabisa! Kwa sababu utamaduni wao ulianzia ULAYA na wamestaarabika tangu siku.

Haya MAKAMPUNI makubwa ya kibiashara huwa wanaita ni CORPERATIVE COMPANIES yaani ni MASHIRIKA YA KISERIKALI.

COCA - COLA ni kampuni kubwa sana DUNIANI na wanafanya TRADEMARKING kwenye MATAIFA mbalimbali na sehemu tofauti tofauti, yaani wao ndio wenye HATI MILIKI ya KAMPUNI ya COCA - COLA na VIRUTUBISHO [ DETERGENTS ] vyote vinavyotengeneza kinywaji cha COCA - COLA.

Vilevile PEPSI ni kampuni kubwa sana DUNIANI na wanafanya TRADEMARKING kwenye MATAIFA mbalimbali na sehemu tofauti tofauti, yaani wao ndio wenye HATI MILIKI ya PEPSI na VIRUTUBISHO [ DETERGENTS] vyote vinavyotengeneza kinywaji cha PEPSI.

Sasa haya mambo, hawa wenzetu walianza kuyafanya tangu karne ya 18 [ 1800's ]. Huku AFRIKA tumeanza kuyafanya haya mambo kwenye karne ya 20 [ 2000's ]. Kwahiyo lazima tofauti iwepo.

Sasa hivi kama umeona hata SERIKALI YA TANZANIA yenyewe imeanza kuwa na CORPORATIVE COMPANIES yaani MASHIRIKA YA KISERIKALI. Lakini bado wanafanya SIRI kwa sababu za kiulinzi na kiusalama.
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Badilikeni 👏🏿
 
Sasa mbona Tanzania ni Taifa masikini?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app


Jaribu kuangalia na kusoma kwa MAKINI hii taarifa ya WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO ya mwaka 2022.

Hiyo ni ORODHA YA MISAADA NA RUZUKU ambayo SERIKALI YA TANZANIA ilipokea kutoka MATAIFA RAFIKI na TAASISI ZA KIMATAIFA.

Kwa kutizama kwa MAKINI utaona ni kiasi cha shilingi trilioni moja ambayo SERIKALI YA TANZANIA ilipokea kwa mwaka 2019/2020 na mwaka 2020/21. Hali hii huwa inafanyika kila mwaka.

Sasa swali linakuja - Hizi FEDHA zote ambazo SERIKALI YA TANZANIA inapokea huwa inazipeleka wapi?

Majibu ya hilo swali ndio utafahamu kwanini TANZANIA ni TAIFA MASIKINI, lakini WANANCHI wake sio WATU MASIKINI.
 
Mfano Marekani ni taifa kubwa pia Kwa sababu inamakampuni makubwa eg Coca-Cola,pepsi nk.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Yaani hapa umeandika kitu cha maana sana. Hiki kitu WAINGEREZA huwa wanaita ni "DESTINATION" au kwa lugha ya kiswahili wanaita UTAMBULISHO.

WAINGEREZA huwa wana utamaduni wa kuuliza maswali haya - "What is your favorite destination?" AU "What makes you proud?". Yaani ni kitu gani ambacho kinakutambulisha wewe AU kitu gani ambacho unajivunia.

Sasa kwa MATAIFA yalioendelea yana vitu vingi sana ambavyo wanavitumia kama UTAMBULISHO yaani DESTINATION.

Kwa upande wa MAREKANI wana vitu vingi sana ambavyo wanavitumia kama UTAMBULISHO wao yaani DESTINATION. Kwa mfano APPLE, HP, COCA-COLA, PEPSI, BLACKBERRY, FORD na n.k.

Kwa upande wa UINGEREZA wanatumia VILABU VYA MPIRA WA MIGUU kama UTAMBULISHO wao yaani DESTINATION. Kwa mfano MANCHESTER UNITED, CHELSEA, TOTTENHAM HOTSPURS n.k

Kwa upande wa SWIDENI wanatumia SCANIA, KELTRUCK na VOLVO kama UTAMBULISHO wao yaani DESTINATION.

Kwa upande wa ITALIA wanatumia IVECO kama UTAMBULISHO wao yaani DESTINATION. Vilevile wanatumia VILABU VYA MPIRA WA MIGUU kama UTAMBULISHO wao yaani DESTINATION. Kwa mfano JUVENTUS, INTER MILAN, AC MILAN, AS ROMA na n.k

Kwa upande wa UJERUMANI wanatumia BAVARIA, MAN, VOLKSWAGEN, MERCEDES BENZ, AUDI au VILABU VYA MPIRA WA MIGUU kama UTAMBULISHO wao yaani DESTINATION na WAJERUMANI wanafanya mambo makubwa sana, sema huwa sio WATU wa kujitangaza. Huwa ni WATU wakimya.

Kwa upande wa UHOLANZI wao wanatumia DAF na HEINEKEN kama UTAMBULISHO wao yaani DESTINATION.

Kwa upande wa KOREA YA KUSINI wanatumia SAMSUNG kama UTAMBULISHO wao yaani DESTINATION.

Kwa upande wa JAPANI wao wanatumia TOYOTA, NISSAN na MAKAMPUNI MAKUBWA ya ELETRONIKI kama PANASONIC na HITACHI kama UTAMBULISHO wao yaani DESTINATION.

Kwa upande wa CHINA wao wanatumia HUAWEI, TECNO, YUTONG na mambo mengine mengi kama UTAMBULISHO yaani DESTINATION.

Sasa kwa upande wa AFRIKA haya mambo bado, ijapokuwa kuna baadhi ya jamii ambazo tayari zimeshaanza kutengeza UTAMBULISHO wao yaani DESTINATION.

Lakini tunapaswa kuwa na VITU VIKUBWA ambavyo vitatumika kama UTAMBULISHO yaani DESTINATION na hiyo ndio SIRI YA MAFANIKIO na hayo ndio MAENDELEO.



Kwahiyo ni muhimu kutengeza BUSINESS BRAND ambayo itakuwa ni UTAMBULISHO yaani DESTINATION kwa JAMII au TAIFA na hayo ndio mambo ambayo wenzetu walishafanya tangu karne ya 18 [ 1800's ].
 
Ngoja kwanza nimalizane na wewe passioner255 halafu kesho nitaendelea na Wakudadavuwa. Soma vizuri na kwa makini posti namba 1188 - WAJERUMANI huwa wanafanya MAMBO makubwa sana, lakini huwa sio WATU wa kujitangaza. Huwa ni WATU wakimya.

Sasa baada ya kuingia AFRIKA YA MASHARIKI kama WAKOLONI, mwaka 1916 - 1961 waliwaita hawa wenyeji wa hii MIKOA YA MWANZA [NYANZA] , SHINYANGA [INYANGA] na TABORA [NOBORA] jina la "SCHWEIGENDE MEHRHEIT" maana yake kwa lugha ya kiswahili ni WATU WAKIMYA.

WAJERUMANI walivutiwa na wenyeji wa hii MIKOA YA MWANZA [NYANZA], SHINYANGA [INYANGA] na TABORA [NOBORA] yaani WASUKUMA kwa upande wa TANGANYIKA na pia walivutiwa sana na UTAWALA WA BUGANDA kwa upande wa UGANDA.


Hii ramani inaonesha TAWALA ZA KICHIFU [ 13 ] ambazo zilizokuwa zinapatikana kwa kipindi cha UTAWALA WA WAJERUMANI.

Hata baada ya kuja kwa UTAWALA WA WAINGEREZA, mwaka 1916 - 1961. WAINGEREZA waliwaita hawa wenyeji wa hii MIKOA YA MWANZA [NYANZA], SHINYANGA [INYANGA] na TABORA [NOBORA] jina la "SILENT MAJORITY" maana yake kwa lugha ya kiswahili ni WATU WAKIMYA. Ikiwa na maana ile ile ya KIJERUMANI - "SCHWEIGENDE MEHRHEIT".

Na baada ya kupata UHURU WA TANGANYIKA, mwaka 1961 - kuna maneno fulani ambayo HAYATI MWALIMU aliwaambiwa na WAINGEREZA kuhusu hawa wenyeji wa hii MIKOA YA MWANZA [NYANZA], SHINYANGA [INYANGA] na TABORA [NOBORA].

Kwahiyo HAYATI MWALIMU alikuwa MAKINI sana na hawa wenyeji wa hii MIKOA YA MWANZA [NYANZA], SHINYANGA [INYANGA] na TABORA [NOBORA].

Lakini baada ya kipindi kirefu kupita, hawa waliokuwa wenyeji wa hii MIKOA YA MWANZA [NYANZA], SHINYANGA [INYANGA] na TABORA [NOBORA] walikuja kuinuka KIUCHUMI baada ya kuanzishwa kwa VYAMA VYA USHIRIKA katika kila MKOA, ambapo hivyo VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA vilikuwa vinashughulika na MAZAO YA BIASHARA.

Sasa hicho kipindi ambapo VYAMA VYA USHIRIKA vilikuwa vinaanzishwa, wale waliokuwa wenyeji wa hii MIKOA YA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] ilikuwa ni fursa kwao ya kuweza kujijenga KIUCHUMI.

Pale ndio ilikuwa ni chimbuko la kumiliki UCHUMI wao na ndio ilikuwa mwanzo wa kujiita MWASHITA ikiwa na maana ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA au jina lingine SIMBA.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] waliingia ubia wa kufanya biashara na WAJERUMANI kipindi cha VITA BARIDI. Biashara zao zilinawili sana na mpaka leo wanaendelea kufanya BIASHARA.

WAJERUMANI ndio waliowafundisha hawa wenyeji wa hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kuwa na DESTINATION yaani UTAMBULISHO wao kupitia UWEKEZAJI WA KIBIASHARA.

Kwahiyo hawa waliokuwa wenyeji wa hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walifanikiwa kumiliki TIMU ZA MPIRA WA MIGUU ikiwa ni sehemu ya DESTINATION au UTAMBULISHO wao.

Kutokana na wale waliokuwa wenyeji wa hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kuitwa SIMBA, waliamua kutumia TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA SIMBA SC kama DESTINATION au UTAMBULISHO wao kwa kuinunua na kuimiliki kuanzia msimu wa mwaka 1992/93 mpaka leo.


Vile vile wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walifanikiwa kununua na kumiliki TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA YANGA SC kwa msimu unaofuata na kufanya kumiliki TIMU zote kubwa zinazopatikana katika MKOA WA DAR ES SALAAM.


Kwahiyo zile TIMU zote kubwa zilizokuwa zinapatikana katika MKOA WA DAR ES SALAAM na TANZANIA kwa ujumla zinatumika kama DESTINATION au UTAMBULISHO kwa wenyeji wa hii MIKOA ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA.


Baadae sana, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walifanikiwa kununua TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA COASTAL UNION ya MKOA WA TANGA na kuipa jina la SIMBA MTOTO ikiwa na maana mbili - kwanza ni kuwa na mahusiano ya moja kwa moja na KLABU ZA SIMBA NA YANGA na pili ni sababu ya KISIASA [...].


Na baada ya SERA YA UBINAFSISHAJI kuanzishwa na kutekelezwa katika kipindi cha AWAMU YA TATU kilichoongozwa na MR CLEAN, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walifanikiwa kununua na kumiliki VIWANDA VYA SUKARI VYA MTIBWA SUGAR na KAGERA SUGAR na kufanikiwa kuanzisha TIMU ZA MPIRA WA MIGUU ambazo zipo chini ya usimamizi wa VIWANDA hivyo.


Kwahiyo wale waliokuwa wenyeji wa hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walifanikiwa na wanaendelea kuwa na DESTINATION yaani UTAMBULISHO wao kupitia SEKTA YA MICHEZO kwa msaada wa UJERUMANI na baadhi ya NCHI ZA ULAYA ikiwemo UINGEREZA.
 
Kwa hiyo unasugest kwamba jamii zingine zibadilike au?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo unasugest kwamba jamii zingine zibadilike au?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
chizi huyo.
kuna wakati nilimpiga spana sana kuhusu hayo maujinga yake anayoandika kwenye uzi huu. akaacha kwa muda,ila sasa karudi tena.

huyo jamaa ni wale watu wanaofatilia sana story zinazohusu conspiracy theories. conspiracy theorist wengi madishi yao yameyumba.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa hiyo unasugest kwamba jamii zingine zibadilike au?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Hilo swali sio la kuuliza!! Ijapokuwa wale waliokuwa wenyeji wa hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliamua kupambana na MFUMO WA SERIKALI YA TANZANIA kwa namna hiyo.

Kwa sababu wengi wao ndio walikuwa wajumbe wa MKUTANO WA AZIMIO LA TABORA yaani TABORA DECLARATIONS lililokuja na maazimio mengi sana ikiwemo kufuata MFUMO WA KISERIKALI iliyokuwa URUSI YA ZAMANI yaani iliyokuwa MUUNGANO WA NCHI ZA KISOVIETI.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] waliamua kuwa na mahusiano ya kibiashara na WAJERUMANI na MATAIFA mengi ya ULAYA YA MAGHARIBI ikiwemo UINGEREZA.

Hata hili jina la SCHWEIGENDE MEHRHEIT lenye ASILI ya KIJERUMANI, ndio SILENT MAJORITY kwa lugha ya KIINGEREZA. Hili jina la SILENT MAJORITY wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walilitumia kuanzisha kampuni ya kibiashara inayoitwa SILENT OCEAN [SIMBA WA BAHARI].


Hii kampuni ya SILENT OCEAN ni kampuni ambayo inahusika na usafirishaji wa mizigo kwa njia ya maji yaani BAHARI na hii kampuni inamiliki MELI zake.


Hii kampuni ya usafirishaji wa mizigo ya SILENT OCEAN [SIMBA WA BAHARI] inafanya shughuli zake kwa njia ya maji kwa NCHI za CHINA, UTURUKI, FALME ZA KIARABU [DUBAI], MAREKANI na TANZANIA.


Hii kampuni inafanya vizuri sana kwenye sekta ya usafirishaji wa mizigo kwa njia ya maji yaani BAHARI.




Hii kampuni ya SILENT OCEAN [SIMBA WA BAHARI] inafanya vizuri sana kwenye SOKO LA USHINDANI hasa MAREKANI kwa bidhaa zinazokuja TANZANIA.


Hawa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walijitahidi sana kuwa wavumilivu na hata mtindo wa maisha walibadilisha kwa sababu mafanikio kama haya huwa hayaji kwa kipindi kifupi. Huwa inachukua muongo zaidi ya mmoja, yaani zaidi ya miaka kumi [10].

Kwahiyo, hiyo ndio maana HALISI ya jina la kampuni ya SILENT OCEAN yaani SIMBA WA BAHARI. Vile vile hiyo kampuni ya SILENT OCEAN ni kampuni mwenza wa kampuni ya GSM.


Hii kampuni ya GSM ni kampuni ambayo inajumuisha makampuni madogo madogo yapatayo saba [ 7 ] kwa idadi yake. Makampuni hayo ni GSM Coconut Cream, GSM Steel, Car Batteries, Tiger Head Batteries, GSM Spare Parts, Anchor Yeast na GSM Foam Products.
 
Sasa mbona Tanzania ni Taifa masikini?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app


Miaka ya hivi karibuni kuna RESTAURANT moja ilifunguliwa MASAKI - barabara ya HAILE SELASSIE inaitwa LOCK & BARREL RESTAURANT.

Ni sehemu nzuri sana na unaweza kupata huduma ya lunch, crafted mixology, restaurant, bar, lounge, cocktails na music.

Sasa hivi pale LOCK & BARREL RESTAURANT wanajiita SUNDOWNERS.

Sasa jaribu kufuatilia kwa makini umiliki wa hiyo RESTAURANT na uhalisia wa hilo jina la SUNDOWNERS.


Hilo jina la SUNDOWNERS ni jina maarufu sana ambalo linatumiwa na KLABU YA MAMELODI SUNDOWNS ya AFRIKA YA KUSINI.


Hao ndio MAMELODI SUNDOWNS au MASANDAWANA, mabingwa wa kihistoria wa AFRIKA YA KUSINI. Kwahiyo TANZANIA ni TAIFA MASIKINI lakini WANANCHI wake sio MASIKINI. #TheSkyIsTheLimit 🌤️🌥️🌤️
 
Sasa mbona Tanzania ni Taifa masikini?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] ndio wamiliki halali wa kampuni ya SAMGBM GROUPE BUSINESS MARKETING inayopatikana nchini GUINEA.


Hii kampuni ya SAMGBM GROUPE BUSINESS MARKETING inataka kufanana kabisa na kampuni ya kibiashara inayoitwa GSM inayopatikana nchini TANZANIA.


Hii kampuni ya SAMGBM GROUPE BUSINESS MARKETING ni kampuni ambayo MKURUGENZI wake ni MTU mwenye ASILI ya KIJERUMANI.


Huyu MKURUGENZI amefanya kazi kubwa, kwa sababu mafanikio yaliyopatikana kwa hiki kipindi kifupi ni makubwa sana.

Vilevile hii kampuni ya SAMGBM GROUPE BUSINESS MARKETING ni kampuni ambayo ina ajiri WATANZANIA waliohamia GUINEA. WATANZANIA hao ni wale wenye ASILI YA MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.


Hii kampuni ya SAMGBM GROUPE BUSINESS MARKETING ni kampuni ambayo inahusika na inamiliki TIMU MBILI ZA MPIRA WA MIGUU ambazo zinashiriki LIGI KUU YA GUINEA. Timu hizo ni [...] na MABINGWA WA KIHISTORIA wa GUINEA, HOROYA ATHELETIC CLUB.


Hii timu ya HOROYA ATHELETIC CLUB ni timu ya MPIRA WA MIGUU ambayo inajumuisha wachezaji nane [8] wenye ASILI ya TANZANIA [MWANZA, SHINYANGA na TABORA] katika kikosi cha kwanza.


Miongoni mwao ni kijana mdogo kabisa anayeitwa MORLAYE SYLLA anayeitumikia TIMU YA TAIFA YA GUINEA na hivi karibuni amesajiliwa na timu nyingine inayoshiriki LIGI KUU nchini humo.


Sasa hivi TIMU YA HOROYA ATHELETIC CLUB imebakiza wachezaji saba [7] wenye ASILI ya TANZANIA na miongoni mwao ni NAHODHA wa TIMU hiyo.






Vilevile hiyo kampuni ya SAMGBM GROUPE BUSINESS MARKETING inamiliki SHULE YA MPIRA WA MIGUU kwa vijana chini ya miaka ishirini [20] na kuna vijana ishirini na tano [25] wenye ASILI YA TANZANIA kwenye SHULE YA MPIRA WA MIGUU inayoitwa ACADÉMIE DE FOOTBALL ANTONIO SOUARÉ [AFAS] inayopatikana JIJI LA CONAKRY nchini GUINEA.

Hawa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani SIMBA wana hadhina kubwa ya wachezaji wa kulipwa!

Kwahiyo hizo timu zao ambazo wanamiliki wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [ WETCU] hakuna mategemeo ya kuporomoka kiwango cha mpira, labda kuyumba tu.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] bado wanaendelea kusaidia na kuwabeba WATU wao wenye ASILI ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.


Na huu MTINDO WA MAISHA ya kuwasaidia na kuwabeba WATU wao - wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] waliakisi kutoka UJERUMANI.

UJERUMANI na ULAYA MAGHARIBI hasa UINGEREZA wanatumia huu MTINDO WA MAISHA tangu kumalizika kwa VITA VYA PILI VYA DUNIA [1945].

Haya MATAIFA YA UJERUMANI na ULAYA MAGHARIBI hasa UINGEREZA baada ya kuisha kwa VITA VYA PILI VYA DUNIA [1945] waliamua kuja na programu ya kuwajengea uwezo WATU wao yaani "BUILDING CAPACITY TO OUR OWN PEOPLE" na hii programu ndio inayofanyika sasa hivi na ni endelevu kwa wenyeji wa hii MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wakisaidiwa na KAMPUNI ZA BIASHARA ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].

Hii programu ya kuwajengea uwezo WATU yaani "BUILDING CAPACITY TO OUR OWN PEOPLE" ndio inayofanyika kila sehemu, hata ndani ya VYAMA VYA KISIASA hii programu inafanyika, ndani ya TAASISI ZA KISERIKALI NA BINAFSI na hata ndani ya TAASISI ZA KIDINI.
 
Wakudadavuwa kwa kupitia huu uzi wa Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu, jibu ni kweli kuwa TANZANIA kuna familia ambazo zinaishi KIFALME bila WATANZANIA wengine kuzifahamu na baadhi ya hizo familia zilikuwepo tangu kipindi cha UKOLONI.

Kipindi cha UKOLONI, kuna FAMILIA ZA KIAFRIKA zilikuwa zinaruka kwa NDEGE kwenda miji yote ya AFRIKA YA MASHARIKI na baadhi ya MATAIFA YA ULAYA.


Hizo FAMILIA zilizokuwepo tangu kipindi cha UKOLONI ni FAMILIA ambazo zilikuwa na chimbuko la UTAWALA WA KICHIFU.

Mpaka leo kuna FAMILIA ZA KICHIFU ambazo zinaishi kifalme bila WATANZANIA wengine kuzifahamu na kuna FAMILIA YA KICHIFU ina UKWASI unaokadiliwa kuwa na thamani ya kiasi cha shilingi bilioni mia tatu za KITANZANIA [ 300,000,000,000 ] na hii inatokana na kuthaminisha vitu ambavyo wanamiliki, ndani na nje ya TANZANIA.

Lakini baada ya TANGANYIKA kupata UHURU [ 1961 ] na baadae kuwa na MUUNGANO wa TANGANYIKA na ZANZIBAR [ 1964 ], HAYATI MWALIMU alipiga marufuku TAWALA ZA KICHIFU na kuwapatia nafasi ndani ya SERIKALI YA TANZANIA wale wote waliokuwa na ELIMU kipindi cha UTAWALA WA KICHIFU.

HAYATI MWALIMU mwenyewe alijijenga KISIASA na KIUCHUMI kwa kipindi kirefu sana mpaka pale ilipokuja SIASA ya kuanzisha VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA katika kila MKOA.

MALENGO na SHABAHA ya kuanzisha VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA ilikuwa ni kuendeleza MAZAO YA BIASHARA katika kila MKOA ili kuweza kujikwamua KIUCHUMI na kuongeza PATO LA TAIFA.

Lakini HALI ilikwenda ndivyo sivyo, kwa sababu RUSHWA na UFISADI WA MALI ZA UMMA zilishamiri sana ndani ya VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA kiasi ambacho kilipelekea VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA kwa baadhi ya MIKOA kushindwa kujiendesha na hatimae kufilisika na kuacha baadhi ya WAFANYAKAZI wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA wakiwa na UKWASI WA KUTISHA.

Miongoni mwa WAFANYAKAZI hao ni wale waliokuwa WAFANYAKAZI wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].

Wale waliokuwa WAFANYAKAZI wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] ndio waliokuja kuwa miongoni mwa WAJUMBE wa MKUTANO WA AZIMIO LA TABORA yaani "TABORA DECLARATION MEETING" [ 1991/92 ].

MKUTANO WA AZIMIO LA TABORA yaani "TABORA DECLARATION MEETING" ndio ulitoa TASWIRA NA MUELEKEO MPYA wa SERIKALI YA TANZANIA kama TAIFA.


Hiki kipindi kinaelezwa kuwa kilikuwa ni kipindi ambacho HAYATI MWALIMU mwenyewe alibadilisha MUELEKEO wa KISIASA na kuacha yale maeneo ambayo yalikuwa ni TUNU kwa SIASA ZA TANU na SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Maeneo ambayo yalikuwa ni TUNU kwa SIASA ZA TANU na SIASA za CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] yalikuwa ni maeneo ya ZANZIBAR yaani TANZANIA VISIWANI, DAR ES SALAAM, PWANI zamani ilikuwa ikiitwa BAGAMOYO, DODOMA na IRINGA zamani kulikuwa na NGOME ZA KALENGA na LUGALO.


Sasa HAYATI MWALIMU alibadilisha MUELEKEO wa KISIASA na kuelekea MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA na kufanya TABORA kuwa ni kitovu cha SIASA za AZIMIO LA TABORA yaani "TABORA DECLARATION".

Baada ya AZIMIO LA TABORA yaani "TABORA DECLARATION" kuliibuka MATAJIRI wenye ushawishi mkubwa wa KISIASA ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na TAIFA kwa ujumla.

MATAJIRI hao walikuwa ni wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] na waliingia ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kwa kutumia KIVULI cha WATU wenye ASILI ya ULAYA na ASIA.

Sasa kuna baadhi ya WAFANYAKAZI wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] ambao walikuwa ni miongoni mwa FAMILIA ZA KICHIFU yaani walikuwa wametoka kwenye FAMILIA ZA KICHIFU.

Kwahiyo hii inafanya kuwa - kuna baadhi ya WATANZANIA walikuwa wanafurahi na kula KEKI YA TAIFA tangu kipindi cha UKOLONI mpaka kipindi cha UTAWALA WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].


Na HAYATI MWALIMU alifanya hivyo kwa makusudi kabisa - kwa nia ya kuiga mfumo wa kiserikali kwa iliyokuwa URUSI YA ZAMANI yaani JUMUIYA YA NCHI ZA KISOVIETI.

Ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kuna UTAWALA WA WACHACHE. Hao WACHACHE ndio kila kitu ndani ya CHAMA, yaani wanakuwa kama OLIGARCHY.


Sasa OLIGARCHY ina maana gani? OLIGARCHY ni MATAJIRI wenye ushawishi mkubwa wa KISIASA. Neno hili linahusishwa zaidi na MABWANYENYE wa nchini URUSI, ambao walipata UTAJIRI mkubwa pasipo kuwa na mtiririko maalumu.

Hali hiyo ilifanyika hivyo hivyo nchini TANZANIA, kwani kuna WATANZANIA ambao walipata UTAJIRI mkubwa katika mpango wa kubinafsisha MALI ZA UMMA kama MASHIRIKA na TAASISI ZA KISERIKALI katika kipindi cha AWAMU YA TATU kilichoongozwa na MISTER CLEAN.

Hao MATAJIRI hawakuwa WAFANYABIASHARA kwa hakika. Wao ni MATAJIRI lakini njia waliyotajirika ni tofauti kabisa na MFUMO WA SOKO HURU.

Hao MATAJIRI hawakujenga VIWANDA wala kuanzisha BIASHARA, bali walitwaa TAASISI na MASHIRIKA YA UMMA halafu wakasita kujiusisha moja kwa moja na SIASA za CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Kwahiyo, kosa lingine ambalo alifanya HAYATI MWALIMU ni kuruhusu baadhi ya WATANZANIA kutwaa VIWANDA na TAASISI ZA KISERIKALI kipindi cha UBINAFSISHAJI ambacho kilifanyika AWAMU YA TATU iliyoongozwa na MISTER CLEAN.
 

Wakudadavuwa sikiliza hiyo nyimbo ya BENDI YA TOT! Hiyo BENDI YA TOT ni BENDI ya muziki ambayo inamilikiwa na CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na inaendeshwa na MISTER ABILITY, yaani MISTER ABILITY alipewa jukumu la kuitunza na kuilea BENDI YA TOT tangu ilipoanzishwa mpaka leo.

Kwenye hiyo nyimbo kuna mstari unasema "CHAMA CHA MAPINDUZI kina wenyewe". Hao wenyewe ndio kila kitu ndani ya CHAMA, yaani wanakuwa kama OLIGARCHY.

Na OLIGARCHY wa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] ni wale waliokuwa kundi la UGANDA LINE, yaani ni WATANZANIA waliosoma ELIMU ya MSINGI, SEKONDARI na CHUO KIKUU nchini UGANDA.

Hilo kundi la UGANDA LINE ndio kundi ambalo limeshikilia UCHUMI WA TANZANIA na hilo kundi linajumuisha wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU], MISTER CLEAN pamoja na HAYATI MWALIMU.

Hilo kundi la UGANDA LINE ndio kundi ambalo MFUMO WA KISERIKALI umejichimbia chini na wana mahusiano ya DAMU na familia za VIONGOZI WA AFRIKA YA MASHARIKI kwa upande wa UGANDA na KENYA.
 
Kuendelea kulalamikia ujamaa au Nyerere ni kutafuta sababu za kuhalalisha failures zenu. Nchi ishaondoka huko zamani na watu wanatoboa Kila siku.

"If you are born poor it’s not your mistake but if you die poor it’s your mistake" Vijana pambaneni na Hali zenu msitafute mchawi nani.
 
passioner255 kwa upande wa AFRIKA kuna MATAIFA na JAMII ambazo tayari zilishaamua kuwa na DESTINATION yaani UTAMBULISHO wao.

Kwa mfano, TAIFA LA NAMIBIA liliamua kuwa na BIA yao wenyewe inayoitwa WINDHOEK.


Hii WINDHOEK ni DESTINATION au UTAMBULISHO kwa TAIFA LA NAMIBIA na wanafanya vizuri sana kwenye SOKO LA USHINDANI.

Mfano mwingine, angalia TIMU YA MPIRA WA MIGUU inayoitwa GOR MAHIA FC ya KENYA.


Hawa ni MABINGWA WA KIHISTORIA WA SOKA nchini KENYA na hii TIMU inatumika kama DESTINATION au UTAMBULISHO kwa JAMII YA WALUO.

Mfano mwingine tena, lakini hii haijawekwa wazi kwa sababu binafsi, ni kuhusu WEB BROWSER YA OPERA.


Hii kampuni ya OPERA inapatikana jijini OLSO nchini NORWAY, lakini wamiliki halali wanapatikana AFRIKA katika TAIFA LA KENYA. Hii kampuni inaweza kutumika kama DESTINATION au UTAMBULISHO, lakini wamiliki halali bado hawajaamua kufanya hivyo kutokana na sababu ambazo hawajaziweka wazi.


Mfano mwingine tena, ni KAMPUNI YA TECNO. Hii kampuni inafanya vizuri sana kwenye SOKO LA USHINDANI na inapatikana nchini CHINA. Lakini wamiliki halali wa kampuni ya TECNO wanapatikana AFRIKA katika TAIFA LA NAIJERIA.

Hii kampuni ya TECNO inaweza kutumika kama DESTINATION au UTAMBULISHO, lakini wamiliki halali bado hawajaamua kufanya hivyo kutokana na sababu ambazo hawajaziweka wazi.

Kwahiyo HALI HALISI ndio ipo hivyo, JAMII nyingine bado zinafanya SIRI kuhusu VITU NA MAMBO wanayoyafanya na hata kumiliki lakini JAMII nyingine wameweka wazi baadhi ya VITU NA MAMBO wanayoyafanya na hata kumiliki na wanatumia kama DESTINATION au UTAMBULISHO wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…