ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Unamjibu nani mkuu 'ichumu'.Uwa napitia uzi huu lakini leo nimeona niulize jambo kwanini uwa unapenda kuhamisha na kupindisha mada? Ao kina Prof.Lipumba na Simba walikuwa sehemu ya mtoa mada? Uoni unaleta uchawa! Rudi kwenye mada au anzisha uzi wako.
Unajua Kalamu watu wengi wameamka sasa hivi kutokana na matumizi ya MITANDAO YA KIJAMII, lakini kuna WATU wengine waliyafahamu haya MAMBO tangu siku nyingi. Yaani tangu IKULU YA TANZANIA inatumia tovuti ya YAHOO katika kufanya mawasiliano yake.. 🤨Anyways. Ngoja niondoke, lakini naona kuna udhaifu mkubwa sana katika kona yenu.
Kipindi hicho yaani miaka ya tisini hadi miaka ya mwanzoni mwa elfu mbili [ 1990's hadi 2000's ] - SERIKALI YA TANZANIA ilikuwa inatumia YAHOO katika kufanya mawasiliano yake.Unajua Kalamu watu wengi wameamka sasa hivi kutokana na matumizi ya MITANDAO YA KIJAMII, lakini kuna WATU wengine waliyafahamu haya MAMBO tangu siku nyingi. Yaani tangu IKULU YA TANZANIA inatumia tovuti ya YAHOO katika kufanya mawasiliano yake.. 🤨
Kwahiyo kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI yaani TANZANIA, KENYA na UGANDA kulikuwa tayari kuna jamii ambazo zilikuwa tayari zimeshajikita kwenye MAMBO ya IT yaani INFORMATION TECHNOLOGY tangu miaka ya tisini [ 1990's ].Kipindi hicho yaani miaka ya tisini hadi miaka ya mwanzoni mwa elfu mbili [ 1990's hadi 2000's ] - SERIKALI YA TANZANIA ilikuwa inatumia YAHOO katika kufanya mawasiliano yake.
Kipindi hicho kulikuwa kuna EMAIL ADDRESSES za SERIKALI pamoja na WIZARA zote na EMAIL ADDRESS ambayo ilikuwa ni maarufu kwa kipindi kile ilikuwa ni ikulumawasiliano@yahoo.com na wamiliki halali wa KAMPUNI YA YAHOO wanatoka AFRIKA YA MASHARIKI katika TAIFA LA KENYA.
Sasa ukiachilia mbali KAMPUNI YA OPERA ambayo inamilikiwa na WALUO kutoka KENYA, hii pia KAMPUNI YA YAHOO inamilikiwa na WAKIKUYU kutoka KENYA.
Kwahiyo wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walikuwa wanapata taarifa zote za SERIKALI YA TANZANIA kupitia KENYA kwa upande wa WAKIKUYU.
WAKIKUYU kutoka KENYA ndio wamiliki halali wa KAMPUNI YA YAHOO na waliwasaidia sana wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA katika kupanga na kufanya MAMBO yao kwa ufasaha.
Hali hiyo ilipelekea kuwa na upatikanaji wa taarifa za SERIKALI YA TANZANIA za moja kwa moja kutoka YAHOO kwa kutumia wamiliki halali ambao ni WAKENYA.
Na kipindi cha MZEE RUKSA alishawahi kuwauliza WAKENYA - ni kwanini wanawapatia "TAARIFA ZA SERIKALI" wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU]? WAKENYA walimjibu aliyekuwa RAIS WA SERIKALI YA TANZANIA kwa kipindi hicho [MZEE RUKSA] kuwa - damu ni nzito kuliko maji.
Yaani wao walikuwa tayari wameanza kuzaliana na WATOTO walikuwa tayari wameshapatikana na kubadilishana TAARIFA ZA SERIKALI YA TANZANIA ilikuwa ni jambo la kawaida.
Kwahiyo wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walifanikiwa pakubwa sana kukwepa makali ya SERIKALI YA TANZANIA kipindi cha UHUJUMU UCHUMI.
Kwahiyo kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI yaani TANZANIA, KENYA na UGANDA kulikuwa tayari kuna jamii ambazo zilikuwa tayari zimeshajikita kwenye MAMBO ya IT yaani INFORMATION TECHNOLOGY tangu miaka ya tisini [ 1990's ].
Jamii hizo ni WALUO kutoka katika TAIFA LA KENYA kwa kumiliki WEB BROWSER YA OPERA, MWASHITA yaani SIMBA kutoka katika TAIFA LA TANZANIA kwa kumiliki WEB BROWSER YA MOZILLA [FIREFOX] na WAKIKUYU kutoka katika TAIFA LA KENYA kwa kumiliki YAHOO pamoja na bidhaa zake zote.
Vile vile katika kipindi cha miaka ya themanini kuelekea miaka ya tisini yaani [1980's hadi 1990's] kulikuwa na tukio kubwa la kihistoria ambalo lilifanywa na aliyekuwa RAIS WA ZAIRE [ DRC ] - MOBUTU SESE SEKO.
Hii ni nyimbo ya KANDA BONGO MANI na ni nyimbo ambayo ilitungwa kwa kueleza namna ambavyo MOBUTU SESE SEKO alivyokuwa anafanya MAMBO makubwa na yenye kushangaza.
MOBUTU SESE SEKO ndio MTU aliyekuwa nyuma ya kufadhili WANASAYANSI WA KIMAREKANI wakiongozwa na BILL na kufanikiwa kuanzishwa kwa WEBSITE SEARCHING ENGINE nchini MAREKANI ambayo inatumika ULIMWENGU mzima.
Jina la hiyo nyimbo ilikwenda kwa jina la BILI ikimaanisha jina la kwanza la MWANASAYANSI WA KIMAREKANI aliyekubali kufanya KAZI kwa ufadhili wa MOBUTU SESE SEKO.
Kwahiyo MOBUTU SESE SEKO alifanya MAMBO makubwa sana kipindi cha UTAWALA wake na kile ambacho kinaendelea kufanyika kwenye MITANDAO YA KIJAMII huwa wanaita ni PROPAGANDA.
Mara nyingi PROPAGANDA huwa inafanyika ili kupotosha UKWELI, lakini hali huwa ni tofauti kabisa na UHALISIA. Hali ya upotoshaji ambayo inaendelea kufanyika kwa MOBUTU SESE SEKO ndio inafanyika kwa aliyekuwa RAIS WA UGANDA - IDI AMINI DADA.
IDI AMINI DADA na yeye alifanya MAMBO makubwa sana na aliwekeza KIUCHUMI na BIASHARA zake zipo hadi leo kwenye MATAIFA YA ULAYA pamoja na AMERIKA.
Sasa kwa wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KUNDI LA UGANDA LINE walifanikiwa kuyafahamu hayo MAMBO mapema na waliiga namna ya kufanya BIASHARA kutoka kwa WATU waliokuwa wamewatangulia KIUCHUMI kwa kipindi hicho.
Na mfano mzuri - kipindi cha UHUJUMU UCHUMI, miaka ya tisini yaani 1990's wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walifanikiwa kuanzisha KAMPUNI YA USAFIRISHAJI WA ABIRIA NA MIZIGO iliyoitwa ALLY'S STAR.
Hii KAMPUNI YA USAFIRISHAJI WA ABIRIA NA MIZIGO inapatikana SHINYANGA na KAMPUNI MWENZA ni CONVOY HAULAGE inayopatikana MWANZA pamoja na ALI STAIR inayopatikana DAR ES SALAAM. Vile vile hii KAMPUNI YA ALLY'S STAR ipo chini ya KAMPUNI MAMA ya AMSONS GROUP.
Hiyo KAMPUNI YA AMSONS GROUP inajumuisha KAMPUNI za CAMEL OIL, CAMGAS, CAMEL CEMENT, CAMEL CONCRETE, AMSONS REAL ESTATE, CAMEL WHEAT FLOUR pamoja na KAMPUNI nyingine zipatazo mbili.
Hii KAMPUNI ya AMSONS GROUP ni KAMPUNI MAMA ambayo inajumuisha makampuni madogo madogo yapatayo nane [8] kwa idadi yake.
Sasa ukiachana na KAMPUNI YA AMSONS GROUP - ile KAMPUNI MTOTO YA ALLY'S STAR yaani ALLIED pia inamaanisha KAMPUNI YA UTENGENEZAJI VIATU inayoitwa ALL STAR inayopatikana nchini MAREKANI.
Hii KAMPUNI YA CONVERSE maarufu kama ALL STAR ni KAMPUNI ambayo ilinunuliwa miaka ya tisini [1990's] kipindi cha UHUJUMU UCHUMI kufutia KAMPUNI hiyo kutaka kufilisika.
Lakini baada ya KAMPUNI YA ALL STAR kufanikiwa kununuliwa na MWASHITA yaani SIMBA ndio ikaanzishwa KAMPUNI YA USAFIRISHAJI WA ABIRIA NA MIZIGO iliyoitwa ALLY'S STAR inayopatikana SHINYANGA, TANZANIA na baadae ilipatikana KAMPUNI MWENZA aliyoitwa ALI STAIR inayopatikana DAR ES SALAAM, TANZANIA. Hii KAMPUNI YA ALI STAIR ni KAMPUNI ambayo inajishughulisha na usafirishaji wa MIZIGO kwa ndani na nje ya mipaka ya TANZANIA.
Baada ya kufanikiwa kuuzwa kwa KAMPUNI YA ALL STAR au maarufu kama CONVERSE, ilianza kukua kwa kasi na kuingia kwenye SOKO LA USHINDANI na KAMPUNI YA VANS OLD SKOOL.
Sasa hivi hii KAMPUNI YA ALL STAR ni BRAND kubwa duniani na mwanzoni mwa miaka ya elfu mbili [2000's] ilifanikiwa kufungua KIWANDA kingine nchini INDIA ili kukamata SOKO LA KIBIASHARA kwa upande wa BARA LA ASIA.
Ndio maana ukiangalia MANING NICE kipindi anasoma SEKONDARI pamoja na CHUO KIKUU alikuwa anapendelea kuvaa ALL STAR za rangi mbali mbali, ile ilikuwa sio FASHENI bali alikuwa anavaa SNIKA zinazotengenezwa na KAMPUNI yao.
Hizi ALL STAR huwa ni ORIGINAL na huwa zinatoka moja kwa moja nchini MAREKANI na sasa hivi bidhaa za ALL STAR zinapatikana na zinatumika ULIMWENGU mzima.
Kwahiyo, wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na kuonekana kuwa walikuwa ni WASHOSHA NG'OMBE yaani WATU WASHAMBA WASHAMBA, lakini leo ndio MATAJIRI WA TANZANIA na WATOTO wao wanatumia bidhaa zao ambazo zinazalishwa na VIWANDA ambavyo wanavimiliki watangulizi wao.
Kwa hiyo Idd alikuwa sahihi kuivamia Tz na haijuwa sahihi kwa Nyerere kuitetea nchi yake?Oscar kambona alikuwa mtu smart sana na bora kumzidi mzee wa butuama au mchonga meno.
Oscar kambona ndiye mtu alisitahili kuwa rais wa hii nchi na naamini Oscar jambona angekuwa rais hii nchi isingekuwa masikini kama leo hii ilivyokuwa.
Nyerere alikuwa dictator na pia hakuwa na fikra mzuri ya uongozi ni sifa na kukurupuka kwake kufuata sera ya ujamaa ambaye ametuletea au tunaona athari zake leo hii.
Udini na ukanda wake amefanya hii nchi kuwa masikini na waTanzania kukosa na kuwa na akili za kilofa.Udictator wake aliweza kumrithisha ndugu yake yule mmakua wa masasi.
Udini wake ndiyo ulimfanya Nyerere ulifanya kuvunjila kwa jumuiya ya Afrika mashariki kutokana na chuki zake kwa iddi amini dada .
Nyerere alikuwa mamluki na pandikizi la ukoloni na wakoloni wa kiingereza.
Kwangu Oscar kambona atabakia nembo na icon ya Tanzania kwa dunia.
Ngoja niwaelezeni kitu kingine ambacho kitakuwa ni kigeni miongoni mwa wengi.Jaribu kutizama ALL STAR yaani CONVERSE baada ya kuingia BARA LA ASIA na hili tangazo lilitoka kama miaka nane [8] hivi iliyopita. Hao ndio MWASHITA yaani SIMBA 🦁.
Ngoja tuwasaidie kuwaeleza MAMBO mazuri, pengine inaweza kuwa na msaada katika kujifunza na kuelewa historia ya matukio ya NCHI yao.Utakuta kijana wa 2000 huyu kasoma maarifa ya jamii darasan anakuja kubwabwaja huku
We jamaa hizi taarifa huwa unapata wapi? Kwamba wakikuyu kutoka Kenya ndio wamiliki wa Yahoo! really?Kipindi hicho yaani miaka ya tisini hadi miaka ya mwanzoni mwa elfu mbili [ 1990's hadi 2000's ] - SERIKALI YA TANZANIA ilikuwa inatumia YAHOO katika kufanya mawasiliano yake.
Kipindi hicho kulikuwa kuna EMAIL ADDRESSES za SERIKALI pamoja na WIZARA zote na EMAIL ADDRESS ambayo ilikuwa ni maarufu kwa kipindi kile ilikuwa ni ikulumawasiliano@yahoo.com na wamiliki halali wa KAMPUNI YA YAHOO wanatoka AFRIKA YA MASHARIKI katika TAIFA LA KENYA.
Sasa ukiachilia mbali KAMPUNI YA OPERA ambayo inamilikiwa na WALUO kutoka KENYA, hii pia KAMPUNI YA YAHOO inamilikiwa na WAKIKUYU kutoka KENYA.
Kwahiyo wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walikuwa wanapata taarifa zote za SERIKALI YA TANZANIA kupitia KENYA kwa upande wa WAKIKUYU.
WAKIKUYU kutoka KENYA ndio wamiliki halali wa KAMPUNI YA YAHOO na waliwasaidia sana wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA katika kupanga na kufanya MAMBO yao kwa ufasaha.
Hali hiyo ilipelekea kuwa na upatikanaji wa taarifa za SERIKALI YA TANZANIA za moja kwa moja kutoka YAHOO kwa kutumia wamiliki halali ambao ni WAKENYA.
Na kipindi cha MZEE RUKSA alishawahi kuwauliza WAKENYA - ni kwanini wanawapatia "TAARIFA ZA SERIKALI" wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU]? WAKENYA walimjibu aliyekuwa RAIS WA SERIKALI YA TANZANIA kwa kipindi hicho [MZEE RUKSA] kuwa - damu ni nzito kuliko maji.
Yaani wao walikuwa tayari wameanza kuzaliana na WATOTO walikuwa tayari wameshapatikana na kubadilishana TAARIFA ZA SERIKALI YA TANZANIA ilikuwa ni jambo la kawaida.
Kwahiyo wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walifanikiwa pakubwa sana kukwepa makali ya SERIKALI YA TANZANIA kipindi cha UHUJUMU UCHUMI.
Unajua katika zama hizi lazima GHARAMA itumike katika kupata TAARIFA SAHIHI, kwa sababu GOOGLE au wengine wanaita ni WEBSITE SEARCHING ENGINE huwa wanatoa TASWIRA yaani BIG PICTURE lakini TAARIFA ZA KINA yaani DETAILED INFORMATIONS huwa hawatoi.We jamaa hizi taarifa huwa unapata wapi? Kwamba wakikuyu kutoka Kenya ndio wamiliki wa Yahoo! really?
Katika zama hizi za Information age unakuja na stori za kuunga unga wakati ukweli upo kwenye biographies, encyclopedia, n.k
Tangia nianze kusoma mada zako sijawahi kuelewa unachoandika.
Ngoja nikipata MUDA jioni nitakuonesha kitu kingine ambacho kinamilikiwa na WATANZANIA, lakini ukitumia GOOGLE utapata TAARIFA tofauti au TAARIFA iliyojificha ficha.We jamaa hizi taarifa huwa unapata wapi? Kwamba wakikuyu kutoka Kenya ndio wamiliki wa Yahoo! really?
Katika zama hizi za Information age unakuja na stori za kuunga unga wakati ukweli upo kwenye biographies, encyclopedia, n.k
Tangia nianze kusoma mada zako sijawahi kuelewa unachoandika.
Sawa nasubiri. Pia naomba source ya taarifa zako.Ngoja nikipata MUDA jioni nitakuonesha kitu kingine ambacho kinamilikiwa na WATANZANIA, lakini ukitumia GOOGLE utapata TAARIFA tofauti au TAARIFA iliyojificha ficha.
Wewe subiri jioni! Lakini pia unapoomba VYANZO VYA TAARIFA kwenye MITANDAO YA KIJAMII inakuwa sio SALAMA.Sawa nasubiri. Pia naomba source ya taarifa zako.
KUMBE HII KAULI ALIKUWA ANAIPENDA SANA,"KUNA WANASIASA WANA TABIA ZA KIMALAYA MALAYA"