Kwahiyo kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI yaani TANZANIA, KENYA na UGANDA kulikuwa tayari kuna jamii ambazo zilikuwa tayari zimeshajikita kwenye MAMBO ya IT yaani
INFORMATION TECHNOLOGY tangu miaka ya tisini [ 1990's ].
Jamii hizo ni WALUO kutoka katika TAIFA LA KENYA kwa kumiliki WEB BROWSER YA OPERA, MWASHITA yaani SIMBA kutoka katika TAIFA LA TANZANIA kwa kumiliki WEB BROWSER YA MOZILLA [FIREFOX] na WAKIKUYU kutoka katika TAIFA LA KENYA kwa kumiliki YAHOO pamoja na bidhaa zake zote.
Vile vile katika kipindi cha miaka ya themanini kuelekea miaka ya tisini yaani [1980's hadi 1990's] kulikuwa na tukio kubwa la kihistoria ambalo lilifanywa na aliyekuwa RAIS WA ZAIRE [ DRC ] - MOBUTU SESE SEKO.
Hii ni nyimbo ya KANDA BONGO MANI na ni nyimbo ambayo ilitungwa kwa kueleza namna ambavyo MOBUTU SESE SEKO alivyokuwa anafanya MAMBO makubwa na yenye kushangaza.
MOBUTU SESE SEKO ndio MTU aliyekuwa nyuma ya kufadhili WANASAYANSI WA KIMAREKANI wakiongozwa na BILL na kufanikiwa kuanzishwa kwa WEBSITE SEARCHING ENGINE nchini MAREKANI ambayo inatumika ULIMWENGU mzima.
Jina la hiyo nyimbo ilikwenda kwa jina la BILI ikimaanisha jina la kwanza la MWANASAYANSI WA KIMAREKANI aliyekubali kufanya KAZI kwa ufadhili wa MOBUTU SESE SEKO.
Kwahiyo MOBUTU SESE SEKO alifanya MAMBO makubwa sana kipindi cha UTAWALA wake na kile ambacho kinaendelea kufanyika kwenye MITANDAO YA KIJAMII huwa wanaita ni PROPAGANDA.
Mara nyingi PROPAGANDA huwa inafanyika ili kupotosha UKWELI, lakini hali huwa ni tofauti kabisa na UHALISIA. Hali ya upotoshaji ambayo inaendelea kufanyika kwa MOBUTU SESE SEKO ndio inafanyika kwa aliyekuwa RAIS WA UGANDA - IDI AMINI DADA.
IDI AMINI DADA na yeye alifanya MAMBO makubwa sana na aliwekeza KIUCHUMI na BIASHARA zake zipo hadi leo kwenye MATAIFA YA ULAYA pamoja na AMERIKA.
Sasa kwa wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KUNDI LA UGANDA LINE walifanikiwa kuyafahamu hayo MAMBO mapema na waliiga namna ya kufanya BIASHARA kutoka kwa WATU waliokuwa wamewatangulia KIUCHUMI kwa kipindi hicho.
Na mfano mzuri - kipindi cha UHUJUMU UCHUMI, miaka ya tisini yaani 1990's wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walifanikiwa kuanzisha KAMPUNI YA USAFIRISHAJI WA ABIRIA NA MIZIGO iliyoitwa ALLY'S STAR.
Hii KAMPUNI YA USAFIRISHAJI WA ABIRIA NA MIZIGO inapatikana SHINYANGA na KAMPUNI MWENZA ni CONVOY HAULAGE inayopatikana MWANZA pamoja na ALI STAIR inayopatikana DAR ES SALAAM. Vile vile hii KAMPUNI YA ALLY'S STAR ipo chini ya KAMPUNI MAMA ya AMSONS GROUP.
Hiyo KAMPUNI YA AMSONS GROUP inajumuisha KAMPUNI za CAMEL OIL, CAMGAS, CAMEL CEMENT, CAMEL CONCRETE, AMSONS REAL ESTATE, CAMEL WHEAT FLOUR pamoja na KAMPUNI nyingine zipatazo mbili.
Hii KAMPUNI ya AMSONS GROUP ni KAMPUNI MAMA ambayo inajumuisha makampuni madogo madogo yapatayo nane [8] kwa idadi yake.
Sasa ukiachana na KAMPUNI YA AMSONS GROUP - ile KAMPUNI MTOTO YA ALLY'S STAR yaani
ALLIED pia inamaanisha KAMPUNI YA UTENGENEZAJI VIATU inayoitwa ALL STAR inayopatikana nchini MAREKANI.
Hii KAMPUNI YA CONVERSE maarufu kama
ALL STAR ni KAMPUNI ambayo ilinunuliwa miaka ya tisini [1990's] kipindi cha UHUJUMU UCHUMI kufutia KAMPUNI hiyo kutaka kufilisika.
Lakini baada ya KAMPUNI YA ALL STAR kufanikiwa kununuliwa na MWASHITA yaani SIMBA ndio ikaanzishwa KAMPUNI YA USAFIRISHAJI WA ABIRIA NA MIZIGO iliyoitwa ALLY'S STAR inayopatikana SHINYANGA, TANZANIA na baadae ilipatikana KAMPUNI MWENZA aliyoitwa ALI STAIR inayopatikana DAR ES SALAAM, TANZANIA. Hii KAMPUNI YA ALI STAIR ni KAMPUNI ambayo inajishughulisha na usafirishaji wa MIZIGO kwa ndani na nje ya mipaka ya TANZANIA.
Baada ya kufanikiwa kuuzwa kwa KAMPUNI YA ALL STAR au maarufu kama CONVERSE, ilianza kukua kwa kasi na kuingia kwenye SOKO LA USHINDANI na KAMPUNI YA VANS OLD SKOOL.
Sasa hivi hii KAMPUNI YA ALL STAR ni BRAND kubwa duniani na mwanzoni mwa miaka ya elfu mbili [2000's] ilifanikiwa kufungua KIWANDA kingine nchini INDIA ili kukamata SOKO LA KIBIASHARA kwa upande wa BARA LA ASIA.
Ndio maana ukiangalia MANING NICE kipindi anasoma SEKONDARI pamoja na CHUO KIKUU alikuwa anapendelea kuvaa ALL STAR za rangi mbali mbali, ile ilikuwa sio FASHENI bali alikuwa anavaa SNIKA zinazotengenezwa na KAMPUNI yao.
Hizi ALL STAR huwa ni
ORIGINAL na huwa zinatoka moja kwa moja nchini MAREKANI na sasa hivi bidhaa za ALL STAR zinapatikana na zinatumika ULIMWENGU mzima.
Kwahiyo, wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na kuonekana kuwa walikuwa ni WASHOSHA NG'OMBE yaani WATU WASHAMBA WASHAMBA, lakini leo ndio MATAJIRI WA TANZANIA na WATOTO wao wanatumia bidhaa zao ambazo zinazalishwa na VIWANDA ambavyo wanavimiliki watangulizi wao.