Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Hizo SHULE ZA TAQWA zinazopatikana katika JIJI LA LAGOS, nchini NAIJERIA zilichukua wafanyakazi wengi kutoka TANZANIA.

0c7d8950c331b6c768243c37862696f2.png

Hao wafanyakazi waliambatana pamoja na familia zao, kwahiyo wafanyakazi pamoja na wanafunzi wengi wa SHULE ZA TAQWA ni WATANZANIA.

6f5654fcd8006b1d85412ef3295d0ef4.png

Hawa ni WATANZANIA ambao ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

_20230309_130759.JPG

Hizi SHULE ZA TAQWA zinatoa huduma ya ELIMU kwa misingi ya DINI YA KIISLAMU na inapokea wanafunzi wote wa DINI mbalimbali.

_20230309_130733.JPG

Hawa wanafunzi wanaopatikana hapa, ndio wafanyakazi wa baadae wa kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA kwa upande wa TAIFA LA NAIJERIA.

_20230309_130836.JPG

Hawa pia ni WATANZANIA ambao ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia katika TAIFA LA NAIJERIA na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wanamiliki shule ya aina hiyo, kama TAQWA katika TAIFA LA UGANDA.



Kwahiyo hayo ndio MATUNDA, MAFANIKIO na SIASA za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
 
Kwa upande wa TAIFA LA UGANDA, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndio wamiliki halali wa SHULE YA SAINT PETER'S NAALYA SECONDARY SCHOOL [SPENA] inayopatikana katika JIJI LA KAMPALA, nchini UGANDA.

d4bc00496b7f92ec74cc15c9ed097407.png


c75abcfb0764d5aa98ce4b0eae7b00c1.png


1cbf913f869a297c93e313627a675b0b.png

Hii shule ya SAINT PETER'S NAALYA SECONDARY SCHOOL [SPENA] ni shule ambayo inamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA kupitia kampuni ya VIPODOZI YA AVON inayopatikana nchini UINGEREZA.

5acaaa2e8c5b7afff6bb712f3d3a8dfe.png

Kwahiyo, kampuni ya VIPODOZI YA AVON ndio wamiliki halali wa SHULE YA SAINT PETER'S NAALYA SECONDARY SCHOOL [SPENA] inayopatikana katika JIJI LA KAMPALA, nchini UGANDA.

f30de5839ac8d480dca37c9dd11dd3bb.png


7a825cb1d60783f08d0da81c1042668e.png


3e1a51560f2ec23f654a9b433c99ec95.png

Hii shule inafanya vizuri sana kitaaluma na yenyewe inachukuwa wanafunzi wengi wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini UGANDA.

4570f19b4da48856fbc1dae2fb279b66.png


ca4ed9b3a48f46fa2c580d81c14ce843.png

Hii shule ni mchanganyiko na ina nafasi ya kutwa na bweni kama ilivyo kwa shule nyingine nyingi za nchini UGANDA.

fb004415f278c02633fb29bded01f30e.png

Na wanafunzi wanaohitimu hapa, hupata nafasi ya kujiunga na MASOMO YA VYUO VIKUU na wengine huwa wanajiunga na MAJESHI YA UGANDA.

e4cbba2c130e7398e22f393ff7d42090.png


e384844304d90f1f82b980c039bddbc2.png

Wanafunzi wengi wa SHULE YA SAINT PETER'S NAALYA SECONDARY SCHOOL [SPENA] ni WATANZANIA ambao ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao wazazi wao walihamia nchini UGANDA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

1c017b8453a363e925e5d675e4380b35.png

Hawa ndio MWASHITA yaani SIMBA ambao wanategemewa kufanya kazi na kusimamia kampuni binafsi ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

3284dc49d1ee1180199242f6efe518e9.png

Hawa ndio MWASHITA yaani SIMBA wenye misimamo mikali na pia huwa wanatumia muda wa likizo kuja TANZANIA kusalimia ndugu na jamaa.

fe89f34dcdd9e9ca44f76ac12ba74df1.png

Hawa wahitimu wanaopatikana katika shule ya SAINT PETER'S NAALYA SECONDARY SCHOOL [SPENA] wanaandaliwa kuja kuongoza kampuni za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ikiwemo kampuni ya NEXT MEDIA inayomiliki kituo cha televisheni cha NBS.



Wafanyakazi wengi wa kampuni ya NEXT MEDIA hususani kituo cha televisheni cha NBS ni WATANZANIA ambao ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA, yaani MWASHITA waliohamia UGANDA.

Vile vile, jina la kituo cha televisheni cha NBS limetokana na kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa NBS COMPANY LIMITED inayopatikana nchini TANZANIA.

IMG-20230310-WA0000.jpg

Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo ya NBS inamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

2fddb33930c1ca183ba944bc53ee0339.png

Kwahiyo hawa wanafunzi wa SAINT PETER'S NAALYA SECONDARY SCHOOL wana nafasi kubwa ya kuongoza kampuni zinazomilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ikiwemo kampuni ya VIPODOZI ya AVON inayopatikana nchini UINGEREZA.

7b0c5d8c8b8b4824cc01c23910782b3c.png

Hao ndio kizazi cha MWASHITA yaani SIMBA waliohamia katika TAIFA LA UGANDA.

a0ccb208e2db2be01f4108ee2037cfce.png

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA kipaumbele chao huwa ni ELIMU na ndio maana wanaendelea kufanikiwa KIUCHUMI na KIBIASHARA.

df8dbbed2d21793b73d2edc5dba736d2.png

Malengo ilikuwa ni kujikwamua KIUCHUMI na wamefanikiwa kwa zaidi ya asilimia mia moja [100%].



Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA waliwekeza kwa kutumia watu wao na ndio maana wamepiga hatua kubwa ya kimaendeleo.

75137fbf4c5dc00a66530f7a9cfc0b2d.png

Vile vile kupitia kampuni ya MUKWANO INDUSTRIES ambayo inamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

14a79038e25d8d1be5efad75f2472b78.png

Hii kampuni ya MUKWANO INDUSTRIES ndio wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoitwa EXPRESS FOOTBALL CLUB ambayo inashiriki LIGI KUU nchini UGANDA.

37387d4ba18742f87ff669f10443b8fa.png

Kwahiyo, haya ndio MAFANIKIO, MATUNDA na SIASA za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.
 
Kwa upande wa TAIFA LA KENYA, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndio wamiliki halali wa LIONS PRIMARY SCHOOL inayopatikana NAKURU, nchini KENYA.

IMG-20230318-WA0009.jpg

Hii shule ni maarufu sana kwa upande wa TAIFA LA KENYA kutokana na kufanya vizuri katika MITIHANI YA KITAIFA.

IMG-20230318-WA0010.jpg

Pia ni shule ambayo wanasoma wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA SHINYANGA, MWANZA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia KENYA.

IMG-20230318-WA0008.jpg

Katika TAASISI ZA ELIMU ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] kwa upande wa TAIFA LA KENYA, hii LIONS PRIMARY SCHOOL ndio FAHARI yao.

IMG-20230318-WA0003.jpg

Na huyu msanii AVRIL ndio FAHARI YA MWASHITA kwa upande wa TAIFA LA KENYA kutokana na umahili wake wa kutunga na kuimba nyimbo.

IMG-20230318-WA0001.jpg

Huyu AVRIL ni NOTABLE ALUMNI wa LIONS PRIMARY SCHOOL inayopatikana NAKURU, nchini KENYA.



Hili jina la LIONS kwa tafsiri ya LUGHA YA KISWAHILI ni SIMBA. Kwahiyo hilo jina limebeba tafsiri halisi ya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

IMG-20230318-WA0007.jpg

Hawa wote kwenye hii picha ni ALUMNI wa LIONS PRIMARY SCHOOL inayopatikana NAKURU, nchini KENYA.

IMG-20230318-WA0000.jpg

Hawa wote ni ALUMNI wa LIONS PRIMARY SCHOOL na wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia KENYA na hizi shule za LIONS zinapatikana sehemu mbalimbali kwa upande wa TAIFA LA KENYA, lakini LIONS PRIMARY SCHOOL inayopatikana NAKURU ndio FAHARI ya MWASHITA yaani SIMBA.

IMG-20230318-WA0002.jpg

Hata huyu msanii KHALIGRAPH JONES na yeye alipita pale LIONS PRIMARY SCHOOL inayopatikana NAKURU, nchini KENYA.



KHALIGRAPH JONES ni msanii mzuri wa muziki wa kizazi kipya yaani HIP HOP na anafanya vizuri kwenye tasnia ya muziki kwa upande wa TAIFA LA KENYA na AFRIKA YA MASHIRIKI kwa ujumla.

IMG-20230318-WA0006.jpg

Kwahiyo ukiachana na UGANDA, KENYA ndio TAIFA ambalo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndio wamewekeza sana.

IMG-20230318-WA0005.jpg

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walijitahidi sana kubeba watu wao na kila sehemu ambapo wamewekeza BIASHARA NA UCHUMI walipeleka watu wao.

IMG-20230318-WA0004.jpg

Hata huyu KAMENE GORO ambaye ni MTANGAZAJI maarufu wa vipindi vya RADIO, hasa KISS FM naye ni MWASHITA aliyehamia KENYA.

Sasa kwenye CREW ya huyu AVRIL kuna dada yake MANING NICE ambaye alikuwa RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA [COHSS] kwa mwaka 2012/13.

DOCUMENT 442 (3).jpg

Wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA wana mahusiano ya damu na MWASHITA waliobaki TANZANIA.

IMG-20230224-WA0005.jpg

Kwahiyo hayo ndio MATUNDA, MAFANIKIO na SIASA za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.
 
Doctor G wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU]yaani MWASHITA walikuwa wanaitwa WASHOSHA NG'OMBE yaani WATU WASHAMBA WASHAMBA.

Lakini kuna VIONGOZI waliokuwa ndani ya SERIKALI na ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] walikuwa wanaitwa NG'OMBE. Yaani wale VIONGOZI walikuwa hawaweki AKIBA na walikuwa wana msemo usemao hivi - "PONDA MALI, KIFO CHAJA".

Kweli wale VIONGOZI walikuwa wanatumia PESA, bila ya kuweka AKIBA na mwisho wa siku FAMILIA zao hazina kitu na wamebakiza majina ambayo yanawasaidia kupata AJIRA ndani ya SERIKALI YA TANZANIA.

Lakini wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walikuwa ni WATU WASOMI na walitumia PESA zao kuwekeza.

41a76e39524fb56981c509f0ef1b3816.png

SHULE YA LIONS PRIMARY SCHOOL inayopatikana NAKURU, nchini KENYA ni SHULE ambayo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndio wamiliki na wanatumia gharama kubwa katika kuboresha miundo mbinu.

67865cfd60d7200db4b76f66c6623dad.png


a37e4390632962ca19b141f5b585e6d3.png

SHULE YA LIONS PRIMARY SCHOOL ni TAASISI YA ELIMU ambayo inatoa ELIMU YA AWALI kwa upande wa TAIFA LA KENYA na ni FAHARI ya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

da8ca2efeb478f39620caa2ad0d5fb4e.png

Hii SHULE YA LIONS PRIMARY SCHOOL ni shule ambayo wanasoma wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia KENYA.

ab4e35122982bb81a77c3c3182145c9a.png


58e1b1cec63cab53cfed5e038c587308.png

LIONS PRIMARY SCHOOL ni shule ambayo inaandaa wanafunzi ambao baadae watakuja kuwa wafanyakazi wa kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA kwa upande wa TAIFA LA KENYA.

0e15191f4e1d6d16feccf2f9c877660f.png


0fccb04c9d1efdb49b8f1fe528bcdf94.png


2cfc09de1fad13a5c97917cb03fb7be6.png

Hao ndio MWASHITA yaani SIMBA kwa upande wa TAIFA LA KENYA na hiyo SHULE YA LIONS PRIMARY SCHOOL ina mahusiano ya moja kwa moja na timu ya mpira wa miguu inayoitwa AFRICAN LYON inayopatikana DAR ES SALAAM, nchini TANZANIA.

17bf9445150dc6de07fba8f716cf35ce.png

Hii timu ya AFRICAN LYON inamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

445a127f99944b88b262a58e58dc2bcc.png

Pia, ile SHULE YA LIONS PRIMARY SCHOOL ina mahusiano ya moja kwa moja na timu ya mpira wa miguu ya RAYON SPORTS inayopatikana KIGALI, nchini RWANDA.

Hii timu ya mpira wa miguu ya RAYON SPORTS inamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

f819ee160e5e0b13a764fab0c834663c.png

Pia, ile SHULE YA LIONS PRIMARY SCHOOL ina mahusiano ya moja kwa moja na timu ya mpira wa miguu inayoitwa OLYMPIQUE LYONNAIS inayopatikana LYON, nchini UFARANSA.

Hii timu ya OLYMPIQUE LYONNAIS inamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

IMG_20230319_230831.jpg

Hii timu ya mpira wa miguu ya OLYMPIQUE LYONNAIS inayoshiriki LIGI KUU nchini UFARANSA ni timu ambayo inajumuisha wachezaji mpira weusi wenye asili ya MWASHITA yaani SIMBA. Yaani timu ya OLYMPIQUE LYONNAIS inajumuisha wachezaji weusi wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

Hiyo SHULE YA LIONS PRIMARY SCHOOL ina mahusiano ya moja kwa moja na timu za mpira wa miguu za AFRICAN LYON inayopatikana TANZANIA, RAYON SPORTS inayopatikana RWANDA na OLYMPIQUE LYONNAIS inayopatikana UFARANSA ikiwa ni sehemu ya kudumisha michezo kwa wanafunzi wa SHULE YA LIONS PRIMARY SCHOOL.

Kwahiyo hayo ndio MATUNDA, MAFANIKIO na SIASA za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.
 
Doctor G wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndio wamiliki halali wa HOTELI YA BOMA INN inayopatikana ELDORET, nchini KENYA.

ec230f58520642a7596fc3d41b17165c.png

Hii HOTELI ukifika, wahudumu wengi kwa asilimia kubwa ni WATANZANIA ambao ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.



Hata huyu MSANII MEJJA ni MWASHITA aliyehamia KENYA na ni mwenyeji wa asili wa SHILALO, MISUNGWI, MWANZA. Hicho kijiji cha SHILALO kimetoa watu mashuhuri sana, sema bado wanafanya UNDISCLOSED kwa manufaa ya baadae.



Asilimia kubwa ya wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walihama maeneo ya asili tangu miaka ya themanini [1984's] baada ya kuanzishwa kwa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA na kusababisha wenyeji wa hiyo MIKOA kuwa na uwezo wa KIFEDHA na KIUCHUMI.

Hayo ndio MAFANIKIO, MATUNDA na SIASA za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

Na aina hii ya SIASA mara nyingi huwa inafanywa na MATAIFA MAKUBWA pamoja na JAMII zilizoendelea na ambazo zinamiliki UCHUMI MKUBWA, hata wakina JUVÉNAL HABYARIMANA, CYPRIEN NTARYAMIRA, IDD AMIN DADA na MOBUTU SESE SEKO ndio walikuwa wanafanya aina hii ya SIASA.

63c0f61fd01c6882b0facad1b7ea7740.png

Sasa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walisaidiwa aina hii ya SIASA na MATAIFA YA ULAYA YA MAGHARIBI wakiongozwa na TAIFA LA UINGEREZA ili kupambana na UDHARIMU unaofanywa na SERIKALI.
 
Doctor G wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA baadae waligawanyika.

Wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU] walikuwa wanawabeba WANYAMWEZI na kuwapatia kazi kwenye kampuni ambazo wanamiliki wao, pia baadhi ya hawa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU] waliingia SERIKALINI.

Wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] waligawanyika, kulikuwa kuna MWELI na KEYA - kukawa kuna WANYANTUZU na WASUKUMA na ndio baadae wakaamua kuwa na MKOA WA SIMIYU.

MKOA WA SIMIYU ulitokana na mgawanyiko wa wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU].

Kwahiyo ndani ya vile VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA palitokea MATABAKA - kukawa kuna WANYAMWEZI, WASUKUMA na WANYANTUZU.

MISTER ABILITY na KIDUDUYE walibeba WASUKUMA wa MWANZA, SHINYANGA pamoja na baadhi ya sehemu za MKOA WA TABORA ikiwemo NZEGA na IGUNGA.

Wale wengine wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU] walibeba WANYAMWEZI na baadhi ya wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU] na SHINYANGA [SHIRECU] walibeba WANYANTUZU.

Lakini wote walikuwa na malengo yanayofanana, kwahiyo hakikuharibika kitu zaidi ya kupatikana kwa MATABAKA kulingana na maeneo wanapotoka.

0781a46553eacb65b3689daa9dfbe801.png

Kipindi hicho, wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walihamia KENYA na kufanya kazi kwenye kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

IMG_20230324_220905.jpg

Miongoni mwao, ni mwanariadha maarufu anayetambulika kwa jina la ELIUD KIPCHOGE. Huyu pia ametoka sehemu moja na MISTER ABILITY.

Kwahiyo wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walisambaa kwa namna hiyo, wengine walihamia TANZANIA VISIWANI yaani ZANZIBARI.

0a444e21ece3717b94279c46b606364a.png

Kwa upande wa TANZANIA VISIWANI yaani ZANZIBARI, wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walibadilisha DINI ili kuendana na utamaduni wa WATU WA PWANI.

44980beb2c8401576f99e21e37932196.png

Kwa upande wa TANZANIA VISIWANI yaani ZANZIBARI, wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndio WANAZI wa VYAMA VYA KISIASA VYA ACT - WAZALENDO pamoja na CHAMA CHA WANANCHI - CUF.

f278284df80d538be0785dee6f292678.png

Wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndio CHAMA CHA WANANCHI - CUF na ACT - WAZALENDO kwa upande wa TANZANIA VISIWANI yaani ZANZIBARI.

8d3248b769a3303505747046afe9b100.png

Kwahiyo, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wamefanikiwa pakubwa sana KISIASA, KIBIASHARA pamoja na KIUCHUMI.

9ca79c5b90808d8854ed90ae39062491.png

Kwahiyo hayo ndio MAFANIKIO, MATUNDA na SIASA za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
 
Nitafarijika sana kama siku moja mzee Mohamed Said ataandika makala ya kumuelezea Kambona.

amuelezee kama anavyofanya katika kuwaelezea wazee wake wa Kariakoo ambao walishiriki harakati za kisiasa kabla na baada ya uhuru.

Najua uwezo huo unao ila hajajisikia tu kufanya hivyo. Labda kwa kuwa Kambona hakuwa mwenzetu kiimani.
Smarte,
Sijamweleza Kambona sana katika kitabu cha Abdul Sykes hilo ni kweli lakini si kwa sababu hiyo.
 
05c608b23e0222fa4ea15cb016823466.png

Cheki CHUMA hicho!! Hapo ni NDOLA, ZAMBIA 🇿🇲 mwanangu!! Hiyo NDINGA utafikiri upo kwenye BOEING A501.. 😂😂!!

Wakati kuna FAMILIA ZA WAASTAFU wanaomba misaada na wengine NYUMBA zao zinapigwa MNADA kwa sababu ya MADENI, yaani wamebakiza MAJINA tu.

Lakini wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wanazidi kuboresha biashara zao.
 



Huyu MSANII anaitwa PHYNO yupo pamoja na OLAMIDE, ni miongoni mwa MWASHITA waliohamia NAIJERIA na kiujumla WASANII wapo wengi waliohama kutoka mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA ambao wanafanya shughuli zao nje ya mipaka ya TANZANIA.

Haya ndio MATUNDA, MAFANIKIO na SIASA za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
 
Jaribu kusikiliza tena hii nyimbo ya OLAMIDE, huyu MSANII OLAMIDE ametoka sehemu moja na MSANII PHYNO.



Sasa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa PENTHAUZE RECORDS.

Hiyo LABEL YA PENTHAUZE wanamiliki kupitia jina la [...] ambalo ni jina la mtoto wa aliyekuwa mmoja wa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

Kwahiyo kwa upande wa TAIFA LA NAIJERIA, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wanamiliki MAVIN RECORDS pamoja na PENTHAUZE RECORDS.

Hii LABEL YA PENTHAUZE imetoa WASANII wengi sana akiwemo PHYNO, OLAMIDE, SUPERBOY CHEQUE pamoja na FIREBOY DML.

1e10ce8e5b2a4c1ec762a618588425ca.png

Hawa ni WASANII wanaofahamika kwa majina ya SUPERBOY CHEQUE pamoja na FIREBOY DML, na hii picha walipiga kabla ya kusajiriwa na LABEL YA PENTHAUZE.

7a41bf339cafea8b5c6b40b76d43f063.png

Hapa wakiwa tayari wameshajiriwa na LABEL YA PENTHAUZE na kuanza shughuli zao za muziki nchini NAIJERIA.



Hii ndiyo NYIMBO iliyowatambulisha wakina SUPERBOY CHEQUE na FIREBOY DML kwenye tasnia ya muziki nchini NAIJERIA.

75e7c14444a76b8a296fc6ed01b745aa.png

Na huo UBETI WA PILI anapotaja jina la MANDELA, ndio mmiliki wa LABEL YA PENTHAUZE inayopatikana nchini NAIJERIA.

uhuru.jpg

Huyo MANDELA ndio alikuwa MWANAFUNZI BORA WA KIDATO CHA NNE [2007], nchini TANZANIA na huyo ndio kizazi cha MWASHITA yaani SIMBA 🦁.

Kwahiyo hayo ndio MATUNDA, MAFANIKIO na SIASA za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
 
Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndio wamiliki halali wa KITUO CHA TELEVISHENI kinachoitwa CANAL PLUS kinachopatikana nchini UFARANSA.

36b64a79fd63bd13a6c57c2bd1cd55fc.png

CANAL PLUS ni KITUO CHA TELEVISHENI ambacho huwa kinahusika na kurusha matangazo ya mchezo wa mpira wa miguu kwa TAIFA LA UFARANSA, EUROPA pamoja na MICHUANO YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE.

e7e21ec8821da6dbe197276d8f029b9e.png

Hali hii ilifuatia baada ya mmoja wa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA kumiliki KITUO CHA TELEVISHENI kinachoitwa SKY NEWS kinachopatikana nchini UINGEREZA.

4ccf889ab96caad448a1b135d65e2ca6.png

Pia, SKY NEWS imegawanyika katika tasnia tofauti tofauti ikiwemo SKY SPORTS, SKY BET pamoja na SKY NEWS UGANDA.

e38ef310c04f3a1a0a2d04d48a8e8a92.png

Hiki KITUO CHA TELEVISHENI kinachoitwa SKY NEWS kwa nyakati tofauti na kwa kupitia KAMPUNI tofauti tofauti kilifanikiwa kudhamini LIGI YA CHAMPIONSHIP kwa mwaka 2020/21 na pia kurusha matangazo ya mpira wa miguu kwa TAIFA LA UINGEREZA.

Hawa wamiliki halali wa VITUO VYA TELEVISHENI vya CANAL PLUS pamoja na SKY NEWS walishawahi kuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] kwa nyakati tofauti na walikuwa ni MASWAHIBA wakubwa kabla ya mmoja wao kutangulia mbele za haki.

36eb5088ffcdf9537208397d7a54e205.png

Na katika maonesho ya 48 YA CÉSAR yanayorushwa hewani na KITUO CHA TELEVISHENI kinachoitwa CANAL PLUS, kwa mara ya kwanza katika historia ya mashindano hayo aliibuka mshindi wa kwanza mwenye asili ya KIAFRIKA kutoka AFRIKA YA MASHARIKI anayeitwa ALICE DIOP.

dd59f3ec1ffb3aeca99276d7325e7bdb.png

ALICE DIOP ni mwenyeji wa asili wa ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na ni miongini mwa MWASHITA waliohamia UFARANSA katika JIJI LA LYON.



Pia, ALICE DIOP ameshawahi kushinda tuzo ya FILAMU BORA katika maonesho ya KIMATAIFA YA BERLIN nchini UJERUMANI, maonesho hayo huwa yanajumuisha FILAMU mbalimbali na kutoka MATAIFA tofauti tofauti ULIMWENGUNI.



Kwahiyo haya ni baadhi ya MATUNDA, MAFANIKIO na SIASA za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA 🦁.
 
Kuna DOCUMENTARY imeandaliwa na SKY NEWS masaa machache yaliyopita inayohusu UZALISHAJI WA CHUMA nchini UINGEREZA na wamegusia KIWANDA CHA LIBERTY STEEL.



Haya ni MATUNDA, MAFANIKIO na SIASA za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
 
Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walitumia hivi VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA kujijenga KIUCHUMI.

CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA yaani WETCU ndiyo walinufaika pakubwa kuliko VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA vya MIKOA mingine, hii inatokana na idadi ya kampuni ambazo wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA yaani WETCU kumiliki.

TABORA kwa LUGHA YA KISUKUMA inaitwa "NOBOLA", na baada ya kuwa na UKWASI WA KUTISHA - WAARABU waliamua kuita wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA yaani WETCU kuwa ni "TORA BORA". "TORA BORA" ni neno la LUGHA YA KIARABU lenye asili ya AFGHANISTANI.

Hili jina la "TORA BORA" walipewa baada ya kuwekeza sana katika TAIFA LA SUDANI pamoja na MATAIFA YA MASHARIKI YA KATI, ikiwemo OMANI na hawa ndiyo wapo nyuma ya ile TAASISI YA MO IBRAHIM FOUNDATION inayotoa TUZO kwa VIONGOZI BORA WA AFRIKA.

Baadae wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA yaani WETCU walipewa jina lingine la "ORA ET LABORA" na WAITALIANO, ikiwa na maana ya KILATINI ya "KUSALI NA KUFANYA KAZI" au "KAZI NA SALA" yaani "PRAY AND WORK". Hili neno la KILATINI ndiyo limebeba maana halisi ya WATU WA TABORA.

IMG-20230406-WA0003.jpg

Wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA yaani WETCU waliamua kuanzisha kampuni kwa jina la OLA ikiwa imesadifu yale majina matatu ya NOBOLA, TORA BORA na ORA ET LABORA.

Hiyo ndiyo ilikuwa kampuni yao ya kwanza ya kutengeneza SABUNI ZA OLA ambazo sasa hivi zimeenea katika BARA LA ULAYA na AMERIKA.

IMG-20230406-WA0002.jpg

Baadae, katika miaka ya tisini [1990's] walifanikiwa kufungua KIWANDA CHA OLA ambacho kinatengeneza NGUO nchini INDIA.

IMG-20230406-WA0004.jpg

Pia wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA yaani WETCU wanamiliki kampuni inayouza mataili ya magari nchini INDIA inayoitwa OLA.

aff121b8e5a0e8aae4eb89431382bc76.png

Wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA yaani WETCU walifanikiwa kumiliki KIWANDA kinachotengeneza PIKIPIKI za OLA kinachopatikana nchini INDIA.

ce899104e33476694c0250c12d7bd20f.png

Baada ya kufanikiwa kwenye KIWANDA kinachotengeneza PIKIPIKI ZA OLA wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA yaani WETCU walifanikiwa kufungua KIWANDA kingine kinachotengeneza EV nchini INDIA.

bd98d80b54ee8fdae7423a085c3d68a4.png

Wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA yaani WETCU kupitia MKURUGENZI WA OLA waliingia makubaliano ya kujenga KIWANDA kinachotengeneza MAGARI nchini INDIA.

57b46126c0e0e3c77fa30f3c49203e8b.png

Hiki KIWANDA kitakuwa kinatengeneza MAGARI ambayo yatakuwa yanatumia UMEME.

5044f8f3d586930d1bef3f8ba5c64e0f(1).png

Kufikia mwaka 2024, hiki KIWANDA kinachotengeneza MAGARI yanayotumia UMEME kitakuwa tayari kimeanza kufanya kazi.

49610a8882c8df2b5b2c47690922bfe5.png

Pia, hii kampuni ya OLA inamiliki OLA CAB nchini INDIA. Hii kampuni ya OLA CAB inachuana na UBER katika biashara ya usafirishaji wa abiria nchini INDIA.

b19095fc8df62a9610a1d40547568692.png

Pia, wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA yaani WETCU walifanikiwa kumiliki KIWANDA kinachotengeneza IPO'S nchini INDIA kinachoitwa OLA.

Kwahiyo hayo ndiyo MAFANIKIO, MATUNDA na SIASA za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA 🦁.
 
Sasa ukitaka kufahamu wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA ITALIA inayoitwa AS ROMA, angalia huu ukurasa wa INSTAGRAM wa JOSE MOURINHO .

95fbbc85a9dee9bedc89bce39b74f47a.png

Ile kampuni ya OLA ndio inamiliki timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA ITALIA inayoitwa AS ROMA kupitia kampuni ya FRIEDKIN GROUP.

d84ebcf86e11a09743dda53f94625ea8(1).png

Huyu pia ni miongoni mwa MWASHITA mwenye asili ya TABORA [hawa ndiyo WANYAMWEZI], waliohama TANZANIA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].
 
Na ukiangalia rangi ya jezi za timu ya AS ROMA zinafanana na rangi ya kampuni ya mafuta ya MOUNT MERU PETROLEUM LTD inayopatikana TANZANIA.

9cb3716b7e7afa4d10927b63d7b8f5e3.png


71fc17e71ff02aa6594732b186a1f6c1.png

Hii imefanyika kama ilivyofanyika kwa rangi ya jezi ya timu ya PSG na kampuni ya kusafirisha mafuta ya [...] inayopatikana TANZANIA.

4bf53226d9a4d424eaf921973580e792.png

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU] na wao waliamua kufanya kama walivyofanya wenzao wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] kuhusu timu ya mpira ya PSG na kampuni ya kusafirisha mafuta ya [...].

42edec4c842a771670591eb99c91aca9.png

Hii kampuni ya MOUNT MERU PETROLEUM LTD ni kubwa na inapatikana katika MATAIFA KUMI NA NNE [14]. MATAIFA hayo ni UMOJA WA FALME ZA KIARABU [UAE], UGANDA, ZAMBIA, ZIMBABWE, IVORY COAST, BOTSWANA, KONGO KINSHASA, GABONI, KENYA, MALAWI, MSUMBIJI, NAMIBIA, RWANDA na TANZANIA yenyewe.

b2ac7536a37db0f451dd66e8c7c369f1.png

Huko kwenye MATAIFA yote, wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU] walipeleka watu wao kwenda kufanya kazi.

Pia, hawa MOUNT MERU wana kampuni nyingi ambazo ni MOUNT MERU PETROLEUM LTD, MOUNT MERU MILLER'S LTD, MOUNT MERU LOGISTICS LTD, MERU GAS [LPG], MOUNT MERU RETAIL LTD, ACER INFRASTRUCTURE, ACER PETROLEUM pamoja na ACER LOGISTICS.

ac1bacd682496f83a68fe45cd73f5d48.png

Wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU] walipeleka sana watu wao nje ya nchi, kiasi ambacho ilikuwa akionekana MTANZANIA nje ya nchi alikuwa anaitwa MNYAMWEZI.

Kipindi hicho, cha miaka ya tisini [1990's], pale MAGOMENI kulikuwa kuna kikundi cha UGOMVI NA VURUGU sana kilichokuwa kinaongozwa na ARAFATI NGUMI JIWE pamoja na SIDE MNYAMWEZI, hawa wote walikuwa ni wenyeji wa TABORA na DAR ES SALAAM walifanya kuhamia tu.

Sasa walipokuwa wanakutana na WANAJESHI WA LUGALO kwenye BAA YA ASTON VILLA walikuwa wanazichapa kishenzi, yaani NGUMI zilikuwa zinapigwa pale mpaka panakucha..

Hiyo BAA YA ASTON VILLA mpaka leo ipo na ni BAA ambayo inamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU], ndio BAA ya kina MANING NICE.

Kipindi hicho WANAJESHI WA LUGALO walikuwa wanaongozwa na askari mmoja hivi alikuwa anaitwa BONG'USA na sasa hivi amestaafu, lakini wale wakina ARAFATI NGUMI JIWE pamoja na SIDE MNYAMWEZI wote wapo UGHAIBUNI - walichukuliwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU].

96f99bc4684bb56b521ea06294a7abe6.png

Halafu pia, hizi kampuni za ACER INFRASTRUCTURE, ACER PETROLEUM pamoja na ACER LOGISTICS zina mahusiano ya moja kwa moja na kampuni inayotengeneza VIFAA VYA KIELETRONIKI inayoitwa ACER.

60e43dbf5d7de892ba798eca7a65b6db.png

Hii kampuni ya ACER ndiyo inatengeneza kompyuta za ACER pamoja na projekta za ACER. Yaani wanafanya kama ambavyo wale waliokuwa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] walivyokuwa wanafanya, kwani na wao ndio wenye kampuni ya LENOVO.

b135be9bce69282f6104a11b97c4164b.png

Kwahiyo hayo ndiyo MATUNDA, MAFANIKIO na SIASA za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
 
Back
Top Bottom