Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

vipi hawa mwashida wana ukaribu wowote na born town?
Hapana kabisa, hawana ukaribu wowote na BORN TOWN. BORN TOWN ndiyo inaishia hivyo, ni KIZAZI cha wakina JK.

Hicho KIZAZI ndiyo BORN TOWN, hawa wengine ni WATOTO WA JUZI na hawajaona mambo mengi katika nchi hii, zaidi kusimuliwa stori za hapa na pale.

BORN TOWN wana ukaribu mkubwa sana na SAIGONI, SAIGONI ndiyo waliwafanya hawa BORN TOWN wakaitwa WATOTO WA MJINI mpaka kutwaa MADARAKA YA NCHI, mwaka 2005.

SAIGONI ni MASALIA YA WAKOLONI, yaani ni kile KIZAZI CHA WAKOLONI kilichobaki baada ya TANGANYIKA kupata UHURU wake kutoka kwa UINGEREZA na bado wana nguvu, kwa sababu hao SAIGONI ndiyo wapo nyuma ya MAKANISA YA ANGLIKANI, KKKT pamoja na ROMANI KATOLIKI.

Kipindi hicho cha miaka ya tisini [1990's], kule TANGA hawa SAIGONI walikuwa wanaitwa WAZUNGU WA UNGA na walikuwa wanapenda sana kufanya MISHE zao pale MKONGE HOTEL.

Ilikuwa baada ya MAZUNGUMZO kufanyika pale MKONGE HOTEL, wale WAZUNGU WA UNGA wanakupeleka kwa BIBI HINDU kule RASKAZONE mbele kidogo ya KAMBI YA JESHI.

BIBI HINDU alikuwa hatari sana kwenye yale mambo yetu. Hata yule MSANII WA KAOLE aliyefariki hivi majuzi aliyekuwa anaitwa jina la kazi la BI HINDU, ni jina ambalo aliamua kulitumia kama kumuenzi BIBI HINDU WA RASKAZONE, TANGA.

Kipindi hicho cha miaka tisini [1990's] - pale jirani na BIBI HINDU WA RASKAZONE, kulikuwa kuna MZUNGU mmoja hivi alikuwa anaitwa PETER'S - yule alikuwa ni MUINGEREZA na alikuwa anatembelea TOYOTA SURF ya rangi ya njano.

Yule PETER'S alikuwa anaishi na mtoto mdogo wa kiume mwenye asili ya kiafrika, yule mtoto mdogo ndiyo MANING NICE aliyekuja kuwa RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA COHSS [UDOM], mwaka 2012/13 na ndiyo wamiliki wa kampuni ya usafirishaji wa abiria ya SIMBA MTOTO inayopatikana TANGA.

Sasa pale kwa BIBI HINDU ilikuwa haipiti wiki bila ya KIONGOZI WA KITAIFA kutia maguu, hata hao BORN TOWN walikuwa wanatoka DAR ES SALAAM wanaenda kuaguliwa kwa BIBI HINDU.. 😃😃

Hata wale wote waliokuwa matajiri wa mabasi ya TAWFIQ, SHENGENA, SHAMBALAI, RAHA LEO, ZAFANANA pamoja na SIMBA COACH wote walikuwa wanaenda kuaguliwa kwa BIBI HINDU.

BIBI HINDU ndiyo aliyetoa KUDRA zote kwa SIMBA COACH kuweza kuhamia MOMBASA, nchini KENYA na pale TANGA pakazaliwa kampuni mpya iliyoitwa SIMBA MTOTO ambayo inafanya shughuli zake za usafirishaji wa abiria mpaka leo.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA na BORN TOWN walikuwa wanakutana kwa BIBI HINDU, kule RASKAZONE na baada ya hapo kila mtu alikuwa anaelekea DAR ES SALAAM kwenda kufanya shughuli zake za kibiashara au kisiasa.
 
IMG-20230420-WA0000.jpg

Angalia taarifa za moja ya kampuni za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA inavyofanya vizuri barani ULAYA.

Hii ni taarifa ya mwaka jana kuhusu kampuni ya FRESHO ambayo iliweza kufungua biashara zake kwa MATAIFA YA WALES NA SCOTLAND na hii kampuni chimbuko lake ni SHINYANGA, TANZANIA.

Kwahiyo wenzenu wana uwezo wa kusafirisha PESA kupitia kampuni ya FRESHO ambayo imepata LEGAL LEGITIMACY ya kufanya biashara barani ULAYA pamoja na AUSTRALIA.

82f6df2a57725b2295993147f4829e2f.png

Sasa wale waliokuwa BORN TOWN au kwa jina lingine waliitwa WATOTO WA MJINI walifanikiwa KISIASA, lakini KIUCHUMI NA BIASHARA waliofanikiwa ni wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
 
091fe649d4f28450927004c65691cdb6.png

Hii kampuni ya FRESHO inafanya vizuri kibiashara kwa upande wa BARA LA ULAYA na AUSTRALIA, kwani faida inayopatikana katika biashara hizo huwa inarudi AFRIKA na kufanya uwekezaji katika sekta tofauti tofauti.

cb31d2e546886141e5e50c18ce88242f.png

Hii kampuni ya FRESHO ndiyo inamiliki kampuni ya usafirishaji wa abiria na mizigo inayoitwa RATCO EXPRESS.

e0c97d08def877ade33ee179afa8c619.png

Pia, hii kampuni ya RATCO EXPRESS ina mahusiano ya moja kwa moja na kampuni ya usafirishaji wa abiria ya RITCO LIMITED inayopatikana katika TAIFA LA RWANDA.

fd1cdf313d550ca9bc196c095ed60174.png

Pia, hii kampuni ya FRESHO inamiliki kampuni ya usafirishaji wa abiria na mizigo ya TILISHO SAFARI'S.

IMG-20230422-WA0025.jpg

Kampuni za PREMIER EXPRESS, RATCO EXPRESS, TILISHO SAFARI'S, FREY'S na RITCO LIMITED ya RWANDA zote zina UHUSIANO MMOJA katika umiliki.

c8b052e4f24fafccc4acec078402996b.png

Kwahiyo hayo ndiyo MAFANIKIO, SIASA na MATUNDA ya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
 
Charles Mandela kama ni hivyo basi TFF wamalizane na MWASHITA tupate hao wachezajo 😀😀
IMG_20230426_162527.jpg

Hawa walishapata URAIA WA MATAIFA mengine na huwa wanarudi TANZANIA kusalimia ndugu na jamaa waliowaacha TANZANIA.

Kuhusu kuja kucheza mpira kwa upande wa TANZANIA, labda kwa ngazi ya VILABU VYA SIMBA SC, YANGA SC, MTIBWA SUGAR FC, KAGERA SUGAR FC, COASTAL UNION FC na IHEFU FC.
 
Charles Mandela kama ni hivyo basi TFF wamalizane na MWASHITA tupate hao wachezajo 😀😀
Jaribu kuangalia hawa wacheza mpira wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA SUDANI, AL HILAL OMDURMAN.

IMG_20230426_202901.jpg

Hawa wote ni miongoni mwa MWASHITA waliohama kutoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

IMG_20230426_201453.jpg

Pia, timu zote za michezo ambazo zipo chini ya CHUO KIKUU CHA LIBERTY kinachopatikana nchini MAREKANI - wanamichezo wote weusi ni MWASHITA waliohamia MAREKANI na kupata URAIA WA MAREKANI.

IMG_20230426_203241.jpg

Hao ndiyo MWASHITA waliohamia nchini MAREKANI, wakitoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

IMG_20230426_204312.jpg

Pia, hii timu ya mpira wa kikapu ya CHICAGO BULLS inayoshiriki LIGI KUU YA NBA nchini MAREKANI - wanamichezo wote weusi ni MWASHITA waliohamia MAREKANI na kupata URAIA WA MAREKANI.

IMG_20230426_204322.jpg

Kipindi hicho cha miaka ya tisini [1990's] wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa wanatumia UBALOZI WA MAREKANI uliopo BURUNDI kupata VISA na kwenda kufanya kazi kwenye kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

IMG_20230426_203646.jpg

Huyu ni miongoni mwa MWASHITA waliozaliwa nchini MAREKANI na anacheza mpira wa kikapu katika timu ya WINDY CITY BULLS.

IMG_20230426_204525.jpg

Hii timu ya mpira wa kikapu ya WINDY CITY BULLS ni timu ambayo inaandaa wachezaji wa mpira wa kikapu wa baadae wa timu ya CHICAGO BULLS.

IMG_20230426_201530.jpg

Wengine ni huyu LACAZETTE ambaye anacheza mpira wa miguu katika timu inayoshiriki LIGI KUU YA UFARANSA inayoitwa OLYMPIC LYONNAIS.

b904841a0e37e0688fd93a629dd12c7f.png

Wacheza mpira wote ambao ni weusi wa timu ya mpira wa miguu ya OLYMPIC LYONNAIS ni MWASHITA.

IMG_20230426_204853.jpg

Pia, huyu ni miongoni mwa MWASHITA waliohama kutoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kipindi cha miaka ya tisini [1990's], anaitwa MATONDO na msimu ulioanza alikuwa kwenye kikosi cha SCHALKE 04 inayoshiriki LIGI KUU YA UJERUMANI.

Huyu MATONDO ni kile kizazi cha wakina MATONDO waliokuwa wanaishi SHINYANGA MJINI kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's].

IMG_20230426_203900.jpg

Huyu pia ni mfungaji hatari wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA GUINEA inayoitwa HOROYA AC, ni miongoni mwa wachezaji tisa wenye asili ya MWASHITA wanaounda kikosi cha kwanza cha timu ya HOROYA AC.

IMG_20230426_201759.jpg

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wamejitahidi sana kuwekeza kwenye michezo kwa kutumia watu wao na wanapata faida kubwa katika uwekezaji wa michezo yaani SPORTS ECONOMY.



Kwahiyo hayo ndiyo MATUNDA, SIASA na MAFANIKIO ya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
 
Jaribu kuangalia hawa wacheza mpira wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA SUDANI, AL HILAL OMDURMAN.

Hawa wote ni miongoni mwa MWASHITA waliohama kutoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

Pia, timu zote za michezo ambazo zipo chini ya CHUO KIKUU CHA LIBERTY kinachopatikana nchini MAREKANI - wanamichezo wote weusi ni MWASHITA waliohamia MAREKANI na kupata URAIA WA MAREKANI.


Hao ndiyo MWASHITA waliohamia nchini MAREKANI, wakitoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

Pia, hii timu ya mpira wa kikapu inayoshiriki LIGI KUU YA NBA nchini MAREKANI - wanamichezo wote weusi ni MWASHITA waliohamia MAREKANI na kupata URAIA WA MAREKANI.

Kipindi hicho cha miaka ya tisini [1990's] wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa wanatumia UBALOZI WA MAREKANI uliopo BURUNDI kupata VISA na kwenda kufanya kazi kwenye kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

Huyu ni miongoni mwa MWASHITA waliozaliwa nchini MAREKANI na anacheza mpira wa kikapu katika timu ya WIND CITY BULLS.
Hii timu ya mpira wa kikapu ya WIND CITY BULLS ni timu ambayo inaandaa wachezaji wa mpira wa kikapu wa baadae wa timu ya CHICAGO BULLS.

Wengine ni huyu LACAZETTE ambaye anacheza mpira wa miguu katika timu inayoshiriki LIGI KUU YA UFARANSA inayoitwa OLYMPIC LYONNAIS. Wacheza mpira wote ambao ni weusi wa timu ya mpira wa miguu ya OLYMPIC LYONNAIS ni MWASHITA.

Pia, huyu ni miongoni mwa MWASHITA waliohama kutoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kipindi cha miaka ya tisini [1990's], anaitwa MATONDO na msimu ulioanza alikuwa kwenye kikosi cha SCHALKE 04 inayoshiriki LIGI KUU YA UJERUMANI.

Huyu MATONDO ni kile kizazi cha wakina MATONDO waliokuwa wanaishi SHINYANGA MJINI kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's].

Huyu pia ni mfungaji hatari wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA GUINEA inayoitwa HOROYA AC, ni miongoni mwa wachezaji tisa wenye asili ya MWASHITA wanaounda kikosi cha kwanza cha timu ya HOROYA AC.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wamejitahidi sana kuwekeza kwenye michezo kwa kutumia watu wao na wanapata faida kubwa katika uwekezaji wa michezo yaani SPORTS ECONOMY.



Kwahiyo hayo ndiyo MATUNDA, SIASA na MAFANIKIO ya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

Basi kwa ulipofikia tuhitimishe kwa kusema Lakers, Oklahoma city thunder, Houston rockets na zingine za NBA ni Mwashita. Pia Real Madrid, Man U, Chelsea, Barcelona na wababe wengine ni MWASHITA
 
Basi kwa ulipofikia tuhitimishe kwa kusema Lakers, Oklahoma city thunder, Houston rockets na zingine za NBA ni Mwashita. Pia Real Madrid, Man U, Chelsea, Barcelona na wababe wengine ni MWASHITA
Hawamiliki hizo timu za michezo zote ulizozitaja. Unajua kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] wale MWASHITA walikuwa wanaitwa "HAWAVUMI, LAKINI WAMO".

Yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walikuwa wanamuiga HAYATI MWALIMU pamoja na MOBUTU SESE SEKO.

Yaani kile ambacho walichokuwa wanakifanya wale waliokuwa mahasimu wa kisiasa - HAYATI MWALIMU pamoja na MOBUTU SESE SEKO, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walikuwa wanaiga na ndiyo maana waliitwa "HAWAVUMI, LAKINI WAMO".

Kwahiyo wale mahasimu wa kisiasa - HAYATI MWALIMU pamoja na MOBUTU SESE SEKO wakimiliki kitu fulani, unakuta MWASHITA wanamiliki kitu cha chini yake au kitu cha gharama nafuu na ndiyo maana waliitwa "HAWAVUMI, LAKINI WAMO".
 
Huyu boya anazingua kinyama 😀😀
Ngoja nikupe mfano hai wa wale walioitwa "HAWAVUMI, LAKINI WAMO". Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa KILIMANJARO EXPRESS.

IMG-20230427-WA0001.jpg

Hili jina la KILIMANJARO EXPRESS waliiga kutoka kwa kampuni ya AMERICAN EXPRESS.

500abfefbbd43da06b48958bc51009d4.png

Kampuni ya AMERICAN EXPRESS inamilikiwa na HAYATI MOBUTU SESE SEKO, aliyekuwa RAIS WA ZAIRE ambayo kwa sasa hivi ni KONGO - KINSHASA.

15692f88350fdcd0760b15520096ec6e.png

Kampuni ya AMERICAN EXPRESS ni kampuni kubwa na inafanya vizuri kibiashara kwa upande wa TAIFA LA MAREKANI.

4db67d73921935a57074b8d1fb9a0ec6.png

Pia, hii kampuni ya AMERICAN EXPRESS inamiliki timu ya mpira wa miguu inayoitwa BRIGHTON & HOVE ALBION FC inayoshiriki LIGI KUU YA UINGEREZA.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA waliitwa "HAWAVUMI, LAKINI WAMO" kwa namna ya kuiga baadhi ya majina ya kampuni pamoja na namna ya kufanya biashara zilizokuwa zinawahusu HAYATI MOBUTU SESE SEKO na HAYATI MWALIMU.
 
hawa jamaa basi wanaukwasi mzito
Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya MV SPICE ISLAND iliyopata ajali BAHARI YA HINDI miaka iliyopita.



Hii kampuni ya MV SPICE ni kampuni iliyodumu kwa kipindi kirefu kabla ya kupata ajali, ikiwa inafanya shughuli za usafirishaji wa abiria na mizigo katika BAHARI YA HINDI.

d32d01e5547b475c38dd88695b94dfa0.png

Pia, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] ndiyo wamiliki halali wa KITUO CHA RADIO CHA SPICE FM kinachopatikana nchini KENYA.

c0efc65c8da4bdcf66ab09529adfa672.png

SPICE FM ni KITUO CHA RADIO ambacho kipo chini ya SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA STANDARD MEDIA GROUP.

ba15420693befe4685dc7c07d70b4b08.png

Pia, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndiyo wapo chini ya MSANII anayeitwa BOY SPICE kupitia MAVIN RECORDS.

682c5374f1db96642f3c9a378365acb4.png

BOY SPICE ni miongini mwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia NAIJERIA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

010fe961cb87480d19f2bbdde2dd85f5.png

BOY SPICE anafanya vizuri katika muziki na ana tungo nzuri zilizomfanya atambulike kwenye tasnia ya muziki nchini NAIJERIA, moja ya kazi yake ni FOLAKE.



Pia, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndiyo wapo chini ya MSANII anayeitwa SPICE DIANA.

34d4f4e2898d8c6dabcb8cc0b12d0dcc.png

SPICE DIANA ni miongini mwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia UGANDA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].



SPICE DIANA anafanya vizuri sana katika tasnia ya muziki nchini UGANDA.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA waliamua kufanya BRANDING NAME ya MV SPICE na kubwa kuliko, wanamiliki kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa SPICE JET.

IMG_20230429_114919.jpg

Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa SPICE JET inafanya shughuli zake nchini INDIA na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wanamiliki SPICE JET kwa asilimia mia moja [100%].

IMG_20230429_115032.jpg

Pia, hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo ya SPICE JET inamiliki CHUO CHA USAFIRISHAJI WA ANGA kinachoitwa SPICE STAR ACADEMY kinachopatikana nchini INDIA.

71d65a393cc4290d1343885351f87388.png

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wanamiliki kampuni ya SPICE JET kwa asilimia mia moja [100%].
 
mr ability ndo nani haswa maan huyu mtu si mchezo, na je bado yu hai?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani WATU wengi wanashiriki SIASA, lakini kati ya hao ni WATU wachache sana ambao wanaifahamu SIASA YA TANZANIA vizuri.

SIASA YA TANZANIA ni ngumu, tena ni ngumu sana na inahitaji muda wa kuweza kuelewa vizuri.

Kwa sababu kwenye SIASA ZA TANZANIA unaweza kushirikiana na MTU FULANI au KIKUNDI CHA WATU FULANI ukadhani ni marafiki kumbe ni MAADUI na unaweza kudhani MTU FULANI au KIKUNDI CHA WATU FULANI ni MAADUI, kumbe walipaswa kuwa MARAFIKI WA KISIASA.

6e7ba41ab60df85fabd6bbe40c05495a.png

Hicho ndicho kilichomtokea HAYATI MAGUFULI. HAYATI MAGUFULI hakufahamu RAFIKI WA KWELI ni nani na ADUI WA KWELI ni nani. Matokeo yake aliumaliza mwendo hata kabla ya kumaliza muhula wake wa pili.



MISTER ABILITY ndiye aliyepaswa kuwa WAZIRI MKUU kipindi cha AWAMU WA TATU kilichoongozwa na MISTER CLEAN. MISTER ABILITY yupo hai na ndiyo BABA MZAZI wa aliyekuwa RAIS WA AWAMU YA TANO WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA [COHSS] kwa mwaka 2012/13.

udoso.jpg

Kipindi ambacho wale BORN TOWN wakiwa wanaitwa WATOTO WA MJINI hadi kupelekea kutwaa MADARAKA YA NCHI kwa mwaka 2005 hadi mwaka 2015.

82f6df2a57725b2295993147f4829e2f.png

Kipindi hicho pia MISTER ABILITY alipewa jina la BWANA TOWN na kulikuwa kuna NYIMBO zilizotungwa na kumsifu BWANA TOWN.

Baadhi ya mashairi hayo yalikuwa ni "Bwana town nakupamba moto, nakupambile mama🎶 Aii kolo, kolo iyeye🎶 Kolo iyeye🎶 Kolo iyeye🎶Aii kolo🎶

MISTER ABILITY au kwa jina lingine aliitwa BWANA TOWN alisifika kwa kujijenga KIUCHUMI - kwani hata baada ya BORN TOWN kufanikiwa KISIASA na kutwaa MADARAKA YA NCHI kwa mwaka 2005 hadi mwaka 2015, BWANA TOWN alifanikiwa katika kujijenga KIUCHUMI na hatimae kumiliki KIWANDA CHA CUMMINS kwa asilimia mia moja [100%] kinachopatikana nchini MAREKANI.

a25529403bf1580b8bfabde5cd5be93c.png

Hiki KIWANDA CHA CUMMINS kinatumika kutengeneza INJINI ZA MAGARI pamoja na INJINI ZA BOTI. Hii ilikuwa ni fursa kwa MISTER ABILITY au kwa jina lingine aliitwa BWANA TOWN kuweza kujitanua KIUCHUMI.

c648e737e34d9dbf26cef71f9cc999cd.png

Hii picha inaonesha moja ya ziara ya RAIS WA MAREKANI alipotembelea KIWANDA CHA CUMMINS ambacho kinamilikiwa na MISTER ABILITY au kwa jina lingine alikuwa anaitwa BWANA TOWN.

aaa4e5fe3715b6f7b7db83b350df155a.png


e4433791741ef21423e52d07f514e5af.png


f9aa3d4dd8870f03bbb7236dad947038.png


425164d36fa4186ae6b125b8df48fb01.png


4c32c05c89d43be71c67367eedfe649a.png

Kwahiyo MISTER ABILITY au kwa jina lingine aliitwa BWANA TOWN alifanikiwa kujijenga KIUCHUMI na BORN TOWN au kwa jina lingine waliitwa WATOTO WA MJINI walifanikiwa KISIASA mpaka kufikia kutwaa MADARAKA YA NCHI kuanzia mwaka 2005 hadi mwaka 2015.
 
mr ability ndo nani haswa maan huyu mtu si mchezo, na je bado yu hai?

Sent using Jamii Forums mobile app



Jaribu kusikiliza tena hii NYIMBO ya wale wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia UGANDA.

MISTER ABILITY alikuwa ana ushawishi hadi WASHINGTON, nchini MAREKANI kutokana na uwekezaji mkubwa aliokuwa amefanya katika taifa hilo.

1b1f18b6e7eeab7e63286b316bd94921.png
mr ability ndo nani haswa maan huyu mtu si mchezo, na je bado yu hai?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hali hiyo ilipelekea wenyeji wengi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kuhamia MAREKANI kwa kupitia katika TAIFA LA BURUNDI.

2ac801dd27b225aec624156107ae534b.png


a926f5a514b7659d0db6759e7eeb1173.png

Kipindi ambacho walikuwa wanahama walikuwa wanaambiwa wataenda kufa njaa, basi wengine waliuza hadi mashamba ilmradi wapate pesa za kujikimu kwa siku za mwanzo.

Lakini hali ilikuwa ni tofauti na matarajio ya wengi, kwani walivyofika MAREKANI wao wakafanyika kuwa mabalozi na kuwaita watu wengine waliowaacha TANZANIA.

aecebe03da888e99e0fc10c09f03632c.png


15e46b8e48cd32b1fc54d5268b7beca9.png


4d43b5879ca13c25223771cdb85e2d8f.png

Hawa wote ni miongoni mwa MWASHITA waliohamia MAREKANI na wanafanya vizuri sana katika tasnia ya michezo hasa mchezo wa mpira wa kikapu.

574fafb54f1d14d0524b365904989834.png


849e2d4b2cdc07cf4f0552278b262e66.png


44d93819b1dc52e2166a742172e82585.png


400fc0fbe29debfbf15690cb199e43da.png


020c4fd047c56d1dcf95395d7ce7b07c.png


c376bf94628335538e6ac0048874f64a.png


9b547df23fbc2a4b91928f35d654a2ca.png

Hawa wote ni miongoni mwa MWASHITA waliohamia MAREKANI kwa kupitia BURUNDI, lakini pale BURUNDI kuna wengine walibaki na wengine walienda MATAIFA mengine kama NAMIBIA.

87ef6ef30bf7baefbd614718771959b5.png

Huyu pia alikuwa ni miongoni mwa MWASHITA waliopaswa kuhamia MAREKANI kwa kupitia BURUNDI, lakini walivyofika BURUNDI - yeye na familia yake walielekea NAMIBIA.

a4c8ac3b444e64ce5152416810611a5f.png

Wengine walipata wasaa wa kuhamia KENYA. Kwahiyo, kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] kilikuwa ni kipindi kigumu sana kwa JAMII YA MWASHITA - kwani walihama kutoka maeneo ya asili na kusambaa sehemu mbalimbali pasipo kuwa na mawasiliano ya simu wala mitandao ya kijamii.

Lakini baada ya kuwepo kwa simu za mkononi na mitandao ya kijamii kwenye miaka ya elfu mbili [2000's] ilikuwa ni ahueni kwa wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

d31c260c3d3fcf16de73c4f9fb2d71ba.png

Kwahiyo wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanajitahidi sana ijapokuwa walikuwa nyuma ya wakati ukilinganisha na JAMII YA BAGANDA kutoka UGANDA na WAHUTU kutoka RWANDA NA BURUNDI.

IMG_20230511_215542.jpg

JAMII YA BAGANDA walianza haya mambo tangu karne ya kumi na tisa [1900's] na wamesambaa sana kutokana na jamii yao kutoa RAIS WA KWANZA WA UGANDA, Ndugu FREDERICK EDWARD MUTESA.

33282c144be25e0da35f9f35db99f9f1.png

Hata hawa wakina ROSALIE GICANDA wa RWANDA bado wapo vizuri KIUCHUMI NA KISIASA na wamesambaa sana duniani.

Pamoja na MAUAJI YA KIMBARI kutokea mwaka 1994, hauwezi kuamini kuwa bado kuna GHOROFA zinajengwa pale KARIAKOO kwa kutumia umiliki wa aliyekuwa MALIKIA WA RWANDA, ROSALIE GICANDA.

f710ea9bc8e5f2da6e66a7ca02242b54.png

Kwahiyo na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA na wao wanafanya hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom