Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

mbona kama unapanic kiongoz..... relax, ila nimekupata. thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna hata!! Sema upande wa pili ndiyo wamepaniki, mambo yameenda tofauti na yalivyopangwa.

Leo hii ukiingia kwenye VYOMBO VYA ULINZI, vijana wanapukutika sana na wengi ni wagonjwa. Kwahiyo nguvu kazi imepungua na ufanisi haupo tena kama zamani.

Sasa hivi hakuna vipaji kwenye VYOMBO VYA ULINZI na wamebakiza majina ya vyeo tu, utasikia MEJA mara KAPTENI mara LUTENI mara KANALI, lakini kwa GROUND mambo ni DIFFERENT kabisa..

IMG-20230523-WA0000.jpg

Hiyo ndiyo siasa, yaani "PARALYSING THE ENTIRE FORM OF GOVERNMENT SYSTEMS FOR THE SAKE OF REVOLUTION" na wanaofanya hii siasa ni wale PUISSANTS.

Unajua haya mataifa matatu ya RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS walianza kuhama makwao tangu siku nyingi na waliobaki kule walikuwa ni wale "KEY FAMILIES".

Na walivyokuwa wanahama, kuna wageni wengine ambao ni raia wa kigeni walikuwa wanahamia kwenye haya mataifa matatu ya RWANDA, BURUNDI na KONGO.

Kwahiyo ilivyotokea sintofahamu na HAYATI MWALIMU kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], ikawa ni vyepesi kwao kushambuliwa na walivyoshambuliwa ilikuwa ni kuchochea VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE kwa kutengeneza MAKUNDI YA WAASI.

MABADILIKO YA KISIASA yalifanyika na watu wengi walipoteza maisha na wengine walihama makazi yao.



Angalia hii FILAMU YA KINYARWANDA, ni FILAMU nzuri sana kama unakutaka kufahamu kile kilichokea miaka thelathini iliyopita.

Kipindi kile kulikuwa kuna kitu kinaitwa OPERESHENI KIJIJI, SERIKALI zilidondoshwa na wengine wakaokota. Sasa walivyookota wakawa wanaimba - "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali ni mjinga" 🎶

Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS huwa wapo vizuri sana kwenye SIASA, yaani maisha yao jinsi wanavyoishi ni SIASA tosha. Kwahiyo watalipa kisasi, inaweza isiwe leo wala kesho lakini watalipa kisasi.
 
shukran kiongoz

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu tena kuangalia vizuri hii picha. Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa makini na walifanya mambo makubwa sana, kiasi ambacho hata mamlaka ya kipindi kile ilishindwa kuwatia hatiani.

Kwa msaada wa MATAIFA YA MAGHARIBI, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliwafanikiwa kuanzisha VYAMA VYA KISIASA.

50997f27950518ff094565489f1a14b5.png

Miongoni mwa VYAMA VYA KISIASA vilivyoanzishwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ni CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO [CHADEMA].

IMG_20230526_204958.jpg

Hiki CHAMA CHA KISIASA kilianzishwa kwa ustadi mkubwa sana, kiasi ambacho hata baadhi ya viongozi wa chama walishindwa kufahamu ni nani aliye nyuma ya CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO [CHADEMA].

Katika hali isiyokuwa ya kawaida - VYAMA VYA KISIASA vilivyopitia maswahibu mazito na kuendelea kubaki imara kila uchwao ni CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO [CHADEMA].

3e0dd5fcf9a6c71bb91599d7e86049e3.png

Hiki CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO [CHADEMA] kiliitwa majina yote mabaya kwa nia ya kukimaliza. Wengine walikiita CHAMA CHA KIKANDA! Wengine walikiita CHAMA CHA KIKABILA na wengine walikiita NORTHERN SACCOS ilmradi tu kukimaliza, lakini bado CHAMA kipo imara.

5e6f1af3db1b28e6c2eeb801b686adb2(1).png

Malengo ilikuwa ni kukikabidhi CHAMA kwa wenyewe ifikapo mwaka 2030 na tayari wameshaanza kuvujisha vujisha, kwa sababu hata VIONGOZI WA CHAMA wenyewe wamechoka na matusi ya reja reja.

989db9c84163bda08ad5a57216f4148f.png

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO [CHADEMA] kipo kwenye mikono salama, sema kuna migogoro ya hapa na pale ndani ya CHAMA ambayo inachukuliwa kama ni sehemu ya changamoto za kiuongozi.
IMG_20230220_202917.jpg



Kwahiyo hivi VYAMA VYA KISIASA kama CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO [CHADEMA] pamoja na ACT - WAZALENDO, vyote vina uhusiano wa moja kwa moja na chama cha ACT - WAZALENDO kilianzishwa kimkakati ili kupata ushawishi kwa upande wa TANZANIA VISIWANI.

IMG_20230526_204830.jpg

Hii ndiyo SIASA YA TANZANIA kwa upande wa VYAMA VYA UPINZANI. Hawa ACT - WAZALENDO pamoja na CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO [CHADEMA] wote ni wamoja.

Kwahiyo, sasa hivi VYAMA VYA KISIASA vyenye uwakilishi bungeni [CHADEMA, CHAMA CHA WANANCHI-CUF na ACT-WAZALENDO] ni VYAMA VYA KISIASA vilivyoanzishwa kwa msaada wa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
 
shukran kiongoz

Sent using Jamii Forums mobile app
Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walijitahidi sana kufanya siasa na kwa upande wao walifanikiwa.

9775d744ca89ade895eb00df241d0fea.png

Shida ikawepo kuwapata VIONGOZI sahihi wa kuongoza VYAMA VYA KISIASA na kupata wawakilishi wazuri ndani ya BUNGE. Ilikuwa ni mtihani!.

Hatimaye kwa mwaka 1995 hadi mwaka 2010 - tulifanikiwa kupata KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI [KUB], alikuwa anaitwa HAMAD RASHID MOHAMED na alikuwa anatoka TANZANIA VISIWANI katika JIMBO LA WAWI.

IMG_20230528_125611.jpg

Huyu BWANA alifanya kazi yake na akamaliza na baadae tulimuona akiibuka CHAMA CHA ADC akiomba kura za URAIS kwa upande wa TANZANIA VISIWANI.

IMG_20230528_125717.jpg

Changamoto ikawepo pale pale ya kupata VIONGOZI MAKINI wa kuweza kufanya siasa safi na kufikia malengo yaliyokusudiwa.

fe2d1c8705d4d58e887b0e7691bed1b2.png

Kipindi cha miaka ya elfu mbili [2000's] yaani kuanzia kipindi cha mwaka 2010 hadi mwaka 2020, hiki kilikuwa ni kipindi adhimu sana kwa upande wa upinzani, kwani JK aliamua kufanya kazi na upinzani.

960fbab8e0df2b9ef8c27ca5b73532eb.png

Kipindi cha JK aliamua kupambana na makundi ya ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na JAMII YA SERENGETI kwa kuimarisha nafasi ya UPINZANI.

VYAMA VYA UPINZANI vilikuwa na uwanja mpana wa kufanya shughuli za kisiasa na hii ilisaidia WATANZANIA wengi kushiriki siasa.

68563cd5f0d8abc57b9a4571000bdb89.png

Nafasi ya VYAMA VYA UPINZANI ilikuwa kubwa hadi kufikia hatua ya kuleta matumaini ya kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.

Kwahiyo MISTER CLEAN na JK kwa nyakati tofauti walifanikiwa kupambana na makundi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na JAMII YA SERENGETI kwa kuimarisha nafasi ya VYAMA VYA UPINZANI.

IMG_20230527_144752.jpg

Katika kipindi cha awamu ya tano ilikuwa ni sintofahamu kwa pande zote, yaani kwa upande wa VYAMA VYA UPINZANI na ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] walikuwa hawafahamu hatima yao itakuaje?. Yaani kelele zilikuwa nyingi.

Maana panga pangua ilitawala ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na ndani ya SERIKALI, matukio ya utekaji na wanasiasa kupigwa risasi ilikuwa ni kitendo cha kawaida kabisa.

JPM alikuwa anataka kumaliza na kuvunja matabaka yote kwa kipindi cha miaka kumi [10] ambacho angefanikiwa kuendelea kubaki madarakani.

_20230528_151242.JPG

JPM alifanya mambo makubwa kwa kipindi kifupi na tukio ambalo ataweza kukumbukwa katika SEKTA YA ELIMU ni kuanza KUTANGAZA MATOKEO YA WANAFUNZI BORA WA DARASA LA SABA, KIDATO CHA NNE na KIDATO CHA SITA - kitu ambacho kilikuwa hakifanyiki kwa miaka ya nyuma na hata baada ya kuondoka madarakani walisitisha kutangaza kwa uwazi, kwahiyo hii ilikuwa ni jitihada zake katika kuondoa JANJA JANJA ambayo huwa inafanyika pale WIZARA YA ELIMU.

_20230528_154031.JPG

Sasa hivi hautaweza kusikia kelele zilizokuwa zinasikika awamu iliyopita, kwa sababu CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kimepata mtu wao [...] na mambo yanakwenda mswano.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walijitahidi sana kufanya siasa na kwa upande wao walifanikiwa, imebaki kwa wengine kuendeleza pale walipoishia kwa kujenga TAASISI IMARA ZA KISIASA ili kuweza kupambana na CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].
 
pale.tabora.kulikuwa na basi litwalo sabena

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado wapo wanafanya sana na hawa walihamia KENYA na kuna kampuni ambayo wanahusika nayo inaitwa ENA COACH.

Hii kampuni ya ENA COACH ni kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo ambayo inamilikiwa na WATANZANIA waliohamia KENYA kwa shughuli za kibiashara.

Pia pale TABORA kulikuwa kuna kampuni za usafirishaji wa abiria na mizigo kama NBS COMPANY LIMITED pamoja na NAAMAN'S.

Hizi kampuni zote za NAAMAN'S, NBS COMPANY LIMITED na SABENA ni kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

Halafu pia, pale TABORA kuna kampuni ya usafirishaji ya mizigo inayoitwa AT&T COMPANY LIMITED ina malori ya rangi ya bluu. Hiyo kampuni ndiyo inamiliki timu ya mpira wa kikapu inayoshiriki ligi kuu ya wanawake nchini MAREKANI inayoitwa DALLAS WINGS.

20230530_234507.jpg

Pia hii kampuni ya AT&T COMPANY LIMITED inapatikana nchini MAREKANI na inajishughulisha na [...].

20230531_000236.jpg

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa kujijenga KIUCHUMI pasipo kuwa mstari wa mbele kwenye siasa za TANZANIA au kwa LUGHA nyingine waliwakwepa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].
 
pale.tabora.kulikuwa na basi litwalo sabena

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi kuna kampuni ya usafirishaji ya abiria inaitwa PHOENIX na inafanya safari zake kutoka MWANZA hadi DAR ES SALAAM.

497f0ef808c6831b59f77b2a9f6275f2.png

Ukijaribu kufuatilia kwa undani, utafahamu kuwa hao wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria ya PHOENIX ndiyo wamiliki halali wa KIWANDA kinachotengeneza baiskeli za PHOENIX.

2f4e4162bd737949ae945f84792fbfb6.png

Kwahiyo, kuna WATANZANIA ambao wamefanikiwa sana KIUCHUMI na viongozi wengine walitakiwa kuwa kwenye hili KUNDI LA WALIOFANIKIWA KIUCHUMI.
 
Unajua baadhi ya watu huwa wanashindwa kuukubali ukweli, lakini JPM alishindwa kufahamu ni nani ambaye alipaswa kuwa adui yake na nani ambaye alipaswa kuwa rafiki yake.

Yaani ile POLITICAL ENVIRONMENT au MAZINGIRA YA KISIASA alikuwa hafahamu na ndiyo maana alifariki hata kabla ya kumaliza muhula wake wa pili.

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanayafahamu haya, ndiyo maana wapo mbali nao.

Hao watu ni VERY DANGEROUS! Hao watu huwa ni WAONGO sana na huwa wanapika MATUKIO kwa masilahi yao na wala siyo kificho na JPM alijivisha kilemba cha upofu kwa kuamini kila mtu ni mwema, ndiyo maana yalimkuta yakumkuta.. [emoji1488]
ala jiwe alijaribu hata kugusa kete za balaza la mitihan, sizan kama atapatika kam jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ala jiwe alijaribu hata kugusa kete za balaza la mitihan, sizan kama atapatika kam jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
MKALI MWAMBA alikuwa sahihi, lakini hakupaswa kufanya hivyo kwani ilikuwa ni hatari kwa usalama wake.

Uongozi uliopita wa JK, ulikuwa unafanya kazi pamoja na VYAMA VYA UPINZANI.

Masuala kama hayo alikuwa anawaachia VYAMA VYA UPINZANI kuweza kuyashughulikia na ufumbuzi kupatikana. Mfano mzuri ni sakata la RICHMOND, aliwaachia upinzani!.

Lakini kwa uongozi wa MKALI MWAMBA, hali ilikuwa ni tofauti kabisa na alikuwa anataka kufanya kila kitu mwenyewe kwa kipindi cha miaka kumi [10].
 
Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa CHAMPION inafanana na kampuni ya ALLY'S STAR kwa muundo na utendaji kazi wake.
Naomba unifafanulie kuhusu hao Ally's na kwanini walibadilisha rangi ya mabasi?
 
duuh hatar jamaa wanahela.mpak basi

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG_20230603_143552.jpg

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wana hela mpaka leo.

Hii ni timu ya TOWNSHIP ROLLERS ambayo inashiriki LIGI KUU YA BOTSWANA na inajumuisha wacheza mpira wengi wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

IMG_20230603_154118.jpg

Hii pia ni timu ya wanawake ya TP MAZEMBE [KUNGURU WA LUBUMBASHI 🦅] ambayo inashiriki LIGI KUU YA WANAWAKE YA DRC na inajumuisha wacheza mpira wote ambao ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA bado wanamiliki UCHUMI mkubwa.
 
Back
Top Bottom