Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Hamna hata!! Sema upande wa pili ndiyo wamepaniki, mambo yameenda tofauti na yalivyopangwa.
Leo hii ukiingia kwenye VYOMBO VYA ULINZI, vijana wanapukutika sana na wengi ni wagonjwa. Kwahiyo nguvu kazi imepungua na ufanisi haupo tena kama zamani.
Sasa hivi hakuna vipaji kwenye VYOMBO VYA ULINZI na wamebakiza majina ya vyeo tu, utasikia MEJA mara KAPTENI mara LUTENI mara KANALI, lakini kwa GROUND mambo ni DIFFERENT kabisa..
Unajua haya mataifa matatu ya RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS walianza kuhama makwao tangu siku nyingi na waliobaki kule walikuwa ni wale "KEY FAMILIES".
Na walivyokuwa wanahama, kuna wageni wengine ambao ni raia wa kigeni walikuwa wanahamia kwenye haya mataifa matatu ya RWANDA, BURUNDI na KONGO.
Kwahiyo ilivyotokea sintofahamu na HAYATI MWALIMU kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], ikawa ni vyepesi kwao kushambuliwa na walivyoshambuliwa ilikuwa ni kuchochea VITA YA WENYEWE KWA WENYEWE kwa kutengeneza MAKUNDI YA WAASI.
MABADILIKO YA KISIASA yalifanyika na watu wengi walipoteza maisha na wengine walihama makazi yao.
Angalia hii FILAMU YA KINYARWANDA, ni FILAMU nzuri sana kama unakutaka kufahamu kile kilichokea miaka thelathini iliyopita.
Kipindi kile kulikuwa kuna kitu kinaitwa OPERESHENI KIJIJI, SERIKALI zilidondoshwa na wengine wakaokota. Sasa walivyookota wakawa wanaimba - "cha kuokota siyo cha kuiba, mwenye mali ni mjinga" 🎶
Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS huwa wapo vizuri sana kwenye SIASA, yaani maisha yao jinsi wanavyoishi ni SIASA tosha. Kwahiyo watalipa kisasi, inaweza isiwe leo wala kesho lakini watalipa kisasi.