Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Sawa nasubiri. Pia naomba source ya taarifa zako.
Sasa jaribu kuangalia hii PICHA ya KAMPUNI YA USAFIRISHAJI YA ABIRIA inayoitwa ABC UPPER CLASS.


Hii KAMPUNI YA ABC UPPER CLASS inataka kufanana kabisa na KAMPUNI YA ALLY'S STAR kwa namna ya UMILIKI wake na hata JINA LA KAMPUNI.

Hili JINA LA ABC wengi huwa wanajiuliza maana yake huwa ni nini? Au WAMILIKI walifikiri nini hadi wakaamua kuita KAMPUNI YA USAFIRISHAJI YA ABIRIA kuwa ni ABC?

Kwahiyo WAMILIKI WA VYOMBO VYA USAFIRISHAJI huwa wanafahamu ASILI au CHIMBUKO LA JINA ambalo watalitumia kwenye VYOMBO VYA USAFIRISHAJI WA ABIRIA NA MIZIGO.

Hii KAMPUNI YA ABC inafanana na KAMPUNI YA ALLY'S STAR kwa kila kitu, kwani hii KAMPUNI YA ABC UPPER CLASS ni KAMPUNI ambayo ilianzishwa na FAIDA iliyopatikana kutoka KAMPUNI YA MAWASILIANO YA TIGO TANZANIA.


Kwahiyo KAMPUNI MAMA ya ABC UPPER CLASS ni TIGO TANZANIA na KAMPUNI TANZU ya TIGO TANZANIA ni KAMPUNI YA MURZAH WILLMAR EAST AFRICA LIMITED ambayo inatengeneza MAFUTA YA KUPIKIA YA KORIE.


Kwahiyo hizi KAMPUNI TATU [3] za MURZAH WILLMAR EAST AFRICA LIMITED, TIGO TANZANIA na ABC UPPER CLASS zote zina mahusiano ya moja kwa moja.

Hii bado haitoshi, kwa sababu bado inakuwa haijaleta MAANA au ASILI YA JINA LA ABC. Hali hii ilishatokea kwa WAMILIKI WA KAMPUNI YA USAFIRISHAJI WA ABIRIA YA SUPER NAJIMNISA.

Hili JINA LA SUPER NAJIMNISA lilileta sintofahamu kubwa sana kwa miaka ya nyuma, wengine walikuwa wanamaanisha ni "MAJINI YA MUSA" lakini MAANA HALISI itabaki kwa WAMILIKI. WAMILIKI HALALI WA KAMPUNI YA SUPER NAJIMNISA ndio wanafahamu ASILI ya JINA LA KAMPUNI yao.

Kwahiyo MAANA HALISI ya JINA LA KAMPUNI YA ABC linatokana na kufanikiwa kwa wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] kununua na kumiliki KITUO CHA TELEVISHENI NA RADIO kinachoitwa ABC kwa ASILIMIA MIA MOJA [100%].

Hiki KITUO CHA TELEVISHENI NA RADIO kinachoitwa ABC walifanikiwa kukinunua na kumiliki kuanzia mwaka 2007 kupitia KAMPUNI YA CUMULUS MEDIA.

Hao ndio walioitwa MAJINA YA KEJELI kuwa ni WASHOSHA NG'OMBE yaani WATU WASHAMBA WASHAMBA, lakini leo kupitia KAMPUNI YA CUMULUS MEDIA CORPORATION wanamiliki KITUO CHA RADIO NA TELEVISHENI kinachoitwa ABC NEWS kinachopatikana nchini MAREKANI.


Sasa jaribu kupitia GOOGLE GADGETS na kuangalia taarifa za KAMPUNI YA ABC NEWS - utakachokutana nacho huko, kitabaki kuwa ni SIRI yako 🙏🏿
 
KUMBE HII KAULI ALIKUWA ANAIPENDA SANA,"KUNA WANASIASA WANA TABIA ZA KIMALAYA MALAYA"

Umenikumbusha kipindi hii NYIMBO inatoka kuna WADAU walikuwa wanauza BARAFU pale maeneo ya UPANGA.

Leo wanatembelea LANDCRUISER V8 na kupata VYEO kidogo wanaanza kuwadharau waliowatangulia.

Jamani wenzenu sasa hivi wanatizama kipindi cha GOOD MORNING AMERICA [GMA] kinachorushwa hewani na KITUO CHA TELEVISHENI CHA ABC ambacho wanamiliki wao.. 📺

Kwahiyo sasa hivi kumiliki LAS VEGAS CASINO - UPANGA au RIVERSIDE HOTEL - UBUNGO is not an issue. The big issue is doing a massive investment on FIRST WORLD COUNTRIES like US and DEUTSCHLAND..😎😎
 
Kwahiyo wewe ulifikiri ni WALUO pekee yao ndio wapo vizuri kwenye mambo ya INFORMATION TECHNOLOGY? Hata WAKIKUYU wapo vizuri sana, sema na wao huwa wanatabia ambayo wanataka kufanana na MWASHITA yaani ile TABIA YA UKIMYA. Lakini wapo vizuri sana.

Jaribu kuingia kwenye SOCIAL MEDIA YA WALUO inayoitwa Join the Luos Community Discord Server!. Hii ni SOCIAL MEDIA ambayo kwa asilimia kubwa WALUO huwa wanatumia kujadili mambo yao na huwa wapo vizuri sana.

Sasa hawa walijitambua tangu siku nyingi na walipambana na UDHALIMU WA SERIKALI YA KENYA tangu miaka ya sitini [1960's] na wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa, kilichobaki ni KUSHIKA DOLA YA KENYA.

Na wamejitahidi kuwekeza katika kila SEKTA, ndani na nje ya TAIFA LA KENYA. Kwahiyo wapo vizuri sana na ni jamii ambayo ilitoa RAIS WA AROBAINI NA NNE [44] WA MAREKANI.

Kwahiyo WALUO WA AFRIKA YA MASHARIKI ukichukua TANZANIA pamoja na UGANDA wapo vizuri, sema WALUO kutoka KENYA wapo vizuri zaidi yaani THEY ARE TOO AMBITIOUS.


Kwahiyo ukiachana na MOZILLA [FIREFOX], OPERA na YAHOO bado kuna MITANDAO YA KIJAMII mingine ambayo inamilikiwa na WATU kutoka NCHI ZA AFRIKA YA MASHARIKI.

Hata MTANDAO WA BADOO wamiliki halali wanatoka katika NCHI ZA AFRIKA YA MASHARIKI lakini "INVENTOR" ndio MRUSI. Hali hii huwa inafanyika mara nyingi sana kwa MATAIFA YA ULAYA, AMERIKA na ASIA.

Kwa MATAIFA YA ULAYA, AMERIKA na ASIA huwa kuna BUSINESS IDEAS nyingi sana, wao huwa wanaita ni BUSINESS STARTUPS. Kule kuna WATU wana IDEAS za kufanya MAMBO MAKUBWA lakini CHANZO CHA PESA huwa inakuwa ni ngumu kupata kutokana na MIFUMO YA FEDHA kuwa dhabiti.

Kwahiyo PESA za kukamilisha PRIVATE BUSINESS STARTUPS kwa MATAIFA YA ULAYA, AMERIKA na ASIA huwa zinatoka AFRIKA na ndio maana sasa hivi unakuta WAAFRIKA wanamiliki MIRADI mbalimbali kwa upande wa MATAIFA YA ULAYA, AMERIKA pamoja na ASIA.

Sasa wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA ndio wanafuata nyayo za WALUO na MWASHITA ni JAMII ambayo inakuja kwa kasi sana kwenye upande wa uwekezaji katika kila sekta.
 


Kipindi wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] wanamiliki KIWANDA CHA CONVERSE [ALL STAR], kuna MWANASIASA alikuwa anafundisha SHULE YA SEKONDARI YA SENGEREMA [SESESCO].

Lakini leo hutanae tena! Na wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] bado wapo na wanaendelea na BIASHARA zao kama kawaida.

Kipindi HAYATI MWALIMU yupo hai, wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] ndio walijifanya kuwa wameshika AHADI ZA MWANATANU.


Kumbe ile ilikuwa ni DANGANYA TOTO, yaani walifunika KOMBE ili mwanaharamu apite na akapita kweli!! Sasa hivi wale WATU wanamiliki UTITIRI WA MAKAMPUNI na wanalipa kodi kihalali.


Hii BLUE COAST ni KAMPUNI MWENZA ya CONVOY HAULAGE ya NYAMHONGOLO, MWANZA. Ndio hao hao wakina ALLY'S STAR ya SHINYANGA na MODERN COAST ya MOMBASA nchini KENYA.


Hao ndio wale walioitwa MAJINA YA KEJELI kuwa ni WASHOSHA NG'OMBE yaani WATU WASHAMBA WASHAMBA, lakini leo ndio wanaomiliki KAMPUNI nyingi za usafirishaji wa ABIRIA pamoja na MIZIGO.


Wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walikuwa ni WATU WASOMI na walikuwa na EXPOSURE YA MAISHA.

Hali hiyo ni tofauti kabisa kwa upande wa OSCAR SALATHIEL KAMBONA pamoja na ADAM SAPI MKWAWA - kwani hali sio hali, sababu MAMBO bado hayajaisha na WAKALI WA HIZO KAZI wanasema ile KALENGA itakuja kuwa kama MAGOFU YA BAGAMOYO.
 

Cheki mechi iliyopita ambapo CHICAGO BULLS walipoteza! Hii ni timu ya mpira wa kikapu ambayo inashiriki LIGI KUU YA MPIRA WA KIKAPU nchini MAREKANI ambayo inamilikiwa na wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].

Kwahiyo, wale waliokuwa WASHOSHA NG'OMBE yaani WATU WASHAMBA WASHAMBA wapo mbali sana KIUCHUMI na hata kile kizazi cha kina OSCAR SALATHIEL KAMBONA pamoja na ADAM SAPI MKWAWA, bado wana nafasi ya kujijenga KIUCHUMI na kuachana kabisa na SIASA ZA CHAMA TAWALA.
 
Doctor G ngoja nikuoneshe SIASA YA WAZANZIBARI. Baada ya kumaliza kipindi chake cha URAIS - Ndugu ALI HASSAN MWINYI alifanikiwa kuirudisha FAMILIA YA HAYATI KARUME kwenye SIASA ZA ZANZIBARI kwa kumpigia chapuo MTOTO WA HAYATI KARUME, Ndugu AMANI ABEID KARUME kuwa RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBARI kwa mwaka 2000 - 2010.



Na Ndugu ALI HASSAN MWINYI alifanikiwa sana kuirudisha ZANZIBARI katika ile hali ya utulivu na kujikita zaidi katika kujijenga KIUCHUMI na kuachana kabisa na SIASA ZA VISASI.

Baada ya hapo, VIONGOZI WA KISIASA kwa upande wa ZANZIBARI walianza kujijenga KIUCHUMI kwa kasi kubwa na kusahau yale yote yaliyopita ikiwa kuwahimiza WAZANZIBARI kufanya kama vile walivyofanya wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

Kwa upande wa ZANZIBARI - VIONGOZI wote waliopatikana baada ya UCHAGUZI MKUU WA 2000 na kuendelea, wapo vizuri KIUCHUMI na wamejitahidi sana kuwekeza ndani na nje ya VISIWA VYA ZANZIBARI.


Hata baada ya UCHAGUZI MKUU WA 2010, ile dhana ya kujijenga KIUCHUMI kwa VIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBARI ilikuwa ipo pale pale na walifanikiwa pakubwa sana.



Na hata baada ya kumaliza kipindi chake cha UONGOZI kwa aliyekuwa RAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBARI - Dakta ALI MOHAMMED SHEIN alifanikiwa kukabidhi MADARAKA kwa amani isiyokuwa na chembe ya dosari kwa Dakta HUSSEIN ALI MWINYI ambaye ndiye mtoto wa Ndugu ALI HASSAN MWINYI.



Sasa basi, SIASA YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBARI imeegemea zaidi katika SIASA ZA URITHI na wamefanikiwa pakubwa sana katika kujijenga KIUCHUMI na kuwa miongoni mwa "ELITE FAMILIES" ambazo zinapatikana TANZANIA VISIWANI na TANZANIA kwa ujumla wake.



Kwahiyo VIONGOZI wengi wa ZANZIBARI wamejitahidi sana kusimama na wananchi wao katika SUALA LA UCHUMI na wanafanya vilevile kama walivyokuwa wanafanya wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.



Katika jitihada za kujikwamua KIUCHUMI - mmoja wa VIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBARI amefanikiwa kufungua KIWANDA kikubwa kinachotengeneza NGUO, MIKOBA YA KIKE na VITU mbalimbali ambacho kinapatikana katika moja ya MATAIFA YA ULAYA.



Sasa hivi, bidhaa zinazojulikana kwa JINA LA SHEIN ni bidhaa ambazo zimepata soko sana kwa MABARA YA ASIA, ULAYA, AMERIKA na AMERIKA YA KUSINI.



SHEIN ni kampuni ambayo inafanya vizuri sana kwenye soko la ushindani kwa MATAIFA YA ULAYA, AMERIKA, AMERIKA YA KUSINI, ASIA na hata AUSTRALIA zimeshafika katika JIJI LA MELBOURNE.



Hii kampuni imefanikiwa pakubwa sana katika kujitanua kibiashara kama ilivyo kwa kampuni nyingine ambazo zinahusika na NGUO pamoja na MIKOBA YA KIKE.



Vile vile VIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBARI wamefanikiwa kuiga namna ambavyo wale waliokuwa wafanyakazi vya VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] wakifanya kwa kupeleka WATU wao kwenda kufanya kazi UGHAIBUNI kwenye kampuni ambazo wanazimiliki wao wenyewe.



Huyo BINTI WA KIKE MWEUSI ni MZANZIBARI wa kuzaliwa na kukulia, lakini ni mmoja wa wafanyakazi yaani TEAM MEMBER wa kampuni ya SHEIN katika moja ya MALL inayopatikana MELBOURNE nchini AUSTRALIA.



Na ukiachana na zile jamii mbili za SERENGETI yaani CHUI pamoja na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA - JAMII YA WATU WA PWANI ndio jamii ambayo ipo vizuri KIUCHUMI.



Vile vile tofauti na KIWANDA CHA KUTENGENEZA NGUO, hii kampuni ya SHEIN ndio wenye HATI MILIKI YA SERIES inayoitwa GAME OF THRONES.



Hii SERIES YA GAME OF THRONES ni SERIES ambayo inamilikiwa na kampuni ya SHEIN.



Na ukiachana na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI pamoja na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA, hii JAMII YA WATU WA PWANI tayari na wao wameshaingia katika tasnia ya UTENGENEZAJI WA FILAMU nchini MAREKANI, yaani HOLLYWOOD.



Kwahiyo, haya ndio baadhi ya MATUNDA yaliyopatikana kutokana na kuwa na SIASA ZA UVUMILIVU kwa upande wa TANZANIA VISIWANI yaani ZANZIBARI na nyinyi kuweni kama WANASIASA wa TANZANIA VISIWANI. Ukipata fursa, tumia vizuri ili kujijenga KIUCHUMI.

Hayo mambo mengine yatajipa mbele ya safari na nikipata wasaa mzuri kwa siku nyingine nitakuonesha baadhi ya mambo ambayo yanafanyika UGHAIBUNI na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
 
Doctor G soma posti namba 1266, huku ukitizama kwa makini hizo picha. Huo mfumo ndio mataifa yaliyoendelea huwa yanatumia kuwasilisha UJUMBE kwa kutumia LUGHA YA PICHA.


Na jana timu ya MANCHESTER CITY ambayo inaongozwa na kocha mkuu - PEP GUARDIOLA ilishindwa kufanya vizuri UGENINI, ikiwa inacheza dhidi ya timu ya MANCHESTER UNITED.


Hata hivyo, timu ya MANCHESTER CITY imeendelea kushika nafasi ya PILI baada ya kupoteza mchezo wao wa jana. ["Hivi ndio mataifa yaliyoendelea huwa yanatumia kuwasilisha UJUMBE kwa kutumia LUGHA YA PICHA" ].

Sasa basi, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndio waliotangulia kuingia na kuwekeza UINGEREZA hata kabla ya JAMII YA WATU WA PWANI yaani WAZANZIBARI.

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] ndio wamiliki halali wa klabu ya mpira wa miguu inayoitwa FULHAM FOOTBALL CLUB [FFC].


Hii klabu ya mpira wa miguu inapatikana mitaa ya CRAVEN COLTAGE katika jiji la LONDON na ni klabu ambayo inashiriki LIGI KUU YA UINGEREZA na wenyeji huwa wanaita ni LONDON'S ORIGINAL FOOTBALL CLUB, yaani ni timu ambayo inacheza mpira wa asili wa UINGEREZA.


Hii klabu ya FULHAM, ndio mwenza wa klabu za CHARLTON ATHLETIC pamoja na BLACKBURN ROVERS zote za UINGEREZA.



Vile vile, hizo timu za mpira wa MIGUU kwa upande wa UINGEREZA ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] ni timu ambazo kuna kampuni za kibiashara ambazo ndio zinasimamia uendeshaji wa timu.

Kwa mfano, kampuni ya VENKY inasimama na timu ya BLACKBURN ROVERS na timu mbili zilizobaki zinasimamiwa na kampuni za PASHLEY CYCLES pamoja na AVON COSMETICS.

Hii kampuni ya PASHLEY CYCLES ni kampuni ambayo inapatikana STRATFORD na kipindi cha miaka ya nyuma ilikuwa inatengeneza baiskeli aina ya AVON.


Hizi baiskeli za AVON, kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wale watoto wa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] na hasa mtoto wa MISTER ABILITY, yaani MANING NICE alikuwa anamiliki baiskeli ndogo aina ya AVON yenye rangi nyekundu.

Hiyo kampuni ya AVON ni yao na wanaendelea kumiliki hiyo kampuni kwa asilimia mia moja [100] mpaka hivi leo, sema baiskeli za AVON zimeonekana kuadimika na hili JINA LA AVON limehamia kwenye VIPODOZI.


Hii kampuni ya AVON COSMETICS ni kampuni ambayo inafanya vizuri sana kwa upande wa VIPODOZI na bidhaa zake zimeenea ULIMWENGU mzima.

Kwahiyo, sasa hivi WATU WA PWANI yaani WAZANZIBARI wanaonekana kujitahidi sana kuwekeza UGHAIBUNI kuliko wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA, lakini bado hawajaweza kufua DAFU kwa uwekezaji uliokwisha fanywa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] pamoja na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA 🦁.
 
Doctor G angalia hicho kiatu! Hicho ni kiatu ambacho kimetengenezwa na kampuni ya camel active | Schuhe für Herren I Jetzt entdecken na ni kampuni ambayo ipo chini ya kampuni ya AMSONS YA TANZANIA na hiyo kampuni inapatikana nchini UJERUMANI na inamilikiwa kwa 100% na wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].

Na sasa hivi MANING NICE anatumia muda mwingi kuvaa viatu ambavyo vimetengenezwa na VIWANDA ambavyo wanamiliki wao wenyewe ikiwemo CONVERSE [ALL STAR] kutoka MAREKANI pamoja na LIBERTY kutoka INDIA.

Hii kampuni ya kutengeneza viatu vya LIBERTY na yenyewe ina historia yake kwa hapa TANZANIA, yaani kama ilivyo kwa CONVERSE [ALL STAR]. Baadae nikipata muda nitakuonesha jinsi hii kampuni ya LIBERTY inavyofanya kazi kwa upande wa hapa TANZANIA.

Kwahiyo wale waliokuwa WAFANYAKAZI WA VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] wanamiliki viwanda vya kutengeneza viatu kwa MATAIFA YA ULAYA, AMERIKA pamoja na ASIA.
 
Doctor G hiyo kampuni inayotengeneza viatu vya LIBERTY ni kampuni ambayo inakuja kwa kasi sana kwenye SOKO LA USHINDANI.


LIBERTY SHOES ni kampuni ambayo inapatikana INDIA na inamilikiwa kwa 100% na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.


Hii kampuni ya VIATU VYA LIBERTY ni kampuni ambayo inafanana na CONVERSE [ALL STAR] kwa umiliki na mambo mengine yanayofanyika TANZANIA.


Pia kuna mashati, suruali, suti pamoja na nguo za kike ambazo zimetengenezwa na kampuni ya LIBERTY CLOTHES ambayo inapatikana nchini MAREKANI.



MANING NICE muda mwingi anatumia kuvaa MASHATI ambayo yanakuwa yametengenezwa kutoka MAREKANI, katika KIWANDA ambacho wanamiliki wao wenyewe.



Hawa wakina MANING NICE ndio vijana wanaotegemewa kuboresha na kuendeleza misingi iliyoanzishwa na watangulizi wao kutokana na kuwa na tabia ya kupenda kutumia vitu vyao tu.

Vile vile, kwa upande wa TANZANIA kuna kampuni ambayo inaitwa LIBERTY TRANS CARGO COMPANY LIMITED ambayo inapatikana barabara ya NYERERE ROAD, KIPAWA katika jiji la DAR ES SALAAM, nchini TANZANIA.


Hii kampuni ya LIBERTY TRANS CARGO COMPANY LIMITED ni kampuni ambayo inamiliki kampuni ya USAFIRISHAJI WA ABIRIA inayokwenda kwa jina la NEW FORCE [GOLDEN DEER].


Kampuni ya NEW FORCE [GOLDEN DEER] ni miongoni mwa kampuni za USAFIRISHAJI WA ABIRIA ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.


Pia, kampuni ya LIBERTY ni kampuni ambayo mwanzo wake ulianzia kwenye UFUAJI WA CHUMA katika TAIFA LA UINGEREZA na ilimilikiwa tangu mwanzoni mwa miaka ya tisini [1990's] na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.


Hii kampuni ya UFUAJI WA CHUMA inaitwa LIBERTY STEEL GROUP na ni kampuni ya tatu [3] kwa uzalishaji wa CHUMA kwa upande wa TAIFA LA UINGEREZA.


Kampuni ya LIBERTY STEEL GROUP inafanya vizuri sana kwenye SOKO LA USHINDANI na ni kampuni mwenza wa kampuni za KIOO INDUSTRY pamoja na MMI STEEL, ambazo zote zinapatikana TANZANIA.


Kampuni ya MMI STEEL na yenyewe ni kubwa kwa kiasi chake, kwa sababu imeenea kwa MATAIFA YA TANZANIA, UGANDA, MSUMBIJI na ZAMBIA. Haya yote ni matawi ya LIBERTY STEEL GROUP.


Kwa upande wa UINGEREZA, hii kampuni ya LIBERTY STEEL GROUP ni kampuni ambayo inamiliki TIMU YA MPIRA WA MIGUU inayoitwa ASTON VILLA ambayo inashiriki LIGI KUU NCHINI UINGEREZA.


Kwahiyo ukiachana na TIMU YA MPIRA WA MIGUU inayoitwa FULHAM FC, pia wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wanamiliki KLABU YA ASTON VILLA kupitia kampuni ya LIBERTY STEEL GROUP.


Kwahiyo KLABU ZA MPIRA WA MIGUU ZA ASTON VILLA pamoja na FULHAM FC zote zinamilikiwa na mtu mmoja kupitia kampuni tofauti tofauti.



Na miaka ya hivi karibuni, hii kampuni ya LIBERTY STEEL GROUP ilifanikiwa kuanzisha na kufungua KIWANDA kingine katika TAIFA LA ROMANIA.


Kampuni ya LIBERTY STEEL GROUP imeenea hadi katika TAIFA LA MAREKANI pamoja na AUSTRALIA.


Kwa upande wa MAREKANI, hii kampuni ya LIBERTY STEEL GROUP ni kampuni ambayo inamiliki TIMU YA MPIRA WA KIKAPU YA WANAWAKE inayoitwa NEW YORK LIBERTY ambayo inashiriki LIGI KUU YA WANAWAKE YA NBA.


LIBERTY STEEL GROUP ni kampuni kubwa ambayo inafanya vizuri kwa MATAIFA YA MAREKANI, AUSTRALIA pamoja na BARA LA ULAYA na hivi karibuni hii kampuni imefanikiwa kuwa miongoni mwa kampuni ambazo zimeshinda ZABUNI ya kutengeneza CHUMA pamoja na NONDO katika UJENZI WA RELI YA KISASA itakayounganisha MATAIFA YA BARA LA ULAYA.


Hii kampuni ya LIBERTY STEEL GROUP ni kampuni kubwa na ni kampuni ambayo iliwafanya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA kutambulika kama ni ELITES kutoka TANZANIA.


Hii kampuni ya LIBERTY STEEL GROUP ni kampuni ambayo inadhamini KLABU YA MPIRA WA MIGUU YA TOWNSHIP ROLLERS inayoshiriki LIGI KUU nchini BOTSWANA.

TOWNSHIP ROLLERS FC ni timu ambayo inapatikana KUSINI MWA AFRIKA na inamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

Vile vile, kampuni ya LIBERTY STEEL GROUP inamiliki HOTELI pamoja na vitu vingine ukiachilia mbali VIWANDA VYA KUCHAKATA CHUMA.


Kampuni ya LIBERTY STEEL GROUP kwa upande wa MAREKANI ndio wamiliki wa HOTELI ya LIBERTY HOTEL ambayo inapatikana BEACON HILL, BOSTON, MASSACHUSETTS! HOTELI ya LIBERTY HOTEL ambayo inapatikana CLEBURNE, TEXAS! HOTELI ya RODEWAY INN ambayo inapatikana KANSAS CITY pamoja na LIBERTY INN HOTEL inayopatikana OREGON, nchini MAREKANI.


HOTELI nyingine ni LIBERTY HOTELS LYKIA pamoja na LIBERTY FOOTBALL ACADEMY ambazo zote zinapatikana FETHIYE, ÖLÜDENIZ - MUGLA katika TAIFA LA UTURUKI.


LIBERTY HOTELS OLUDENIZ na LIBERTY HOTELS LARA, HOTELI zote hizi zinapatikana katika TAIFA LA UTURUKI.


HOTELI nyingine ni LIBERTY HOTEL THAMRIN ambayo inapatikana JAKARTA, INDONESIA! AQUA LIBERTY HOTEL ambayo inapatikana GEORGIA! HOTEL LIBERTY ambayo inapatikana POKHARA, DAMSIDE - NEPALI pamoja na HOTEL LIBERTY inayopatikana FIRENZE, ITALIA.



HOTELI nyingine ni LIBERTY LODGE ambayo inapatikana TANZANIA katika MKOA WA MBEYA, maeneo ya ITENDE mkabala kabisa na JKT ITENDE kwenye barabara kuu ya MBEYA - TUNDUMA. Sasa hivi LIBERTY LODGE imechakaa na kwa siku za usoni itatakiwa kujengwa upya.

HOTELI nyingine ni LIBERTY HOTEL ambayo inapatikana DUBAI. Hii HOTELI imekuwa "UNDISCLOSED" kutokana na UNYETI wake, lakini muda ukifika kila kitu kitakuwa hadharani.

Sasa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] pamoja na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wapo mbali sana KIUCHUMI na pamoja na kumiliki kampuni ya mawasiliano ya TIGO kwa upande wa TANZANIA.


Wale wakina MANING NICE waliamua kusoma SHAHADA YA METALLURGY AND MINERAL PROCESSING ENGINEERING na kuachana kabisa na TELECOMMUNICATIONS ENGINEERING kwa sababu ya umiliki wa kampuni ya LIBERTY STEEL GROUP.


MANING NICE ndio wamiliki halali wa kampuni za LIBERTY STEEL GROUP, MMI STEEL, AFRICAN EXPLOSIVES AND CHEMICALS LIMITED, PLATINUM HOLDINGS LIMITED, EL HILAL DIAMONDS LIMITED, AMSONS pamoja na KIOO INDUSTRY kwa asilimia mia moja [100%].

Kwahiyo, pamoja na kuitwa majina ya KEJELI kama WASHOSHA NG'OMBE au WATU WASHAMBA SHAMBA - wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walikuwa ni WAVUMILIVU na sasa hivi wapo mbali sana KIUCHUMI.
 
Doctor G hiyo kampuni ya LIBERTY STEEL GROUP ni kampuni ambayo inamiliki CHUO KIKUU CHA LIBERTY kinachopatikana nchini MAREKANI.


CHUO KIKUU CHA LIBERTY yaani LIBERTY UNIVERSITY [LU] ni CHUO KIKUU ambacho kinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA kupitia kampuni ya LIBERTY STEEL GROUP.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] wamejitahidi sana kuwekeza katika kila SEKTA na SEKTA YA ELIMU ndio kipaumbele chao.


CHUO KIKUU CHA LIBERTY [LU] ni CHUO KIKUU ambacho kinatumia RANGI NYEKUNDU kama RANGI RASMI inayotambulisha CHUO yaani COLLEGE COLOR na RANGI NYEKUNDU mara nyingi huwa inatumika kuwakilisha wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.


Hata kwenye hafla ya michezo, CHUO KIKUU CHA LIBERTY [LU] huwa kinatumia SARE ZA RANGI NYEKUNDU kuwakilisha wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.


CHUO KIKUU CHA LIBERTY [LU] ni miongoni mwa VYUO VIKUU ambavyo vinafanya vizuri nchini MAREKANI kwa upande wa TAALUMA na MICHEZO.


CHUO KIKUU CHA LIBERTY [LU] ni CHUO KIKUU ambacho kinadahili WANAFUNZI kutoka MATAIFA mbalimbali na mpaka kufikia mwaka jana, CHUO KIKUU CHA LIBERTY [LU] kilifanikiwa kudahili WANAFUNZI zaidi ya ELFU ISHIRINI [20,000] kwa mwaka wa masomo 2022/23.


Hao ndio wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA - THE ELITES WITH WESTERN VALUES, BUT NOT WESTERN LOYALTIES.


Kwahiyo utaona ni jinsi gani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA walivyopiga hatua kubwa ya KIUCHUMI na KIMAENDELEO.
 
Doctor G wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndio wamiliki halali wa CHUO CHA BOMA INTERNATIONAL HOSPITALITY COLLEGE [BIHC] kinachopatikana NAIROBI, nchini KENYA.


Hilo jina la chuo yaani "BOMA" lilitokana na kile kijiji ambacho kinapatikana TANZANIA, katika MKOA WA KILIMANJARO, WILAYA YA HAI kinachoitwa BOMA NG'OMBE.


Hicho kijiji cha BOMA NG'OMBE ni kijiji ambacho kina historia iliyosheheni matukio ya wahamiaji kutoka mikoa mitatu [3] ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na wanafunzi wengi wa BOMA INTERNATIONAL HOSPITALITY COLLEGE [BIHC] ni WATANZANIA WAHAMIAJI waliohamia KENYA kutoka mikoa mitatu [3] ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA.


Sasa malengo na madhumuni ya kuanzisha chuo cha BOMA INTERNATIONAL HOSPITALITY COLLEGE [BIHC] ni kuzalisha wahitimu ambao watakuja kuwa wasimamizi wa masuala ya hoteli ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.


Na wamefanikiwa kwa asilimia mia moja [100%], kwa sababu hoteli zote zinazopatikana nje ya TANZANIA ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA zina wafanyakazi ambao ni wahitimu wa BOMA INTERNATIONAL HOSPITALITY COLLEGE [BIHC].


Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wamejitahidi kufanya biashara na kuwekeza katika kila SEKTA kwa kutumia NGUVU KAZI ya WATU wao wenyewe na hii imewasaidia sana kupambana na UDHALIMU unaofanywa na SERIKALI.
 
Leo BOMA INTERNATIONAL HOSPITALITY COLLEGE [BIHC] ni chuo bora ambacho kinatambulika AFRIKA YA MASHARIKI kwa kutoa wahitimu ambao ni PROFESSIONAL CHEFS.


Wahitimu wa BOMA INTERNATIONAL HOSPITALITY COLLEGE [BIHC] ndio PROFESSIONAL CHEFS wa hoteli ambazo wanamiliki wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.


Hiki chuo cha BOMA INTERNATIONAL HOSPITALITY COLLEGE [BIHC] ni chuo ambacho kinatambulika ndani na nje ya mipaka ya AFRIKA YA MASHARIKI.


Miaka ya hivi karibu, hoteli nyingi za KITALII na hoteli zenye hadhi ya NYOTA TANO zilianza kuchukua wahitimu kutoka chuo cha BOMA INTERNATIONAL HOSPITALITY COLLEGE [BIHC].


Sasa hivi BOMA INTERNATIONAL HOSPITALITY COLLEGE [BIHC] wamevuka malengo - kwa sababu tofauti na wahitimu kufanya kazi katika hoteli nyingi za KITALII na hoteli zenye hadhi ya NYOTA TANO, hao wahitimu wamekuwa wakihusika kwenye makongamano ya KIMATAIFA kama PROFESSIONAL CHEFS kutoka BOMA INTERNATIONAL HOSPITALITY COLLEGE [BIHC].


Hayo ndio baadhi ya mafanikio ya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA.
 
Doctor G wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] ndio wamiliki halali wa CHUO CHA BUSINESS AND HOTEL MANAGEMENT SCHOOL [BHMS] kinachopatikana LUCERNE, nchini USWISI.


Hiki chuo cha BUSINESS AND HOTEL MANAGEMENT SCHOOL [BHMS] kina mahusiano ya moja kwa moja na chuo cha BOMA INTERNATIONAL HOSPITALITY COLLEGE [BIHC] kinachopatikana NAIROBI, nchini KENYA.


Hao MABINTI WEUSI ni MWASHITA waliohamia KENYA, yaani wale waliokuwa wenyeji wa mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA waliohamia KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

Sasa hivi wanafanya kubadilisha ujuzi na chuo cha BUSINESS AND HOTEL MANAGEMENT SCHOOL [BHMS] ambacho pia kinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.


Kwahiyo haya ndio MAFANIKIO na MATUNDA ya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA na kuna mambo ambayo waliyafanya hadi kufikia kupewa MAJINA YA MITAA kwa MATAIFA YA KENYA, NAIJERIA pamoja na NAMIBIA.
 


Kosa kubwa la Kambona ni kumsikiliza Nyerere kuandaa Mavamizi ya Zanzibar. Matokeo yake wakauwa maelfu ya Wazanzibari na kuiangamiza Zanzibar na baadaye Tanganyika mpaka leo katika huu Mvamiano uliopewa jina la Muungano . Nchi haijulikani ni ya ujamaa , ubepari, Liberal , ya kidini, ya kipagani , ni kama generation iliyomwagwa ghafla kwenye sayari ikachanganyikiwa.

Sote tumekuwa lost generation under CCM ya Nyerere
 
Jaribu kuangalia na kutizama kwa makini hii MAKALA YA VIDEO inayohusu MAISHA YA KISIASA ya OSCAR SALATHIEL KAMBONA iliyoandaliwa siku chache zilizopita.

Pamoja na kupitia misukosuko mingi, OSCAR SALATHIEL KAMBONA kipindi cha uhai wake alifanikiwa kuanzisha CHAMA CHA KISIASA kilichoitwa ADA-TADEA ambacho kipo hadi leo, sema hakina UWAKILISHI WA KISIASA kwa ngazi yoyote ile, yaani kuanzia ngazi ya shina hadi ngazi ya kitaifa.

MASWAHIBU ni mengi kwa WANASIASA na hali hiyo haijabadilika mpaka leo! Tangu enzi za TANU na ASP mpaka CCM bado hali ni ile ile na CHAMA CHA MAPINDUZI bado ni kile kile.

Kuna WANASIASA walioweza kuwa wavumilivu na wakala mema ya nchi na kuna WANASIASA wengine walishindwa kuvumilia wakakimbia nchi, akiwemo OSCAR SALATHIEL KAMBONA mwenyewe.

WANASIASA walioweza kuwa wavumilivu walipatikana ZANZIBARI na sehemu nyingine za PWANI kwa upande wa TANZANIA BARA.


Kwa upande wa ZANZIBARI - SIASA ZA UVUMILIVU ziliongozwa na aliyekuwa RAIS WA KWANZA WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBARI, HAYATI SHEIKH ABEID AMANI KARUME aliyekuwa RAIS WA KWANZA WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBARI, hadi umauti unamkuta SHEIKH ABEID AMANI KARUME alifahamika kwa uvumilivu wake wa kisiasa.


Hali hiyo ilipelekea kuaminika kwa familia ya HAYATI KARUME kwenye SIASA ZA ZANZIBARI na kufanikiwa kutoa tena RAIS WA AWAMU YA SITA [6] wa SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBARI, NDUGU AMANI ABEID KARUME.


Hao ndio WAZANZIBARI! Wanaofahamika kutokana na kuwa na UVUMILIVU WA KISIASA ambapo jitihada na mafanikio yao ya KIUCHUMI waliyo nayo sasa hivi, yametokana na UTASHI WA KISIASA.

Hali hiyo ni sawa kabisa, tena inaweza kuwa ni zaidi kwa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA kwa kuwa wavumilivu na kufanikiwa kuanzisha VYAMA VYA KISIASA pasipo kupata MASWAHIBU yoyote yale ya KISIASA.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walifanikiwa pakubwa sana katika SIASA ZA MFUMO WA VYAMA VINGI.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walifanikiwa kuanzisha VYAMA VYA KISIASA kwa njia ya UKACHERO, yaani walifanikiwa kuratibu shughuli zote za kuanzisha VYAMA VYA KISIASA pasipo wao kuonekana mstari wa mbele.


Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA hawakupitia MASWAHIBU YA KISIASA, ijapokuwa walishiriki na wanashiriki SIASA ZA TANZANIA kwa kupitia MLANGO WA NYUMA.


Leo CHAMA CHA ACT - WAZALENDO ndio CHAMA CHA KISIASA ambacho kinaunda SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA kwa upande wa ZANZIBARI na malengo ni kufanikisha kuchukua DOLA YA ZANZIBARI.


Haya tunaweza kusema kuwa ni mafanikio ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF, ACT - WAZALENDO yenyewe pamoja na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
Sote tumekuwa lost generation under CCM ya Nyerere
WATU ambao tunaweza kusema kuwa ni "LOST GENERATION" chini ya UTAWALA WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] ni wengi, lakini miongoni mwao kuna wachache walioweza kujikwamua kutoka kwenye MAKUCHA YA CHAMA TAWALA.

Miongoni mwa wachache hao walioweza kujikwamua kutoka kwenye MAKUCHA YA CHAMA TAWALA ni WAZANZIBARI pamoja na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

Nasema WAZANZIBARI kwa sababu gani? Kwa sababu wao WAZANZIBARI wanakitumia CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kukwea mnazi, yaani wanakitumia CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kujijenga KIUCHUMI na wamefanikiwa kwa asilimia mia moja [100%].

Hali kadhalika, kwa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wamefanikiwa pakubwa sana katika kujijenga KIUCHUMI na wanaandaa watoto wao kuja kuongoza VYAMA VYA KISIASA ambavyo waliviasisi wao wenyewe.


VYAMA VYA KISIASA ambavyo viliasisiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ni CHAMA CHA WANANCHI - CUF, ACT - WAZALENDO pamoja na chama kingine cha kisiasa ambacho bado ni SIRI kutaja hadharani kutokana na kuwa na MIKAKATI MIZITO YA KISIASA.

Kwahiyo, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wamiliki VYAMA VYA KISIASA vipatavyo vitatu [3] kwa idadi yake.


Ambapo moja ya CHAMA CHA KISIASA, jengo la ofisi ya MAKAO MAKUU YA CHAMA lina hati ya jina la aliyekuwa RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA [UDOM], KITIVO CHA SAYANSI JAMII [COHSS] kwa mwaka 2012/13.


Huyo aliyekuwa RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA [UDOM], KITIVO CHA SAYANSI JAMII [COHSS] kwa mwaka 2012/13 ni KIZAZI CHA MWASHITA.

Kwahiyo kuna WATU WACHACHE walioweza kujikwamua kutoka kuwa "LOST GENERATION" hadi kuitwa MASHUJAA WA KISIASA yaani "POLITICAL HEROES".

Hao MASHUJAA WA KISIASA yaani "POLITICAL HEROES" ni wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.


MASWAHIBU ni mengi katika SIASA ZA TANZANIA. Kuna WANASIASA waliofanikiwa kuyaepuka MASWAHIBU hayo na wengine wameendelea kuwa ni WAHANGA wa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] hata katika kipindi hiki cha DUNIA MAMBO LEO.


Kwahiyo MASWAHIBU YA KISIASA ni mengi sana na kuna baadhi ya WATU kwa kukosa maarifa wanaendelea kuangamia hadi leo.
 

Msikilize huyu Mzee alikuwa mhanga wa Karume




 
Doctor G wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndio wamiliki halali wa KIWANDA cha kutengeneza viatu cha LACOSTE kinachopatikana PARIS, nchini UFARANSA.


Hii kampuni ya LACOSTE ni kampuni ambayo kwa kiasi kikubwa inatengeneza viatu, tisheti pamoja na mashati na wanauza bidhaa zao kupitia maduka ambayo wanayamiliki na kupitia mitandaoni ya kijamii kama https://www.lacoste.com/us/lacoste/men/shoes/.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wapo mbali sana KIUCHUMI, kiasi ambacho wale waliokuwa watoto wa MWASHITA wakina MANING NICE wanatumia muda mwingi kuvaa na kutumia bidhaa zao.
 
Sasa Doctor G rejea posti namba 1273, katika kipindi cha UHUJUMU UCHUMI - wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walifanikiwa kuvuka salama na kuwekeza ndani na nje ya mipaka ya TANZANIA.

Kwa upande wa TANZANIA, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walikuwa wanaitwa "WANYAMA WATATU" na kipindi cha mwanzoni mwa miaka ya tisini [1990's] - wale waliokuwa WAZEE WA DAR ES SALAAM walikuwa wana msemo maarufu uliokuwa ukisema hivi "WANYAMA WATATU WAMEACHA MBUGA, MJI UNA KAZI!" yaani walikuwa wanamaanisha kuwa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wameacha kuwekeza kwenye MIKOA yao na wamekuja kuwekeza katika JIJI LA DAR ES SALAAM.


Huo ndio ukawa mwanzo wa matumizi wa yale maneno maarufu ya "WANYAMA WATATU WAMEACHA MBUGA, MJI UNA KAZI!" na walifanikiwa kuwekeza DAR ES SALAAM kwa upande wa VIWANDA na kumiliki MAJENGO YA KIBIASHARA.


Baada ya kufanikiwa kuwekeza DAR ES SALAAM kipindi cha miaka ya tisini [1990's], wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walifanikiwa kuwekeza katika MATAIFA JIRANI ya AFRIKA YA MASHARIKI hususani kwa MATAIFA YA KENYA na UGANDA.

Kwa upande wa TAIFA LA KENYA katika kipindi cha UTAWALA WA DANIEL ARAP MOI, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walifanikiwa kuwekeza VIWANDA, MAJENGO YA KIBIASHARA pamoja na kituo maarufu cha televisheni kinachojulikana kama KTN yaani KENYA TELEVISION NETWORK kupitia kampuni ya STANDARD MEDIA.

Hiki kituo cha televisheni cha KTN kina uhusiano wa moja kwa moja na kampuni ya KTN inayomiliki KIWANDA CHA KTN kinachopatikana TEMEKE, DAR ES SALAAM nchini TANZANIA na kila walipokuwa wanafanikiwa kuwekeza, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walikuwa wanapeleka watu wao.


Kipindi hicho cha miaka ya tisini [1990's], SERIKALI YA JAMHURI YA WATU WA KENYA iliamua kuwapa heshima wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA kwa kuwapa JINA LA MTAA unaojulikana kama SHINYANGA 1214 unaopatikana katika JIJI LA NAIROBI, nchini KENYA.

Hilo JINA LA MTAA wa SHINYANGA 1214 lilitokana na kumiliki MAJENGO YA GHOROFA kwa idadi yake yalikuwa ni kumi na mbili [12] na baadae kuongeza MAJENGO YA GHOROFA mawili na kufikisha idadi ya MAJENGO YA GHOROFA yapatayo kumi na nne [14] katika JIJI LA NAIROBI pekee yake.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walifanikiwa kumiliki TIMU YA MPIRA WA MIGUU inayoitwa KARIOBANGI SHARKS inayoshiriki LIGI KUU nchini KENYA.

Hali hiyo ilifanyika hivyo hivyo katika JIJI LA WINDHOEK, nchini NAMIBIA kwa kumiliki hisa zipatazo asilimia ishirini [20%] katika KIWANDA kinachotengeneza BIA ZA WINDHOEK.


Hisa hizo ziliendelea kushuka hadi asilimia sita [6%] kwa mwaka 2021/22 kufuatia kuongekezeka kwa idadi ya wanahisa pamoja na kukua kwa mtaji wa kampuni ya WINDHOEK BEER.

Vile vile, kutokana na kumiliki hisa katika kampuni ya WINDHOEK BEER - wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walifanikiwa kuanzisha kampuni ya KALAHARI GROUP OF COMPANIES ambayo wanamiliki kwa asilimia mia moja [100%].


Hii kampuni ya KALAHARI GROUP OF COMPANIES inafanya vizuri sana kibiashara kwenye MATAIFA YA SOMALIA, KENYA, ZAMBIA pamoja na NAMIBIA na SERIKALI YA NAMIBIA iliamua kuwapa heshima ya JINA LA MTAA wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA kwa kuwekeza nchini NAMIBIA. JINA LA MTAA huo ni SHINYANGA 1214 ambao unapatikana katika JIJI LA WINDHOEK, nchini NAMIBIA.


Hali hiyo iliwafanya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA kupeleka watu wao kwenda kufanya kazi kwenye kampuni ya KALAHARI GROUP OF COMPANIES.

Hali hiyo iliendelea hivyo hivyo hadi AFRIKA YA MAGHARIBI katika TAIFA LA NAIJERIA ambapo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walifanikiwa kuwekeza VIWANDA, MAJENGO YA KIBIASHARA pamoja na kumiliki SHULE ZA TAQWA.


Hizi SHULE ZA TAQWA zinapatikana LAGOS nchini NAIJERIA na zinafanya vizuri sana kitaaluma.


Wafanyakazi wa SHULE ZA TAQWA ni WATANZANIA wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia NAIJERIA.


Hizi SHULE ZA TAQWA zina mahusiano ya moja kwa moja na SHULE YA SEKONDARI YA TAQWA inayopatikana katika JIJI LA MWANZA, nchini TANZANIA.


Baadhi ya wanafunzi na walimu wa SHULE ZA TAQWA ni WATANZANIA waliohamia nchini NAIJERIA.


Hili jina la TAQWA ni jina ambalo kwa mara ya kwanza lilianza kutumika kwa kampuni ya usafirishaji wa abiria na mizigo inayoitwa TAQWA.


Hii kampuni ya usafirishaji wa abiria na mizigo inayoitwa TAQWA ni kampuni ambayo inapatikana TANZANIA na ni kampuni ambayo inamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

Hii kampuni ya usafirishaji wa abiria na mizigo inayoitwa TAQWA ni kampuni mwenza wa kampuni za SPIDER pamoja na FALCON ambazo zote zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

Kwahiyo, kwa heshima ya kuwekeza katika TAIFA LA NAIJERIA - wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walipewa heshima ya mtaa katika JIJI LA ABUJA, nchini NAIJERIA.

Jina la mtaa huo ni SHINYANGA 1214 ambao unapatikana katika JIJI LA ABUJA, nchini NAIJERIA.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wamefanikiwa kwa kiasi chake nchini NAIJERIA, kwani wao pia ndio wamiliki halali wa MAVIN RECORDS inayoongozwa na msanii maarufu anayeitwa DON JAZZY.


Miaka ya hivi karibuni, MAVIN RECORDS walifanikiwa kutoa msanii maarufu sana nchini NAIJERIA anayeitwa REMA. Msanii REMA ni MWASHITA yaani SIMBA.


REMA amekuwa maarufu sana ndani na nje ya TAIFA LA NAIJERIA kutokana na nyimbo yake inayoitwa CALM DOWN.

Hii nyimbo ndio ilimfanya REMA akatambulika zaidi nje ya mipaka ya NAIJERIA na kutwaa baadhi ya tuzo za muziki na nyimbo bora kwenye matamasha mbalimbali.

Vile vile, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA ndio wamiliki halali wa TIMU YA MPIRA WA MIGUU inayoitwa AKWA UNITED inayoshiriki LIGI KUU nchini NAIJERIA.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wamepiga hatua kubwa sana ya KIUCHUMI na mara nyingi huwa wanaitwa ni MASHUJAA WA KISIASA yaani POLITICAL HEROES.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wamefanikiwa kuweka misingi imara kwa jamii zao na hata hilo jina la mtaa wa SHINYANGA 1214 ambao unapatikana NAIROBI nchini KENYA, WINDHOEK nchini NAMIBIA pamoja na ABUJA nchini NAIJERIA ni SANDUKU LA POSTA [S.L.P] la wakina MANING NICE.


Yaani SANDUKU LA POSTA la wakina MANING NICE ni 1214, SHINYANGA ndio jina lililobeba majina ya mitaa ya SHINYANGA 1214 inayopatikana NAIROBI nchini KENYA, WINDHOEK nchini NAMIBIA pamoja na ABUJA nchini NAIJERIA.

Kwahiyo, hayo ndio MATUNDA, MAFANIKIO na SIASA ya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…