Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

why wnashindwa kuja kuwekeza Tz kama wanamamali kiasi hicho
TANZANIA wamewekeza sana! Hao ndiyo wanamiliki HOTELI ZA MOUNT MERU na hiyo ndiyo SIASA ya kuwa na DIVERSIED ECONOMY ili kuepuka kufilisika kutokana na SERA ZA UCHUMI kubadilika badilika.

WAINGEREZA huwa wanasema hivi "DON'T PUT ALL EGGS IN THE SAME BASKET", yaani kwa LUGHA YA KISWAHILI inakuwa hivi "USIWEKE MAYAI YOTE KWENYE KAPU MOJA" ili isije ikatokea KAPU limedondoka na MAYAI yote yakavunjika, utakuwa umepata hasara.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walisaidiwa na UINGEREZA katika KUJIJENGA KIUCHUMI yaani WEALTH RECREATION.

Hata kipindi cha mfumo wa VYAMA VINGI unaanza mwaka 1992 - WAINGEREZA ndiyo walikuwa nyuma ya kuanzishwa kwa VYAMA VYA KISIASA kama CHAMA CHA WANANCHI - CUF pamoja na NCCR - MAGEUZI.

Yaani WAINGEREZA ndiyo walitoa mapendekezo ya majina kwa VYAMA VYA KISIASA vya NCCR - MAGEUZI pamoja na CHAMA CHA WANANCHI - CUF, hata hili jina la ACT - WAZALENDO ni wao ndiyo waliopendekeza.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wanafuata MFUMO WA UINGEREZA.
 
why wnashindwa kuja kuwekeza Tz kama wanamamali kiasi hicho
Ukitaka kuwafahamu WATU WA TABORA waliohamia KENYA angalia KITUO CHA TELEVISHENI kinachoitwa CITIZEN TV.

Na ukitaka kuwafahamu WATU WA MWANZA NA SHINYANGA waliohamia KENYA angalia KITUO CHA TELEVISHENI kinachoitwa KTN.

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wanafuata MTINDO WA MAISHA YA UINGEREZA.


Leo hii kuna FAMILIA zipo UGANDA na zilihama kutoka SHINYANGA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Pia kuna FAMILIA zipo NAMIBIA na zilihama kutoka SHINYANGA kipindi cha miaka ya tisini [1990's], hii ndiyo DIVERSITY ambayo huwa inafanyika na UINGEREZA.

Yaani kule kwenye MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, wenyeji wa asili waliobaki ni nusu na nusu walihama na kubadilisha makabila. Kwahiyo wameenea TANZANIA nzima na baadhi ya MATAIFA YA UGHAIBUNI.

Hiyo ndiyo SIASA aliyokuwa akifanya HAYATI MWALIMU ndani ya SERIKALI na ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].


Ukiingia ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] unaweza kukuta MWANACHAMA anaitwa MKENDA - wewe kwa haraka haraka utadhani ni MCHAGA kumbe ni MKURYA aliyehamia MKOA WA KILIMANJARO na akapata nafasi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Pia, ile kauli ya kusema "MZIGO MZITO MPE MNYAMWEZI AKUBEBEE" haina CHEMBE YA UKWELI hata kidogo, kwani mwaka tisini na tano [1995] aliyebeba MZIGO MZITO kutoka kwa HAYATI MWALIMU alikuwa ni MKURYA, wala sio MNYAMWEZI na wala sio MTU WA PWANI.

Sasa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA waliyafahamu hayo mambo tangu siku nyingi na ndio maana waliamua kuanzisha VYAMA VYA KISIASA pamoja na kusaidia WATU wao.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA kusaidia na kuwabeba watu wao ni SEHEMU YA IBADA.
 
why wnashindwa kuja kuwekeza Tz kama wanamamali kiasi hicho
Mbona wapo!! Angalia kampuni ya AMSONS GROUP ambayo inamiliki KIWANDA cha kuzalisha SIMENTI kinachoitwa CAMEL 🐫.






Hiyo KAMPUNI ndiyo CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA yaani SHIRECU.


Pia wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wanamiliki HISA kwenye kampuni za kutengeneza vifaa vya kielektroniki kama HITACHI, SONY, PANASONIC na PHILLIPS.
 
Bhebhe N'gwana Shija usituchoshe
Vipi Paulo N'gwani family bado wanapeta ? wale ndio walioifilisi SHIRECU
Na lile gorofa la SHIRECU bado lipo pale karibu na Police HQ
 
Bhebhe N'gwana Shija usituchoshe
Vipi Paulo N'gwani family bado wanapeta ? wale ndio walioifilisi SHIRECU
Na lile gorofa la SHIRECU bado lipo pale karibu na Police HQ


Hao sijui kwa kweli, ila wana UCHUMI MKUBWA! Lakini wengine wapo NDOLA, ZAMBIA wanafanya BIASHARA na wanasubiri UCHAGUZI MKUU WA 2025 kwa hamu. Safari hii kule ZANZIBARI hapatoshi.. 😂😂😂
 
Bhebhe N'gwana Shija usituchoshe
Vipi Paulo N'gwani family bado wanapeta ? wale ndio walioifilisi SHIRECU
Na lile gorofa la SHIRECU bado lipo pale karibu na Police HQ

Jaribu kumsikiliza tena HAYATI MWALIMU kwa mara nyingine!! Na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walikuwa wanafanya kama alivyokuwa anafanya HAYATI MWALIMU.

Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] wakati WANASIASA wanapiga kampeni kwenye UCHAGUZI MKUU WA 1995 [kuchimba visima, kujenga zahanati na kujenga madarasa ya shule], wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walikuwa wanahamisha watu wao na kuwapeleka sehemu ambapo wamewekeza VIWANDA.

Yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA walikuwa wanahamisha VIJIJI.

MISTER ABILITY alihamisha KIJIJI CHA SHILALO chote, akasambaza sehemu mbalimbali za TANZANIA na wengine walienda nje ya nchi. SHILALO ni kijiji ambacho kinapatikana MISASI, MISUNGWI katika MKOA WA MWANZA.

WATU wengi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA walihama kipindi cha miaka ya tisini [1990's] na wengine wanaendelea kuhama kila siku.


Miongoni mwao ni ABABU NAMWAMBA, huyu ni mwenyeji wa asili wa MKOA WA TABORA na sasa hivi ni MWANASIASA mzuri sana nchini KENYA.




Miongoni mwao ni AIDE DE CAMP wa RAIS WILLIAM RUTO, huyu ni mwenyeji wa asili wa MKOA WA MWANZA na sasa hivi ni MPAMBE WA RAIS WA KENYA.


Miongoni mwao ni AMINATA NAMASIA, huyu ni mwenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA na sasa hivi ni NAIBU WAZIRI nchini KONGO.


Miongoni mwao ni huyo mama ambaye anaonekana nyuma ya RAIS WA KONGO, huyo pia ni mwenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA na sasa hivi ni miongoni mwa PSU [PRESIDENTIAL SECURITY UNITY] wa RAIS WA KONGO.


Mwingine ni msemaji wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA AFRIKA YA KUSINI, huyu pia ni mwenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA.

Huyu DADA na yeye ana historia yake, kwa sababu alitakiwa kuwa ni miongoni mwa WATANZANIA watakaohamia nchini KENYA lakini walivyofika TANGA waliambiwa wanahamia AFRIKA YA KUSINI.


Leo hii wachezaji wote weusi wa timu ya mpira wa miguu ya KAIZER CHIEFS ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Mmiliki wa timu ya mpira wa miguu ya KAIZER CHIEFS inayoshiriki LIGI KUU YA AFRIKA YA KUSINI ni MTANZANIA na yupo TANZANIA.


Huyo ndiyo mwenye jina ambalo linasoma kwenye LESENI YA KAIZER CHIEFS ya AFRIKA YA KUSINI pamoja na AL HILAL OMDURMAN ya SUDANI.


Leo hii wachezaji wote weusi wa timu ya mpira wa miguu ya AL HILAL OMDURMAN ya SUDANI ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Huyu mchezaji wa AL HILAL OMDURMAN ni miongoni mwa wachezaji waliozaliwa SHINYANGA, TANZANIA.


Wapo WATANZANIA wengi walioondoka TANZANIA kwa sababu mbalimbali, lakini WATANZANIA waliotia fola ni wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Huyu pia ni mwenyeji wa asili wa SHINYANGA na ni mfanyakazi wa kampuni ya SAMGBM inayomiliki timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA GUINEA inayoitwa HOROYA AC.

Kwahiyo hiyo ndiyo SIASA ambayo huwa inafanyika na MATAIFA MAKUBWA au jamii zenye UCHUMI MKUBWA.

Kwa MATAIFA kama KONGO, RWANDA na BURUNDI walikuwa wanafanya hivyo tangu karne ya kumi na tisa, kwahiyo wameenea MATAIFA mbalimbali.

Kwa mfano, TAIFA LA KONGO lilishatoa RAIS kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI lakini hakuweza kudumu katika nafasi ya URAIS kwa kipindi kirefu kwa sababu alipinduliwa kijeshi akiwa madarakani.

Pia, kuna kiongozi mwingine tunaweza kusema ni MWANAMAPINDUZI ambaye amefanikiwa kuwa RAIS hivi karibuni kwenye moja ya MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI na yeye pia ni mwenyeji wa asili wa BURUNDI.

Mambo yapo mengi sana, hasa kwa hawa majirani - wao huwa wanasema walianza kuhamia TANZANIA hata kabla ya UHURU WA TANGANYIKA, 1961 na sasa hivi wameshika nyadhifa mbalimbali.


Kwa upande wa ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, wao wanasaidiwa na UINGEREZA.

Kwahiyo hayo ndiyo MATUNDA, MAFANIKIO na SIASA za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
 
Mwanangu usipoteze muda sema tu kuwa hao MWASHITA wanamiliki kila kitu duniani. Kuanzia Microsoft, IBM, COCACOLA na makampuni mengine makubwa yote ni wao. Wafanyakazi wa chama cha ushirika kilichofilisika wamiliki karibu kila kitu duniani si miujiza? Kapime afya yako ya akili.
 
Mwanangu usipoteze muda sema tu kuwa hao MWASHITA wanamiliki kila kitu duniani.
Yaani mimi leo nimekuwa mwana wako?
Kuanzia Microsoft, IBM, COCACOLA na makampuni mengine makubwa yote ni wao.
Haya unayasema wewe, siyo mimi! Kwanza wale wenyeji wa ile mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa hawapendi kuendeleza kampuni za watu wengine, wao huwa wanamiliki kampuni zao tu.

Hizi kampuni kama COCA COLA huwa hawana habari nazo kabisa, ndiyo maana KIWANDA CHA PEPSI kinachopatikana SHINYANGA kimebaki vile vile mpaka leo.
Wafanyakazi wa chama cha ushirika kilichofilisika wamiliki karibu kila kitu duniani si miujiza?
Walifilisi wengine.
Kapime afya yako ya akili.
Ngoja leo jioni nikipata muda nitakuonesha kampuni nyingine kubwa ambayo inafanya vizuri kwa upande wa TANZANIA na ng'ambo.
 
Hiyo AS ROMA na PSG unazodai wanamiliki ni kampuni zao? Acha kujichanganya.
 
Hiyo AS ROMA na PSG unazodai wanamiliki ni kampuni zao? Acha kujichanganya.
Timu za mpira wa miguu au klabu zozote zinazohusiana na michezo hauwezi kuzifananisha na kampuni ambazo zinazalisha bidhaa na kutoa huduma za kijamii.

Kampuni ambazo zinazalisha bidhaa na kutoa huduma za kijamii huwa zinaweza kununuliwa na hata kuhamishwa kutoka sehemu ya awali na kupelekwa sehemu nyingine ambapo itakuwa ni faida kwa wamiliki.

Lakini timu za mpira wa miguu au klabu zozote zinazohusiana na michezo huwa zina tabia ya kununulika na haziwezi kuhamishika kutoka taifa moja kwenda taifa lingine.

Sasa kwa upande wa kampuni kama MICROSOFT, IBM na COCA COLA -hizi kampuni wamiliki wake wanajulikana na kuzinunua inahitaji mitaji mikubwa sana kiasi ambacho kwa mtu binafsi inakuwa ni ngumu kuweza kumiliki.

Kwa mfano, kampuni ya COCA COLA au PEPSI ni COOPERATIVE COMPANIES na mtu yoyote atakayeongezeka hapo atakuwa ni AGENT au WAKALA.

Sasa wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa hawawezi kuendeleza kampuni za watu wengine, ndio maana kile KIWANDA CHA PEPSI kinachopatikana SHINYANGA kipo vile vile miaka nenda rudi.

Kipindi fulani walikuwa wanasema shida ni maji, lakini maji yalishafika kutoka ZIWA VIKTORIA na hamna muwekezaji yoyote aliyejitokeza kuendeleza kile KIWANDA CHA PEPSI.

Na unapozungumzia suala la kumiliki timu za mpira wa miguu kama AS ROMA au PSG ni kitu cha kawaida kabisa kama ukiwa na PESA SAFI.


Kwa mataifa yaliyoendelea huwa kuna kitu kinaitwa NATIONAL TREASURE au HAZINA YA TAIFA kwa lugha ya kiswahili na klabu zote za michezo huwa ni NATIONAL TREASURE au HAZINA YA TAIFA, yaani huwa zinatumika kama UTAMBULISHO WA TAIFA au NATIONAL IDENTITY kwa TAIFA husika.

Kwahiyo unaweza kununua na kumiliki timu ya mpira wa miguu ULAYA au TAIFA lolote lile lililoendelea na hiyo timu ikabaki kuwa ni NATIONAL TREASURE au HAZINA YA TAIFA na huwa inaendelea kutumika kama UTAMBULISHO WA TAIFA au NATIONAL IDENTITY kwa TAIFA husika.


Pia huwa kuna vigezo vya kununua na kumiliki klabu za michezo, kwa sababu klabu za michezo huwa zinatumika kama UTAMBULISHO WA TAIFA au NATIONAL IDENTITY na MATAIFA kama ya ULAYA huwa hawapo tayari kupoteza UTAMBULISHO wao, ndiyo maana kipindi fulani VILABU vyote vya ITALIA vilikuwa vinaweka LOGO yenye BENDERA YA TAIFA YA ITALIA .

Kwahiyo kununua na kumiliki klabu ya michezo kwa upande wa MATAIFA YA ULAYA na MATAIFA mengine yaliyoendelea huwa ni fursa kwa muwekezaji na wenyeji, na pale ambapo muwekezaji anakuwa ameshindwa kuendesha klabu ya michezo - MAMLAKA husika huwa inaingilia kati ili kuweza kunusuru klabu zao za michezo.
 
Maelezo yako umejichanganya sana. Majibu yako bado ni dhaifu. Kwa vitu ulivyoorodhesha kwamba vinamilikiwa na MWASHITA wanakosaje hela ya kununua Microsoft na Cocacola? Hizi ishu za MWASHITA zinaboa kinyama unavyozielezea.
 
Maelezo yako umejichanganya sana. Majibu yako bado ni dhaifu. Kwa vitu ulivyoorodhesha kwamba vinamilikiwa na MWASHITA wanakosaje hela ya kununua Microsoft na Cocacola? Hizi ishu za MWASHITA zinaboa kinyama unavyozielezea.
Wewe sema kama una nia ya kutaka kujifunza, lakini ukweli ndiyo huo kwa sababu kampuni kama COCA-COLA hata kama ukiwa ni AGENT au WAKALA zile CHEMICAL INGREDIENTS ambazo huwa zinatumika kutengeneza VINYWAJI VYA COCA-COLA huwa hawapo tayari kushare.

CHEMICAL INGREDIENTS zote wanaleta wao na AGENT au WAKALA anatakiwa kununua hizo CHEMICAL INGREDIENTS kwa bei elekezi watakayoipendekeza wao, yaani MONOPOLY TRADE.

Ndiyo maana wafanyabiashara wengi waliamua kuanzisha na kufungua viwanda vyao vya kutengeneza VINYWAJI kwa kuagiza CHEMICAL INGREDIENTS kutoka BARA LA ASIA na kuachana na MONOPOLY TRADE.
 
Kinachonunuliwa kutoka Cocacola makao makuu Atlanta ni ile flavour tu. Vitu vingine vinanunuliwa kwenye makampuni mengine yaliyopo South Africa. Na hiyo Flavour ndo inafanya Cocacola iwe na upekee.
 
Maelezo yako umejichanganya sana. Majibu yako bado ni dhaifu. Kwa vitu ulivyoorodhesha kwamba vinamilikiwa na MWASHITA wanakosaje hela ya kununua Microsoft na Cocacola? Hizi ishu za MWASHITA zinaboa kinyama unavyozielezea.
Kwa akili yako jinsi ilivyo, unafikiri watu wote wamefulia na hawana hela..
😂!! Sasa hivi mambo yamebadilika na wafanyabiashara wengi wanatafuta namna ya kupata faida katika biashara zao.


Hii ni FRESHO JUICE yaani ni "Detox Coldpressed Juice" na inapatikana MEDAN, INDONESIA.


Kwahiyo sasa hivi dunia imebadilika, wafanyabiashara wengi wanajitahidi kwenda na nyakati.


Unaona wenzenu, hii ni Fresho Almond Milk inapatikana MEDAN, INDONESIA lakini chimbuko lake ni SHINYANGA jirani na KIWANDA CHA KUTENGENEZA SODA ZA PEPSI.


Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wapo mbali sana KIUCHUMI.
 
Kinachonunuliwa kutoka Cocacola makao makuu Atlanta ni ile flavour tu. Vitu vingine vinanunuliwa kwenye makampuni mengine yaliyopo South Africa. Na hiyo Flavour ndo inafanya Cocacola iwe na upekee.
Hiyo ndiyo MONOPOLY TRADE ambayo sasa hivi wafanyabiashara wengi wanajitahidi kuepuka. Dunia ya leo hauwezi kuendekeza UKIRITIMBA.


Angalia tena, sasa hivi kuna KIWANDA CHA FRESHO katika moja ya MATAIFA YA BARA LA ULAYA kinachotengeneza KINYWAJI CHA FRESHO ambacho kinapatikana katika BARA LA ULAYA.


Kwahiyo sasa hivi mambo yamebadilika na wafanyabiashara wengi wanatafuta namna ya kupata faida katika biashara zao.


Hiki KIWANDA CHA FRESHO ambacho kinapatikana katika BARA LA ULAYA chimbuko lake ni SHINYANGA ambapo ni jirani kabisa na KIWANDA CHA KUTENGENEZA SODA ZA PEPSI.


Sasa hivi kuna FRESHO APP ambayo inasaidia mteja kuagiza bidhaa kwa njia ya mtandao na kuweza kupata bidhaa kwa wakati ukiwa BARA LA ULAYA.


Haya ndiyo MATUNDA, MAFANIKIO na SIASA za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
 
Hahahahahah basi hawa MWASHITA ni balaa.... wanaweza kumnunua Bill Gates na makampuni yake.
 
Hahahahahah basi hawa MWASHITA ni balaa.... wanaweza kumnunua Bill Gates na makampuni yake.
Aisee! Achana na GOOGLE, kwa sababu vitu vingi huwa havipo kwenye UHALISIA WA KAWAIDA yaani mambo mengi huwa ni IDEAL.

Sasa hawa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa hawana mambo ya SHOW OFF, lakini wapo vizuri sana kwenye masuala ya KIUCHUMI.


Hii kampuni ya FRESHO inapatikana pia katika MATAIFA YA AUSTRALIA, NEW ZEALAND pamoja na UINGEREZA.


Kwenye haya MATAIFA MATATU YA AUSTRALIA, NEW ZEALAND pamoja na UINGEREZA, hii kampuni ya FRESHO inajihusisha na BIASHARA YA MINOFU YA SAMAKI.




Hii kampuni ya FRESHO kwa upande wa TAIFA LA UINGEREZA wanamiliki kampuni inayoitwa PREMIER FISH LIMITED.


Hii kampuni ya PREMIER FISH LIMITED inapatikana jirani na DOWNTON BUSINESS CENTER na ina uzoefu wa miaka ishirini na tano [25] kwenye SOKO LA USHINDANI.


Hii kampuni ya PREMIER FISH LIMITED huwa inajihusisha na kusindika MINOFU YA SAMAKI na kuuza kwenye MIGAHAWA, HOTELI pamoja na SHULE.


Kwa upande wa TAIFA LA UINGEREZA, hii kampuni ya FRESHO wamejitahidi kwa kiasi chake - kwani pia wanamiliki kampuni inayoitwa ELSINORE CLASSIC.


Hii kampuni ya ELSINORE inahusika na usambazaji wa bidhaa za PREMIER FISH LIMITED zinazojumuisha CAVIAR, HERRINGS na SOUPS.


Pia, hii kampuni ya PREMIER FISH LIMITED wanamiliki CHARLIE'S SMOKEHOUSE ambayo inapatikana UINGEREZA.


Hii kampuni ya PREMIER FISH LIMITED ni kubwa kwa kiasi chake, kwani kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA wanamiliki kampuni ya usafirishaji wa abiria inayoitwa PREMIER LINE inayofanya safari zake kutoka MWANZA hadi MBEYA.


Pia kuna kampuni inaitwa PREMIER FISH AT HOME, ni wale wale na wote wapo chini ya kampuni mama ya FRESHO.

Kwahiyo hayo ndiyo MATUNDA, MAFANIKIO na SIASA za wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.
 
Hahahahahah basi hawa MWASHITA ni balaa.... wanaweza kumnunua Bill Gates na makampuni yake.
Yaani kipindi ambacho SERIKALI YA TANZANIA inatangaza kupata HASARA kwenye SHIRIKA LA NDEGE LA ATCL, kuna WATANZANIA wanamiliki KAMPUNI ZA USAFIRI WA ANGA ambazo zinapata FAIDA KUBWA kwenye MATAIFA YA NJE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…