Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana


Angalia hii mechi ya leo ya MICHUANO YA KLABU BINGWA BARANI AFRIKA KWA NGAZI YA SHIRIKISHO ambayo inazihusisha timu za mpira wa miguu za MARUMO GALLANTS kutoka AFRIKA YA KUSINI na YOUNG AFRICANS kutoka TANZANIA.

Hizi timu zote za mpira wa miguu zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.

Timu ya MARUMO GALLANTS ya AFRIKA YA KUSINI inamilikiwa na aliyekuwa MKURUGENZI WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] na timu ya YOUNG AFRICANS inamilikiwa na aliyekuwa MENEJA WA USAFIRISHAJI WA CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU].


Kwahiyo, leo ni siku ya kihistoria kwa CHAMA CHA MPIRA AFRIKA yaani CAF kwa kuzikutanisha timu katika hatua ya NUSU FAINALI ambapo timu zote zinamilikiwa na WATANZANIA waliokuwa wanafanya kazi sehemu moja katika CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA yaani SHIRECU. #TotalEnergiesCAFCC
 

Huyu pia ni MISS UTALII kutoka BURUNDI, ni miongini mwa MWASHITA waliopaswa kuhamia MAREKANI kwa kupitia katika TAIFA LA BURUNDI. Lakini yeye na familia yake walibaki na wakafanikiwa kupata URAIA WA BURUNDI.


Huyu pia ni MSANII kutoka MAVIN RECORDS aliyehamia NAIJERIA akitoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, hususani katika wilaya ya SHINYANGA MJINI.

Huyu MSANII anaitwa AYRA STARR, hili jina alipewa kutokana na kampuni maarufu ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ALLY'S STAR inayopatikana katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA.


Wengine ni AMI FATU, huyu pia ni MSANII aliyehamia AFRIKA YA KUSINI akitoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, hususani katika wilaya ya KAHAMA.


Huyu pia ni miongini mwa MWASHITA waliopaswa kuhamia MAREKANI kwa kupitia katika TAIFA LA BURUNDI, lakini baadae walibadilishiwa DESTINATION na kuelekea katika TAIFA LA AFRIKA YA KUSINI.

Wengine ni AYMOS SHILI, huyu pia ni MWASHITA aliyehamia AFRIKA YA KUSINI akitoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA, hususani katika wilaya ya SHINYANGA VIJIJINI.


Hawa wote ni WATANZANIA ambao ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na huwa wanakuja kimya kimya kusalimia ndugu na jamaa waliowaacha TANZANIA.


Hii ndiyo SIASA ambayo huwa inafanyika na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na huwa kuna VITABU ambavyo huwa vinaonyesha orodha ya koo katika haya matabaka matatu ya WANYANTUZU, WASUKUMA na WANYAMWEZI.

Aina hii ya SIASA kwa upande wa TANZANIA huwa inafanyika kwa jamii za SERENGETI na MWASHITA.

Pia wale PUISSANTS kutoka MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO huwa wana VITABU ambavyo huwa vinaonyesha orodha ya watu wao waliobaki katika MATAIFA yao na wale waliohama kutoka MATAIFA yao ya asili.

Hata BAGANDA na wenyewe huwa wana VITABU vyao ambavyo vinaonyesha orodha ya koo zao pamoja na idadi ya watu. Hali kadhalika WALUO na WAKIKUYU kutoka KENYA huwa wanafanya hivyo.
 
Dah kweli mbingun tutapasikia tu..
Kambona alipitia mengi Sana ...nahis karma ndo iliyomtafuna mwl
 
Kama isingekuwa Nyerere kulazimisha ujamaa, makabila ya Wachagga , wahaya na wanyakyusa ndo yangekuwa makabila pekee ambayo yangekuwa na maendeleo kuliko makabila yote, kusingekuwa na usawa kama tunavyoona Leo hii, wengine mpaka muda huu mngekuwa mnatumia manati kuua ndege kibao.
Ni kweli ujamaa ulifeli, ila sababu ya Ujamaa kufeli ni vision ya Nyerere kuwasaidia Waafrika wenzake kupata uhuru na pia Vita vya Uganda vilidororesha uchumi wa nchi hii, laiti tusingewasaidia nchi za Afrika Kusini, tungekuwa mbali sana.
Sisapoti ujamaa ila ilileta impact kubwa hapa Tanzania kuondoa ukabila ambao unalitesa Taifa la Kenya mpaka sasa.
 

Huyu MSANII ambaye anaitwa AYRA STARR kutoka NAIJERIA yupo TANZANIA sasa hivi na ameingia nchini tangu jana. TANZANIA ni nchi yake ya asili na amekuja kusalimia ndugu na jamaa.

Baada ya kuona wenzao wanafanikiwa waliohamia MATAIFA YA ULAYA NA MAREKANI na wao wamepata shauku ya kuhamia MATAIFA YA ULAYA NA MAREKANI, hususani MAREKANI kwenda kufanya shughuli zao za muziki na michezo.

Sasa hivi katika kipindi hiki kigumu cha maisha yaliyogubikwa na USHINDANI, hawa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wameonekana wapo juu sana.








Kwahiyo sasa hivi kuna shauku kubwa kwa vijana wenye asili ya ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kuhamia MAREKANI na ULAYA ili kutimiza ndoto zao na watafanikiwa kwa sababu wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA tayari walishawekeza kwa MATAIFA YA ULAYA NA MAREKANI.
 

Huyu MISS UTALII kutoka BURUNDI anafanya vizuri sana kwenye tasnia ya urembo na alipaswa kuwa MAREKANI, yeye pamoja na familia yake.


Wiki kama sita zilizopita alikuwepo TANZANIA na alikuja kusalimia ndugu na jamaa aliowaacha TANZANIA.


Sasa katika wale MWASHITA waliopaswa kuhamia MAREKANI kwa kupitia katika TAIFA LA BURUNDI, miongini waliobaki BURUNDI ni huyu MISS UTALII.

Wengine wapo AFRIKA YA KUSINI ambao walipaswa kuhamia MAREKANI na ULAYA kwa kupitia katika TAIFA LA BURUNDI.


Sasa hivi vijana wengi wenye asili ya MWASHITA wanaona MATAIFA YA KIAFRIKA siyo BIG DEAL na wangelipenda kuwafuata wale wenzao waliohamia MAREKANI na ULAYA.


Huyu pia huwa anakuja SHINYANGA kusalimia ndugu na jamaa aliowaacha TANZANIA.


Baada ya kufanikiwa kuhamia kwenye baadhi ya MATAIFA YA KIAFRIKA, sasa hivi vijana wenye asili ya MWASHITA wana shauku ya kuwafuata wenzao waliohamia katika MATAIFA YA UGHAIBUNI ikiwemo MAREKANI pamoja na MATAIFA YA ULAYA.


Wao walikuwa wakija TANZANIA wanauliza - "Where's Mandela?" na MANDELA alipaswa kuwa UGHAIBUNI, lakini ameendelea kuwepo TANZANIA kutokana na sababu fulani fulani.


Hao wakina MANDELA ndiyo wamewekeza sana katika MATAIFA YA ULAYA pamoja na MAREKANI.




Hao ndiyo wamiliki halali wa "THE CULVER STUDIOS" iliyo chini ya KAMPUNI MAMA YA AMAZON. Hii "THE CULVER STUDIOS" huwa wanaandaa na kutengeneza FILAMU ambazo huwa zinarushwa moja kwa moja na HOLLYWOOD iliyopo nchini MAREKANI.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejitahidi sana kuwekeza UGHAIBUNI.
 
ule mkataba wao wakutojihusidha na siasa vip umeisha au

Sent using Jamii Forums mobile app
Ule mkataba wao utaisha mwaka 2024, yaani kwa LUGHA nyingine wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliacha kuingia kwenye siasa kwa makubaliano na watakuja kuingia watoto wao.

Lakini ngoja kwanza, kesho nitakuelezeni STORI YA KWELI YA BIBI HINDU WA RASKAZONE - TANGA ambayo iliwahusu wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na wanasiasa wa kipindi kile wakina MISTER CLEAN na KUNDI ZIMA LA BOYS II MEN au kwa jina lingine walikuwa wanaitwa BORN TOWN au WATOTO WA MJINI.
 

Ukitaka kufahamu kampuni za UGHAIBUNI ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA angalia malori na mabasi yao, yale majina ambayo huwa wanaandika kwenye malori au mabasi huwa ni majina ya kampuni ambazo wanamiliki UGHAIBUNI.

Kwa kuangalia kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ALLY'S STAR - huwa kuna majina ambayo huwa wanaandika kwenye malori au mabasi yao.

Yale huwa ni majina ya kampuni ambazo wanamiliki UGHAIBUNI. Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa CHUO CHA AMAZON kinachopatikana DAR ES SALAAM.


Hiki CHUO CHA AMAZON kinahusika na mafunzo ya upishi na mapambo kwenye SHEREHE na HAFLA mbalimbali.


Hiki CHUO CHA AMAZON bado hakijakua ukilinganisha na vyuo vingine ambavyo vinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Pia hao ndiyo wamiliki halali wa AMAZON inayopatikana nchini MAREKANI na baadhi ya MATAIFA YA ULAYA, AUSTRALIA, AMERIKA YA KUSINI, ASIA pamoja na AFRIKA.


Hii kampuni ya AMAZON inahusika na manunuzi ya bidhaa kwa njia ya mtandao.


Hii kampuni ya AMAZON muda sio mrefu itaungana na kampuni ya FRESHO ili kuweza kufanya manunuzi ya bidhaa za FRESHO kwa njia ya mtandao.


Hizi kampuni za AMAZON na FRESHO kwa upande wa MATAIFA YA NJE bado hazijaanza kupokea wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Hii kampuni ya AMAZON inafanya vizuri kibiashara kwa upande wa manunuzi kwa njia ya mtandao, ijapokuwa kuna ushindani kutoka kwa kampuni nyingine.


Hii kampuni ya AMAZON ni kampuni mwenza wa kampuni ya ALI EXPRESS [zamani ilikuwa inaitwa ALI BABA] inayopatikana katika TAIFA LA CHINA.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejitahidi sana kuwekeza nje ya nchi, kiasi ambacho wakipeleka watu wao hawapati shida.
 
Hii kampuni ya AMAZON ipo vizuri sana, ijapokuwa kuna changamoto zilitokea miaka ya hivi karibuni lakini bado itaendelea kuwa ni kampuni bora, miongini mwa kampuni ambazo zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

Inafanya vizuri sana na kila sehemu ambapo wamekuwa wamewekeza huwa inakuwa inafanya kazi kama SHIRIKA LA POSTA.

Hii kampuni ya AMAZON bado haijaanza kupokea wafanyakazi ambao ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

Kwa siku za usoni, hii kampuni ya AMAZON ndiyo itatumika kupokea wahamiaji wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kwa upande wa MAREKANI na baadhi ya MATAIFA YA ULAYA.

Na baadhi ya faida inayopatikana katika biashara ya mtandaoni huwa inatumika kuboresha sekta ya usafirishaji ya abiria na mizigo kwa upande wa TAIFA LA KENYA.






Hii kampuni ya TAHMEED ni kampuni kubwa kwa kiasi chake na ni moja ya kampuni ambayo inaunda familia ya kampuni za SIMBA COACH.

Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa TAHMEED inafanya shughuli zake za kibiashara kwa MATAIFA YA TANZANIA, KENYA, UGANDA pamoja na RWANDA.

Sasa kwa mtindo ambao wanafanya wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kwa kutumia baadhi ya faida kuwekeza kwenye sekta ya usafirishaji ya abiria na mizigo wamejikuta wameshikilia sekta ya usafirishaji ya mizigo kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI.


Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wataendelea kuwepo kwa kipindi kirefu sana kutokana na kuwa na uwanja mpana wa kibiashara.
 
Sasa kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ambapo HAYATI MWALIMU alikuwa amemkabidhi MZEE RUKSA nafasi ya UENYEKITI WA CHAMA, ilikuwa ni vigumu sana kwa wafanyakazi wa serikali kupata vyeo wakiwa kazini.


Hata kwenye MAJESHI YA ULINZI hali ilikuwa ni ile ile na JAMII YA SERENGETI ya kipindi kile walikuwa wanasema ili kupata vyeo serikalini inabidi mfanyakazi akatafute "NYETI ZA KUKU". Eeh, ukileta "NYETI ZA KUKU" ndiyo unapanda cheo ndani ya serikali na ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].


Sasa kipindi kile ilikuwa siyo ajabu kuona mfanyakazi au mtumishi wa serikali akistaafu kazi kwa cheo chake kile kile alichoanza nacho akiwa kazini.

Kipindi kile wafanyakazi waliokuwa na ahueni ya kiuchumi walikuwa ni wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA. Lakini wafanyakazi wa serikali na wanasiasa wa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] walikuwa na hali ya kawaida na maisha yenye unafuu wa kukidhi mahitaji yao ya kila siku.

Sasa kuelekea UCHAGUZI MKUU WA 1995, ilikuwa ni fursa ya wanasiasa wengine kuweza kuwashawishi MZEE RUKSA pamoja na HAYATI MWALIMU kuwa wanafaa kugombea nafasi ya URAIS kwa kutumia na kupeperusha bendera ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Ilikuwa ni kipindi kigumu sana kwa upande wa TANZANIA BARA, kwa sababu kulikuwa kuna makundi makubwa mawili ambayo yalikuwa na nia ya kutimiza malengo yao.

Makundi hayo yalikuwa ni WAFANYABIASHARA ambao walikuwa wanatoka kwenye vile VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA na WANASIASA waliokuwa wanatoka ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Kwenye vile VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA kulikuwa kuna wafanyakazi waliokuwa wamesoma UGANDA na ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kulikuwa kuna wanasiasa waliokuwa wamesoma elimu ya sekondari na chuo kikuu nchini UGANDA.

Basi wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA na wanasiasa ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] waliokuwa wamesoma elimu ya sekondari na chuo kikuu nchini UGANDA waliungana na kuunda kundi moja lililoitwa UGANDA LINE.

Hili kundi la UGANDA LINE walikuwa na kazi moja tu, ambayo ilikuwa ni kumshawishi HAYATI MWALIMU pamoja na MZEE RUKSA na JAMII YA SERENGETI yote ambayo kwa kipindi kile ilikuwa imeshika MAJESHI yote - kuwa MISTER CLEAN anafaa kugombea URAIS kwa tiketi ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Sasa kwenye kutafuta "NYETI ZA KUKU" ilikuwa ni mtihani mkubwa kwa wafanyakazi wengi pamoja na viongozi wa serikali.

Hili kundi la UGANDA LINE lilifanikiwa kupata DAKTARI WA JADI kule TANGA maeneo ya RASKAZONE, maana ilikuwa imeshashindikana kote hadi kule kwenye viunga vya PEMBA, UNGUJA na MOMBASA kulikuwa hakuna DAKTARI WA JADI wala SHEIKH aliyeweza kuishawishi JAMII YA SERENGETI.

Basi yule DAKTARI WA JADI wa RASKAZONE - TANGA alikuwa anaitwa BIBI HINDU na pale TANGA alifahamika kwa kuagua na kuezuwa milango yote iliyofungwa na ifunguliwe kwa kudra zake MWENYEZIMUNGU.

Baadae kwa kuamua kumuenzi BIBI HINDU WA RASKAZONE - TANGA alipatikana BIBI CHUMA wa KAOLE GROUP ambaye aliamua kutumia jina la BIBI HINDU WA RASKAZONE - TANGA na kujiita BI HINDU.


Huyu msanii wa KAOLE GROUP aliyeitwa BI HINDU alidumu kwa kipindi kirefu sana kwenye tasnia ya sanaa.


Hadi umauti unamkuta BIBI CHUMA alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la BI HINDU na hii ilitumika kama kumuenzi BIBI HINDU WA RASKAZONE - TANGA.

Vile vile BIBI HINDU WA RASKAZONE - TANGA alisaidia wafanyabiashara wengi sana na viongozi wengi walipitia kwake wakiwemo MARAIS wawili wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA na RAIS mmoja wa SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBARI na MAWAZIRI WAKUU wawili wa JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Pia BI KIDUDE alikuwa anakwenda kwa BIBI HINDU WA RASKAZONE - TANGA kabla ya kwenda kutumbuiza kwenye tamasha lolote, ilikuwa ni lazima aende kuangaliwa kwanza.

BI KIDUDE na BIBI HINDU WA RASKAZONE - TANGA walikuwa wanaitana dada, yaani wale walikuwa ni kama MTU NA DADA yake.

Sasa kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ilikuwa kwenda kumuona BI HINDU WA RASKAZONE - TANGA ilikuwa ni shilingi 50,000 kwa wafanyabiashara na wanasiasa na shilingi 20,000 ilikuwa ni kwa watu wa kawaida na shilingi 5,000 ilikuwa ni kwa watoto.

Basi wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wengi walipitia kwake na kufanikiwa katika biashara zao na kubwa kuliko yote ilikuwa ni kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo ya SIMBA COACH kuhamia MOMBASA nchini KENYA, wakati kampuni nyingine kama RAHA LEO na SHENGENA zilishindwa kufanya hivyo.


Baada ya kampuni ya SIMBA COACH kuhamia nchini KENYA, pale TANGA pakazaliwa kampuni mpya ambayo iliitwa SIMBA MTOTO.


Hii kampuni ipo mpaka leo na ndiyo kampuni ambayo inamilikiwa na MISTER ABILITY kupitia jina la mwanae.

Basi kwa upande wa wanasiasa, MISTER CLEAN alifanikiwa kuwa anaaguliwa pale na alikuwa analala pale kwa juma zima mfululizo na baadae BIBI HINDU WA RASKAZONE - TANGA alifanikiwa kuwa DAKTARI WA JADI wa MISTER CLEAN.


Hatimaye kwa mwaka 1995, MISTER CLEAN alifanikiwa kupeperusha bendera ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na kuwa RAIS WA AWAMU YA TATU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

Lakini baada ya MISTER ABILITY kususia pendekezo la HAYATI MWALIMU la kutaka kuwa WAZIRI MKUU na hatimaye pendekezo hilo aliomba hiyo nafasi atunziwe mtoto wake.


Yule mtoto wa MISTER ABILITY, katika mwaka wa masomo wa 2012/13 alifanikiwa kuwa RAIS WA AWAMU YA TANO WA COHSS kipindi ambacho MISTER CLEAN alikuwa ni MKUU WA CHUO KIKUU CHA DODOMA [UDOM].


Siasa haikuishia hapo, kwani baada ya MISTER CLEAN kufanikiwa kuwa RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA na KUNDI LA BOYS II MEN au kwa jina lingine waliitwa BORN TOWN au WATOTO WA MJINI walikuwa wanakwenda kuaguliwa kwa BIBI HINDU WA RASKAZONE - TANGA.


MISTER CLEAN alifanya siasa kwa ustadi mkubwa sana, tena sana kiasi ambacho alihatarisha masilahi ya JAMII YA SERENGETI.


MISTER CLEAN alivyoingia JUMBA KUBWA alitoa taarifa zote za uongozi uliopita ambazo zilikuwa zinawafaa VYAMA PINZANI kwa wakati ule.

Lakini cha kuchashangaza VYAMA PINZANI viliomba pesa ili kuwasilisha hoja zilizoambatana na nyaraka ambazo zinaonesha ubadhilifu uliokuwa ukifanywa na uongozi uliopita. Kwa mara ya kwanza UPINZANI ulionekana hamna TANZANIA!!


Hatimaye HAYATI MWALIMU alifariki mwaka 1999 katika ubora wake na hakuna kiongozi yoyote aliyewahi kumkosoa HAYATI MWALIMU mbele ya hadhara.

Tunaweza kusema kuwa HAYATI MWALIMU alikuwa na ataendelea kuwa ni KIONGOZI BORA kwa muda wote, maana ilifikia hatua HAYATI MWALIMU alikuwa mpaka anakilimiwa na matabaka yote, hasa JAMII YA SERENGETI.

Kwahiyo KUKILIMIANA kulizidi sana, mwisho wa siku ikawa JULIANA. Kwa wale watu wa zamani kidogo watakuwa wanafahamu maana ya JULIANA..😊

HAYATI MWALIMU ndiyo aliowasambaza JAMII YA SERENGETI kila kona ya TANZANIA na baadhi ya MATAIFA YA UGHAIBUNI.

Leo hii ukiingia ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] unakuta mwanachama anaitwa PINDI, kwa haraka haraka wewe unaweza kudhani kuwa ni MANYARA moja hii!! Kumbe ni JAMII YA SERENGETI aliyehamia MKOA WA MANYARA na akafanikiwa kupata nafasi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] na hatimaye akawa WAZIRI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.


Hiyo ndiyo siasa ambayo alikuwa akifanya HAYATI MWALIMU na alifanya siasa kwa kiwango cha juu sana, yaani ilifikia hatua aliwasambaza JAMII YA SERENGETI kila kona ya TANZANIA mpaka wakawa wanaitwa NYOKA.


Kwahiyo kulikuwa kuna NYOKA na WAPIGA NYOKA na WAPIGA NYOKA kwa kipindi kile walikuwa ni PUISSANTS, yaani watu wenye asili ya MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO ndiyo maadui wa JAMII YA SERENGETI kutokana na MAUAJI YA KIMBARI yaliyofanyika mwaka 1994, nchini RWANDA.

Kwahiyo siasa ya TANZANIA iliendelea kwa namna ya ushindani uliotengenezwa na makundi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].


Kwenye UCHAGUZI MKUU WA 2005, JK alifanikiwa kuwa RAIS WA AWAMU YA NNE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA na alifanikiwa kumaliza vipindi vyake vyote viwili kwa sababu alikuwa anaifahamu SIASA YA TANZANIA vizuri.


JK alijitahidi sana kuongoza nchi, kwa sababu kuongoza TAIFA lenye matabaka yanayoangalia masilahi yao, sio kazi nyepesi!.

Kwahiyo siasa ya TANZANIA iliisha kipindi cha AWAMU YA NNE, wengine waliofuata baada ya hapo walikuwa wana bahatisha bahatisha na matokeo yake sote tumeona - waliumaliza mwendo hata kabla ya muhula wa pili kuisha. Lakini wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA malengo yao yalitimia na wanaendelea kufanya vizuri katika nyanja ya KIUCHUMI na KIBIASHARA.
 
mauaji ya kimbali unataka kusema serengeti walihusika

Sent using Jamii Forums mobile app

Maswali gani unauliza? Jaribu kupitia huu uzi, mambo mengi yalishajadiliwa huko nyuma. Yaani kipindi kile ilikuwa ni kama VITA YA URUSI NA UKRAINE, sema kwa upande ule walitumika WAASI yaani ASSISET dhidi ya SERIKALI iliyokuwa madarakani yaani EXISTING GOVERNMENT.


Mambo ni mengi na ukijadili sana haya mambo unaweza kustaajabu ya filauni. Lakini siasa ni mbaya sana, ndiyo maana wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA hawakujihusisha na siasa na walifanya maamuzi ya busara.

Kujijenga KIUCHUMI ndiyo shabaha kuu ya wanasiasa wote, sasa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa kujijenga KIUCHUMI pasipokuwa mstari wa mbele kwenye siasa za TANZANIA.








Leo hii wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanaangalia watu wao kupitia KITUO CHA TELEVISHENI kinachoitwa ESPN wakicheza mpira wa kikapu nchini MAREKANI. Haya ndiyo maendeleo 😊


Hii ni timu nyingine ambayo inashiriki ligi kuu ya wanawake ya mpira wa kikapu [WNBA] nchini MAREKANI inaitwa DALLAS WINGS. Kwahiyo ukiachana na timu ya NEW YORK LIBERTY, pia hii timu ya DALLAS WINGS inamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
 
Aisee yaani alafu kuna kanisa moja eti lina mchakato wa kumtangaza Nyerere mtakatifu
Wapo sahihi kabisa kufanya mchakato wa kumtangaza Mtakatifu, ukifuatilia watawala wenye itikadi ya kijamaa na kikomunisti Nyerere was the only committed christian. Wenzake akina Mao, Che Guevara, Castro, Brezhnev, Nguyen Kim il Sung, n.k., Kingunge, nk waliabudu Manifesto za vyama vyao.
 
Nyerere alikuwa Icon sio hapa nchini tu Bali pia Moçambique, Rhodesia ya kaskazini, Rodesia ya kusini, Bichuanaland, Afrika kusini, Angola, nk.
 
mbona kama unapanic kiongoz..... relax, ila nimekupata. thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…