Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Nina shauku ya kumjua Mr. Ability lkn hutak kumtaja kwa majina na kutupia kapicha kake km ulivyofanya kwa wengine,
 
sasa jeuri ya kagame anaitoa wap.ya kutaka kupigana na sis au uganda?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka kupigana na nani? KAGAME yupo na SERIKALI yake na ana haki ya kujihami kama viongozi wa mataifa mengine.


Unajua SIASA ZA MAZIWA MAKUU ni ngumu sana, kwahiyo siyo sahihi na wala siyo jambo la busara kuingilia mambo ambayo hayakuhusu - kwa sababu kwenye MATAIFA YA MAZIWA MAKUU kuna muingiliano mkubwa sana wa watu, kiasi ambacho inakuwa ni vigumu kutambua kila mtu.


Kwenye haya MATAIFA YA MAZIWA MAKUU kuna muingiliano mkubwa wa watu, ndiyo maana JAMII YA MWASHITA haina uhasama na SERIKALI yoyote.

JAMII YA MWASHITA imejitahidi kuwa makini na kuwekeza kwenye MATAIFA YA MAZIWA MAKUU.

Ukienda KENYA utakuta JAMII YA MWASHITA imewekeza na kumiliki timu ya mpira wa miguu ya KARIOBANGI SHARKS! Ukienda UGANDA utakuta JAMII YA MWASHITA imewekeza na kumiliki timu ya mpira wa miguu ya EXPRESS FC! Ukienda RWANDA utakuta JAMII YA MWASHITA imewekeza na kumiliki timu ya mpira wa miguu ya RAYON SPORTS! Ukienda BURUNDI utakuta JAMII YA MWASHITA imewekeza na kumiliki timu ya mpira wa miguu ya VITAL'O na ukienda KONGO utakuta JAMII YA MWASHITA imewekeza sana na kumiliki timu ya mpira wa miguu ya TP MAZEMBE au kwa jina lingine wanaitwa KUNGURU WA LUBUMBASHI 🦅. Kwahiyo JAMII YA MWASHITA ni jamii ya watu makini na "VERY SMART ON TOP OF THOSE PEOPLE".

Miaka zaidi ya thelathini [30], hii JAMII YA MWASHITA imekuwa ikitumia TAIFA LA BURUNDI kama GATEWAY au GATEPATH ya kuingia MAREKANI na baadhi ya MATAIFA YA ULAYA.








Hizi picha ni baadhi ya wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia BURUNDI na wanaishi vizuri.

Hata mimi binafsi, kabla ya COVID-19 kuanza nilikuwa RWANDA na kuna siku nilitembea kutoka NYAMATA mpaka KARIELI pale KITUO CHA MAFUTA kwa miguu - mwenyeji wangu alikuwa ananionesha jinsi watu walivyohama.

Yaani kutoka NYAMATA mpaka KARIELI ni maeneo ambayo wanaishi wahamiaji, wenyeji ambao wengi walikuwa ni WAHUTU walisambaa kwenye mataifa mengine.


Hii ni moja ya baadhi ya filamu inayohusu WAHUTU waliohamia MAREKANI inayoitwa MENACE II SOCIETY.




JAMII YA WAHUTU bado itaendelea kuwa ni jamii yenye UCHUMI MKUBWA miongini mwa jamii za KINYARWANDA na KIRUNDI.




Kwahiyo, hawa wenyeji wa asili wa TAIFA LA RWANDA waliohama ndiyo wanaompa wakati mgumu KAGAME kwa namna ambavyo wanataka kurudi RWANDA na kugawana MADARAKA.
 
Nina shauku ya kumjua Mr. Ability lkn hutak kumtaja kwa majina na kutupia kapicha kake km ulivyofanya kwa wengine,
PICHA ZA MISTER ABILITY ninazo tena nyingine zipo angali akiwa anasoma UGANDA na PICHA nyingine ipo ambayo alipiga akiwa yeye na KIDUDUYE, lakini muda wake bado wa kuweka PICHA zao kwenye MITANDAO YA KIJAMII.
 
PICHA ZA MISTER ABILITY ninazo tena nyingine zipo angali akiwa anasoma UGANDA na PICHA nyingine ipo ambayo alipiga akiwa na KIDUDUYE, lakini muda wake bado wa kuweka PICHA zao kwenye MITANDAO YA KIJAMII.
Km unahofu kuhusu kutuonesha picha za huyo Mister Ability,

Basi kuna uwezekano mkubwa hata maelezo unayoyatoa kumuhusu si sahih au labda ni mtu wa kusadikika
 
Km unahofu kuhusu kutuonesha picha za huyo Mister Ability,

Basi kuna uwezekano mkubwa hata maelezo unayoyatoa kumuhusu si sahih au labda ni mtu wa kusadikika
Soma huu uzi vizuri na kwa makini, hili swali ulilouliza hapa kuna maelezo yake kwenye kurasa za nyuma au kwa maelezo zaidi soma hapa - Post in thread 'Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana' Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana


MISTER ABILITY ndiyo baba mzazi wa aliyekuwa RAIS WA AWAMU YA TANO WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA katika kitivo cha COHSS kwa mwaka 2012/13.
 
pale.tabora.kulikuwa na basi litwalo sabena

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa PHOENIX ambayo inafanya shughuli zake kutoka MWANZA hadi DAR ES SALAAM.


Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa PHOENIX imetokana na faida inayopatikana katika KIWANDA cha kutengeneza baiskeli aina ya PHOENIX.


Kwa lugha nyingine wanaomiliki kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa PHOENIX ndiyo wamiliki halali wa KIWANDA cha kutengeneza baiskeli aina ya PHOENIX.




Pia, hiki KIWANDA cha kutengeneza baiskeli aina ya PHOENIX kinamiliki WEB BROWSER inayoitwa PHOENIX.


APPLICATION ya PHOENIX inapatikana katika GOOGLE PLAYSTORE kwa jina la PHOENIX BROWSER.


Pia, hiki KIWANDA cha kutengeneza baiskeli aina ya PHOENIX kinamiliki timu ya wanawake ya mpira wa kikapu inayoitwa PHOENIX MERCURY inayoshiriki LIGI KUU YA WANAWAKE nchini MAREKANI [WNBA].




Hawa wacheza mpira wa timu ya PHOENIX MERCURY ambao wote ni WEUSI ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, hususani kutoka MKOA WA MWANZA.


Huyu ni CHOTARA au kwa jina lingine huwa wanaitwa MALUTOES au HALF CAST ambaye mzazi wake mmoja ni MWASHITA na mwingine ni MUAMERIKA MWEUPE.








Hawa wacheza mpira wa timu ya mpira wa kikapu ya PHOENIX MERCURY ni wanamichezo wenye asili ya MWANZA, hususani kutoka wilaya ya MISUNGWI na kijiji cha SHILALO ambapo ndiyo chimbuko la MISTER ABILITY.




Hii timu ya mpira wa kikapu inayoitwa PHOENIX MERCURY ni miongoni mwa timu za mpira wa kikapu ambazo zinamilikiwa na MWASHITA na inafanya vizuri sana katika mashindano ya wanawake ya mpira wa kikapu nchini MAREKANI [WNBA].
















Hawa wote ni wenyeji wa asili wa kutoka MKOA WA MWANZA, hususani katika wilaya ya MISUNGWI ambapo wazazi wao walipata fursa ya kuhamia nchini MAREKANI katika kipindi cha miaka ya tisini [1990's].






Kwahiyo, kwa upande wa TAIFA LA MAREKANI - wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanamiliki timu tatu katika LIGI KUU YA MPIRA WA KIKAPU YA WANAWAKE [WNBA].


Timu hizo ni PHOENIX MERCURY, DALLAS WINGS pamoja na NEW YORK LIBERTY ambazo zote zinashiriki LIGI KUU YA MPIRA WA WANAWAKE [WNBA].


Hii timu ya mpira wa kikapu inayoitwa NEWYORK LIBERTY inajumuisha wacheza mpira wengi wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA.


Hii timu ya DALLAS WINGS inajumuisha wacheza mpira wengi wenye asili ya mikoa ya SHINYANGA NA TABORA.

Hawa pia huwa wanapata fursa ya kuja kutembea TANZANIA, kusalimia ndugu na jamaa na wakifika TANZANIA - huwa wanauliza "Where's Mandela?".


Sasa hivi MANING NICE ni METALLURGICAL ENGINEER na mwaka 2018 walifanikiwa kununua KIWANDA cha METALLURGY kinachoitwa KEYSTONE STEEL AND WIRE kinachopatikana ILLINOIS, nchini MAREKANI.

Hiki KIWANDA cha KEYSTONE STEEL AND WIRE kinachopatikana ILLINOIS, nchini MAREKANI kilinunuliwa kupitia kampuni ya LIBERTY STEEL GROUP na kinamilikiwa kwa asilimia mia moja [StackPath] na wakina MANING NICE. Kwahiyo UHAKIKA upo wa kuendelea kujitanua KIUCHUMI hata kwa miaka mingine mingi ijayo.
 
kama wewe ni mwenyeji waa mikiaaa hiyo ufanyaje ili upat fursa ya kwenda mamtoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama wewe ni mwenyeji waa mikiaaa hiyo ufanyaje ili upat fursa ya kwenda mamtoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kitu kingine ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kuwa - hao watu unaowaona leo ambao wanaishi DAR ES SALAAM wengi ni WAGENI kutoka mikoani.

Wale waliokuwa wanaishi DAR ES SALAAM kipindi cha miaka ya tisini [1990's] hadi mwanzoni mwa miaka ya elfu mbili [2000's] wengi walihamia UGHAIBUNI.

Hali hii inataka kufanana na mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA. Wenyeji wa hii mikoa wengi walihama TANZANIA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] hadi mwanzoni mwa miaka ya elfu mbili [2000's].

Kipindi hicho ulikuwa ukiuliza wakina fulani wamehamia wapi? Unaambiwa wamehamia MASWA 😂! Kumbe watu wamehamia KENYA..

Yaani kipindi kile ilikuwa mtu akihamia MASWA kumpata ni BIG ISSUE, kwa sababu kipindi hicho hata mawasiliano ya simu za mkononi ilikuwa hamna.

Kwahiyo, kwa ujumla wake ni WATANZANIA wengi sana walihamia UGHAIBUNI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] hadi mwanzoni mwa miaka ya elfu mbili [2000's] na wageni wengi sana wamehamia TANZANIA kutoka MATAIFA mbalimbali.
 
kama wewe ni mwenyeji waa mikiaaa hiyo ufanyaje ili upat fursa ya kwenda mamtoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia tena huu mfano wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MASHCOOL ambayo inafanya shughuli zake za kibiashara nchini KENYA na mataifa jirani ya UGANDA na RWANDA.


Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MASHCOOL ina ruti zaidi ya nne kwa TAIFA LA KENYA pekee yake na wale washika dau wa LATRA na SUMATRA wanafahamu kuwa kila ruti huwa inalipiwa.

Sasa hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MASHCOOL ina ruti ya kutoka;

  1. Mombasa - Kisii - Migori via Narok, Bomet, Keroka na Rongo.​
  2. Mombasa - Eldoret - Webuye - Bungoma - Malaba​
  3. Mombasa - Kakamega - Mumias via Kapsabet​
  4. Mombasa - Nakuru - Kericho - Kisumu​
  5. Mombasa - Nairobi​
Sasa kwa hali ya kawaida, kampuni ambayo imefanya shughuli zake za kibiashara kwa zaidi ya miaka ishirini [20] inaweza kukosa hata KIBANDA kwenye hivyo vituo vya usafirishaji? Jibu ni hapana, watakuwa wamewekeza na kujenga. Hiyo ndiyo maana halisi ya CARAVAN ROUTE.
 
kama wewe ni mwenyeji waa mikiaaa hiyo ufanyaje ili upat fursa ya kwenda mamtoni?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MASHCOOL ni kampuni kubwa na huwa inachukua WATANZANIA mara kwa mara kwenda kufanya kazi nchini KENYA.


Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MASHCOOL inamiliki VIWANDA, HOTELI pamoja na SHULE ambazo zimetokana na faida ambayo imepatikana kutokana na shughuli za usafirishaji wa abiria na mizigo.


Kwahiyo kwenye VIWANDA, wataalamu watahitajika kama PROCESSING ENGINEERS, LAB TECHNICIANS, ELECTRICAL ENGINEERS, MECHANICAL ENGINEERS pamoja na watu wa fani mbalimbali! Pia kwenye HOTELI wataalamu watahitajika na SHULENI wataalamu watahitajika kama WALIMU. Huu mfumo walikuwa wanatumia na wanaendelea kutumia wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS.
 
Kwa wakati huo, ujamaa ulitakiwa uanze.
Angeanza Upepari sasa hivi walalahoi tusingeweza kumiliki Ardhi.

Ardhi yote ingenunuliwa na Mabwenyenye.
Kwakuwa Watanganyika walikuwa bado kwenye usingizi mzito wa uelewa.

Kambona alitakiwa tu aongee na Nyerere kiungwana na kama ushauri wake.
 
hivi yle mzee wa ice cream ni pesa yakeee au nyuma kuna wabongo wameweka mkwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina jibu la uhakika, lakini jaribu kupitia huu uzi maana kuna vitu vilishajadiliwa huko nyuma.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejitahidi sana kujijenga KIUCHUMI na wakati mwingine huwa inafikia hatua wanajifananisha na JAMII ambazo zilishawahi kutwaa MADARAKA YA NCHI.

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wakati mwingine huwa wanajifananisha KIUCHUMI na JAMII ZA SERENGETI, WAKIKUYU, WAHIMA na hata WAHUTU kutoka MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI.

Hizi JAMII nilizozitaja zimejijenga KIUCHUMI kutokana na kutwaa MADARAKA katika MATAIFA yao, na inakuwa ni tofauti kabisa na JAMII YA MWASHITA kwani wao walianza kujijenga KIUCHUMI kupitia VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA ambavyo vyote vilikuwa chini ya usimamizi wa SERIKALI YA TANZANIA.


Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] walikuwa wanaitwa "HAWAVUMI, LAKINI WAMO" na wamo kweli kweli, kwa sababu kwa upande wa TAIFA LA KENYA wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa VIWANDA VYA BANBROS NA MASTER FABRICATORS na wanamiliki VIWANDA vingine vingi.

Kwahiyo kwa upande AFRIKA YA MASHARIKI NA KATI, hii JAMII YA MWASHITA inaingia na kuwa miongoni mwa jamii ambazo zinamiliki UCHUMI MKUBWA.
 
mwalimu alikosea sana,aliwa aminisha babu zetu kuwa ye ndio bora kuliko wengine af ye ni mungu mtu,TANZANIA tunayoi jua leo haikujengwa na mtu mmoja(NYERERE) kuna watu walio kuwa naye katika kufanikisha hili kwanini tusiwatambue pia? ye ye kama alikosana nao haitufanyi kutokutambua juhudi zao katika taifa hili,ikumbukwe kwamba hatukupata uhulu kwa mitutu uhulu ulipatikana kiulaini kabisa, Mzungu alii acha Tanzania ikiwa imara kabisa kiuchumi na kielimu ,lakini nyerere na mifumo yake mibovu ya kuwanyima watu elimu na kujitambua ndo akai halibu Tanzania yetu.alipora mali za mapepali ,navyo hadithiwa na babu yangu ukiva saa au suruali ulikuwa unaulizwa umevitoa wapi,redio walikuwa wanasikiliza kwa mwenyekiti wa kijiji,tv alikuwa nayo pekeake akiona labda cnn vietnam na marekani wanapigana kesho ana hutubia kwa wanainchi nimeota vietnam na marekani wanapigana,sa wanachi wakisikia tarifa kwa mjumbe wanasikia yale yale ya nyerere kwa vile hawa kujua kama ana tv nyumbani wakamuamini kama mungu mtu.sosi #babu yangu
 
nyerere alikuwa na mfumo wake wa kiutawala Kwamba,ILI UMTAWALE MTU MNYIME UHULU,ELIMU NA MAALIFA PAMOJA NA KUMNYIMA NGUVU YA kIUCHUMI hapo ndo utamutawala mtu kirahisi,mfumo huu ndo unali athiri taifa letu mpaka leo
 
nyerere alikuwa na mfumo wake wa kiutawala Kwamba,ILI UMTAWALE MTU MNYIME UHULU,ELIMU NA MAALIFA PAMOJA NA KUMNYIMA NGUVU YA kIUCHUMI hapo ndo utamutawala mtu kirahisi,mfumo huu ndo unali athiri taifa letu mpaka leo
Ndiyo 🙏🏾
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…