Sasa hivi ukiwa KENYA kuna kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MOMBASA RAHA.
Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MOMBASA RAHA kwa kipindi fulani ilikuwa inapatikana pia katika mkoa wa SHINYANGA nchini TANZANIA.
Pia kuna kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ADVENTURE ambayo inapatikana KENYA na TANZANIA.
Hili jina la kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ADVENTURE ilikuwa ina maanisha KITUO CHA TELEVISHENI CHA ADVENTURE.
Yaani wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ADVENTURE ndiyo walikuwa wamiliki halali wa KITUO CHA TELEVISHENI CHA ADVENTURE.
Hii TELEVISHENI YA ADVENTURE ilikuwa inaonesha vipindi vya wanyama na misitu, yaani ilikuwa kama NATIONAL GEOGRAPHIC CHANNEL. Sasa hivi haipo hewani, sijui kama walibadilisha jina!
SIMBA COACH yenyewe ipo na itaendelea kuwepo, kwa sababu ndiyo kampuni iliyobeba maana halisi ya JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA au kwa jina lingine wanaitwa WAPAMBANAJI.
Kwa upande wa sekta ya usafirishaji ya abiria na mizigo, wale JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA wanafanya kama CARAVAN TRADE,
Part 3: Caravans and the Impact of Long-Distance Trade – AP Central | College Board na kila sehemu ambapo wana ruti ya mabasi unakuta wamewekeza katika kila kituo cha mabasi na FEDHA hizo za uwekezaji zinatokana na faida inayopatikana kwenye SEKTA ya usafirishaji ya abiria na mizigo.
Kwahiyo, labda tuseme - sasa hivi imerudi ruti ya kutoka NAIROBI nchini KENYA hadi KIGALI nchini RWANDA kwa kutumia basi za MASHCOOL.
Kwa kutumia mtindo wa CARAVAN ROUTE, wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MASHCOOL na SIMBA COACH wamewekeza katika kila kituo, kuanzia NAIROBI nchini KENYA hadi KIGALI, nchini RWANDA.
Ukifika pale KIGALI nchini RWANDA, hawa wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MASHCOOL na SIMBA COACH ndiyo wamiliki halali wa NEW CADILLAC NIGHTCLUB.
Hii NEW CADILLAC NIGHTCLUB inamilikiwa na wakina MANING NICE tangu mwaka 1999, muda mchache baada ya MAUAJI YA KIMBARI kuisha na wamejitahidi kuwekeza sana kwenye haya MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI.
Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanafanya shughuli ya sekta ya usafirishaji ya abiria na mizigo kwa mtindo wa CARAVAN ROUTE yaani
Part 3: Caravans and the Impact of Long-Distance Trade – AP Central | College Board na huu mtindo waliakisi kutoka kwa MATAIFA YA MAGHARIBI, hususani UINGEREZA.