Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

unalakusema kwenye sakata la DP world, mwashita hawapo nuyma yake?

Wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanamiliki kampuni nyingi za "CLEARING AND FORWARDING".

Kwa upande wa AFRIKA YA MASHARIKI, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wameshikilia BANDARI ZA LAMU, MOMBASA, TANGA, DAR ES SALAAM na MTWARA.


Yaani wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanamiliki kampuni nyingi za "CLEARING AND FORWARDING", lakini usimamizi wa BANDARI ZA MAJINI NA NCHI KAVU huwa zipo chini ya SERIKALI.
 
unalakusema kwenye sakata la DP world, mwashita hawapo nuyma yake?
Unajua wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walishahama kwenye mambo ya ujanja ujanja, hawapo huko!


Hii kampuni ya NDUGU TRANSPORT LIMITED inafanya vizuri kibiashara kwa upande wa KENYA na baadhi ya bidhaa zake zilitumika katika ujenzi wa RELI YA SGR.


Pia huwa wanasafirisha hadi nchini UGANDA, bidhaa zitokanazo na MIAMBA YA MAWE.


Ukiwa kwa upande wa KENYA, NDUGU QUARRY ndiyo QUARRY ambayo tunaweza kusema kuwa ni kubwa ukilinganisha na QUARRY nyingine ambazo zinapatikana nchini humo.


Kwahiyo, kiujumla kuna WATANZANIA ambao wamefanikiwa sana pasipo kujihisisha na siasa za CHAMA TAWALA kwa upande wa TANZANIA na wanaendelea kupiga hatua hadi nje ya mipaka ya TANZANIA.
 
kina nani walikuwa nyuma ya TANU?
Waliokuwa nyuma ya CHAMA CHA TANU ni WAINGEREZA, kwa sababu hadi leo hakuna hata USHAHIDI WA KIMAZINGIRA ambao unaonesha kuwa kuna MTANGANYIKA MWEUSI aliyekuwa nyuma ya kuanzishwa kwa CHAMA CHA TANU.


Kipindi cha miaka ya hamsini [1950's] kushuka chini, WATU waliokuwa na uwezo wa kiuchumi walikuwa ni FAMILIA ZA KICHIFU na FAMILIA nyingine walikuwa hawana kabisa.

JAMII YA TANGANYIKA ilikuwa haina ELIMU na wachache kati yao ndiyo walibahatika kupata ELIMU katika SHULE ZA UMISHENI.

Sasa kwa upande wa TANGANYIKA, CHAMA CHA TANU ndiyo kilikuwa ni chama ambacho kinaushawishi mkubwa na kwa upande wa ZANZIBARI kulikuwa kuna VYAMA VYA SIASA kama AFRO SHIRAZI PARTY [ASP], ZANZIBAR NATIONALIST PARTY [ZNP] na ZANZIBAR AND PEMBA PEOPLE'S PARTY [ZPPP].

Kwahiyo hata WAJERUMANI na WARUSI walikuwa wanamiliki VYAMA VYA KISIASA kipindi cha kupigania UHURU na siyo TANGANYIKA pekee yake, hata MATAIFA mengine ya KIAFRIKA.
 
tafuta huchi kitabu untold story of tanganyika i think so, by mohamed said.
 
tafuta huchi kitabu untold story of tanganyika i think so, by mohamed said.
Mohamed Said yupo JAMII FORUMS na mara nyingi napopata muda wa kutosha huwa nasoma anachokiandika. Kusema ukweli huwa anajitahidi, lakini pia huwa ana mapungufu yake kama binadamu wengine.

Ukitaka kuifahamu vizuri NCHI YA TANZANIA, jiunge na MAJESHI YA ULINZI. Kule kila kitu huwa kipo wazi, sema unatakiwa uwe ni MTU WA KUTUNZA SIRI.


Kwa sababu, kila sehemu huwa hapakosi WATU MAARAFU au FAMILIA MAARUFU na tangu kipindi cha UKOLONI kulikuwa kuna KOO MAARUFU na FAMILIA MAARUFU.


Hizi FAMILIA MAARUFU na KOO MAARAFU zipo hadi leo, sema wengine wana MAISHA YA KAWAIDA na wengine bado wanamiliki UKWASI WA KUTOSHA.


Kwahiyo hizi FAMILIA MAARUFU na KOO MAARUFU ambazo zilikuwepo tangu kipindi cha UKOLONI ndiyo wanao ifahamu vizuri historia ya TANGANYIKA na TANZANIA kwa ujumla.
 

Charles...
Waingereza hawahusiki katika vuguvugu la Waafrika kujikusanya kupigania nchi yao.

Nimeandika kitabu kuhusu historia hii: "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika, "Minerva Press, London 1998.

Kipo kwa Kiswahili pia.
Ndugu yetu anaweza kupata mengi katika kitabu hiki.
 
Charles...
Waingereza hawahusiki katika vuguvugu la Waafrika kujikusanya kupigania nchi yao.
Ndiyo 🙏🏽
Nimeandika kitabu kuhusu historia hii: "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika, "Minerva Press, London 1998.
Siku nikipata LIKIZO nitakitafuta hicho KITABU, ili nipate wasaa wa kusoma na kuelewa kile kilichokusudiwa na MUANDISHI.
Kipo kwa Kiswahili pia.
Ndugu yetu anaweza kupata mengi katika kitabu hiki.
Unajua haya MATAIFA YA MAKUBWA yameendelea sana katika MASUALA YA KIDIPLOMASIA, kiasi ambacho huwa wana uwezo wa kuchanga KARATA zao vizuri na kuweza kukubalika pande zote.

Kipindi ambacho MUINGEREZA anakabidhi "UHURU WA BENDERA" kwa TAIFA LA TANGANYIKA alikuwa tayari ameshaweka mikakati yake vizuri katika kila TABAKA.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 

Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifahamu haya mambo tangu miaka ya tisini [1990's] na walikuwa wanashuhudia kila kitu kilichokuwa kinaendelea kipindi hicho.

Sasa hivi katika VYAMA VINNE VYA SIASA ambavyo vina uwakilishi BUNGENI, VYAMA VYA SIASA VIWILI vinamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA. VYAMA VYA KISIASA hivyo ni CHAMA CHA WANANCHI - CUF pamoja ACT - WAZALENDO.


CHAMA CHA ACT - WAZALENDO ndiyo CHAMA CHA KISIASA ambacho kinaunda SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA kwa upande wa TANZANIA VISIWANI.


CHAMA CHA ACT - WAZALENDO ni CHAMA CHA KISIASA ambacho kinaunda SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA kwa upande wa TANZANIA VISIWANI na WATU wengine walipaswa kufanya hivyo.


Kwahiyo suala la FEDHA usiulize kwa upande wa CHAMA CHA ACT - WAZALENDO, kwa sababu ni CHAMA CHA KISIASA ambacho kina MAKAMU WA KWANZA WA RAIS na MAWAZIRI kwa upande wa SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBARI.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Unafahamu unapokuwa kwenye VYAMA VYA KISIASA kama CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] au CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO [CHADEMA] unapaswa kujijenga KISIASA pamoja na KIUCHUMI.


Haya ndiyo malengo makuu mawili ambayo kila mwanasiasa anapaswa kuyaweka akilini anapokuwa katika ULINGO WA SIASA.

Mambo mengine kama kugombania vyeo na nafasi za uongozi kwa kutumia njia ambazo siyo salama, haifai. Kwa sababu kwenye hivi VYAMA VYA KISIASA huwa wana utaratibu wa kupata viongozi ambao watahitajika kwa wakati uliopo.

Ikitokea MWANASIASA analazimisha jambo lisilofaa ndani ya CHAMA, kinachofuata huwa ni "POLITICAL ASSASSINATION" na tumeshuhudia "POLITICAL ASSASSINATIONS" nyingi sana ndani ya hivi VYAMA VYA KISIASA na hali hii huwa ni tofauti kabisa ukiwa ndani ya CHAMA CHA WANANCHI - CUF 🤝🏽 au ACT - WAZALENDO 🖐🏽.
 
so you mean that, a man on thrown(rwanda) is our puppet?
 
so you mean that, a man on thrown(rwanda) is our puppet?
English language is very complicated, even native speakers have trouble sometimes. So don't worry, you will improve through practice.


Though that is not a question I need to answer, whether our PUPPET [ LE FANTOCHE ] has successfully unseated the incumbent leader of RWANDA or not.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Jaribu kusoma posti namba 1530 - kuna baadhi ya "POLITICAL ASSASSINATIONS" ambazo kwa namna moja ama nyingine zilitoa fundisho kwa WATANZANIA na watu wengine ambao wanafuatilia SIASA ZA TANZANIA.


Hii ni ajali ya gari iliyotokea mwaka 1984 na kusababisha kifo cha aliyekuwa WAZIRI MKUU WA TANZANIA - HAYATI MORINGE SOKOINE.


Kipindi hicho mipango na maamuzi yote ya SERIKALI ilikuwa ni lazima yapitie na yapate baraka kutoka BUCKINGHAM PALACE, ndiyo maana kipindi cha miaka ya tisini [1990's] kulikuwa kuna msemo maarufu uliokuwa unasema - "Serikali inaongozwa kwa RIMOTI" au "Maamuzi ya wakubwa yafuatwe, tofauti na hapo mambo yanaweza kwenda mlama" .


Hii ni ajali ya gari iliyotokea mwaka 2008 na kusababisha kifo cha aliyekuwa MBUNGE WA TARIME kwa tiketi ya CHADEMA - HAYATI CHACHA WANGWE.


Hii ni ajali ya gari iliyotokea mwaka 2015 na kusababisha kifo cha aliyekuwa MWENYEKITI WA CHAMA CHA DP - MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA.

Kwahiyo, kwenye SIASA ZA TANZANIA kuna mambo mengi sana ambayo bado hayajafanikiwa kuwa hadharani na pengine tunaweza kusema kuwa muda wake bado, ijapokuwa wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa kuyafahamu haya mambo tangu siku nyingi na wamefanikiwa kuyaepuka kwa namna ya kujijenga KIUCHUMI na KISIASA kupitia VYAMA VYA KISIASA walivyofanikiwa kuasisi wao wenyewe.


Leo hii, kuna wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao wanamiliki UCHUMI MKUBWA kuliko hata wale WANASIASA WA CHAMA TAWALA na WANASIASA WA VYAMA vingine ambao bado wanapitia misukosuko kwa sababu ya VYEO NA MADARAKA.


Yaani kwa LUGHA YA KISWAHILI iliyo FASAHA tunaweza kusema ya kwamba - mambo yameenda tofauti na yalivyokuwa yamepangwa.


Sasa hivi WAHANGA WA SIASA ZA TANZANIA wamekuwa ni hao hao WANASIASA WA CHAMA UTAWALA [wamebakiza kujiunga na MAJESHI YA ULINZI tu] na wale waliopaswa kuwa WAHANGA ndiyo wamekuwa "ELITES" katika tasnia na fani mbalimbali.
 
mzee baba lugha yenyew imepanda meli.
 
mzee baba lugha yenyew imepanda meli.
Unajua SIASA YA TANZANIA ni tamu sana na kwa upande mwingine ni chungu kama shubiri, ikiwa imekupita kando.


Ngoja kesho nikipata muda nitakueleza vizuri kuanzia pale tulipoishia na pengine hilo pia linaweza kuwa ni KOSA lingine ambalo alilifanya HAYATI MWALIMU kipindi cha uhai wake.

Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wameonekana kuwa ni WASHINDI WA SIASA ZA TANZANIA na wengine wamefanyika kuwa ni VIBARAKA WA UINGEREZA kupitia VYAMA VYA KISIASA ambavyo wamepewa dhamana ya kusimamia na kuongoza.


Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wameonekana kuwa ni WASHINDI WA SIASA ZA TANZANIA na JAMII nyingine wanaonekana kama ni WASINDIKIZAJI, yaani wanasindikiza wengine kufikia KILELE CHA MAFANIKIO - kwa sababu hawana kitu chochote cha kujivunia.
 
mzee baba lugha yenyew imepanda meli.
Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliyafahamu haya mambo tangu siku nyingi, pengine kulikuwa kuna jitihada za makusudi za kuwataarifu mapema ili kuondokana na sintofahamu iliyopo kwenye SIASA ZA TANZANIA.


Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA hauwezi kuwakuta wameingia kwenye MITEGO YA SERIKALI YA TANZANIA.


Yaani hauwezi kuwakuta wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanatoa HONGO au PESA TASLIMU ili watu wao wajiunge na MAJESHI YA ULINZI au hauwezi kuwakuta wanatoa HONGO au PESA TASLIMU ili shule zao zifanye vizuri katika MITIHANI YA KITAIFA.

Wao huwa hawana muda na SERIKALI YA TANZANIA, hadi ilifikia hatua walikuwa wanaitwa MAJINA YA KEJELI kuwa ni WATU WASHAMBA au WATU WALIO LALA, maana heka heka ambazo huwa zinafanyika na wenyeji wa sehemu mbalimbali za TANZANIA huwa hazipo kwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Kumbe hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa wanajijenga kupitia SEKTA BINAFSI ambazo wanamiliki wao wenyewe kutokana na MITAJI YA KIBIASHARA waliyoipata kutoka VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] NA TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.


Sasa kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] hadi kuelekea tisini na tatu [1993's], yule MALKIA WA RWANDA - Bi ROSALIE GICANDA alikuwa anatembea na mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.


Na MAPENZI 💕 yao yalikuwa ni moto moto!! HAYATI MWALIMU alikuwa anajiuliza maswali mengi sana, ilifikia hatua hadi walikuwa wanakuja kulala TANZANIA pasipo yeye mwenyewe kufahamu au MAMLAKA ZA KITAIFA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA zilikuwa hazifahamu.


Kero kubwa ilikuwa ni kwa wale VIONGOZI WA MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO [PUISSANTS] - maana walikuwa wanaingia na kutoka TANZANIA bila ya kuwa na taarifa kwa MAMLAKA ZA KITAIFA.


Shida haikuwa MAHUSIANO YA KIMAPENZI, kwa sababu hata kwa upande wa TAIFA LA KENYA - watu walikuwa wana mahusiano na watoto walizaliwa. Mmoja wapo ni mwanasiasa wa kike anayewakilisha KAUNTI YA [...], huyu pia alifanikiwa kuzaa na mmoja wa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA.


Shida ya wale VIONGOZI WA MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO [PUISSANTS] walikuwa wanaingia TANZANIA bila ya kuwa na taarifa sahihi kuhusu ujio wao, yaani walikuwa wanakuja TANZANIA pasipo MAMLAKA ZA KITAIFA kufahamu na kutokana na dharau waliokuwa wameionesha tangu awali ya kumuita HAYATI MWALIMU kuwa ni "KIBARAKA" au "PUPPET" au "LE FANTOCHE" , hali ya kisiasa ilizidi kupamba moto baina ya TANZANIA na yale MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…