Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unalakusema kwenye sakata la DP world, mwashita hawapo nuyma yake?
Unajua wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walishahama kwenye mambo ya ujanja ujanja, hawapo huko!unalakusema kwenye sakata la DP world, mwashita hawapo nuyma yake?
Waliokuwa nyuma ya CHAMA CHA TANU ni WAINGEREZA, kwa sababu hadi leo hakuna hata USHAHIDI WA KIMAZINGIRA ambao unaonesha kuwa kuna MTANGANYIKA MWEUSI aliyekuwa nyuma ya kuanzishwa kwa CHAMA CHA TANU.kina nani walikuwa nyuma ya TANU?
tafuta huchi kitabu untold story of tanganyika i think so, by mohamed said.Waliokuwa nyuma ya CHAMA CHA TANU ni WAINGEREZA, kwa sababu hadi leo hakuna hata USHAHIDI WA KIMAZINGIRA ambao unaonesha kuna MTANGANYIKA MWEUSI aliyekuwa nyuma ya kuanzishwa kwa CHAMA CHA TANU.
Kipindi cha miaka ya hamsini [1950's] kushuka chini, WATU waliokuwa na uwezo wa kiuchumi walikuwa ni FAMILIA ZA KICHIFU na FAMILIA nyingine walikuwa hawana kabisa.
JAMII YA TANGANYIKA ilikuwa haina ELIMU na wachache kati yao ndiyo walibahatika kupata ELIMU katika SHULE ZA UMISHENI.
Sasa kwa upande wa TANGANYIKA, CHAMA CHA TANU ndiyo kilikuwa ni chama ambacho kinaushawishi mkubwa na kwa upande wa ZANZIBARI kulikuwa kuna VYAMA VYA SIASA kama AFRO SHIRAZI PARTY [ASP], ZANZIBAR NATIONALIST PARTY [ZNP] na ZANZIBAR AND PEMBA PEOPLE'S PARTY [ZPPP].
Mohamed Said yupo JAMII FORUMS na mara nyingi napopata muda wa kutosha huwa nasoma anachokiandika. Kusema ukweli huwa anajitahidi, lakini pia huwa ana mapungufu yake kama binadamu wengine.tafuta huchi kitabu untold story of tanganyika i think so, by mohamed said.
Mohamed Said yupo JAMII FORUMS na mara nyingi napopata muda wa kutosha huwa nasoma anachokiandika.
Kusema ukweli huwa anajitahidi, lakini pia huwa ana mapungufu yake kama binadamu wengine.
Ukitaka kuifahamu vizuri NCHI YA TANZANIA, jiunge na MAJESHI YA ULINZI. Kule kila kitu huwa kipo wazi, sema unatakiwa uwe ni MTU WA KUTUNZA SIRI.
Kwa sababu, kila sehemu huwa hapakosi WATU MAARAFU au FAMILIA MAARUFU na tangu kipindi cha UKOLONI kulikuwa kuna KOO MAARUFU na FAMILIA MAARUFU.
Hizi FAMILIA MAARUFU na KOO MAARAFU zipo hadi leo, sema wengine wana MAISHA YA KAWAIDA na wengine bado wanamiliki UKWASI WA KUTOSHA.
Kwahiyo hizi FAMILIA MAARUFU na KOO MAARUFU ambazo zilikuwepo tangu kipindi cha UKOLONI ndiyo wanao ifahamu vizuri historia ya TANGANYIKA na TANZANIA kwa ujumla.
Ndiyo 🙏🏽Charles...
Waingereza hawahusiki katika vuguvugu la Waafrika kujikusanya kupigania nchi yao.
Siku nikipata LIKIZO nitakitafuta hicho KITABU, ili nipate wasaa wa kusoma na kuelewa kile kilichokusudiwa na MUANDISHI.Nimeandika kitabu kuhusu historia hii: "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British Colonialism in Tanganyika, "Minerva Press, London 1998.
Unajua haya MATAIFA YA MAKUBWA yameendelea sana katika MASUALA YA KIDIPLOMASIA, kiasi ambacho huwa wana uwezo wa kuchanga KARATA zao vizuri na kuweza kukubalika pande zote.Kipo kwa Kiswahili pia.
Ndugu yetu anaweza kupata mengi katika kitabu hiki.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mohamed Said yupo JAMII FORUMS na mara nyingi napopata muda wa kutosha huwa nasoma anachokiandika. Kusema ukweli huwa anajitahidi, lakini pia huwa ana mapungufu yake kama binadamu wengine.
Ukitaka kuifahamu vizuri NCHI YA TANZANIA, jiunge na MAJESHI YA ULINZI. Kule kila kitu huwa kipo wazi, sema unatakiwa uwe ni MTU WA KUTUNZA SIRI.
Kwa sababu, kila sehemu huwa hapakosi WATU MAARAFU au FAMILIA MAARUFU na tangu kipindi cha UKOLONI kulikuwa kuna KOO MAARUFU na FAMILIA MAARUFU.
Hizi FAMILIA MAARUFU na KOO MAARAFU zipo hadi leo, sema wengine wana MAISHA YA KAWAIDA na wengine bado wanamiliki UKWASI WA KUTOSHA.
Kwahiyo hizi FAMILIA MAARUFU na KOO MAARUFU ambazo zilikuwepo tangu kipindi cha UKOLONI ndiyo wanao ifahamu vizuri historia ya TANGANYIKA na TANZANIA kwa ujumla.
Unafahamu unapokuwa kwenye VYAMA VYA KISIASA kama CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] au CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO [CHADEMA] unapaswa kujijenga KISIASA pamoja na KIUCHUMI.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Mie kinacho nishangaza inakuwaje Kambona akafungia ndio UK na akapata watu wengi tu
so you mean that, a man on thrown(rwanda) is our puppet?Wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia RWANDA walikuwa wanasubiri kuona hatua zitakazochukuliwa na "LE FANTOCHE" au "PUPPET".
Na walikuwa wananunua SILAHA ZA KUJIHAMI kutoka MATAIFA MAKUBWA kwa kupitia BANDARI YA TANGA.
HAYATI MWALIMU alikuwa na nguvu na ushawishi mkubwa katika UKANDA WA MAZIWA MAKUU, kwa sababu UINGEREZA ilikuwa nyuma yake.
Kutwa nzima wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa wanasikiliza taarifa ya habari kupitia vituo mbalimbali vya radio na kutizama vituo mbalimbali vya televisheni kufahamu kinachoendelea kwa upande wa SERIKALI ZA RWANDA NA BURUNDI.
FEDHA ZA KUJIKIMU pamoja na MALAZI zilikuwa zinatoka TANZANIA na walikuwa tayari walishaanza kununua MAJENGO na kumiliki ARDHI.
Baadae, baada ya kuona upepo wa kisiasa unaenda vizuri - wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliamua kuanzisha kikosi cha kujilinda kilichokuwa kinaitwa RWANDA PATRIOTIC ARMY [RPA].
English language is very complicated, even native speakers have trouble sometimes. So don't worry, you will improve through practice.so you mean that, a man on thrown(rwanda) is our puppet?
Jaribu kusoma posti namba 1530 - kuna baadhi ya "POLITICAL ASSASSINATIONS" ambazo kwa namna moja ama nyingine zilitoa fundisho kwa WATANZANIA na watu wengine ambao wanafuatilia SIASA ZA TANZANIA.[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
mzee baba lugha yenyew imepanda meli.English language is very complicated, even native speakers have trouble sometimes. So don't worry, you will improve through practice.
Though that is not a question I need to answer, whether our PUPPET [ LE FANTOCHE ] has successfully unseated the incumbent leader of RWANDA or not.
Unajua SIASA YA TANZANIA ni tamu sana na kwa upande mwingine ni chungu kama shubiri, ikiwa imekupita kando.mzee baba lugha yenyew imepanda meli.
Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliyafahamu haya mambo tangu siku nyingi, pengine kulikuwa kuna jitihada za makusudi za kuwataarifu mapema ili kuondokana na sintofahamu iliyopo kwenye SIASA ZA TANZANIA.mzee baba lugha yenyew imepanda meli.