Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

mzee baba lugha yenyew imepanda meli.
Wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ilitokea kuelewana sana na wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO yaani PUISSANTS.


Wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO yaani PUISSANTS waliwasaidia wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kwenye mambo mengi, hata baada ya MFUMO WA VYAMA VINGI kuanzishwa mwaka 1992 - kuna baadhi ya mambo walisaidia.


VYAMA VYA KISIASA walivyofanikiwa kuasisi wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA vilianza kushiriki UCHAGUZI MKUU WA TANZANIA, 1995.

Pia, kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO yaani PUISSANTS - hali ya kisiasa ilibadilika sana na baada ya AJALI YA NDEGE iliyokuwa imebeba MARAIS WA RWANDA NA BURUNDI kupata ajali kabla ya kutua KIGALI, yalitokea machafuko ya kisiasa na kusababisha VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE.


Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliokuwa tayari wamehamia RWANDA kabla ya 1994 - walikuwa wanajilinda kwa kutumia kikosi kazi walichokuwa wamekianzisha na kilikuwa kinaitwa RWANDA PATRIOTIC ARMY [RPA].


Hiki kikosi cha RWANDA PATRIOTIC ARMY [RPA] kilikuwa kama KIKOSI CHA SUNGU SUNGU au KIKOSI CHA USALAMA.
 
mzee baba lugha yenyew imepanda meli.

Kuna watu walikuwa wanatambulika tangu kipindi cha UKOLONI na hadi leo wapo vizuri KIUCHUMI na wanaendelea kuagiza vitu kama hivi bila ya kuwa na MKOPO KUTOKA BENKI. Yaani habari ya MIKOPO NA MADENI wanasoma kwenye vitabu na kusikia kwa watu ☺️
 
ilo jeshi la rpf bado lina mwashita?

Bado wapo wengi sana na wengine ni vijana wadogo waliozaliwa kipindi cha miaka ya tisini [1990's] na elfu mbili [2000's] ambapo wazazi wao walihamia nchini RWANDA na ukijaribu kuangalia historia ya RPA, baadae ilikuja kuwa RPF [JESHI LA RWANDA] na baadae kulipatikana CHAMA CHA KISIASA kilichoitwa RPF - INKOTANYI ambacho ndiyo CHAMA TAWALA kwa sasa katika TAIFA LA RWANDA.


Wengi wanaounda MAJESHI YA RWANDA ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na baadhi walitoka katika MIKOA YA KAGERA na KIGOMA.

Yaani katika kipindi cha miaka ya tisini [1990's], kule RWANDA kazi zilikuwa za kufikia na WATANZANIA wengi waliohamia RWANDA walifanikiwa kupata ajira kwenye SERIKALI na TAASISI BINAFSI.
 
mzee baba lugha yenyew imepanda meli.
Wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walisambaa kwenye haya MATAIFA YA AFRIKA YA MASHARIKI na wamefanikiwa kuwekeza nchini KENYA.


Ukiachilia mbali masuala ya UCHUMI NA UWEKEZAJI, hawa JAMII YA MWASHITA walifanikiwa kuzaliana na watu wa mataifa mengine na kusababisha kuwa na muingiliano wa watoto kati ya mataifa na mataifa.


Huu ni MFUMO NA MTINDO WA MAISHA YA KIFALME YA UINGEREZA na mara nyingi huwa ipo hivyo hata kwa FAMILIA ZA KIFALME za MATAIFA mengine ya ULAYA pamoja na ASIA. Yaani ni "POLYGAMOUS" na mara nyingi huwa inafanyika kwa WATU au JAMII ambazo wanamiliki UCHUMI MKUBWA.


Sasa ukiwa pale KENYA - wale JAMII YA MWASHITA walizaliana sana na WATOTO wapo ambao wanafanana na WATOTO wengine ambao waliobaki TANZANIA.


Huyo MANING NICE ana dada zake wawili ambao wanaishi nchini KENYA na wote wanafanana hata kwa muonekano.


Wengi wa waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wanajijenga kwa MFUMO NA MTINDO WA MAISHA YA KIFALME YA UINGEREZA.


Hata kizazi kilichofuata baadae kimefanikiwa kuakisi ule mtindo wa "POLYGAMOUS" na huwa ni wajibu kutimiza kwa wahitaji.


Wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia UGHAIBUNI bado huwa wanarudi TANZANIA - kwa sababu huwa ni wajibu.


Sasa hivi JAMII YA MWASHITA inaendelea kukua kwa namna ya MFUMO NA MTINDO WA MAISHA YA KIINGEREZA na wanaendelea kufanya vizuri kwenye SEKTA YA UCHUMI NA UWEKEZAJI.

Na baada ya machafuko ya VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE nchini RWANDA - SERIKALI YA RWANDA ilipalanganyika na wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliokuwa wanaishi RWANDA walifanikiwa kupewa SERIKALI kwa idhini ya "LE FANTOCHE" au "PUPPET" au kwa LUGHA YA KISWAHILI ni KIBARAKA WA UINGEREZA.


Taratibu walianza kujenga JESHI na kubadilisha kile kikosi cha ulinzi na usalama kutoka kuwa RPA yaani "RWANDA PATRIOTIC ARMY" hadi kuwa RPF yaani "RWANDA PARTRIOTIC FRONT".


Haikuwa kazi nyepesi, kwa sababu JESHI lilitakiwa kuwa na vifaa, askari pamoja na fedha za kuwalipa askari na wafanyakazi walioajiriwa ndani ya JESHI LA RPF.


Aliyekabidhiwa kujenga JESHI LA RPF alikuwa ni PAUL INGABIRE KAGAME na alipaswa kuwa RAIS WA RWANDA tangu mwaka 1994, lakini kutokana na kutofahamu LUGHA YA KINYARWANDA vizuri ilibidi amuachie nafasi ya URAIS aliyekuwa anaitwa PASTEUR BIZIMUNGU.
 
Basi Kambona aliona ufisadi na kutowajibika na uvivu uliovuka mipaka
OSCAR SALATHIEL KAMBONA na HAYATI MWALIMU walikuwa ni kama wageni waliokaribishwa chakula na UINGEREZA, halafu baadae wakaanza kugombania MBOGA.

Kilichofuata, aliyependekezwa na UINGEREZA ndiye aliyefanyika kuwa MSHINDI WA SIASA ZA TANU.
mzee baba lugha yenyew imepanda meli.
Lakini wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa na ufahamu wa SIASA ZA TANGANYIKA na TANZANIA kwa ujumla.

Baada ya kuwa watulivu kwa kipindi chote cha MATUKIO YA SIASA ZA TANGANYIKA na hatimae TANZANIA, walipewa kudra zote za kuhamia RWANDA.


Hata kipindi ambacho walikuwa wanajenga JESHI LA RPF, watu wengi walikuwa hawaamini kama wangelifanikiwa kuwa na JESHI lenye nidhamu na imara.


JESHI LA RPF limekuwa ni mfano wa kuigwa katika huu UKANDA WA MAZIWA MAKUU na walifanikiwa kutoa RAIS WA KONGO [DRC] kwa mwaka wa 2000.


Kwahiyo, tunaweza kusema HAYATI MWALIMU alifanya makosa kuwaruhusu wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kuunda JESHI LA RPF na hatimae wamefanikiwa sana KIUCHUMI na KISIASA katika haya MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO.
 
sasa kam rpf na paka ni wetu, iweje kulizuka ugomv kati yake paka na msoga.
na sijui ugomv uliishaje?
 
sasa kam rpf na paka ni wetu, iweje kulizuka ugomv kati yake paka na msoga.
na sijui ugomv uliishaje?
SIASA ni masilahi kwa pande zote na kipindi kile ilikuwa ni TANZANIA ilipeleka JESHI kwenda kulinda amani na kuwaondoa wale WAASI WA M23.


Jukumu ambalo walipaswa kupewa JESHI LA RPF ambalo kwa ukaribu wa kijiografia, walikuwa wana uwezo wa kulinda amani na kuwaondoa wale WAASI WA M23 kwa gharama ndogo ukilinganisha na TANZANIA.


Halafu kitu kingine ambacho unatakiwa kufahamu kuanzia leo ni kwamba - majeshi yote ya RWANDA yamejengwa na askari kutoka MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na wachache ni kutoka MIKOA YA KAGERA na KIGOMA.


Nusu ya majeshi yote ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia RWANDA.


Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] - vile VIWANJA VYA MPIRA WA MIGUU VYA KIRUMBA [MWANZA], KAMBARAGE [SHINYANGA] na ALLY HASSAN MWINYI [TABORA] vilikuwa vinajaza sana watu, lakini baadae yalitokea mabadiliko makubwa sana ya watu kupungua.


Watu wengi walisambaa na kuhamia UGHAIBUNI na katika TAIFA LA RWANDA kulikuwa kuna vyeo vya kumwaga, hivyo idadi kubwa ya watu walihamia RWANDA.


Kwahiyo unapoona kuna mzozo unaendelea kati ya RWANDA na TANZANIA au unapoona kuna mzozo unaendelea kati ya RWANDA na UONGOZI uliopo MADARAKANI kwa upande wa TANZANIA, ujue ni mgongano wa kimasilahi kati ya wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao ni [RWANDA] na TANZANIA.
 
aiseeehhh
 
aiseeehhh
Wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliwazidi kete JAMII YA SERENGETI, kwa sababu wao [JAMII YA SERENGETI] walikuwa wanaamini kuwa CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] ni chao.


Kumbe hata HAYATI MWALIMU mwenyewe alikuwa amewekwa na UINGEREZA. Haya MATAIFA MAKUBWA huwa wana tabia inayofanana, yaani wanakutumia kwa muda wa kipindi fulani, halafu baadae wanakuacha solemba.
Kwahiyo na wao JAMII YA SERENGETI muda sio mrefu ile nguvu waliyokuwa nayo ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] itatoweka na hawatakuwa na chao tena. Kama watakuwa hawakujijenga vizuri KIUCHUMI, ndiyo itakuwa imetoka hiyo..


Wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walienda kujitafutia na wakafanikiwa kupata. Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] hakuna aliyedhani kama JOSEPH KABILA angelifanikiwa kuja kuwa RAIS WA KONGO.


Haya ni MATUNDA ya wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO.
 
Mtakatifu anakunywa gongo😛😛😛

View attachment 2730589
Hiyo ndiyo SIASA na HAYATI MWALIMU alipomaliza kazi yake, hakuwa kama alivyokuwa mwanzo kipindi anajiunga na SIASA ZA TANU na hatimae CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Ina maana kwa LUGHA nyingine tunaweza kusema - HAYATI MWALIMU alifanikiwa kujijenga KIUCHUMI na KISIASA pamoja na ukweli uliowazi kuwa yeye [HAYATI MWALIMU] alikuwa amewekwa kuongoza CHAMA CHA TANU na hatimae CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].


Pia kuna ushahidi mkubwa ambao unaonesha kuwa HAYATI MWALIMU alikuwa nyuma ya YOWERI KAGUTA MUSEVENI katika harakati za kijeshi za kuiokomboa TAIFA LA UGANDA.


Hata MAMA KARUME anapitia hali ile ile anayopitia MAMA MARIA, hauwezi kuamini kuwa pamoja na hadhi waliyonayo - yule KIDUDUYE anamiliki UCHUMI MKUBWA kuliko FAMILIA YA KARUME.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa DAR LUX.

Pia wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa FRIENDS inayofanya shughuli zake za kibiashara kwa upande wa MATAIFA YA TANZANIA, KENYA, UGANDA, BURUNDI, RWANDA na KONGO.


Hii kampuni ya FRIENDS ni kubwa kwa kiasi chake na ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya FRIENDS CAFÉ ambayo inapatikana katika MATAIFA YA KUSINI MWA AFRIKA, AMERIKA, ULAYA pamoja na ASIA.


KIDUDUYE pia anajitahidi kubeba watu wake kutoka sehemu ambayo aliyozaliwa na alianza kujijenga mwenyewe pasipo kuwa na misingi yoyote ya kifamilia, yaani amejijenga kuwa ROYAL FAMILY na ndiyo mmiliki halali wa CHAMA CHA KISIASA kinachoitwa [...] ambacho kinafanya shughuli zake za kisiasa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.


Hali kadhalika , mienendo aliyokuwa nayo KIDUDUYE inataka kufanana na JOSEPH KABILA, huyu bwana na yeye amefanikiwa kujijenga KIUCHUMI na KISIASA pasipo kuwa na misingi yoyote ya kifamilia.


Kwahiyo hiyo ndiyo SIASA, ambayo kila mtu anapaswa kuchagua njia anayoona ni sahihi kwake, lakini kikubwa ni MEZA YA MAFANIKIO.
 
Mtakatifu anakunywa gongo😛😛😛

View attachment 2730589
Hiyo kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa FRIENDS ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa FRIENDS CAFÉ inayopatikana katika MATAIFA HAMSINI NA MBILI [52].


FRIENDS CAFÉ inafanya vizuri sana kwa upande wa TAIFA LA ZIMBABWE na baadhi ya MATAIFA YA KUSINI MWA AFRIKA.


Pia FRIENDS CAFÉ inapatikana katika KISIWA CHA PUERTO RICO na baadhi ya VISIWA VYA PASIFIKI.


Hii kampuni ya FRIENDS CAFÉ inamiliki timu ya michezo inayoitwa FRIENDS CLUB ambayo inapatikana GAZA - PALESTINA na FRIENDS RANGERS ambayo inapatikana TANZANIA.


Hii kampuni ya FRIENDS CAFÉ inapatikana katika TAIFA LA OMANI na baadhi ya MATAIFA YA KIARABU.


Hii kampuni ya FRIENDS CAFÉ inapatikana katika TAIFA LA UCHINA.


Yaani hii kampuni ya FRIENDS CAFÉ inajaribu kwenda kama kampuni ya McDONALD'S.


Na hii kampuni ya FRIENDS CAFÉ ndiyo wamiliki halali wa FRIENDS SERIES ambayo huwa inarushwa na NETFLIX.


Kwahiyo kuna WATANZANIA ambao wanajitahidi kufanya vizuri katika SEKTA YA UCHUMI NA UWEKEZAJI katika MATAIFA mbalimbali.
 
Mtakatifu anakunywa gongo😛😛😛

View attachment 2730589
Hii kampuni ya FRIENDS CAFÉ ni kubwa na wamewekeza sana nchini ZIMBABWE na baadhi ya MATAIFA YA KUSINI MWA AFRIKA.


Pia kuna FRIENDS CAFÉ inayopatikana nchini MAREKANI katika sehemu moja ambayo inaitwa HUNTINGTON BEACH, katika JIMBO LA CALIFORNIA.


Pia kuna FRIENDS APARTMENT ambayo inapatikana nchini MAREKANI katika JIJI LA NEW YORK.


Kila sehemu ambapo wamekuwa wakiwekeza, wamefanikiwa kupeleka watu wao katika MATAIFA mbalimbali.


Hawa ni watu wao na wanapatikana MAREKANI, yaani ni WAMAREKANI wenye asili ya TANZANIA ambao wazazi wao walihamia nchini MAREKANI wakitoka katika WILAYA YA KAHAMA, MKOA WA SHINYANGA uliopo TANZANIA.


Pia kuna MSANII kutoka MAREKANI mwenye asili ya TANZANIA, kutoka WILAYA YA KAHAMA, MKOA WA SHINYANGA ambaye anaitwa REIME SCHEMES.


Hawa ni WATANZANIA ambao ni wenyeji wa MKOA WA SHINYANGA kutoka WILAYA YA KAHAMA ambao wazazi wao walihamia nchini KENYA, kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

Kwahiyo KIDUDUYE na yeye alijitahidi na anaendelea kujijenga KIUCHUMI kwa kupitia watu aliowaacha, yaani ni ROYAL FAMILY.
 
aiseeehhh

Huyu ni MCHEZA MPIRA WA TIMU YA TAIFA YA UHISPANIA anaitwa SALMA PARALLUELO na wamechukua KOMBE LA DUNIA [2023] kwa upande wa WANAWAKE kupitia timu ya UHISPANIA.

Siku chache zilizopita alipata tuzo ya "BEST YOUNG PLAYER" katika michuano ya KOMBE LA DUNIA LA WANAWAKE [2023].

Huyu SALMA PARALLUELO ni mchanganyiko ambapo mzazi wake mmoja ni MTANZANIA kutoka WILAYA YA KAHAMA, katika MKOA WA SHINYANGA.

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliyafahamu haya mambo tangu siku na waliwabeba watu wao kila sehemu ambapo walifanikiwa kuwekeza, walipeleka watu wao.
 
aiseeehhh

Huyu pia ni MTANGAZAJI WA NRG RADIO inayopatikana nchini KENYA, ambaye ni MKENYA mwenye asili ya TANZANIA.


WAZAZI wake ni WATANZANIA wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA wakitokea WILAYA YA KAHAMA, iliyopo MKOA WA SHINYANGA.
 
aiseeehhh
Wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA walikuwa wanafahamu SIASA YA TANGANYIKA na hatimae TANZANIA.


WAINGEREZA walivyoondoka baada ya TANGANYIKA kupata UHURU WA BENDERA [1961], waliwaacha WAHINDI. JAMII YA WAHINDI ndiyo ilikuwa ni jamii mbadala baada ya kuondoka kwa WAINGEREZA.

JAMII YA WAHINDI waliokuwa wanaishi TANGANYIKA na hatimae TANZANIA walikuwa ni mbadala wa WAINGEREZA katika masuala yote yanayohusu TANZANIA na CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Hadi leo hii, ukijaribu kuangalia BODI YA WADHAMINI WA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] ni kampuni ambazo kwa namna moja ama nyingine zinamilikiwa na WAHINDI. Hawa WAHINDI ni mbadala wa WAINGEREZA.

Sasa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA walikuwa wanafahamu haya mambo tangu siku nyingi na kipindi cha kuanzia miaka ya themanini na nne [1984's] ambapo sera ya kuanzishwa kwa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA inaasisiwa - WATANZANIA wengi walijijenga kiuchumi wakiwemo KUGI'S kutoka MKOA WA KAGERA.


KUGI'S bado wapo na ndiyo wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa SARATOGA [THE PRIDE OF KIGOMA] , ambayo inapatikana katika MKOA WA KIGOMA.


Pia wale waliokuwa wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya MAFUTA inayoitwa KUGI'S ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa CUBBY'S inayopatikana nchini MAREKANI.


Pia wanamiliki CUBBY'S SPORTS BAR AND GRILL inayopatikana DOWNTOWN BROOKINGS, nchini MAREKANI.




Hii CUBBY'S SPORTS BAR AND GRILL huwa inatumika kufanya uchambuzi wa masuala ya michezo kama BASEBALL na BASKETBALL.


Wao pia wamejitahidi kuwekeza nje ya mipaka ya TANZANIA na wamefanikiwa pakubwa kuwekeza katika MAJENGO.


Ukiwa pale MAREKANI wamejitahidi kuwekeza katika MIGAHAWA na wanafanya vizuri karibia MAJIMBO yote ya MAREKANI.






Pia hii kampuni ya CUBBY'S imeenea hadi KOREA YA KUSINI na wanaendelea kujijenga KIUCHUMI.


Ukiwa pale nchini MAREKANI, hii kampuni ya CUBBY'S ndiyo inamiliki KIWANDA kinachotengeneza bia ambacho kinaitwa GOOSE ISLAND BEER COMPANY.


Hii kampuni ya GOOSE ISLAND BEER COMPANY inafanya vizuri katika SOKO LA USHINDANI, lakini bado siyo kinywaji maarufu ukilinganisha na bia nyingine kama HENNESSEY, HEINEKEN au VODKA.


Pia kuna baadhi ya WATANZANIA walifanikiwa kuhamia MAREKANI kwa kupitia kampuni ya kutengeneza bia inayoitwa GOOSE ISLAND BEER COMPANY.


Kuna WATANZANIA ambao walifanikiwa kufahamu hali ya kisiasa kwa upande wa TANZANIA na wakafanikiwa kujijenga KIUCHUMI, ili kuondokana na ile dhana ya BRITISH AUTONOMOUS.


Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA walijijenga sana kwenye masuala ya KIUCHUMI na walifanikiwa kuweka watu wao kila sehemu ambapo walifanikiwa kuwekeza.
 
aiseeehhh

Ndiyo maana hiki CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM, ukiwa UINGEREZA huwa kinatambulika kama "CONGRESS PARTY" na siyo "REVOLUTIONARY PARTY" kama WATANZANIA wengi wanavyojaribu kutohoa kwa LUGHA YA KIINGEREZA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…