Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Aisee.... Wamependeza na mitumba grade A

View attachment 2743639
Wengine ni wakina CLOTUS CHOTA CHAMA kutoka kijiji cha SHILALO, MISASI katika wilaya ya MISUNGWI, mkoani MWANZA.

IMG_20230910_124643.jpg

Huyu ni MWANZA MWANZA, alifanikiwa kuhamia ZAMBIA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini ZAMBIA, yaani ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walisambaa sana.

8e0b7e7974bb1dd32c069b9b907d64fb.png

Hata hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ROYAL LUXURY, wafanyakazi wengi ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
 
duuh hatar sasa, na ile hotel ya MORENA iliyopo dodoma na moro ni ya mwashita?
 
duuh hatar sasa, na ile hotel ya MORENA iliyopo dodoma na moro ni ya mwashita?
Sijui! Jaribu kupitia huu uzi kwa kurasa za nyuma, kuna picha za kampuni ya usafirishaji ya abiria zimepigwa ikiwa pamoja na HOTELI YA MORENA. Wamiliki halali wa hiyo kampuni ya usafirishaji ya abiria ndiyo wamiliki halali wa HOTELI YA MORENA.
 
Hope ata kwenye issues ya bandari dp kuna migongano kati Chui na simba...
dbfd43d04964927522728a914b2fbba7.png

Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa PETROCOM LIMITED inayosafirisha mafuta katika TAIFA LA RWANDA.

Ukitaka kufahamu kuwa hawa JAMII YA MWASHITA wapo vizuri KIUCHUMI, angalia hii kampuni ya usafirishaji ya mafuta inayoitwa PETROCOM LIMITED - kama kuna MWANASIASA WA CHAMA TAWALA ana uwezo wa kumiliki kampuni ya aina hii? Jibu ni hakuna, zaidi ya HAYATI MWALIMU na MZEE WA RUKSA.
 
aiseeehhh
Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliyafahamu haya mambo tangu siku nyingi.

Sasa jaribu kuangalia hii picha vizuri kwa kutumia FACIAL DESCRIPTION IDENTIFICATION [FDI].

f345003e98c28c5b76df2a36f07a2fed.png

Umeona vizuri huyo jamaa mwenye suti, hiyo FACIAL DESCRIPTION IDENTIFICATION [FDI] ya mwanasiasa wa upinzani kutoka nchini TANZANIA.

5b6afba1e183706b9b6197531f7594bd.png

Ndiyo maana kuna baadhi ya VYAMA VYA KISIASA vinaangalia masilahi yao tu, mambo mengine hayawahusu na kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA wamefanikiwa kutengeneza VYAMA MAHASIMU WA KIITIKADI, lakini kwa MATAIFA mengine ya KIAFRIKA hawa WATU WEUPE walifanikiwa hadi kuanzisha VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE katika baadhi ya MATAIFA YA KIAFRIKA.

8287678cdf6d5a9c3c9ee2b77f699f8b.png

Pia kuna baadhi ya watu waliyafahamu haya mambo mapema na kufanikiwa kuyaepuka. Vijana wengi ambao walipaswa kujiunga na VYAMA VYA KISIASA walishituka na kuanza kujijenga katika masuala binafsi.

f13bbdec9ccb0fe4451f0332090daf6c.png

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanafahamu sana SIASA ZA TANZANIA.
 
aiseeehhh
Wenzenu waliotambua haya mambo mapema waliamua kujijenga tangu walipomaliza ELIMU YA VYUO VIKUU.

906b8516722b1b96003565abcb4a4041.png

Kwa wale vijana waliokuwa na malengo ya kufanya SIASA ZA KWELI, hawakujiunga na SIASA ZA CHADEMA wala SIASA ZA CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

Vijana wengi waliingia kwenye masuala ya kutafuta ajira na baadhi yao walifanikiwa kuingia SERIKALINI na wengine waliishia kwenye SEKTA BINAFSI.

udoso.jpg

Hawa wakina MANING NICE pamoja na wenzao walikuwa wanategemewa kujiunga na SIASA pindi tu watakapomaliza ELIMU YA CHUO KIKUU, lakini wote waliishia kwenye masuala ya kutafuta ajira na baadhi yao walifanikiwa kupata kazi ndani ya SERIKALI YA TANZANIA na wengine walifanikiwa kupata kazi katika SEKTA BINAFSI.

IMG-20230818-WA00030001.jpg

Vijana wengi waliishia, baada ya kutambua na kufamu vyema SIASA ZA TANZANIA na baadhi ya vijana wamefanikiwa kwa namna moja ama nyingine katika kujijenga KIUCHUMI.

152855f873bb8220a095a4068509b6c0.png

Kwa upande mwingine ambapo wale vijana waliokuwa na malengo ya kufanya SIASA ZA KWELI wanasubiri kukabidhiwa VYAMA VYA KISIASA kama CHAMA CHA WANANCHI - CUF au ACT - WAZALENDO.

IMG_20230914_050255.jpg

CHAMA CHA WANANCHI - CUF na ACT - WAZALENDO ndiyo VYAMA VYA KISIASA pekee ambavyo vina uwakilishi katika SERIKALI YA TANZANIA na havina uhusiano wowote na WATU WA MATAIFA YA NJE.
 
Aisee.... Wamependeza na mitumba grade A

View attachment 2743639
IMG_20230914_164236.jpg

Angalia na hii timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA AFRIKA YA KUSINI inayoitwa MAMELOD SUNDOWNS.

IMG_20230914_164301.jpg

Kwenye hiki kikosi kuna wachezaji wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao walihamia AFRIKA YA KUSINI pamoja na MATAIFA YA KUSINI MWA AFRIKA kama NAMIBIA.

IMG_20230914_170401.jpg

Huyu PETER SHALULILE ni MTANZANIA ambaye wazazi wake walihamia katika TAIFA LA NAMIBIA kipindi cha miaka ya tisini [1990's]. Yaani kila timu ambayo imeshiriki michuano ya KLABU BINGWA AFRIKA na kutumia TANZANIA kama sehemu ya nyumbani, ujue hiyo timu mmiliki wake anatoka TANZANIA.

IMG_20230914_170330.jpg

Kwahiyo timu kama RAJA CASABLANCA na MAMELOD SUNDOWNS ambayo itatumia TANZANIA kama sehemu ya nyumbani kwa siku chache zijazo, ujue mmiliki wake yupo TANZANIA. Sasa hii ndiyo SIASA.
 
Hivi nyie mmemuamini huyu jamaa?kama haya yote ingekuwa ni kweli Tanzania ingekuwa nchi kubwa sana kiuchumi kwa sababu hao Watu wasingeacha nchi yao mama kwenye huu umasikini mkubwa. Wewe umetumia na CCM kutupotosha tu.
 
Huyo RAMPHAL SHRIDATH alikuwa ni MTU hatari sana na alikuwa ni MTU muungwana sana aliyekuwa anasikiliza kila aina ya WATU na KIKUNDI chao kimefanya mengi ya kutisha na kuogofya. Yaani ni SHIDA [emoji1431]

KIKUNDI chao kipo mpaka leo na ndio kinahusika kuamua KIONGOZI WA CHAMA TAWALA yaani MWENYEKITI WA CHAMA pamoja na SERIKALI yaani RAIS WA TANZANIA [emoji1241].

Hicho KIKUNDI ndio kinaitwa INNER CIRCLE OF TANZANIA au DEEP STATE OF THE GOVERNMENT.

Hawa wengine sijui TISS! Sijui NSA! Sijui MI! Sijui JWTZ! Sijui POLISI! Sijui nani nani! Anyway, hawa wote ni WALINZI tu! Lakini wenye NCHI ndio hao [emoji23][emoji23][emoji23]

Hicho KIKUNDI ndio kilichofanya MATAMBIKO YA KITAIFA mwaka 1961 baada ya UHURU WA TANGANYIKA na mwaka 1964 baada ya MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR na kuunda TAIFA lililo moja linaloitwa TANZANIA [emoji1241].

Rejea posti namba 946 - hicho KIKUNDI kinatumia BIBLIA TAKATIFU na wanamiliki MIUNGU YENYE NGUVU kweli kweli kama ilivyo kwenye MAANDIKO YA BIBLIA TAKATIFU.

Hiyo MIUNGU ina uwezo mkubwa sana! Ina uwezo wa kuleta masika! Ina uwezo wa kuleta kiangazi! Ina uwezo wa kuleta baa la njaa! Ina uwezo wa kufanya chochote kama ilivyo kwenye MAANDIKO YA BIBLIA TAKATIFU.

Mambo ni mengi sana! Mengine yatabaki kuwa ni SIRI ya WATAWALA..

Hii kauli ya kusema ya kwamba - "HAWANA AKILI YA KISIASA" ni ya UKWELI kabisa, wala haina hata chembe ya UONGO. Unajua wakati mwingine unatakiwa ujifanye MJINGA ili ufanikiwe. Sasa wenzio hii AKILI hawana kabisa.

Kwa sababu sote tunayashuhudia wanayoyajadili, kuyapanga na hata kuyafanya. Ni suala la muda tu, wote wataondolewa ndani ya CHAMA TAWALA na SERIKALINI kwa pamoja.
Kama hicho kikundi kinauwezo wa kufanya lolote wameshindwa vipi kupeleka Tanzania iwe uchumi wa juu?
 
Alafu angalia mikoa ya mwashita na mikoa ya Mara huko ni masikini sana. Alafu unasema hao ni matajiri mimi kwangu haimake sense kwa sababu hao wasukuma na wazanaki ni masikini kwenye mikoa yao.kama wanapesa nyingi hizo kwanini wasije wanazitumia kuwainua watanzania wenzao?hawana nchi nyingine Tanzania ni moja
 
Angalia na hii timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA AFRIKA YA KUSINI inayoitwa MAMELOD SUNDOWNS.

Kwenye hiki kikosi kuna wachezaji wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao walihamia AFRIKA YA KUSINI pamoja na MATAIFA YA KUSINI MWA AFRIKA kama NAMIBIA.

Huyu PETER SHALULILE ni MTANZANIA ambaye wazazi wake walihamia katika TAIFA LA NAMIBIA kipindi cha miaka ya tisini [1990's]. Yaani kila timu ambayo imeshiriki michuano ya KLABU BINGWA AFRIKA na kutumia TANZANIA kama sehemu ya nyumbani, ujue hiyo timu mmiliki wake anatoka TANZANIA.

Kwahiyo timu kama RAJA CASABLANCA na MAMELOD SUNDOWNS ambayo itatumia TANZANIA kama sehemu ya nyumbani kwa siku chache zijazo, ujue mmiliki wake yupo TANZANIA. Sasa hii ndiyo SIASA.
Alafu wewe ulisema Chelsea inamilikiwa na watanzania sasa iweje iathirike na vita vya Ukraine?kumbe ilikuwa inamilikiwa na mrusi.wenyewe waingereza wakachukua timu yao na kuwapa Watu wengine.mpka siku ukinishawishi na ushahidi dhahiri ndo nitakuelewa.
 
Soma kurasa za nyuma utaelewa vizuri, kila kitu kilishajadiliwa kwa mapana na marefu yake.

Halafu kitu ambacho unatakiwa kuelewa kuanzia leo ni kuwa - sio kila mtu mwenye pesa anaweza kumiliki "ASSETS" katika MATAIFA YA ULAYA pamoja na AMERIKA.

Hawa wenzetu wa MATAIFA YA ULAYA pamoja na AMERIKA huwa wana MTINDO unaofanana wa kuchunguza pesa za mnununuzi kama ni safi na anastahili kumiliki "ASSETS" katika MATAIFA yao.

Kama pesa ni chafu au ulizipata pesa kwenye serikali kwa njia ya rushwa au utawala mbovu, hauwezi kumiliki "ASSETS" katika MATAIFA YA ULAYA pamoja na AMERIKA.
 
Alafu angalia mikoa ya mwashita na mikoa ya Mara huko ni masikini sana.
Hiki ulichokiandika hapa ni kweli! Na hii imechagizwa na vipaumbele vya serikali kupeleka huduma za kijamii katika maeneo uliyoyataja.
Alafu unasema hao ni matajiri mimi kwangu haimake sense kwa sababu hao wasukuma na wazanaki ni masikini kwenye mikoa yao.
Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walihama, wengi waliobaki kwenye mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA ni WATUMISHI WA SERIKALI, WATUMISHI WA SEKTA BINAFSI na WALOWEZI waliohamia kutoka sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.
kama wanapesa nyingi hizo kwanini wasije wanazitumia kuwainua watanzania wenzao?
IMG_20230915_081559.jpg

Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa wanabebana na kupeana ajira katika SEKTA ambazo wanamiliki wao.

Kwa mfano, huyu JESSICA MOTAUNG ni MTANZANIA kwa asili na alifanikiwa kuhamia AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] na leo hii ni msemaji wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA AFRIKA YA KUSINI inayoitwa KAIZER CHIEFS FC.

Hii KAIZER CHIEFS FC ni timu ya mpira wa miguu ambayo inamilikiwa na WATANZANIA.
hawana nchi nyingine Tanzania ni moja
Eeh 😂
 
Hivi nyie mmemuamini huyu jamaa?kama haya yote ingekuwa ni kweli Tanzania ingekuwa nchi kubwa sana kiuchumi kwa sababu hao Watu wasingeacha nchi yao mama kwenye huu umasikini mkubwa. Wewe umetumia na CCM kutupotosha tu.
02c2b91798c6fa88ff75c3b4742cfb74.png

Kuna WATANZANIA wengi wamejitahidi kuwekeza nje ya nchi, ndiyo maana siyo ajabu kwa kampuni inayomilikiwa na mtu mmoja kuleta dazani ya mabasi ambayo yanatumika kwenye SEKTA YA USAFIRISHAJI WA ABIRIA.

Ukitaka kuona kwamba ni gharama, jaribu na wewe kuleta gari moja ya aina hiyo au jaribu hata kuagiza kwa mkopo kama una sifa za kukopesheka. Ili tukuone na wewe 😂
 
Hiki ulichokiandika hapa ni kweli! Na hii imechagizwa na vipaumbele vya serikali kupeleka huduma za kijamii katika maeneo uliyoyataja.

Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walihama, wengi waliobaki kwenye mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA ni WATUMISHI WA SERIKALI, WATUMISHI WA SEKTA BINAFSI na WALOWEZI waliohamia kutoka sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.

Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa wanabebana na kupeana ajira katika SEKTA ambazo wanamiliki wao.

Kwa mfano, huyu JESSICA MOTAUNG ni MTANZANIA kwa asili na alifanikiwa kuhamia AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] na leo hii ni msemaji wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA AFRIKA YA KUSINI inayoitwa KAIZER CHIEFS FC.

Hii KAIZER CHIEFS FC ni timu ya mpira wa miguu ambayo inamilikiwa na WATANZANIA.

Eeh [emoji23]
Acha uongo unasema wenyeji wengi wa mikoa ya kanda hizo sio wenyeji.unazidi kudanganya.wenyewe wengi hapo ni wasukuma yaani mikoa yote mitatu inakaliwa kwa wingi na wasukuma.nafikiri unalipwa kupotosha na CCM ili tusimjadili Nyerere.ukweli ni kwamba yote unayoongeza hapa ni blabla.ukafika mbali ukasema buyermunich inamilikiwa na Nyerere.unajua buyermunich Munich kweli?ile ndo Ujerumani yenyewe.hawawezi kukubali nembo ya taifa imilikiwe na mgeni.ila acha nikusifie umepikwa vizuri kipropaganda upo vizuri CCM au vyombo vya usalama visifiwe upo compitent.
 
Acha uongo unasema wenyeji wengi wa mikoa ya kanda hizo sio wenyeji.
Wenyeji wengi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA siyo wenyeji wa asili, ndiyo maana sasa hivi shughuli nyingi za kiuchumi katika maeneo hayo zimeshikiliwa na wageni.
unazidi kudanganya.wenyewe wengi hapo ni wasukuma yaani mikoa yote mitatu inakaliwa kwa wingi na wasukuma.
Wengi walihama na nusu ya idadi yao, wapo nje ya nchi hususani katika TAIFA LA RWANDA. Ukitaka kuwaona, mara moja moja huwa wanakuja kutembea katika maeneo yao ya asili.

6a77ed194f56641436722aaefbca8050.png

Huyu mkuu wa RDF, LUTENI JENERALI MUBARAK MUGANGA huwa anakuja TANZANIA katika MKOA WA SHINYANGA na mwaka huu alikuwepo na huwa akija TANZANIA huwa anavaa nguo za kipolisi na huwa anatembelea LANDCRUISER SINGLE CABIN ya rangi ya bluu.

Huwa anapenda kutembea kama anapiga dolia na mara nyingi huwa anaelekea maeneo ya HASHI kama unaelekea katika KIJIJI CHA OLD SHINYANGA.

84d82f09c77473e6d8c46f117e3c3db9.png

Kulikuwa kuna wakina AFANDE JACQUES MUSEMAKWELI, kipindi cha uhai wake alikuwa anapenda sana kuja TANZANIA hususani katika MKOA WA SHINYANGA.

7d03d0f61bd4cbbbd07b8e5e120d8c0c.png

Mara nyingi ukitaka kuwaona hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, jaribu kuangalia kampuni za kibiashara ambazo zinapatikana nje ya mipaka ya TANZANIA.

3f80263a350cdd9011c41c33625545c6.png

Hawa wote ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao wanafanya kazi katika kampuni inayoitwa MAVIN RECORDS inayopatikana nchini NAIJERIA.

3560e4b4a685921fb7c2a9f24934b40d.png

WATU wengi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliyahama maeneo yao ya asili.
nafikiri unalipwa kupotosha na CCM ili tusimjadili Nyerere.
2520a82b569098fa367a05cd3bc82986.png

Hmm, wewe jamaa vipi 😂?! Angalia hizo SCANIA hapo!. Hayo ndiyo baadhi ya madhaifu ya HAYATI MWALIMU kufuatia kuwaruhusu wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kujijenga KIUCHUMI kupitia VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].
ukweli ni kwamba yote unayoongeza hapa ni blabla.
Sasa hivi wewe upo wapi? Na ulikuwa wapi kipindi haya yote yanafanyika? Kwa mfano, hicho kituo cha radio kinachoitwa MAGIC FM kinachopatikana nchini TANZANIA katika MKOA WA DAR ES SALAAM ndiyo kampuni mwenza wa AFRICA MAGIC inayopatikana nchini NAIJERIA katika JIJI LA LAGOS.

58487e24004bfb6a338fa1499dcae5c8.png

Wafanyakazi wengi wa kituo cha televisheni cha AFRICA MAGIC ni WATANZANIA wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

IMG_20230924_075307.jpg

Kwahiyo KITUO CHA RADIO kinachoitwa MAGIC FM kinachopatikana nchini TANZANIA, KITUO CHA TELEVISHENI kinachoitwa AFRICA MAGIC kinachopatikana nchini NAIJERIA na KITUO CHA RADIO kinachoitwa MAGIC FM kinachopatikana nchini MAREKANI vyote vina mahusiano ya umiliki.
ukafika mbali ukasema buyermunich inamilikiwa na Nyerere.
Wewe hujui chochote katika SIASA na ukitaka kujifunza, kuwa na utayari wa kuruhusu ubongo wako kupokea vitu vipya. Usiwe "RIGID BODY".
unajua buyermunich Munich kweli?
Naifahamu vizuri sana! Kipindi fulani kabla ya timu ya SCHALKE 04 kushuka daraja, BAYERN MUNICH ilikuwa ni timu washindani wa SCHALKE 04.

78f7bd1280d3ae562fac964839e1dd54.png

Kipindi hicho SCHALKE 04 inamsajili RAUL GONZALEZ kutoka REAL MADRID ilikuwa juu sana hadi kufanikiwa kucheza nusu fainali ya MICHUANO YA UEFA CHAMPION LEAGUE.

Leo hii, si haba! Kwahiyo timu ya BAYERN MUNICH na LIGI KUU YA UJERUMANI kwa ujumla, naifahamu kwa kiasi chake.
ile ndo Ujerumani yenyewe.hawawezi kukubali nembo ya taifa imilikiwe na mgeni.
Kuwa muelewa, kwa sababu kila kitu kimeshajadiliwa katika kurasa za nyuma. Jaribu kupitia ukipata muda.
ila acha nikusifie umepikwa vizuri kipropaganda upo vizuri CCM au vyombo vya usalama visifiwe upo compitent.
Mimi huwa sipo huko! Sema wewe ndiyo ulikuwa hufahamu chochote, sasa hivi unaambiwa ukweli unabaki kushangaa shangaa tu.
 
wenyewe wengi hapo ni wasukuma yaani mikoa yote mitatu inakaliwa kwa wingi na wasukuma.
Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walishahama huko, zilibaki familia chache sana na wengi unaowaona sasa hivi ni "WALOWEZI" waliohamia kutoka sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.

e65c454b39eb7898a771ef9ed3e7d084.png

Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini RWANDA baada ya MAUAJI YA KIMBARI [1994].

Walikuwa ni VIONGOZI WAANDAMIZI wa JESHI LA RWANDA [RDF] na hata sasa hivi KAMANDI YA ANGA [RAF] katika JESHI LA RWANDA [RDF] imeshikiliwa na wenyeji wengi wa MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

5e205df88777892e7cfcb4ee5f78caff.png

Huyu ni JAMES KABAREBE aliyehudumu kwenye MAJESHI YA MATAIFA MATATU tofauti tofauti ukianzia UGANDA [UPDF], RWANDA [RDF] na KONGO [FARDC] na anafahamu kuongea na kuandika kwa ufasaha LUGHA ZA KIMATAIFA zaidi ya tatu.

Hawa wote ni wamejijenga vizuri katika MASUALA YA KIUCHUMI na wanaendelea kubeba watu wao, ndiyo maana sasa hivi wenyeji wengi wa MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanahamia RWANDA.
 
Watu wameanishwa kwa nguvu kuwa Nyerere ni malaika na hafanyi makosa.

Tuliyoishi wakati wake tunafahamu kuwa alikuwa siyo kiongozi mwenye maana, ni mpiga porojo wa maana sana lakini uongozi ni nil.

Watu wengi sana wmaepoteza maisha kwa maamuzi yake ya kidikteta. Mfano kuwahamisha watu vijiji vya asili na kuwapeleka vijiji vya ujamaa, walikufa wengi sana, lakini hayasemwi.
 
Back
Top Bottom