Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Wengine ni wakina CLOTUS CHOTA CHAMA kutoka kijiji cha SHILALO, MISASI katika wilaya ya MISUNGWI, mkoani MWANZA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wengine ni wakina CLOTUS CHOTA CHAMA kutoka kijiji cha SHILALO, MISASI katika wilaya ya MISUNGWI, mkoani MWANZA.
Sijui! Jaribu kupitia huu uzi kwa kurasa za nyuma, kuna picha za kampuni ya usafirishaji ya abiria zimepigwa ikiwa pamoja na HOTELI YA MORENA. Wamiliki halali wa hiyo kampuni ya usafirishaji ya abiria ndiyo wamiliki halali wa HOTELI YA MORENA.duuh hatar sasa, na ile hotel ya MORENA iliyopo dodoma na moro ni ya mwashita?
Hope ata kwenye issues ya bandari dp kuna migongano kati Chui na simba...
Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliyafahamu haya mambo tangu siku nyingi.aiseeehhh
Wenzenu waliotambua haya mambo mapema waliamua kujijenga tangu walipomaliza ELIMU YA VYUO VIKUU.aiseeehhh
Hivi nyie mmemuamini huyu jamaa?kama haya yote ingekuwa ni kweli Tanzania ingekuwa nchi kubwa sana kiuchumi kwa sababu hao Watu wasingeacha nchi yao mama kwenye huu umasikini mkubwa. Wewe umetumia na CCM kutupotosha tu.Angalia na hii timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA AFRIKA YA KUSINI inayoitwa MAMELOD SUNDOWNS.
Kwenye hiki kikosi kuna wachezaji wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao walihamia AFRIKA YA KUSINI pamoja na MATAIFA YA KUSINI MWA AFRIKA kama NAMIBIA.
Huyu PETER SHALULILE ni MTANZANIA ambaye wazazi wake walihamia katika TAIFA LA NAMIBIA kipindi cha miaka ya tisini [1990's]. Yaani kila timu ambayo imeshiriki michuano ya KLABU BINGWA AFRIKA na kutumia TANZANIA kama sehemu ya nyumbani, ujue hiyo timu mmiliki wake anatoka TANZANIA.
Kwahiyo timu kama RAJA CASABLANCA na MAMELOD SUNDOWNS ambayo itatumia TANZANIA kama sehemu ya nyumbani kwa siku chache zijazo, ujue mmiliki wake yupo TANZANIA. Sasa hii ndiyo SIASA.
Kama hicho kikundi kinauwezo wa kufanya lolote wameshindwa vipi kupeleka Tanzania iwe uchumi wa juu?Huyo RAMPHAL SHRIDATH alikuwa ni MTU hatari sana na alikuwa ni MTU muungwana sana aliyekuwa anasikiliza kila aina ya WATU na KIKUNDI chao kimefanya mengi ya kutisha na kuogofya. Yaani ni SHIDA [emoji1431]
KIKUNDI chao kipo mpaka leo na ndio kinahusika kuamua KIONGOZI WA CHAMA TAWALA yaani MWENYEKITI WA CHAMA pamoja na SERIKALI yaani RAIS WA TANZANIA [emoji1241].
Hicho KIKUNDI ndio kinaitwa INNER CIRCLE OF TANZANIA au DEEP STATE OF THE GOVERNMENT.
Hawa wengine sijui TISS! Sijui NSA! Sijui MI! Sijui JWTZ! Sijui POLISI! Sijui nani nani! Anyway, hawa wote ni WALINZI tu! Lakini wenye NCHI ndio hao [emoji23][emoji23][emoji23]
Hicho KIKUNDI ndio kilichofanya MATAMBIKO YA KITAIFA mwaka 1961 baada ya UHURU WA TANGANYIKA na mwaka 1964 baada ya MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR na kuunda TAIFA lililo moja linaloitwa TANZANIA [emoji1241].
Rejea posti namba 946 - hicho KIKUNDI kinatumia BIBLIA TAKATIFU na wanamiliki MIUNGU YENYE NGUVU kweli kweli kama ilivyo kwenye MAANDIKO YA BIBLIA TAKATIFU.
Hiyo MIUNGU ina uwezo mkubwa sana! Ina uwezo wa kuleta masika! Ina uwezo wa kuleta kiangazi! Ina uwezo wa kuleta baa la njaa! Ina uwezo wa kufanya chochote kama ilivyo kwenye MAANDIKO YA BIBLIA TAKATIFU.
Mambo ni mengi sana! Mengine yatabaki kuwa ni SIRI ya WATAWALA..
Hii kauli ya kusema ya kwamba - "HAWANA AKILI YA KISIASA" ni ya UKWELI kabisa, wala haina hata chembe ya UONGO. Unajua wakati mwingine unatakiwa ujifanye MJINGA ili ufanikiwe. Sasa wenzio hii AKILI hawana kabisa.
Kwa sababu sote tunayashuhudia wanayoyajadili, kuyapanga na hata kuyafanya. Ni suala la muda tu, wote wataondolewa ndani ya CHAMA TAWALA na SERIKALINI kwa pamoja.
Alafu wewe ulisema Chelsea inamilikiwa na watanzania sasa iweje iathirike na vita vya Ukraine?kumbe ilikuwa inamilikiwa na mrusi.wenyewe waingereza wakachukua timu yao na kuwapa Watu wengine.mpka siku ukinishawishi na ushahidi dhahiri ndo nitakuelewa.Angalia na hii timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA AFRIKA YA KUSINI inayoitwa MAMELOD SUNDOWNS.
Kwenye hiki kikosi kuna wachezaji wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ambao walihamia AFRIKA YA KUSINI pamoja na MATAIFA YA KUSINI MWA AFRIKA kama NAMIBIA.
Huyu PETER SHALULILE ni MTANZANIA ambaye wazazi wake walihamia katika TAIFA LA NAMIBIA kipindi cha miaka ya tisini [1990's]. Yaani kila timu ambayo imeshiriki michuano ya KLABU BINGWA AFRIKA na kutumia TANZANIA kama sehemu ya nyumbani, ujue hiyo timu mmiliki wake anatoka TANZANIA.
Kwahiyo timu kama RAJA CASABLANCA na MAMELOD SUNDOWNS ambayo itatumia TANZANIA kama sehemu ya nyumbani kwa siku chache zijazo, ujue mmiliki wake yupo TANZANIA. Sasa hii ndiyo SIASA.
Hili swali waulize WATUMISHI WA SERIKALI YA TANZANIA, mimi nipo SEKTA BINAFSI. Kwahiyo sitakuwa na jibu sahihi 😃Kama hicho kikundi kinauwezo wa kufanya lolote wameshindwa vipi kupeleka Tanzania iwe uchumi wa juu?
Soma kurasa za nyuma utaelewa vizuri, kila kitu kilishajadiliwa kwa mapana na marefu yake.Alafu wewe ulisema Chelsea inamilikiwa na watanzania sasa iweje iathirike na vita vya Ukraine?kumbe ilikuwa inamilikiwa na mrusi.wenyewe waingereza wakachukua timu yao na kuwapa Watu wengine.mpka siku ukinishawishi na ushahidi dhahiri ndo nitakuelewa.
Hiki ulichokiandika hapa ni kweli! Na hii imechagizwa na vipaumbele vya serikali kupeleka huduma za kijamii katika maeneo uliyoyataja.Alafu angalia mikoa ya mwashita na mikoa ya Mara huko ni masikini sana.
Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walihama, wengi waliobaki kwenye mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA ni WATUMISHI WA SERIKALI, WATUMISHI WA SEKTA BINAFSI na WALOWEZI waliohamia kutoka sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.Alafu unasema hao ni matajiri mimi kwangu haimake sense kwa sababu hao wasukuma na wazanaki ni masikini kwenye mikoa yao.
kama wanapesa nyingi hizo kwanini wasije wanazitumia kuwainua watanzania wenzao?
Eeh 😂hawana nchi nyingine Tanzania ni moja
Hivi nyie mmemuamini huyu jamaa?kama haya yote ingekuwa ni kweli Tanzania ingekuwa nchi kubwa sana kiuchumi kwa sababu hao Watu wasingeacha nchi yao mama kwenye huu umasikini mkubwa. Wewe umetumia na CCM kutupotosha tu.
Acha uongo unasema wenyeji wengi wa mikoa ya kanda hizo sio wenyeji.unazidi kudanganya.wenyewe wengi hapo ni wasukuma yaani mikoa yote mitatu inakaliwa kwa wingi na wasukuma.nafikiri unalipwa kupotosha na CCM ili tusimjadili Nyerere.ukweli ni kwamba yote unayoongeza hapa ni blabla.ukafika mbali ukasema buyermunich inamilikiwa na Nyerere.unajua buyermunich Munich kweli?ile ndo Ujerumani yenyewe.hawawezi kukubali nembo ya taifa imilikiwe na mgeni.ila acha nikusifie umepikwa vizuri kipropaganda upo vizuri CCM au vyombo vya usalama visifiwe upo compitent.Hiki ulichokiandika hapa ni kweli! Na hii imechagizwa na vipaumbele vya serikali kupeleka huduma za kijamii katika maeneo uliyoyataja.
Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walihama, wengi waliobaki kwenye mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA ni WATUMISHI WA SERIKALI, WATUMISHI WA SEKTA BINAFSI na WALOWEZI waliohamia kutoka sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.
Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA huwa wanabebana na kupeana ajira katika SEKTA ambazo wanamiliki wao.
Kwa mfano, huyu JESSICA MOTAUNG ni MTANZANIA kwa asili na alifanikiwa kuhamia AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] na leo hii ni msemaji wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA AFRIKA YA KUSINI inayoitwa KAIZER CHIEFS FC.
Hii KAIZER CHIEFS FC ni timu ya mpira wa miguu ambayo inamilikiwa na WATANZANIA.
Eeh [emoji23]
Wenyeji wengi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA siyo wenyeji wa asili, ndiyo maana sasa hivi shughuli nyingi za kiuchumi katika maeneo hayo zimeshikiliwa na wageni.Acha uongo unasema wenyeji wengi wa mikoa ya kanda hizo sio wenyeji.
Wengi walihama na nusu ya idadi yao, wapo nje ya nchi hususani katika TAIFA LA RWANDA. Ukitaka kuwaona, mara moja moja huwa wanakuja kutembea katika maeneo yao ya asili.unazidi kudanganya.wenyewe wengi hapo ni wasukuma yaani mikoa yote mitatu inakaliwa kwa wingi na wasukuma.
nafikiri unalipwa kupotosha na CCM ili tusimjadili Nyerere.
Sasa hivi wewe upo wapi? Na ulikuwa wapi kipindi haya yote yanafanyika? Kwa mfano, hicho kituo cha radio kinachoitwa MAGIC FM kinachopatikana nchini TANZANIA katika MKOA WA DAR ES SALAAM ndiyo kampuni mwenza wa AFRICA MAGIC inayopatikana nchini NAIJERIA katika JIJI LA LAGOS.ukweli ni kwamba yote unayoongeza hapa ni blabla.
Wewe hujui chochote katika SIASA na ukitaka kujifunza, kuwa na utayari wa kuruhusu ubongo wako kupokea vitu vipya. Usiwe "RIGID BODY".ukafika mbali ukasema buyermunich inamilikiwa na Nyerere.
Naifahamu vizuri sana! Kipindi fulani kabla ya timu ya SCHALKE 04 kushuka daraja, BAYERN MUNICH ilikuwa ni timu washindani wa SCHALKE 04.unajua buyermunich Munich kweli?
Kuwa muelewa, kwa sababu kila kitu kimeshajadiliwa katika kurasa za nyuma. Jaribu kupitia ukipata muda.ile ndo Ujerumani yenyewe.hawawezi kukubali nembo ya taifa imilikiwe na mgeni.
Mimi huwa sipo huko! Sema wewe ndiyo ulikuwa hufahamu chochote, sasa hivi unaambiwa ukweli unabaki kushangaa shangaa tu.ila acha nikusifie umepikwa vizuri kipropaganda upo vizuri CCM au vyombo vya usalama visifiwe upo compitent.
Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walishahama huko, zilibaki familia chache sana na wengi unaowaona sasa hivi ni "WALOWEZI" waliohamia kutoka sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.wenyewe wengi hapo ni wasukuma yaani mikoa yote mitatu inakaliwa kwa wingi na wasukuma.