Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

U love to stress urself.
 
aiseeehhh
Angalia hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa SIMBA COACH ambayo inapatikana MOMBASA, nchini KENYA.


Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa SIMBA COACH ina mahusiano ya moja kwa moja na kampuni ya SIMBA CORPORATION ambayo inapatikana NAIROBI, nchini KENYA.


Wamiliki halali wa kampuni inayoitwa SIMBA CORPORATION ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Pia hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa SIMBA COACH ina mahusiano ya moja kwa moja na kampuni ya SMIRNOFF inayotengeneza VODKA, nchini KENYA.


SMIRNOFF ni KINYWAJI pendwa kwa upande wa TAIFA LA KENYA na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla.


Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA walijitahidi kuwekeza katika VIWANDA.


Pia wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa kumiliki KIWANDA cha kutengeneza [...].


Hii kampuni ya [...] ni kubwa na inafanya vizuri sana kwa upande wa POMBE KALI. Yaani tunaweza kusema kwa upande wa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA - KIWANDA CHA [...] ndiyo kiwanda kilichokidhi viwango vya kimataifa kwa upande wa vinywaji.


Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA wamefanikiwa sana kujijenga KIUCHUMI.
 
Hata jina la mwandishi tu ( Paul Bjerk) ni stress tosha. Aisee kuwa book philia yataka moyo.. nikisha ona tu mwandishi anaitwa Bjerk( a Norwegian) sihangaiki hata kusoma title ya kitabu
No, you love to see small necessary intellectual pursuits as stressing oneself.

Your comment is as condescending as it is censoring.
 
aiseeehhh
Wale wamiliki halali wa kampuni inayoitwa KUGI'S baadae walikuja kufanikisha kutoa MSANII aliyekuwa anaitwa TAIO CRUZ.


TAIO CRUZ ni MSANII kutoka UINGEREZA ambaye anafanya shughuli zake nchini MAREKANI na ni MTANZANIA kwa asili.


TAIO CRUZ alitamba sana na kibao chake kilichokuwa kinaitwa "BREAK YOUR HEART" katika BILLBOARD TOP 100 ya MAREKANI.
 
Hata jina la mwandishi tu ( Paul Bjerk) ni stress tosha. Aisee kuwa book philia yataka moyo.. nikisha ona tu mwandishi anaitwa Bjerk( a Norwegian) sihangaiki hata kusoma title ya kitabu
Paul ni mtu mmoja poa sana.

Kwanza akijua umesoma kitabu chake na wewe ni Mtanzania anafurahi sana kuongea nawe, hana mashauzi kabisa. Ni wewe tu unaweza kuweka complications ambazo hazipo.

Mimi huwa naongea naye sana kumpa stories za Ikulu ya Nyerere ambazo hana, mostly anecdotes kutoka miaka ile ambayo mama yangu alifanya kazi Ikulu ya Nyerere na alivyokuwa anakuja kutuhadithia habari za Ikulu nyumbani.

Kuna siku moja, mwanzoni kabisa Mama yangu alipoanza kazi Ikulu ya Nyerere Magogoni, mama alikuja nyumbani na kutuambia kuwa siku hiyo almanusura agongane na Nyerere uso kwa uso kwenye corridors za Ikulu. Ilikuwa mambo ya kawaida tu kugongana na bosi wako kwenye corridors za kazini.

Mama akafikiri kwamba Nyerere angemkaripia sana, akamkuta Nyerere ndiyo kwanza alikuwa so concerned kuhusu hali yake mama yangu, hakumkaripia, hakumtukana, he was the perfect gentleman concerned for my mother's well being.

Mama yangu alishangaa sana, kwa sababu alikuwa anafikiri Nyerere ni mtu mkali sana, lakini baada ya almanusura ile, alimuona kuwa ni muungwana anayejielewa ambaye cheo chake cha uraisi hakikumvimbisha kichwa, aliweza kuheshimu staff wake wa Ikulu, licha ya kuwa rais mwenye jina kubwa.

Nili9ngea na Paul Bjerk kuhusu kisa hiki, na yeye aliniambia watu wengi sana wa Ikulu wamempa stories kama hizi.
 
Very interesting. Ngoja nipakue kitabu chake nikisome. I hope he doesn't talk about ujamaa etc
 
aiseeehhh
Wenzenu waliotambua haya mambo mapema waliamua kujijenga kuanzia ngazi ya FAMILIA. Halafu baadae wakaendelea kusaidia jamii zao na wamepiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo.

Hawa WATU huwa hawana ule UJANJA UJANJA, yale MAISHA YA KITAPELI TAPELI huwa hawana, ndiyo maana wanazidi kufanikiwa kila siku.


Yaani wametulia kama hawapo na hauwezi kuwasikia kwenye masuala ya kijamii ambayo yatachafua taswira zao. Hao ndiyo hawa Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu.
 
familia gan hizo
Ni wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA.


Hawa WATU wana hela mpaka leo, halafu wametulia kama hawapo na ukitaka kuona tofauti - jaribu kuangalia viongozi wastaafu wa CHAMA TAWALA pamoja na SERIKALI.

Viongozi wastaafu wa CHAMA TAWALA pamoja na SERIKALI ni kama "CEREMONIAL LEADERS" na hawana chochote ukilinganisha na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA.

Kuna viongozi wastaafu walikuwa wanapigiwa VING'ORA, lakini leo waliowaacha wanaomba misaada kwenye vituo vya televisheni. Baadhi ya viongozi wanapeleka watoto wao kwenye MAJESHI ili kuficha aibu, wanaenda kuwa WAJEDA. Sasa "which is which" .. 😂😂😂
 
familia gan hizo
Sasa hivi ukienda UGANDA, kila wilaya kuna familia ya wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Ukienda pale KIKUNGIRI, maeneo ya KABALE kuna familia za KITANZANIA kutoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Ukienda pale maeneo yanayozunguka ZIWA BUNYONYI, pia kuna familia za KITANZANIA kutoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA. Yaani wametapakaa kila wilaya ya UGANDA.


Sasa hivi kuna KUNDI LA MUZIKI LA KATALEYA & KANDLE ambalo linachipukia na linafanya vizuri nchini UGANDA. Hawa ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.


Kwahiyo haya mambo hayakutokea kwa bahati mbaya, ni dhamira ya dhati ambayo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliamua kuishi.
 
aiseeehhh
Pale MWANZA kipindi MASHCOOL zinahama na kuhamia nchini KENYA, mwaka 1992 - zilikuwa zinaenda na kurudi KENYA huku zikiwa zimebeba watu kwa muda wa wiki.


Zilikuwa zinatembea kama zinakwenda kwenye SHEREHE YA HARUSI na wenyeji wengi wa MWANZA waliondoka na kuhamia KENYA.


Huyu ni mzaliwa wa MWANZA na wazazi walihamia nchini KENYA kipindi kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MASHCOOL inahamia nchini KENYA.


Huyu mama sasa hivi yupo MAREKANI, baada ya kufika KISUMU nchini KENYA alipata fursa na kuhamia MAREKANI, yeye pamoja na familia yake.


Hawa ni WATOTO pamoja na wajukuu zake, wote wapo MAREKANI na wanapata stahiki zote kama RAIA WA KIMAREKANI.


Sasa hivi wenyeji wengi wa MWANZA ni wageni au kwa lugha nyingine tunaweza kusema ni waahamiaji, wengi waliondoka na kuhamia sehemu mbalimbali.
 

Ndiyo maana hiki CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM, ukiwa UINGEREZA huwa kinatambulika kama "CONGRESS PARTY" na siyo "REVOLUTIONARY PARTY" kama WATANZANIA wengi wanavyojaribu kutohoa kwa LUGHA YA KIINGEREZA.
 
Hope ata kwenye issues ya bandari dp kuna migongano kati Chui na simba...
 
Hope ata kwenye issues ya bandari dp kuna migongano kati Chui na simba...

DP WORLD ni SERIKALI YA TANZANIA na WAWEKEZAJI kuhusu usimamizi wa BANDARI YA DAR ES SALAAM. Hawa JAMII YA MWASHITA wataendelea kuwepo na kushikilia SEKTA YA USAFIRISHAJI WA MIZIGO kwa upande wa BANDARI YA DAR ES SALAAM kwa muda wa kipindi kirefu sana.


Yaani hawa JAMII YA MWASHITA wanamiliki kampuni nyingi za usafirishaji wa mizigo ambazo zinafanya shughuli zake za kibiashara katika BANDARI YA DAR ES SALAAM.
 
Aisee.... Wamependeza na mitumba grade A

View attachment 2743639
Hao ndiyo MWANZA MWANZA ambao wazazi wao walihamia nchini UGANDA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Kipindi hicho KUHAMA HAMA ndiyo ilikuwa habari ya mjini ambapo wenyeji wengi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa wanayahama maeneo yao ya asili.


Pale STENDI YA TANGANYIKA hizi gari zilikuwa zinabeba watu na kupeleka MATAIFA YA KENYA na UGANDA ambapo ndiyo wakazi wengi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walipohamia.
 
Aisee.... Wamependeza na mitumba grade A

View attachment 2743639
Wengine walifanikiwa kuhamia AFRIKA YA KUSINI na baadhi ya watoto waliozaliwa wanacheza mpira kwenye timu za AMAZULU UNITED, CHIPPA UNITED, SUPER SPORTS, MAMELOD SUNDOWNS, KAIZER CHIEFS pamoja na ORLANDO PIRATES zinazoshiriki LIGI KUU YA AFRIKA YA KUSINI.


Huyu ni MWANZA MWANZA na wapo vijana wengi nchini AFRIKA YA KUSINI ambao walihama kutoka MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA.


SOWETO DERBY ya AFRIKA YA KUSINI ni kama ilivyo kwa KARIAKOO DERBY ya TANZANIA. Wacheza mpira weusi wote ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

Kwahiyo wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walishawaacha tangu siku nyingi na walifanikiwa kutumia uwingi wao vizuri.
 
Hope ata kwenye issues ya bandari dp kuna migongano kati Chui na simba...
JAMII YA MWASHITA wamejijenga sana KIUCHUMI, hao wengine walipewa nafasi kama wasimamizi wa SERIKALI tangu TANGANYIKA inapata uhuru wake kutoka kwa UINGEREZA, lakini kiuhalisia hawana chochote ukilinganisha na JAMII YA MWASHITA.


CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kina wenyewe na wenyewe ni UINGEREZA. Hawa wengine ni washereheshaji, lakini wenye SHEREHE wapo! Hata wewe mwenyewe ukikaa vizuri unaweza kufanikiwa kuwa MWENYEKITI WA CHAMA kwa siku za mbeleni.


Jaribu kutizama hii ramani ambayo inaonesha MATAIFA ambayo hayana bandari katika BARA LA AFRIKA, yaani LAND LOCKED COUNTRIES.


Sasa kwa kuangalia hii ramani, kuanzia MATAIFA YA ETHIOPIA na SUDANI YA KUSINI hadi MATAIFA YA KUSINI MWA AFRIKA, pote wamewekeza sekta ya usafirishaji wa mizigo.


Kipindi ambapo walianza kuingia katika TAIFA LA ZAMBIA - SERIKALI YA ZAMBIA walishangaa sana! Kwanini hii JAMII YA MWASHITA wanatumia gharama kubwa kuwekeza katika sekta ya usafirishaji kuliko kuwekeza katika sekta tofauti tofauti ambazo ni "Sustainable".


Baadae katika miaka ya elfu mbili na saba [2007's] - wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa kujenga CHUO KIKUU CHA LUSAKA [UNILUS].


Sasa hivi hawa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejitahidi kuwekeza katika bandari ya PORT ELIZABETH, nchini AFRIKA YA KUSINI.


Hii kampuni ya COOLINE LOGISTICS ni kampuni ambayo inafanya shughuli zake za kibiashara nchini AFRIKA YA KUSINI katika bandari ya PORT ELIZABETH na ni kampuni mwenza wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MASHCOOL inayopatikana nchini KENYA.


Kwahiyo wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejitahidi kuwekeza kwenye SEKTA YA USAFIRISHAJI WA MIZIGO NA ABIRIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…