Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Kambona alikuwa Katibu Mkuu wa TANU anayehubiri Ujamaa kwa muda mrefu sana.

Wanaosema alipingana na Nyerere kwa sababu ya Ujamaa inabidi waje na detail zaidi.

Kambona deserves his own book. But I did learn a lot regarding this period from Paul Bjerk's "Building A Peaceful Nation: Julius Nyerere And The Establishment of Tanzania 1960-1964".
U love to stress urself.
 
aiseeehhh
Angalia hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa SIMBA COACH ambayo inapatikana MOMBASA, nchini KENYA.

e4da516d7a3c31dcf4edf872cef8cab4.png

Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa SIMBA COACH ina mahusiano ya moja kwa moja na kampuni ya SIMBA CORPORATION ambayo inapatikana NAIROBI, nchini KENYA.

IMG-20230902-WA0000.jpg

Wamiliki halali wa kampuni inayoitwa SIMBA CORPORATION ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

IMG-20230616-WA0001.jpg

Pia hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa SIMBA COACH ina mahusiano ya moja kwa moja na kampuni ya SMIRNOFF inayotengeneza VODKA, nchini KENYA.

IMG_20230902_145431.jpg

SMIRNOFF ni KINYWAJI pendwa kwa upande wa TAIFA LA KENYA na AFRIKA YA MASHARIKI kwa ujumla.

3c06c91950056e7039fa75474c9f9064.png

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA walijitahidi kuwekeza katika VIWANDA.

82bb7a591e3e50434655bf68acdd3fe1.png

Pia wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa kumiliki KIWANDA cha kutengeneza [...].

_20230902_155010.JPG

Hii kampuni ya [...] ni kubwa na inafanya vizuri sana kwa upande wa POMBE KALI. Yaani tunaweza kusema kwa upande wa wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA - KIWANDA CHA [...] ndiyo kiwanda kilichokidhi viwango vya kimataifa kwa upande wa vinywaji.

_20230902_155035.JPG

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA wamefanikiwa sana kujijenga KIUCHUMI.
 
Hata jina la mwandishi tu ( Paul Bjerk) ni stress tosha. Aisee kuwa book philia yataka moyo.. nikisha ona tu mwandishi anaitwa Bjerk( a Norwegian) sihangaiki hata kusoma title ya kitabu
No, you love to see small necessary intellectual pursuits as stressing oneself.

Your comment is as condescending as it is censoring.
 
aiseeehhh
Wale wamiliki halali wa kampuni inayoitwa KUGI'S baadae walikuja kufanikisha kutoa MSANII aliyekuwa anaitwa TAIO CRUZ.

IMG-20230902-WA0002.jpg

TAIO CRUZ ni MSANII kutoka UINGEREZA ambaye anafanya shughuli zake nchini MAREKANI na ni MTANZANIA kwa asili.

IMG-20230902-WA0001.jpg

TAIO CRUZ alitamba sana na kibao chake kilichokuwa kinaitwa "BREAK YOUR HEART" katika BILLBOARD TOP 100 ya MAREKANI.
 
Hata jina la mwandishi tu ( Paul Bjerk) ni stress tosha. Aisee kuwa book philia yataka moyo.. nikisha ona tu mwandishi anaitwa Bjerk( a Norwegian) sihangaiki hata kusoma title ya kitabu
Paul ni mtu mmoja poa sana.

Kwanza akijua umesoma kitabu chake na wewe ni Mtanzania anafurahi sana kuongea nawe, hana mashauzi kabisa. Ni wewe tu unaweza kuweka complications ambazo hazipo.

Mimi huwa naongea naye sana kumpa stories za Ikulu ya Nyerere ambazo hana, mostly anecdotes kutoka miaka ile ambayo mama yangu alifanya kazi Ikulu ya Nyerere na alivyokuwa anakuja kutuhadithia habari za Ikulu nyumbani.

Kuna siku moja, mwanzoni kabisa Mama yangu alipoanza kazi Ikulu ya Nyerere Magogoni, mama alikuja nyumbani na kutuambia kuwa siku hiyo almanusura agongane na Nyerere uso kwa uso kwenye corridors za Ikulu. Ilikuwa mambo ya kawaida tu kugongana na bosi wako kwenye corridors za kazini.

Mama akafikiri kwamba Nyerere angemkaripia sana, akamkuta Nyerere ndiyo kwanza alikuwa so concerned kuhusu hali yake mama yangu, hakumkaripia, hakumtukana, he was the perfect gentleman concerned for my mother's well being.

Mama yangu alishangaa sana, kwa sababu alikuwa anafikiri Nyerere ni mtu mkali sana, lakini baada ya almanusura ile, alimuona kuwa ni muungwana anayejielewa ambaye cheo chake cha uraisi hakikumvimbisha kichwa, aliweza kuheshimu staff wake wa Ikulu, licha ya kuwa rais mwenye jina kubwa.

Nili9ngea na Paul Bjerk kuhusu kisa hiki, na yeye aliniambia watu wengi sana wa Ikulu wamempa stories kama hizi.
 
Very interesting. Ngoja nipakue kitabu chake nikisome. I hope he doesn't talk about ujamaa etc
Paul ni mtu mmoja poa sana.

Kwanza akijua umesoma kitabu chake na wewe ni Mtanzania anafurahi sana kuongea nawe, hana mashauzi kabisa. Ni wewe tu unaweza kuweka complications ambazo hazipo.

Mimi huwa naongea naye sana kumpa stories za Ikulu ya Nyerere ambazo hana, mostly anecdotes kutoka miaka ile ambayo mama yangu alifanya kazi Ikulu ya Nyerere na alivyokuwa anakuja kutuhadithia habari za Ikulu nyumbani.

Kuna siku moja, mwanzoni kabisa Mama yangu alipoanza kazi Ikulu ya Nyerere Magogoni, mama alikuja nyumbani na kutuambia kuwa siku hiyo almanusura agongane na Nyerere uso kwa uso kwenye corridors za Ikulu. Ilikuwa mambo ya kawaida tu kugongana na bosi wako kwenye corridors za kazini.

Mama akafikiri kwamba Nyerere angemkaripia sana, akamkuta Nyerere ndiyo kwanza alikuwa so concerned kuhusu hali yake mama yangu, hakumkaripia, hakumtukana, he was the perfect gentleman concerned for my mother's well being.

Mama yangu alishangaa sana, kwa sababu alikuwa anafikiri Nyerere ni mtu mkali sana, lakini baada ya almanusura ile, alimuona kuwa ni muungwana anayejielewa ambaye cheo chake cha uraisi hakikumvimbisha kichwa, aliweza kuheshimu staff wake wa Ikulu, licha ya kuwa rais mwenye jina kubwa.

Nili9ngea na Paul Bjerk kuhusu kisa hiki, na yeye aliniambia watu wengi sana wa Ikulu wamempa stories kama hizi.
 
aiseeehhh
Wenzenu waliotambua haya mambo mapema waliamua kujijenga kuanzia ngazi ya FAMILIA. Halafu baadae wakaendelea kusaidia jamii zao na wamepiga hatua kubwa sana ya kimaendeleo.

Hawa WATU huwa hawana ule UJANJA UJANJA, yale MAISHA YA KITAPELI TAPELI huwa hawana, ndiyo maana wanazidi kufanikiwa kila siku.

367c9f02e0eb617a57e32aaec390d7b5.png

Yaani wametulia kama hawapo na hauwezi kuwasikia kwenye masuala ya kijamii ambayo yatachafua taswira zao. Hao ndiyo hawa Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu.
 
familia gan hizo
Ni wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA.

1bf7cb56e069e0902963212579db12a8.png

Hawa WATU wana hela mpaka leo, halafu wametulia kama hawapo na ukitaka kuona tofauti - jaribu kuangalia viongozi wastaafu wa CHAMA TAWALA pamoja na SERIKALI.

Viongozi wastaafu wa CHAMA TAWALA pamoja na SERIKALI ni kama "CEREMONIAL LEADERS" na hawana chochote ukilinganisha na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA pamoja na KAGERA.

Kuna viongozi wastaafu walikuwa wanapigiwa VING'ORA, lakini leo waliowaacha wanaomba misaada kwenye vituo vya televisheni. Baadhi ya viongozi wanapeleka watoto wao kwenye MAJESHI ili kuficha aibu, wanaenda kuwa WAJEDA. Sasa "which is which" .. 😂😂😂
 
familia gan hizo
Sasa hivi ukienda UGANDA, kila wilaya kuna familia ya wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

4e164222cf2ad4ae24beafa8debad4ab.png

Ukienda pale KIKUNGIRI, maeneo ya KABALE kuna familia za KITANZANIA kutoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

7205e5e0ba146ae3887511272e39aa25.png

Ukienda pale maeneo yanayozunguka ZIWA BUNYONYI, pia kuna familia za KITANZANIA kutoka ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA. Yaani wametapakaa kila wilaya ya UGANDA.

a9c8cc5e8025e06e9436c29b007c416f.png

Sasa hivi kuna KUNDI LA MUZIKI LA KATALEYA & KANDLE ambalo linachipukia na linafanya vizuri nchini UGANDA. Hawa ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

0eadea8e16f9a815c1d3cead2e9e54ae.png

Kwahiyo haya mambo hayakutokea kwa bahati mbaya, ni dhamira ya dhati ambayo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliamua kuishi.
 
aiseeehhh
Pale MWANZA kipindi MASHCOOL zinahama na kuhamia nchini KENYA, mwaka 1992 - zilikuwa zinaenda na kurudi KENYA huku zikiwa zimebeba watu kwa muda wa wiki.

f5c35f943089e644ab1d7d808673c05e(1).png

Zilikuwa zinatembea kama zinakwenda kwenye SHEREHE YA HARUSI na wenyeji wengi wa MWANZA waliondoka na kuhamia KENYA.

bff31c46f120157835523e6b26bb5b2e.png

Huyu ni mzaliwa wa MWANZA na wazazi walihamia nchini KENYA kipindi kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MASHCOOL inahamia nchini KENYA.

654e57d9cad5757b0bce14b4ef0bde85.png

Huyu mama sasa hivi yupo MAREKANI, baada ya kufika KISUMU nchini KENYA alipata fursa na kuhamia MAREKANI, yeye pamoja na familia yake.

34a24025d77b54f770f3e960efd658c0.png

Hawa ni WATOTO pamoja na wajukuu zake, wote wapo MAREKANI na wanapata stahiki zote kama RAIA WA KIMAREKANI.

4e7ac8e37f9e41ba88e164423e4bc2ae.png

Sasa hivi wenyeji wengi wa MWANZA ni wageni au kwa lugha nyingine tunaweza kusema ni waahamiaji, wengi waliondoka na kuhamia sehemu mbalimbali.
 
Sasa jaribu kuangalia picha za WENYEVITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1964 hadi mwaka 2022.

Kwahiyo ukiondoa JAMII YA SERENGETI yaani CHUI, kuna JAMII YA WATU WA PWANI. Hii JAMII YA WATU WA PWANI imejijenga sana kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️.

Hii JAMII YA WATU WA PWANI imejijenga sana na hao VIONGOZI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR wana mchango mkubwa sana kwa JAMII wanayotoka.

Kuanzia kwa Sheikh ABEID AMANI KARUME aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1964 hadi mwaka 1972.

Halafu akafuatia Sheikh MWINYI ABOUD JUMBE aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1972 hadi mwaka 1984.

Halafu akafuatia ALI HASSAN MWINYI aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1984 hadi mwaka 1985.

Halafu akafuatia IDRIS ABDUL WAKIL aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1985 hadi mwaka 1990.

Halafu akafuatia SALMIN AMOUR aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 1990 hadi mwaka 2000.

Halafu akafuatia AMANI ABEID KARUME aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 2000 hadi mwaka 2010.

Halafu akafuatia ALI MOHAMMED SHEIN aliyekuwa MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 2010 hadi mwaka 2020.

Halafu akafuatia HUSSEIN ALI MWINYI ambaye ndiye MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI ZANZIBAR kuanzia mwaka 2020 hadi hivi sasa.

Kwahiyo SIASA ZA ZANZIBAR zimetawaliwa na FAMILIA hizo hapo juu na tutegemee kwa siku za usoni tutaona WATOTO au UBINI wa VIONGOZI wengine waliopita kama Sheikh MWINYI ABOUD JUMBE au IDRIS ABDUL WAKIL au SALMIN AMOUR au hata ALI MOHAMMED SHEIN. Hizo FAMILIA ndio wanamiliki nguvu kubwa ya KISIASA na KIUCHUMI kwa upande wa VISIWA VYA ZANZIBAR.

Vile vile hii JAMII YA WATU WA PWANI ilifanikiwa kutoa VIONGOZI WA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿 kwa nyakati tofauti tofauti. VIONGOZI hao ni ALI HASSAN MWINYI, HAYATI BENJAMIN WILLIAM MKAPA, JAKAYA MRISHO KIKWETE na hatimae MAMA SAMIA SULUHU HASSAN ambaye ndiye RAIS WA AWAMU YA SITA WA SERIKALI YA TANZANIA 🇹🇿.

Hii JAMII YA WATU WA PWANI imejijenga sana kupitia CHAMA CHA MAPINDUZI - CCM ⚒️ na wamefanikiwa kuwa na nguvu kubwa ya KISIASA na KIUCHUMI.

Hizi FAMILIA za kina Sheikh HAYATI ABEID AMANI KARUME, Sheikh MWINYI ABOUD JUMBE, ALI HASSAN MWINYI, IDRIS ABDUL WAKIL, SALMIN AMOUR, ALI MOHAMMED SHEIN, BENJAMIN WILLIAM MKAPA, JAKAYA MRISHO KIKWETE na hatimae MAMA SAMIA SULUHU HASSAN, hawa wote wameingia kwenye kundi la "ELITE FAMILIES" na wamejumuika pamoja na FAMILIA ZA HAYATI MWALIMU pamoja na HAYATI MAGUFULI kwa mbali sana.

Sasa hii JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wanafuata MTINDO NA MAISHA YA WATAWALA kwa kutumia jitihada zao BINAFSI. Kwa lugha nyingine tunaweza kuwaita ni WAPAMBANAJI na wamefanikiwa pakubwa sana.

Hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wanamiliki UKWASI wa kutosha!! Kiasi ambacho kinakadiliwa kuwa ni kuanzia shilingi bilioni hamsini [ 50,000,000,000 ] kwa kila mfanyakazi kuanzia CHEO CHA UMENEJA.

Na hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wanamiliki VYAMA VYA KISIASA ambavyo kwa kiasi fulani vinashiriki CHAGUZI mbalimbali na kufanikiwa kuunda SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA kwa upande wa ZANZIBAR.

Na hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU ndio walioshiriki kwa kiasi kikubwa SIASA ZA MAZIWA MAKUU yaani WAINGEREZA 🇬🇧 wanaita ni GREAT LAKES POLITICS zilizojumuisha MATAIFA YA KONGO 🇨🇩, BURUNDI 🇧🇮 na RWANDA 🇷🇼.



SIASA ZA MAZIWA MAKUU ndio zilizopelekea MATAIFA ya RWANDA 🇷🇼 na BURUNDI 🇧🇮 kuingia kwenye MACHAFUKO YA KISIASA, lakini sasa hivi HALI YA KISIASA imetulia na haya MATAIFA yanaendelea vizuri kwenye masuala ya kimaendeleo.


Hawa JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kwenye SIASA ZA MAZIWA MAKUU, kiasi ambacho kinawafanya wasiwekeze nguvu kubwa kwenye VYAMA VYA KISIASA ambavyo wanamiliki kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA 🇹🇿.

Kwahiyo, hizi JAMII TATU zikiongozwa na JAMII YA SERENGETI yaani CHUI ambayo ndio anatoka HAYATI MWALIMU mwenyewe, ikifuatiwa na JAMII YA MWASHITA yaani SIMBA 🦁 ambao ndio waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VYA USHIRIKA vya NCU, SHIRECU na WETCU na JAMII YA WATU WA PWANI, hizi JAMII TATU ndio JAMII ambazo zinamiliki nguvu kubwa ya KISIASA na KIUCHUMI na kwa kutumia lugha nyingine huwa wanaitwa ni MAFIGA MATATU.


Ndiyo maana hiki CHAMA CHA MAPINDUZI yaani CCM, ukiwa UINGEREZA huwa kinatambulika kama "CONGRESS PARTY" na siyo "REVOLUTIONARY PARTY" kama WATANZANIA wengi wanavyojaribu kutohoa kwa LUGHA YA KIINGEREZA.
 
Hope ata kwenye issues ya bandari dp kuna migongano kati Chui na simba...
 
Hope ata kwenye issues ya bandari dp kuna migongano kati Chui na simba...
aca4b3153f58ceee9f2ac53e67da39d2.png

DP WORLD ni SERIKALI YA TANZANIA na WAWEKEZAJI kuhusu usimamizi wa BANDARI YA DAR ES SALAAM. Hawa JAMII YA MWASHITA wataendelea kuwepo na kushikilia SEKTA YA USAFIRISHAJI WA MIZIGO kwa upande wa BANDARI YA DAR ES SALAAM kwa muda wa kipindi kirefu sana.

c3549579f4a2fbff75a22129a2a23c05.png

Yaani hawa JAMII YA MWASHITA wanamiliki kampuni nyingi za usafirishaji wa mizigo ambazo zinafanya shughuli zake za kibiashara katika BANDARI YA DAR ES SALAAM.
 
Aisee.... Wamependeza na mitumba grade A

View attachment 2743639
Hao ndiyo MWANZA MWANZA ambao wazazi wao walihamia nchini UGANDA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

b765bc93e977d2b30c909c2962cedc0c(1).png

Kipindi hicho KUHAMA HAMA ndiyo ilikuwa habari ya mjini ambapo wenyeji wengi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walikuwa wanayahama maeneo yao ya asili.

6dc01299a08991ad0c68aa7b0456122f.png

Pale STENDI YA TANGANYIKA hizi gari zilikuwa zinabeba watu na kupeleka MATAIFA YA KENYA na UGANDA ambapo ndiyo wakazi wengi wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walipohamia.
 
Aisee.... Wamependeza na mitumba grade A

View attachment 2743639
Wengine walifanikiwa kuhamia AFRIKA YA KUSINI na baadhi ya watoto waliozaliwa wanacheza mpira kwenye timu za AMAZULU UNITED, CHIPPA UNITED, SUPER SPORTS, MAMELOD SUNDOWNS, KAIZER CHIEFS pamoja na ORLANDO PIRATES zinazoshiriki LIGI KUU YA AFRIKA YA KUSINI.

87a5cdac0e16f880f1356a2de66e7283.png

Huyu ni MWANZA MWANZA na wapo vijana wengi nchini AFRIKA YA KUSINI ambao walihama kutoka MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA.

763ff41298287abd41ce54d403f465fb.png

SOWETO DERBY ya AFRIKA YA KUSINI ni kama ilivyo kwa KARIAKOO DERBY ya TANZANIA. Wacheza mpira weusi wote ni wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

Kwahiyo wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walishawaacha tangu siku nyingi na walifanikiwa kutumia uwingi wao vizuri.
 
Hope ata kwenye issues ya bandari dp kuna migongano kati Chui na simba...
JAMII YA MWASHITA wamejijenga sana KIUCHUMI, hao wengine walipewa nafasi kama wasimamizi wa SERIKALI tangu TANGANYIKA inapata uhuru wake kutoka kwa UINGEREZA, lakini kiuhalisia hawana chochote ukilinganisha na JAMII YA MWASHITA.

689e23d8bd96424af01e5d4ada5cd565.png

CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kina wenyewe na wenyewe ni UINGEREZA. Hawa wengine ni washereheshaji, lakini wenye SHEREHE wapo! Hata wewe mwenyewe ukikaa vizuri unaweza kufanikiwa kuwa MWENYEKITI WA CHAMA kwa siku za mbeleni.

0e0719c2d6ba2811a8a16f795c226901.png

Jaribu kutizama hii ramani ambayo inaonesha MATAIFA ambayo hayana bandari katika BARA LA AFRIKA, yaani LAND LOCKED COUNTRIES.

a22ad1dc6a1bfa015b4f8b3931ad29ed.png

Sasa kwa kuangalia hii ramani, kuanzia MATAIFA YA ETHIOPIA na SUDANI YA KUSINI hadi MATAIFA YA KUSINI MWA AFRIKA, pote wamewekeza sekta ya usafirishaji wa mizigo.

f91afeaea146c330b9948eed1e20ba77.png

Kipindi ambapo walianza kuingia katika TAIFA LA ZAMBIA - SERIKALI YA ZAMBIA walishangaa sana! Kwanini hii JAMII YA MWASHITA wanatumia gharama kubwa kuwekeza katika sekta ya usafirishaji kuliko kuwekeza katika sekta tofauti tofauti ambazo ni "Sustainable".

656e9ec1cd76f928e1adba3fb7d53b17.png

Baadae katika miaka ya elfu mbili na saba [2007's] - wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa kujenga CHUO KIKUU CHA LUSAKA [UNILUS].

fea3f6d4f5ef497845ec82d3c8a3c6b1.png

Sasa hivi hawa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejitahidi kuwekeza katika bandari ya PORT ELIZABETH, nchini AFRIKA YA KUSINI.

bd4b2385215336869e74dd80c28f34d3.png

Hii kampuni ya COOLINE LOGISTICS ni kampuni ambayo inafanya shughuli zake za kibiashara nchini AFRIKA YA KUSINI katika bandari ya PORT ELIZABETH na ni kampuni mwenza wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MASHCOOL inayopatikana nchini KENYA.

4debd53e3a3d530828cc063e186cba78.png

Kwahiyo wale wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejitahidi kuwekeza kwenye SEKTA YA USAFIRISHAJI WA MIZIGO NA ABIRIA.
 
Back
Top Bottom