Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
Kipindi hiki cha mwaka 1995/96 ambacho kima cha chini cha mshahara kwa TANZANIA BARA kilipandishwa kutoka shilingi 10,000 hadi kufikia shilingi 17,500 kwa mwezi - kuna mfanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU] alifanikiwa kuhamisha shilingi 300,000,000 za CHAMA CHA USHIRIKA.
Pia hiki kipindi cha mwaka 1995/96 - pale SHINYANGA MJINI kulikuwa kuna kampuni maarufu sana kwa kipindi kile iliyokuwa inayoitwa DUMCO na FRESHO. Kipindi hicho kampuni ya DUMCO ndiyo waliokuwa wadhamini wa timu ya mpira wa miguu iliyokuwa inaitwa MEDICAL FC na pale MWANZA MJINI kulikuwa kuna kampuni iliyokuwa inaitwa DUCOR.
Hii kampuni ya DUCOR ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa CONVOY HAULAGE inayopatikana nchini TANZANIA katika MKOA WA MWANZA.
Sasa baada ya upotevu wa kiasi cha shilingi 300,000,000 katika CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU] kulianzishwa kampuni kubwa kuliko DUMCO na DUCOR iliyokuwa inapatikana nchini KENYA.
Kampuni hiyo iliitwa BIDCO na ilikuwa inapatikana nchini KENYA kwa mara ya kwanza kabla ya kusambaa sehemu mbalimbali katika MATAIFA YA AFRIKA.
Hii kampuni ya BIDCO ni kampuni kubwa na inamilikiwa na mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] na CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU] kwa nyakati tofauti tofauti.
Hii kampuni ya BIDCO ni kampuni ambayo imeajiri WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].
Hii kampuni ya BIDCO, pia inapatikana katika TAIFA LA UGANDA na wamejitahidi kuwekeza sana katika SEKTA YA VIWANDA.
Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini UGANDA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] na wanafanya kazi katika kampuni ya BIDCO.
Hawa pia ni wafanyakazi wa kampuni ya BIDCO ambao kwa namna moja ama nyingine huwa wanapatikana nchini KENYA na UGANDA.
Hii kampuni ya BIDCO huwa inapata tuzo nyingi katika majukwaa ya kibiashara.
Bidhaa za BIDCO zinafanya vizuri kwa huu ukanda wa AFRIKA YA MASHARIKI.
Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wataendelea kuwa vizuri KIUCHUMI.