Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
e28cf95624ee8c92fb44287485ac4b61.png

Anayemiliki kampuni ya KADIR TRANS inayopatikana ISTANBUL, nchini UTURUKI yupo TANZANIA.

_20231130_173021.JPG

Hawa hauwezi ukawafananisha na WANASIASA waliopita na hata WANASIASA wa sasa, kwa sababu hawa wanamiliki UCHUMI wao.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
Ukiachana na kampuni ya BIMBO GROUP, pia kuna kampuni inayoitwa LALA.

808518d07a8513d96e0064167a6bfa49.png

Hii kampuni inayoitwa LALA inapatikana nchini MEXICO na kampuni maarufu sana kwa kutengeneza YOGURT.

37fcf0c8c95ca73d7561e2838d72957c.png

Hii kampuni inamilikiwa na mmoja wa wafanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] ambaye alikuwa anafanya kazi katika kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

fa9a8a707c9e0fbe4e6f9fb035c51fea.png

Hii kampuni ya LALA, kama ilivyo kwa kampuni ya BIMBO GROUP - kuna mabinti waliozaliwa kipindi cha miaka ya tisini [1990's] hadi elfu mbili [2000's] walipewa jina la LALA.

02bddb9937289cf1078467010a6d7163.png

Mabinti wengi ambao wanaitwa LALA ni mabinti ambao ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na waliitwa hilo jina kutokana na mmoja wao kumiliki kampuni ya LALA inayopatikana nchini MEXICO.

7dd21aaafb978b1c748366761dda1762.png

Huyu binti anaitwa LALA ni MTANZANIA kwa asili ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA.

15e797118bb0246be0f146ef0aad2e71.png

Hata huyu binti anayeitwa LALA MILLAN ni MTANZANIA kwa asili ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini MAREKANI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA.

7b63d73e404ed09327ae36ad68911af7.png

Kwahiyo hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamejitahidi sana kuwekeza nje ya nchi.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.

au Ni mental case

PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]
Soma tena posti namba 1620 na posti namba 1621 - mwenye hiyo gari ndiyo mmiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI YA BUNDESLIGA 2 nchini UJERUMANI.

4a4f7c88dee0a41f227df6d79b97cea6.png

Hiyo gari inayoonekana kwa upande wa nyuma, ndiyo hii hapa ambayo kwa namna moja ama nyingine inapatikana nchini TANZANIA.

_20231130_173021.JPG

Mmiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI YA BUNDESLIGA 2 yupo TANZANIA na anaishi TANZANIA.

75434f05f0dcb77c2d32c099eaa6d6c1.png

Hii timu ya HAMBURGER SV inayoshiriki LIGI YA BUNDESLIGA 2 inafanya vizuri na msimu ujao inaweza kupanda LIGI KUU YA BUNDESLIGA.

6a00acfe69be92926f902f623a6ce179.png

Kwahiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA hauwezi kuwasikia wanapitia matatizo ya kiuchumi kama wanasiasa wengine.

6828c09ffc0eb9c1d9c17453f3e17a40.png

Hawa wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI YA BUNDESLIGA 2 inayoitwa HAMBURGER SV, mikopo huwa wanasoma kwenye VITABU na kusikia kwa watu - kwa sababu WAINGEREZA wanaamini kwamba sifa ya kwanza ya kuwa "ROYAL FAMILY" ni kutokuwa na MADENI na kuishi unavyojisikia yaani "LIBERTY".
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.

au Ni mental case

PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]
36c43948904e3d911c04f87e0dc73ccf.png

Wamiliki halali wa kampuni inayoitwa EASY TRAVEL AND TOURS LIMITED ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa MULTICHOICE.

IMG_20231203_110015.jpg

Hii kampuni ya MULTICHOICE inapatikana nchini AFRIKA YA KUSINI na ilianzishwa kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

IMG_20231203_105958.jpg

MULTICHOICE ni kampuni kubwa inayopatikana KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA na imeajiri WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini AFRIKA YA KUSINI.

IMG_20231203_105935.jpg

Hawa wote ni miongoni mwa WATANZANIA waliohamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA NA TABORA yaani MWASHITA.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.

au Ni mental case

PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]
Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walisambaa na waliobaki katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ni WALOWEZI.

IMG_20231203_162142.jpg

Hawa wote ni miongoni mwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini ZIMBABWE na wanafanya kazi katika BONDE LA HONDE.

IMG_20231203_162108.jpg

BONDE LA HONDE linapatikana EASTERN HIGHLANDS kwa upande wa TAIFA LA ZIMBABWE na wanasifika kwa shughuli ya kilimo.

IMG_20231203_164156.jpg

Hawa wote ni miongoni mwa WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini ZIMBABWE.

IMG_20231203_164123.jpg

Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa MUSANGANO HOTEL inayopatikana MUTARE, ZIMBABWE.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
IMG_20231123_220446.png

Kipindi hiki cha mwaka 1995/96 ambacho kima cha chini cha mshahara kwa TANZANIA BARA kilipandishwa kutoka shilingi 10,000 hadi kufikia shilingi 17,500 kwa mwezi - kuna mfanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU] alifanikiwa kuhamisha shilingi 300,000,000 za CHAMA CHA USHIRIKA.

41f938b6689774be2c632b3046aee98b.png

Pia hiki kipindi cha mwaka 1995/96 - pale SHINYANGA MJINI kulikuwa kuna kampuni maarufu sana kwa kipindi kile iliyokuwa inayoitwa DUMCO na FRESHO. Kipindi hicho kampuni ya DUMCO ndiyo waliokuwa wadhamini wa timu ya mpira wa miguu iliyokuwa inaitwa MEDICAL FC na pale MWANZA MJINI kulikuwa kuna kampuni iliyokuwa inaitwa DUCOR.

575a63f4764613959bd539820ca80083.png

Hii kampuni ya DUCOR ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa CONVOY HAULAGE inayopatikana nchini TANZANIA katika MKOA WA MWANZA.

1f2f6ade9bc59b43f70a70ffc558e3d9.png

Sasa baada ya upotevu wa kiasi cha shilingi 300,000,000 katika CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU] kulianzishwa kampuni kubwa kuliko DUMCO na DUCOR iliyokuwa inapatikana nchini KENYA.

259af8ff5999d34ce0c1744ff4f5f178.png

Kampuni hiyo iliitwa BIDCO na ilikuwa inapatikana nchini KENYA kwa mara ya kwanza kabla ya kusambaa sehemu mbalimbali katika MATAIFA YA AFRIKA.

af563bdad34d39d98b3eaffe85edf6b1.png

Hii kampuni ya BIDCO ni kampuni kubwa na inamilikiwa na mmoja wa aliyekuwa mfanyakazi wa CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA SHINYANGA [SHIRECU] na CHAMA KIKUU CHA USHIRIKA CHA MKOA WA TABORA [WETCU] kwa nyakati tofauti tofauti.

0097d454e5e5ecd0caca646698b50318.png


89bc0617a501a4054ef59e451c28133c.png

Hii kampuni ya BIDCO ni kampuni ambayo imeajiri WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

322d1c4529bd1af3b3c94fb15e4bf3f0.png


be028f63e74ea8e5d971ccb47b71eb42.png

Hii kampuni ya BIDCO, pia inapatikana katika TAIFA LA UGANDA na wamejitahidi kuwekeza sana katika SEKTA YA VIWANDA.

IMG_20231203_230840.jpg

Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini UGANDA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] na wanafanya kazi katika kampuni ya BIDCO.

dce8dea091dc82d1f89793948c985678.png

Hawa pia ni wafanyakazi wa kampuni ya BIDCO ambao kwa namna moja ama nyingine huwa wanapatikana nchini KENYA na UGANDA.

IMG_20231203_230917.jpg

Hii kampuni ya BIDCO huwa inapata tuzo nyingi katika majukwaa ya kibiashara.

IMG_20231203_230735.jpg

Bidhaa za BIDCO zinafanya vizuri kwa huu ukanda wa AFRIKA YA MASHARIKI.

b3e80dfe0dbc05994615831369c02d80.png

Kwahiyo wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] yaani MWASHITA wataendelea kuwa vizuri KIUCHUMI.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.

au Ni mental case

PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]
Wamiliki halali wa kampuni inayoitwa BIDCO inayopatikana nchini KENYA, ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA KENYA inayoitwa BIDCO UNITED.

6a26425081e294e16d349ac05dd57c60.png

Hii timu ya mpira wa miguu inayoitwa BIDCO UNITED inajumuisha wacheza mpira wengi wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA, hususani kutoka WILAYA YA KAHAMA.

7872133ff5729f372186eaae5f35e886.png

Hii kampuni ya BIDCO kwa ujumla ndiyo ilibeba wenyeji wa asili wa MKOA WA SHINYANGA, hususani kutoka WILAYA YA KAHAMA.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.

au Ni mental case

PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]
Wamiliki halali wa kampuni inayoitwa BIDCO inayopatikana nchini KENYA ndiyo wamiliki halali wa timu ya mpira wa kikapu inayoshiriki LIGI KUU YA WANAWAKE [WNBA] nchini MAREKANI inayoitwa INDIANA FEVER.

051d5071a9560c5de568a7b250624e34.png

Wacheza kikapu weusi wa timu ya mpira wa kikapu ya INDIANA FEVER wote ni WATANZANIA wenye asili ya MKOA WA SHINYANGA, hususani WILAYA YA KAHAMA.

10ed49011d5f49351fe8688f80845081.png


a1e4c3789329ae5f056139fd6456a6ab.png

Hawa wamiliki halali wa timu ya mpira wa kikapu inayoshiriki LIGI KUU YA WANAWAKE YA WNBA nchini MAREKANI inayoitwa INDIANA FEVER na wao wanajijenga kuwa ROYAL FAMILY.

c51f01502380ef700afb89fa8b36bf17.png


371590d8c4bcb0fc7e3a5cc51cc7b991.png

Hawa pia wanajijenga kuwa ROYAL FAMILY na hawawezi kuja kufirisika, kwa sababu wana mahusiano mazuri ya kibiashara na watu wa MATAIFA YA MAGHARIBI.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
734c02632a465f05a7fdf4a311147aa6.png

NANA OWITI ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

eabd743f1a57b3861c7ee5fa5aeda599.png

MICHELLE NTALAMI ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
1810258238d0bcd5c87288f969ac37fb.png

PENELOPY FIDELIS ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

299a10ecc76264ab3db7413cdae70ad0.png

IVY WANJIRU ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

433f32e028eaaa7a9bb48a360796cbf8.png

NADIA MUKAMI ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].
 
Unajua SIASA YA TANZANIA ni tamu sana na kwa upande mwingine ni chungu kama shubiri ikiwa imekupita kando.
Watoto wa Kambona wako wapi

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
Watoto wa HAYATI OSCAR KAMBONA baada ya maswahibu ya kisiasa, waliamua kubadilisha majina ya ubini ili kuwa sehemu salama katika mienendo ya kimaisha.

Kuna mtoto mmoja wa HAYATI OSCAR KAMBONA alifariki katika mazingira ya kutatanisha akiwa UINGEREZA. Lakini wengine wapo na walifanikiwa kuwa na familia. Kwahiyo sasa hivi HAYATI OSCAR KAMBONA ana wajukuu.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.
e911137a9eda651232768696b5cd2a8d.png

Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

3d4adc021be229f5233756909dc50b6f.png

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walisaidia sana watu wao.

13ded37677b8ee3856209de403f3c0e5.png

Sasa hivi ukikutana na DIASPORA WA KITANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA ujue alisaidiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].

1ed4452b140ca3e63373cdadcbf3ea77.png

Yaani wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walifahamu SIASA YA TANZANIA tangu siku nyingi.
 
Inawezekana wewe umetoka from the FUTURE 2150.

au Ni mental case

PSG kumilikiwa na watu toka shinyanga[emoji2][emoji1787]
1092610418f8163a5377cbec207be0ca.png

Hawa pia walihama TANZANIA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wao walipata fursa ya kuhamia nchini AFRIKA YA KUSINI.

0b3f066938124b669d3824d4b81cc934.png

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] kila sehemu ambapo walifanikiwa kuwekeza, walipeleka watu wao.
 
Unajua SIASA ZA TANZANIA huwa hamzijui na muda mwingi huwa mnajadili mambo mengine ambayo hayapo na wala hayatakuja kutokea hata kwa maisha ya baadae.

Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], pale MWANZA MJINI kulikuwa kuna kampuni iliyokuwa inaitwa DUCOR na SHINYANGA MJINI kulikuwa kuna kampuni iliyokuwa inaitwa FRESHO na DUMCO.

IMG-20230616-WA0001.jpg

Kampuni ya DUCOR inayopatikana MWANZA MJINI na FRESHO inayopatikana SHINYANGA MJINI, zote zinamilikiwa na wakina MANING NICE.

Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], wale waliokuwa wafanyabiashara walikuwa wanaandika majina ya watoto. Ndiyo maana huyo MANING NICE anaonekana anamiliki kampuni tangu miaka ya tisini [1990's]..

e551d6f63657dda70abfbba9b193bd37.png

Kampuni ya DUMCO iliyokuwa inapatikana SHINYANGA MJINI ilikuwa inamilikiwa na JK. Lakini MSHANDETE [the late] alikuwa ameajiriwa kama MKURUNGENZI wa kampuni ya DUMCO na kampuni ya DUMCO ilikuwa inadhamini timu ya mpira wa miguu iliyokuwa inaitwa MEDICAL FC.

b8459fa38928e59eed07f2cef8d89045.png

Ile timu ya mpira wa miguu iliyokuwa inaitwa MEDICAL FC ilikuwa inamilikiwa na hospitali ya MKOA WA SHINYANGA na hii ilimpa turufu JK kwenye kugombea URAIS wa mwaka 1995 na hatimaye mwaka 2005 aligombea URAIS tena na akafanikiwa kwa tiketi ya CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM].

6e550d1dab33adfa8e6600150ba54955.png

Sasa kipindi hicho chote, tangu miaka ya tisini [1990's], kuna baadhi ya WATANZANIA walikuwa wanafahamu vizuri SIASA ZA TANZANIA na tayari walikuwa wanamiliki kampuni binafsi.

4dae695037a9dcf0daa839c890256a52.png

Hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa MASHCOOL inayopatikana nchini KENYA, mara ya kwanza ilikuwa inapatikana MWANZA, TANZANIA na ndiyo kampuni mwenza wa ZUBERI na ALLY'S. Pia hao ndiyo wamiliki halali wa MASH FOOTBALL ACADEMY inayopatikana MWANZA, TANZANIA.

acd2d0324c233f593c7e6c799b80d0a1.png

Kwahiyo sasa hivi utakuwa umeelewa, kwanini URAIS WA TANZANIA uliishia kwa JK na wengine wanajaribu jaribu tu. Kwa sababu JK ameona na kushuhudia mambo mengi sana 🙏🏾
 
ng'wana shija....
Muda umefika sasa na wewe utafute visa ukimbie haraka...
 
Aisee.

Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
33686c159396dcb42ccac988f5f001b2.png

Huyu anaitwa MAMA OLIVE wa KONGO - KINSHASA na ni MTANZANIA kwa asili ambapo alipata fursa ya kuhamia nchini KONGO kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walisambaa na kuenea sehemu mbalimbali za MATAIFA YA NJE.

Kwahiyo hautakuja kusikia wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanapitia kipindi kigumu kama cha wakina HAYATI OSCAR KAMBONA au HAYATI ADAM SAPI MKWAWA.

Yaani katika kipindi hiki cha masimulizi ya VITA VYA WAJERUMANI na CHIFU MKWAWA, wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanaendelea kuwekeza katika TAIFA LA UJERUMANI. Hiyo ndiyo tofauti..

910edc3d73a815c3d1cfd91e31a52058.png

Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wataendelea kuwa na UCHUMI kwa sababu wanafanya shughuli za kibiashara zilizo wazi katika mifumo ya ukusanyaji kodi na kupata faida.
 
Back
Top Bottom