Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
FunnyJapo ujamaa ulishindwa, Nyerere alifanikiwa kwa ukombozi katika baadhi ya nchi za Afrika.
Inawasaidia nini maskini wa kamkonga na bumbuli???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FunnyJapo ujamaa ulishindwa, Nyerere alifanikiwa kwa ukombozi katika baadhi ya nchi za Afrika.
Kambona alikuwa Katibu Mkuu wa TANU anayehubiri Ujamaa kwa muda mrefu sana.
Wanaosema alipingana na Nyerere kwa sababu ya Ujamaa inabidi waje na detail zaidi.
Kambona deserves his own book. But I did learn a lot regarding this period from Paul Bjerk's "Building A Peaceful Nation: Julius Nyerere And The Establishment of Tanzania 1960-1964".
Na hata hao waliopo hai, hawahojiwi kwa makusudi maana kuna tabaka linataka watoto wetu wafundishwe historia wanayoitaka wao wafundishwe na wala sio historia halisi ya nchi hiiUmeandika uongo mtupu. Uliza historians wakuelezee vizuri. 1964 kipindi cha uasi wa jeshi Lyatonga wala alikuwa hajulikani. Kambona aliondoka nchini 1967 wakati wa vuguvugu la Azimio la Arusha. Unachanganya kesi ya uhaini ya washirika wa Kambona kina Bibi Titi Mohamed, Gray Mataka na wengine walioshtakiwa na kukutwa na hatia ya kupanga kumpindua Nyerere na wakahukumiwa kifungo cha maisha.
Nchi ina historia inahitaji maandishi ya kina yenye utafiti wa kutosha kwa kuwahoji watu waliokuwepo wakati huo. Bahati mbaya wengi wao hawapo duniani sasa.
Subutu yao.Wazee waliokuwepo kipindi hicho wananafasi kubwa sana ya kutoa historia ya nini hasa chanzo cha wawili hawa kutoelewana ila wamekaa kimya sana
unaingizaje ubapari kwenye utawala wa machifu? machifu walikuwa watu wenye nguvu ujamaa uliweza kuvunja nguvu zao na kutufanya kuwa wamoja. ndani ya ubepari tusingekuwa wamoja kama hivi leo, utawala wa machifu ndio chimbuko la ukabila na ukanda kila mmoja ana linda mila na tamaduni zake, kwa kipindi kile ujamaa ulikuwa na faida,,, kila kitu huwa kuna sehemu ya kuanzia. inawezeka ilitakiwa tuanzie ujamaa then twende kwenye ubepari ambao tayari watu wana elimu, tungeingia kwenye ubepari na watu hawana elimu tungepata taifa la watu wajinga sana, ubepari haukusomeishei watoto wako kama huna hela unabakia kuwa mjinga. tukumbuke ubepari ni unyonyaji kwa lugha nyingine. ukilinganisha ubepari wa marekani na Tanzania haviendani hata historia ya watu wao ni tofauti sana.
huku sisi tulikuwa ni primitive kwa kipindi kile. taifa lolote linatakiwa kuanza na ujamaa kuwaleta watu karibu na serikali yao na kufundishwa mifumo ya nchi then baadae watachagua pa kwenda ila hoja yangu sitaki kulaumu kama tulikosea kuwa na ujamaa kipindi kile.
umeongea vema sanaMkuu kitendo cha wewe kusema eti Ubepari ni "unyonyaji" kinaonesha wazi bado unawaza kwa kutumia propaganda za Kijamaa. Sio kweli kuwa Ubepari ni unyonyaji kama ilivyo sio kweli kwa wakomunisti na wasoshalisti hawaamini Mungu.
Ukisema kuwa ingekuwa ngumu kuondoa tawala za kichifu huu ni uongo, sio ujamaa ulioondoa tawala za kichifu bali ni system. Nchi hii system ikitaka jambo fulani lisiwepo halitakuwepo hivyo hivyo wangeondoa utawala wa kichifu.
Tatizo tukiwaza Ubepari tunauwaza kwa namna ambayo Mkoloni aliutumia hapa nchini, ndio maana mawazo ya ubepari ni unyonyaji yanakuja. Sisi tuliona mkoloni na siasa yake vyote havifai, hili lilikuwa kosa kubwa.
Kwa asili tu jamii za kitanzania nyingi ni mabepari, Ujamaa sio asili yetu. Ndio maana kulikuwa na matajiri wachache wanao hodhi uchumi wa jamii mfano machifu, wapigangoma hodari, waganga hodari na askari hodari bila kusahau wakulima na wawindaji hodari.
Hawa wote walipata mali na utajiri kwa kufanya kazi zao kwa bidii kubwa wala hawakuiba kwa wenzao.
Ujamaa umevuruga mfumo asilia kwa nguvu ndio maana jamii kubwa ni maskini inategemea "serikali itafanya" hata ajira leo hii tunategemea serikali, hayani matunda ya siasa ya kijamaa.
Narudia Ujamaa haukuleta umoja nchini, bali vyombo vya ulinzi na usalama ndio vimeleta huu umpja na amani tuliyonayo. Hata ndani ya Ubepari kwa vile tungekuwa na Jeshi imara na vyombo vya usalama makini bado tungekuwa na Umoja na Amani.
Kenya, Zambia walilega lega kwenye hivi vitu viwili ndio maana wamezidi kuanguka kijamii.
Leo hatuna Ujamaa Active ila tuna Umoja na Amani, vijana chini ya miaka 20 wanaishi pamoja, sio kwasababu wanaujua Ujamaa La! na sio kwa mapenzi yao La! ni kwa mapenzi ya System na vyombo vya usalama.
nafkiri mwalimu alitaka kumfutilia jamaa mbali kwenye historia ya nchi na amefanikiwaWashindi huwa ndio wanaoandika Historia, na bahati mbaya sana mara nyingi huwa wanaindika jinsi wanavyojisikia.
Kwa politics za miaka ya 1960’s, na hali halisi ya Tanganyika kipindi kile tungejiingiza kwenye ubepari hii nchi ingekufa.
sawa lakini baadae walimnyanyasa kambona mpaka akakimbia nchi kitu ambacho mwalimu hakupaswa kufanya ,alafu cha ajabu zaidi ni kwamba sijaona sehemu inasema oscar alikua na uchu wa madaraka au alitaka kumreplace mwalimuWote walikuwa na mawazo mazuri. They didn't agree. Take 50% of each person tusifungamane na upande wowote. Tujali maslahi ya watu wetu.
Ilikuwa vigumu sana kufanya hivyo, kupinduliwa, kuuliwa ilikuwa rahisi sana, unaishi kwa machale kila siku.
Wanaiita Cold War sababu USA na USSR hawakupigana.
Ilikuwa Very Hot War in Africa, Latin America and Asia. Mamilioni walikufa au kuuwawa kwa maslahi yao two super powers.
Kwa politics za miaka ya 1960’s, na hali halisi ya Tanganyika kipindi kile tungejiingiza kwenye ubepari hii nchi ingekufa.
lakini mwisho wa siku TZ tumekua nchi ya kibepari kama alivyotaka kambona na tumefanya vizuri zaidi ndani ya ubepari kuliko ujamaa kitu ambacho kambona alishatoa signal mapema kama tunaenda chaka lakini hawakumsikiliza sio siri kiuchumi tuko miaka ya 2005Sifa kubwa ya Mwalimu Nyerere tofauti na hao wengine akiwemo Kambona ni kutoigaiga mambo, Bali aliamini kuwa matatizo ya mwafrika yataondokana na mwafrika kuishi Kama desturi yake yani kwa asili mwafrika amekuwa akiishi kijamaa...yeye alisema maendeleo ni kazi na si mikopo Kama ilivyo sasa...Kuna watu humu ni mablind supporter wa capitalism...lakini ukweli ni kwamba hata ubepari haujasaidia nchi za Afrika, ni mfumo uliopelekea nchi nyingi maskini kuwa na madeni makubwa yasiyoweza kulipika na wizi wa rasilimali...china si wakujifananisha nao, eti waliacha ujamaa na kufuata ubepari...china haijawahi kusema kuwa waliacha mfumo fulani wakaenda mfumo mwingine halafu ndo wakafanikiwa, maendeleo ya china mzizi wake ni ujamaa...ujamaa haukatazi kufanya biashara, Ila unaweka control kubwa Sana katika biashara kiasi kwamba msipokuwa na dira nzuri hamuwezi kutoboa...Ila mkijipanga vizuri mnakuwa thabiti zaidi kuliko mfumo wa kibepari ambao ni more fragile na unategemea zaidi external factors kuliko hali ya kiuchumi ya ndani...China kilichokuwa kinamkwamisha ni kutokuwa member wa World Trade Organization miaka ya nyuma...ivo kuathiri uwezo wake wa kufanya biashara...sababu kuu ya kufeli kwa ujamaa kwa nchi nyingi zilizofwata mfumo huo ni vikwazo....na kufaulu kwa ubepari ni mikopo kutoka taasisi za mabepari...na mikopo hii ilichochea rushwa, urasimu, ukiritimba na hatimaye umaskini...kwa kuwa mingi haikutumika kwa kazi mahsusi...Bali iliishia kwa wachache...halafu hawa wanaokuja kwetu na kujinasibu kuwa ni mabepari ni gia tu hiyo...ili waweze kutuibia vizuri lakini terms wanazoingia wao kwa wao wazungu zina elementi nyingi za kisoshalisti...sema hawaziiti majina hayo, kaangalie faida za kuwa mwanachama eu...na jinsi wanavyolimit free trade na nchi zisizo wanachama...tatizo la nchi za Afrika ni zaidi ya aina ya mfumo unaotumika kutawala...unaanzia kwenye nafasi ya mwafrika katika dunia ya leo...yani Kama wakikaa wenye nguvu duniani ni kipi mwafrika ataleta mezani, wao wakimwona kiongozi wa kiafrika katika mikutano yao wanajua kaja kuomba misaada, sasa namna iyo hamuwezi kutoboa...
Lkn at the end USA ideology zao ndio jibu sahihi. Ujamaa umekazia kuwatawala watu, ikiwemo kuwakandamiza kiuchumi, kumbuka mifumo ya kijamaa uruhusiwi kufikiri zaidi ya anaekutawala, utakiwi kuwa na utajiri au elimu kuliko anaekutawala. Ubepari umekazia uhuru wa kiuchumi KILA mtu avune kadri awezae kwani kadri mtu anavyovuna ndipo ajira, kodi uongezeka maradufuWote walikuwa na mawazo mazuri. They didn't agree. Take 50% of each person tusifungamane na upande wowote. Tujali maslahi ya watu wetu.
Ilikuwa vigumu sana kufanya hivyo, kupinduliwa, kuuliwa ilikuwa rahisi sana, unaishi kwa machale kila siku.
Wanaiita Cold War sababu USA na USSR hawakupigana.
Ilikuwa Very Hot War in Africa, Latin America and Asia. Mamilioni walikufa au kuuwawa kwa maslahi yao two super powers.
Mkuu kitendo cha wewe kusema eti Ubepari ni "unyonyaji" kinaonesha wazi bado unawaza kwa kutumia propaganda za Kijamaa. Sio kweli kuwa Ubepari ni unyonyaji kama ilivyo sio kweli kwa wakomunisti na wasoshalisti hawaamini Mungu.
Ukisema kuwa ingekuwa ngumu kuondoa tawala za kichifu huu ni uongo, sio ujamaa ulioondoa tawala za kichifu bali ni system. Nchi hii system ikitaka jambo fulani lisiwepo halitakuwepo hivyo hivyo wangeondoa utawala wa kichifu.
Tatizo tukiwaza Ubepari tunauwaza kwa namna ambayo Mkoloni aliutumia hapa nchini, ndio maana mawazo ya ubepari ni unyonyaji yanakuja. Sisi tuliona mkoloni na siasa yake vyote havifai, hili lilikuwa kosa kubwa.
Kwa asili tu jamii za kitanzania nyingi ni mabepari, Ujamaa sio asili yetu. Ndio maana kulikuwa na matajiri wachache wanao hodhi uchumi wa jamii mfano machifu, wapigangoma hodari, waganga hodari na askari hodari bila kusahau wakulima na wawindaji hodari.
Hawa wote walipata mali na utajiri kwa kufanya kazi zao kwa bidii kubwa wala hawakuiba kwa wenzao.
Ujamaa umevuruga mfumo asilia kwa nguvu ndio maana jamii kubwa ni maskini inategemea "serikali itafanya" hata ajira leo hii tunategemea serikali, hayani matunda ya siasa ya kijamaa.
Narudia Ujamaa haukuleta umoja nchini, bali vyombo vya ulinzi na usalama ndio vimeleta huu umpja na amani tuliyonayo. Hata ndani ya Ubepari kwa vile tungekuwa na Jeshi imara na vyombo vya usalama makini bado tungekuwa na Umoja na Amani.
Kenya, Zambia walilega lega kwenye hivi vitu viwili ndio maana wamezidi kuanguka kijamii.
Leo hatuna Ujamaa Active ila tuna Umoja na Amani, vijana chini ya miaka 20 wanaishi pamoja, sio kwasababu wanaujua Ujamaa La! na sio kwa mapenzi yao La! ni kwa mapenzi ya System na vyombo vya usalama.
Long time no see! Kimsingi mwalimu alituacha sehemu nzuri sana kimaendeleo na kielimu.Ulifaidi vipi elimu? Wakati wake aliweka sera za kuwa na watu wachache wenye elimu ya juu, hata mataifa yenye watu wachache barani yalitupita kuwa na wasomi
Ubebari ni unyonyaji! Ndugu yangu jaribu kutembelea nchi za Scandinavia ndiyo utajua ukweli wa msemu huu. Kule mfumo wao unaweza kudhani ni ujamaa wa aina fulani lakini wananchi wake wana maisha mazuri sana kuliko hata Marekani.Kusema ubepari ni unyonyaji ni ufilisi wa fikra.ubepari unazalisha ajira,unaongeza makusanyo makubwa ya Kodi,unakuza uchumi,
Asiye fanya Kazi na asile, ubepari utengeneza mazingira sawa kwa nyote kufanikiwa,kuwa masikini au kuwa tajiri ni maamuzi yako.Ubebari ni unyonyaji! Ndugu yangu jaribu kutembelea nchi za Scandinavia ndiyo utajua ukweli wa msemu huu. Kule mfumo wao unaweza kudhani ni ujamaa wa aina fulani lakini wananchi wake wana maisha mazuri sana kuliko hata Marekani.
Siyo kweli kuwa filosofia ya ubebari ni asiyefanya kazi na asile. Kwenye ubebari unaweza kuwa mchapa kazi mzuri sana sana lakini ukashia kuishi maisha ya kifukara mno.Asiye fanya Kazi na asile, ubepari utengeneza mazingira sawa kwa nyote kufanikiwa,kuwa masikini au kuwa tajiri ni maamuzi yako.