Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
How it's supposed to be ?
Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA 🦁.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How it's supposed to be ?
How it's supposed to be ?
SIASA hamzijui! Huwa tunawaambia kila siku humu JamiiForums, anyway ngoja niangalie mechi ya SIMBA SC na WAARABU kutoka MISRI. Then by tomorrow, nitakueleza kitu fulani 😄Kwanini mkuu
TANZANIA kuna MAJESHI YA ULINZI na USALAMA ambayo yanaweza kuwa matano [5] kwa idadi yake. MAJESHI hayo ni JESHI LA WANANCHI [JWTZ], JESHI LA POLISI, JESHI LA MAGEREZA, JESHI LA ZIMAMOTO na JESHI UHAMIAJI.Kwanini mkuu
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] kule KIGOMA kulikuwa kuna kambi kubwa sana ya WAKIMBIZI iliyokuwa inaitwa NYARUGUSU.Hebu gesa kidog kuhus gwantanam ya tz
Are we safe???Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] kule KIGOMA kulikuwa kuna kambi kubwa sana ya WAKIMBIZI iliyokuwa inaitwa NYARUGUSU.
Ile KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU ilikuwa inajumuisha WAKIMBIZI kutoka katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO.
Sasa kabla ya kupewa URAIA kwa wale WAKIMBIZI waliokuwa wanaishi katika ule MKOA WA KIGOMA, wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, TABORA, KAGERA, KIGOMA pamoja na RUKWA walipewa ELIMU kuhusu WAHAMIAJI. Namna ya kuishi na WAHAMIAJI walio athirika na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE.
Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] waliathirika na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE kwa kipindi kirefu na namna ya kuishi nao ni "KUWAKWEPA na KUWAPUUZA". WAINGEREZA wanaita ni "IGNORING TACTIC".
Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] waliathirika sana na "VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE" na wamekuwa ni watu wa migogoro isiyoisha. Sasa ukijaribu kulumbana nao, wote mnaonekana ni wale wale.
Hata kwenye masuala ya MAHUSIANO YA KIMAPENZI huwa wapo hivyo na unaweza kuwa na MPENZI mwenye asili ya MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO [PUISSANTS] akawa yupo juu juu katika mahusiano yenu. Siku akimpata MWENZA mwingine mwenye asili ya kufanana na yake, wewe anakuacha hapo hapo bila ya kuwa na sababu za msingi.
Ndiyo maana sasa hivi mnashauriwa kuwa na WENZA kutoka sehemu mnazoshabihana KITABIA na KITAMADUNI ili kuepuka migogoro isiyokuwa ya lazima, maana muingiliano wa watu umekuwa ni mkubwa.
Kama mwanaume una uwezo wa KIAFYA na KIUCHUMI anaweza kusaidia JAMII yake kwa kuwa na mke zaidi ya moja, kikubwa ni HUDUMA itolewe kikamilifu..😄
Sasa wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, TABORA, KIGOMA, KAGERA pamoja na RUKWA wanafahamu na walipewa ELIMU kuhusu WAHAMIAJI kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's].
Na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KAGERA [KCU] ndiyo waliokuwa wanamiliki kampuni nyingi za kibiashara.
Hapo ndiyo GUANTANAMO ilipoanzia, ilikuwa ni ngumu kwa WALOWEZI kuweza kupenya kwenye kampuni za kibiashara ambazo zilikuwa zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU], TABORA [WETCU] pamoja na KAGERA [KCU].
Kwahiyo ile hali iliyokuwepo kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], inaendelea hadi leo kwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, ndiyo maana panaitwa GUANTANAMO.
Hii ndiyo SIASA YA TANZANIA! Kwa sababu kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ambapo kulikuwa kuna idadi kubwa wa WAHAMIAJI kutoka katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO - wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, TABORA, KAGERA, KIGOMA na RUKWA ndiyo waliopewa ELIMU kuhusu WAHAMIAJI.Are we safe???
Sasa kama siri-kali ipo salam na raia hawapo salam, hii inaitwa MAGAZIJUTO STYLEHii ndiyo SIASA YA TANZANIA! Kwa sababu kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ambapo kulikuwa kuna idadi kubwa wa WAHAMIAJI kutoka katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO - wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, TABORA, KAGERA, KIGOMA na RUKWA ndiyo waliopewa ELIMU kuhusu WAHAMIAJI.
Lakini WAHAMIAJI walivyofanikiwa kupata URAIA walisambaa TANZANIA nzima, ijapokuwa ELIMU YA UHAMIAJI ilitolewa kwa wale WANANCHI waliokuwa wakiishi jirani na MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO ikiwemo MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, TABORA, KAGERA, KIGOMA NA RUKWA.
Sasa wale WATANZANIA wengine waliokuwa wakiishi sehemu mbalimbali ndiyo wameathirika pakubwa kutokana na kukosa ELIMU YA WAHAMIAJI walioathirika na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE.
Matukio yaliongezeka kama wizi wa kutumia silaha, ujangili kwenye hifadhi za wanyamapori na mambo mengine mengi kama "CARRIER". Eeh, "CARRIER" imetoka kule kwenye MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.
Wao wanaamini kuwa "binadamu ni kama maua, hustawi na pia hunyauka". Sasa hivi "CARRIER" ndiyo ipo TANZANIA kwa upande wa MAJESHI YA ULINZI na USALAMA, lakini ilianzia kwenye MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.
Haya yalikuwa ni makosa ya UTAWALA WA AWAMU YA PILI uliokuwa ukiongozwa na MZEE RUKSA, kwa sababu baada ya kufanikiwa kupata URAIA WA TANZANIA wale WAHAMIAJI walipewa nafasi za upendeleo kwenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA.
Hii idadi kubwa ya wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] unayoiona kwenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA haijaja kwa bahati mbaya, bali ni mpango wa SERIKALI YA TANZANIA.
Kwahiyo, SERIKALI YA TANZANIA ipo salama lakini kwa upande wa WANANCHI siyo salama, kwa sababu siyo wote waliofanikiwa kupata ELIMU YA WAHAMIAJI waliotoka katika MATAIFA yalioathirika na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE.
Ndiyo 🙏🏾! Kuna matukio ya ajabu ajabu yanaendelea kwenye MIKOA mbalimbali hadi unashangaa, lakini ni kutokana na makosa waliyoyafanya viongozi waliopita.Sasa kama siri-kali ipo salam na raia hawapo salam, hii inaitwa MAGAZIJUTO STYLE
Sasa kama siri-kali ipo salam na raia hawapo salam, hii inaitwa MAGAZIJUTO STYLE
Ndiyo SIASA YA TANZANIA! Lakini mambo ya kushangaza zaidi yapo katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.Sasa kama siri-kali ipo salam na raia hawapo salam, hii inaitwa MAGAZIJUTO STYLE
Wewe bado UNASHANGAA hayo mambo! Hivi unafahamu maana halisi ya jina la "KEYSHIA COLE"?Sasa kama siri-kali ipo salam na raia hawapo salam, hii inaitwa MAGAZIJUTO STYLE
Duuuh tunasafar ndefu ya kutoka utumwanNdiyo 🙏🏾! Kuna matukio ya ajabu ajabu yanaendelea kwenye MIKOA mbalimbali hadi unashangaa, lakini ni kutokana na makosa waliyoyafanya viongozi waliopita.
Ngoja nikupe mfano mmoja, unaona hii taarifa ya Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kuongeza, ndiyo kilichofanyika mwaka 1992 kipindi cha MFUMO WA VYAMA VINGI.
Kipindi kile unaanzishwa MFUMO WA VYAMA VINGI, mwaka 1992. Kuna WALOWEZI waliomba na wao kuanzisha CHAMA CHA KISIASA ili wapate fursa ya kushiriki SIASA ZA TANZANIA na walikubaliwa ombi lao.
Sasa hivi wanashiriki SIASA ZA TANZANIA, lakini kule walipotoka kuna VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, IDADI KUBWA YA WAKIMBIZI, MAUAJI YA HALAIKI, RUSHWA, UHARIBIFU WA MAZINGIRA, VIKOSI VYA KUTULIZA AMANI na mambo mengine mengi.
Sasa kipi ambacho wanakihitaji kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA? Ndiyo maana kila siku tunasema hawa WALOWEZI waliotoka katika MATAIFA yaliyoathirika na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE ni MATATIZO.
Kwahiyo wale WATANZANIA waliofanikiwa kuifahamu vizuri SIASA YA TANZANIA tangu siku nyingi, ndiyo walifanyika kuwa WASHINDI na wamepiga hatua za KIMAENDELEO.
Aisehhh hapo wanasafar ndef ya kulipita jangwaNdiyo SIASA YA TANZANIA! Lakini mambo ya kushangaza zaidi yapo katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.
Wenye matatizo tangu mwanzo walikuwa ni wao wenyewe ambao ni wenyeji wa asili wa MATAIFA hayo, hali hii ilipelekea MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO kutawaliwa na WALOWEZI.
Hivi unafahamu mtu aliyekuwa nyuma ya UTAWALA WA JOSEPH KABILA? RAIS MOBUTU SESE SEKO ndiyo kiongozi wa mwisho kupinduliwa nchini KONGO, baada ya hapo mipango ilipangwa vizuri na ikapangika.
LAURENT KABILA hakupigwa RISASI na wala hakuawa, ile ilikuwa ni "INSIDE JOB" ya kumfanya [...] kuongoza TAIFA LA KONGO kupitia kwa JOSEPH KABILA na alifanikiwa kuongoza TAIFA LA KONGO kwa kipindi cha miongo miwili.
Sasa haya ndiyo mambo ya kushangaza kwa wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].
Kwahiyo TAIFA LA KONGO bado linapitia katika kipindi kigumu na hali hiyo imesababishwa na WAKONGOMANI wenyewe.
Wewe bado UNASHANGAA hayo mambo! Hivi unafahamu maana halisi ya jina la "KEYSHIA COLE"?
"KEYSHIA COLE" ni MSANII kutoka katika TAIFA LA MAREKANI mwenye asili ya KONGO.
Hawa wenyeji wa asili wa TAIFA LA KONGO waliiba sana katika SERIKALI yao na hazina kubwa walihamishia katika MATAIFA YA UGHAIBUNI, ikiwemo BARA LA ASIA.
Ndiyo maana halisi ya jina la "KEYSHIA COLE" yaani KONGO imewekeza sana katika BARA LA ASIA. Hawana shida, WAKONGOMANI ni MATAJIRI sana lakini TAIFA LA KONGO limegubikwa na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE.
WAKONGOMANI [✌🏽] wamefanikiwa kuwekeza sana nje ya nchi, kuliko hata katika TAIFA lao na wanaendelea kuhama kutoka katika TAIFA LA KONGO na kuhamia katika MATAIFA mbalimbali duniani.
Haya pia ni mambo ya kushangaza, wao [WAKONGOMANI] walikuwa wanahamisha HAZINA YA TAIFA lao na kwenda kuwekeza katika MATAIFA mengine.
Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa TAIFA LA KONGO bado wanamiliki UCHUMI MKUBWA ambao wanaweza kuhudumia hata wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA pamoja na BURUNDI.
Hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] bado wana mahusiano mazuri na WAKOLONI wao i.e WAFARANSA na WABELIGIJI.Duuuh tunasafar ndefu ya kutoka utumwan
TANZANIA bado ni BRITISH AUTONOMY. Kabla ya kuanzisha CHAMA CHA KISIASA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] waliwasiliana kwanza na "COLONIAL MASTER" ambao ndiyo UINGEREZA.Aisehhh hapo wanasafar ndef ya kulipita jangwa
VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE vimewaathiri sana wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].Aiseeh wanatumia tumbo kuwaza kuliko brainnn.
VITA imewaathiri sana wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC], hata kwenye maisha ya kawaida wanakuwa na vitu fulani ambavyo havipo sawa.Aiseeh wanatumia tumbo kuwaza kuliko brainnn.
Hawa wametengenezwa na KONTAWA au MAKONTAWA! Yaani ni kama ilivyokuwa kwa upande wa TAIFA LA ITALIA dhidi ya MAKUNDI YA UVAMIZI yaliyokuwa yanapatikana katika MJI WA SICILY.Aiseeh wanatumia tumbo kuwaza kuliko brainnn.
Unaongea upuuzi mwingi sana sana kaa kimya kama ushalewa.LAURENT KABILA hakupigwa RISASI na wala hakuawa, bado yupo hai! Ile ilikuwa ni "INSIDE JOB" ya kumfanya [...] kuongoza TAIFA LA KONGO kupitia kwa JOSEPH KABILA na alifanikiwa kuongoza TAIFA LA KONGO kwa kipindi cha miongo miwili.
Hawa wametengenezwa na KONTAWA au MAKONTAWA! Yaani ni kama ilivyokuwa kwa upande wa TAIFA LA ITALIA dhidi ya MAKUNDI YA UVAMIZI yaliyokuwa yanapatikana katika MJI WA SICILY.
Hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS bado wana mahusiano mazuri na WAKOLONI wao i.e WAFARANSA na WABELIGIJI.
Jaribu kuangalia hii "MOVIE" ambayo inaitwa "THE EQUALIZER 3" na ilitoka mwaka jana [2023], hao ni kama KANSA KWA TAIFA na SERIKALI wasipo iwahi mapema italiangamiza TAIFA.
Tafuta hiyo "MOVIE" uangalie, imeeleza hali ya kisiasa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Hapo mwanzo wakati hiyo "MOVIE" inaanza ilikuwa inamuonesha DEREVA akiwa na mtoto wa kiume ndani ya gari. Huyo DEREVA ni KIKWETE na mtoto wa kiume ni MANING NICE alikuwa anamuonesha mambo ya "WHITE HOUSE".
Baadae yule DEREVA alifariki kwa kupigwa risasi na yule mtoto wa kiume alibaki pekee yake. Sasa jaribu kutazama hiyo "MOVIE" uone msaada utatoka wapi? 😂 🇺🇸