Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

How it's supposed to be ?

Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA aliyehamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA MWANZA.


Anaitwa MARY MUTHONI MURIUKI, sasa hivi anafanya kazi katika SERIKALI YA KENYA na ana cheo kikubwa kwa upande wa WIZARA YA AFYA.


MARY ni PERMANENT SECRETARY [PS] wa PUBLIC HEALTH AND PROFESSIONAL STANDARDS kwa upande wa TAIFA LA KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ.


Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA 🦁.
 
How it's supposed to be ?

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA bila ya kuwepo kwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] wasingeliweza kufika popote.


Na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] bila ya HAYATI MWALIMU, wasingeliweza kufika popote kwa sababu "WALIIBA" sana bila ya kuchukuliwa hatua yoyote.


Kwa namna moja ama nyingine hali waliyonayo sasa hivi wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ilichagizwa na HAYATI MWALIMU, iwe ni hali ya KIUCHUMI na hata KISIASA.


Kwahiyo, wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA hautakuja kusikia "KATU" wametofautiana na FIKRA ZA HAYATI MWALIMU, kwa sababu pasingelikuwepo HAYATI MWALIMU - leo hii tungelikuwa tunazungumza masuala mengine kwa upande wa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA. Hata hii JAMII YA MWASHITA isingelikuwepo πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Kwanini mkuu
SIASA hamzijui! Huwa tunawaambia kila siku humu JamiiForums, anyway ngoja niangalie mechi ya SIMBA SC na WAARABU kutoka MISRI. Then by tomorrow, nitakueleza kitu fulani πŸ˜„


Hadi huyu REDSAN ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA.

Huyu REDSAN ametoka TANZANIA katika MKOA WA SHINYANGA, hususani WILAYA YA BARIADI na KENYA walifanya kuhamia tu.


Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KENYA πŸ‡°πŸ‡ͺ.
 
Kwanini mkuu
TANZANIA kuna MAJESHI YA ULINZI na USALAMA ambayo yanaweza kuwa matano [5] kwa idadi yake. MAJESHI hayo ni JESHI LA WANANCHI [JWTZ], JESHI LA POLISI, JESHI LA MAGEREZA, JESHI LA ZIMAMOTO na JESHI UHAMIAJI.


Ukitaka kuelewa vizuri JAMII unayoishi, jiunge na JESHI LA UHAMIAJI. Huko ndiyo utaelewa vizuri kwamba, kwanini watu wanahama na kuhamia sehemu fulani kila siku.


Yaani, there is a movement of people each and everyday. Huko ndiyo utafahamu kuwa kuna "WENYEJI WA ASILI" na "WALOWEZI".


JESHI lingine ambalo huwa linatoa taswira kwa JAMII kupitia matukio mbalimbali huwa ni JESHI LA MAGEREZA.

Hili JESHI LA MAGEREZA lilianzishwa mwaka 1931, kipindi cha UKOLONI na halijawahi kubadilika kiutendaji na kimuundo hadi leo.


JESHI LA MAGEREZA huwa lina utaratibu wa kuchunguza na kufuatilia taarifa za MAHABUSU na WAFUNGWA wanapokuwa wamefikishwa MAGEREZA.


Sasa kwa kupitia JESHI LA MAGEREZA, ndiyo utafahamu JAMII ambazo huwa zinafanya matukio mbalimbali katika JAMII YA KITANZANIA.


Kwani ASILI YA WATANZANIA huwa ni WAOGA na matukio mbalimbali yanayotokea kwenye JAMII YA KITANZANIA kwa asilimia kubwa huwa yanatekelezwa na WALOWEZI.


WALOWEZI ni JAMII iliyohamia kutoka MATAIFA mbalimbali, iwe kwa sababu ya KISIASA, KIJAMII, KIBIASHARA, KIUCHUMI na hata KIDIPLOMASIA.


Kitu kingine ambacho huwa hakisemwi mbele ya halaiki huwa ni TABIA ZA WALOWEZI. Kwani WALOWEZI walipokuwa wanaingia TANZANIA walikuja na TABIA zao, yaani WAINGEREZA wanaita ni "ETHICS AND TABOOS" πŸ˜‚


Shida ilikuwa ni WALOWEZI waliokuwa wakihamia kutoka katika MATAIFA yenye VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani "CIVIL WAR COUNTRIES" kama SUDANI, RWANDA, BURUNDI NA KONGO.

Kuanzia hapa ndiyo utaelewa TABIA HALISI za wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].


Hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] huwa ni hatari sana hata kwenye masuala yanayohusu maisha ya kawaida.

Yaani SIASA ZA MATAIFA ya RWANDA, BURUNDI na KONGO ndiyo ilikuwa taswira kamili ya wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC]. Sasa hivi kuna jitihada zinaendelea za kubadilisha ile taswira iliyokuwepo tangu siku nyingi, lakini itachukua muda mrefu.
 
Hebu gesa kidog kuhus gwantanam ya tz
Kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] kule KIGOMA kulikuwa kuna kambi kubwa sana ya WAKIMBIZI iliyokuwa inaitwa NYARUGUSU.


Ile KAMBI YA WAKIMBIZI YA NYARUGUSU ilikuwa inajumuisha WAKIMBIZI kutoka katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO.


Sasa kabla ya kupewa URAIA kwa wale WAKIMBIZI waliokuwa wanaishi katika ule MKOA WA KIGOMA, wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, TABORA, KAGERA, KIGOMA pamoja na RUKWA walipewa ELIMU kuhusu WAHAMIAJI. Namna ya kuishi na WAHAMIAJI walio athirika na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE.


Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] waliathirika na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE kwa kipindi kirefu na namna ya kuishi nao ni "KUWAKWEPA na KUWAPUUZA". WAINGEREZA wanaita ni "IGNORING TACTIC".


Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] waliathirika sana na "VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE" na wamekuwa ni watu wa migogoro isiyoisha. Sasa ukijaribu kulumbana nao, wote mnaonekana ni wale wale.


Hata kwenye masuala ya MAHUSIANO YA KIMAPENZI huwa wapo hivyo na unaweza kuwa na MPENZI mwenye asili ya MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO [PUISSANTS] akawa yupo juu juu katika mahusiano yenu. Siku akimpata MWENZA mwingine mwenye asili ya kufanana na yake, wewe anakuacha hapo hapo bila ya kuwa na sababu za msingi.

Ndiyo maana sasa hivi mnashauriwa kuwa na WENZA kutoka sehemu mnazoshabihana KITABIA na KITAMADUNI ili kuepuka migogoro isiyokuwa ya lazima, maana muingiliano wa watu umekuwa ni mkubwa.

Kama mwanaume una uwezo wa KIAFYA na KIUCHUMI anaweza kusaidia JAMII yake kwa kuwa na mke zaidi ya moja, kikubwa ni HUDUMA itolewe kikamilifu..πŸ˜„


Sasa wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, TABORA, KIGOMA, KAGERA pamoja na RUKWA wanafahamu na walipewa ELIMU kuhusu WAHAMIAJI kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's].


Na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] pamoja na KAGERA [KCU] ndiyo waliokuwa wanamiliki kampuni nyingi za kibiashara.


Hapo ndiyo GUANTANAMO ilipoanzia, ilikuwa ni ngumu kwa WALOWEZI kuweza kupenya kwenye kampuni za kibiashara ambazo zilikuwa zinamilikiwa na wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU], TABORA [WETCU] pamoja na KAGERA [KCU].


Kwahiyo ile hali iliyokuwepo kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's], inaendelea hadi leo kwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA, ndiyo maana panaitwa GUANTANAMO.
 
Are we safe???
 
Are we safe???
Hii ndiyo SIASA YA TANZANIA! Kwa sababu kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ambapo kulikuwa kuna idadi kubwa wa WAHAMIAJI kutoka katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO - wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, TABORA, KAGERA, KIGOMA na RUKWA ndiyo waliopewa ELIMU kuhusu WAHAMIAJI.


Lakini WAHAMIAJI walivyofanikiwa kupata URAIA walisambaa TANZANIA nzima, ijapokuwa ELIMU YA UHAMIAJI ilitolewa kwa wale WANANCHI waliokuwa wakiishi jirani na MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI NA KONGO ikiwemo MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, TABORA, KAGERA, KIGOMA NA RUKWA.

Sasa wale WATANZANIA wengine waliokuwa wakiishi sehemu mbalimbali ndiyo wameathirika pakubwa kutokana na kukosa ELIMU YA UHAMIAJI.

Kwa mfano, sio kila mtu anayeitwa RUGEMALIRA ni MHAYA, wengine ni WALOWEZI na sio kila mtu anayeitwa ABDALLAH ni MUISLAMU, wengine walilazimika kubadilisha DINI kwa sababu za KIUSALAMA.

Matukio mengi yaliongezeka kama WIZI WA KUTUMIA SILAHA, UJANGILI KWENYE HIFADHI ZA WANYAMAPORI na mambo mengine mengi kama "CARRIER". Eeh, "CARRIER" imetoka kule kwenye MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.

Wao wanaamini kuwa "binadamu ni kama MAUA 🌿, hustawi na pia hunyauka". Sasa hivi "CARRIER" ndiyo ipo TANZANIA kwa upande wa MAJESHI YA ULINZI na USALAMA, lakini ilianzia kwenye MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.


Haya yalikuwa ni makosa ya UTAWALA WA AWAMU YA PILI uliokuwa ukiongozwa na MZEE RUKSA, kwa sababu baada ya kufanikiwa kupata URAIA WA TANZANIA wale WAHAMIAJI walipewa nafasi za upendeleo kwenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA.

Hii idadi kubwa ya wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] unayoiona kwenye MAJESHI YA ULINZI na USALAMA haijaja kwa bahati mbaya, bali ni mpango wa SERIKALI YA TANZANIA. Kuna namna inawatumia..


Kwahiyo, SERIKALI YA TANZANIA ipo salama lakini kwa upande wa WANANCHI WA KAWAIDA siyo salama, kwa sababu siyo wote waliofanikiwa kupata ELIMU YA WAHAMIAJI waliotoka katika MATAIFA yalioathirika na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE.
 
Sasa kama siri-kali ipo salam na raia hawapo salam, hii inaitwa MAGAZIJUTO STYLE
 
Sasa kama siri-kali ipo salam na raia hawapo salam, hii inaitwa MAGAZIJUTO STYLE
Ndiyo πŸ™πŸΎ! Kuna matukio ya ajabu ajabu yanaendelea kwenye MIKOA mbalimbali hadi unashangaa, lakini ni kutokana na makosa waliyoyafanya viongozi waliopita.


Ngoja nikupe mfano mmoja, unaona hii taarifa ya Kuijumuisha Al Hilal ya Sudan kwenye ratiba ya ligi ya NBC ni jambo la kuongeza, ndiyo kilichofanyika mwaka 1992 kipindi cha MFUMO WA VYAMA VINGI.


Kipindi kile unaanzishwa MFUMO WA VYAMA VINGI, mwaka 1992. Kuna WALOWEZI waliomba na wao kuanzisha CHAMA CHA KISIASA ili wapate fursa ya kushiriki SIASA ZA TANZANIA na walikubaliwa ombi lao.


Sasa hivi wanashiriki SIASA ZA TANZANIA, lakini kule walipotoka kuna VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, IDADI KUBWA YA WAKIMBIZI, MAUAJI YA HALAIKI, RUSHWA, UHARIBIFU WA MAZINGIRA, VIKOSI VYA KUTULIZA AMANI na mambo mengine mengi.


Sasa kipi ambacho wanakihitaji kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA? Ndiyo maana kila siku tunasema hawa WALOWEZI waliotoka katika MATAIFA yaliyoathirika na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE ni MATATIZO.


Kwahiyo wale WATANZANIA waliofanikiwa kuifahamu vizuri SIASA YA TANZANIA tangu siku nyingi, ndiyo walifanyika kuwa WASHINDI na wamepiga hatua za KIMAENDELEO.
 
Sasa kama siri-kali ipo salam na raia hawapo salam, hii inaitwa MAGAZIJUTO STYLE

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU], TABORA [WETCU] pamoja na KAGERA [KCU] walifanikiwa kuwabeba watu wao.


Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini UGANDA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini UGANDA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA MWANZA, WILAYA YA MISUNGWI.


Anaitwa PHIONA NYAMUTORO na siku chache zilizopita aliteuliwa kuwa WAZIRI WA NISHATI NA MADINI, yaani MINISTER OF STATE FOR ENERGY AND MINERAL DEVELOPMENT katika SERIKALI YA UGANDA.


Sasa wale wengine wanafeli wapi? Wakati wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanazidi kuchanja mbuga..πŸ˜‚


Wale waliokuwa wamiliki halali wa kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa ZUBERI, ndiyo wamiliki halali wa JENGO LA DELMONICO'S linalopatikana MANHATTAN, NEW YORK, nchini MAREKANI.


Pia ndiyo wamiliki halali wa JENGO LA PETROSSIAN linalopatikana pale "FOUR WAYS", MANHATTAN, NEW YORK, nchini MAREKANI.


Kwahiyo kuna baadhi ya WATANZANIA walifanyika kuwa WASHINDI baada ya kufanikiwa kuifahamu vizuri SIASA YA TANZANIA.
 
Sasa kama siri-kali ipo salam na raia hawapo salam, hii inaitwa MAGAZIJUTO STYLE
Ndiyo SIASA YA TANZANIA! Lakini mambo ya kushangaza zaidi yapo katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.

Wenye matatizo tangu mwanzo walikuwa ni wao wenyewe ambao ni wenyeji wa asili wa MATAIFA hayo, hali hii ilipelekea MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO kutawaliwa na WALOWEZI.


Hivi unafahamu mtu aliyekuwa nyuma ya UTAWALA WA JOSEPH KABILA? RAIS MOBUTU SESE SEKO ndiyo kiongozi wa mwisho kupinduliwa nchini KONGO, baada ya hapo mipango ilipangwa vizuri na ikapangika.


LAURENT KABILA hakupigwa RISASI na wala hakuawa, bado yupo hai! Ile ilikuwa ni "INSIDE JOB" ya kumfanya [...] kuongoza TAIFA LA KONGO kupitia kwa JOSEPH KABILA na alifanikiwa kuongoza TAIFA LA KONGO kwa kipindi cha miongo miwili.


Sasa haya ndiyo mambo ya kushangaza kwa wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].


Kwahiyo TAIFA LA KONGO bado linapitia katika kipindi kigumu na hali hiyo imesababishwa na WAKONGOMANI wenyewe.
 
Sasa kama siri-kali ipo salam na raia hawapo salam, hii inaitwa MAGAZIJUTO STYLE
Wewe bado UNASHANGAA hayo mambo! Hivi unafahamu maana halisi ya jina la "KEYSHIA COLE"?


"KEYSHIA COLE" ni MSANII kutoka katika TAIFA LA MAREKANI mwenye asili ya KONGO.

Hawa wenyeji wa asili wa TAIFA LA KONGO waliiba sana katika SERIKALI yao na hazina kubwa walihamishia katika MATAIFA YA UGHAIBUNI, ikiwemo BARA LA ASIA.


Ndiyo maana halisi ya jina la "KEYSHIA COLE" yaani KONGO imewekeza sana katika BARA LA ASIA. Hawana shida, WAKONGOMANI ni MATAJIRI lakini TAIFA LA KONGO limegubikwa na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE.


WAKONGOMANI [✌🏽] wamefanikiwa kuwekeza sana nje ya nchi, kuliko hata katika TAIFA lao na wanaendelea kuhama kutoka katika TAIFA LA KONGO na kuhamia katika MATAIFA mbalimbali duniani.


Haya pia ni mambo ya kushangaza, wao [WAKONGOMANI] walikuwa wanahamisha HAZINA YA TAIFA lao na kwenda kuwekeza katika MATAIFA mengine.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa TAIFA LA KONGO bado wanamiliki UCHUMI MKUBWA ambao wanaweza kuhudumia hata wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA pamoja na BURUNDI.
 
Duuuh tunasafar ndefu ya kutoka utumwan
Aisehhh hapo wanasafar ndef ya kulipita jangwa
Aiseeh wanatumia tumbo kuwaza kuliko brainnn.
 
Duuuh tunasafar ndefu ya kutoka utumwan
Hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] bado wana mahusiano mazuri na WAKOLONI wao i.e WAFARANSA na WABELIGIJI.

Na hata kuwekeza katika MATAIFA mbalimbali duniani huwa wanawatumia WAFARANSA na WABELIGIJI.
Aisehhh hapo wanasafar ndef ya kulipita jangwa
TANZANIA bado ni BRITISH AUTONOMY. Kabla ya kuanzisha CHAMA CHA KISIASA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] waliwasiliana kwanza na "COLONIAL MASTER" ambao ndiyo UINGEREZA.

Walifanikiwa kupewa ruhusa! Na ilitangazwa kuwa ni fursa kwa MWANANCHI yoyote mwenye nia ya kuanzisha CHAMA CHA KISIASA, wapo wengine walifanikiwa kuanzisha VYAMA VYA KISIASA kwa kutumia mgongo wa MATAIFA fulani fulani.

Lakini tishio ilikuwa ni kwa wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC]. Kwani hofu ilizidi kuwa kubwa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ.


Baada ya hapo, ndiyo kilikuwa ni kipindi cha mwanzo wa SIASA ZA MATAIFA YA MAZIWA MAKUU. Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walishuhudia kilichofanyika mwaka 1994.
Aiseeh wanatumia tumbo kuwaza kuliko brainnn.
VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE vimewaathiri sana wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].


Hata leo hii, MKONGOMANI akizaliwa MITAA YA "OLD TRAFFORD" bado anakuwa na ile shida ya KISAIKOLOJIA..😁


Hata leo hii, mtoto akizaliwa nje ya MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO halafu akaelezwa kuwa yeye ni MKONGOMANI au MRUNDI au MNYARWANDA kwa asili, lazima ataathirika KISAIKOLOJIA kutokana na yale mambo yaliyokuwa yakifanyika miaka iliyopita.


VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE ni vibaya sana na siyo rahisi kuweza kusahau. Hata kwa matukio yanayoendelea sasa hivi katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO lazima athari ziwepo kwa wenyeji wa asili wa MATAIFA hayo.


Haya ni matatizo makubwa sana! Hata kwenye MASUALA YA KIJAMII, wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] wanakuwa wanaathirika.


Kwahiyo kuna namna ya kuishi na wahanga au waathirika wa VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE. Wale waliokuwa wenyeji wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, TABORA, KAGERA, KIGOMA na RUKWA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] walifundishwa.
 
Aiseeh wanatumia tumbo kuwaza kuliko brainnn.
VITA imewaathiri sana wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC], hata kwenye maisha ya kawaida wanakuwa na vitu fulani ambavyo havipo sawa.

Zile hisia za kufanya visasi na malipizi ndiyo zimewatawala! Hisia za chuki! Hisia za kuwa na hofu hata katika maisha ya kawaida! Hisia za mawazo na matendo hasi! Hisia za kikatili na kufanya mauaji bado wanazo.


Miaka ile ya tisini [1990's] wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC], walikuwa wanauza vitu vyao na kuhamia UGHAIBUNI.


Hata hii timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA KONGO inayoitwa TP ENGLEBERT MAZEMBE, wamiliki halali walikuja TANZANIA kutafuta MTEJA na wakawapata wamiliki halali wa timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA TANZANIA inayoitwa SIMBA SC.


Ukiangalia LESENI YA TP MAZEMBE na LESENI YA SIMBA SC ina majina ambayo yanafanana na kuna WATANZANIA wanamiliki vitu vingi kwenye haya MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.

Hadi timu ya AS VITA iliuzwa! Timu ya MANIEMA iliuzwa! Timu ya VITA'OL ya BURUNDI iliuzwa! Timu ya RAYON SPORTS ya RWANDA iliuzwa! Yaani hawa PUISSANTS waliuza vitu vingi na wakahamia UGHAIBUNI.


Ndiyo wakina TRESOR MPUTU wakaanza kuonekana kwenye TASNIA YA SOKA. Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini KONGO kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA MWANZA.


Sasa hivi hii timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA KONGO inayoitwa TP MAZEMBE ina wacheza mpira wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kutoka TANZANIA, kasoro wachezaji wenye asili ya ASIA pamoja ULAYA.

Kwahiyo hali ya KISIASA YA TANZANIA tangu siku nyingi, wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa kuifahamu vizuri.
 
Aiseeh wanatumia tumbo kuwaza kuliko brainnn.
Hawa wametengenezwa na KONTAWA au MAKONTAWA! Yaani ni kama ilivyokuwa kwa upande wa TAIFA LA ITALIA dhidi ya MAKUNDI YA UVAMIZI yaliyokuwa yanapatikana katika MJI WA SICILY.


Hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS bado wana mahusiano mazuri na WAKOLONI wao i.e WAFARANSA na WABELIGIJI.

Jaribu kuangalia hii "MOVIE" ambayo inaitwa "THE EQUALIZER 3" na ilitoka mwaka jana [2023], hao ni kama KANSA KWA TAIFA na SERIKALI wasipo iwahi mapema italiangamiza TAIFA.

Tafuta hiyo "MOVIE" uangalie, imeeleza hali ya kisiasa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.


Hapo mwanzo wakati hiyo "MOVIE" inaanza ilikuwa inamuonesha DEREVA akiwa na mtoto wa kiume ndani ya gari. Huyo DEREVA ni KIKWETE na mtoto wa kiume ni MANING NICE alikuwa anamuonesha mambo ya "WHITE HOUSE".


Baadae yule DEREVA alifariki kwa kupigwa risasi na yule mtoto wa kiume alibaki pekee yake. Sasa jaribu kutazama hiyo "MOVIE" uone msaada utatoka wapi? πŸ˜‚ πŸ‡ΊπŸ‡Έ
 
LAURENT KABILA hakupigwa RISASI na wala hakuawa, bado yupo hai! Ile ilikuwa ni "INSIDE JOB" ya kumfanya [...] kuongoza TAIFA LA KONGO kupitia kwa JOSEPH KABILA na alifanikiwa kuongoza TAIFA LA KONGO kwa kipindi cha miongo miwili.
Unaongea upuuzi mwingi sana sana kaa kimya kama ushalewa.
 
Naipata hiyo mov ni balaaa tupu, full mauwaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…