😡😡😡😡 ebwanaaa, hiyo inaitwa TUNALIPA FADHILA
Hii timu ya TP MAZEMBE imefuzu katika hatua ya nusu fainali kwenye MICHUANO YA KLABU BINGWA AFRIKA.
Inajumuisha wacheza mpira wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kutoka TANZANIA.
WAKONGOMANI kipindi wanauza hii timu ya mpira wa miguu inayoitwa TP MAZEMBE walikuwa wanaamini wataendelea kuwepo kwenye KLABU, hata baada ya kuuza.
Lakini hali ilienda tofauti, sasa hivi ni WATANZANIA ndiyo wanamiliki, wanasimamia na wanacheza katika KLABU YA TP MAZEMBE.
Hali hiyo ipo hivyo hivyo hata katika VILABU vingine, kama ukiangalia KLABU YA LIVERPOOL - wachezaji wote huwa ni WAINGEREZA kasoro wale WACHEZAJI WEUSI na WACHEZAJI wenye asili ya ASIA.
Hata huyu MOHAMED SALAH ni MUINGEREZA kwa asili, aliyefanyika kuwa MLOWEZI katika TAIFA LA MISRI. Hiyo ndiyo SIASA.
Hata hii timu ya mpira wa miguu inayoshiriki LIGI KUU YA ALGERIA 🇩🇿 inayoitwa ENTENTE SPORTIVE SÉTIFIENNE ni timu ambayo inajumuisha wachezaji wote wenye asili ya UFARANSA.
Hii ES SÉTIFIENNE ni timu kubwa, kwa sababu ni mabingwa mara mbili wa KLABU BINGWA AFRIKA.
Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] - DUNIA ilikuwa inawashangaa kwa kuuza VILABU VYA MPIRA WA MIGUU kama TP MAZEMBE, AS VITA, MANIEMA, VITA'OL pamoja na RAYON SPORTS.
Wakati MATAIFA mengine wakifanya biashara ya kuuza VILABU VYA MPIRA WA MIGUU wanahakikisha MNUNUZI au MUWEKEZAJI anasimamia masilahi yao.
Kwa wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] hali ilikuwa ni tofauti, kwani wao walikuwa wanauza tu ilmradi wapate FEDHA ya kwenda kuishi UGHAIBUNI.. 😁