Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Wewe jamaaa??? Anakuwa nzimuuu???
Unajua kuna tofauti kubwa baina ya "MATAIFA YA FRANCOPHONE" na "MATAIFA YA COMMON WEALTH".


"MATAIFA YA FRANCOPHONE" tangu kipindi cha UKOLONI, wananchi wao waliaminishwa na WAKOLONI ambao ni UFARANSA, kuwa maisha yanaanza baada ya kujiunga na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA.


Yaani baada ya kumaliza ELIMU YA SHULE YA SEKONDARI pamoja na SHULE YA CHUO KIKUU, kinachofuata ni kujiunga na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA. Kule KONGO kulikuwa kuna CHUO CHA KIJESHI ambacho kilikuwa maarufu kilichokuwa kinaitwa KANANGA.


"MATAIFA YA COMMON WEALTH" tangu kipindi cha UKOLONI, wananchi wao waliaminishwa na WAKOLONI ambao ni UINGEREZA, kuwa maisha yanaanza baada ya kumaliza ELIMU YA SHULE YA SEKONDARI pamoja na SHULE YA CHUO KIKUU na kujiunga na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA ilikuwa siyo lazima.

Sasa wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walikuwa chini ya UTAWALA WA UFARANSA, ambao ni "JUMUIYA YA MATAIFA YA FRANCOPHONE".


PUISSANTS [BSC] hadi leo wanaamini kuwa, ili binadamu akamilike na aweze kujitegemea katika mahitaji yake ya kila siku ni lazima ajiunge na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA.


Kule kwenye MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC], wenyeji wengi wa asili walikuwa ni miongoni mwa ASKARI wa MAJESHI YA ULINZI na USALAMA. Kwahiyo wako "VERY AMBITIOUS and STRATEGIC" hata katika masuala yanayohusu maisha ya kawaida.


Kabla ya kusambaa katika MATAIFA mbalimbali duniani, ilikuwa ni lazima kujiunga na MAJESHI YA ULINZI na USALAMA. Kwahiyo walikuwa wanasambaa tayari wakiwa ni ASKARI.


Kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MASHARIKI ambayo ni TANZANIA, KENYA na UGANDA [COMMON WEALTH COUNTRIES] walijihami tangu siku dhidi ya wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].


Lakini kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI walifanikiwa kufanya MAPINDUZI YA KIJESHI na kuongoza baadhi ya MATAIFA ikiwemo BURKINA FASO kupitia kwa aliyekuwa RAIS THOMAS SANKARA.


Hawa wote wanaonekana kwenye picha ya pamoja ni WAKONGOMANI - kuanzia kwa THOMAS SANKARA [aliyekuwa RAIS WA BURKINA FASO], MIRIAM MAKEBA [AFRIKA YA KUSINI], TSHALA MUANA [KONGO], GEORGES OUÉDRAOGO [BURKINA FASO], NAYANKA BELL [IVORY COAST] na NAHAWA DOUMBIA [MALI] ambao walikutana kwa pamoja katika TAMASHA LA FESPCO, 1985 lililofanyika katika JIJI LA OUAGADOUGOU, nchini BURKINA FASO.


Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walifanikiwa na wanaendelea kufanikiwa hata miaka ya hivi karibuni, katika kufanya mapinduzi ya kijeshi katika MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI.


Kwa upande wa MATAIFA YA AFRIKA YA MASHARIKI [COMMON WEALTH COUNTRIES], wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] wanafahamika na tahadhari zilishachukuliwa dhidi ya SERIKALI, ijapokuwa katika maisha ya kila siku - WANANCHI WA KAWAIDA ndiyo wanaoathirika zaidi.


Kwahiyo, kwa huu UKANDA WA AFRIKA YA MASHARIKI NA KATI [EAST AND CENTRAL AFRICAN COUNTRIES] - wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] waliwahi kupata ELIMU YA DARASANI kuliko wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA TANZANIA, KENYA pamoja na UGANDA.
 
Wewe jamaaa??? Anakuwa nzimuuu???

Hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walianza kupata ELIMU YA DARASANI kabla ya MATAIFA YA AFRIKA YA MASHARIKI [KENYA, UGANDA na TANZANIA].


Huwa wanasema kuna baadhi ya PUISSANTS [BSC] walianza kuingia katika MATAIFA YA AFRIKA YA MASHARIKI hata kabla ya MATAIFA hayo kupata UHURU, huwa ni kweli!.


Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walianza kuingia TANGANYIKA hata kabla ya kupatikana kwa UHURU [1961] na walikuwa wanasimamiwa na MKOLONI wao, ambaye ni UFARANSA.


Kipindi ambacho wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] wanahama kwenye MATAIFA yao ya asili, walikuwa wanafundishwa na kupata mafunzo ya kijeshi.


Wenyeji wengi wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walipita katika kile CHUO CHA KIJESHI kinachoitwa KANANGA. Kile CHUO CHA KANANGA kimefundisha watu wengi sana. Miongoni mwao, ni wazazi wa mwanasiasa mmoja nchini TANZANIA anayeitwa KALANGA.


Hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] ndiyo wanaitwa "WANAMAPINDUZI" au kwa jina lingine wanaitwa "REVOLUTIONARIES". Huwa wanafanya MAPINDUZI hata kwenye ngazi ya chini kabisa katika jamii ambayo ni FAMILIA.


Mara nyingi huwa wanaoana wao kwa wao, ikitokea BINTI ameolewa na mtu mwingine anakuwa amejiegesha tu na huwa wanarudi kuzaa kwao. I mean, wanazaa na MWANAUME wa kwao. Ikitokea PUISSANTS WA KIKE [BSC] amezaa na MWANAUME mwingine, ujue huyo alipenda kweli.


Kule kwenye MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] - WANAWAKE walikuwa wanaheshimika sana kutokana na UZAZI. Hapo ndiyo nguvu yao ilipokuwa imeegemea, kwa sababu wao ndiyo walikuwa wanaamua nani wa kuzaa nae hata kama wapo kwenye NDOA.


Kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA - wale waliofanikiwa kuyafahamu haya mambo tangu mapema walijiepusha na wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] iwe kwenye MASUALA YA KISIASA na hata KIJAMII, ikiwemo MAHUSIANO YA KIMAPENZI.

Ukiwa unawapuuza na kuwakwepa wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] unakuwa kama umewashusha thamani, yaani "DISVALUE OF PERSONALITY" na hii ndiyo staili ya kuishi na waathirika wa "VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE".


Hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] waliingia kwa wingi sana nchini TANZANIA na hii ilitokana na UKARIMU wa WATANZANIA wenyewe.


Kwahiyo namna ya kuishi nao wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC], kuna baadhi ya sehemu walifundishwa na kufanikiwa kupata ELIMU ikiwemo MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, TABORA, KAGERA, RUKWA pamoja na KIGOMA.

Pia kuna baadhi ya maeneo hawakufanikiwa kupata ELIMU ya namna ya kuishi na waathirika wa "VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE". Haya pia ni madhaifu ya SERIKALI YA TANZANIA, kwa sababu VIONGOZI pamoja na SERIKALI wapo salama lakini kuna baadhi ya WANANCHI ambao hawakufanikiwa kupata ELIMU YA WAHAMIAJI hawapo salama.
 
Wewe jamaaa??? Anakuwa nzimuuu???

HAYATI MOBUTU alijijenga sana katika masuala ya KIUCHUMI na KISIASA na alifanikiwa kuwekeza katika MATAIFA mbalimbali.


Lakini shida kubwa aliyokuwa nayo HAYATI MOBUTU, ni kwamba alikuwa anaanzisha VYAMA VYA KISIASA katika MATAIFA mbalimbali kupitia UBALOZI WA ZAIRE. Hali ile ilimuongezea MAADUI WA KISIASA.


HAYATI MOBUTU alivyokuja kupinduliwa na LAURENT DESIRÉ KABILA, hali ilikuwa ni tofauti kwa sababu kuna baadhi ya watu walishangalia na waliokuwa watu wake wa karibu walihudhunika.


FAMILIA yake ilipalanganyika hadi kupelekea baadhi ya watoto wake na ndugu zake wa karibu kubadilisha majina yao ya asili.


Mwaka huu, mwezi wa tatu [MACHI] kuna mtoto wake wa kike [CHOTARA] aliyefanikiwa kumzaa akiwa anaishi uhamishoni alikuja TANZANIA na akafanikiwa kufika hadi katika ule MKOA WA SHINYANGA ambapo anaishi MWENYEKITI WA PUISSANTS [MKOA WA SHINYANGA]. Huyo MWENYEKITI WA PUISSANTS [MKOA WA SHINYANGA] anaonekana ana cheo kikubwa kwa upande wao.


Kwahiyo kiujumla pamoja na kujilimbikizia UKWASI WA KUTISHA, bado historia na mienendo ya wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] siyo mizuri kutokana na zilizokuwa siasa za MATAIFA yao.
 
Yani chair person awe Tz alafu jeshi au sirikal haijui??? Hahaha

SERIKALI itakuwa inafahamu, hakuna shida yoyote na alikuwa anatumia gari ya aina hiyo kipindi yupo SHINYANGA MJINI.

Maana sasa hivi ukiwa SHINYANGA MJINI idadi kubwa ya wakaazi ni ASKARI. Kila KONA na kila MAHALA wametapakaa.

Sasa tatizo linakuja kwao! Kwanini wanahangaika wakati wakirudi katika MATAIFA yao wanapokelewa vizuri. Haya ndiyo matokeo ya "VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE" yaani "CIVIL WAR", wanakuwa wanaishi kwa hofu.
 
hapo unataka kutuambia nnn

JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI yaani "EAST AFRICAN COMMUNITY [EAC]" ilikuwa inajumuisha MATAIFA YA TANZANIA, KENYA na UGANDA. Ilikuwa inajumuisha UDUGU [na kuna watoto walizaliwa wa JUMUIYA] na masuala yote yanayohusu UCHUMI na ULINZI.

Baadae kuna MATAIFA kama RWANDA, BURUNDI, KONGO na SUDANI YA KUSINI yalifanikiwa kujiunga na kutengeneza JUMUIYA YA KIUCHUMI YA AFRIKA YA MASHARIKI yaani "EAST AFRICAN REGIONAL ECONOMIC BLOC".


Sasa kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC], hususani MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI itachukua muda mrefu hadi kueleweka kwa upande wa WANAJUMUIYA WA AFRIKA YA MASHARIKI. Yaani inabidi ELIMU itolewe kwa WANAJUMUIYA na wapate kuelewa kuhusu mabadiliko ya kisiasa yaliyofanyika katika MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI [1994].
 
hapo unataka kutuambia nnn

Hii ni KONGO! Kipindi cha msimu wa mvua, barabara zinakuwa hazipitiki kabisa. Unaweza kujikuta unatumia wiki moja kutembea umbali wa kilomita 500, hata mwezi unaweza kumaliza..😁🇨🇩


Kule usafiri mkubwa wa abiria huwa ni NDEGE au TRENI, maana barabara huwa ni mbovu na hauwezi kulinganisha na TANZANIA hata kidogo.


Lakini ukijaribu kuangalia kampuni binafsi ambazo wanamiliki WAKONGOMANI nje ya TAIFA LA KONGO, utashangaa!

Wao wamejitahidi sana kuwekeza katika MATAIFA mbalimbali duniani, hasa MATAIFA YA AFRIKA YA MAGHARIBI. Lakini kwao hakuna maendeleo wala amani na WAKONGOMANI wengi walihama TAIFA lao.


Hiyo ndiyo KONGO! Wanamiliki hadi VYAMA VYA KISIASA kwa upande wa MATAIFA mengine, lakini kwao kuna VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani "CIVIL WAR".


Hali hii ni tofauti kabisa na iliyokuwa JUMUIYA YA AFRIKA YA MASHARIKI [KENYA, UGANDA na TANZANIA]. Wenyeji wa asili wa MATAIFA YA KENYA, UGANDA na TANZANIA wako "VERY PROUD" na MATAIFA yao.
 
hapo unataka kutuambia nnn
HAYATI MWALIMU alifanikiwa kujenga TAIFA LA TANZANIA na hata alipong'atuka mwaka 1985, aliyefuata baada yake alikuwa ni MZEE RUKSA. Pia na yeye alifanya vizuri kwa upande wake, japo kuna mambo mengine hayakwenda vizuri.


Hii ni KONGO! Hawa MAJIRANI zetu ambao ni wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walikuwa wana matatizo yao tangu siku nyingi.


Kwa sababu ilikuwa sio busura kujihusisha na SIASA ZA MATAIFA mengine na kufanikiwa kuanzisha VYAMA VYA KISIASA, ilhali katika MATAIFA yao [MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO] kulikuwa kuna VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani "CIVIL WAR".


Ile hali ya kujihusisha na SIASA ZA MATAIFA mengine ndiyo iliyopelekea MAPINDUZI YA KISIASA kwa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].
 
hapo unataka kutuambia nnn
Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa TAIFA LA TANZANIA Haya hapa ndio makabira 125 Tz , je we uko namba ngapi hapo na ndiyo wanatambulika tangu na hata kabla ya kupatikana kwa uhuru wa TANGANYIKA na ZANZIBARI! Walio ongezeka baada ya hapo waliitwa WALOWEZI.

WALOWEZI ni neno rasmi linalotambulika katika "KAMUSI YA LUGHA YA KISWAHILI" ikiwa na maana ya WAHAMIAJI waliofanikiwa kuhamia sehemu fulani na kuakisi tamaduni za wenyeji wa asili.


Sasa hawa MATAIFA JIRANI ya RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walikuwa wana matatizo yao tangu siku nyingi na TANZANIA haikupaswa kuwaingilia, hata kama walikuwa wanahatarisha USALAMA WA TANZANIA.


TANZANIA ilipaswa kuimarisha mipaka yake na siyo kuingilia migogoro ya hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].


Haya pia yalikuwa ni MAKOSA YA KISIASA yaliyofanyika kipindi kile cha miaka ya tisini [1990's] ambapo MZEE RUKSA akiwa ameshika hatamu. Lakini pia tunaweza kusema kuwa HAYATI MWALIMU alishuhudia makosa yakitendeka.


Migogoro ya wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walipaswa kuachiwa wale JUMUIYA YA FRANCOPHONE ili waweze kumaliza matatizo yao, hasa KONGO - BRAZZAVILLE.


Lakini badala yake, TANZANIA ilichukua nafasi ya JUMUIYA YA FRANCOPHONE na kusuluhisha migogoro ya wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].


Idadi kubwa ya wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walipata fursa ya kuhamia nchini TANZANIA na kufanikiwa kujihusisha na SIASA ZA TANZANIA.


Haya pia yalikuwa ni MAKOSA MENGINE YA KISIASA, kwa sababu siyo sahihi kuwaruhusu WALOWEZI walioathirika na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani "CIVIL WAR" kujihusisha na SIASA na hatimae kuanzisha VYAMA VYA KISIASA katika TAIFA JIRANI ambalo linasifika kuwa ni TAIFA lenye amani na utulivu kwa kipindi kirefu.


Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] walifanikiwa kuanzisha VYAMA VYA KISIASA kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA na wanashiriki chaguzi mbalimbali na walifanikiwa kupata fursa za ajira kama WATANZANIA wengine.


Sasa hivi shida imehamia kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ambapo "JOTO LA KISIASA" huwa linapanda kila inapofika MWEZI WA NNE [APRIL]. Sijui tunafanyaje hapo..😁


Kwahiyo, mambo yanayoendelea sasa hivi kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ni makosa ya kiuongozi yaliyokuwa yakifanyika katika AWAMU YA KWANZA na AWAMU YA PILI.
 
Hao bsc wakae kwa kutulia, hata kam wamehamia mwak 1900,
 
Uko sahihi mkuu
 
Hao bsc wakae kwa kutulia, hata kam wamehamia mwak 1900,
Wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] ndivyo walivyo na hawatakuja kubadilika.

VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE, yaani CIVIL WAR iliwaathiri sana kiasi ambacho wamekuwa na MATATIZO YA KISAIKOLOJIA.


Ukitaka kuelewa vizuri, jaribu kutumia tukio la mwaka 2012/13 pale katika CHUO KIKUU CHA DODOMA [UDOM] - KITIVO CHA SAYANSI YA JAMII [COHSS] kama "CASE STUDY".

Wale wote waliokuwa VIONGOZI WA SERIKALI YA WANAFUNZI pale KITIVO CHA SAYANSI YA JAMII [COHSS] mwaka 2012/13, kuanzia RAIS, SPIKA na NAIBU SPIKA walikuwa ni wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] kutoka katika TAIFA LA KONGO 🇨🇩.

Sasa yule RAIS WA SERIKALI YA WANAFUNZI WA COHSS aliiba pesa [10,000,000 Tshs] kutoka katika mfuko wa SERIKALI YA WANAFUNZI na akatolewa na SPIKA WA BUNGE LA WANAFUNZI WA COHSS. Yule RAIS aliyeiba PESA ZA WANAFUNZI alienda kulala POLISI kama siku saba hivi. SPIKA WA BUNGE LA WANAFUNZI WA COHSS alifanikiwa kuvunja SERIKALI YA WANAFUNZI WA KITIVO CHA COHSS na kuwa RAIS WA KITIVO CHA COHSS baada ya kufanya KIKAO CHA BUNGE.

Baadae yule SPIKA WA BUNGE LA WANAFUNZI WA COHSS aliyefanikiwa kuwa RAIS "alidisco" masomo yake na kushindwa kuendelea na nafasi yake ya URAIS.

Yaani pale katika KITIVO CHA COHSS ilikosekana JESHI tu! Maana kama JESHI lingelikuwepo, risasi zingelindima..😁

Baada ya "kudisco" kwa aliyekuwa SPIKA WA BUNGE LA COHSS, aliyefuata kuwa RAIS WA COHSS alikuwa ni NAIBU SPIKA WA BUNGE LA COHSS na yeye "alidisco" masomo yake akiwa anaingia muhula wa pili.

Sasa SERIKALI YA WANAFUNZI WA COHSS ilishindwa kujiendesha kutokana na viongozi wote kuenguliwa. Aliyebaki alikuwa ni MAKAMU WA RAIS pekee yake.

Baada ya hapo "KIKATIBA", ilibidi SERIKALI YA WANAFUNZI kwa upande wa SHIRIKISHO [FEDERATION] iingilie kati ili kuweza kuendesha SERIKALI YA WANAFUNZI WA COHSS.


Ndiyo MANING NICE akawa RAIS WA AWAMU YA TANO katika KITIVO CHA COHSS kutoka SHIRIKISHO [FEDERATION]. Hii ikiwa ni CHAGUO LA NNE baada ya kuenguliwa kwa RAIS, SPIKA WA BUNGE na NAIBU SPIKA WA BUNGE WA KITIVO CHA COHSS.

Kwahiyo yale mambo yaliyotokea katika KITIVO CHA COHSS [2012 /13] yanasadifu hali ya kisiasa ilivyokuwa katika MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].
 
With kambona tungefuata ukenya zaidi

Glad we didn’t
 
We re watching them closely than they re thinking.
 
We re watching them closely than they re thinking.

The only thing I used to know since then is that, PUISSANTS [BSC] is not on our PLAYLIST. I am very sorry to comment this, but that is saddened truth.


This is truth be told about TANZANIA! It does the whole truth and nothing but the truth 🇹🇿.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…