Charles Mandela
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 2,752
- 2,282
Ngoja nikupe kitu kingine ambacho huwa ni nadra sana kusikia mbele za watu - pale UINGEREZA huwa kuna CHUO CHA KIJESHI ambacho huwa kinafundisha masuala ya UONGOZI, ULINZI na USALAMA.Tuwekee chakula cha ubongo hapa
Sasa kuna kitu cha kushangaza katika vifupisho vya majina ya hii timu ya mpira wa miguu ya REAL MADRID.
Kifupisho cha kwanza cha jina la REAL MADRID huwa ni RMA na ukiwa katika viunga vya JIJI LA MADRID pale UHISPANIA, huwa wanaita MARCA [inatamkwa MASA]. Yaani kama ilivyo kwa upande wa timu ya mpira wa miguu inayoitwa BARCELONA kuwa na kifupisho cha jina la BARCA [inatamkwa BASA], basi na REAL MADRID huwa na kifupisho cha jina la MARCA [inatamkwa MASA].
Baadae, hilo jina la MARCA [MASA] au MARTHA lilienea ulimwenguni kote na kuendelea kutumika kama sehemu ya utambulisho wa INTELIJENSIA KWA JINSIA YA KIKE waliokuwa wanawakilisha TAIFA LA UINGEREZA.
Kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, ukiwa katika MAJESHI YA ULINZI na USALAMA - ukikutana na mwanamke anaitwa MARCA au MASA au MARTHA, ujue huyo anawakilisha TAIFA LA UINGEREZA.
Kwahiyo, hiki CHUO CHA ROYAL MILITARY ACADEMY SANDHURST [RMA] kimefanikiwa kuwa msaada mkubwa kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA tangu kipindi cha kupata UHURU [1961] na hata baada ya MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBARI [1964].