Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Msingi wa yanayoendelea leo Tanzania kiuchumi na kisiasa mwanzo wake ni jinsi Nyerere alivyomfanyia Kambona. Kambona alikuwa kiongozi mwenye upeo mkubwa sana na aliona mbali sana kuwa Sera za Nyerere sizingeweza kuzalisha Tanzania waliyokuwa wanaipigania dhidi ya Mkoloni.

Kiburi cha Nyerere na watu wake ndo mwanzo wa Tanzania yetu kuanguka vibaya kiuchumi na kuwa na mfumo mbovu zaidi wa utawala unaotengeneza watu wanafiki wanaomzunguka mtawala mkuu ambao kazi yao sio kumwambia mtawala mkuu ukweli bali kumlisha maneno ya uongo ili matumbo yao yaendelee kushiba.

Kambona aliona mbali sana. Alipinga kabisa uanzishwaji wa Azimio la Arusha na akajiuzuru nafasi zake zote. Waliokuwa wanampinga na kumuungua mkono Nyerere ndo walioshuhudia nchi ilivyoanguka vibaya kiuchumi kutokana na sera mbovu za ujamaa, na Nyerere alipoondoka tu walizitupilia mbali sera za ujamaa na kuanzisha soko huria.

Kama Tanzania Leo tusingekuwa na ujamaa Leo Tanzania ingeweza kuwa nchi yenye uchumi mkubwa zaidi Africa maana kwa miaka ya 60 Tanzania ilikuwa na wakulima vijijini waliokuwa wakilima kwa tractors. Sasa hali ingeendelea kuwa vile hadi leo tungekuwa wapi???

Ukweli lazima usemwe, ipo siku lazima tutamkumbuka Kambona kama shujaa wa Taifa hili na ukweli utasemwa kweli kuwa Nyerere ndo chanzo cha hii Tanzania mbovu tuliyokuwa nayo leo.
Mkuu Ni hivi, No perfect human being ever created. Kwamba mapungufu yalinganishe na positive side.
Mkuu ruaharuaha.

What is the greater good for the society?

And please, who determine that this the greater good for any particular society?
Self evident. You need me to spell out to you. Usalama wako, biashara yako, in short maisha yako.
 
Wewe kweli ni mtoto wa miaka ya 1990. Andiko lako limethibitisha kwamba unaandika vitu kwa jinsi ulivyowasikia wakubwa zako wakiongea.

Dunia ya wakati ule ilikuwa ni aidha uwe mjamaa au uwe bepari hakukuwa na njia ya mkato ya kujiamulia mfumo wako mwenyewe. Kumbuka kulikuwa na nchi zisizofungamana na upande wowote.

Nyerere alikuwa na kazi ya kujenga msingi wa kitaifa kazi yake ilikuwa ni ngumu kuliko waliyomfuatia. Hawa wa baadae walikuja kukuta ujamaa umeshakufa tofauti na Nyerere.

Cha muhimu sio kutafuta wa kumlaumu, tutumie rasilimali watu waliopo na rasilimali tulizopewa na Mungu katika kujiweka sawa kiuchumi, hizi tabia za kutafuta wa kumnyooshea kidole hazina tija.
 
Unaongea na mimi?
 
Kambona alikua sekretari mkuu wa TANU yaani yeye ndio alikua mastermind wa kila kitu lakini huwezi sikia sehemu wanasema hivo, there was no mwalimu bila ya kambona
dunia haiishi kua na maajabu..dogo wa miaka ya tisini anakuja leta ufia dini kua anamfahamu sana kambona....hapo ukute kakaa kijiweni anasubiria ubwabwa wa mzee nyumbani aliyestahafu..tuna mengi sana ya kujifunza kuhusu swala la uzalendo
 
Wewe kweli ni mtoto wa miaka ya 1990. Andiko lako limethibitisha kwamba unaandika vitu kwa jinsi ulivyowasikia wakubwa zako wakiongea.

Dunia ya wakati ule ilikuwa ni aidha uwe mjamaa au uwe bepari hakukuwa na njia ya mkato ya kujiamulia mfumo wako mwenyewe. Kumbuka kulikuwa na nchi zisizofungamana na upande wowote.

Nyerere alikuwa na kazi ya kujenga msingi wa kitaifa kazi yake ilikuwa ni ngumu kuliko waliyomfuatia. Hawa wa baadae walikuja kukuta ujamaa umeshakufa tofauti na Nyerere.

Cha muhimu sio kutafuta wa kumlaumu, tutumie rasilimali watu waliopo na rasilimali tulizopewa na Mungu katika kujiweka sawa kiuchumi, hizi tabia za kutafuta wa kumnyooshea kidole hazina tija.
Well, my precious posts was to that effects.
 
Kabla ya kulaumu Ujamaa Wa Mwalimu Tupe nafanikio ya huo Ubepari Africa,usinyambe nyambe ovyo kusema sisi ni maskini,Wewe ndo maskini wa fikra zako mwenyewe
 
Nitafarijika sana kama siku moja mzee Mohamed Said ataandika makala maalumu ya kumuelezea Kambona kama vile anavyofanya katika kuwaandikia makala wazee wake wa Kariakoo walioshiriki katika harakati za kisiasa kabla na baada ya uhuru.

Najua uwezo huo unao ila hajajisikia tu kufanya hivyo. Labda kwa kuwa Kambona hakuwa mwenzetu kiimani.
Huwa natamanpi sana pia huto mzee wetu Atuandikie na ile ya Mapinduzi kule visiwani....ila kiulweli ni Mwiba mchungu kwake.
 
Kabla ya kulaumu Ujamaa Wa Mwalimu Tupe nafanikio ya huo Ubepari Africa,usinyambe nyambe ovyo kusema sisi ni maskini,Wewe ndo maskini wa fikra zako mwenyewe
Qoute somebody to get proper response.
 
dunia haiishi kua na maajabu..dogo wa miaka ya tisini anakuja leta ufia dini kua anamfahamu sana kambona....hapo ukute kakaa kijiweni anasubiria ubwabwa wa mzee nyumbani aliyestahafu..tuna mengi sana ya kujifunza kuhusu swala la uzalendo
Nyie mnaomfahamu mbona hamuongei? Mnataka nini wakati ukweli mnauficha?? Me ni mzalendo na mzalendo hasa .Kutofautiana mitazamo sio jambo baya wala uzalendo haupimwi kwa njia hiyo. Hata kambona alikua mzalendo kama Nyerere tu. Haya ni mambo ambayo hata sisi tunapaswa kujua! this is not the 60's anymore
 
Kwanza nakubali Kambona alikuwa Mzelondo Hasa. Pili nakubali maoni tofauti.
 
Wazee wa kiislamu walibugi kumpa nchi Mwalimu - tulitakiwa kutawaliwa ba King Mareale kwanza.

Siasa ya ujamaa na kujitegemea ndiyo imetuzalia umaskini huu tulionao hadi leo; karne ya 21 ati unajenga madarasa na kununua madawati..kweli
 
Nimeicheki picha ya Oscar Kambona siku ya harusi yake; kweli Mungu huwapa vipawa baadhi ya wanadamu vingi kuliko wengine:
1. Kijana alikuwa smarti; handsome
2. Msomi mwenye akili nyingi
3. Kipawa cha uongozi na uthubutu wa kusimamia unachokiamini
4. Kuchagua msichana mrembo wa kuoa na bila shaka alikuwa mwerevu na msomi kama yeye

Wengine duh; unapewa akili nyingi ila zinaishia kwenye Bar kuhangaika na wahudumu!! na nyumbani vita na ze wife.
 
Kusema kweli kuna uchungu wake kwa wale ambao hawaujui..na hakuna asiye kuwa na makosa..ukitaka ukweli basi usipandishe hasira..marehemu baba yangu alikuwa wa kwanza kumpa maji ya kunywa 1958 mwalimu pale pangamlima njia ya tanga.. mwalimu alipokwenda UK kabla ya uhuru marehemu mzee thabit alimnunulia suti nzuri sana..mwalimu Nyerere akafurahi... lakini sasa baada ya azimio la Arusha la kutaifisha hao wawili hakupona na wao.. ng'ombe 200 mbuzi 100..shamba gari likataifishwa...marehemu baba akacheka akisema hamna neno zitarudi mara² mzee thabit mpaka leo jumba lao kisutu msajili wa majumba..mungu awarehemu wote.kwa hiyo ukweli mwalimu na kambona tofauti ni siasa.
 
Ndio nikasema Allah ndie mmpaji..ukipoteza kitu na halali yako kitarudi kama si kwako watoto wako.. muhimu saana tena saana tena saana
" EPUKANA NA DHULUMA.HATA KAMA KAMA ANAUZA KARANGA KWENYE KIKAPU USICHUKUE BILA YEYE AKUPE UKICHUKUA BILA RUHUSA WEE NI DHALIMU MKUBWA ""NA UTAILIPA.
 
Hata nyerere na group lake walisema Kambona ni Mmalawi bila kudhibitisha, na wakasema pia wakati anakimbia alikimbia na pesa nyingi sana bila ushahidi wowote, kambona ndie uliyezima mapinduzi ya kwanza yaliyomlenga nyerere 1964 hapa nyerere alikimbia ikulu kama kambona alikua na uchu angechukua nchi kirahisi sana, na mapinduzi ya mara ya pili alipogundua yanataka kufanyika akaomba msaada kutoka uingereza kumnusuru nyerere, alidaiwa alidaiwa aidaiwa alidaiwa, akili ya kuambiwa ongeza na yako. Haina haja kutumia lugha kali hivo tujadili kistaarabu, bandiko hili halipo hapa kumuumiza mtu yoyote kwa namna yoyote ile..Tunajifunza kutoka kwenu
 
Wewe mtoto uliezaliwa juzi huwezi kuona umuhimu wa ujamaa tulioufuata hapa Tanzania. Bwabwaja maneno humu Jf , ila nenda Kenya fuatilia madhara ya ubepari walioufuata,maana hata kupata kipande cha ardhi kulima mboga mboga ni tabu.
kwanini aende kenya tu na si kwingineko?
 
kwanini aende kenya tu na si kwingineko?
alipandia ndege ya kwenda uingereza kupitia kenya, nafkiri wakati huo uwanja uliokua una host ndege za uingereza ni wa jomo kenyata sio kwamba alikimbilia kenya
 
Back
Top Bottom