HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,554
- Thread starter
- #261
wanaishi kama digidigiWamebadili jina la ukoo, kwa sababu za kiusalama.. ila wapo dar hapa baadhi yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaishi kama digidigiWamebadili jina la ukoo, kwa sababu za kiusalama.. ila wapo dar hapa baadhi yao.
It's allright.aisee sjui kwanini imeandika ivo nimedit ila nikipost inaandika hivo
Mkuu Ni hivi, No perfect human being ever created. Kwamba mapungufu yalinganishe na positive side.Msingi wa yanayoendelea leo Tanzania kiuchumi na kisiasa mwanzo wake ni jinsi Nyerere alivyomfanyia Kambona. Kambona alikuwa kiongozi mwenye upeo mkubwa sana na aliona mbali sana kuwa Sera za Nyerere sizingeweza kuzalisha Tanzania waliyokuwa wanaipigania dhidi ya Mkoloni.
Kiburi cha Nyerere na watu wake ndo mwanzo wa Tanzania yetu kuanguka vibaya kiuchumi na kuwa na mfumo mbovu zaidi wa utawala unaotengeneza watu wanafiki wanaomzunguka mtawala mkuu ambao kazi yao sio kumwambia mtawala mkuu ukweli bali kumlisha maneno ya uongo ili matumbo yao yaendelee kushiba.
Kambona aliona mbali sana. Alipinga kabisa uanzishwaji wa Azimio la Arusha na akajiuzuru nafasi zake zote. Waliokuwa wanampinga na kumuungua mkono Nyerere ndo walioshuhudia nchi ilivyoanguka vibaya kiuchumi kutokana na sera mbovu za ujamaa, na Nyerere alipoondoka tu walizitupilia mbali sera za ujamaa na kuanzisha soko huria.
Kama Tanzania Leo tusingekuwa na ujamaa Leo Tanzania ingeweza kuwa nchi yenye uchumi mkubwa zaidi Africa maana kwa miaka ya 60 Tanzania ilikuwa na wakulima vijijini waliokuwa wakilima kwa tractors. Sasa hali ingeendelea kuwa vile hadi leo tungekuwa wapi???
Ukweli lazima usemwe, ipo siku lazima tutamkumbuka Kambona kama shujaa wa Taifa hili na ukweli utasemwa kweli kuwa Nyerere ndo chanzo cha hii Tanzania mbovu tuliyokuwa nayo leo.
Self evident. You need me to spell out to you. Usalama wako, biashara yako, in short maisha yako.Mkuu ruaharuaha.
What is the greater good for the society?
And please, who determine that this the greater good for any particular society?
Unaongea na mimi?Wewe kweli ni mtoto wa miaka ya 1990. Andiko lako limethibitisha kwamba unaandika vitu kwa jinsi ulivyowasikia wakubwa zako wakiongea.
Dunia ya wakati ule ilikuwa ni aidha uwe mjamaa au uwe bepari hakukuwa na njia ya mkato ya kujiamulia mfumo wako mwenyewe. Kumbuka kulikuwa na nchi zisizofungamana na upande wowote.
Nyerere alikuwa na kazi ya kujenga msingi wa kitaifa kazi yake ilikuwa ni ngumu kuliko waliyomfuatia. Hawa wa baadae walikuja kukuta ujamaa umeshakufa tofauti na Nyerere.
Cha muhimu sio kutafuta wa kumlaumu, tutumie rasilimali watu waliopo na rasilimali tulizopewa na Mungu katika kujiweka sawa kiuchumi, hizi tabia za kutafuta wa kumnyooshea kidole hazina tija.
dunia haiishi kua na maajabu..dogo wa miaka ya tisini anakuja leta ufia dini kua anamfahamu sana kambona....hapo ukute kakaa kijiweni anasubiria ubwabwa wa mzee nyumbani aliyestahafu..tuna mengi sana ya kujifunza kuhusu swala la uzalendoKambona alikua sekretari mkuu wa TANU yaani yeye ndio alikua mastermind wa kila kitu lakini huwezi sikia sehemu wanasema hivo, there was no mwalimu bila ya kambona
Well, my precious posts was to that effects.Wewe kweli ni mtoto wa miaka ya 1990. Andiko lako limethibitisha kwamba unaandika vitu kwa jinsi ulivyowasikia wakubwa zako wakiongea.
Dunia ya wakati ule ilikuwa ni aidha uwe mjamaa au uwe bepari hakukuwa na njia ya mkato ya kujiamulia mfumo wako mwenyewe. Kumbuka kulikuwa na nchi zisizofungamana na upande wowote.
Nyerere alikuwa na kazi ya kujenga msingi wa kitaifa kazi yake ilikuwa ni ngumu kuliko waliyomfuatia. Hawa wa baadae walikuja kukuta ujamaa umeshakufa tofauti na Nyerere.
Cha muhimu sio kutafuta wa kumlaumu, tutumie rasilimali watu waliopo na rasilimali tulizopewa na Mungu katika kujiweka sawa kiuchumi, hizi tabia za kutafuta wa kumnyooshea kidole hazina tija.
Huwa natamanpi sana pia huto mzee wetu Atuandikie na ile ya Mapinduzi kule visiwani....ila kiulweli ni Mwiba mchungu kwake.Nitafarijika sana kama siku moja mzee Mohamed Said ataandika makala maalumu ya kumuelezea Kambona kama vile anavyofanya katika kuwaandikia makala wazee wake wa Kariakoo walioshiriki katika harakati za kisiasa kabla na baada ya uhuru.
Najua uwezo huo unao ila hajajisikia tu kufanya hivyo. Labda kwa kuwa Kambona hakuwa mwenzetu kiimani.
Qoute somebody to get proper response.Kabla ya kulaumu Ujamaa Wa Mwalimu Tupe nafanikio ya huo Ubepari Africa,usinyambe nyambe ovyo kusema sisi ni maskini,Wewe ndo maskini wa fikra zako mwenyewe
Nyie mnaomfahamu mbona hamuongei? Mnataka nini wakati ukweli mnauficha?? Me ni mzalendo na mzalendo hasa .Kutofautiana mitazamo sio jambo baya wala uzalendo haupimwi kwa njia hiyo. Hata kambona alikua mzalendo kama Nyerere tu. Haya ni mambo ambayo hata sisi tunapaswa kujua! this is not the 60's anymoredunia haiishi kua na maajabu..dogo wa miaka ya tisini anakuja leta ufia dini kua anamfahamu sana kambona....hapo ukute kakaa kijiweni anasubiria ubwabwa wa mzee nyumbani aliyestahafu..tuna mengi sana ya kujifunza kuhusu swala la uzalendo
Kwanza nakubali Kambona alikuwa Mzelondo Hasa. Pili nakubali maoni tofauti.Nyie mnaomfahamu mbona hamuongei? Mnataka nini wakati ukweli mnauficha?? Me ni mzalendo na mzalendo hasa .Kutofautiana mitazamo sio jambo baya wala uzalendo haupimwi kwa njia hiyo. Hata kambona alikua mzalendo kama Nyerere tu. Haya ni mambo ambayo hata sisi tunapaswa kujua! this is not the 60's anymore
kwanini aende kenya tu na si kwingineko?Wewe mtoto uliezaliwa juzi huwezi kuona umuhimu wa ujamaa tulioufuata hapa Tanzania. Bwabwaja maneno humu Jf , ila nenda Kenya fuatilia madhara ya ubepari walioufuata,maana hata kupata kipande cha ardhi kulima mboga mboga ni tabu.
alipandia ndege ya kwenda uingereza kupitia kenya, nafkiri wakati huo uwanja uliokua una host ndege za uingereza ni wa jomo kenyata sio kwamba alikimbilia kenyakwanini aende kenya tu na si kwingineko?