Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

Tanzania ya sasa ni ile aliyoona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

"LE FANTONCHE" ?
Hawa JAMII YA PUISSANTS [BSC] walikuwa wakijaribu kuleta chokochoko kwa upande wa JAMII YA MWASHITA, walikuwa wanakutana KIKOSI MALAAM CHA KIJESHI kutoka TAIFA LA RWANDA.

e7d00e70c1b8f880d3c11bed5d31d94f.png

Hii SURA inapatikana nchini TANZANIA na ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayodhamini CHAMA TAWALA kwa upande wa TAIFA LA RWANDA.

ac273eeb8a84046fcaca567d0accd1df.png

Kule kwenye MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA huwa wanapaita GUANTANAMO, huwa hawapenyi hata kidogo.

5b6c23e56f33e4aa1ba08cb4e241cd6d.png

Hata JAMII YA SERENGETI huwa hawagusi kwa wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

c1b14636dde1f346de4d7783dc7436bf.png

Sasa hivi hizi JAMII ZA SERENGETI pamoja na PUISSANTS [BSC] wanaendelea kuzozana bila ya mafanikio yoyote - kwa sababu CHAMA CHA MAPINDUZI [CCM] kitaendelea kuwa MADARAKANI hata kwa miaka mingine mingi ijayo na yale MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yanaendelea kukaliwa na WALOWEZI.

d362aed1e10f5bece90dd1c55ff56eb1.png

Kwahiyo SIASA YA TANZANIA ndiyo ipo hivyo na hadi wakati huu wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo WASHINDI - kwa sababu wana SERIKALI zao kwa upande wa MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI.
 
"LE FANTONCHE" ?
Sasa hivi hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanatambulika kimataifa kupitia MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI.

f6d8d297845fa624092a1ea0ed20ec2a.png

Wanapatikana hadi STATE HOUSE ya TAIFA LA MAREKANI, kutokana na uwekezaji waliofanya katika TAIFA LA MAREKANI.

3df25165d7550d2aef56a69f1f0a4548.png

Ukiwa pale MAREKANI, hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanamiliki VIWANDA pamoja na MAJENGO mbalimbali.

240bdb06c40fde12671826bf817d04b3.png

Hata huyu MISS UGANDA [2023/24] ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

f7f2e3c6a1276b51368761d51698413c.png

Wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini UGANDA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA MWANZA.

addb69b34c5bc2afbe8bf2a56bc1f36e.png

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wapo "VERY SUCCESSFUL" katika tasnia mbalimbali.

0c5132b749af5607d538fbab376245ab.png

Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini BURUNDI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

88338c3dac0b0067194875db5233887c.png

Huyu pia wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini BURUNDI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA.

94423f38a7fc1a6d966ca0a1aa4471f6.png

Hata hawa pia ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

6c3c6d4b2788e1687620a8e6f1933490.png

Sasa hivi ukiwa katika ile MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wale wenyeji wa asili waliokuwepo miaka ya tisini [1990's] hawapo tena, walishahama na kusambaa sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.

094a86fea66f0bbe9429e8f614bcee15.png

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA bado wanaendelea kufanya vizuri katika kampuni zao za kibiashara na hii kasumba ni tangu miaka ya tisini [1990's].
 
"LE FANTONCHE" ?
d5224b0b5e17cd36e65545a864af1b4f.png

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wanaendelea kwa sababu wanaoana wao kwa wao.

4bcdc0fd5f2241d106b803da18bd2377.png

Hawana muingiliano hata kidogo na JAMII YA PUISSANTS [BSC] wala JAMII YA SERENGETI - ndiyo maana hauwezi kusikia migogoro ya kifamilia kwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA inatangazwa kwenye VITUO VYA TELEVISHENI NA RADIO 😂📻

151cc94bdc1ec92a733ec6a3f97bb5e1.png

Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

962386a4b85693a851e5d6cd0b0c86f0.png

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo "ROYAL FAMILIES" kwa siku za mbeleni.

fc06f54555cf0c72b3220e411d92cad1.png

Hiyo ndiyo huwa SIRI YA MAFANIKIO kwa wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA - hawana muingiliano na JAMII YA PUISSANTS [BSC] wala JAMII YA SERENGETI.

0a905b0836fc95d1d24229feb3c81e53.png

Kwahiyo hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wanaitwa WASHINDI WA SIASA ZA TANZANIA.
 
MAKONTAWA ?
"KONTAWA" wapo na wanaendelea na UJENZI kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA na ukifuatilia kwa makini hata kwa upande wa JAMII YA MWASHITA, hawa "KONTAWA" wanahusika.

9252e3771b0c5d744850b19830605d0e.png

Unafahamu HISTORIA YA UMISHENI kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA ilianza tangu miaka mingi iliyopita, lakini kwa miaka ya hivi karibuni wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wameonekana kuwa na mchango mkubwa sana katika KANISA KATOLIKI.

08e127da417ef8e6156c369ad9b4d160.png

Sote tunafahamu kuwa katika DUNIA YA LEO iliyotawaliwa na UTANDAWAZI, hauwezi kueneza INJILI bila ya kuwa na PESA.

11d19be987d1bd8d5139f273deca9a24.png

Sasa wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA kuna baadhi ya kampuni za kibiashara walikabidhi KANISA KATOLIKI kwa nia ya kugawana faida.

09e9ba32ab987b201ffcaf0cf6e8f8a5.png

KANISA KATOLIKI ndiyo wanasimamia SHULE YA FRANCISCAN SEMINARY MAUA inayopatikana KILIMANJARO, SHULE YA LORETO GIRLS SECONDARY SCHOOL inayopatikana MWANZA, SHULE YA LORETO CONVENT SCHOOL inayopatikana PRETORIA nchini AFRIKA YA KUSINI, KAMPUNI ya LORETO TRAVEL inayopatikana nchini MEXICO, LORETO GARDEN BAR inayopatikana nchini ARGENTINA na KIWANDA CHA [...] kinachopatikana nchini PERU.

e44ce7d38d31282e9aef0afa4ff311f6.png

Kwahiyo hawa "KONTAWA" wanahusika pia kwenye mafanikio ya wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.
 
MAKONTAWA ?
baff7df2e7d3721b5debf8d30a0f3512.png

Kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA, wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo KANISA KATOLIKI linapoegemea KIUCHUMI.

d617fc733ff1dea0b8ed8a0dd2194db9.png

Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA anayeishi nchini KYUBA.

d1d8b4c23b35df8e3c9a394e605c0133.png

Wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KYUBA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA nchini TANZANIA.

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifahamu SIASA ZA TANZANIA tangu siku nyingi na sasa hivi ni MARUDIO tu.
 
MAKONTAWA ?
692cec17c435985321d35a8461ddadc2.png

Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini AFRIKA YA KUSINI wakitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA.

9b21fca471190b74b7c40efdb528953b.png

Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA 🦁.
 
2d21c9869ceea92958c82f2d207ee093.png

Hao ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA 🦁.

1cd16b14fab3d52e58ebc62524c0c381.png

Hata hii kampuni ya usafirishaji ya abiria na mizigo inayoitwa SAIBABA EXPRESS ni kampuni ambayo inamilikiwa na mmoja wa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU].

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walijinufaisha kweli kweli hadi kupelekea VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA kufirisika.

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] walikuwa wakichukua FEDHA kutoka katika VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA walikuwa wanawekeza kwa WATU wenye asili ya ASIA na ULAYA wakiwemo WAHINDI na WAJERUMANI.

5ccfc4973f1c1b1478ab930bf141296f.png

Kwahiyo sasa hivi, wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] ni MATAJIRI sana na wamefanikiwa kuwekeza kupitia watu wao.
 
700ab01124c8a02d13cc53634f70d931.png

Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

b9d13d59563f0afc100d03d0ea0d6a55.png

Wale waliokuwa wafanyakazi wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA, SHINYANGA na TABORA kila walipokuwa wanafanikiwa kuwekeza biashara zao walikuwa wanapeleka watu wao.

ac6f59380db073209afa20e85ae9443e.png

Wengine walifanikiwa kusambaa zaidi katika MATAIFA mbalimbali duniani kwa kutumia NAFASI ZA KIBALOZI kwa MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI.

01ef0a6d2d171d3eece35fa353015318.png

Kwa upande wa MATAIFA YA KUSINI MWA AFRIKA - wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA wanapatikana kwa wingi nchini AFRIKA YA KUSINI.

12c975010404eae92734faa5e64d08ac.png

Ukiwa pale AFRIKA YA KUSINI - JAMII YA MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa MULTICHOICE na wanamiliki timu za mpira wa miguu kama KAIZER CHIEFS FC pamoja na ORLANDO PIRATES.

9e4953fbb28c19a88f608bb370256e7b.png

Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA 🦁.
 
7690ce413f824675eb9096f7f7fa99f4.png

Hata huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini NAIJERIA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

6d22affbedf44e4bf9c8679f43a689db.png

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walisambaa na kuenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi kwa kutumia MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI, hata KONGO walikuwa wanatumia kipindi JOSEPH KABILA KABANGE akiwa MADARAKANI.
 
Ndiyo 🙏🏾! SIMBA 🦁 au wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wanafahamu vizuri SIASA YA TANZANIA 🇹🇿.

b4de0b4961c9d8a814599ce753e774bd.png

Unafahamu kuwa mzozo baina ya JAMII YA SERENGETI na JAMII YA PUISSANTS [BSC] ndiyo uliopelekea kuanguka kwa SERIKALI YA RWANDA pamoja na BURUNDI, 1994.

Na wale waliokuwa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo waliofanikiwa kuchukua SERIKALI ZA BURUNDI pamoja na RWANDA.

89ebd5e61a4bceb666c03e37011542d5.png

Na ukijaribu kuangalia BODI YA WADHAMINI WA CHAMA CHA CNDD FDD ni kampuni ya kibiashara ambayo inapatikana katika TAIFA LA TANZANIA [DAR-ES-SALAAM].

62cf076c7b14dac867d973ab65b7e1b5.png

Pia ukijaribu kuangalia hiyo kampuni ya kibiashara namna inavyoendeshwa - utagundua kuwa ni WAITALIANO ndiyo wasimamizi wakuu wa hiyo kampuni na inamilikiwa na WATANZANIA WEUSI ambao ni wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

ce8f43e11f97dc4aefdb0ae3dca56bef.png

Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamepenya hadi "STATE HOUSE" kutokana na uwekezaji waliofanya katika TAIFA LA MAREKANI.

cb6c25dcadbc7164a48c08c6df33d095.png

Wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa STAPLETON HOUSES inayopatikana NEW YORK, nchini MAREKANI.

98bf3bc86e6980f249dc28bb4bb4599a.png

Hapa ndiyo ilikuwa maskani ya KUNDI LA MUZIKI LA WU - TANG CLAN ambalo kwa mara ya kwanza walitoa "ALBUM" yao.

98ceb2969a9baa595e13dd7d457155d2.png


147489175b9c97cbe5c612e799feeb64.png

Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wenye SERIKALI YA RWANDA pamoja na BURUNDI na wamepiga hatua KIUCHUMI ukilinganisha na miaka kadhaa iliyopita.
 
3229eb78d987dbab4cdc02677b6ea7aa.png

Ndiyo maana kila siku mnaulizwa mnawajua SIMBA? Au huwa mnakutana na WALOWEZI ambao walihamia katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA na kufanikiwa kuakisi tamaduni za wenyeji.

f40c4b17e49d9e7f7eff06b881c60582.png

Wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA walifanikiwa kusambaa na kuenea sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi.

d13568089da0b7d4896412c6ca983885.png

Hata huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA waliohamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

c43e4590029fb41f1fcf67414acc5be3.png

Wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini AFRIKA YA KUSINI kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA SHINYANGA nchini TANZANIA.

a1abe7c892f796f026d2055c30c10156.png

Huyu mdada kuna nyumba anajenga pale SHINYANGA MJINI, maeneo ya MAJENGO MAPYA.

6da6d77a0359d2ce5b47fd7a548f588f.png

Hawa ndiyo wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA au kwa jina lingine wanaitwa SIMBA 🦁.
 
9b3b1cae586e330b53e5864756f5d685.png

Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA aliyehamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].

e8d616a3ebbd1ecc7d6297b4d8b63a39.png

Wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA MWANZA, WILAYA YA MISUNGWI katika maeneo ya MISASI.

005fc99f3ccb38367bec442c225d0cae.png

Wenyeji wengi wa asili wa MIKOA YA MWANZA na SHINYANGA walihamia nchini KENYA na asilimia iliyobaki walihamia katika MATAIFA YA UGANDA, RWANDA, BURUNDI, KONGO, ZAMBIA, MSUMBIJI na MALAWI.

4602445ba0ea27c6d3132d74122d080d.png

Baada ya hapo, ndiyo wakaanza kusambaa zaidi katika MATAIFA mbalimbali duniani.

8995ec981bad822e88bc26af66dc9428.png

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamefanikiwa sana, sema huwa ni WATU WAKIMYA yaani SILENT MAJORITY.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA - kwa lugha ya mtaani tunaweza kusema kwamba "WAMETUSUA".
 

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA ndiyo wamiliki halali wa "WE THE BEST MUSIC" inayoongozwa na DJ KHALED.

b562ddcacae68958b90256ff9734b68b.png

Hii MUSIC LABEL bado haijaanza kupokea WAFANYAKAZI na WASANII kutoka katika MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.

639312825d8d9bb15505f12e419f04d7.png

Hata huyu NYASHINSKI ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA aliyehamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] ambapo wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA wakitoka katika ule MKOA WA MWANZA, maeneo ya kijiji kinachoitwa NYASHISHI.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA bado wana fursa nyingi za KIUCHUMI.
 
Tangu nipo shule ya msingi tulikuwa tunaaminishwa kwamba Mwl Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikuwa tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kuwa kuna watu wengine ambao bila wao mwalimu "asingetoboa" na pengine tusingemjua kabisa mwalimu Nyerere, au story yake ingekua "short lived". Mmoja wa hao watu ni OSCAR KAMBONA.

Nimezaliwa hapa Tanzania miaka ya 90 mpaka nimekua mtu mzima kila kitu ni Nyerere tu. Kambona nilimsikia baadae sana baada ya kusikia kisa cha huyu mtu nikawa interested sana kufuatilia stories zake.

kwa mujibu wa maandiko Kambona alikuwa bega kwa bega na mwalimu ktk kudai uhuru yaani ilikuwa akitoka mwalimu anaefuata ni Kambona lakini huwezi sikia hichi kitu kinasemwa waziwazi na pengine bila mawazo na support ya Kambona mwalimu "angefeli vibaya mno".

Kambona ndio mtu aliezima mapinduzi yalioilenga serikali ya Nyerere kutoka kwa askari waliotaka kuasi, yaani kwa ufupi ni kwamba Nyerere asingeendelea kuwa mtawala wa nchi hii kama sio Kambona.

Kambona aliona mbali kuliko mwalimu Tanzania ya sasa ndio aliyoiona Kambona lakini mwalimu alipinga, Kambona aliona ubepari ndio utafanya kazi lakini mwalimu aliona ujamaa ndio unafaa, mwalimu "failed miserably" akatupeleka chaka mpaka leo we still pay for his "grave mistake".

Mwalimu alikuwa mbishi na aliamini kwamba yeye ndio ana maono bora kuliko wengine, chochote kile ambacho kilikuwa hakiendani na sera zake alikipinga hata kama kilikuwa "viable".

Fikiria mtu mmoja tu kaenda Urusi akafurahishwa na mfumo wa ujamaa akaja kuufanyia "experiment" hapa nchini na ukafeli kwa sababu alikataa kusikiliza maoni ya watu wengine, kwa wakati huo mwalimu ndio alikuwa "kila kitu".

Kambona akatofautiana na mwalimu , yeye alitaka ubepari mwalimu alitaka ujamaa. Kutokana na ushawishi mwalimu alishinda japo Kambona ndie aliyekua sahihi lakini hawakumskiliza.

Baadae mwalimu alijua amekosea akaturudisha kwenye Ubepari na bado akaonekana ni "hero" . Kitu ambacho Oscar alikiona miaka kadhaa kabla wakati huo mwalimu alikuwa "blind" almost everyone was blind except the very few including Kambona.

Haya leo 2021, TZ hii ya leo ndio Kambona aliyoiona na tumechelewa sana, kwa mtazamo wangu bado tupo nyuma kwa miaka 15 kutokana na sera mbovu Mwalimu nyerere.

Wote ni marehemu wapumzike kwa amani lakini, mwisho wa siku Oscar Kambona ndio AMESHINDA!!!!! Kwangu mimi shujaa wa kweli nchi hii ni OSCAR KAMBONA na sio mwalimu! Na ndio mtu muhimu sana sawa na mwalimu lakini ndio aliesahaulikia kuliko wote nchi hii

Natamani Watanzania wengi tuliozaliwa miaka ya 90 tujue habari za huyu shujaa ambaye ni co-founder wa hii nchi kwangu mimi alichangia 50% ktk kutengeneza taifa hili sawasawa na mwalimu, yaani ni kama vile "stive wozniak na stive jobs", steve jobs alitumia akili za stive wozniak na credit akajiapa yeye mwenyewe

Aliyeweka Nyerere day kama public holiday alitumia vigezo gani ilihali si kweli kwamba Nyerere ndie mtu pekee aliepigania uhuru wa nchi hii

Ukiniambia nichague kati ya Nyerere na Kambona itakua ni Kambona always

UPDATE:
Watu wengi kwenye comments wanasema kwamba ujamaa ulituleta karibu, lakini ujamaa huohuo ndio uliotuletea umaskini, kwa hiyo logic yake ni kwamba mwalimu alichagua umaskini na umoja dhidi ya maendeleo ambayo hatuna uhakika kama yangetugawa, lakini kabla ya yote Kambona alimshauri kwamba kabla ya ku adopt ujamaa tuufanyie kwanza majaribio , tutengeneze vijiji vichache ambavyo vitaishi kijamaa ili tuone hii system itafanya kazi lakini mwalimu alikataa akaiingiza moja kwa moja bila kujua risks zake ni nini kitu ambacho kambona alishakiona


"Oscar Kambona was one of the best presidents Tanzania never had"
refence:

====

OSCAR KAMBONA: KIONGOZI MAHIRI, MTANASHATI NA RAFIKI KIPENZI WA MWALIMU NYERERE ALIYEISHIA KUWA ADUI YAKE MKUBWA!!!

Christopher Makwaia

WhatsApp%2BImage%2B2019-01-27%2Bat%2B19.28.10.jpeg

1. Usuli
Jioni ya Ijumaa ya tarehe 13.8.1925, huku mvua kubwà na radi kali zikirindima kijijini Kwambe, wilayani Mbinga, Mkoani Ruvuma, alizaliwa mtoto wa kiume akiwa buheri wa afya. Wazazi wa mtoto huyo, Rev. DAVID KAMBONA na Bi. MARIAM KAMBONA, wakampa mtoto huyo jina la OSCAR SATHIEL DAVID KAMBONA. Mvua na radi hiyo, kwa mujibu wa mila za kijijini hapo, "nyumbi hii, bombi hii", ilikuwa ni baraka na ishara kuwa mtoto huyo atakujakuwa wa kipekee.

2. Elimu Chini ya Mwembe
KAMBONA, tofauti na watoto wengine, hakusomea shuleni elimu ya awali bali alifundishwa na wazazi wake pamoja na mjomba wake ambao wote walikuwa walimu. Mafunzo hayo ya awali yalikuwa yakifanyika chini ya mwembe huku chai na mihogo vikiwa pembeni.

3. Elimu ya "Middle School"
Baadae KAMBONA alipelekwa shule ya Kati ya Mt. Barnabas, Liuli. Akiwa shuleni hapo, KAMBONA alikuwa kipanga na "aliwatimulia vumbi" wanafunzi wote kwa miaka yote alipokuwa shuleni hapo.

4. Alliance Sec. School
KAMBONA alifaulu vizuri mitihani yake na akachaguliwa kujiunga na "Alliance Sec. School", Idodomia ambayo baadae ikajaitwa Mazengo Sec. School. Almanusra KAMBONA asiendelee na masomo kwani baba yake hakuwa na uwezo wa kulipa £ 30 kwa mwaka. Uwezo wa KAMBONA "kutema yai" ndio uliomponya kwani alifanikiwa kumshawishi Askofu kumlipia ada hiyo baada ya kusali Sala ya Baba Yetu kwa Kiingereza!.

5. Tabora Boyz Sec. School
KAMBONA alisoma shule hii pamoja na J. Lusinde, E. Mzena, B. Ngwilulupi, A. Nsekela, A. Nyirenda na K. Chiume. Ni akiwa shuleni hapo ndipo kwa mara ya kwanza, KAMBONA alionana na NYERERE aliyekuwa akifundisha St. Marys, Tabora.
WhatsApp%2BImage%2B2019-01-27%2Bat%2B19.28.11%25281%2529.jpeg

6. Ualimu Alliance Sec. School
Baadae, KAMBONA alienda kufundisha shule hii na akakutana na J. Lusinde na K. Chiume na baadae akawa "Schoolmaster".

7. KAMBONA akutana na NYERERE tena
KAMBONA alikutana na NYERERE kwa mara ya 2 kwenye Mkutano wa taifa wa waalimu mwaka 1954.

8. KAMBONA Ajiunga TANU
Mwaka 1955, KAMBONA alijiunga na TANU iliyozaliwa tarehe 7.7.1954 na akaonesha bidii kubwa huku akifanya kazi kwa kujitolea kwani TANU haikuwa na fedha. Bidii yake ilipelekea kuwa Katibu Mkuu wa TANU.

9. KAMBONA Awaingiza TANU Watanganyika 100,000
KAMBONA alitembea nchi nzima kwa miezi 6 akionana na Machifu na wanavijiji na kufanikiwa kuingiza wanachama 10,000. Baadae akiendelea na harakati hizo na baada ya miezi 12 akawa ameingiza wanachama 100,000. Viongozi wenzake wa TANU walimpongeza sana kwani TANU ikawa inaenea kwa kasi sana.
WhatsApp%2BImage%2B2019-01-27%2Bat%2B19.28.11%25282%2529.jpeg

10. KAMBONA Afungua Akaunti ya Kwanza ya TANU
KAMBONA alikuwa na mawazo ya kimaendeleo kwani kutokana na michango ya wanachama aliweza kufungua akaunti ya kwanza ya TANU. Kwa hakika, hili lilikuwa ni jambo la kihistoria.

11. KAMBONA afuma "Governor's Scholarship" kusomea Sheria, UK
Mwaka 1957, KAMBONA alipata fursa ya kwenda UK kusomea LLB kwa miaka 3 na hivyo akaenda huko.

12. KAMBONA Awa Mtangazaji wa 1 wa Kiswahili BBC 1957
Tarehe 27.6.1957, KAMBONA aliweka historia kwa kutangaza Kiswahili BBC kwa mara ya 1 akisema-: "Hapa ni London, kwa mara ya kwanza BBC inawaletea habari kwa Kiswahili wananchi wa Afrika Mashariki. Asalaam Aleikhum".

13. KAMBONA awa Mwenyekiti wa TANU London
Kutokana na talanta yake kubwa ya uongozi, KAMBONA alichaguliwa kuwa Kiongozi wa wanafunzi chuoni na Mwenyekiti wa Tawi la TANU, London.

14. KAMBONA na NYERERE Washeachumba Chuoni London
Kati ya tarehe 26.6.1959 na 7.8.1959, NYERERE alikwenda UK kwa matayarisho ya uhuru wa Tanganyika na akalala chumba kimoja na KAMBONA ambaye walikuwa "wameshibana" sana. Katika "Press Conference" ya 1991 KAMBONA alisema- "TANU haikuwa na hela hivyo ili kubana matumizi, nikakaa na NYERERE room yangu chuoni na hii ilisaidia tuwe na muda mwingi wa majadiliano".

15. KAMBONA Amuoa MISS Tanganyika
Tarehe 19.11.1960, KAMBONA alimuoa Miss Tanganyika mrembo, Bi. FLORA MORIYO toka Kilimanjaro. Harusi hiyo ya kukata na shoka ilifanyika St. Paul Cathedral, London na kuhudhuriwa na wageni waalikwa 400. NYERERE alikuwa ndiye msimamizi aliyemsindikiza Bi. FLORA altareni. Ilikuwa ni harusi ya kwanza ya watu weusi kanisani hapo na ilitoka kwenye magazeti mbalimbali ya Ulaya.
WhatsApp%2BImage%2B2019-01-27%2Bat%2B19.28.12.jpeg

16. KAMBONA Arejea Bongo
KAMBONA alirejea Bongo kuendelea na harakati za uhuru akihudumu kama Waziri wa Elimu na Katibu Mkuu wa TANU.

17. KAMBONA Awa Waziri wa 1 wa Mambo ya Nje
Katika Baraza la kwanza la Mawaziri la Tanganyika, KAMBONA aliteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ulinzi.

18. KAMBONA Kipenzi cha 2 cha Wananchi baada ya NYERERE
KAMBONA alipendwa sana nchini kwani alikuwa msomi, mwanasiasa hodari, mtanashati na vijana wengi walimuiga staili yake ya nywele "KAMBONA Style". Kwa hakika, KAMBONA alipendwa sana.

19. KAMBONA- Kiongozi PEKEE Aliyewakabili Waasi, 1964
Usiku wa tarehe 19.1.1964, askari wa kambi ya Colito(Lugalo) waliasi wakidai marupurupu na nafasi za juu za vyeo kwa Waafrika. Rais NYERERE na Mh. RASHID MFAUME KAWAWA walitoroshwa na mlinzi wao, PETER BWIMBWO usiku wa manani hadi Kigamboni na kufichwa kwenye nyumbaya Mzee KIZWEZWE.

Mawaziri wote walibanisha makwao baada ya kupigiwa simu na Mh. J. LUSINDE, Waziri wa Mambo ya Ndani, kuhofia usalama wao. KAMBONA ndiye pekee aliyeingia "fronti" kwani si tu raia waliokuwa wakimpenda bali pia askari. Waasi walionekana kutulia baada ya mambo yao kuwekwa sawa lakini baada ya Rais NYERERE kuibukia Ikulu toka mafichoni baada ya siku 3, waasi "wakalianzisha" tena hivyo ikabidi maasi hayo yalizimwe kwa msaada wa Waingereza na baadae Wanaijeria.

20. KAMBONA Ashuhudia mchakato wa Muungano 1964
KAMBONA alikuwa ni mmoja wa mawaziri wachache sana waliokuwa wakijua mchakato wote wa muungano kwa undani na pia alishuhudia utiaji saini hati za muungano huko Zenji, tarehe 22.4.1964 kati ya Rais NYERERE na Rais wa Zanzibar, Mh. ABEID AMAN KARUME.

21. KAMBONA Atofautiana na NYERERE Mfumo wa Chama Kimoja
Baada ya ziara ya China 1965, NYERERE alivutiwa na "alikuwaameoza" kwa siasa za China na mfumo wao wa siasa hivyo akaunda Tume tarehe 28.1.1964 ili ipendekeze mfumo gani unaifaa nchi yetu. Tume hiyo ilikuwa chini ya Mh. KAWAWA ikapendekeza mfumo wa chama kimoja. KAMBONA, ambaye daima alikuwa hapepesi macho wala hayumbishwi, aliweka kunji na kutosaini ripoti hiyo na badala yake akatayarisha ripoti yake ya kutaka mfumo wa vyama vingi na NYERERE akahuzunishwa sana na msimamo huo wa KAMBONA.

Kipindi hiki NYERERE aliishamuondoa KAMBONA kwenye wizara zile nyeti.

22. NYERERE "Amchana" kiaina KAMBONA 77 ya 1966
Tarehe 7.7.1966, NYERERE, akihutubia Taifa katika sherehe za 77, NYERERE alitumia mafumbo "kumpa za uso" KAMBONA ambapo alisema viongozi wanaonekana kujipatia mali nyingi kiajabu hawafai hata kidogo.

23. KAMBONA Ajiuzulu u-Waziri na U-Katibu Mkuu TANU 1967
Tarehe 9.6.1967, KAMBONA alibwaga manyanga kwa kujiuzulu U-Katibu Mkuu wa TANU na Uwaziri wa Serikali za Mitaa na Maendeleo Vijijini ambapo alitaja sababu za kiafya kuwa ndizo zilipelekea achukue uamuzi huo.

24. KAMBONA Atorokea Kenya, 1967 ki-James Bond
Kwakuwa KAMBONA alikuwa ni mtoto wa mjini, alitonywa kwamba kuna mpango wa kumkamata na kumsweka kizuizini. Hivyo, usiku wa kuamkia tarehe 26.7.1967, KAMBONA, mkewe, watoto wake 2 na msaidizi wa kazi walifunga virago na ku-drive hadi Kenya kwa staili ya "James Bond"! Watu wengi walipigwa butwaa ni kwq vipi aliweza kutoroka bila kubambwa!.

Usiku wa siku hiyo jijini Nairobi, KAMBONA na familia yake walikwea "pipa" East African Airways Flight 720 kwenda "Kwa Mama, huku, huku nyuma ikadaiwa alitoroka na mamilioni ya fedha!.

25. NYERERE Aelezea "Kusepa" kwa KAMBONA
Siku chache baada ya KAMBONA "kula kona", NYERERE, akiongea na viongozi wa TANU Morogoro, alisema : "Itachukua muda mrefu kufahamu sababu za Bw. KAMBONA kujiuzulu, lakini jambo moja ni dhahiri; KAMBONA amenidanganya mimi, TANU, TZ na Afrika".

26. KAMBONA Ajitetea UK
Baada ya kusikia vijineno kwamba amesepa na mamilioni, tarehe 6.9.1967, KAMBONA alikanusha vikali na kuitaka serikali ya Tanzania iwasiliane na ya Kenya kupata uthibitisho kitu ambacho serikali ya TZ hakikufanyika.

27. OTTIN na MATTIYA KAMBONA "Wasukumiziwa Ndani", 1967
Hawa wadogo zake KAMBONA walionja "joto ya jiwe" kwani walinyakwa usiku tarehe 30.12.1967 na kuwekwa kizuizini, Ukonga. Familia zao zikasambaratika vibaya sana kufuatia kukamatwa kwao. OTTIN alikuwa ni "Journalist" na MATTIYA alikuwa mfanyakazi Wizara ya Kilimo. OTTIN alikuwa amemuoa raia wa Martinique na walikuwa na watoto 2 wadogo na MATTIYA alikuwa amemuoa Mgambia wakiwa na mtoto wa miezi 3 tu. Wanawake hao walifukuziliwa mbali na kurudishwa makwao pamoja na watoto wao!.

28. KAWAWA "Amchana" KAMBONA Bungeni, 1968
Jumanne ya tarehe 23.1.1968, KAWAWA, 2nd VP, alilitaarifu Bunge:
"Wote mnajua kwamba Bw. KAMBONA aliikimbia nchi mwaka jana, 1967. Kabla hajaondoka, tarehe 6.12.1966, TZS 500.000/= ziliingizwa kwenye akaunti yake toka benki moja ya Uingereza. Uchunguzi wa BOT toka KAMBONA atoroke umeonesha kuwa tangu Juni 1965 na Desemba 1966, KAMBONA aliingiza katika akaunti yake jijini Dsm TZS 896,800/=. Kambona pia alikuwa anamiliki majumba mengi (Nyumba Magomeni-Plot No. 21,39 31), (Kunduchi bichi-Plot No.28), (Msasani bichi -Plot No. 92), (Morogoro-Plot No. 89) ns (Songea-Plot No.21)".

29. KAMBONA Amchana NYERERE nchini Nigeria, 1968
Baada ya TZ kuitambua Biafra, serikali ya Rais YAKUB GOWON ilikasirishwa sana hivyo ilimwalika KAMBONA aichafue TZ . Kwahakika, "jipu likawa limepata mkunaji" Hivyo, KAMBONA akaenda na kutoa muadhara Lagos tarehe 14.6.1968 ambapo "alimchana" vilivyo Rais NYERERE na kumwita dikteta. KAMBONA akaonesha kukosa uzalendo kwa taifa lake pale alipozomoka, bila ushahidi, kwamba TZ imepeleka vifaa vya kijeshi Biafra badala ya Zimbabwe!.

30. TANU "Yamfyekelea mbali" KAMBONA
NEC ya TANU iliyokuwa ikiketi Tanga, tarehe 19.10.1968, ilimvua uanachama KAMBONA pamoja na wabunge wengine 8 "Vichwa-maji" waliohoji uhalali wa TANU kuwa juu ya Bunge. Wabunge hao ni W. Mwakitwange, M. Choga, S. Kibuga, J. Bakampenja, E. Anangisye, G. Kaneno na Dr. F. Masha.

31. NYERERE "Amchana" tena KAMBONA, 1969
Tarehe 12.1.1969 kwenye sherehe za Mapinduzi Znz, NYERERE "alimuwakia" KAMBONA na kusema- "KAMBONA ni mwizi na mhuni kisiasa.

32. KAMBONA Akejeliwa Mashuleni na Majeshini
Nyimbo nyingi za kumkejeli KAMBONA zilitungwa majeshini na mashuleni lakini zilizokuwa maarufu ni hizi 2:
1. KAOMBONA Kaolewa wapi....? Kwa Wazungu...Kisa nini?...Tamaa ya Mali!

2. Alimselema ...alija, akija KAMBONA chinja... chinjilia mbali..!

33. KAMBONA Adaiwa ni _"Mastermind"_wa Uhaini, 1969
Mwaka 1969, KAMBONA alidaiwa kuwa "Mastermind" wa uhaini. Mashitaka yalikuwa kwamba washtakiwa 7 wakishirikiana na KAMBONA kati ya Machi 1968 na Octoba 1969, walitaka kumuua Rais NYERERE na kuipindua serikali. Washtakiwa hao 7 ni (Bibi Titi Mohamed , Michael Kamaliza, Gray Mattaka, John na Eliya Chipaka, Capt A. Milinga na W. Chacha).

Kesi ilianza kurindima Jumatatu tarehe 6.6.1970 na ilisikilizwa na Jaji Mkuu Georges na iliendeshwa na AG Mark Bomani. Wanafunzi wa Sekondari Tambaza(F.V Arts akiwepo Othman Chande, Jaji Mkuu wa 7) walikuwa wakijongo vipindi kwenda kortin kushuhudia kesi hii iliyokuwa na mvuto wa aina yake.

Washtakiwa wote walitiwa hatiani kasoro A. Milinga na KAMBONA ambaye hakuwepo. M. Kamaliza na mwenzake walipigwa "mvua" 10 na wengine walifungwa maisha na Bibi Titi akapata msamaha 1972.

34. OTTIN MATTIYA Waachiwa 1978
Tarehe 5.2.1978, katika kusheherekea mwaka 1 wa kuzaliwa CCM, NYERERE, akitumia ibaracya 45 ya Katiba, aliwaachia huru OTTIN na MATTIYA pamoja na JOSEPH KASELABANTU(Mwasisi wa TANU). OTTIN na MATTIYA, baada ya kugundua familia zao hazipo, wakaona Bongo hamna ishu nao wakaamua pia kusepa. Walivuka mpaka wa TZ na Kenya usiku Kininja kwani mpaka huo ulikuwa umefungwa kutokana na uhasama bainavya TZ na Kenya na wakaelekea UK.

35. NYERERE NA KAMBONA walikuwa majirani Msasani
Baada ya KAMBONA kuondoka nchini 1967, nyumba yake ikawa inakaliwa na Rais MILTON OBOTE kwa takribani miaka 10 baada ya kupinduliwa na Nduli IDD AMIN, 1971.

36. Vyama Vingi vyaanzishwa Bongo, KAMBONA ataka kurejea
Baada ya mfumo wa vyama vingi kuanzishwa mwaka 1992, KAMBONA akiwa London alisema, ije mvua, lije jua, anarejea kwenye Taifa lake. Serikali ikamuonya kuwa asithubutu na akijifanya fyatu au kichwa-maji akatia pua yake tu Bongo, "hakuna rangi ataacha kuiona".

37. KAMBONA Aitunishia msuli serikali, Atinga Bongo
KAMBONA aliamua kuwa kama "Mbwai, mbwai tu" hivyo akaonesha "Shoo za kibabe" na kurejea nchini akisafiria nyaraka za Umoja wa Mataifa zilizotolewa na serikali ya UK. Aliporejea hakukamatwa na badala yake, tarehe 4.9.1992, serikali ilimpa miezi 3 aweke sawa uraia wake kwakuwa ni Mmalawi! Miezi hiyo iliisha tarehe 4.12.1992 na serikali "ikaufyata" kwani haikumfanya kitu chochote!.

38. KAMBONA aeleza sababu za kutoroka, 1967
Baada ya kurejea nchini, KAMBONA alikata kiu ya wote waliotaka kujua kilichopelekea asepe "Kwa Mama" ni nini ambapo alitiririka: "Mimi na NYERERE tumetoka mbali. Sisi ndio tuliokuwa Viongozi wakuu wa TANU; Yeye Mwenyekiti, mimi Katibu Mkuu. NYERERE aliporudi toka China 1965 alitaka kuleta sera za China na mfumo wa chama kimoja. Nikapingana nae.."

39. KAMBONA Aeleza alichokuwa akifanya UK
Wiki 2 baada ya kurejea nchini, KAMBONA alitiririka kitu alichokuwa akifanya nchini Uingereza kwa miaka 25 aliyoishi huko ambapo alisema- "I did business. I used to go to the Arab countries but this did not last. I then depended on income support from Britain. Every Tuesday You take your book to the Post office...

40. KAMBONA atishia "Kumwaga ugali na mboga" kuhusu NYERERE
Badala ya kushugulikia uraia, KAMBONA akaendeleza bifu lake na NYERERE ambapo alisema anataka kufanya mkutano mkubwa viwanja vya Jangwani ili aeleze ufisadi wa NYERERE. Mapadri na masheikh walimsihi sana lakini akashikilia msimamo wake.

41. KAMBONA Ambwelambwela Jangwani, 1992
Tarehe 21.11.1992, viwanja vya Jangwani viliweka rekodi kutokana na umati mkubwa wa "wapenda ubuyu" uliojitokeza toka mida ya mchana kulisikia Jabali hilo litaeleza nini kuhusu Baba wa Taifa, Mwalimu NYERERERE.

KAMBONA aliwaboa sana 90% ya waliohudhuria kwani alidai, bila ushahidi, kuwa NYERERE, AMIR JAMAL na KAWAWA wameficha mamilioni ya fedha mabenki ya Ulaya. KAMBONA akaenda mbali na kudai NYERERE ni Mtutsi, KAWAWA na MKAPA ni watu wa Msumbiji na MALECELA ni Mcongoman!. Ikaonekana ni hekaya za Abunuwasi na hadithi za Esopo tu!

42. NYERERE Amjibu KAMBONA
NYERERE, siku chache baadaye akiwa Msasani, aling'aka- "Mimi ni lofa. I dont have a single penny abroad, I can assure you. Kama RASHID na AMIR hawawekwi kundi la watu waaminifu duniani, labda neno uaminifu ni neno tu, halina maana. Hawa ni waaminifu sana. Pia, mimi sipendi kuhusishwa na mambo ya kijingajinga. Ni makosa kushindana na kundi la wapumbavu. Kambona alete ushahidi maana "any blessed fool could stand up there" na kusema chochote".

43. MAWAKILI wamchimba Mkwara-Mbuzi KAMBONA
Baada ya KAMBONA kutoa kashfa dhidi ya viongozi hao mashuhuri nchini, mawakili wa Viongozi hao walimpa siku 14 toka tarehe 8.12.1992 kuomba radhi au kutoa ushahidi.

KAMBONA aliwajibu kuwa _"Mtu mzima hatishiwi nyau"_na akachekesha watu pale alipodai _"Nondo" zake kuhusu "bank accounts" za viongozi hao amezisahau UK!.

44. KAMBONA Aunda TADEA
KAMBONA aliunda chama cha TADEA ambacho hakikuleta upinzani wowote wa maana.

45. KAMBONA afariki London, 1997
KAMBONA alifariki jijini London mwaka 1997 na mwili wake kuletwa nchini na kupokelewa na ndugu zake na kiongozi wa serikali, Mh. J.M. KIKWETE, Waziri wa Mambo ya Nje. Rafiki yake NYERERE hawakuwahi kuonana toka atoroke mwaka 1967 na wala hakwenda kwenye mazishi yake.

46. RAIS KIKWETE Akutana na Mke wa KAMBONA, 2007
Tarehe 28.6.2007 katika hotel ya Kilimanjaro Kempisk, Rais wa awamu ya nne, Mh. JK alikuwa mgeni rasmi kwenye sherehe za miaka 50 ya BBC KISWAHILI. Mh. JK, akiwa na mcheshi na mwenye bashasha kama kawaida yake, alikutana na kusalimiana na Bi. FLORA KAMBONA ambaye alikuwa mgeni mahsusi kwani mmewe, KAMBONA ndiye aliyekuwa Mtangazaji wa 1 wa BBC Kiswahili, 1957.

46. MWISHO:
Huyu ndiye OSCAR SATIEL DAVID KAMBONA aliyekuwa chanda na pete na Mwalimu NYERERE lakini mwisho wakawa maadui wasio na mfanowe!.

Tafakuri Tunduizi:
ATIKALI HII YA KUKATA NA SHOKA ina Tafakuri Tunduizi 100!!!

OSCAR KAMBONA: KIONGOZI MAHIRI, MTANASHATI NA RAFIKI KIPENZI WA MWALIMU NYERERE ALIYEISHIA KUWA ADUI YAKE MKUBWA!!! - MICHUZI BLOG (issamichuzi.blogspot.com)

Oscar Kambona - Wikipedia

View attachment 1983785
Uko vizuri ila lazima ujue ICON wote wana ma helpers nyuma yao ambao huwa hawataji

ni kama ww ukifanikiwa mkeo hataonekana ni kawaida
 
Huyu ni MTANZANIA mwenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA aliyehamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's].


Wazazi wake walipata fursa ya kuhamia nchini KENYA kipindi cha miaka ya tisini [1990's] wakitoka katika ule MKOA WA MWANZA, WILAYA YA MISUNGWI katika maeneo ya MISASI.

Wenyeji wengi wa asili wa MIKOA YA MWANZA na SHINYANGA walihamia nchini KENYA na asilimia iliyobaki walihamia katika MATAIFA YA UGANDA, RWANDA, BURUNDI, KONGO, ZAMBIA, MSUMBIJI na MALAWI.

Baada ya hapo, ndiyo wakaanza kusambaa zaidi katika MATAIFA mbalimbali duniani.

Hawa wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA wamefanikiwa sana, sema huwa ni WATU WAKIMYA yaani SILENT MAJORITY.


Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA - kwa lugha ya mtaani tunaweza kusema kwamba "WAMETUSUA".

Kilichowahamisha n nn
 
Kilichowahamisha n nn
Sasa tunaanza kurudi darasani! Hapa ndiyo utaona umuhimu wa VIJANA kujiunga na MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA, kwa sababu haya mambo yote huwa wanafaundishwa huko kwenye MAJESHI.. 😂

IMG_20240314_215928.png

KUHAMA yaani "shifting from one place to another for a particular reason". Hiyo ndiyo ilikuwa SIASA YA TANZANIA kipindi cha HAYATI MWALIMU. Hivi unafahamu kuwa idadi kubwa ya WAZANAKI hawaishi BUTIAMA!

IMG_20240314_212426.jpg

WAZANAKI wengi walihama maeneo yao ya asili na kuhamia sehemu mbalimbali za nchi na hata nje ya nchi, kwa sababu za KIUSALAMA na KIDIPLOMASIA.

Sasa hivi ukienda BUTIAMA, pale "CENTRE" kuna OFISI YA CHAMA CHA WALIMU [CWT], BENKI YA NMB pamoja na BENKI YA CRDB, lakini kijiji chote cha BUTIAMA wanaishi WALOWEZI na WENYEJI WENGI WA ASILI waliyahama maeneo yao.

IMG_20240314_212334.jpg

Hii ndiyo SIASA ambayo huwa inafanyika na MATAIFA mbalimbali na hata TAASISI ZA KISIASA kama VYAMA VYA KISIASA, huwa wanahamisha watu kwa MASILAHI YAO BINAFSI au MASILAHI YA TAIFA - ndiyo maana huwa kuna DIASPORA.

IMG_20240314_212242.jpg

Sababu nyingine ambayo huwa haitajwi mbele ya halaiki ya watu huwa ni kukabiliana na MABADILIKO YA HALI YA HEWA - kama MAFURIKO au MAGONJWA YA MILIPUKO.

IMG_20240314_212144.jpg

Kwa mfano, leo kumetokea MAFURIKO pale "KALENGA" na majengo yote yamesombwa na maji, halafu hata vile vyakula vya akiba hamna tena kutokana na maghala ya kuifadhia vyakula kuharibiwa na MAFURIKO. Matokeo yake huwa tunapata vifo ambavyo hatukuvitegemea..

IMG_20240314_220337.jpg

Sasa ili kupunguza madhara yatakayosababisha WANANCHI wa sehemu moja kupoteza maisha, huwa inashauriwa kuhama eneo la asili na kuchangamana na watu wa jamii nyingine ili inapotokea JANGA sehemu fulani, watu wote wa asili wa eneo husika wasipoteze maisha na huu huwa ni MKAKATI WA SERIKALI zote duniani.

IMG_20240314_220148.jpg

Kwahiyo inashauriwa hata katika ngazi ya kifamilia, kama wanafamilia wamefikisha umri wa kujitegemea inawapasa kuwa na MAKAZI sehemu mbalimbali ili kuepuka madhara yatokanayo na msongamano wa kukaa sehemu moja.
 
Mkuu umeiva kwene jambo lako ! Kongole sana
Hiyo ndiyo huwa SIASA! Mambo mengine ni kupoteza muda na kutokuwa na uhakika kwa siku za mbeleni - kwa sababu kama huna hazina ya watu, malengo yako yote yatafifia.

d54361db14c3c9bc499ad5ffda0ff538~2.jpg

Hawa wote ni WATANZANIA wenye asili ya mikoa ya MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA na wametoka sehemu moja katika KIJIJI KIMOJA, WILAYA MOJA, MKOA MMOJA na TAIFA MOJA.



Lakini hadi sasa hivi HARMONIZE ana uraia wa TANZANIA na EDDY KENZO ana uraia wa UGANDA.
 
Back
Top Bottom