Ngoja nikuoneshe tofauti iliyopo baina ya JAMII YA MWASHITA na JAMII YA PUISSANTS [BSC];
- JAMII YA MWASHITA ni jamii inayojumuisha wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA na JAMII YA PUISSANTS [BSC] ni jamii inayojumuisha wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO.
- JAMII YA MWASHITA ilikuwa haijawahi kuwa na DOLA kabla ya mwaka 1994 na JAMII YA PUISSANTS [BSC] ni jamii ambayo ilikuwa na DOLA YA MATAIFA YA RWANDA na BURUNDI hadi ilipotokea mabadiliko ya kisiasa ya mwaka 1994 na mwaka 1997 kwa upande wa TAIFA LA KONGO.
- JAMII YA MWASHITA ilijijenga kiuchumi kupitia VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] kuanzia miaka ya tisini [1990's] na JAMII YA PUISSANTS [BSC] ilijijenga kiuchumi kupitia MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO kuanzia miaka ya sitini [1960's]. Yaani HAYATI CYPRIEN NTARYAMIRA pekee yake, alikuwa na UCHUMI MKUBWA kuliko wafanyakazi wote wa VYAMA VIKUU VYA USHIRIKA VYA MWANZA [NCU], SHINYANGA [SHIRECU] na TABORA [WETCU] hadi umauti unamkuta mwaka 1994.
- JAMII YA MWASHITA ilikuwa chini ya HIMAYA YA UINGEREZA [COMMONWEALTH] kupitia TANGANYIKA na JAMII YA PUISSANTS [BSC] ilikuwa chini ya HIMAYA YA UFARANSA [FRANCOPHONE].
Hawa wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] wamejitahidi kuwekeza sana kwa upande wa TAIFA LA TANZANIA.
Kampuni ya EAST AFRICA PACKAGING PRINTING INDUSTRIES LIMITED huwa inamilikiwa na wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC].
Huwa inafanya vizuri sana kwenye masuala ya UCHAPISHAJI na ndiyo wanaochapisha MADAFTARI YA JUMBO.
Pia ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa JUMBO KIDS STORE inayopatikana katika MIKOA YA DODOMA na DAR ES SALAAM.
Pia ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa JUMBO CAMERA HOUSE inayopatikana katika MKOA WA DAR ES SALAAM.
Pia ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa JUMBO HARDWARE COMPANY LIMITED inayopatikana katika MKOA WA DAR ES SALAAM.
Pia ndiyo wamiliki halali wa kampuni inayoitwa JUMBO inayopatikana katika TAIFA LA UHOLANZI. Hii kampuni huwa inatengeneza vinywaji aina ya JUMBO COLA pamoja na Chocolates na SNAPS na mambo mengine mengi.
Pia wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] ndiyo wamiliki halali wa MRADI WA LINDI JUMBO GRAPHITE unaopatikana katika MKOA WA LINDI.
Huu MRADI WA LINDI JUMBO GRAPHITE ukikamilika utakuwa ni mradi mkubwa katika BARA LA AFRIKA unaohusika na uchimbaji na uchejuaji wa MADINI YA GRAPHITE.
Hii ndiyo aina ya MIRADI YA UWEKEZAJI ambayo huwa inafanyika na wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] na wanamiliki kampuni nyingi kwenye SEKTA YA MADINI NA MAFUTA.
Kwahiyo wale wenyeji wa asili wa MATAIFA YA RWANDA, BURUNDI na KONGO yaani PUISSANTS [BSC] wanamiliki UCHUMI MKUBWA kuliko hata wale wenyeji wa asili wa MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA na TABORA yaani MWASHITA.